DK. MUCHUNGUZI ATOA SABABU THABITI ZA MGOGORO WA KENYA "MUSEVENI AMESOMA ALAMA ZA NYAKATI KURUDISHA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • 🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
    🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
    🔘WhatsApp (+255 767 400402)
    🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
    🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionli...

ความคิดเห็น • 391

  • @helenarhobi1250
    @helenarhobi1250 2 หลายเดือนก่อน +12

    Baba Mchunguzi umenikosha sana msoni wetu mzuri! Nawaambia mtanzania msomi anapointi za kujenga na zenye afya siyo kujisifia sifia vingereza utadhani ni lugua ya Kimungu!

  • @emmanuelrutaihwa6545
    @emmanuelrutaihwa6545 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mh Dr upo vizuri sana. Watanzania tusishabikie vurugu Kenya. Sanasana tuwaombee. Mi binafsi naliombea taifa la Kenya nikitamani kuna siku Mungu atawanusuru

  • @maimunashariffathman2073
    @maimunashariffathman2073 2 หลายเดือนก่อน +4

    If you think vijana hawajui what is in the finance bill ,then you are very wrong 😂

  • @emilythuo5164
    @emilythuo5164 2 หลายเดือนก่อน +1

    Point of correction. GenZs hawana ukabila.

  • @sidneybaraza351
    @sidneybaraza351 3 หลายเดือนก่อน +31

    🤣🤣🤣Kama huyu ndio political analyst then Tz has a long way to go

    • @joshuason557
      @joshuason557 2 หลายเดือนก่อน +4

      Na anajitapa amesoma sana 😂😂😂

    • @jumamnemo8383
      @jumamnemo8383 2 หลายเดือนก่อน +1

      Amekosea wapi?

    • @thadenmaina5403
      @thadenmaina5403 2 หลายเดือนก่อน

      It ia not a long way but a no way.

    • @pharoah-ahmose6075
      @pharoah-ahmose6075 2 หลายเดือนก่อน

      He's very good if you understand swahili 😂😂😂

    • @rmimosa5680
      @rmimosa5680 2 หลายเดือนก่อน

      He has asked for Kagame, Museveni and Suhulu to intervene 😂.
      Kenya there is FREEDOM OF EXPEESSION and the right to MAANDAMANO.

  • @LameckOtuomameshack
    @LameckOtuomameshack 2 หลายเดือนก่อน +1

    Dr samahani niko MUSOMA Tanzania kweli haujui kenya sawa sawa Kenya tatizp ni ukabila na utawala wa kabila la Wakikuyu ambao wanajiona ni bora kuliko makabila mengine na hawataki makabila mengine yakamate utawala , madai yote waandamamaji yameridhiwa na RUTO na bado MAKAMU wake ambae ni MKIKUYU anahasisha wakikuyu wamfukuze RUTO ili mkikuyu awe mtawala leo huyo makamu ana madai kuwa serikali yao ni kampuni makabila yaliyowaoigia kura ndio wana shea na mskabila ambao hawakuwapigia kura hawana mgao!!? Kweli utawala unakua hivyo ?! Mwisho MUSEVEN hana busara ya kusuluhisha KENYA anapendelea wakikuyu huku hapendi wajaluo kwa vile wajaluo wa uganda wanamsumbua kwenye utawala wake wa kifalme na hana busara za kutosha.

  • @opindoosiru560
    @opindoosiru560 2 หลายเดือนก่อน +6

    With all due respect,kusema ya kwamba Kenya hawaelewi mambo ya finance si sahihi.Wakenya ni watu wamesoma sana na hii finance bill wameisoma na kuilewa kisawasawa.

  • @RugakiMsingo
    @RugakiMsingo 3 หลายเดือนก่อน +10

    Dr elim yako aina msahada kwa watanzania maisha yale ayako ivo.

  • @saviomlelwa
    @saviomlelwa 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kenya wanajitambua Sana most of them you can't compare them with tz hata kidogo.

  • @ramdanmbara8500
    @ramdanmbara8500 3 หลายเดือนก่อน +6

    Dr Muchunguzi nakuomba upunguze Uchawa, haipendezi mtu wa taaluma yako kuwa Chawa....

  • @jamesmakori1342
    @jamesmakori1342 2 หลายเดือนก่อน +1

    Thank you sir. You have gone to school but unfortunately you know nothing about politics. What is going on in Kenya is exactly the same as what is going on in Tanzania. The main problem in kenya is ELECTIONS. Our elections are interfered with by the western countries like all other countries of Africa including Tanzania. Tanzania is not exception and that is why former president the late Makufuli died. You must be informed in advance that the only difference between Kenya and Tanzania is AWARENESS. Kenyan people are more then 20 years ahead of Tanzania. By the time the Tanzanian people develop democratically to the level of kenya, trust me they will ask for accountability both politically and economically. You are talking of a new constitution which has been in use in kenya for the last 14 years. Comparing Tanzania with kenya by all standards whether in Social economic, education, openness, democracy and even development is a big joke. I pray that God gives you long time to live so that you can experience, see and here what kind of questions your grand children will fearlessly ask whichever sitting government . Thank you.

  • @evelina9621
    @evelina9621 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli.kabisa.mtu.mwenye.ali.tanzania.mtu.mwenye.hekima.wa.taki.awemshauri.mzuri.viongozi.wetu.watambui.wa

  • @michaelmwangi5540
    @michaelmwangi5540 2 หลายเดือนก่อน +3

    Naitwa Mwangi frm Nairobi. The truth sio Fince Bill, Ni mambo yote ulioitja. Unaelewa kweli

  • @nizigiyimanabaruani4590
    @nizigiyimanabaruani4590 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wa Tanzania ni waelewa si watu wakudanganywa na watu wasiojielewa, Hao wanaoleta habari za baada ya
    Kenya ni tanzania wasahau Hilo.

  • @felixmsale9244
    @felixmsale9244 2 หลายเดือนก่อน

    Mzeee huna jipya .yte unayoongea HEWA TUPU.Ungekua Kenya ungesalimiwa na Gen Z

  • @marynjuguna-n2p
    @marynjuguna-n2p 2 หลายเดือนก่อน

    Shida ya raisi wetu nikujipiga kifua haambiliki, hamskii mtuu yeyote. Labdaaa amskie mzeemseveni. Mwanzo tulimpenda lakini ngoo'tulikosea. Ajiondoepolepole.

  • @marynjuguna-n2p
    @marynjuguna-n2p 2 หลายเดือนก่อน

    Amekua raisi wakuwanunua wabunge, iliwapitishe anachokitaka yeye. Shida iko hapo. 30:50

  • @marynjuguna-n2p
    @marynjuguna-n2p 2 หลายเดือนก่อน

    Amekua raisi wakuwanunua wabunge, iliwapitishe anachokitaka yeye. Shida iko hapo.

  • @marynjuguna-n2p
    @marynjuguna-n2p 2 หลายเดือนก่อน

    Amekua raisi wakuwanunua wabunge, iliwapitishe anachokitaka yeye. Shida iko hapo.

  • @serahmohamed6513
    @serahmohamed6513 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli Tanzania sio kama Kenya

  • @herryochola2650
    @herryochola2650 2 หลายเดือนก่อน +4

    Hongera Dr. Vijana tunahitaji elimu hii, MAANA VIJANA WANAPENDAA HARAKATI BILA KUJUWA NYUMA YA PAZIA YA KILA JAMBO KUNA SABABU.

  • @benardbett4207
    @benardbett4207 2 หลายเดือนก่อน

    Upside-down advises...kenya iko mbele kuliko Tanzania in everything..education, economy, infrastructure, hivi wewe kwanini unachukia sisi wakenya?..one day one time we shall REVISIT...lets us preach peace and unity kwa nchi zetu majirani ...ubinafsi mwingi haisaidii ndugu...very sad!!

  • @angelinekinoti8790
    @angelinekinoti8790 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona wewe umesoma kingereza na Tanzania haifundishi kingereza wanafunzi mashuleni?

  • @3_6_5.
    @3_6_5. 2 หลายเดือนก่อน

    Daktari, wacha nikukosoe. Maandamano haya HAYANA UKABILAAA!!!!!
    I don't know why you think that its tribal, but you are deeply mistaken. These demonstrations are TRIBELESS, PARTYLESS AND FEARLESS. Kwahivyo mzae, ongea facts, usiongee kitu hujui hapa. Na ukabila umepungua sana, nyinyi kila siku mnadhani ni ukabila, acha ushamba.

  • @jumannerizimbura6750
    @jumannerizimbura6750 3 หลายเดือนก่อน +5

    Labda n Dr wa Mwarobaini na sarago

  • @FintanMkesha
    @FintanMkesha 2 หลายเดือนก่อน

    Kiongoz mpanaji mwenye kjal hak nitaktafta ili usinisiadie

  • @Shockabsober
    @Shockabsober 2 หลายเดือนก่อน

    Niko Nairobi sasa, chenye unaongea haisaidii kwa akili ya Gen Z, hawasikii chochote, wamefika Leo Uganda, ongojea Tanzania hivi karibuni

  • @TheresiaAndrea-hv9dg
    @TheresiaAndrea-hv9dg 2 หลายเดือนก่อน +1

    Boss umeongea vizuri. Hata sasa hivi wanyarwanda wamejaa Karagwe wakienda wanarudi kesho yake wanadai Rwanda hapakaliki, maeneo ya bushangaro yote wamejaa wanyarwanda hata lugha ya biashara ni kinyarwanda. Kwa ufupi, Tanzania tumevamiwa na wakimbizi bubu.

  • @JastinMalekela
    @JastinMalekela 2 หลายเดือนก่อน

    Viongoz wajitahid kutimia wenye akil

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo 2 หลายเดือนก่อน

    Umeanza uchambuzi vizuri, umeharibu uchambuzi wako kwa uchawa wako kwa serikali ya Samia!
    Dr..na profs wa kitanzania mwaona uchawa unawalipa...
    Pumbafu Sasa wasomi wa aina Yako!!

  • @natoantony2080
    @natoantony2080 2 หลายเดือนก่อน

    This guy is being used by the Tanzanian government to fool the citizens not to reprimand it for poor performance. Watz musisikie huyu kibaraka.Kenya kuna food bwana fake doctor. Mimi Nko na chakula mingi Kwa Nyumba nmekosa soko Kwa sababu kila MTU ako na food.wewe hii bang'ang'a unatoa wapi?
    Truth be told rais samia angekuwa Kenya tungekuwa tuliimpeach yeye long time ago. Sasa heri Ruto yeye hakuna kabisaaa...

  • @ceeyceey5927
    @ceeyceey5927 2 หลายเดือนก่อน

    Kenya hatuna fujo.we are demonstrating peacefully.
    Matatizo ya Kenya si sawa na ya Tanzania. Tuacheni tutatue matatizo yetu

  • @PKim-sg7es
    @PKim-sg7es 2 หลายเดือนก่อน

    Ahsante sana kwa maoni sawa ila tu nakukosoa kwamba vijana wa Kenya hawaelewi yaliyomo kwenye finance bill, wanayaelewa vizuri sana. Pengine wewe huyaelewi, nakubali Kenya wana shida 3 muhimu, #1- Ukabila, #2- Corruption, #3- Tofauti kati ya Matajiri na wasio tajiri (the haves and the have nots), wasipo tatua haya Kenya hawata hepuka msuko-suko.

  • @mwakwekweDida-zq3qe
    @mwakwekweDida-zq3qe 2 หลายเดือนก่อน

    Hayajayaondoa, Ruto huwa ni muongo. Angalia juzi amewaajiri tena wale mawazir.

  • @erickkinyua952
    @erickkinyua952 2 หลายเดือนก่อน

    Mbwa wewe, watu wanalala njaa Kenya? 😂😂 Huyu ndiye msomi mkubwa Tanzania?😂

  • @benardbett4207
    @benardbett4207 2 หลายเดือนก่อน

    Shida zetu kenya ni mawili tu..ukabila na ufisadi fullstop..na tunaelewa sana,,and for your information vijana wameanza kumulika haya..the gen_z ,,kenya ni nchi huru kaka..upusi na uchochezi baina ya mataifa wacha nani..you think Tanzania has nothing to import from kenya?I pity you...

  • @EradMushi
    @EradMushi 3 หลายเดือนก่อน +8

    We chawa tu

    • @JacksonMtese-gn4so
      @JacksonMtese-gn4so 3 หลายเดือนก่อน

      Nawe toa maoni yako tuyasikie

    • @bilid4128
      @bilid4128 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 ahaaa haaa anataget mkeka wa mama huenda atapata teuzi

    • @jumamnemo8383
      @jumamnemo8383 2 หลายเดือนก่อน

      Kunguni unamuonea wivu?.

  • @SeverinepauloPeter
    @SeverinepauloPeter 3 หลายเดือนก่อน +1

    Acha kutupanga chawa wewe

  • @johnjoshua1581
    @johnjoshua1581 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni umbwa Koko Mzee shetani ibilisi bila makwapa..... Wewe na mchawi hakuna tofauti,Niki dhania naona ni kama unaongea uwache kunukisha mdomo

  • @natoantony2080
    @natoantony2080 2 หลายเดือนก่อน

    Nmeelewa Kwa nini watanzania huitisha ngoma instead of listening to this stupid people. Lakini hata hivo Tanzania, if this are the doctorate graduates kindly recheck your education system

  • @lenoxkahindi4723
    @lenoxkahindi4723 2 หลายเดือนก่อน +1

    Dr ...hapo umeongea sahihi. Tz msiige Kenya kabisa. Kenya usomi ni mwingi lakini ujuaji pia unasababisha vurugu.

  • @Elizabeth-gq9kl
    @Elizabeth-gq9kl 2 หลายเดือนก่อน

    Kagame, museveni hawo hatuwataki wasije kenya

  • @3_6_5.
    @3_6_5. 2 หลายเดือนก่อน

    Acha ufala mzee, hakuna ukabila. Hii ni GenZ, sisi hata hatujui makabila zetu, hizo story ziliisha na wazazi wetu.
    Ukiongea ujinga tena pia wewe tunakusalimia

  • @FlorenceKhamedeMuluhya
    @FlorenceKhamedeMuluhya 2 หลายเดือนก่อน

    From Nairobi Kenya nimesikiza maongeo yako nimekusikia ukisema wa Tanzania hawalali njaa, Mbona mulisahau kusaidia viwete wenu wa Tanzania uku Kenya wako 70% ya ombaomba? Pili mimekusikia ikisifu Museveni wa Uganda swali ni, Umesahahu Museveni amekaa miaka mingapi uongozini? Pia unajua Museveni ni Mukoloni ameuwa watu wengi wenye kujaribu kupinga uongozi wa kihimla?

  • @rashidmwandilo5459
    @rashidmwandilo5459 2 หลายเดือนก่อน

    Muashazoea kutawaliawa na chama kimoja na makanisa nyinyi uko

  • @MaryNjeri-d6y
    @MaryNjeri-d6y 2 หลายเดือนก่อน

    Mm n mkenya na najua kiswahili pia bt nmepata kujua you no nothing about our cornfillix Raila & Ruto all these leaders are the same in secret missions utawaona km wanatengana bt sio kwel. Gen Z we are triebless. Kuna business mbaya sana Kenya 🇰🇪 Ruto na Raila ni wauwaji ndio kila kitu tunapinga

  • @SmilingCatfish-rm3bl
    @SmilingCatfish-rm3bl 2 หลายเดือนก่อน

    90% of Kenyans are Laws Consious sio kama Madwanzi watanzania

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im 3 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani wewe unajuwa kuwadanganya watanzania

    • @3_6_5.
      @3_6_5. 2 หลายเดือนก่อน

      Banaaaa!! Ni fala

  • @helenarhobi1250
    @helenarhobi1250 2 หลายเดือนก่อน

    Wamesoma ndiyo ila kila mmoja ni mjuaji sana pia ukabila unawaua hata professor😊 Kabudi shawashauri hivyo unakuta huo usomi wao hauwasaidii lolote!!!!

  • @CatherineMwaniki-jw9ni
    @CatherineMwaniki-jw9ni 2 หลายเดือนก่อน

    Ungelelea kuhuzu kuuza kenya kwasetani

  • @aminajuma5732
    @aminajuma5732 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona watanzania wako kenya.kama mko sawa kiuchumi

  • @agripinabukhala649
    @agripinabukhala649 2 หลายเดือนก่อน

    Mi ni mkenya ...vijana ni wasomi na wanaielewa hiyo bill..walio kuwa maandamano niuni uni ersity kando nakukosa ajira sir ...alafu serekali ni ya familia...na marafiki....inajitafutia wao tuu na damilia zao...wengine tutoe ushuru wa juuu....kila kitu...cha kijinga hali wao wana sherekea na familia

  • @wilsonbarasa6455
    @wilsonbarasa6455 2 หลายเดือนก่อน

    Kiukweli Uongozi wa Tanzania, na wa Kenya ,unautofauti mkubwa mno,Tanzania nakumbuka Mzee wao Magufuli na sasa Daktari Samia na wazuru uongozini Kwa kuwa hawana ubinafsi na "watu wao"yaani amabao wanao nufaika na uongozi,viongozi wa Kenya ni WA tumbo zao hivyo kuchangia swala la ufisadi ilihali Tanzania uongozi wao ni WA wanainchi,wanaangalia na kujisatiti kuinua maisha ya watanzania ilihali Kenya inaongozwa na wafusadi,wakabila na wauwaji...ilimradi wapate watafutayo...Kwa hakika nakiri uongozi wenu watanzania nawapa heko Kwa misingi ya Mzee wangu marehemu Magufuli aliweka njia Bora isiyo na ufisadi.tafadhali Nawasahi watanzania wasifwate Wala kuiga Wana Gen Z wa Kenya maana mko na viongozi Bora kuliko Kenya yaani sio wafusadi kama wetu

  • @kiflikhamis5205
    @kiflikhamis5205 2 หลายเดือนก่อน

    Nimekupenda kutokana na uzalendo wako

  • @ChristopherKeno
    @ChristopherKeno 2 หลายเดือนก่อน

    Wacha wewe huijui kenya they are more informed than you

  • @dtv2235
    @dtv2235 2 หลายเดือนก่อน

    Do you know the meaning of mwanajeshi na polisi

  • @pantaleolaurentlaurentkavu2011
    @pantaleolaurentlaurentkavu2011 2 หลายเดือนก่อน

    Tunao viongozi wachache katika vyama vya upinzani wenye uelewa kama wewe..tunao wanataka uongozi kwa nguvu.

  • @mwashibenard2280
    @mwashibenard2280 2 หลายเดือนก่อน

    Yote unayosema ni kweli ila kwenyekusitisha maandamano sikubaliani na wewe. Ruto na serikali yake waende nyumbani hatuwataki.

  • @ains1122
    @ains1122 2 หลายเดือนก่อน

    Sihawahi kiona mpumbavu miubwa kama huyu asiojuwa utu wala kuwa na logic, naomba pumbavu kama huyu akae agange yao Tanzania na ya kenya hayamhusu, aendeakampe pole bwanake Ruto kwa heahima yote, sisi yetu watuachie tutayamaliza wenyewe, mburukenge asio na akili De. Lisio jifaa hata afae wengine,

  • @njoroon8440
    @njoroon8440 2 หลายเดือนก่อน +2

    Shida zenu Watanzania sio sawa na zetu hapa Kenya. Tunayo matatizo yetu tu. Tafadhali msiige. Lakini nakukosoa, yetu sio fujo. Tunapigania utawala bora. Hebu wakalieni Watanzania tuone kama watanyamaza.

    • @ChristopherKeno
      @ChristopherKeno 2 หลายเดือนก่อน

      Amewasikiza vijana vipi story za Kenya Ni za Kenya hajui kitu huyu eti ukabila Gen Z hawajui kabila

    • @3_6_5.
      @3_6_5. 2 หลายเดือนก่อน

      Nashangaa. Uwache ufala.

  • @samutykuntathebantu8402
    @samutykuntathebantu8402 2 หลายเดือนก่อน

    Mimi mkenya lakini huyu hajui chochote kuhusu kenya yeye ni bwege

  • @CadeauZabibu
    @CadeauZabibu 2 หลายเดือนก่อน

    Ungesema. Wangine. Uganda na Rwanda njo wasipime wananyanyasa rahiya

  • @NsiaMwanga-nd6nh
    @NsiaMwanga-nd6nh 2 หลายเดือนก่อน

    Kasahau kuwaasa viongozi wawe wasikivu kea wananchi siyo kuwapoteza wanapoambiwa ukweli na kuwadhibu kama mpina.

  • @rosejambi2713
    @rosejambi2713 2 หลายเดือนก่อน

    Angarieni mabo ya kwenyu, wasana na sisi hatutaki usaidizi wenu, nyamazeni kabisa

  • @yasminmustafa2282
    @yasminmustafa2282 2 หลายเดือนก่อน +2

    SISI NI WASOMII WE DO KNOW ABOUT THE FINANCE BILL..HUYU AMETOKA WAPI..KAMA HIZI NDI AKILI ZIKO TZ I PITY YOU AD A COUNTRY....

    • @denismugisha2
      @denismugisha2 2 หลายเดือนก่อน

      So why are shouting "Ruto must go" while he already rejected the finance bill? Go back at home

    • @yasminmustafa2282
      @yasminmustafa2282 2 หลายเดือนก่อน

      @@denismugisha2 ACCOUNTABILITY TRANSPARENCY AND POOR GOVERNANCE we will fight him until he shapes up

  • @dankuriathecoach6970
    @dankuriathecoach6970 2 หลายเดือนก่อน

    Viongozi waajibike, mambo ni mapya akili mpya...

  • @isaackabiero2440
    @isaackabiero2440 2 หลายเดือนก่อน

    Watu wanaelewa finacebill dakitari

  • @MichaelmotikaLaiser-dl6wm
    @MichaelmotikaLaiser-dl6wm 2 หลายเดือนก่อน

    Yaani wewe hujui kabisa unapigia debe wale wale

  • @annetvuseletse4509
    @annetvuseletse4509 2 หลายเดือนก่อน

    Corruption
    Selfishness
    Poor accountability

  • @jimmyodari5487
    @jimmyodari5487 2 หลายเดือนก่อน

    Maona yako mwengine sikubaliani nayo kabisa alafu Mzee mawazo yako juu ya Watanzania ni ya kizazi cha kale. Kubali pia kuna mazuri mengi ambayo Tanzania inaweza kuiga kutoka Kenya. Unaiponda Kenya sana. Unaipendelea na kuisifu Tanzania. Watanzania wa Kizazi kipya tafadhali fungueni macho , msilemazwe kimawazo na Wazee kama hawa. Huyu ni wa Status Quo , yani hataki kubadilika na Wakati.

  • @bernardgakuru1701
    @bernardgakuru1701 2 หลายเดือนก่อน

    Kenya ni Udemokrasia state TZ ni Ukomunisti state.These have two different political policies.

  • @abdulahijuma541
    @abdulahijuma541 2 หลายเดือนก่อน

    Ulivyosema na uliyoyasema mi kweli kabisa. Hali ya uchumi na ubinafsi na ukabila ndio ugonjwa unaostahili tiba kwa haraka. Ni Allah Mtukuka Anaeilinda nchi hii lakini wanachi wa Kenya wasiporekebisha hali hii basi walimlaumu Mungu bali walimlaumu. Suluhisho la haraka linahitajika kwa haraka. Serikalini kuna watu na raia pia ina watu wanaoweza kutatua matatizo yaliyopo.

  • @Elizabeth-gq9kl
    @Elizabeth-gq9kl 2 หลายเดือนก่อน

    Museveni na kagame wanakoroga Kongo so wasije

  • @metrom8009
    @metrom8009 2 หลายเดือนก่อน

    Usomi wamakaratasi sio wa ujuzi wa maisha wengi walio soma wamekua mapumbavu kutatua matatizo mengi ya màisha wengi wao hawaja unda itu chochote katika maisha ni ujuzi wavitabu ya masomo ya kile ktu wamesomea lakini upumbavu uko mathalan kumaliza ufisadi, umaskini, ama serikali kutoa ruzzuku kwa familia maskini ulayà yafanyika kwani huku kuna nini? Ambayo yasio wezekana baada ya myaka sitiini ya uhuru ...

  • @MauriceMwamwenda
    @MauriceMwamwenda 2 หลายเดือนก่อน

    Umeongea vizuri lakini hayo ni mawazo yako tu bado huna historia ya maandamano anglia katiba.

  • @ndementriavermand8010
    @ndementriavermand8010 2 หลายเดือนก่อน

    Holili haipo Tanga ipo kilimanjaro Horohoro ndio ipo Tanga lakini pia sio Taita ni Taveta

  • @erickkinyua952
    @erickkinyua952 2 หลายเดือนก่อน

    Hii ndio akili mnafuata watanzania?🤣🤣🤣

  • @jimmyodari5487
    @jimmyodari5487 2 หลายเดือนก่อน

    Wazee kama wewe ndiyo mnapinga Tanzania isiwe na Katiba mpya , bado ni kusifu utawala uliyoko kwa masilahi yako ya binafsi

  • @Eagleseye-t4p
    @Eagleseye-t4p 2 หลายเดือนก่อน

    Ni uongho huyu jamaa hajui anachosema,hajafuata maandamano

  • @SelinaPeter-f7d
    @SelinaPeter-f7d 2 หลายเดือนก่อน

    Tutaandamano hakuna wakutuzuiya

  • @metrom8009
    @metrom8009 2 หลายเดือนก่อน

    Na kubaliana na wewe wasomi wengi wako kenya na hawa kwa usomi mwingi wamekuwa mapumbavu kwanza ni wamesoma na yanafanyika wakiona, kama walisoma huyu ufisadi umekua kizungumukuti wakiona myaka nenda myaka rudi.Akili ya masomo sio akili ya mambo ya dunia na ujuzi yakupeleka mambo sambamba.Wengi mtapinga ukweli huyu leo lakini kesho mtayafakari haya😄

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko 2 หลายเดือนก่อน

    Ujuwaji wa uchawa sio Elimu eti wasomi Tz shidi

  • @WilfredRweyemamu-rp5re
    @WilfredRweyemamu-rp5re 2 หลายเดือนก่อน

    Asiye kuelewa hawezi kuelewa

  • @VincentMuteti-o9f
    @VincentMuteti-o9f 2 หลายเดือนก่อน

    Utapeli wa adharani serikalini ndio kiini hasa

  • @shiracque8524
    @shiracque8524 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asantesana baba yangu ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @jumabakari2852
    @jumabakari2852 2 หลายเดือนก่อน

    Nice language but your voice sounds jealous of Kenya 🇰🇪...

  • @omarnjoroge3977
    @omarnjoroge3977 2 หลายเดือนก่อน

    Shida kubwa ukabila na wizi wa mali ya umma.Hakuna Hatua inayo chukuliwa.

  • @buligwahygieneservices7766
    @buligwahygieneservices7766 2 หลายเดือนก่อน

    Chakula inayo Toka Tz Kwa mfano ni taan ya mahindii ngapi msomi bandia.

  • @GodfreyLudovick
    @GodfreyLudovick 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu Mzee muong cna msaka tong

  • @MichaelmotikaLaiser-dl6wm
    @MichaelmotikaLaiser-dl6wm 2 หลายเดือนก่อน

    Zungumzia katiba wewe

  • @sailaskunde4363
    @sailaskunde4363 2 หลายเดือนก่อน

    Peleka upuzi huko Tanzania

  • @EDWINKISIERO
    @EDWINKISIERO 3 หลายเดือนก่อน +2

    sasa ikiwa mseveni ndiye anayempa ruto ushauri eti awatume jeshi waje wapambane na raia wasiobeba silaha ili wasitetee haki zao kiongozi kama huyo ni wakumpenda kweli alivyo na rekodi mbaya kwa nchi yake,mama samia heri amejawa na hekima kwa hawa viongozi wote ambao umewataja katika region hii yetu

  • @hemedchuma9-cq4nh
    @hemedchuma9-cq4nh 2 หลายเดือนก่อน

    Tz tumelzka na uchumi wa chini katikati

  • @MachariaErastus
    @MachariaErastus 2 หลายเดือนก่อน

    Ufisadi na Wizi ni mkubwa ndani ya serikali

  • @claudekathobasimaki946
    @claudekathobasimaki946 2 หลายเดือนก่อน

    Unasema tz ni inchi tajiri na kila aina ya madini ambayo ina zalisha ma “trillions dollars “ hii fedha zote haileti usahidizi kule Tanzania ? Wakati tukilinganisha na utawalo wa Muhamar Gaddafi inchi yake ilikua tu na mafuta lakini kila mwana inchi ilifaidika sana na ikawa namaendeleo kubwa…

  • @sanjafarmmachinerystractor4205
    @sanjafarmmachinerystractor4205 2 หลายเดือนก่อน

    Wa Tanzania WA Burundi Congo Ra Uganda wengi humu kwetu Kenya wewe DR fake 😅

  • @ndementriavermand8010
    @ndementriavermand8010 2 หลายเดือนก่อน

    Maandamano yale hayana Ukabila

  • @kombeson-oz4it
    @kombeson-oz4it 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona tanzania watu huwa wana strora away ndani ya mali

  • @JohnboscoMuendo-b1p
    @JohnboscoMuendo-b1p 2 หลายเดือนก่อน

    Kongole, umegonga ndipo

  • @pilotclipsafro
    @pilotclipsafro 2 หลายเดือนก่อน

    Huu ni mwaka gani? 1950? Hata miaka hayo wanaume hawakuwa waoga.