VURUGU KUBWA HAI KWENYE TUKIO LA MWENGE, WANANCHI WAGOMA KUONDOKA, KIONGOZI WA MWENGE AINGILIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 เม.ย. 2024

ความคิดเห็น • 473

  • @mallemaOg
    @mallemaOg 3 หลายเดือนก่อน +14

    Mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya RIP JPM 🙏

    • @ramahawai3430
      @ramahawai3430 3 หลายเดือนก่อน

      Alisema

    • @hamisimwinzagu6624
      @hamisimwinzagu6624 3 หลายเดือนก่อน

      Daaaa naumia sana kifo cha John Pombe Magufuli

  • @mbwanahasan2971
    @mbwanahasan2971 3 หลายเดือนก่อน +11

    Tutanyanyaswa sana na bado maana watanzania sisi ni wanafki sana uchawa na upambe ndio zetu kuliko maisha yetu

  • @rendiman2878
    @rendiman2878 3 หลายเดือนก่อน +13

    Mapinduzi yataanzia Kaskazini. Huko hawavumilii uonevu

  • @chage797
    @chage797 3 หลายเดือนก่อน +11

    Kilio kikubwa kinakuja ccm mtaondoka vibaya sana askari mtakufa kumamae zenu

  • @joycekisamo4896
    @joycekisamo4896 3 หลายเดือนก่อน +10

    Huyo kiongozi wa mwenge aelimishwe...hajui anachosema, kuna sheria na watu hawawezi kuchukua ardhi za watu bila kuwafidia. Kama wameongeza mipaka kwa ajili ya vyanzo vya maji, basi wafuate utaratibu. He is So ignorant!! Hayo mambo ya mwenge pia ni kupoteza pesa tu, this is 2024; wenzetu wako busy na AI era, sisi tuko na mwenge, apathetic 😠

  • @jacklinakinabo6479
    @jacklinakinabo6479 3 หลายเดือนก่อน +18

    Mh,,Nifundishe kunyamaza ee Mungu ,,,Naomba uilinde familia yangu na Watanzania wote ...kimbilio pekee ni wew Mungu ,,familia tunazotoka hazina wabunge,mawaziri wala yoyote aliyepo kwenye mfumo,Tunakutegemea wew Mungu ,...sjui chochote kuhusiana na kinachoendelea wala na serikali ila Tunajua wew Mungu upo kwaajili ya maskini

    • @coollymars
      @coollymars 3 หลายเดือนก่อน +2

      🙏 Amen

    • @user-oq7jw6kp6w
      @user-oq7jw6kp6w 3 หลายเดือนก่อน

      Amen mpendwa ubarikiwe sana 👏🏻👏🏻

    • @hamzamajenja4891
      @hamzamajenja4891 3 หลายเดือนก่อน

      Hahahaha, Uko Sahihi

  • @denisipaulo7785
    @denisipaulo7785 3 หลายเดือนก่อน +17

    Safi RpC kaonyesha utulivu safi sana

  • @HansChuma
    @HansChuma 3 หลายเดือนก่อน +11

    Serekali ya tanzania asilimia90 niuwenevu kwa wananchi wake but iko siku tutaimba aleluya wote maana serekali hii niuwizi tu kukubuu hakuna kitu

  • @elisantemrita9490
    @elisantemrita9490 3 หลายเดือนก่อน +30

    Kweli jomonkinyata alijua
    Aliposema tanzania nisawa na maiti mana maiti tu ndie anapelekwa watakavyo wazikaji

    • @collinsstanley6126
      @collinsstanley6126 3 หลายเดือนก่อน

      Lini hiyo alisema😅

    • @idrissamohamed1100
      @idrissamohamed1100 3 หลายเดือนก่อน +1

      Acha uongo lini kasema maneno hayo?

    • @shifaaal-baity4503
      @shifaaal-baity4503 3 หลายเดือนก่อน +1

      Na huyo kenyatta ana ubora gani zaidi ya watanzania?? i au wakenya wamewazidi nini watanzania???

    • @jafarikideghesho6509
      @jafarikideghesho6509 3 หลายเดือนก่อน

      Kwa hiyo wewe ni maiti

    • @solomoneglesias9752
      @solomoneglesias9752 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@collinsstanley6126 ndiyo alimwambiaga Nyerere kuwa unaongoza maiti ambazo kila usemalo na ufanyaji wao ni ndiyo na hakuna hapana

  • @alvinbenito5243
    @alvinbenito5243 3 หลายเดือนก่อน +9

    Akili ni mali kuliko mabavu, seikali itumie sana busara na kusisitiza utawala bora.

  • @GodfreyOsward
    @GodfreyOsward 3 หลายเดือนก่อน +12

    Swali je mabango yangeachwa watu watoa shida zao askari angepoteza nini? Mimi ningeondoka na nyota zao leo.

  • @marychacha7084
    @marychacha7084 3 หลายเดือนก่อน

    Hiyo sehemu ni nzuri.hali ya hewa Iko poah

  • @MrishoRajabu-rx8zp
    @MrishoRajabu-rx8zp 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mmmhh sema kimeumanaa

  • @JumaRashidi-xw8ub
    @JumaRashidi-xw8ub 3 หลายเดือนก่อน +3

    Noma sana

  • @pangrasimassawe5464
    @pangrasimassawe5464 3 หลายเดือนก่อน +4

    Daaaah hii ni kali😮😮😮

  • @bakarially253
    @bakarially253 3 หลายเดือนก่อน +9

    Tanzania itakuja kutokea vita kubwa sana ambayo itagharimu maisha ya watu wengi sana.

    • @abuialmarjibi979
      @abuialmarjibi979 3 หลายเดือนก่อน

      Mungu atanusuru InshaAllah

    • @mwajemwafula5777
      @mwajemwafula5777 3 หลายเดือนก่อน

      Sio kweli akuna vita ya kitoto Kama hiyo

    • @user-mp4hk1vv1u
      @user-mp4hk1vv1u 3 หลายเดือนก่อน

      Mawazo ya kishetwan
      Na unachowazia na kukiami ujuwe ni duah Yako kwa Allah
      Allah atunusuru na hayo unayowaza

  • @JacobBlackBarton
    @JacobBlackBarton 3 หลายเดือนก่อน +5

    From kigoma black Barton MBEMBE Tena nyaru tv

  • @mkambamaulid447
    @mkambamaulid447 3 หลายเดือนก่อน +5

    Hiii nchi ngumu Sana tukiwa tunaelekea kwenye uchaguzi Mungu wangu watu wanatembea na maumivu makali sana

  • @reginaedward4883
    @reginaedward4883 2 หลายเดือนก่อน +1

    Out there we ar not afraid of anything huko ndio kwetu uchagani.
    Wapewe haki yao.

  • @user-vt3uq3xv3s
    @user-vt3uq3xv3s 3 หลายเดือนก่อน +5

    mimi nahisi hiii tanzania sio yetu tena yukubali matokeo tu mana ukisema tu kitakulamba tutulie tu mungu atatusaidia 🤐🤐🤐🤐

  • @MKOLOSAIonlineTV-cn2vr
    @MKOLOSAIonlineTV-cn2vr 3 หลายเดือนก่อน +13

    Naililia tanzania inchi yangu 😢😢😢 amani itawale masikini na matajiri wale sahani MOJA viongozi na wana inchi wale sahani MOJA MUNGU simama na tanzania yetu

    • @abelmkiba543
      @abelmkiba543 3 หลายเดือนก่อน +4

      Haiwezekani hata nusu siku

    • @emanuelnisetas7510
      @emanuelnisetas7510 3 หลายเดือนก่อน +2

      Sijawahiona faida ya serikali mm

    • @user-hv7th8wg4y
      @user-hv7th8wg4y 3 หลายเดือนก่อน +3

      Kasikilize ngoma ya roma nipeni maua yangu

  • @user-mz4gx2ek9y
    @user-mz4gx2ek9y 3 หลายเดือนก่อน +14

    Hilo likimbiza mwenge ndio senge lingine miaka yote watu wako hapo

    • @MajutoElliasi
      @MajutoElliasi 3 หลายเดือนก่อน

      Rina taka cheo

  • @maryaugustor6983
    @maryaugustor6983 3 หลายเดือนก่อน +1

    Magufuli alikufa mtaona mengi mtauzwa kama wale wamasai mmetoka mahali kuna maji mpelekwe Kwa nnji haina maji kama wale masai Tanzania mast praying to GOD,poleni sana,

  • @user-fj6fo4wk8j
    @user-fj6fo4wk8j 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wajib gan

  • @alexmahenge9408
    @alexmahenge9408 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna tofauti kubwa kati ya Chanzo na njia ya maji. Mtu fulani aliharibu miundo mbinu ya mbowe kazi aliiona mahakamani. Sijui alilipa au la!

  • @PeterMagoye
    @PeterMagoye 3 หลายเดือนก่อน +8

    Katika kitu ninachochukia maishani mwangu ni uonevu,,na huu mwenge ni kero tupu

    • @nellywizz9631
      @nellywizz9631 3 หลายเดือนก่อน

      Kwanz hii ni asara tu mwenge mwenge wanachezea pesa tu imkua ndo kisingizio cha watu kupigia pesa

    • @PeterMagoye
      @PeterMagoye 3 หลายเดือนก่อน

      @@nellywizz9631 kabisaaa yaani ukiangalia nini maana ya mwenge haina ishu yeyote ile

    • @user-vz4xj2ci2w
      @user-vz4xj2ci2w 29 วันที่ผ่านมา

      ukiachwa kukimbizwa ni vita mura ccm watatoka madarakani hahahaha

  • @MohdSuleiman-fw2un
    @MohdSuleiman-fw2un 3 หลายเดือนก่อน +2

    Aiseee sum time bora ukae kimya tu nakuangalia what is going on love Tz

  • @stephanonyembedodo758
    @stephanonyembedodo758 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi IPO

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 3 หลายเดือนก่อน +8

    Eti unanishauli nikapige kula nimpigie nani kama uongozi huuu hauna urafiki nawananchi unafanya unavyo taka migogoro imekua kila konaa sina mda wakupoteza tapiga kula mbiguni 😭😭😭😭

    • @joycekisamo4896
      @joycekisamo4896 3 หลายเดือนก่อน +1

      Huyo kiongozi wa mwenge wa uhuru hata akili hana; issue nzima ni kulipa fidia. Nchi hii ina sheria na zifuatwe kwa busara

    • @chusseboywcb2808
      @chusseboywcb2808 3 หลายเดือนก่อน

      @@joycekisamo4896 umeona eeh Tanzania hii basi tu natatizo kibao

    • @YONERU
      @YONERU 3 หลายเดือนก่อน +1

      Piga kula ili kupitisha kiongozi mwenye masirahi mapana na nchi yako na sio masilahi ya chama

    • @chusseboywcb2808
      @chusseboywcb2808 3 หลายเดือนก่อน

      @@YONERU niwalewale labda makonda

  • @allybakari5791
    @allybakari5791 3 หลายเดือนก่อน +4

    Amani iliisha tanzania kilichobaki ni mazoea tu.

  • @saidomary7930
    @saidomary7930 3 หลายเดือนก่อน +3

    Tanzania Mungu Ibariki Nchi yangu

    • @leahmgunda4154
      @leahmgunda4154 3 หลายเดือนก่อน

      Unaiombea baraka kabla ya toba? Sijawahi kuona.

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 3 หลายเดือนก่อน +15

    Wananchi uchaguz ujawo tukiwache mpk kielewek

    • @sixmundleonard2135
      @sixmundleonard2135 3 หลายเดือนก่อน +1

      Haisaidiii lazima CCM itapita unyanyuke ukae ulale wata pita tuuuu

    • @elvisoscar9912
      @elvisoscar9912 3 หลายเดือนก่อน +1

      bila katiba awangoki wale

    • @aminatanzanya7475
      @aminatanzanya7475 3 หลายเดือนก่อน

      @@elvisoscar9912 yaan tumewachok

  • @user-qe2kl7iz3s
    @user-qe2kl7iz3s 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu awatetee

  • @shaddybmc8342
    @shaddybmc8342 3 หลายเดือนก่อน +1

    Aisee Askali kavamiwa vibaya sana

  • @isamony58
    @isamony58 วันที่ผ่านมา

    Hayati alisema ipo siku mtanikumbuka kwa mazuri yangu magufuli kwa nn uliondoka mapema baba😭😭😭🇹🇿🇹🇿

  • @SebastianNgimba
    @SebastianNgimba 3 หลายเดือนก่อน +2

    Uamusho ulianza hivi,watawala someni alama za nyakati,Nyerere sio alipenda kung'atu,alisoma alama za nyakati,ujinga ni pale mjinga asipojua kua mjinga mpaka ambiwe kua mjinga ndio anajua kua kumbe ni mjinga,

  • @user-ue2nz3vc4j
    @user-ue2nz3vc4j 3 หลายเดือนก่อน +3

    SHERIA YA MIPAKA YA VYANZO VYA MAJI ILINDWE KWA KILA MWANANCHI WA TAIFA HILI, SERIKALI ISICHOKE KUELIMISHA WATU, LEO. KESHO NA MILELE AMEEN...🙏🙏

    • @palokuthereza2555
      @palokuthereza2555 3 หลายเดือนก่อน

      We tulia eneo hilo liko toka Nyerere Leo mamako analeta ushamba watu wamekaa hapo since 1955 Leo wanaongea nini my dad and grandpa they have Very beutful Home There wametunza msitu wao na si serikali pls muwe Na akili

  • @MayengaMayunga-wt2sk
    @MayengaMayunga-wt2sk 3 หลายเดือนก่อน

    Dahhh!!

  • @user-gr2bh9yr2i
    @user-gr2bh9yr2i 3 หลายเดือนก่อน +2

    tanzania hatuna amani tu na utulivu

  • @peterkasonso3169
    @peterkasonso3169 3 หลายเดือนก่อน +8

    Hii ndo nchi ya mama anae upiga mwingi,Kila Kona vilio na maombilezo huku viongozi wako kimya

    • @abdifaraji2883
      @abdifaraji2883 3 หลายเดือนก่อน

      Hivyo vilio kavikuta vimeenea nchi zima, hawezi kuvimaliza kwa wakati mmoja. Mulizeni Yesu aliyehai kwanini anaziacha shida hizi ziendelee kuwapata viumbe wake, au hazioni?

    • @rehemakanyere4188
      @rehemakanyere4188 3 หลายเดือนก่อน

      @@abdifaraji2883 utakutana na moto

  • @user-de2rg9kk7u
    @user-de2rg9kk7u 3 หลายเดือนก่อน +7

    TANGU MAGUFULI AFE HII NCHI IMEKUA YA AJABU SANA NAAPA MIMI NIKIINGIA MADARAKANI NITAWAUA WOTE Wanaonyanyasa wananchi wanguu Maskini sitabakisha ata MMOJA 😡😡😡😡😡😡😠😠😡😡😡😠😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡

    • @omarymkamba3045
      @omarymkamba3045 3 หลายเดือนก่อน

      Kwani kipindi cha magufuli hakuna watu waliolia kuvunjiwa nyumba zao? Waulize watu wa kimara ,mbezi na kibamba na kinondoni.Hao wananchi wanalima karibu na chanzo cha maji serikali inataka kulinda hicho chanzo.

    • @mgalatinojengo3663
      @mgalatinojengo3663 3 หลายเดือนก่อน

      Kinachonishangaza,Kesho unaweza ckia mwekezaji kamilikishwa,Hatuna msimamo wa maamuz.

    • @DannySanga-gh1oj
      @DannySanga-gh1oj 3 หลายเดือนก่อน

      Mbona zanzibar haya mambo haya hayatokei?

  • @deotv5916
    @deotv5916 2 หลายเดือนก่อน

    Nchi yetu Mungu atusaidie sana hakika tunasafari ndefu sana

  • @itanzaniaAS
    @itanzaniaAS 3 หลายเดือนก่อน

    Hii ni hatari sanaaa wananchi wakiamua wanaweza

  • @zawadikundavi8793
    @zawadikundavi8793 หลายเดือนก่อน

    Hapa kuna sehemu haikuwa sawa. Tatizo lingefahamika mapema sio hadi Mwenge unafika

  • @user-mi7cd8ch1b
    @user-mi7cd8ch1b 3 หลายเดือนก่อน +8

    Selekari ndio wanataka iv hii ni vita na hao wagen wanaowapa ndio wanafuraiya kuona tunagombana sisi kwa ssi iri watutawale vizuri hii zuruma itaisha rini ya maharizi

  • @issayasanaree1319
    @issayasanaree1319 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo mzee kaongea point sana anajua kujieleza sana❤

  • @HamadJuma-np4zr
    @HamadJuma-np4zr 3 หลายเดือนก่อน +10

    Nchii ze comed sana

  • @goodluckjonathan9899
    @goodluckjonathan9899 3 หลายเดือนก่อน +4

    Hii mbaya sana

  • @Chembika
    @Chembika 3 หลายเดือนก่อน

    Mwanzo mzuri

  • @issayasanaree1319
    @issayasanaree1319 3 หลายเดือนก่อน +2

    Dah hii inchi ina mambo mengi jaman

  • @brownschmidt4532
    @brownschmidt4532 3 หลายเดือนก่อน

    Duh

  • @feisalmassoud8176
    @feisalmassoud8176 3 หลายเดือนก่อน

    Mwenyenzi mungu mwenye dunia yake ametulia anawangalia wanadam jinsi wanavyogombani ardhi ambao sio ya kwao dunia hii

  • @obadiajuma436
    @obadiajuma436 3 หลายเดือนก่อน +4

    Nivigumu mama kusikia wanyonge

    • @shijahlaurent3100
      @shijahlaurent3100 3 หลายเดือนก่อน

      Huwa hasikii kabisa anakichwa kigumu sanaa.

  • @DorothLema
    @DorothLema 3 หลายเดือนก่อน

    Ee Mungu ilinde Hai na wananchi wake

  • @meshackthomas1341
    @meshackthomas1341 3 หลายเดือนก่อน +6

    Serikal. Ijitahidi sana kuwa inahusisha walengwa ikiwa walifanya makosa hata kusimamia Sheria nakuelimisha raia Kwa kila jamba

    • @joycekisamo4896
      @joycekisamo4896 3 หลายเดือนก่อน +1

      Huyo kiongozi wa mwenge aelimishwe...hajui anachosema, kuna sheria na watu hawawezi kuchukua ardhi za watu bila kuwafidia. So ignorant!!

  • @success-only
    @success-only 3 หลายเดือนก่อน

    Waone hawa wasumbufu wanyang'anya mabando utafikiri wanaambiwa wao

  • @mchawaamanmchawa593
    @mchawaamanmchawa593 3 หลายเดือนก่อน

    Safi ndugu zangu bila hivyo bado watatuzoea

  • @user-dn8dg2rl2q
    @user-dn8dg2rl2q 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tanzania sio maiti maji ni kitu muhimu sana ni hatari sana ukigombana na jirani yko na wote mnatu.ia maji ya mfeji mmoja mnabatanishwe siku hiyohiyo

  • @kingmpeto4510
    @kingmpeto4510 3 หลายเดือนก่อน

    Mikoa wanayoishi wavuta bangi htr sana kwa maendeleo ya Nchi

  • @kanankirannko6174
    @kanankirannko6174 3 หลายเดือนก่อน +1

    Na wabongo Kwa kufukia mabonde duh mwenge uwake

    • @naimatemba8061
      @naimatemba8061 3 หลายเดือนก่อน +1

      Sijui hata maana ya huu mwenge

  • @user-de2rg9kk7u
    @user-de2rg9kk7u 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mkoa wangu Kilimanjaro NTAKUJA huko Lazima nihakikishe Wananchi wangu Wanapata HAKi

  • @delilanyanginywa282
    @delilanyanginywa282 3 หลายเดือนก่อน

    Hii nchi duuuuh

  • @user-ox3ij7ki3t
    @user-ox3ij7ki3t 3 หลายเดือนก่อน +3

    Natumai Raisi anaona haya mambo ya kikatil yanayo endelea

  • @user-gb9wx8qs2c
    @user-gb9wx8qs2c 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu ibariki Tanzania na watu wake

  • @OmbeniShoo-kg8dr
    @OmbeniShoo-kg8dr 3 หลายเดือนก่อน +1

    Imani ikishapotea mahali popote walipopaamini watu ndio hayo yanatokea kuna tatizo

  • @emmanuelnkwabi8610
    @emmanuelnkwabi8610 3 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mzee akili nyingi sana kaongea point tupu

  • @adudeswalehe8724
    @adudeswalehe8724 3 หลายเดือนก่อน +1

    CHANZO KILIUZWA AKAKIRUDISHA SABAYA, wachapakazi kama sabaya tunawahitaji

  • @josekinyamagoa-sv4jh
    @josekinyamagoa-sv4jh 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ivi serikali ya Tanzania inajiona Ina ubavu sana et. Kumbuka wale MS23 Kongo au alishabab na Tanzania wataingia ktoka umoja wa serikali na wananch haupo.

    • @mohamedimbinga7422
      @mohamedimbinga7422 3 หลายเดือนก่อน

      Upo kwnye ubongo wng kbc na ayo mawazo ako

  • @Mlilapi
    @Mlilapi 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hii kuna watu wanaweza kutuondoa kwenye unyanyasaji sema hawaja amua tu ila siku wakiamua mtatoka ikulu uchi wa mnyama washenzi wakubwa nyie

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 3 หลายเดือนก่อน +2

    Asante msichana is not fear msichana asema kwa uchugu, Allah atupe waschana kama hu 7777, Asante Mschana,na Lilian shaf, Asanteni sana hawana huruma hao wana ma VX ya million 500,n wa unguu mtu kama Farao Firaun,miaka 700,watu waende wp,

    • @ramadhanimuya2162
      @ramadhanimuya2162 3 หลายเดือนก่อน +1

      Soma dini yako,uislamu hauendi kwa hamasa mfano wa huyo msichana unae msifu.yaani unamuomba Allah akuingize kwenye jambo la haramu.unajielewa kweli wewe.ninyi ndo mnautia dosari uislamu kwa upumbavu mlionao.uislamu na mwanamke kupayuka mbele ya wanaume wapi na wapi.tena ulivyo kiazi,unaomba kwa Allah awafanye wanawake wawe mfano wa huyo mjinga mwenzio.hata ikiwa mnadhulumiwa,uislamu umeelekeza kufanya fujo kama hivyo?,jitambue muislamu acha upimbi.

    • @HamisMghuna-fj3vz
      @HamisMghuna-fj3vz 3 หลายเดือนก่อน

      @@ramadhanimuya2162 samia n Raisi wa Tanzania na ummu mwalim c n waziri c n waislaamu,c wanafanya mikutano wanainchi we have alfu supika c n mwanake,ndoo anaongoza bunge,hii Tanzania c dolla ya kislamu,kama saudia, alafu achamstusi,bac,halafu,acha ku replay kwangu weka public,et mwanake haruhusiwi,haya Raisi c mwanake,wa Tanzania Samia,eb acha matusi Allah,akuona,huyo msi hana anadai haki zao,na ndungu zao

    • @HamisMghuna-fj3vz
      @HamisMghuna-fj3vz 3 หลายเดือนก่อน

      @@ramadhanimuya2162 mtume MUHAMMAD amepigana jihadi acha hii fujo,upanga kabisa na nusaiba n mwanake ndoo alimkata kafiri UTBA ktk vita vya uhudi baada mtume kua gukia ktk shimo we ata sirra hujui alafu utukana,AISHA mke MTUME alikua vitani na Mtume,eb uliza shekh wako,NUSAIBA n mwanake gani katka vita ya UHUD

    • @palokuthereza2555
      @palokuthereza2555 3 หลายเดือนก่อน

      @@ramadhanimuya2162tulia we paka Kama ni haki yake asubiri mwanaume Kama wewe chizi amsaidie uislam ndo nini bwana wee

  • @ibrahimame9805
    @ibrahimame9805 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hiii sio nchi huu uchi

  • @sebastianmusyebi-yv1hm
    @sebastianmusyebi-yv1hm 3 หลายเดือนก่อน

    Huyo afande hongera kwake anajua jins ya kutuliza watu na ujinga wa wale scout

  • @user-tg7vq3ty8p
    @user-tg7vq3ty8p 3 หลายเดือนก่อน

    Mmmmmh

  • @MohamedMkota
    @MohamedMkota 3 หลายเดือนก่อน

    Safi sn

    • @BakariKibauri-qh7gf
      @BakariKibauri-qh7gf 3 หลายเดือนก่อน

      Kwann😅

    • @MohamedMkota
      @MohamedMkota 3 หลายเดือนก่อน

      @@BakariKibauri-qh7gf kwakilichotokea maan mpk usikilizwe Ni lini ss

  • @MauFundiElectronics
    @MauFundiElectronics 3 หลายเดือนก่อน +4

    Kwa serikali hii mama emu angalia wananchi wako wanavyoteseka kuna viongozi wachache wanafanya mama uchukiwe na wananchi kwa baadhi ya viongozi wachache ambao sio wahadilifu wenye walio chaguliwa na ulio wateuwa .

  • @husseinramadhan3369
    @husseinramadhan3369 3 หลายเดือนก่อน

    kweli mwenge unamurika mipaka na maovu

  • @yuahahmad6651
    @yuahahmad6651 3 หลายเดือนก่อน +4

    Tutamkumbuka magu mpaka basi

  • @user-oy2gp3nq4j
    @user-oy2gp3nq4j 3 หลายเดือนก่อน

    Wenyewe wanajineemesha uzao wao Mungu atalipa

  • @user-np4di2lg5u
    @user-np4di2lg5u 3 หลายเดือนก่อน

    Tanzania eeeeee nchi yangu eeeeee

  • @daslamonline4665
    @daslamonline4665 3 หลายเดือนก่อน

    Unyani unyani

  • @komuhsengo9796
    @komuhsengo9796 3 หลายเดือนก่อน

    😮 hii ni tatizo na haya ndio yanavyoanzaga, very dangerous

  • @yuzzoandrew8027
    @yuzzoandrew8027 3 หลายเดือนก่อน

    Hv wanasikilizana kweli

  • @ernestsereli8559
    @ernestsereli8559 3 หลายเดือนก่อน

    Tanzania ya samia hiyooo

  • @kichefuchefu2382
    @kichefuchefu2382 3 หลายเดือนก่อน

    Hiiiii arusha Nomaaa

  • @esromkanubo815
    @esromkanubo815 3 หลายเดือนก่อน +10

    Hii nchi tunapoelekea

  • @JumaBakari-ld5rr
    @JumaBakari-ld5rr 3 หลายเดือนก่อน +5

    Hivi vitu vinaendana na uwezo wa mungu mm nilishuhudia kwetu Maj yalikauka ,kwahio hilo nitatizo dogo aje mama au kiongoz mwenye hofu yamungu

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 3 หลายเดือนก่อน

      Mama yako hana jipya umeme shida sana wakati magu alisha fanikiwa ktk hilo

  • @PaulinaSemindu-ob3de
    @PaulinaSemindu-ob3de 3 หลายเดือนก่อน +3

    Huyo mgambo nae sijui anajikuta nani😂😂

  • @OmarMohamed-zf8dp
    @OmarMohamed-zf8dp 3 หลายเดือนก่อน

    Mmuheshimmiwa samia hii hali haivumilliki raiya imekuwa hana haki kweli mbona uhai wamakufuli mabango ruhhusa

  • @BRAYSONShirima-bn8wn
    @BRAYSONShirima-bn8wn 3 หลายเดือนก่อน

    Ahahhah wachagga na aridhi mtawauwa😂😂😂

  • @shabanikitula645
    @shabanikitula645 3 หลายเดือนก่อน

    Hii ndiyo kaskazini

  • @kingmpeto4510
    @kingmpeto4510 3 หลายเดือนก่อน

    Sheria Iko wazi mita 60 km mko ndani ya mita izo halina mjadala toweni bangi zenu Babu zenu walikua wavamizi

  • @melanialeonard4031
    @melanialeonard4031 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu samia kazi anayo yeye ni kuteuwa na kutengua kila mwananchi anamuomba samia awadaidie kutokea ngazi za vijiji mpk taifa kote kumejaa viongozi lakin hakuna msaada jaman wengine wako vijijin hata haya yanayotokea hawayajui ni dhuluma tu

  • @noahemanuel7015
    @noahemanuel7015 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huo mwenge unakazi gani hapo

  • @user-fl7jl7vk3n
    @user-fl7jl7vk3n 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu tusaidie CCM wamekua wakatili

  • @edmundchacha6329
    @edmundchacha6329 3 หลายเดือนก่อน +1

    Yani apa tanzania kilichobaki ni kufukuzwa tu tuondoke

  • @georgesamwelchacha7680
    @georgesamwelchacha7680 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kila mkoa uwe na Rais wake
    Muone mambo yanavyo nyoka kama Rula
    Mikoa imekua mingi inamremea Rais mmoja

    • @meryshekoloa961
      @meryshekoloa961 3 หลายเดือนก่อน

      Arusha watatupiga bao kwa sasa

  • @user-sj3wf5vz7l
    @user-sj3wf5vz7l 3 หลายเดือนก่อน

    Hayo mambo gani yanafanyika bila utaratibu kusababisha vurugu

  • @Watuwatutz
    @Watuwatutz 3 หลายเดือนก่อน

    Hiii ichi haki itapatikana lini

  • @juliusdonard933
    @juliusdonard933 3 หลายเดือนก่อน

    Daaa yan mwenge unazalquriwa hivii kias kwamba n kitu cha kawaida tharau zimezdi nngekua mm kiongoz wotee hao kushtakiwa na kuchunguzwa

  • @ngombegeorge3577
    @ngombegeorge3577 3 หลายเดือนก่อน

    ww kiongoz wa kua makini hao ni watu.