MACHALII WA CHUGA WADUDU NJE YA OFISI YA MAKONDA,WAPIGA MKWARA "LAZIMA UKUTANE NA SISI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 374

  • @dominicrevocatus4177
    @dominicrevocatus4177 4 หลายเดือนก่อน +11

    Hawa madogo wangekuwa organised mapema,wange hit kama misondo misondo,huwa ukiwakuta maeneo wanacheza music wanapendeza....wapate mtu Mdudu is real,In Sha'Allah

  • @lucasmollel2522
    @lucasmollel2522 4 หลายเดือนก่อน +17

    Waachenii wafanye saanaa ya mitaaaaa na watu wana enjoy..mbonaa waleee wenginee wavaaaa uchiii mashogaa ...video za uchiii hampigii vitaa uzuriii wanajikubalii na wako very strong nigas keep fighting for your life...never mind over what people talk about you Midudu ya chuga

  • @millanolotu2839
    @millanolotu2839 3 หลายเดือนก่อน +2

    Makonda endelea na juhudi zako....kuna kitu hapo.HATA DHAHABU HUPATIKANA KWENYE MATOPE NA VUMBI.
    NI LAZIMA UCHEKECHE UDONGO AU TOPE UPATE DHAHABU SAFI❤❤❤😊

  • @KassimHanga-xr7rb
    @KassimHanga-xr7rb 4 หลายเดือนก่อน +72

    Mavazi yao sio shida Sana kuliko wale tunaowaita wasanii ambao wanaimba uchi na wanaume wanavaa bangili cheni shanga na vipini ambapo sio Mila za Tanzania

    • @user-od2mc4mj4e
      @user-od2mc4mj4e 4 หลายเดือนก่อน +1

      Sure

    • @ALEXLOTAN
      @ALEXLOTAN 3 หลายเดือนก่อน

      ❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @samwa9496
    @samwa9496 4 หลายเดือนก่อน +18

    Mmoja mvuta bhangi mwingine kala unga hapo

    • @itanzaniaAS
      @itanzaniaAS 3 หลายเดือนก่อน

      Kabisa

  • @millanolotu2839
    @millanolotu2839 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hata wasanii wengi wa Marekani wakubwa wa Rap walianza hivi hivi na Kila mtu aliwapinga ila sasa ni ma bilionea na kila mtu anawapenda.Makonda ni Mwona mbali❤❤❤❤

  • @letthedeadburythedead2148
    @letthedeadburythedead2148 4 หลายเดือนก่อน +64

    Maisha yakizidi ugumu mtu huwa either mchawi au chizi. Bora yao hawakuchagua uchawi

    • @florahmushi748
      @florahmushi748 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 nimecheka mpk basi

    • @itanzaniaAS
      @itanzaniaAS 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @thomaskiponda6079
    @thomaskiponda6079 4 หลายเดือนก่อน +14

    VIJANA WAZURI SANA NIMEWAPENDA STYL YAO ONE KAMVUTO❤❤❤❤❤❤❤

  • @funnuelmwalukasa4506
    @funnuelmwalukasa4506 4 หลายเดือนก่อน +46

    Yaani ni hasara na aibu mtoto una mzaa unalea Kwa tabu na kusomesha anakuja kuwa kama kidudu roho inauma Kwa kweli maisha kama mtoto hajui kanisa au msikiti ni shida

    • @elliyawilliam2521
      @elliyawilliam2521 4 หลายเดือนก่อน +8

      Skiliza kwanza sio una ongea hovyo wame sema hayo mavazi ni kama yuni fom zao za kazi lkn kwenye mazingira halisi hawa vai hivyo yaan kwaki fupi hiyo ni km sanaa

    • @josephjulio6112
      @josephjulio6112 4 หลายเดือนก่อน +5

      Wako kazini hao

    • @JennipherNassary-gq1to
      @JennipherNassary-gq1to 4 หลายเดือนก่อน +5

      Watu wanatafuta hela

    • @Maxpaul-oi8pw
      @Maxpaul-oi8pw 4 หลายเดือนก่อน +8

      Ulitaka wavae gauni kama waigizaji wa dar au iyo ndo chuga baba ainaga kuremba

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 4 หลายเดือนก่อน +2

      Na yule anayekuwa shiga au msagaji , acha kuongeaz na mihemuko

  • @levinalyimo6240
    @levinalyimo6240 4 หลายเดือนก่อน +2

    Yaaan mdogo wangu makonda hapo Arusha kazi unayo Ila tunakuombea Sana mungu

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 4 หลายเดือนก่อน +12

    Inshallah Makonda atawaweka sawa vizuri

  • @tegemeakyangenyenka6111
    @tegemeakyangenyenka6111 4 หลายเดือนก่อน +5

    Inaonekana hawa ni wasanii,ila Hawana watu wakuwashika,inaonekana want vipaji

  • @nwntz
    @nwntz 4 หลายเดือนก่อน +10

    Huyo dogo black, anajielewa sana. Big up sana kujiamini ni mtaj

  • @EddahBure-te7ft
    @EddahBure-te7ft 4 หลายเดือนก่อน +7

    😂😂😂kwa kweli wasingefanya ivyo ningewaona wanyonge kama watu wa Tanga tyu 😅😅

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 4 หลายเดือนก่อน +8

    Hiyo sanaa tu , kwani hamfurahi watazamaji ? Acheni basi kuwasema wadudu .....mbona wachambaji mnawashangilia na mnaona ni ajira , mbona uchawa mnaushabikia na mnaona ni ajira ....acheni watu wajitafute basi😅😅😅

    • @alfredymakuru8333
      @alfredymakuru8333 4 หลายเดือนก่อน

      Fact

    • @saimonjohnsumley9198
      @saimonjohnsumley9198 3 หลายเดือนก่อน

      Yaani Huwa wema sana, Mbona Kuna jamii ya rastafarian? Waheshimiwe

  • @MrTop-wj7no
    @MrTop-wj7no 4 หลายเดือนก่อน +31

    😂😂😂 subiri aanze kazi mtasema vizuri hizo bange zitawatoka

    • @jamaliddiin9357
      @jamaliddiin9357 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @denisrukangula2227
      @denisrukangula2227 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @EddahBure-te7ft
      @EddahBure-te7ft 4 หลายเดือนก่อน +1

      Na watasem wanaponunulia😅

    • @isackcastory7186
      @isackcastory7186 4 หลายเดือนก่อน +1

      Nawahurumia hao 😂😂😂😂

    • @frankkiduma9446
      @frankkiduma9446 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@EddahBure-te7ftu7

  • @user-tc5vt1om5t
    @user-tc5vt1om5t 4 หลายเดือนก่อน +9

    😮😮😮😮😮waache bangee

  • @levinalyimo6240
    @levinalyimo6240 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hao bangi tupu makonda mungu atakufanyiie wepesi

  • @wizzyjabary7777
    @wizzyjabary7777 4 หลายเดือนก่อน +3

    Wadudu mnatisha sana nawakubalii🎉🎉🎉

  • @khalifasultan2677
    @khalifasultan2677 4 หลายเดือนก่อน +5

    HIZO SIFA NA HUYU MILLARD AYO KUWAHOJI KAWAPONZA, MIDOMO IWASAIDIE KULA HIYO MADOGO!!

  • @izoohjack6687
    @izoohjack6687 4 หลายเดือนก่อน +41

    Uone mtoto wako yuko hivi Mungu tunusuru Wana wa Arusha 😢

    • @gilliardgodfriend5745
      @gilliardgodfriend5745 4 หลายเดือนก่อน +2

      We ulitaka wote wawe wanyenyekevu dini zingehubiti nini?😅😅 ishi yako achana na watu wasokusu

    • @mwanaidimussa
      @mwanaidimussa 4 หลายเดือนก่อน

      @@gilliardgodfriend5745 inasikitishaaa

    • @isacksamuel5503
      @isacksamuel5503 4 หลายเดือนก่อน +3

      wanaigiza bna not serious, wenyewe wamesema wapo kazini

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 4 หลายเดือนก่อน +2

      Mbona haongelei mashoga na wasagaji , majaa wako kazini au we unaupenda usagaji na ushoga mbona hapo mhamsemi? Bara wa kwangu awe mdudu kuliko msenge 😢😢😢😢😢

  • @user-rc1dp6ux3k
    @user-rc1dp6ux3k 4 หลายเดือนก่อน +3

    Tuwaelekeze vijana wetu waache ujinga wa kujiita wadudu hii itaaribu maadili ya wengi

  • @starjay3052
    @starjay3052 4 หลายเดือนก่อน +17

    bola wadudu kuliko awo wasanii weni mashoga wavaa eleni na vipini puani awo wabishi kinoma alafu wanaonekana watu wa kazi

  • @jomba6514
    @jomba6514 4 หลายเดือนก่อน +17

    Maombi tu kwa mwenyezi mungu wadudu wapae

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 4 หลายเดือนก่อน +20

    😅Bang nying hao ngoja tuone kama wao wamepinda kuliko serikali

    • @DavalsonMarlony
      @DavalsonMarlony 4 หลายเดือนก่อน

      utaelewa t uyo makonda atakonda

    • @seciliamchalo5627
      @seciliamchalo5627 4 หลายเดือนก่อน +3

      ​@@DavalsonMarlonyhumjui vzr makonda wewe subir aanze kazi watatamani ahame

    • @DavalsonMarlony
      @DavalsonMarlony 4 หลายเดือนก่อน

      @@seciliamchalo5627 iyo ni chuga syo darsalade

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 4 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@DavalsonMarlonyje hawa wako vibaya kwa jsmii na serikali je na mashoga na wasagaji ambayo serikali imewafumbia macho kana kwamba wako sawa? 😢😢😢😢😢

    • @agnesjohn9382
      @agnesjohn9382 4 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@seciliamchalo5627😂😂 wanamjua vizuri huyo jamaa damu ya Magufuli hiyo watanyooka tu

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ze kabwela suti viraka nation featuring Ze chuga waduduz kakaz and dadaz 😎😎😎🤣🤣🤣

  • @ATHANASLUKEHA-ui7pq
    @ATHANASLUKEHA-ui7pq 4 หลายเดือนก่อน +7

    Mkuu wa mkoa una kazi ya ziada,kwanza kuwasaidia vijana wa arusha ambao ni maarufu hadi mochwari!!

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 4 หลายเดือนก่อน +6

    Bangi zinawamaliza

  • @MaloneMalick-wo8yf
    @MaloneMalick-wo8yf 4 หลายเดือนก่อน +6

    Sindio arusha ndo kila kitu

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 4 หลายเดือนก่อน +3

    Wadudu wa arusha bangi tosha wa moshwari yaani makonda atawabadilikia hamtoamini hii hali itaisha bora muache huo uwadudu mkafanye kazi

  • @lorelore2930
    @lorelore2930 4 หลายเดือนก่อน +2

    Nyinyi kiongozi wenu mnamuita makonda hamna heshima nyinyi

  • @amanisilas3523
    @amanisilas3523 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hawa wadudu wa arusha wanafanya kazi gan

  • @beatriceurio8130
    @beatriceurio8130 4 หลายเดือนก่อน

    Mheshimiwa Hawa ndugu ni maombi tuu Mungu atusaidie na watoto wetu

  • @godfreyally-ps3fo
    @godfreyally-ps3fo 4 หลายเดือนก่อน +5

    Chuga 🔥🔥

  • @AllyRamadhan-hp2st
    @AllyRamadhan-hp2st 4 หลายเดือนก่อน +15

    Ngoja aanze kazi mtahama 😅

    • @dullayomwinyi3359
      @dullayomwinyi3359 4 หลายเดือนก่อน +1

      Nakuunga mkono wataelewa tu

    • @mariachuri7123
      @mariachuri7123 4 หลายเดือนก่อน +1

      Hizo tairi zitakaa sawa kama viatu vingine😂

    • @AllyRamadhan-hp2st
      @AllyRamadhan-hp2st 4 หลายเดือนก่อน +1

      @@mariachuri7123 😂😂we ngoja tu watakaa sawa

    • @seciliamchalo5627
      @seciliamchalo5627 4 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@mariachuri7123tena itavaliwa saizi inayowatosha 😂😂

    • @personpeter2221
      @personpeter2221 4 หลายเดือนก่อน +1

      Hyo taili watazkata kulingana na miguu yaoz😂😂😂 dawa ya wadudu ni dawa ya lungu tu

  • @user-rf4yq9yj7u
    @user-rf4yq9yj7u 4 หลายเดือนก่อน +6

    Bange bange bange inaua na inachanganya akili jamani 😢

    • @agnesjohn9382
      @agnesjohn9382 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

    • @user-bt3wt6nt4z
      @user-bt3wt6nt4z 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @MATEOJOSEPH-nc8gf
    @MATEOJOSEPH-nc8gf 4 หลายเดือนก่อน +3

    Mbona Bado wadogo Sana makonda wanyoshe hao

  • @denisrukangula2227
    @denisrukangula2227 4 หลายเดือนก่อน +13

    Upumbavu
    Makonda kamoshe huo ujinga

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 4 หลายเดือนก่อน

      Ili tumpe mauwa yake na serikali wakomeshe huu uozo wa ushoga usagaji na unga janga la taifa😢😢😢😢😢

    • @athumaniamiri880
      @athumaniamiri880 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 umenichekesha Arusha kama nchi nyingne sielewi Arusha kukoje

    • @user-bt3wt6nt4z
      @user-bt3wt6nt4z 4 หลายเดือนก่อน

      ​@MiriamAbdallahnaweww ulivokazana na huo ushoga SI anaanza na kimoja baada ya kingine? Huyo ni mwamba anayaweza tote!!!!!!😊😊😊😊😊

    • @saimonjohnsumley9198
      @saimonjohnsumley9198 3 หลายเดือนก่อน

      Ndo ulimwengu ulivo,wako njema sana njeree

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 3 หลายเดือนก่อน

      @@user-bt3wt6nt4z 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 hawawezi kuliongelea utajanimbia 😅😅😅😅😅

  • @user-ts6fh4si3m
    @user-ts6fh4si3m 4 หลายเดือนก่อน +19

    Mimi ni mwarusha but kwa hawa watoto bangi umewaharibu natamani sana washughulikiwe

    • @ataamansi8941
      @ataamansi8941 4 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa yaani natamani wapelekwe urusi, kwanza ukiwatizama tu,niwezi hawana adabu heshima,utu wavuta ugoro, bangi,gundi.Jamani wapelekwe urusi au palestina watokomee vitani moja kwa moja, hawana faida hata kwa waliowazaa**halafu waandishi ndio wanawatia kiburi mara kwa mara huwarekodi ujinga wao,mnawapa kiki, (kuna mengi ya kuripoti mafuriko yameharibu miundombinu,yameuwa yameacha watu katika umaskini, hiyo hamuipi kipao mbele,hawa wajinga mnawapaisha wavutaji wa bhangi look🤔🙄☹️😯

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 4 หลายเดือนก่อน +2

      Je hawa wanatafu risk kama sio waizi je hawa na mashoga na wasagaji ni wapi wakuwaonea kinyaaa

    • @ireneshao7950
      @ireneshao7950 4 หลายเดือนก่อน +2

      Washughulikiwe Kwa kosa lipi

    • @elliyawilliam2521
      @elliyawilliam2521 4 หลายเดือนก่อน

      Punguza pombe naww azikufai ushakuwa mlevi mna acha kemea mashoga mna kuja pigia kelele watu wanao tafuta rizki zao halal

    • @user-ts6fh4si3m
      @user-ts6fh4si3m 4 หลายเดือนก่อน

      Dogo acha kuropoka mm ni mtu wa arusha na hao madogo nilisha kutana nao ngalelo, so nawajuwa vizuri sana siongei kama wewe kenge maji wewe kwanza we unawajuwa zaidi yangu au unaongea tu kwa taarifa yako mm ni mzawa na nakutana nao sana hivyo najuwa ninachokiongea, kenge wewe.

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 4 หลายเดือนก่อน +1

    Shughulikien hao mashoga a chana na hao machalii

  • @hawajohn749
    @hawajohn749 4 หลายเดือนก่อน +1

    Arusha noma😮

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 4 หลายเดือนก่อน +3

    Mhhh sina hata la kusema nimetoa macho tuu.tunaambiwa kuishi kwingi ni kuona mengi. 08.04.24.

  • @mosesjohnswilla9926
    @mosesjohnswilla9926 4 หลายเดือนก่อน +2

    Waachwe wafanye sanaa

  • @lorelore2930
    @lorelore2930 4 หลายเดือนก่อน +3

    Wizi tu hao

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 4 หลายเดือนก่อน +5

    😂😂nimeelewa kwnn mama kampeleka makonda chugaa🎉🎉

  • @YusufLubangula-yn6tq
    @YusufLubangula-yn6tq 4 หลายเดือนก่อน +2

    Nibora ukutane namnyama SIMBA usku Kuliko kukutana nahawa WADUDU!!!!👺🥺🥴🤔

    • @gracerichard8145
      @gracerichard8145 4 หลายเดือนก่อน

      Hawanaga hata shida nyie ambao hamuwafaham ndo mnawachukulia vibaya Yan ni watu simpo sana, ni kama nagwa dar wanamuogopa kulingana na alivyo na muvi zake lkn nje ya kaz ni mtu poa sana, acha watu wajitaftie rizik mkono uende kinywan kuiba na mambo mabaya ndo hayatakiwi

  • @mataypanga5262
    @mataypanga5262 4 หลายเดือนก่อน +3

    Kwani Karatu kuna ushamba gani.Acheni ukabila kuwatukana Karatu

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 4 หลายเดือนก่อน +7

    Ngoja konda aje apendagi upuuzi mkicheza atawapiga dudu

  • @user-hi8le2vb7z
    @user-hi8le2vb7z 4 หลายเดือนก่อน +4

    HIO SIO TALENT, NI UHUNI,,AFU AYO NDO MNAPENDA KWELI KUWAPA EA TYM..

    • @SafariMsafi-um1pz
      @SafariMsafi-um1pz 4 หลายเดือนก่อน +3

      Bora wadudu kuliko hao wasanii mashoga na waimba singeli wenu

    • @merumount5988
      @merumount5988 4 หลายเดือนก่อน

      ​Acha kusifia uhuni​@@SafariMsafi-um1pzhawa vijana wanahitaji kusaidiwa akili yao imeharibika wanajitoa ufahamu lkn ndio sehem ya matukio ya uhalifu..tuache mizaha watz na kuhamisha attention, uhalifu ni uhalifu tu awe kibaka, msagaji, shoga.. yeyote anafanya matukio ya uhalifu anapswa kushughulikiwa..na nyinyi Ayo Tv Acha kusifia ujinga..hoji kwa kuwasaidia waache uhuni wafanye kazi..mtu mwenye akili na maadili utavaaje km hawa?

    • @goodluckymjema792
      @goodluckymjema792 4 หลายเดือนก่อน

      Sasa apo uhuni Uko wapi

    • @goodluckymjema792
      @goodluckymjema792 4 หลายเดือนก่อน

      Au kuongea kwake ndio uhuni

    • @damianlupogo8686
      @damianlupogo8686 4 หลายเดือนก่อน

      We ndo ungekua mfano ku ignore, kila mtu na interest zake!

  • @jumannemanguo8488
    @jumannemanguo8488 4 หลายเดือนก่อน

    😊😊 ATWN kizazi sana nakubali wadudu

  • @hilalisaidseif8483
    @hilalisaidseif8483 4 หลายเดือนก่อน +1

    Aisee bange ni mbaya sana afu serikali kimya tu watoto kiharibika hivyo

  • @majaliwamaginyula9327
    @majaliwamaginyula9327 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli makonda mama kukupa Kazi

  • @PriceousJohnson-dn6jp
    @PriceousJohnson-dn6jp 4 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂sawa bana chuga by home moja na mbili

  • @omaryally3489
    @omaryally3489 4 หลายเดือนก่อน +1

    Waandish ndio mnawapa cfa hao vjana...saaana walibu Sana bangi tup!!

  • @geofreykazaula7940
    @geofreykazaula7940 4 หลายเดือนก่อน +1

    Du Wadudu noma sana.

  • @beatriceurio8130
    @beatriceurio8130 4 หลายเดือนก่อน

    Cha kushangaza Yesu alikufa kwaajili Yao na hapo ndio ninapouheshimu msalaba

  • @--------GEO_SPORT_EARTH_EA
    @--------GEO_SPORT_EARTH_EA 4 หลายเดือนก่อน +1

    Bange sio!!!

  • @januarysungura8119
    @januarysungura8119 4 หลายเดือนก่อน

    AFADHALI WADUDU KULIKO WASANII WAVAA HELENI WANAUME NA MASHOGA ,WANAOA NA KUZALILISHA WANAWAKE KILA LEO KWA KUWAFANYISHA BIASHARA ZA MIILI YAO,SASA KAMA KAJALA NA PAULA WAKO SAHIHI BASI HAWA NI WA MUHIMU SANA

  • @Kingsusi
    @Kingsusi 4 หลายเดือนก่อน +8

    Arusha kuna vijana wa hovyo sana

    • @mataypanga5262
      @mataypanga5262 4 หลายเดือนก่อน +2

      Tanzania kuna vijana wa hovyo,siyo Arusha tu

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 4 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@mataypanga5262je bara hao wanakula majani na wanajelewa ya mashoga na wasagaji?

  • @user-eh5il7pw2f
    @user-eh5il7pw2f 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hamna sanaa hapo ni njaa tu

  • @vincentauxerbius7554
    @vincentauxerbius7554 4 หลายเดือนก่อน +4

    Washaanza kujisogeza kwa makonda nafikili hawamjui watayatimba😂😂😂😅😅

  • @PRISLASUMARI-ks7lj
    @PRISLASUMARI-ks7lj 4 หลายเดือนก่อน

    Arusha siamin jamn sweet city ,

  • @gabrielmiatus3886
    @gabrielmiatus3886 4 หลายเดือนก่อน +20

    Kutrend mpaka mochwarii😂😂😂

    • @upendoeliya9329
      @upendoeliya9329 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😅😅😅😅😅😅

    • @emanuelmargwe7087
      @emanuelmargwe7087 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

  • @Officialjidaa-sn9cs
    @Officialjidaa-sn9cs 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wako sawa bwana

    • @agnesjohn9382
      @agnesjohn9382 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @user-fw8wm2xd8x
    @user-fw8wm2xd8x 3 หลายเดือนก่อน

    Et wadudu ni watu walionyimwa elimu na kupotea mungu aturehem sna jamii hi ccm inawapa bendera kipnd cha kampen na sh 5000

  • @davidmalisa8043
    @davidmalisa8043 4 หลายเดือนก่อน +3

    Machoko tu hao hawana mpya

  • @abdulhamis9825
    @abdulhamis9825 4 หลายเดือนก่อน +1

    Natoa Ahad Hawa Watanyooka Tu Hawana Lolote Geni Kwa Paul Makonda Tena Natoa Angalizo Kwa Wala SKANKA na CHA ARUSHA weken Akiba Mzgo Unaenda Kuwa Adimu

  • @user-qc9xj7os5p
    @user-qc9xj7os5p 4 หลายเดือนก่อน +4

    Mataaahira

  • @aquaculturetv
    @aquaculturetv 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hii imeenda

  • @mashipeter4819
    @mashipeter4819 4 หลายเดือนก่อน +6

    Hawa hawatumii bangi. Wanatafuta na ndo maana wanajieleza kuwa tukiwa nyumbani tuko tofauti. Tunatakiwa tuwasapoti. Je wangekuwa vibaka

    • @PaulinaOtaigo-cr3sq
      @PaulinaOtaigo-cr3sq 4 หลายเดือนก่อน

      Wanawafundisha Nini jamii

    • @mashipeter4819
      @mashipeter4819 4 หลายเดือนก่อน +1

      @@PaulinaOtaigo-cr3sq nahisi wanafundisha. Maana kama wangekuwa wavuta bangi au vibaka wasingekaribishwa kwenye maharusi kufanya komedi zao

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 4 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@PaulinaOtaigo-cr3sq na hao mashoga na wasagaji wanafundisha nini jamii ? Hawa kosa lao ni lipi

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 4 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@mashipeter4819inaelekea hawa ndio wanasapoti mashoga na wasagaji, kama hajaona kazi ya hawa jamaaa

    • @ataamansi8941
      @ataamansi8941 4 หลายเดือนก่อน

      q sipendi ujinga, kama huu, hivi miaka mitano hadi kumi, watu wa hovywo kama hawa wadudu wakiachwa waendeleze huu ukichaa wao wataharibu vijana wengi wanaokuwa,wakomeshwe hawana chochote cha maana cha kufundisha wengi, bangi ugoro vimewatawala,hawa UCK ikikutana nao umeisha, wapelekwe urusi au palestina watokomee vitani kimya kimya

  • @kenyonyo
    @kenyonyo 4 หลายเดือนก่อน

    Kizazi og ni next level acheni ujinga

    • @LupigiLugosha
      @LupigiLugosha 4 หลายเดือนก่อน +1

      😂 kenyonyo ww ni firee

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 4 หลายเดือนก่อน +2

    Jamaaa hio sendeu ime overload overlap jamaa,huo mjisedeu c kawaida, umezidi,

  • @user-ni9zc3gx5t
    @user-ni9zc3gx5t 4 หลายเดือนก่อน

    Yaaani Arusha kuna ujinga ujinga watu wanaangalia sinema wanaletà mtaani, lazima serikali iondoee ujinga ujinga

  • @aediayumgo8546
    @aediayumgo8546 4 หลายเดือนก่อน +1

    Tatizo Arusha bangi imeota kila sehemu wanavuta Wanakunywa wanafanya mboga nimeishi huko landanai lemshuku Zaire Wana Apollo wanajihudumia Tu😲😲😲

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 4 หลายเดือนก่อน +1

      Jamani hawa ni watu wajielewa mbona hamuongelei mashoga na wasagaji au ndio kwenda na wakati wao wako sawa?

  • @richnuch1873
    @richnuch1873 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kwenye 1 na 2

  • @user-pz5qs4ki7s
    @user-pz5qs4ki7s 4 หลายเดือนก่อน +3

    Ofic rasimi. Kwani hapakuwahi kua na ofic ya mkuu wa mkoa!!? Ama ndy ukunguni wenyewe

  • @itanzaniaAS
    @itanzaniaAS 3 หลายเดือนก่อน

    Wangerushiwa mabomu ya machozi shenzi😂😂

  • @susananyasani6526
    @susananyasani6526 4 หลายเดือนก่อน +3

    Vijana wa Arusha mnafurahisha lakini mufanye kazi 😂

    • @magdalenapeter419
      @magdalenapeter419 4 หลายเดือนก่อน +1

      Kazi gani zaidi ya hiyo wakati walio viongozi wanapachikana wenyewe? Wasomi wapo kibao mivyeti inachakaa na kutafunwa na panya wao wana kz 1 mzee akistaafu anapachikwa mwanae akichafua atawekwa mjukuu hadi wakiona kizazi cha mstaafu kimekwisha wanaweka rafiki wa mstaafu. Acheni vijana wa wenyewe wajitafutie kwanjia hiyo

  • @solomonpeter8843
    @solomonpeter8843 4 หลายเดือนก่อน +1

    Aiseee mkuu inalazimika kuonana na hawa wadudu kama hujawaona basi hujafika AR 😂 utakuwa upo karatu

  • @kassimukipingu7917
    @kassimukipingu7917 4 หลายเดือนก่อน +1

    Makonda kazi unayo baba

  • @jersonmpeka4984
    @jersonmpeka4984 4 หลายเดือนก่อน

    Sijaona point yeyote kwenye Aya maojiano mmenimalizia bando langu

  • @JuniorCollinsLuochi
    @JuniorCollinsLuochi 3 หลายเดือนก่อน

    Ududu ndio ujanja waku hishi Chuga

  • @MzalendoTaifa
    @MzalendoTaifa 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hapa hakuna Cha Sanaa wala Nini yaani Arusha imeharibika waizi wamejaa Kila Kona. Mhe makonda nyoosha hawa wapuuzi

  • @user-zy6vq6lz7z
    @user-zy6vq6lz7z 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hawa jamaa unaweza kuwatumia kuondoa makundi ya wauzaji wa madawa ya kulevya make wa najua kila kona hawa

    • @muhidinally3460
      @muhidinally3460 3 หลายเดือนก่อน

      Na kweli wasemeni na hao wasanii wanaoimba uchi ilinao waache ukichaa na bangi..!!!

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 4 หลายเดือนก่อน +2

    Chawa tu wamchongo bangi tu inawasumbua

  • @maalimwenga452
    @maalimwenga452 4 หลายเดือนก่อน +2

    Niambieni mkoa ambao mmeona kunguru akifugika kama siyo Chuga peke yakeee.

    • @habibnjowele7751
      @habibnjowele7751 4 หลายเดือนก่อน +1

      Kwani Kuna Nini Cha ajabu hapo Arusha mbona unajikweza WAKATI ni watu kama WENGINE TU! Acheni kuover rate

  • @vickytango5591
    @vickytango5591 4 หลายเดือนก่อน +3

    Kwani karatani c ipo A. R

  • @sharifamahamudu182
    @sharifamahamudu182 4 หลายเดือนก่อน +1

    Km niwasanii so mbaya kikubwa wasiwe wezi cz wao wanatafuta ridhiki km akina jot wanavyovaa mawigi na madela wap wamechagua hyo style yao 🎉

  • @dstaroficial
    @dstaroficial 4 หลายเดือนก่อน

    Mmzd uhalifu ngoja makonda aje awasaidie

  • @magrethmichael7344
    @magrethmichael7344 หลายเดือนก่อน

    Wanaitangaza Arusha😂😂

  • @morombotv
    @morombotv 4 หลายเดือนก่อน

    Wanawenge

  • @JeyJeydoctar-gq1bw
    @JeyJeydoctar-gq1bw 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wadudu

  • @NathaniMosha
    @NathaniMosha 2 หลายเดือนก่อน

    Nimekuelewa mkali nimekuelewa

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du 4 หลายเดือนก่อน

    'Wadudu' ni creative street artists, vivutio vya watalii wa nje na ndani. Hawa vijana wanahitaji promotion sio elimination.

  • @christaoman8890
    @christaoman8890 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wadudu lakin wanafanya kz au kukaba watu mtaani wakati wa usiku duuh

  • @josephdimosopantaleomadegh7599
    @josephdimosopantaleomadegh7599 4 หลายเดือนก่อน

    Awo so wauni awo buludani tuh

  • @farijimligo1394
    @farijimligo1394 4 หลายเดือนก่อน

    Arusha ni nchi inayojitegemea nyie Aya ndugu yetu mjomba kaz kwako

  • @unknownbutterfly6310
    @unknownbutterfly6310 4 หลายเดือนก่อน

    Wametrend kila mahali, mpaka mochwari😂😂😂

  • @richarddavidmk
    @richarddavidmk 4 หลายเดือนก่อน

    Mimi nachoo ona tupambane uhalifu maana wapo walarushwa wamevaamasuti , Tusipeleke usukumah uparenih😂😂😂

  • @iddykwangaya2794
    @iddykwangaya2794 4 หลายเดือนก่อน

    Hao vijana, mie naona kama wanachafua mazingila ya mji wa Arusha tu,😏🇹🇿🇿🇦