JAMAA AKATWA MASIKIO YAKE MAWILI BAADA YAKUKUTWA NA MKE WA MTU KICHAKANI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- Ibrahim Fadhili ni mkazi wa kata ya Magugu mkoani Manyara amekatwa masikio yake mawili pamoja na kuumizwa kwenye macho baada yakukutwa na mume wa binti aliyekuwa naye kwenye kichaka majira ya usiku akidai kuzungumza naye ili aweze kumsaidia kupata chuo
tulio oa tujuane hapa, yaan me napambana kwaajili ya familia yangu afu mjinga mmoja unaleta fyokofyoko iseeh sikuachi salama,maelezo yako yanaonesha wew ni mchepuko mmoja nyambafuuuu
Enjabo
Wanawake tuna mitihani mikubwa sana ww upo nyumbani umechoka na ujauzito mume anahangaika na vimada, mungu tusimamie wanawake wote
Kujificha kichani na mkeee wa mtu hongera kijana kwa kazi nzuri ili wakome kwa wake za watu
Kwa kweli hata mm nimefurahi angekukata na shingo kabisa mnatutesa sana
Ubinadam Kaz uKome br
Pole sana Kaka,Mungu atakuponya na ubarikiwe kwa kutoa msaada maana Mungu anakuona sirini mwako ila ushauri tu siku nyingine ukitoa msaada kwa mtu msijifiche vichakani na pia umshirkishe mkeo
Mwenye kujiingizia kwenye shakabasi amejiingiza kwenye haramu wewe msaada kwende minyaa tena wa masomo afadhali angekuwa mgonjwa au mtu aliyepata ajali hata ningekuwa mimi nisingekubali
Subuhanallah uwiii,,,,,,,,,, mke wa mtu sumu haijalishi ni hawara ya mtu au mke halali lazima uheshimu
Ona kilichokukuta sasa uzinzi siyo mzuri
Nani atamuamini km kweli hawakua wazinifu
Zinaa mbaya mcheni Mungu,kuishi bila uzinzi inawezekana!
Kama umegundua kua huyo mwanamke kapangwa na ndugu wa mume gonga like
Umesema vyema
Liko wazi uyo demu kapangwa na mshikaji😥😥
Ndivyo ilivyokua ila malipo ni hapahapa dunia.
Polesana swayiba
Kabisa!!!
Hilo ni fumanizi kama mafumanizi mengine...
Kama unaungana na mawazo yangu nipe Like👇
Hyu jamaaa ni malaya umbwa wewe ungekufa tu kabisa tena amekuonea huruma
Yani wewe wewe wewe unastahili kufaa bila huruma angekutoa shingo pembeni na kuhakikishaa mboro imekatwa na kutopwa motoni
Jamani tulio olewa namlio owa tujifunzeni sana kwauyu jamaa
Wewe mtoto Mwenyenzi Mungu anakuona wewe!!!!! Acha uongo!! Dhambi sana!!!
SHUKURU MUNGU HAKUKU UWA KWAUWEZO WA MUNGU KWA UWEZO WA MUNGU JE KWAUWEZO YA MUNGU MBONA ULIFANYA HAYO YOTE
Kama umesikia kwenye minyaa na maziwa alibeba na alianza mahusiano baada ya ushauri kupeana like hapa
Jamaa kaamua kumrudia mungu wake baada ya kupata zawadi ya uzinzi maisha yanaenda kasi sana
Wasomaa comment mko wapii jameniii 🙄😂😂😂😂😂
Tupo 🤗😃
Tupo
Tupoooooo
tupooo
Shukuru uyoo kakukata masikio, ingekuwa mm kifungo cha maisha kingenihusu
Jamani kuweni makini na haya mamboo ilaa tumpee Pole sana huyu jamaaa 🙏🙏🙏🙏 gonga like twend sawaa 🙌🙌
mambo,, au mamboo
Duuuu maskn
Miladayo salut kwenu hadi magugu ninyi ni zaidi ya tv zote
Habari zao ni za kweli
Poresana bro
Hakikaaa
Hahahahahaaaaaa,pole sana bro Mke wa mtu sumu usijisahau shukulu TU mungu umepona
Dunia imeisha hawana uluma
Hakuna mke wa mtu hapo
@@AbuuAyubu-q3lhatakama ni mke wake atakata wanaume wenzie wangapi? Adili na mkewe
Pole sn kakaangu Allah akuponye wema umekuponza hujafa hujaumbika kwakwel
Pole mdogo wangu, inaonekana, huko kwenu Kuna ugonjwa wa kuhisi kama huku kwetu Kigogo Mapera Dar,
Mke wa mtu asaidiwi kwa cho chote hatakama anakufa muache afe kwa usalama wako zaidi, sitakaa nikamsaidia mke wa mtu, Mungu anisaidie kwa hili.
We nisaidie mm bhana
Hairuhusiwi kuwa falagha na mwanamke wa mtu
@@AbuuAyubu-q3laliyataka mwenyewe
Hahaaaa kwahiyo hata kama nidadako anauliwa na mumewe utamwacha hahaaa
Majina ya kinaheppy ni Malaya sanaaaaaaa
Pole Sana Kaka Angu Huyo hapnes kakuponza Na ukome kuchat na wake zawatu ona sasa masikio huna 😭😭
😂😂😂😂
Polesana
Mwenyezi Mungu amfich mnafiki ndo maan ume kutwa mwenzako ana mimba ww una kwenda kufanya upumbav uwezi kwenda kukaa kichakani kujadiri masomo wakati ww fundi umeme fundi umeme na shure kwenda uyo mwana mke na ww wapi na wapi mwenye Kiranga apewi pole kwanza kwa nini akwambie ngoja akiondoka uyu bwana tuta Kutana ume yatak
Baba mtoto wangu siku zako zinafika umezoea mabibi za watu. I wish ungekuwa wewe
Usimuombee haya jaman muombee aache hayo mambo ya wake za wa2, ila pole dada.mana me bado sijaolewa na sijui uchungu wa hayo yote, ila hata mm mpenz wang akinicheat naumia😭😭😭😭
Wanakeraaa mi pia nimewaza sijui kwanin hawakat sikio zake mana kila siku ni wake za watu tu anankera akatwe hata moja
Daa pole madam boss
@@princesstunda7307 saiv atasikia vizuri
Madam nawe kuja kwangu
Kitupekee nacho kijua mke wa mtu siwezi kuchat naye na siwezi kumpa msaada wa siri pia kuonana naye usiku kichakani hiyo ni michepuko hakuna mipango
Khahahahah
Nimecheka kama mazuri
Kwaiyo sisi wake zawatu hatufai au?? 😂😂 minimehelewa hapa walikosea kuuafanya yasiri
Kama ange mshirikisha mmeo yasinge mkuta
Muongo huyu Happy muongooooo
🤣🤣🤣🏃🏃🏃🤝
Huyo Mtu aliyemkata Masikio na Kumuumiza Usoni huyo Jamaa amefanya Makosa Makubwa sn Ni bora akamatwe "Sheria ichukue Mkondo wake" kwa Watu Wote wanaochukua Sheria Mkononi.... Kusema Ukwl huu ni Ukatili kbs daah! Pole sn Ndg 😢😢😢
Ingekua mkeo usingesema hivyo
@@rugijofrey3685 tabia Haina dawa " atakata masikio wanaume wangap" mwanamke ndo malaya" ona Sasa kamkata masikio mwenzake huyo bint ndo ataliwa sana
Da Ila wanawake ss " kwel wema ajal inamana alimshindwa kupiga kelele"
Ingekuwa wewe umemkuta na mke wako ungefanyaje
Wee nyamaza maana hujui uchungu wa mke.
Mmmh Poleeee ila mke w mtu huwez chat nae siri bila mumewe kujua hiii n kosa bro stop doing it again utatolewa uume 🤪
Pole Kaka mungu atakusaidia utapona maisha yataendelea
Mmmmmh kweli mke wa mtu sumu..duh..pole zake,si ni hayo maskio hayaskii eeeh?ngoja wayatoe..binadamu wabaya....Mungu amtie nguvu
😃 😃 😃 Jamani
Amtie nguvu ya nini ili aendelee kuiba wake za watu?
Pole kaka heeeee si kumkata masikio
Huyo binti alikuwa pamoja na mumewe loooh
😃😃😃😃asitudanganye wanakulana hao
Gospel in me,🎶🎺🎷🎤 kachimbe kisima chako mwenyewe unywe maji yako pekee yako...........
Excellent story balancing. Jamaa alikuwa anachepuka na mke wa mtu
Pole mwaya mungu akusaidie
Pole sana kaka
😂😂😂😂😂 kanifurahisha huyu Dada kwa ukweli wake pole bro yataota mengine.
Yataota Lin hayo masikio duuuu
😆😆😆yataota mengine
@salha.d chizi wewe😂😂😂
Ahhhhhhh salha umeua duu yataota vp au aanze kumwagilia maji yachipue.🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mkuu..wew Ungemwita kwako ,,na ilo jambo ilitakiwa umshirikishe mkeo,,kwenye minnyaa,,afu mnaombana namba za simu za nin
hahaha muongo uyo
Dah!!! Wakina Happy bhana sio powa 😂🤣🤣😂
Uyo mwenyewe anaonekana tyu ajatulia kuma uyo
Kweli kabisa
Yesu anasema njooni kwangu nyote msumbukao na wenye kusumbuka na dhambi, math28:11
Pole sana unakuaje na mazingumzo na mke wa mtu kaka pembeni
Dah!! Kweli hujafa ujaumbika pole sana Kaka Kwa kupata ulemavu Kwa sababu ya wema wako mda mwingine huruma inaponza
Solution. Mwanamke Malaya ni kumwacha tu, utakata masikio wangapi, na wewe maisha yako yatakuwa nikutafutwa na police tu
Funzo kwa wengine acheni kula mizigo ya watu sema kweli usiongopee umma
Allah amsaidie🤔
Ifike mahali ujielewe akili hauna mbona unatudanganya wakati binti amefunguka kuwa unakula mzigo pumbavuuuuuuu
Vijana kaeni mbali na wake za watu mna penda mteremko sana mwana mke akiolewa nimke wamtu kaambali nae wapo W 0:06 ana wake wana tafuta mwanaume umejitia kilema kitu hupendi usifanyie mwezako
Yaani Mimi natamani kuwa polisi kwa sababu nipo tayari kujitoa hata mwili wangu lakini lazima niwatete wananchi yaani mtu anafanya uhalifu kama huo alafu polisi wananyamaza duh kwa kweli mweshimiwa rais hawatungui bure rais wangu watumbue hao embu mliopewa mamlaka wasaidieni wananchi hiyo kazi mmepewa na mwenyenzi mungu
Ulikuwa unataka kusemaje nikielewe
Daaah 😥 Pole Sanaa broo ila ukweli nahisi huyo binti mlikuwa na mahusiano ya kimapenz nyny bhn,,Haiwezekan mtu aje akuvamie na kukutaka masikio 🙄
Hata mm nahisi hivyo
Kwel mzee umefanyiwa ukatili Sanaa ilaa ndo ujue mkee wa mtu sumu mbwaa wew maana mkiambiwa hamsikii
@@jamalahmed7057 huo ndyo ukwel Kaka huyo jamaa alkuwa anamnyaduwa mke wa mtu
@@Teacher_01 mke wa mtu sumu kwel 😂😂😂
Sijawahi kuona Mwanamke mpuuzi na mshenzi Kama wew,,kufupi wew ni muongo na nitapeli ila tambua kua mwisho wa ubaya ni aibu,,,leo umemsababishia mwenzako ukilema nawew siku yako inakuja mbwa wa kizanzibar wew,,ungekua karibu yang nishakutoa pua,,
🤣🤣🙌🙌nimecheka kama mazuri,kaamua kukata masikio kwasbb hayasikii🤣🤣pole sana kaka yote maisha🙏
Nmecheka jamani
Umenichekesha ati hayasikii
Ahaaa
Hahahaha hahahaha hayasikii!!!!
@@SaraGidioniunampa pole yanini?
Pole sana kaka yang iyo nimbinu yao wamepanga akishkwa sasa yy atolewe puwa
Mmmh kilichopo nyuma yapazia Wana kijua wao jaman pole Sana kaka mshukuru MUNGU uzima upo
Umekatwa sikio na bado unadai maziwaa hahahhaa brother haupo serious
Hahahaahaaaa nimecheka wiki nzima
Hahahahahahaha na simu akakumbuk kwamba kachukuliwa woiii
Wachaga Bana hajaa
Jaman jamani nakumbuka nikiwa na miaka 9 yaan cjabalee niliona jamaa mmoja anapigwa kisa mke wa mtu nikasema nikiwa mkubwa ctaki mke wa mtu hadi kufa kwangu.wewe ni mwana kulifindi ni mwanakuligeti
Hata mimi boy nilishawai kuona mtu anapigwa kisa fumaniz ,nakumbuka nilimwambia mama sitokuja kutembea na mke wa mtu
Pola
Acha kabisa mwana
Kwa maelezo ya mwanamke hakusema huyo ni mumewe bali ni baba watoto msiseme mume huyo ni mzinifu tu
Wote wawili ni wazinifu watupu hakuna mume hapo vip mnasema mume kwenye ndoa mlikuwepo?
Mdada kasema walikuwa na mahusiano ya miezi 2
Basi wamkate masikio tu
MKE WA MTU SUMU 🙏🏼
Mdada atawekewa biti aseme lile mumewe anataka
Labda ameamua kusema hivyo ili kumuokoa mume wake. Maana huo ushakua msala maelezo kupindishwa ni kitu cha kawaida kabisa kwenye kesi kama hizi.
Walikatilie mbali wanaume nisiyo kabisa
Huyu dada nae mshenzi Sana. Unamsaliti mumeo kwa ajili ya msaada???? Na kmaa kweli mumeo alikuahidi atakusomesha so ungevumilia. Inaonekana hata angekupeleka chuo bado ungeendelea kudanganywa na wengine wenye kipato zaidi ya mumeo kwa kisingizio unahitaji msaada??? Amaa kweli duniani Kuna mambo
😂😂😂😂😂
Pole brother msaada tunaufanya ila watu hawatujali pole sana
Pole sana brother wake za watu wacheni kulemesha watu name hata haujampea bala hii
Kwa namna yyte ile,mhusika ANATAKIWA AKAMATWE haijalishi walikua wana UHUSIANO or not
Ila yeye kampatia Tuition
Mke wa mtu sumu bro
Safari nyengine akirudia atakatwa makende. Mkataji nampa kongole amefanya vizuri sana. Congrats d
Sio vizuri, sasa atawakata wangapi? Mwenye kosa ni mke kwa nini akubali wakati yeye anajua yeye ni make wa mtu jamani??
Kaka mhuniii huyuuu etiii tutafute mda mpanaa!!! Woiiiii🤣🤣🤣wachaaa wamcharangee..
Umenichekesha....bila Shaka Ni waarusha
Alikuacha nini
😂😂😂
😂😂😂
Bora hakuliwa ndogo
😮pole sana kaka yangu ♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡
Pole kaka Mungu atakuponya usijali
dada ni msema kweri,, ila ni mzinzi Sana..... Huyo kijana ni bonge la muongo.. Na kavuna alichopanda
Kuwa na huruma hata kidogo basi🤣🤣🤣🤣🤣
@@rosetembe3785 huruma gani?
Mke wa mtu sumuuu
kosa lako wew ni kusimama na yeye kichochoron ata mim nikiwakuta sikuelew kabsa, msaada gan mpaka mjifiche bana sema mnajuana tu
Umeona eee
Umeona eee
Ww dada sio mstalabu kama alikuaidi inshu yachuo ulivyoona aeleweki ungeachana nae lakin umedeti nae miez miwili ukanogewa mpaka kumsaliti mme wako ww nimshez tu kama washez wengine jieshimu bas kwenye minyaa kweli je ? Ungeumwa namadudu ungesema nn mungu amekuzalilisha uache ushez wako
Dah! Pole Bro haya ndo maisha but no way
Mmm pole sana lakini uwache umalaya kakupa dawa yakuacha umaraya maana angekutia mikofi uxjge acha
Poleni sana, i understand .
duh aliekatwa masikio pamoja na huyo demu (sukuma ndani washenzi kbx)
Jamaa anazungmza kama mapenda mungu😂 ila muache tamaa na mademu za watu
huyo mdada kapanga inshu jike lenyewe sijaona hata uzuri wke hata alomkta c mme kazaa nae 2
@@heyumi2340 Uyu jamaa fundi inaonyesha anakula wake za watu sana kwa hiyo kakomeshwa
@@sweetbertrwiza5982 maelezo umesikiliza vizuri hapo hakuna mke wa mtu huyo jambazi habar zake umezisikia c mke huyo wacha kusema mke wa mtu
Waambie hao,watu wanagharamia etii
Mmmmmmh jmnn
HUYO DADA ALIPOOONA HUYO JAMAA ANAUWAWA AKAKIMBIA WHY? HAKUPIGA KELELE KUOMBA MSAADA???.?
Never wanawake ni kama time bom
Duh mwenye kujua ukweli ni Mungu ila damu ya MTU haipotei bure...
Quick recovery bro,,bt funzo kwa wengine 😂😂😂
Dada km unasema uwongo ipo cku utauliwa na wew au ukatwe kisimi chako
haaaaaa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hayo mambo ya vichakani na mke wa mtu sio powa kabisa bro. Eti tumekutwa heheheheehe
Kama ulikuwa unaushauri mzuri,kwanini usingemuita aje nyumbani kwako mbele ya makeo?ila pole,sumu mke ya mutu
ETI...wapenda wake za watu
Ijamanii
Polee
Duh
Nashangaa ushauli wa kweny nyasi
Kwenye minyaa,tena ucku
Pole sana kaka mungu atakuponya.
Ila uwe mkweli tu maana mimi ninaamini ukiwa mkweli mungu atakupigania.
Pia jeshi la polisi tunaomba mumpe huyo kaka msaada na mumfunze adabu huto kijana hafai kwenye jamii.
Du! Pole sana mungu ni mwema
Pole kaka Ila statement ako ndg, sio, yaan kwenye minyaa, tena usiku giza na mke wa mtu? Kwanini sio mchana kweupe, ata kama mambo ya shule
Hat kam ni usiku basi ingekua sehem ya uwazi ingepunguza makali
@@neemamayco3238 ndiyo, maana giza halafu kwenye minyaa, halafu ukimsikiliza huyo dada anadai wanamahusiano, maana izo za kukutana jion magengeni kigiza giza ziko sana. Izo ndo zinanifanya niwe single, maana akuna demu ako peke ake
Angekutana nae kwa Mme wke xaxa
Kumbe na ww mwanamke huna akili! Kama ulikuwa humtaki ilikuwaje uendelee kupanga mikakati ya kutana! Huna haya walla hujui vibaya
kweli kabisa
mtu kama humwitaji usimvute uwe nae kalibu, alafu hao wote wanaonekana waongo washafanya yao sana tu....
Mapenz yanauma Sana Ila na nyie wanaume tafuten pesa mtunze wake zenu khaa mnakaa na mke mpak anataman msàada na mtu mwingin
Shame on you. Did she marry coz of money. That's prostitution.
Mungu Akusidie Kaka Jifunze Kutosaidia Wake ZaWatu.NaHuyo Happnes Alifanya Vibaya Kwa Nini Hakupiga Kelele.
Pole kaka mungu akuponyekwakwel
Ninachojiuliza mimi ni kwamba anavaaje barakoa bila maskio? 😃😆
Hahahahahahahaahahaha, kweli umewaza mpaka
😂
LOGOUT HAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAH
Hahahahaaaaa
Akome kabisaa
Kulingana n maelezo y huyu kàka mm kama mdada hy mschana hii nijama walipànga kwanini akimbie bila kuita msaada
Nafikiri huyo dada ndio alipanga mchongo mzima
Remi omar YES UR ARE RIGHT NIMEWAZA HAYO HAYO KWA NINI ALIMWITA QSOGEE PEMBENI ZAIDI
SUBHANA Allah tusiwe hivi peleleza mke wako mume mkate miguu mkeo
@@salmaalbarwani2618 hvyo alivyojielza tuu utajuwa kunakitu kimejificha Kwa hy dada
Yes
Ulikuwa ni mtego huo 🇰🇪🇰🇪
Angekuwa mwanamke ndio akafanyiwa hivi pole zingekuwa nyingi mara ooooh unyanyasaji umezidi serikali iko wapi, ila kwa sababu ni mwanaume tunaona anastahili eti, pole sana kaka nina kaka kama wewe sidhani kama ingemtokea kaka yangu ningefurahi pole sana, jamii ya tanzania tumejiwekea kuwa mwanaume huwa hapitii magumu wala uonevu wala manyanyaso kumbe si kweli, mungu akusaidie upone haraka
Broo Happy kafunguka ukweli😂😂😂😂
Mbona mmemuachia pua mngekata na hiyo pua kabisa mamae 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣 noma sana
Huyu kweli kafumaniwa kweli,wangeenda kuongelea kwake na mkewe akiwepo, why vichaka?
th-cam.com/video/G90XMSRFaGM/w-d-xo.html
Kwann asimshirikishe mkewe
Mmmmm jamani nani aujuaye moyo wa mtu
Kafumaniwa huyo tena mshenzi sana mkewe ana mimba kamuacha nyumbani kaenda kucheat na mke wa mwenzie
Pole sana mzee
KAMA NA WEWE ULIFAULU KUMTAFUNA MKE WAKE SIO MBAYA
Mwamba utasema kavaa headphone aisee pole sana ila mke wa mtu sio hata kama huna mahusiano nae ila mazoea nae acha
Hahaha wewe jamani umchokozi
🤣🤣🤣we noma nimecheka Sana.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Jamaa yupo vizur.mke wa mtu sumu ila alienda na maziwa kwa uhakika zaid
😂😂😂
😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣
Jamaa alikua na maziwa lakini...
Itakua sumu ilikua kali zaidi🤣🤣🤣
We kaka!!ety alienda na maziwa.
Duuuuu kweli mitandao imeniweka juu yaani comment yangu nayo ina somwa na watu nchi nzima.
Jinga wewe toto
usijitukuze kwa kuwa yupo anayestahili kutukuzwa.
😂😂
Comment yako itasomwa na wachache sana, yaani watu wasiozidi 100, wakti nchi nzima inakaribia million 60; watoto milion 15, wazee milion 10,
Wenye smartphone million 10 tu ambapo kati ya hao subscribers wa Ayo TV ni milion 3.32 of which kati yao mpaka sasa kuna Views laki 220 kati yao comments ziko elfu 15 pekee na kati yao una likes 13 na comments 3 tuu...!
Mpaka hapo ulishajua wangapi wamesoma..!
Alafu bado wasema "Comment yako imesomwa nchi nzima"
....ahahahaaaaaa...!
@@chiefmahucha6847 acha wivu,ayo ni maneno yake
Pole sana jamani, Moyo wa mtu ni kichaka. Anayejua ukweli ni Mungu tu.
Maelekezo gani unampa mke wa mtu sema ukweli acha kutumia jina la Mungu bure mimi kwa uelewa wangu mke aliambiwa akuseti
Huyu msichana ndio chanzo cha yote,,cha msing akamatwe huyu msichana ili mume wake aje Kam anampend kwel huyo mke wake
Mke wa mtu ni sumu😆😅🤣😂😃
Ungefanikiwa kula mzigo akuna ambaye angejua umekula siku 39 atimaye 40 imefika pole mkuu
🤣🤣
Sasa ivi nenda ukatubu na umrudie Mungu , na utaokoka ,pia ubatizwe katika jina la yesu kristo.
Watanzaniaaaaaa mtaniua duuuuh when I think I've seen them all then boom.
Haki unabahat sana bro agekuua Jaman wivu nimbaya sana huleta hasara inasikitisha sana kwa kweli tuwe makini na wake za watu na waume za watu ni sumu 🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Naww mwenyewe nichanzo unafanyaje siri namke wamtu afu vichochoroni kua naakili utakufa
Ni mshenzi kabisa ogopa sana kutombewa.
@@msetikebwasi1469 😲🙄🏃🏃🏃🤣🤣🤣🤣🤣🤭🤝
@@beera.g5302 yani huwa ni zaidi ya machungu dada.