EXCLUSIVE: MAISHA YA WAHDZABE WANAVYOKULA NYANI "AKIFARIKI MTU ANALIWA NA FISI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ม.ค. 2023

ความคิดเห็น • 108

  • @anordjoseph6644
    @anordjoseph6644 10 หลายเดือนก่อน +5

    Jamaa kaongea vizuri sana kiswahili

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 11 หลายเดือนก่อน +5

    Maisha haya niya hatari Sana...Bora serikali ingesimamia swala hili waweze kutoka uku maporini waishi. Kama watu wa kawaida ..hivi NI mateso ...

  • @KhamisNasoro
    @KhamisNasoro 2 หลายเดือนก่อน +5

    Mbona wa maasai waishio ngorongoro wametafutiwa makazi handeni wilaya ya msomera serekali wasaidiwe hao wenzetu

  • @raphaelkaswahili323
    @raphaelkaswahili323 ปีที่แล้ว +5

    Baada ya miaka 15 mbele tutakutana na wadzabe wengi wakiongea kingeleza na tutegemee kukutana na vijana wasomi na walowezi

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 ปีที่แล้ว +5

    Nawaza tuu kama kuna siku watafurushwa kama wale wamasai

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 ปีที่แล้ว +2

    Subuhanallah.. Mtihani Allah awalinde maana hatadini. Hamjui hapo

  • @user-or8zx1wv3n
    @user-or8zx1wv3n 11 หลายเดือนก่อน +5

    Hivi wanajua hal ya nchi kwel 😂😂😂

    • @Eliya-vv1jp
      @Eliya-vv1jp 4 วันที่ผ่านมา

      hawajui ata rais ni nan!!

  • @nyamwinukankwera3749
    @nyamwinukankwera3749 ปีที่แล้ว +2

    Duh kazi kweli kweli 🤔

  • @zainabumbondei8635
    @zainabumbondei8635 ปีที่แล้ว +3

    Aaaah kumbe wanakula ugali ila hawapati sasa wanakosaje mashamba wakati wanaishi porini ila bora msilime maana mkilima tu mwajanyang'anywa lakini tuiombe Serikali yetu iwafikirie hawa watu hii nikarne nyengine jamani daaah inauma sana

  • @RobbyDejan1234
    @RobbyDejan1234 ปีที่แล้ว +28

    Serikali muache kuwafanya vibonzo kwa kigezo cha kuonesha watalii wafanyeni wastaarabike hii sio sawa kabisa nao ni binadamu kama sisi muwasaidie hao watu waishi kibinadamu ndo maana wazungu bado wanatuona waafrika kama nyani ni kwa mambo kama haya …

    • @amanimanase8798
      @amanimanase8798 ปีที่แล้ว +9

      Daah umeongea kwa uchungu sana ingekuwa hizi comments zinazingatiwa nadhani hii ingeangalia zaidi

    • @robathcarlos8068
      @robathcarlos8068 ปีที่แล้ว +4

      Daah kweli aisee

    • @DENISLEMA
      @DENISLEMA ปีที่แล้ว

      Asili ni asiliii brooo ikifika stage watabadilika

    • @allymasubi9404
      @allymasubi9404 ปีที่แล้ว +2

      Serikali imewapa Hadi maeneo wamekataa ila wao ni alama ya culture unaelewa Hilo ko usicoment usichofaham.zimefanyika Hadi documentary kubwa duniani kuwahusu kifupi ni Moja ya alama muhimu ya utamaduni wa wa tanzania we must be proud of them the way they are.

    • @RobbyDejan1234
      @RobbyDejan1234 ปีที่แล้ว +2

      @@allymasubi9404 Usenge mtupu hata mm ningekataa unampa eneo Hadzabe ajenge na pumbu na hana shughuli yeyote yakumuingizia kipato mbona ww hauendi kujiunga na hiyo Culture.

  • @zulehaabubakar3574
    @zulehaabubakar3574 ปีที่แล้ว +3

    Sasa je wakimuona mtu kabila tofaut hawamuuwi

  • @erastoerasto898
    @erastoerasto898 ปีที่แล้ว +5

    Mtu mmoja arudie jina la dada tafadhari sijalipata vizurii😁😂🤣🤣🤣

  • @Juke995
    @Juke995 ปีที่แล้ว +2

    Huyo ndo mjanja wasichimbe kijiji Ila sasa ndo wasichimbe makaburi mtu akitoloka 😂 hadi uliwe na fisi jamani 😂nilitaka kuhamia Ila nimegaili. Serikal iwapatie majembe I can imagine hicho kipindi watalii wangekuwa wanakimbizana kila kona mtu katoloka kaachwa fisi wanajilia

  • @isakajoseph9926
    @isakajoseph9926 ปีที่แล้ว +2

    Dah afadhali ata wanajua kiswahili mana kuna wengine ukiwakuta ukiongelesha kiswahili wanakushambulia

  • @nelykaaya6503
    @nelykaaya6503 ปีที่แล้ว +2

    Daa ninomasana🤣💥💥💥💥

  • @charlesmugisha6529
    @charlesmugisha6529 ปีที่แล้ว +1

    Maskini uwa nawapenda Sana awa watu uwa Kuna ata adithi zao tumekua tunaadithiwa.

  • @zuheorsalim7759
    @zuheorsalim7759 ปีที่แล้ว +2

    Twiga je hamuwindi ?

  • @bosskimaro
    @bosskimaro ปีที่แล้ว +2

    BAKI MWEUSI UKICHEPUKA HUONEKANI!
    th-cam.com/video/FRqEIylZ9Qg/w-d-xo.html

  • @neemamasudi7988
    @neemamasudi7988 ปีที่แล้ว +1

    Vime niuma sana kuona serekali zetu kube wanzungu kwe watu wetu wakiasili sio vizuri jamani, Mme lipwa nini? na aho mapink?

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 ปีที่แล้ว +4

    Kwn mmekatazwa kuishi mjini 😣😣, bc msafishe meno

    • @liberatusjackson5045
      @liberatusjackson5045 ปีที่แล้ว +1

      Haondowanalipa kodiii afuuu niajila

    • @khadijahali4837
      @khadijahali4837 ปีที่แล้ว +1

      @@liberatusjackson5045 hayo meno au

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 ปีที่แล้ว +1

      😄🤣😂😆😄🤣😂😆😄🤣😂etii wasafi she meno dah

    • @khadijahali4837
      @khadijahali4837 ปีที่แล้ว +1

      @@heyumi2340 ndy 😊😊

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 ปีที่แล้ว +1

      @@khadijahali4837 umenifurahisha

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 28 วันที่ผ่านมา

    Serikali iwawezeshe waanze kulima hii sio poa

  • @benancejohn1198
    @benancejohn1198 ปีที่แล้ว

    Kumbe kiswahili kipo kipo 😲

  • @aash4145
    @aash4145 ปีที่แล้ว

    Jina la dadaaaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @user-xw9wo7nh6c
    @user-xw9wo7nh6c 2 หลายเดือนก่อน

    masikini wezetu bd kabisa wanadumisha mila lakini serikali msiwafanye kama maonyesho

  • @mbwanakiting7180
    @mbwanakiting7180 หลายเดือนก่อน

    Hawa jamaa wanaishi maisha ya kishenzi...wana
    Dhalilishwa sana...wanaonekana kama sio binadamu wa kawaida...mbona wanosoma wakipata elimu hawarudi tena kuishi polini kama wanapenda maisha haya?...hatuwaonei huruma watoto zao....tunawaona kama kivutio cha watalii...mbona kuo
    Hamuwaondoi 🎉kama walivyowaondoa wamasai kwa kisingizio cha kuishi polini...hawa wanaachwa ni wanyama gani wanaitwa?

  • @user-gc2bk4rq9k
    @user-gc2bk4rq9k หลายเดือนก่อน

    Elimu inahitajika..

  • @chidybwax8080
    @chidybwax8080 ปีที่แล้ว

    Limeni mbona inawezekan

  • @kaayakitomary1233
    @kaayakitomary1233 ปีที่แล้ว

    Wazungu kwao hawaonyesh barabara hata moja mbovu

  • @amanimusa5744
    @amanimusa5744 ปีที่แล้ว

    Serikali iwasaidie wasiwafanye vituko kwa watalii.

  • @mbunah255
    @mbunah255 ปีที่แล้ว

    Ndomana kanye alisema waafrica utumwa wali jitakia wenyewe

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 ปีที่แล้ว +1

    Wanahitaji elimu ya dini kwa hiyo watalii wanakuja kutizama munavyo ishi kama wanyama na ndiyo nyie kunawafanya Waafrika wote waonekane hawana elimu wala akili ni sokwe nyie ndio chanzo.hebu serikali wapelekee mahitaji ya kibinaadamu nguo.ujenzi na vyakula

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 ปีที่แล้ว

    Watu awa badowapo duuh nilikua zamazakaletu

  • @bahatinassorali5222
    @bahatinassorali5222 26 วันที่ผ่านมา

    Kumbe wanaongea kiswahili kizuri tuhh wanyama hawa😢

    • @Sonia_abass
      @Sonia_abass 19 วันที่ผ่านมา

      Ww mdudu

  • @ayubumwaipopo8203
    @ayubumwaipopo8203 ปีที่แล้ว +1

    ..lakn haw ni hadzbe wa kisasa...wanjua had kxwahil 😂

    • @betyjoseph6812
      @betyjoseph6812 ปีที่แล้ว +1

      Kweli kabisa 😂😂 siyo hadzabe wa kienyeji

    • @ayubumwaipopo8203
      @ayubumwaipopo8203 ปีที่แล้ว

      @@betyjoseph6812 balaa kwa kwelii 😂

    • @ayubumwaipopo8203
      @ayubumwaipopo8203 ปีที่แล้ว

      @@betyjoseph6812 balaa kwa kwelii 😂

  • @MohamedAli-ho5fq
    @MohamedAli-ho5fq ปีที่แล้ว

    Serekala yatu tukufu tuwawasaidie a wa watanzania wenzetu serekali wejengeeni ata vibanda vya kuisha .mvue ikinjesha wanakimbilia kwenje mapango ya mawe?
    Serekala waoneeni uruma .

  • @alenyema7738
    @alenyema7738 ปีที่แล้ว

    Akunku kukuuu

  • @user-vy8of1cy5n
    @user-vy8of1cy5n 2 หลายเดือนก่อน

    wana abudu nini?

  • @uledimtumwa2406
    @uledimtumwa2406 ปีที่แล้ว +5

    Wanaongea vizuri kiswahili kuliko Wachaga 😢

  • @godfreykarata3710
    @godfreykarata3710 2 หลายเดือนก่อน

    Shumunekoono watoto 8 na bafo

  • @escobar2111
    @escobar2111 ปีที่แล้ว +3

    Awaa jamaa sio binadam kwa kweriii

    • @reubenkissinga5802
      @reubenkissinga5802 ปีที่แล้ว +3

      Una mawazo ya hovyoo sanaa!!Kiufupi wewe ni kijana wa hovyoo hapa Tz!!

    • @victorjames3730
      @victorjames3730 ปีที่แล้ว +1

      Kwanini?

    • @zuheorsalim7759
      @zuheorsalim7759 ปีที่แล้ว +1

      Hapo ni tumbili

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 ปีที่แล้ว +2

      @@reubenkissinga5802 waty gani wanakula wanyama ambao hawafai kuliwa hawa hawachekan na wazungu wachina waphilipono wanakula wadudu wote

    • @vincentmokenye4465
      @vincentmokenye4465 ปีที่แล้ว +1

      Chimbuko lao ni ethiopia na zudan kuna kabila linaitwa nyangatom wapo ethiopia wakatili hatari

  • @neemamasudi7988
    @neemamasudi7988 ปีที่แล้ว

    Sasa nyie sere kali zetu za Ki Africa mkoje nyie mnaogopa wanzungu? hizo ndo asili zetu za Ki Afrika kwa hiyo chenye mna takiwa kufanya muheshimu mila zetu. Wanzungu siokitu nirangi tu ata huku kwao wana hisha kwa magumu nibasi tu.from 🇨🇩🇸🇪

  • @zuheorsalim7759
    @zuheorsalim7759 ปีที่แล้ว +3

    Sasa km hamna mlango munapigana vp miti ?

    • @fettyrashid9042
      @fettyrashid9042 ปีที่แล้ว

      Usiku wa manane

    • @RobbyDejan1234
      @RobbyDejan1234 ปีที่แล้ว

      Na wakigongana miti hao inaonekana kuna purukushani sio ya kawaida kama wanaua simba hiyo miguno

    • @fettyrashid9042
      @fettyrashid9042 ปีที่แล้ว

      @@RobbyDejan1234 wewe Robby

    • @zuheorsalim7759
      @zuheorsalim7759 ปีที่แล้ว

      @@RobbyDejan1234 wasema?????

    • @iddymemba8795
      @iddymemba8795 ปีที่แล้ว

      😅😅

  • @user-mc1ll4py3f
    @user-mc1ll4py3f 2 หลายเดือนก่อน

    Awo watu wawe wanaenda shule

  • @Prince0fald
    @Prince0fald ปีที่แล้ว +5

    Wabadilike, wawe kama binadamu wengine. Ustaarabu ni jambo zuri

    • @RobbyDejan1234
      @RobbyDejan1234 ปีที่แล้ว +1

      Safi sana hii ila tatizo kwa serikali yetu wameshafanya vibonzo vya kuwaonesha watalii .

    • @kiehbhzh7044
      @kiehbhzh7044 ปีที่แล้ว

      Kwa nn msijenge polini miti mingi khaa🤔

  • @user-ui1qs9yl1n
    @user-ui1qs9yl1n 9 วันที่ผ่านมา

    HUYU JAMAA ANAONGEA KAMA WILLIAM RUTO RAIS WA KENYA

  • @altaphonebypassofficial
    @altaphonebypassofficial ปีที่แล้ว +2

    hivi hao watu bado wapo ??