Mimi nimeameibiwa mzigo wangu ofisi ya kilimanjaro tarehe 25/04 Nilihangaika hivi hivi mzigo nikaja kuukamata Arusha mtuhumiwa anangania ni wake mpaka imefikia tumeenda mahakama ya mwanzo moshi, Lakini hana risiti hata moja wala hajui mzigo ulipopstikana leo ni siku ya 20 bhado ninahangaikia mzigo wangu naamini Mungu atasimama kwenye haki maana mtuhumiwa anajua sheria sana na anauziefu na Mahakama lakini mimi ndio hatua yangu ya kwanza kufika Mahakamani
Hao walionunua babati walinunua kihalari kutoka kwenye duka so kesi lazima iwe na mwisho wa mipaka. Watuhumiwa wamekwisha kamatwa kwa kosa la utapeli, kugushi lisiti na wengine kununua bidhaa bila ya kufuata utaratibu, kukwepa kulipa kodi ya manunuzi ila wa mwisho yupo kiharali hatakiwi kubugudhiwa kwani amenunua kiharali kutokea duka lenye usajiri na kupatiwa lisiti halali.
Pole mama wa nguvu.. mimi walitaka kunitapeli mazao.. gunia 105 za mahindi (mkenya na m-tz)..tena walikuja shambani wakati wa mavuno.. niliuliza salio kwa mtandao,sikuona pesa..walitaka kufanya fujo..lakini nilishawaita askari wa kituo baada ya kutoona pesa kwa a/c.. Nilikataa wasipakie hadi salio isome..
Naongea kwa uchungu hata mimi yalinikuta Arusha gari langu limeibiwa nimelipata police twende tukalikamate tu lije kituoni sehemu salama nimezungushwa mpaka unasema police mnaintrest gani na hilo gari kulikamata kulileta police shida na upowafuatilia police twende kwenye tukio unazungumshwa yaani yakiwakuta watu yaliyonikuta na kama huyo ndo mtajua ninachokisema na huyo mama anachokisema
Kweli inasikitisha sana na hizi dhulma wanazokula hawajui wanawalisha familia zao dhulma baraka zipi za mungu wanazozitegemea wanakula vyakula wanajiona wajanja kabisa kwa fedha za dhulma inasikitisha sana wazazi wao waliwasomesha kwa shida ili waje wafanye dhulma kwa wengine aibu sana
Pole dada,umepana na mungu akutangulie. Je police babati mna maanisha nini hasa,kubakia na kielelezo cha kesi ya singida. Swala hili haliitaji maelezo.Watanzania tuwe wazalendo, Je vipi kitendo hiki ungefanyiwa wewe , Tafakarii.
Pole sana dada ki2 ambacho nimejifunza tanzania tuwe makini tusipate matatizo coz ukiwa na tatizo tu .ujuwe wewe ndo unakwenda kupoteza pesa .kufatilia case mpk kumaliza qe ndo utaingia garama mpk uwache
@@annabyekwaso-wt7oikama ameunganisha na sim banking. Lakn pia muda mwngne mtu unachanganyikiwa. Mteja kaja anachukua mzigo mkubwa kwa mara moja yaan unawaza jinsi ya kumuhudumia haraka arizike aje tena, na hujauza mzigo kama huo mda mref kwa mkupuo, yaan unachanganyikiwa unaona kama zali. Kumbe ww ndo wamepata zali kwako. 😂
Hiyo michezo Polisi wa Babati wanaijua Ndo mana hawakutoa ushirikiano, Ni hatari kuwa Watumishi wanao sahau Viapo hasa likija suala la kulinda raia na Mali zao, hii inatisha Sasa piga picha kusingekuwa CCTV Camera?? Au TH-cam? Kwa Miaka Mingi Kuna kundi la Majambazi ndani ya Jeshi la POLISI Sasa hizi technology Ndo zinawaumbua
Mungu ndie alipanga iwe ivyo mama angu mengine muachiega mungu mbona unaonekana unahela nyingi baba aliibiwa ng.ombe 21 alimuachia mungu mpaka sasa ni masikini tu
Pole sana dada Umepambana sana dada lakin tujufunze kuangalia salio na siyo slip tu kwa pesa nyingi kama hizo na pia naona hao wanajuana na polis iweje vieleezo visiende polis
Pole Sana Mama, alakini ukifikia lengo fulani ya kibiashara lazma ku ajiri accountant ambae anahusika na hesabu maana mfanya biashara mkubwa ukiwa busy kutapeliwa nivirahisi Sana. Isitoshe kufanya biashara na bank ambayo ina technologia ya mobile banking mambo yanakuwa rahisi Sana maana wakati ulitumiwa receipt kama wamesha weka hela Kabla ya kupakiza mzigo wewe mwenyewe ungetumia simu yako ama computer kwa ku cheki.
Daha mpaka hapo mama amshukuru mungu kwa hatua hii nampa ploe gharama kubwa sana atakua ametumia na hao polisi wa babati wanashirikiana na huo mfanyabiashara anae nunua vitu vya wizi.
Hongera sana Dada..wanakana au kuwa wataratibu hawamslizi kazi kuwa wamewajua hao😅 HAKI YAKO ITATOKA KWA JINA LA ALLAH.na wao wanafanya hayo na wanaodjiriki Mungu atawahukumu
Babati msumari wa bati 😂😂😂😂 Mungu ndio anaijua babati na mwenye kuikomboa ni Yeye Mungu tu. Wasameheni askari sio wamejitakia ila wameogopa msumari wa bati🤣🤣🤣🤣
Pole sana mama polisi wetu wana udhaifu mkubwa kwenye ufuagiliaji wa kesi za raia hasa pale wanapoona kama hawana maslai watakayopata, mimi hadi leo nina RB ya polisi ya wizi wa shilling milioni moja na laki nane kwenye biashara yangu tangu 2023 mwezi December ila mpaka tunavoongea kila nikimtafuta askari wa upelelezi niliyekabidhiwa kufuatilia kesi yangu hana msaada wowote zaidi ya kutaka hela, nimeamua kuachana nayo maana niliona napoteza hela zaidi wakati tayari nilishapata hasara
Pole sana kwa Mama itakuwa Alikuwa amechoka sana siku hiyo lakini ndugu zangu risiti pekee ambayo inaweza ikawa halali ni risiti ya machine ya wakala tuu because pesa ikishawekwa unatumiwa message directly kwenye simu na bank Husika Example UTAONA KWENYE TEXT IMEINGIA MESSAGE MTUMAJI CRDB BANK ALLAH AWAJALIE WAFANYABIASHARA WASITAPELIWE AAMIN
Hiii nchii ni ngumu sana yan kielelezo kimekamatwa lakn bado tyu 😢😢😢khaa dua ya mdhulumiwa hairud mama mungu atakusaidia na haki yako itapatikan tyu usiwe na shaka upo na mungu alie hai mam
Poole mdogo angu mungu atakuvusha na kukulipa ahh jamani nn hii Sina Mali ilaa aa nimeumia had machozi umehangaika mama mungu yuko name mwanamke mwenzetu
@@LovenessFedrick-cy9fh kabisa hao watu waliokamatwa wabanwe wakaonyeshe kama ni mfanyakazi wa Bank siri ifichuke wabanwe wawe mfano kwa wengine kama sio Bank basi wakaonyeshe machine wanaotumia kufodge inawezekana ni mtandao mkubwa sana
Mimi nimeibiwa maharage gunia kumi tumewakamata wezi wakakubali ni kweli wameiba wakawekwa ndani, mwisho wa siku watuhumiwa wote waliachiwa Kwa kutoa pesa Kwa askari mpelelezi wa hiyo kesi, na katika kuwakamata hakuhusika na hakutoa ushirikiano hata kidogo, mtuhumiwa mkuu alitamka yeye mwenyew kutoa laki Tano na ndo alikuwa mtu wa kwanza kuachiwa. Yule askari mungu amlipe sawasawa na matendo yake
He bila kuangalia salio kwenye akaunti!!!! Mbona ulitapeliwa kijinga!!! Ila umefight mama kumpata mtuhumia wako!!! Ila huyo aliyekataa gari na mzigo kuchukuliwa Mungu anamuona!!!! Mama Mungu atakulipia!!!!
Yaani benki wameturahisishia sana maisha, simbanking,internet banking,app za benki,ukiweka hela Tu ndani ya dakika kadhaa zinaonekana. Watanzania hatupendi technologia,hii inatucost sana.
Ni hivi, Hawa jamaa wanakuomba account namba wanaenda kuandaa malipo kwa njia ya cheque. Wanaenda kudeposit amount ya iliyopo kwenye cheque ikinaonekana kama imewekwa kwenye akaunti. Kumbuka cheque ni promise/ahadi kwamba utalipwa pesa flani. Kwahiyo kwa Mara ya kwanza Ile pesa utaiona benk lakin utaambiwa fulan ataweka pesa kwenye akaunt yako kiasi flan kama cheq. Hii nimeishuhudia Mara 2. Na Mara nyingi wanakuja jumamosi na wanakuwa na haraka wakati huo ww unataka kufunga duka ndo wanaingia. Hii hata ww inaweza kukukuta.😢
Mimi nimeameibiwa mzigo wangu ofisi ya kilimanjaro tarehe 25/04 Nilihangaika hivi hivi mzigo nikaja kuukamata Arusha mtuhumiwa anangania ni wake mpaka imefikia tumeenda mahakama ya mwanzo moshi,
Lakini hana risiti hata moja wala hajui mzigo ulipopstikana leo ni siku ya 20 bhado ninahangaikia mzigo wangu naamini Mungu atasimama kwenye haki maana mtuhumiwa anajua sheria sana na anauziefu na Mahakama lakini mimi ndio hatua yangu ya kwanza kufika Mahakamani
Wewe mama ni mwamba kwelikweli. Hongera kwa kuwakamata hao matapeli.
Asante ndugu 🙏
@@PriscaMallya-eo9lw😊😊😊😊😊
Anatapelije mchaga aisee lazima akamatwe
😂😂😂😂😂😂😂😂@@MaishaBabu-m2g
Hawa ndiyo polisi wa Tanzania.Mama Pole sana.
Asante inaumiza mnoo,, Mungu wa mbinguni atanitetea😭
Pole sana dadaangu na hongera pia kwa kupambania haki yako mpaka hapo ulipofikia.. mwenyezi mungu atawapa stahiki yao
Amina inaumiza sana 😭😭
Pole sana mama hata mishawahi kutapeliwa hivi Kwa bahati nzuri nilifanikiwa kumkamata mhusika na Hela ikarudi
Hao walionunua babati walinunua kihalari kutoka kwenye duka so kesi lazima iwe na mwisho wa mipaka. Watuhumiwa wamekwisha kamatwa kwa kosa la utapeli, kugushi lisiti na wengine kununua bidhaa bila ya kufuata utaratibu, kukwepa kulipa kodi ya manunuzi ila wa mwisho yupo kiharali hatakiwi kubugudhiwa kwani amenunua kiharali kutokea duka lenye usajiri na kupatiwa lisiti halali.
Pole sana sister, next time usitoe mzigo mpaka umepata massage kwenye simu Yako
Hongera sana Mama unastahili tuzo ya heshima
Kaka ukiwa tajiri kama ivi lazima ujipange
Polisi babati serikali itazamwe hilo.
Mwizi amekamatwa na kithibiti askari hawaangaiki.
Mbaya sana tena sana
polisi wetu changamoto sana
Kiukweli polis babat sio salama
Jamani mtendeeni haki huyo mama. Ameteseka sana. Hapa jeshi la pilisi limeonyesha udhaifu mkubwa. Sijui Kuna kitu gani kinachoendelea.
Pole mama wa nguvu.. mimi walitaka kunitapeli mazao.. gunia 105 za mahindi (mkenya na m-tz)..tena walikuja shambani wakati wa mavuno.. niliuliza salio kwa mtandao,sikuona pesa..walitaka kufanya fujo..lakini nilishawaita askari wa kituo baada ya kutoona pesa kwa a/c.. Nilikataa wasipakie hadi salio isome..
Na ndio inavotakiwa, ni mpaka pesa au muamala ureflect kwenye account yako ndo utoe Mzigo
Sio wewe tu kuna rafiki yangu yupo njombe anakitengo alikuwa anadhulumiwa mil24 Mungu alisaidia na alikamatwa huyo tapeli na hela akatoa
Huyu mama apewe tuzo ni shujaa kapambana na uovu na kujulisha umma,alipwe gharama alizotumia.
KWELI KABISA hayo maneno.amefatilia mwenyewe safari zote.na bado Wanamzungusha sio wakumpa nguvu.kila kitu kiko wazi..
Pia anakuwa Hana zuluma ndo maan
Pole sana mama, Mungu atakuwa hakimu wako na haki yako itapatikana
Kabisa naiman Mungu atanitendea muujiza🙏
Pole sn Mom! Mungu ni mwema.Hayo mambwa yachomwe moto bhana.
Mama poleee Sana, POLISI POLISI POLISI ni laaaana
Naongea kwa uchungu hata mimi yalinikuta Arusha gari langu limeibiwa nimelipata police twende tukalikamate tu lije kituoni sehemu salama nimezungushwa mpaka unasema police mnaintrest gani na hilo gari kulikamata kulileta police shida na upowafuatilia police twende kwenye tukio unazungumshwa yaani yakiwakuta watu yaliyonikuta na kama huyo ndo mtajua ninachokisema na huyo mama anachokisema
Hukuwapa ushirikiano😂
Kweli inasikitisha sana na hizi dhulma wanazokula hawajui wanawalisha familia zao dhulma baraka zipi za mungu wanazozitegemea wanakula vyakula wanajiona wajanja kabisa kwa fedha za dhulma inasikitisha sana wazazi wao waliwasomesha kwa shida ili waje wafanye dhulma kwa wengine aibu sana
Pole mama kwa mfanyabiashara kuibiwa na dhuluma ni jambo la kuumiza moyo na biashara. Pole Mungu asimamie haki yako.
Pole dada,umepana na mungu akutangulie.
Je police babati mna maanisha nini hasa,kubakia na kielelezo cha kesi ya singida.
Swala hili haliitaji maelezo.Watanzania tuwe wazalendo,
Je vipi kitendo hiki ungefanyiwa wewe ,
Tafakarii.
Dada umepambana vizuri sana. Nakuombea kwa Mola ufanikiwe ktk kesi yako. Karibu Zanzibar
Siku waongo na wezi wakiisha na waaminifu waka jaa kila mahali tangu siku hiyo kila mtu ataona dunia ni sehem nzuri ya kuishi
Hiyo siku haipo... kuzidiana ujanja ndo raha ya maisha... huko wanakofundisha uaminifu wezi nao wamejaa
Acha anyooshwe maana huwa anadharau Sana dukani kwake😂😂😂😂😂
@@stevenmdoga8414acha roho mbaya ipo siku utakuja pata shida na wewe
Haitatokea mpaka mwisho wa dunia
@@stevenmdoga8414kumbe
Pole Sana Dada na Mungu wangu atakurudishia na mm pia lilishanikuta
Ila huyu mama huwa anadharau Sana dukani kwake basi tu 😂😂😂😂
vm.tiktok.com/ZMMXhk3yN/
vm.tiktok.com/ZMMXhk3yN/
Hongereni sana polisi wa Singida kwa kazi nzuri
Pole sana. Umoja pia umeleta mafanikio mazuri. Hongereni
Pole sana dada ki2 ambacho nimejifunza tanzania tuwe makini tusipate matatizo coz ukiwa na tatizo tu .ujuwe wewe ndo unakwenda kupoteza pesa .kufatilia case mpk kumaliza qe ndo utaingia garama mpk uwache
Daaah jaman utapel umekuwa mwingi sana
Mama ww ni mpambanaji. Hongera sanaa
Pole sana dada utapata haki yako umepigana sana Mwenyezi Mungu akusimamie.
Huyo mwenye duka iribidi achukuliwe hatua za kisheria kwa sababu kakutwa na mali zawizi inamaana duka lake lote nilawizi tuuu
Kwel kabisaaa
Kabisa
Sijaelewa
@@lodrickmwambene133alienunua mzigo kutoka kwa wale wezi achukuliwe hatua
Hongera kwa polisi wachache wanaojuawa wajibu wao waendelee kumsaidia
Congratulations cna Momy Kwa ujasiri inuliwa na Bwana
Mama Mkwe hongera sana Mungu atunusuru na Watu wabaya
Pole sana Mama, Mungu hatakuacha. Jipe moyo
😢Pole sana Mama, Mungu akupe nguvu katika kipindi hichi kigumu unachopitia na ninakuombea upate haki yako
Watu watafute pesa kwa njia halali tuepuke njia za mkato Kwan hujui Mungu alikomtoa mja wake na kuamua kumbariki. Hongera sana mama shujaa
Hongera sana shujaa wa kupambania haki yako
Dah pole sana mpenzi ck nyingine biashara za kuweka fedha bank angalia salio kwanza kabla ya kutoa mzigo ndivyo wanavyo fanya kariakoo.
Kabisa yaani
Safi ni ushauri ht mm nimesema mbona simu utujulisha km mtu kaweka pesa au la!Nmb crdb nk zimesetiwa kisahii sana .
@@annabyekwaso-wt7oikama ameunganisha na sim banking. Lakn pia muda mwngne mtu unachanganyikiwa. Mteja kaja anachukua mzigo mkubwa kwa mara moja yaan unawaza jinsi ya kumuhudumia haraka arizike aje tena, na hujauza mzigo kama huo mda mref kwa mkupuo, yaan unachanganyikiwa unaona kama zali. Kumbe ww ndo wamepata zali kwako. 😂
@@Fx_expertmoneymaker001Mfanyabiashara kuchanganyikiwa kwa ajili ya pesa ukajisahau kutuliza akili hapo tayari huna sifa ya kufanya biashara😅
Hiyo michezo tumeizoea sana Huku Dar. Tunawakamata sana hao
Pole sana mama usijali mungu atakupa nyingi.
Dada pole sana Umepambana sana ila ndohivo tena Mungu Hatokuacha kamwe
Hongera mwwaya kwa upambanaji
Pole sana mama na hongera kwa kufuatilia mali yako bila kukata tamaa
Pole sana Prisca kweli jasho la mtu alipotei hongera kwa kupambana makibona.
Dah mtihani kwakweli bongo kweli njoosooo
Pole dada mungu awe pamoja nawe upate haki yako
Mungu/MUNGU sio mungu
Nawewe umepata wababe wenzako unajibugi kuwa nenda popote pale usinibabaishe sasa nayeye aende popote
@@stevenmdoga8414mungu sio mtu lazima akupitishe kwenye moto lakin hana hana hasira na mwadamu mungu ni mwema
Pole sana mama mungu akufanyie wepesi katika hili
Kwa wizi huo kuna namna mifumo ya bank iliko akaunt ilihusika ama tapeli husika ana vifaa vya electronic anavitumia kutapeli mali.
Hiyo michezo Polisi wa Babati wanaijua Ndo mana hawakutoa ushirikiano, Ni hatari kuwa Watumishi wanao sahau Viapo hasa likija suala la kulinda raia na Mali zao, hii inatisha Sasa piga picha kusingekuwa CCTV Camera?? Au TH-cam? Kwa Miaka Mingi Kuna kundi la Majambazi ndani ya Jeshi la POLISI Sasa hizi technology Ndo zinawaumbua
Pole Sana dada prisca
MUNGU yupo pamoja nawe endelea kupambana haki opatikane
Sadaka yako unatoa kanisani haitakuacha mali ipotee
ASANTE DADA MAUA NI MUNGU TUU ALINISIMAMIA MUMMY
Kwanza na dereva kanusurka wangemuua
Kweli kabisa
hahahahaha huyo jamaa kaenda kujenga 😂😂😂😂bila hata kutumia nguvu na hawa ni wasomi waliokosa ajila😂😂
Mungu ndie alipanga iwe ivyo mama angu mengine muachiega mungu mbona unaonekana unahela nyingi baba aliibiwa ng.ombe 21 alimuachia mungu mpaka sasa ni masikini tu
Duhhh aisee hii nchi yetu.... pole sanaa mama
Mama unamungu kweli na inaonyesha hujawahi kudhulumu mtu.
Kabisa Yan kabisa
Pole sana dada Umepambana sana dada lakin tujufunze kuangalia salio na siyo slip tu kwa pesa nyingi kama hizo na pia naona hao wanajuana na polis iweje vieleezo visiende polis
Pole Sana Mama, alakini ukifikia lengo fulani ya kibiashara lazma ku ajiri accountant ambae anahusika na hesabu maana mfanya biashara mkubwa ukiwa busy kutapeliwa nivirahisi Sana. Isitoshe kufanya biashara na bank ambayo ina technologia ya mobile banking mambo yanakuwa rahisi Sana maana wakati ulitumiwa receipt kama wamesha weka hela Kabla ya kupakiza mzigo wewe mwenyewe ungetumia simu yako ama computer kwa ku cheki.
Daha mpaka hapo mama amshukuru mungu kwa hatua hii nampa ploe gharama kubwa sana atakua ametumia na hao polisi wa babati wanashirikiana na huo mfanyabiashara anae nunua vitu vya wizi.
Dunia hii imejaa kila hatari. Pole sana mama. Pokeni hela taslimu. Dunia majaribu.
Acha anyooshwe maana huwa anadharau Sana dukani kwake huyu mama
Hongera sana Dada..wanakana au kuwa wataratibu hawamslizi kazi kuwa wamewajua hao😅 HAKI YAKO ITATOKA KWA JINA LA ALLAH.na wao wanafanya hayo na wanaodjiriki Mungu atawahukumu
The struggle was real mama hongera sanaaa na pole sanaaa
Babati apo si ndio kesi ya mbunge imefutwa vile?
Babati msumari wa bati 😂😂😂😂 Mungu ndio anaijua babati na mwenye kuikomboa ni Yeye Mungu tu. Wasameheni askari sio wamejitakia ila wameogopa msumari wa bati🤣🤣🤣🤣
Pole Sana dada angu
Dah!. Watu wamebobea wizi kweli
Kweli haki yamtu aipotei buree ongera mama shujaaaa❤❤❤
Pole sana mama polisi wetu wana udhaifu mkubwa kwenye ufuagiliaji wa kesi za raia hasa pale wanapoona kama hawana maslai watakayopata, mimi hadi leo nina RB ya polisi ya wizi wa shilling milioni moja na laki nane kwenye biashara yangu tangu 2023 mwezi December ila mpaka tunavoongea kila nikimtafuta askari wa upelelezi niliyekabidhiwa kufuatilia kesi yangu hana msaada wowote zaidi ya kutaka hela, nimeamua kuachana nayo maana niliona napoteza hela zaidi wakati tayari nilishapata hasara
Wewe umeonyesha ushirikiano wowote au umemwachia tu mpelelezi
Duhuu pole sana mama ww ni mwamba kwl kwl mama pole sn
Hongera sana dada. Mimi nilitapeliwa police Arusha hakuna kitu walinisaidia lkn nahisi naenda kufufua RB sasa.
Ni Hatariiii Kwa kweli, hawa matapeli ni wengi Kwa kweli, hata kwenye Lipa namba hizi siyo.
Jamaniiii pole sana, wewe ni Super woman
MCHAGA SIO MTU WAKUCHEZEA , HELA ANAIJUA HASA, SUPERWOMAN
Yaani jamani mbona wanazidi kimuumiza dada wa watu mpambanaji? Yaani wanagushi hadi risiti za Bank na za TRA! HATARI!!
Pole dada japo umehangaika ila mwenyezi Mungu atazidi kusimama nawe ni haki yako na Mungu atatenda 🙏🏼🙏🏼
Pole sna Boss,,mungu atakusaidia
Pole sana mama makibona haki Yako itapatikana tu 15:10
Pole mama,,mungu atakulipa
Eka sana Mure nimekupenda sanaaa,yaani wewe ni mwanake balaa na nusu
Pole sana kwa Mama itakuwa Alikuwa amechoka sana siku hiyo lakini ndugu zangu risiti pekee ambayo inaweza ikawa halali ni risiti ya machine ya wakala tuu because pesa ikishawekwa unatumiwa message directly kwenye simu na bank Husika Example UTAONA KWENYE TEXT IMEINGIA MESSAGE MTUMAJI CRDB BANK
ALLAH AWAJALIE WAFANYABIASHARA WASITAPELIWE AAMIN
Pole sana mama Kibona
Pole sana ndugu yangu
Sub'hana Allah yaraaby mwenyezi mungu binadamu anawezwa na mungu tu
Mungu/MUNGU sio mungu
Pole priska mdogo wangu
happo kwa peter madereva limefika niwakili makini sana ramda waamue kuzulumu2
Hiii nchii ni ngumu sana yan kielelezo kimekamatwa lakn bado tyu 😢😢😢khaa dua ya mdhulumiwa hairud mama mungu atakusaidia na haki yako itapatikan tyu usiwe na shaka upo na mungu alie hai mam
Pole mama, Million 14 kwa usawa huu inaumiza sana.
Mama utashinda kesi. Mama samia akisia hilo itafanyiwa kazi
Mama samia hyu tapeli au yupi.. Hivi samia unamtegemea
Mungu atakupatia haki yako mpnz🥰🙏
Pole sana dada mungu atakusaidia
Bonge moja la wakili 🎉
Pole sana mamaa, kwa yaliyo kukuta.
Waray nawachukia wezi hawa wa kitaperi me nimeibiwa mirioni nane warai mungu awarani na hataturipia pole my
Pole Sana Boss wa Singidani, Mungu atakulipa
Poole mdogo angu mungu atakuvusha na kukulipa ahh jamani nn hii Sina Mali ilaa aa nimeumia had machozi umehangaika mama mungu yuko name mwanamke mwenzetu
OngerA SANA DADA UMEPAMBANA SANA HILO POLISI WA BABATI NI WEZI PIA KWanini hWatoi ushirikiano
Inaonekana kuna connection kubwa sana juu ya waalifu na askari
Duh inauma sana mungu amisadie kila moja apate haki yake.
Tutakimbilia wapi sasa jamani kama kweli kuna kufufuliwa na kusimamishwa mbele ya aliyetumba Mungu tutapata shida na adhabu kali sana
Hao wanaoghushi SI itakuwa wafanyakazi wa bank
@@LovenessFedrick-cy9fh kabisa hao watu waliokamatwa wabanwe wakaonyeshe kama ni mfanyakazi wa Bank siri ifichuke wabanwe wawe mfano kwa wengine kama sio Bank basi wakaonyeshe machine wanaotumia kufodge inawezekana ni mtandao mkubwa sana
Mimi nimeibiwa maharage gunia kumi tumewakamata wezi wakakubali ni kweli wameiba wakawekwa ndani, mwisho wa siku watuhumiwa wote waliachiwa Kwa kutoa pesa Kwa askari mpelelezi wa hiyo kesi, na katika kuwakamata hakuhusika na hakutoa ushirikiano hata kidogo, mtuhumiwa mkuu alitamka yeye mwenyew kutoa laki Tano na ndo alikuwa mtu wa kwanza kuachiwa. Yule askari mungu amlipe sawasawa na matendo yake
Nchi yetu Askari wala Rushwa wanafanya maovu yahalalishwe na wanyonge waendelee kukiona cha moto
Mlaani mungu anajua kushungulika nao wanasahau Dunia tunapita
Polisi inchi hii hatuna😮
Polis wamepewa ala wasenge sana ila M/MUNGU kasaidia mpaka apo ulipofikia utapata hakiyako
Pole mama yangu mungu atakusimamia
He bila kuangalia salio kwenye akaunti!!!! Mbona ulitapeliwa kijinga!!! Ila umefight mama kumpata mtuhumia wako!!! Ila huyo aliyekataa gari na mzigo kuchukuliwa Mungu anamuona!!!! Mama Mungu atakulipia!!!!
Hawa jamaa huwaga kama wana Kidawa hivi...usiombe ya kukute
Yaani benki wameturahisishia sana maisha, simbanking,internet banking,app za benki,ukiweka hela Tu ndani ya dakika kadhaa zinaonekana. Watanzania hatupendi technologia,hii inatucost sana.
Ni hivi, Hawa jamaa wanakuomba account namba wanaenda kuandaa malipo kwa njia ya cheque. Wanaenda kudeposit amount ya iliyopo kwenye cheque ikinaonekana kama imewekwa kwenye akaunti. Kumbuka cheque ni promise/ahadi kwamba utalipwa pesa flani. Kwahiyo kwa Mara ya kwanza Ile pesa utaiona benk lakin utaambiwa fulan ataweka pesa kwenye akaunt yako kiasi flan kama cheq. Hii nimeishuhudia Mara 2. Na Mara nyingi wanakuja jumamosi na wanakuwa na haraka wakati huo ww unataka kufunga duka ndo wanaingia. Hii hata ww inaweza kukukuta.😢
@@RBSMABATIkumbe kuna uwezekano wa hela kuonekana na baadae kutoweka😢
Malipo ya cheque yalitaka kunicost ila nilistuka mapema
Daaah serekali ya siku izi noma, pole sana mama
Pole xn mama,ila wakati mwingine msindikize mteja ukashuhudie malipo jmn