Hongera sana Waziri,unajua kazi yako vema,Mwenyezi Mungu akulinde na kukufadhili kwa kutenda haki,tena kisheria si kwa mawazo yako na ushirikishaji kwa walalamikaji na walakamikiwa.
Kenya ndo kitu kinaendelea kudhulumu watu we yetu walikuwa waona hatuna kakitu wakituangalia walishanga fery walibaki mdomo wazi kweli kabsa mkionekana hamna lolote ndo wana wadhumu thulma haidumu😢😢😢
SASA PAMOJA NA PONGEZI NYINGI SANA KWA MH SLAA, NAWAIBIA SIRI TU HAYA MADUDU YAPO KWENYE MAMBO TOFAUTI NCHI NZIMA MAWAZIRI WOTE WANGEINGIA FRONT KAMA HUYU AU KAMA HAWA (MAKONDA) NCHI INGEKUWA SAFI SANA. MUNGU ATUONGOZE VYEMA KWENYE KUTEKELEZA MAJUKUMU HAYA.
Nikushukuru wazili sraa Kwa hekima Yako...ujamuonea mtu..umempa heshima mzee na mzee sauri pia...mungu akusaidie kwani Dunia inapita...sisi kama waamgaikaji tumetoka mbali na sauri Kwa kusaidia watu kiajira...na mzee nae najua kasaidia kasaidia wengi...mungu awafanyie njia hata pasipo njia...bigap sana wazili Kwa hekima...mungu atakulipa Kwa kutenda haki bila kumwasili mtu.
Hongera sana Waziri,unajua kazi yako vema,Mwenyezi Mungu akulinde na kukufadhili kwa kutenda haki,tena kisheria si kwa mawazo yako na ushirikishaji kwa walalamikaji na walakamikiwa.
Mashallah viongozi kama Hawa ni wachache sana , mungu amlinde , ampe afya njema na ambariki katika kazi yake na atimize malengo yake
Tunahitaji viongozi kama Hawa Mungu wanusuru na awalinde Amin
Ameen
Duh mpaka umezeeka mbunge wangu. Mungu akusimamie
HUKU MAKONDA KULE SILAA 🔥🔥🔥
Mungu akutunze waziri wngu mpedwa nakuombea afya njema na kila la her kaka
Mtangazaji upo vizuri brother keep it up 💪
Mh Rais SSS,Mh waziri wa Ardhi,J. Silaha (mb),namuombea aongezewe ulinzi,anafanya kazi nzuri Sana kwlkwl
❤ 0:44
U r wright, kuna wasioridhika naye kwa kuwazuia na dhulma zao
Afande anatingsha kichwa kuonyesha anaelewa 😂
Wazili slaa mungu akupe myaka 100
Safiii. Hii kesi ilikaa sana..mbunge alipapata hapo kiujanjaujanja
Mungu akubariki sana wewe baba
Kenya ndo kitu kinaendelea kudhulumu watu we yetu walikuwa waona hatuna kakitu wakituangalia walishanga fery walibaki mdomo wazi kweli kabsa mkionekana hamna lolote ndo wana wadhumu thulma haidumu😢😢😢
Akili ya huyu mwamba it's extra ordinary
Silaa tangu awe waziri wa hii wizara mpaka nywele zimebadilika rangi😂😂
Chezea ardhi wewe
Ooh Allah wajaalie kila wenye haki zao wapate haki zao hakika ya dunia ni mengi na yanachosha
Katika watu ninaowakubali kwa kuchapa kazi na kutenda haki ni Waziri Jery silaa,Makonda,Msukuma na Kishimba only wengine bad mnazingua.
Huyu waziri anafanya kazi nzuri sanaaaa , mungu akulinde
Mh.Jerry Slaa amgeendelea kuwepo Wizara ya Ardhi na c wizara yoyote nyingine.
Mbona viongozi wengine hawatembelei wananchi jmn, hivi ndivyo mawaziri wanatakiwa kuwa
Katika kesi zimeamuliwa vizur hii ni ya kwanza dunian
Hii wizara mpaka imemfanya Silaa awe Mzee
😂😂
😂😂😂😂😂na kazeeka kweli
Kabisa
KabsA,
Anatumia akili yake saana.Ni mzalendo wa kweli
Jengo hili mussa ndio ttzo hapa yule jamaa muuza viatu ndio aliesababisha nyumba kuuzwa ,ila mungu amjibu maombi yao
Safii kabisaaa aisee
SASA PAMOJA NA PONGEZI NYINGI SANA KWA MH SLAA, NAWAIBIA SIRI TU HAYA MADUDU YAPO KWENYE MAMBO TOFAUTI NCHI NZIMA MAWAZIRI WOTE WANGEINGIA FRONT KAMA HUYU AU KAMA HAWA (MAKONDA) NCHI INGEKUWA SAFI SANA. MUNGU ATUONGOZE VYEMA KWENYE KUTEKELEZA MAJUKUMU HAYA.
Uyuu slaaa ni hatari mungu amtunzee😊
Amiin
Aminaaa
Amina kubwaa
Huyu sauli ni dhulumati sana jengo la Zambezi mbeya
Huyo jamaa ni zaidi ya kiongozi yup vizur sana
Mungu aku2nze sana mkuu🙏
Waoow uko powa wasiri
Kuna afande kule nyuma yy anatikisa kichwa tu..haha
Anaona anachozungumza ni haki
Mungu amupe maisha marefu
Si ndio utamaduni wa serikali ya CCM au wanezuiwa haki yao na CHADEMA wanatengeneza migogoro wenyewe na watendaji wake alafu mnashangilia pyuuuuu
very good
Hivi haya pia mnafanyiwa na Wazanzibar?
Very good job lakin mambo ya kubomoa nyumba za watu mm sikuyapenda kabisa
We umependa wanavyodhulumu maeneo ya watu sio
Mzee kuna sehem jibu lilonyooka ni kubomoa kinachowagombanisha ,hzo ni zege Tu kama hakuna Aman
Jamani, Nampataje waziri huyu, kuna tajiri amekalia plot yangu kwa nguvu huko Dodoma?
mtafute Kwa simu direct
Huyu SH amon ni amezidi na kwenye kesi haji anadharau hatari
Toka na sauti lako bhana hapa 😢😢😢😢😢
Kizuri kipongeze ndg yng
Nyoko
Maaskari kama hawa wanafaa sana anamsikiliza kwa umakini mh waziri kamanda apewe maua yake
Hongera Waziri. Uko vizuri mno
Kama umrona askari anamuelewa waziri tujuane😊
Miaka 26?
Waziri wa maji mh:Awaso muige huyu j slaa wizara imejaa hujuma hasa huku mbezi malamba mawili sehem nyingi maji hakuna
Ongela sana baba mwanangu mungu atakusimamiya mana akuna aneyekysema mabaya
Nazidi kujifunza.sijutii kuweka bando langu kutazama videohii
Mtangazaji unazingua wacha tusikie wenyewe
ukovzr mweshimiwaa
Mzee wa white tshirt
Hivi akina lukuvi na yule mama anajihita dokta macula walikuwa wanafanya kazi gani
Kwa kweli
Hao walikuwa wez tuu
Lukuvi alkua nyumbu tu yule
Walikuwa mijizi. Tu
Ile wapiga madilii...
Mbunge wa zamani
Huyu ndio waziri bora na waziri mkuu na biteko wengine wanadimba tuu
Umemsahau na Waziri ngwajima
Ndo wamebaki na makonda na silaha kwani uongo kazi Yao tunaiona hata iweje ccm acha kuchongea
1/7 na 6/7 ndio vipi? Nifahamishe i
❤
Hasara ya kuuza ndio hii
Kodus Mh Wazir Slaa
Mawazir wa vtengo vngne wanasubili nnnnnnnn hau hawapo?
Katika teuzi bola za mama bola ukimtoa makonda anaye fwata ni wazili uyu Yani awa wawili wanafanya kazi nzuli sana
Makonda namba mbili baada ya slaa .
Mjinga ni mjinga tu hao wakipewa hilo jengo watauza muda sio mre´fu ninawapa miezi sita baada ya kupewa
Bora wauze kuliko kuzulumiwa
@@AminiMsellem-gk3yy Wauze tu
@@AminiMsellem-gk3yy Jiongeze wakishauza nani anapata faida ?
Nyau wewe
Mnavamia nyumbaza watu wezi nyie na lazima tubakie nyumba ni yetu