🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 244

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  5 หลายเดือนก่อน +2

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @AbasJeilan-ns8yp
    @AbasJeilan-ns8yp 5 หลายเดือนก่อน +21

    Mashallah kafika salama, mzee suleiman Allah akulipe kheri na wote

  • @AminaJuma-r4y
    @AminaJuma-r4y 16 วันที่ผ่านมา +3

    Mungu hatujalie tuliyopo oman tufanye kz na turudi makwetu salama

  • @azaniasaidi93
    @azaniasaidi93 5 หลายเดือนก่อน +10

    Alhamdulillah umefika salama kipenzi....Pole sana Rahma

  • @maryamsuleiman6340
    @maryamsuleiman6340 5 หลายเดือนก่อน +15

    Tunapenda vyombo vya Habari km Glob vyenyekujali nakufanya vitu vinavyoeleweka najamii HONGERENI❤🎉

  • @MwanaHamis-y4e
    @MwanaHamis-y4e 5 หลายเดือนก่อน +16

    Allahmdulillah hongereni sana wana Global TV kwa jitihada zenu pope Rahma shukuru Mungu umefika salama nyumban

  • @YasmeenKhalifa-zq1zk
    @YasmeenKhalifa-zq1zk 5 หลายเดือนก่อน +5

    Alhamdulillah 😊😊😊❤wallah nimelia kwa furaha na kila alishiliki katika kumtafuta binti huyu mungu atamlipa inshaallah ❤❤❤😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤yarab

  • @SharifaA-y4t
    @SharifaA-y4t 5 หลายเดือนก่อน +9

    ❤❤❤ love you kaka selemani mwenyezi mungu akutangulie

  • @SalmaAthuman-hp3en
    @SalmaAthuman-hp3en 5 หลายเดือนก่อน +5

    Mtihani wallah maisha haya pole sana muhimu umerudi nyumbani salama

  • @ZainbAbubakary
    @ZainbAbubakary 5 หลายเดือนก่อน +1

    Alhamdulillah mwenyezi MUNGU nimkubwa sana

  • @chikujuma18
    @chikujuma18 5 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤ Mashallah dada zar hongera pamoja na timu yako wote waliosaidia rahma karud Tanzania

  • @Ashrey82
    @Ashrey82 5 หลายเดือนก่อน +4

    Mash'allah kaka selemani jamani Asante 🙏

  • @GdFf-ik2eo
    @GdFf-ik2eo 5 หลายเดือนก่อน +6

    Pole dada kwa changamoto
    Sisi tuko oman alhamdulilahintunapambana tunasomesha wtt tunajenga alhamdulilahi na shamba nimenunua namshukuru mungu kuniepusha na hayo majanga maana hayo mwenzetu majanga
    Karibu uje upambane oman usikate tamaa hizo ndiyo changamoto za utafutaji
    Tz ajira hakuna kz wanapeana wenyewe kwa wenyewe
    Ndiyo mtu unaona bora nikapambane uarabuni

    • @nassercurtis9579
      @nassercurtis9579 5 หลายเดือนก่อน

      Tuko zaidi ya milioni sitini wafanya kazi serikali hawazidi milioni ila tufanye wapo milioni kumi toa wafanya biashara na sekta binafsi fanya milioni 30 je waliobaki serikali iwapeleke wapi? Tambua China kiuchumi duniani ipo ndani ya tatu bora ila wapo wachina wamachinga wauza yeboyebo kariakoo.

  • @KadeejaKadeeja-ej4bu
    @KadeejaKadeeja-ej4bu 5 หลายเดือนก่อน

    Mashallah alhamdulillah ongera sana zari Kwa kutupambania Allah atakulia❤

  • @phinnalyimo8268
    @phinnalyimo8268 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu ni mwema ubarimiwe sana mdogo wangu mpendwa zari❤

  • @BarkeIslam-b7d
    @BarkeIslam-b7d 17 วันที่ผ่านมา

    Zari mungu akupe umri,afya uzidi kusaidia watu❤

  • @LevinaMiteo
    @LevinaMiteo 5 หลายเดือนก่อน +6

    Alhamdulillah pole mamy ila ss wengine atukomi tunakuja tyuu tatizo zile sifuri kwenye mshahara ndo zina tuponza kudanga atuwezi wengine acha tupambane co wote wabaya

    • @MariamJuma-pe4sy
      @MariamJuma-pe4sy 5 หลายเดือนก่อน +1

      😅😅😅😅 nimejikuta nacheka tu😅😅 zile sifuri kwenye mshahara ndo zinatuponza😅😅😅

    • @LevinaMiteo
      @LevinaMiteo 5 หลายเดือนก่อน +1

      @@MariamJuma-pe4sy ame Apia kwamba hatokuja nivile kakutana na matatizo kabla Aja pata mshahara yamiezi sita na kuitumia familia ila angepata mbele huko utamu wa diliham na riali zinavyo noga nyie tungemsikia nitarudia insha'Allah sio wote wabaya🙈🙈🙈😂😂😂

    • @Rahmapastory
      @Rahmapastory 5 หลายเดือนก่อน

      Alhamdulillah, Allah kareem

  • @JudyUrio-zy7ri
    @JudyUrio-zy7ri 5 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu akuinue zaidi unatusaidia sana wanawake wenzio

  • @AyshaHamis-qw3gi
    @AyshaHamis-qw3gi 5 หลายเดือนก่อน +7

    Nimefurah sana mpk natokwa na machoz yafurah jaman da Rahma tulikusubir kwa hamu 😢Allah Akbar Allhmdhullah umefika salama

  • @khadejakhadeja9713
    @khadejakhadeja9713 5 หลายเดือนก่อน

    Asante. Suleymani mungu akupe afya njema❤❤❤❤❤

  • @aminahamad3428
    @aminahamad3428 5 หลายเดือนก่อน

    Masha allah dada zari kaxi nxuri sana

  • @khadejakhadeja9713
    @khadejakhadeja9713 5 หลายเดือนก่อน

    Pole Rahma kwa changamoto zaa irag pole sana sana rahma ❤❤❤❤❤

  • @OsOs-l7c
    @OsOs-l7c 4 หลายเดือนก่อน

    Pole Sana ddngu, mungu akupe subra atakupa rizki yako inshallah

  • @OmanOman-gz6bp
    @OmanOman-gz6bp 5 หลายเดือนก่อน +1

    Pole dada utaftajii unakazi sana❤❤❤❤

  • @YahayaKiobya
    @YahayaKiobya 2 หลายเดือนก่อน

    Mashaghalaaa ndo jina la mabinti zetu huko uarabuni 😭😭😭

  • @HalimaAhmed-j7o
    @HalimaAhmed-j7o 13 วันที่ผ่านมา

    Glob nawapenda sana

  • @JokhaSaid-e1c
    @JokhaSaid-e1c 5 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi nzuri sana bi zari

  • @AishaAmin-b2k
    @AishaAmin-b2k 18 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂 kimeza mnasaidia ila mpaka sasa hatuelewi mnatuchamba nyie mnatusaidia nyie😂😂❤❤❤❤❤❤

  • @khadejakhadeja9713
    @khadejakhadeja9713 5 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera. Sana ZARI mtabia njaa na KAKA SEREYMAN ❤❤❤❤

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc 5 หลายเดือนก่อน

    Maashallah tabarrak allah Allah awafanyie wepes time Zima ya global tv timu mapito na wote tuliopaza saut Alhamdulillah

  • @fidelitekarigirwamuyangwa973
    @fidelitekarigirwamuyangwa973 5 หลายเดือนก่อน +4

    Njamani zari mungu akuripe kwamema unayo fanya

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 5 หลายเดือนก่อน +1

    😢😢😢😢😢😢 Jmn mm nilipata VISA ya IRAQ kipind natafuta kazi ila roho ilikuja kugoma kbs, ikabidi niende Oman sijui nn Mungu aliniepusha nacho huko🙏🏽👏

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 5 หลายเดือนก่อน

      Kote ni utumwa tu hata Oman 🇴🇲 waarabu ni mbwa kabisa nguruwe

  • @christinaernesto4636
    @christinaernesto4636 24 วันที่ผ่านมา

    MUNGU mwema Rahma umerudi salama nchini mwetu Tzd 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @Aisha-ic1rl
    @Aisha-ic1rl 5 หลายเดือนก่อน

    Mashallah Allah awaliipe kheri inshallah tunawapenda sana❤❤❤❤❤❤ daah yan 😢

  • @mayajuma6742
    @mayajuma6742 5 หลายเดือนก่อน

    Alhamdulillah jamani tunao mpenda zari tufanyeni kitu kwajiliyake yy na tim yake 🎉🎉🎉

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 5 หลายเดือนก่อน

    Pole sana Rahma Mungu akuondolee maradhi 🙏🙏❤️

  • @omariselemani6578
    @omariselemani6578 5 หลายเดือนก่อน

    Pole sana
    Karibu nyumbani

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 5 หลายเดือนก่อน

    Dada wa global umejaza kila eneo mashallah 🎉🎉🎉

  • @Ashrey82
    @Ashrey82 5 หลายเดือนก่อน +6

    Kutafuta kugumu sana karibu nyumbani Rahman🙏

  • @LizaLiza-v2m
    @LizaLiza-v2m 4 หลายเดือนก่อน

    Namuona mzee Suleman mtetez wetu mashaghalla oman🇹🇿🇴🇲🇴🇲🇴🇲

  • @عائشهالبارزاني
    @عائشهالبارزاني 24 วันที่ผ่านมา

    Pole Sana mamy

  • @NassorAbdallah-w6h
    @NassorAbdallah-w6h 5 หลายเดือนก่อน

    Global TV nyinyi ni mfano kwa vyombo vya habari vyote muwe na jitihada iyoo iyoo A very good job you have done ❤

  • @khadejakhadeja9713
    @khadejakhadeja9713 5 หลายเดือนก่อน +1

    Yani hawaoni mtuu anaumwa uso umevimba sana pole sana RAHMA. Kwa mkasa nzito 😢😢😢😢

  • @AmAm-xt1og
    @AmAm-xt1og 4 หลายเดือนก่อน

    Pole sana dadangu

  • @yohanatlatlaa4205
    @yohanatlatlaa4205 5 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana Dada kwa mitihani iliyokupata mungu mkubwa

  • @aminaothman2136
    @aminaothman2136 5 หลายเดือนก่อน

    Duh pole sana

  • @MohamediHasani-bm6xu
    @MohamediHasani-bm6xu 5 หลายเดือนก่อน

    Alhamdulillah kama umerudi salama maana Iraq kuna ofisi zinapiga sana wafanya kazi na wengine hubakwa pia yaani Allah awalinde dada zetu na awabariki kwenye harakati zao za kutafuta maisha

  • @SophiaKamgunda
    @SophiaKamgunda 5 หลายเดือนก่อน

    Alhamdulillah Allah azdi kushusha Nwema zake

  • @AnatoriaRwabatwa
    @AnatoriaRwabatwa 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana Zari

  • @RonyahRozgar
    @RonyahRozgar 5 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani Rahman rafiki yangu pole tulikuwa wote ofisi moja Iraq qurdistan kwa Rasuli nikamuacha Iraq mimi nikarudi zangu Tanzania 🇹🇿 ila Alhamdulillah nilikuwa nimesha maliza mkataba wangu

    • @narutonaruto4303
      @narutonaruto4303 5 หลายเดือนก่อน

      Shukur allay

    • @mwajumasaidi2041
      @mwajumasaidi2041 5 หลายเดือนก่อน

      Hata mm ajent yang alikua rasuli alinisaidia karud kabla ya muda

  • @GdFf-ik2eo
    @GdFf-ik2eo 5 หลายเดือนก่อน +1

    Alhamdulilahi kafika salama alhamdulilahi

  • @hawa6052
    @hawa6052 5 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akubariki dada Zari na Baba Sulayman

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 4 หลายเดือนก่อน

    Baba wa huyu dada na mwamba sana apewe maua yake. Alijua kujieleza vizuri katika jitihada zakutaka mwanae arudishwe.

  • @nourannouuran3514
    @nourannouuran3514 5 หลายเดือนก่อน

    Dada mtangazaj wa global ujue nakupenda sana❤❤❤❤❤nataman sku moja nije nikuone tu live,juhudi zako tunazione

  • @zohoraramadan4540
    @zohoraramadan4540 5 หลายเดือนก่อน +1

    Alhamdulilahi mzee atapona fasta akimuona mwanae

    • @fatimaharoun-np8uv
      @fatimaharoun-np8uv 5 หลายเดือนก่อน

      Sio huyu yule alisema harud anapambana😂😂

  • @zepinashatibu5149
    @zepinashatibu5149 5 หลายเดือนก่อน

    Mhhh mtihani pole sana

  • @JohariRashidjuma
    @JohariRashidjuma 5 หลายเดือนก่อน

    Pole sana dada😢

  • @FghgRyy
    @FghgRyy 5 หลายเดือนก่อน

    Maa shaa Allah Alhamdulillah Alhamdulillah Alhamdulillah 😭😭😭

  • @MonaMbalike
    @MonaMbalike 5 หลายเดือนก่อน

    Jaman mpk machozi yamenitoka mungu awajaalie familia ya global TV yote pamoja na Mzee selemani

  • @FridanyoniFridanyoni
    @FridanyoniFridanyoni 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu ni mwema

  • @NeemaElias-n8j
    @NeemaElias-n8j 5 หลายเดือนก่อน

    Pole dada kwa changamoto ulizopitia mungu akupe wepesi upone da Rahma

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 5 หลายเดือนก่อน +5

    Mzee suleiman.nibaba wakuigwa

  • @ShamsaAbasi
    @ShamsaAbasi 5 หลายเดือนก่อน +1

    Pole shogaangu mimi niko iraki ndo namalizimalizia mda wangu nirudi kwetu

  • @graceyates3500
    @graceyates3500 22 วันที่ผ่านมา

    Jamani sisi binadam
    Basi tu 😢😢😢

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 5 หลายเดือนก่อน +1

    ALHAMDULILAH

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 5 หลายเดือนก่อน

    Maa'shaallah Alhamdulillah Allah azidi kutuinua na da Zali wetu hd nimelia aisee😢

  • @hassannusura278
    @hassannusura278 5 หลายเดือนก่อน

    Good job

  • @chandeyusufu9570
    @chandeyusufu9570 5 หลายเดือนก่อน

    Mzee selemani mungu akufanyie wepes kwa kila jambo lako kwa wema ulioufanya

  • @shamimhayat7637
    @shamimhayat7637 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka Suleiman thanks❤

  • @saadaally5705
    @saadaally5705 5 หลายเดือนก่อน +3

    Da zari mimi unanijua katika nchi mzuri ni oman basi simshauri mtu aje Dubai ata siku moja ninayo yapitia mimi na wezangu tunayo pitia

    • @Mzawa12
      @Mzawa12 5 หลายเดือนก่อน

      Huko Dubai nasikia NI changamoto ukifika wanachukua passport..... Na kama ni wanawake ni balaa wanafanyiwa mambo ya ajabu🙌🙌 SS sijui ni kweli au laah

    • @firdausqutty2067
      @firdausqutty2067 5 หลายเดือนก่อน

      Haya Oman pia wanachukua passport, sema Oman maboss asilimia 80 wanautu na roho nzuri hta wakikaa na passport yako.​@@Mzawa12

    • @nattarianny-ey5jl
      @nattarianny-ey5jl 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@Mzawa12 Sio Dubai tu nchi zot za ghafu

    • @saadaally5705
      @saadaally5705 5 หลายเดือนก่อน

      @@Mzawa12 si kweli ila ila office zina matatizo

    • @saadaally5705
      @saadaally5705 5 หลายเดือนก่อน

      @@Mzawa12 ila ukitaka kujua zaidi NITAFUTE inbox

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 5 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu Mzee Mungu amwongezee kherii sana lasivyo huyu Rahma TZ angepasikia

    • @fatihiyadossa375
      @fatihiyadossa375 5 หลายเดือนก่อน +1

      Sio Mzee tu Ata uyo dada wa global tv yy ndo chanzo chakusaidia watu nakuwafatilia sna mungubambarikie

    • @ummuwawili
      @ummuwawili 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@fatihiyadossa375 ni mwenyeezi Mungu kupitia hao wengne

  • @HadijaZabroni-pu1lt
    @HadijaZabroni-pu1lt 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana dada zai mungu akutunze vyema

  • @ClementinaNyawile-dw8sw
    @ClementinaNyawile-dw8sw 5 หลายเดือนก่อน

    Pole sn Dada,mshukuru Mungu umerudi salama,Mungu akupe wepesi kw matibabu Yako,wabarikiwe wote walio shiriki kw hali na mali Hadi kufika nchini kwako.Mmmh inatisha sn jamani.

  • @ruqaiamohammed345
    @ruqaiamohammed345 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah ❤kazur ana sura km mphilipino 😂zar ht kwa kutokea hukuju? Bora kaka sele akuchukue uende oman ht week 1😂krb tz mdogo angu mrad umefika nyumban Allah atakufanyia kher inshallah 🤲🤲😥😥

  • @maryamsuleiman6340
    @maryamsuleiman6340 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hatanami nimetokwa namachozi ,Niupendo ,furaha inaliza iliochanganyika namachungu tunayopitie Viumbe ,pole mwenetu

  • @narutonaruto4303
    @narutonaruto4303 5 หลายเดือนก่อน

    Alhamdullah

  • @halimamfaume1925
    @halimamfaume1925 5 หลายเดือนก่อน

    Alhamdulillah

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 5 หลายเดือนก่อน +1

    Baba mungu amlipe kila jema kumpambania mwanawe

  • @ShamsaAbasi
    @ShamsaAbasi 5 หลายเดือนก่อน

    Yaa allatusimamie tuwezekuvuka salama sisi ambayo tuko iraki

  • @AishAish-t1s
    @AishAish-t1s 5 หลายเดือนก่อน

    Allah atulinde jamani maisha haya changamoto rahama anaumwa mapaka anatia huluma uso tu unaonesha hawa watu makatili

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 5 หลายเดือนก่อน

    Ila Watanzania wapambanaji wa maisha yani hadi Iraq 🇮🇶 Hongera saana kwa kujaribu

  • @TabuMudi
    @TabuMudi 5 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana ila. Umepata fundisho sasa ndio mtulizane

  • @kampotkanangila9647
    @kampotkanangila9647 5 หลายเดือนก่อน +1

    Sijaona mutu hana hutu namapenzi kama huu dada mapenzi na wanahichi wake mwenyezi mungu akubariki akulinde akupe mahisha marefu

    • @GraceKija
      @GraceKija 5 หลายเดือนก่อน +2

      Jifunze kuandika na kusoma

  • @Kuruthum-tf1vr
    @Kuruthum-tf1vr 5 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏

  • @bentali5773
    @bentali5773 5 หลายเดือนก่อน

    Alhamdulilah

  • @annajumaa9274
    @annajumaa9274 5 หลายเดือนก่อน

    Pole sana bora imeludi

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 5 หลายเดือนก่อน +2

    Halafu ukute wadada wanamtukana Suleman hebo Ona alivyompambania huyu Dada toka Iraq

  • @betitympeleta9697
    @betitympeleta9697 5 หลายเดือนก่อน

    Jamani mungu mwema

  • @SaotmAlohtm
    @SaotmAlohtm 5 หลายเดือนก่อน

    Pole dada

  • @kLaknFXIOLI73acvSSWurw
    @kLaknFXIOLI73acvSSWurw 4 หลายเดือนก่อน

    Mataifa yakiarabu ni changamoto sana kule kwakwenda kulalamikia na we ni Mwafrika ni ngumu. Muwe waangalifu mnaotarajia kwenda.

  • @khamisjuma8501
    @khamisjuma8501 5 หลายเดือนก่อน

    God bless you my sister

  • @Yassinseleman
    @Yassinseleman 5 หลายเดือนก่อน +2

    Global mtapata fadhira nyingi kwa misaada yenu ya kibinadam

  • @24Dailylife-Channel
    @24Dailylife-Channel 5 หลายเดือนก่อน

    Si ulitaka mwenyewe kwenda kufanya kazi watanzania ni wavivu sana,

    • @fatimaharoun-np8uv
      @fatimaharoun-np8uv 5 หลายเดือนก่อน +3

      Some time usihukumu mtu kwan umeambiwa hawez kaz au anaumwa ama kwel km halijakukuta huwez jua maumivu yake mtihan

  • @upendoshalua8816
    @upendoshalua8816 5 หลายเดือนก่อน

    Umetishaaaaaaaaaaaaa ❤❤❤❤@zalimapito

  • @salwamohammed4787
    @salwamohammed4787 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ndio changa moto za maisha mengine yana vumilika mengine hayavumiliki

  • @hawa6052
    @hawa6052 5 หลายเดือนก่อน +1

    Allah awalipe Kila la kheri wote mlioshiriki kumsaidia

  • @bas2823
    @bas2823 5 หลายเดือนก่อน

    LET HER GO REST! TRAVEL LONG DESTANCE SHE IS TIRED NEED TO REST!

  • @AishaJuma-wd8xd
    @AishaJuma-wd8xd 5 หลายเดือนก่อน +3

    Pole dd kwa mitihan

    • @halimagomez
      @halimagomez 5 หลายเดือนก่อน

      Huyuu baba ajenty mzirii saana anajuwa kusaidiaa sanaaaa

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 5 หลายเดือนก่อน

    Mr Suleiman Allah atakulipa kwa ukubwa maana kuna maneno halafu kuna matendo

  • @HafsaShekigenda
    @HafsaShekigenda 5 หลายเดือนก่อน

    Alhamdulilah Kweli allah nimueza yayote😢😢