INATISHA! MAMA MZAZI ADAIWA KUMUUA kwa KUMCHINJA MWANAYE wa KUMZAA KABISA - “ALIPONDWA KICHWANI”..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  2 ปีที่แล้ว +3

    ​SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ

  • @faiditv5535
    @faiditv5535 2 ปีที่แล้ว +11

    Shigongo kapata mtangazaji Bora jasiri mno hongera host,poleni wafiwa

  • @cynpeter2517
    @cynpeter2517 2 ปีที่แล้ว +8

    Ee Mungu tusaidie😭🙏 Watu wa Mungu jaman tuombe sana. Ufunuo 6: 3-4

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 2 ปีที่แล้ว +6

    Mimi naogopa jamani kila leo matukio, Mungu tusaidie, roho za mauaji zishindwe

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 2 ปีที่แล้ว +3

    Imelda Mtema unatangaza vizuri sana 🤝🇹🇿

  • @ffed1876
    @ffed1876 2 ปีที่แล้ว +4

    Innalillahi Wainna ileihi rajiun Mola awape subra wafiwa kwa ukatili huu ulomkuta dada na Mola amsamehe yy na sie pia. Amin.

    • @sein.208
      @sein.208 2 ปีที่แล้ว

      Amiyn

  • @zainabubalama8869
    @zainabubalama8869 2 ปีที่แล้ว +7

    Nashindwa cha kuandika 😭😭😭😭😭🙆🙆🙆🙆 WALLAH Dunia ipo mwishoni Tumuombe sana ALLAH hizi nyakati za mwixho

  • @faidhafaidha4587
    @faidhafaidha4587 2 ปีที่แล้ว +21

    Sasa kama ilikuwa ni tatizo la kichwa kwann wampige vile mpaka wamuue 😢...mama mzazi unawezaje kufanya hv ingekuwa amekufa labda kajipigiza kichwan ila kupasuka hivyo kama wanavyosema mtu mpaka wampasue kichwa meno sikio taya yaan mbona kama walidhamiria..maana huyo mpangaji anasema walikuwa wanasema ua ua kwann jaman Sasa kama walimchoka wangemfukuza tu...anyways sijui kilichotokea wao ndo wanafaham my deepest condolence

  • @shaphaina9941
    @shaphaina9941 2 ปีที่แล้ว

    Daaahhhh subhana llah. Mambo tunayoyafanya hata ibilisi mwenyewe hakuwahi kuyafanya .na hukaa pembeni kuwaangalia maana ushetani wa binaadamu yeye hujifunza kutoka kwetu. Allah atukinge na vizazi vyetu

  • @neemamkemae2580
    @neemamkemae2580 2 ปีที่แล้ว +6

    Amekufa vbya sana dada wa watu , lkn kwnn huyo mama jmn🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 2 ปีที่แล้ว +4

    Shemeji..huyu ni shemeji yangu mke wa marehemu kakangu. Mtangazaji...mume wake yuko wapi? Hiihiii

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 2 ปีที่แล้ว +1

      Inashangaza kwakweli

  • @khadijaali4657
    @khadijaali4657 2 ปีที่แล้ว +1

    Innalillahi wainnalilehi rajiun Allah tujalie mwisho mwema yarabb 🤲🤲

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 2 ปีที่แล้ว +13

    Waganga kesho mna moto wenu mkubwa sana maana huyo mama lazima tu atakuwa kashapewa maneno yakupewa ili mwanawe apone lkn ndy Mungu kaandika kifo Astaghfilullah INNALILLAH WAINNAILAIHI RAJIUUN

  • @lindambilinyi6253
    @lindambilinyi6253 2 ปีที่แล้ว +16

    Nyakat za mwisho hiz jmn,Tumuombe Mungu sanaa atupe mwisho mwema😭😭😭😭

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 2 ปีที่แล้ว

      Kwa kwel😭😭😭😭😭😭😭🙏🏿🙏🏿🙏🏿🤝🤝

    • @sein.208
      @sein.208 2 ปีที่แล้ว

      Amiin amiin 🤲🏼😭

    • @aishadaba7045
      @aishadaba7045 2 ปีที่แล้ว

      Ameen 😭😭😭

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 2 ปีที่แล้ว

    Inalilah wanaileh rajuuni ewemwenyezi mungu tupe roho za imani yaarabi 🙏🙏🙏🙏

  • @mariamdimosso621
    @mariamdimosso621 2 ปีที่แล้ว +9

    Mtangazaji anaambiwa alikuwa mke wa marehemu kaka yangu anauliza huyo kaka yako yupo wapi kha

    • @mamachris6811
      @mamachris6811 2 ปีที่แล้ว +3

      Hatari,ni kuchanganyikiwa
      Mambo mazito sana 😭😭

    • @zuwenaalamin8985
      @zuwenaalamin8985 2 ปีที่แล้ว +2

      Mwenye we nimeshamgaa

    • @rukkynassor2279
      @rukkynassor2279 2 ปีที่แล้ว

      Marehemu pia atafutwa.hhh.aonekana auliza swali alafu akili yake haiko hapo

    • @amour5535
      @amour5535 2 ปีที่แล้ว

      Alivulugwa damu aliyoiona aiseee hatar

    • @joyce55727
      @joyce55727 2 ปีที่แล้ว

      Jaman ni kuchanganyikiwa tu mim naangalia hii habar kwenye sim lkn mwil unanisisimka sembuse yeye mtangazaji ameona adi damu

  • @hadijamshimbula7616
    @hadijamshimbula7616 2 ปีที่แล้ว +4

    MUNGU MUNGU MUNGU 😭😭😭😭😭😭😭😭😭 👏👏👏👏👏

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 2 ปีที่แล้ว +4

    Imagine mzazi anafany hivi eee Mungu tuhurumie waja wako hii Dunia inaelekea wapi jamn

  • @sleeprelaxation8431
    @sleeprelaxation8431 2 ปีที่แล้ว +2

    ni mke wa marehemu kaka yangu , mtangazaji: kaka yako yuko wapi?

  • @PatrickDavid-l3p
    @PatrickDavid-l3p 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu wang naogopa hii dunia jaman unaua kama kuku nyiny wauwaj muache jaman kwamungu munajibu nn😢

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 ปีที่แล้ว +1

    Subuhanallah mtihani wameshilikiana familia jamani mtihani haobwanaimani ya kishilikina na rohombaya wawauwehukohiko nawao

  • @sein.208
    @sein.208 2 ปีที่แล้ว +1

    Innah LILLAH Wainnah iley Rajioon
    Subhana Allah majanga kila kukicha 😭💔 Yaa Rabb tunusuru waja wako🤲🏼

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu anajua zaidi

  • @fahauesau3667
    @fahauesau3667 2 ปีที่แล้ว

    Mungu atusaidie

  • @eashaeasha9776
    @eashaeasha9776 2 ปีที่แล้ว +3

    Nimepata uchungu mbaka nimeshindwa Kula yaani navuta mawazo kama ndio ndugu yangu daah jamani Tanzania yetu kwani CK izi ina nn mbona matukio ya ajabu ajabu??

  • @neemamkemae2580
    @neemamkemae2580 2 ปีที่แล้ว +3

    Pumbvu moyo unaniuma mimi wallah 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @smaihsmaih2815
    @smaihsmaih2815 2 ปีที่แล้ว +2

    INNA LILLAH WA INNA ILAYH RAAJIUN MOLA WANGU TULINDE

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 2 ปีที่แล้ว +5

    Shetani siku hizi anajifunza mbinu kutoka kwa binaadam 😢😢😢

    • @salehjuma6710
      @salehjuma6710 2 ปีที่แล้ว

      Sisi awa bin adamu ndio ndani yetuu kuna shetani na miwili yetuu iyi kuna mungu

  • @MdNasr-jm8pj
    @MdNasr-jm8pj ปีที่แล้ว

    Aoo binaadam au majini mnampiga mwenzenu km ivyo jmn tumuogpe Mungu khaa😭😭

  • @neema_mollel
    @neema_mollel 2 ปีที่แล้ว +1

    Eee mfalme ,Mungu uishie milele 😭😭😭viumbe ulowaumba wamefikia hapa😭😭tuseme nini Sasa 😭😭😭💔

  • @bbccaa4156
    @bbccaa4156 2 ปีที่แล้ว

    Jinamizi la waganga utakuta weshampiga hela nyingi huyo mama then wamempumbaza amuue mwanae ili akikamatwa wanakua wamepoteza ushahidi wao wanasepa inauma sanaaa

  • @rahimaaaaa5682
    @rahimaaaaa5682 2 ปีที่แล้ว

    Duh sijui niseme nini🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️

  • @aminaabdalla9949
    @aminaabdalla9949 2 ปีที่แล้ว

    Subuhanallah Allah bora ungetoa hukumu duniani kesho wakienda wakaongezwe huko kwamauwaji hayo😭😭😭😭😭😭😭😭nimelia km namjua

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 2 ปีที่แล้ว

    inna lillahi wa inna ilaihi rajiun dah mama unauwa mwanao vibaya sana mungu atakuuliza kwa hilo kaa ukijuwa mungu ailaze roho pema peponi

  • @Chekibob
    @Chekibob 2 ปีที่แล้ว

    Ndio maana mama Samia kaambiwa tushirikishe viongozi wa dini kule Marekani🙆‍♂️ Wachawi tu, na kwa nn sheria ya kufunga mlango hadi saa 12🙄 Uchawi tu pumbavu

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu wangu, nashindwa kusema, ni nini? Kafanyaje?

  • @habibasungur9375
    @habibasungur9375 ปีที่แล้ว

    Innalilahi wainailahi rajiun poleni ila hapo kunahitaji dua kwakweli sio bule na sio akili yake huyo mama hizo ni husda za waja tuu maana sikuizi watu tumekua mashetani kabisa unaweza kuvurugwa akili ukamchukia mwanao ambae anakujali anakusaidia kwakila jambo jamani pole mama na mungu ampe kauli thabiti marehemu

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu wangu jamani.

  • @fatmaalwiy7651
    @fatmaalwiy7651 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwakweli dada wewe unakaa ndani na umesikia wanasema uwauwa wewe ilikua huna sim yakupigia hata jamaa yko hakuna wakumwambia hilo haliwezekani ukae ndani usisikie purukushani yeyote lazima kelele hapana

  • @nuruddin5074
    @nuruddin5074 2 ปีที่แล้ว

    INNA LILAH WAINA ILAIH RAJIUN ALLAH AMJAALIE KATIKA WAJA WA PEPONI INSHALLAH

  • @jacquilinenoah949
    @jacquilinenoah949 2 ปีที่แล้ว +4

    me kwakwel namuachia mungu maana hata cha kuongea cna...mama unaua mwanao,bado na panya rody watuue duh😭😭😭

    • @GMD820
      @GMD820 2 ปีที่แล้ว

      Acha tu jmniii

  • @estherkimario7940
    @estherkimario7940 2 ปีที่แล้ว +2

    Mke wa marehemu kaka angu na kaka yako nae yuko wap hao ndo waandishi wetu

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 2 ปีที่แล้ว

    Imani zakishikina zimetawala nyoyo zawaja

  • @ashireydaimu3148
    @ashireydaimu3148 2 ปีที่แล้ว

    Duuh mungu amlaze mahari pema peponi Amina

  • @AshuraIsa
    @AshuraIsa 8 หลายเดือนก่อน

    Binadam jamani tuko kama nyoka kunabinadam wanaroho mbaya sana sasa situwe tu nyoka binadam nyie kama aliwakosea siangefukizwa tu kwambinde daaah mama uliezaa Kwa uchungu unauwa mwanao hatakana alikua Hana mume aiseeee nimechoka sana

  • @najuf8021
    @najuf8021 2 ปีที่แล้ว +2

    😭😭ushirikina mama muuwaji nakujifanya mshika dini afungwe asije kujifanya akili pungufu alikusudia

  • @khadijachacha3156
    @khadijachacha3156 4 หลายเดือนก่อน

    Jaman tunaelekea wapi naona kila kukicha ni matukio ya kutisha tuu

  • @kimcash3079
    @kimcash3079 2 ปีที่แล้ว +3

    Mwisho wa siku wanafutiwa kesi 😭 rest in peace

  • @neemamkemae2580
    @neemamkemae2580 2 ปีที่แล้ว +1

    Hiiii kiboko khaaaaaaaaa, anhaaaa jamani kweri 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 daaaaaaaah yn km movie vile 🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹

  • @annamadadi8583
    @annamadadi8583 2 ปีที่แล้ว

    Inauma sana jamani kama sisi tunaomjua huyo mama na wanae na huyo alieuwawa na upole wake Sada Sada pumzika kwa amani japo umeenda kwa maumivu makali sana nashindwa niandike nini mtoto analia mama kafa bibi kamuua wanawake wenzangu mnajua uchungu unavyouma ina huyu mama hapana alichofanya sio kwa ukatili huo .

  • @Legends_Interviews
    @Legends_Interviews 2 ปีที่แล้ว

    Mtihani

  • @adilzakir8536
    @adilzakir8536 2 ปีที่แล้ว +1

    Waandishi wetu sijui shida ipo wapi, yaani unaambiwa mke wa marehemu kaka yangu alafu unauliza kaka yako yupo wapi

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 2 ปีที่แล้ว +3

    Rest in peace Sada 💔😭😭😭

  • @aash4145
    @aash4145 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu wanguuuuuu

  • @fatmabhai2812
    @fatmabhai2812 2 ปีที่แล้ว +2

    Inna lilahi wainna ilayhi rajiuun ...Subhana llah. Astaghafuru llah, allahu Akbar, Laila hailallah. Kila nikitafuta neno la kusema nashindwa mie jamaniiiiiiiiii😭😭😭😭😭😭😭😭😭🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sasa dada Emelda ushaambiwa huyu ni mke wamarehemu kaka ang .. alafu unauliza uyo kaka ako yuko wp? Jamani !

    • @stellajohn5647
      @stellajohn5647 2 ปีที่แล้ว

      Atakuwa alichanganyikiwa,Ili tukio linachanganya sana Kwa kweli

    • @suzansuzanei1143
      @suzansuzanei1143 2 ปีที่แล้ว

      😄😄

  • @agnesslyatuu8026
    @agnesslyatuu8026 2 ปีที่แล้ว +3

    Maskini hizi ni imani za kichawii Mungu tuhurumie

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 2 ปีที่แล้ว +1

    Mhhh😭😭😭😭Mungu ampumzishe kwa amani

  • @NdabinengesereNadine
    @NdabinengesereNadine ปีที่แล้ว

    Kiukweli Tanzania hamna uoga wa kuuwa mtu ,yani kunabaadhi yawatu hawana hofu ya Mungu

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 2 ปีที่แล้ว

    Mungu wangu jaman 😭😭😭😭😭😭😭😭💔💔

  • @beatricechami1404
    @beatricechami1404 2 ปีที่แล้ว

    Mwenyenzi mungu tuepushie na hili

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 2 ปีที่แล้ว +3

    Mtangazaji kitaaluma ni haipendezi kuuliza kwa undani mauwaji Ya hatari na yakikatili kama haya. Kwa mfano
    Alichinjwa je?
    Alipondwa ? Haswa kwa mtoto inatiya uchungu zaidi na huzuni.

    • @amour5535
      @amour5535 2 ปีที่แล้ว

      Bora umeemuelewa vzr

  • @SamsungA-sq9pi
    @SamsungA-sq9pi 2 ปีที่แล้ว +1

    Innalillah wainna ilayh rajiun, Ushirikina hauna mwisho mwema

  • @nuubaby
    @nuubaby 2 ปีที่แล้ว +1

    Eh mola jamani, sijui tunaelekea wapi😭 wanadamu tumekuwa kama mashetani, kwanini jamani😭

  • @ummohammed8380
    @ummohammed8380 2 ปีที่แล้ว

    Lahaulawala kuwata ila bi allah
    Subhana allah
    Inasikitisha Sana

  • @kautharkibibi161
    @kautharkibibi161 2 ปีที่แล้ว

    Kwa kweli binadam tumekosa utu Ee Mungu tupe mioyo ya huruma viumbe vyako ni shetani gani huyo

  • @azizamohamed7692
    @azizamohamed7692 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu wangu Dunia imeisha jamani

  • @ameenaameena1224
    @ameenaameena1224 2 ปีที่แล้ว

    Mungu tufanyie wepes

  • @rahmajaffar794
    @rahmajaffar794 2 ปีที่แล้ว

    Mbona mnasema mama ake ndie aliemuuwa wakati hakuna alieshuhudia? Bora tungoje taarifa kutoka polisi ila kwa mtazamo wa awali sidhani kama.mama anaweza kumuuwa mwanawe, kwa nini asimuuwe siku zote aje amuuwe leo hii? Labda iwe mgonjwa wa akili? Tungoje maelezo baada ya uchunguzi kujuwa nani hasa muuaji?

  • @angiringalyimo365
    @angiringalyimo365 2 ปีที่แล้ว

    Shetani hana huruma! bila Yesu, Shetani atatuangiza kabisa!

  • @hanifaomar7438
    @hanifaomar7438 2 ปีที่แล้ว +1

    Hali imekuwa mbaya Sana mnauwa mtu kama umnauwa nyoka dunia inatisha Sana tutakimbiana kabisa

  • @edinabenedictorlukonjebene9335
    @edinabenedictorlukonjebene9335 2 ปีที่แล้ว

    jaman inasikitisha

  • @fatmaalwiy7651
    @fatmaalwiy7651 2 ปีที่แล้ว +1

    Wamemua kikatili sana hawa roho zao zilikuaje huu mtihani tena mama mzazi badae museme akili hamna

  • @zayanazayana5353
    @zayanazayana5353 2 ปีที่แล้ว

    Haipiti cku hujaskia Mauaji cjui Tz inaelekea Wp Uadui mwingi kuliko Maendeleo

  • @rendozrendo7804
    @rendozrendo7804 2 ปีที่แล้ว

    Poleni sana

  • @monicasimpilu6257
    @monicasimpilu6257 2 ปีที่แล้ว

    Mweeeh Mungu tusaidie waja wako. Huu ni mwisho wa Dunia nn?? Kwa kwelii Dunia haina huruma

  • @zakhiamsuya4922
    @zakhiamsuya4922 2 ปีที่แล้ว +1

    Dunia imefika mwisho ivii mnafikiri hii n kawaida

    • @GMD820
      @GMD820 2 ปีที่แล้ว

      Hapana ndugu nakubaliana na wewe

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 2 ปีที่แล้ว

    SASA KWANN WAKAE NDANI BILA KUKAMATWA?HUYO ATAKUWA ALIMWUA NA MAMA YAKE. MJINGA SANA HUYO MAMA.

  • @eashaeasha9776
    @eashaeasha9776 2 ปีที่แล้ว

    Hapa mama mzazi hajamuua ebu sikilizeni maongezi ya huyu moangazi kua marehem alikua na mapepo mala kichwa hapo kuna kitu ketokea kama pepo zimewaingia hao watu kumuua marehem hisia zangu naona ivi dah Jamani hata kama mama yake amuue mwanae amponde ponde mmh

  • @habibasungur9375
    @habibasungur9375 ปีที่แล้ว

    Dada uliosema hiamini imani zao unakosea eti wewe ni mkristo unamuamini mungu kwani wengine wanamuamini nani?

  • @bitecastory2137
    @bitecastory2137 2 ปีที่แล้ว

    Duuuuu aise Dunia hii ni shida

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 2 ปีที่แล้ว

    Hii

  • @edinakyaruzi9226
    @edinakyaruzi9226 2 ปีที่แล้ว

    Tz 🙌 nishida

  • @upendolema9809
    @upendolema9809 2 ปีที่แล้ว

    Mmmmmh😭😭😭😭😭

  • @najuf8021
    @najuf8021 2 ปีที่แล้ว

    Tatizo majiran nje ya camera wanaongea kwamba huyo binti alikua anapandisha mashetani anamwambia kakaake huyo alie jeruhiwa kua aondoke au ahame kabisa Kuna mipango inaendelea yakutaka auwawe nahata hiyo siku alio uwawa alipandisha nashetan akamwambia kakaake ondoka Leo unauwawa ndio naona wakaona wamuue yeye dah 😥

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 2 ปีที่แล้ว

    Yesu wangu dah amekufa kifaa cha mateso mno why why hata kama alikuwa ni mkorofi dah

  • @aishatarimotarimo2689
    @aishatarimotarimo2689 2 ปีที่แล้ว +1

    Omg😭😭😭😭 Innalillah waina ilillah rajeun

  • @happyseleman8774
    @happyseleman8774 2 ปีที่แล้ว

    Jamn

  • @annadaniel7773
    @annadaniel7773 2 ปีที่แล้ว +1

    😳😳Mungu wangu uwiiiii tunaenda wapi

    • @GMD820
      @GMD820 2 ปีที่แล้ว

      Jamani😭jamani watanzania wenzangu tumepatwa na nini 😭Mimi machozi yameniishia jmn nisaidie I kulia😭😭😭

  • @safiayussuf9308
    @safiayussuf9308 2 ปีที่แล้ว

    Loooo hasbwah wanemaliwakili. Unamuwa mtt wako. Km hivyo 😭😭😭

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 2 ปีที่แล้ว

    Subuhanallah jamani mbona kila kukicha majanga yanazidi

  • @fatmaahamadabass8080
    @fatmaahamadabass8080 2 ปีที่แล้ว

    Eeee Dunia simama nishuke .

  • @zuwenaalamin8985
    @zuwenaalamin8985 2 ปีที่แล้ว +1

    😭😭😭

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 2 ปีที่แล้ว

    Jamani kila nikiaa naona kama siamini vile auuu ni mambo yakishirikina wamempeleka mwezao na maumivu makali kiyasi hicho

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 2 ปีที่แล้ว

    Nyiee hii dunia imefika mwishooo😭😭😭

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 2 ปีที่แล้ว

    WEWE MAMA HUNA AKILI KWA KUMUUWA MTOT WAKO. NAOMBA SERIKALI IWAKAMATE WANYONGWE

  • @vivianvivian8585
    @vivianvivian8585 2 ปีที่แล้ว

    Huu ni unyama jaman😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @hajisaburi5277
    @hajisaburi5277 7 หลายเดือนก่อน

    Me

  • @mossesmgendela1826
    @mossesmgendela1826 2 ปีที่แล้ว

    🥲🥲🥲🥲🥲 mama anajua kila kitu polic wafanye kaz yao

  • @tanzaniaoman6423
    @tanzaniaoman6423 2 ปีที่แล้ว

    Mmmh kuna sitomfahamu hapo

  • @aisha.abdallah.3979
    @aisha.abdallah.3979 2 ปีที่แล้ว

    Subhanallah.