Rahma hayo ndiyo maisha yamejaa misukosuko, ila ndiyo mitihani yake Allah kwako, muhimu sasa uko nyumbani Alhamdulilahi Rabila3laamiin, Allah atakufungulia milango mengine yenye kheir kwlako.❤
Mm mwaka wa tano nyumba moja nashukuru Mungu Familia Ina watu wazuri Nimekaa miaka Minne nikarudi tz nikaenda tafuta kibali taesa na mkataba wangu nikawambia wanitumie alhamdulillah saiv nina mwaka tangia nimerudi Mkataba wangu ninao na kibali changu ninacho
Hata mie alhamdulilah yaan kama familia na Kila kitu changu nawashirikisha na wananisaidia wallah alhamdulilah namshukur Allah ila changamoto zipo Kwa baadhi
Pole sana Ila kila kitu hakim ni allah pekee Mzulumiwa halali 😢😢😢😢😢nasisitiza tu serekali iingilie kati safari za nchi za kiarabu tusafiri kihalali na tujulikane kwa nchi yetu 😢😢😢😢
Halafu kuna mijitu mijinga inatetea ambayo ipo ukuuko nchi za watu na mijinga mingine Inapanga kwenda ukouko na stoli wana zote😂😂ukiwauliza ugumu wa maisha😅 pole Rahma mashallah mzuri sana
Sio wote. Iraq ni wabaya jamaniii ni baaziii tu na nikuombaaa mungu upateee sehemu nzuriii mm Iraq nipo naishiii vizuriii tu namshukuru mungu kwakweliii anyway Polee dada hukubahatikaaa tu 🙏🙏🙏
Watz hamueleweki kutwa mnalalamika maisha magumu mpk rais wenu hamumtaki ..😂😂hamueleweki ..maisha popote ana weee acha chuki zako na waarabu...apo kwenu tz si juzi tu mmemlawiti ndugu yenu wa kike??wanaume 5 je si unyanyasaji huo??? Kuna watz saivi wanatwekwa je wanatekwa na waarabu?wangapi kipindi hiki washauliwa na watz wenzao?acha chuki na waarabu.@@AholeLifilima
Pole Dada na hongera sana lkn niwaombe waandishi wetu jmn kiswahili kinapprea ukisema rahma ALIYEKWAMA.wkt mko pamoja naye.ndhani ALIYE kuwa amekwama.. maana mmempata.
Pole sana mpendwa kwa changamoto. Mohammed ni mshenzi sana Mimi alitaka kunilia pesa zangu Maboss zangu walimwashia moto wakanitafutia wakili akaitiwa police mpk sasa ananiogopa km ukoma
Salaam! Ubaya hauna kwao wala dini. Hapa hapa Kuna wenye roho za kikatili tunasikia kila uchao kwenye vyombo vya habari. sisi tunaona ya wenzetu, Wengine hata comment zetu ni za kikatili, mmmmnh, Mungu Muweza mizani yake haipunji, tujitathmini. Pole ni mdogo Allah akufariji In Sha Allah.
Acha udini wewe ..waliomlawiti mtt wa kike hapo tanzania ni kina nani tena watu watano...iraqi kuna waislamu na wakristo kibao acha udini kuwa na imani hata kidogo
Jamani kumbe utumwa bado upo,nimedikitika sana kuona watu bado wananunuliwa na wanajikubali kabisa kwamba wao wananunuliwa wanapokwenda huko uarabuni,jamani hii ni huzuni mnoo kuona bado tuko utumwani😢😢😢😢
Ajent matata marangi wetu asante sana kwa kutujali wafanyakaz upo tz lkn unapambana mpk uhakikishe mfanyakaz anaishi vzr asante sana matata mungu akuzidishie umr mref
Uyu dada angekimbilia police angepata msaada kitambo sana mi nilipata changamoto Bagdad nilifungiwa ofisini cku saba cku amekuja kufungua ofisi yake nikasema naumwa nataka pedi akajiroga kumwambia mtu anipeleke fanasi kachoropoka bleki ya kwanza polisi 😢😢😢 nikashusha kilio polisi mpaka nikasafilishwa ila nilipitia magumu sana nikaondoka bila nguo niliacha kila kitu😢😢😢 nikasema mungu nisaidie nifike kwetu
Mm naombi kwa sere kali yetu ilivalie njuga hili la wadada Kuja huku kutafuta kama ni Kuja kikazi tujulikane kwa serekal Maajenti wa uchochoroni mdili nao ili kuzibiti haya ma tatizo maana wasipofatiliwa watu watakuja tu katafuta kulingana na ajira ni ngum tz
Iraq ni ichi mbaya sana yani ukisikia ndugu yako anakuambia anaenda iraq mzuie asiende na ukipata tatzo ukiludishwa ofisini unapigwa vibaya sana ni wanaroho mbaya sana
Daaaahhh kuna wa2 wanapitia magumu alafu kuna wa2 unakuta unawatumiya pesa wanakula bila wasiwasi eeeeeee mungu wasimamiye wapambaji wote wanaojaribu kujitafutia ridhiki za kheri 😢😢😢
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ0bE75nzavlm
Mzee Suleiman Mungu akuxidishie umri Amina,❤❤
Hasbiyallahu wa neema alwakil
Rahma hayo ndiyo maisha yamejaa misukosuko, ila ndiyo mitihani yake Allah kwako, muhimu sasa uko nyumbani Alhamdulilahi Rabila3laamiin, Allah atakufungulia milango mengine yenye kheir kwlako.❤
Pole sana Rahma kwa uliyopitiana Mungu atawalipa kheri Da Zari na Baba etu Suleeman Nungu atakulipa ulipotoa na akujalie maisha marefu
Shukran mzee wetu swelemani M.mungu akubariki kwa kujitolea kuwa saidia watoto wetu wanao dhalilishwa nchi za nje
53:36 53:38 😅😅 53:41 53:59 53:59 54:00 54:00 54:00 54:00 54:00 😮 1:01:00 wewe r4r to the first page and 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Pole sana Rahma Mungu akufanyie wepesi kwenye matibabu yako 🙏🙏😍
Mm mwaka wa tano nyumba moja nashukuru Mungu Familia Ina watu wazuri
Nimekaa miaka Minne nikarudi tz nikaenda tafuta kibali taesa na mkataba wangu nikawambia wanitumie alhamdulillah saiv nina mwaka tangia nimerudi
Mkataba wangu ninao na kibali changu ninacho
Hata mie alhamdulilah yaan kama familia na Kila kitu changu nawashirikisha na wananisaidia wallah alhamdulilah namshukur Allah ila changamoto zipo Kwa baadhi
Ukichoka kufanya hapo niunganishe dada
@@hamidahnassoro-12 in sha Allah mwakani
@@rayaali9729 hauna ndugu wa mabos wako uniunganishe dada
Pole sana. Rahma munguatakujalia❤❤❤
Pole sana mdogo wangu 😢😢😢kweli imeniuma mnonoo
Pole sana rahma muhim umerudi Salam na maajent acheni usenge mm pia nilipata changamoto kisa Hawa maajent waseng waseng pumbavu zenu kabisa.....
Pole sana mpambanaji mwezetu yani hizi kazi mungu atusimamie
Pole dada 😢😢
Lahama pole mwangu utapona towanamba
Zee suleiman mungu akuweke😊
Pole sana Ila kila kitu hakim ni allah pekee
Mzulumiwa halali 😢😢😢😢😢nasisitiza tu serekali iingilie kati safari za nchi za kiarabu tusafiri kihalali na tujulikane kwa nchi yetu 😢😢😢😢
Serikali iangalie sana hizi airport zetu inaonekana Kuna mambo yanafanyika kinyume na sheria
Sanaaaa
sana
Wanapenda rushwa mno ata kama unavibali vyote vimekamila Ila utaskia jiongeze
Tunavumilia San ila shida ni zinatuleta uku tuna vyet ajira hatuna tufanyajee sasa😢😢😢😢
Umasikini unatudhalilisha sana jaman Allah atufanyie wepes kwenye kutafuta kwetu tunapitia mazito binafamu
Halafu kuna mijitu mijinga inatetea ambayo ipo ukuuko nchi za watu na mijinga mingine Inapanga kwenda ukouko na stoli wana zote😂😂ukiwauliza ugumu wa maisha😅 pole Rahma mashallah mzuri sana
Kutafuta kungumu hat kutok a mkoani kuja dar mtihan 😢
Sio wot wanapata matatizo
@@AholeLifilima ndugu yangu yaan hatukubal mpaka yakitufika hahahaha
Kikubwa kufata taratibu zote zinazotakiwa hakikisha ukuja uku uku na mkataba
Sio wote. Iraq ni wabaya jamaniii ni baaziii tu na nikuombaaa mungu upateee sehemu nzuriii mm Iraq nipo naishiii vizuriii tu namshukuru mungu kwakweliii anyway Polee dada hukubahatikaaa tu 🙏🙏🙏
😂😂na ss tupo nyumbani Tanzania na tunaishi vizuri sana ila ipo siku utajua kwanini Mwarabu alitoka kwao akajaga kututawala Tz
@@AholeLifilima maisha ni popote dear kikubwaaa kumtangurizaaa mungu tu Kwan kuna Mtu anapendaaa kwendaaa mbaliiii na nyumbaniiii 🙏🙏
Watz hamueleweki kutwa mnalalamika maisha magumu mpk rais wenu hamumtaki ..😂😂hamueleweki ..maisha popote ana weee acha chuki zako na waarabu...apo kwenu tz si juzi tu mmemlawiti ndugu yenu wa kike??wanaume 5 je si unyanyasaji huo??? Kuna watz saivi wanatwekwa je wanatekwa na waarabu?wangapi kipindi hiki washauliwa na watz wenzao?acha chuki na waarabu.@@AholeLifilima
Subhana Allah pole sana Rahma umepitia magumu sana😭😭al muhimu umerudi nyumbani Alhamdulillah Allah akufanyie wepesi upone maradhi yako
Iraq hapana Kuna unyanyasaji sana
Wana nyanyaswa wengine mpaka kufa
@@oliviaseth4652 Aisee tatizo Iraq hakuna ubalozi wa Tz
Wanamsemo wao kutuita sisi wafrika kakarashi yaani " twanajeusi"
Yaan watu wasisubutu kwend sehem ambayo hakuna ubalozi@@AlHamra-k4u
@@HudhaimaJoseph Vp hii story nikweli au anatudanganya???
Kulea watu wazima tena wakubaa pamper ni mtihani sana 😢
Pole Dada na hongera sana lkn niwaombe waandishi wetu jmn kiswahili kinapprea ukisema rahma ALIYEKWAMA.wkt mko pamoja naye.ndhani ALIYE kuwa amekwama.. maana mmempata.
Naitwa zainabu uyo baba mungu amzidishie
Pole sana
Pole sana mdogo wetu mola atakusaidia inshallaah.
Pole sana rahma allah akupesubra kwa hilo
Pole sana kweli akuna watu wanadhulumu watu kama hawa warabu 😢
Sio wote hata tz wanadhulumu na kunyanyasa sana wafanyakazi
Pole sana mdogo wangu mwenyezi mungu akufanyie wepesi upone,,,,, shida Iraq hakuna ubarozi kwahiyo ukipata tatizo nivigum kusaidiwa
Pole sana dada... Hongera @zalimapito hongera sana @globaltvonline
Tulopitia mapito tuka saidiwa na selemani tunaelewa sana baba ana moyo wake uyu mungu amuweke
Nch pekee ambayo naikubal inauafadhali sn ni oman t hizi nyingn sin Imani nazo kabisa mim nitang'ang'ana hpa hpa oman Alhamdullah
Yani bora oman
Umeona ee
Kabisa
Pole sana dada
pole sana 😢😢😢😢
pole sana rahma mwenyezi mungu akipe subra
Pole.😭😭
jamani pole sana😭😭😭😭
Pole san ndugu
Pole sana nduguyangu hakiyako utazikuta kwa allah
Pole sana mpendwa kwa changamoto. Mohammed ni mshenzi sana Mimi alitaka kunilia pesa zangu Maboss zangu walimwashia moto wakanitafutia wakili akaitiwa police mpk sasa ananiogopa km ukoma
ManshaAllah
Hongeraa da Zar hongeraa baba seleman mungu awatunze wote Ili mtusaidie sisi tulio ughaibun
Pole sana kipenzi kwa mitihani
Allah akulipe
Duuh pole sana mimi jamani bora nipambane hapahapa Tanzania 🇹🇿 kuliko huko nchi za kiarabu nichangamoto wallah pole sana 😢😢😢
Pole maskini😢😢😢 umeteseka sana
Matata ni mtu mmoja mzuri sana kwakweli so ni agent anaejali watu wake kiukweli big up matata mungu akuweke kaka yetu unaupendo sana
Matata wa posta
Anatumia jina gani katika mitandao ya kijamii huyu ajenti au mawasiliano yake
Mmmhh matata ninaye mjua mim wa posta au mwingine
Nisaidie namba ya huyo matata dada @@ShamiAl-ww6gp
@@ShamiAl-ww6gp Ndio Matata wa post Ndio
Rahma anaonyesh mpole sana asee pole san bint😢😢😢
Mashallah pole sana mamy alhamdulillah Asante sana dada zai❤❤
Pole sana rahama
Dada pole, daaaa!!!! Kweli kuna watu zaidi ya mashetani. Lakini siku ya mwisho mbele ya mungu watakulipa.💔
Subuhanallah..pole jamani.tujifunze tukipokea mishahara yetu .tutume yote tubaki na risiti tu wakitaka kutua watuuwe tu😢😢😢😢
Kwel 😂😂😂😂😂😂😂
Pole😭😭
Alhamdulillah
Yarabi tunapitia magumu ktk kutafuta 😭😭pole Rahman!
Jasbiyallahu waneemal wakeel pole dada
Subhana Allah
Pole sana mdg kwakweli mngu a2linde
Utafutaji huu shida sana😢😢😢
Pole sana pole sana😢😢😢 Allah atufaye wepec nataenda kukulipiaa kwenye yote hao ulio yapitia😢
Marry umesharud bongo hongera 😅 tulihaso wote ubalozin
Pole dadangu Allah atalipa
Hao ndiyo waislamu munajivunia wa Roho mbaya
Salaam! Ubaya hauna kwao wala dini. Hapa hapa Kuna wenye roho za kikatili tunasikia kila uchao kwenye vyombo vya habari. sisi tunaona ya wenzetu, Wengine hata comment zetu ni za kikatili, mmmmnh, Mungu Muweza mizani yake haipunji, tujitathmini. Pole ni mdogo Allah akufariji In Sha Allah.
Acha udini wewe ..waliomlawiti mtt wa kike hapo tanzania ni kina nani tena watu watano...iraqi kuna waislamu na wakristo kibao acha udini kuwa na imani hata kidogo
Pole sana rahm
Pole dada sarima naomba unisaidie namba za seremani niko omani
Mimi ni mwasilika mkubwa wa hilo tatizo naomba namba ya hupo ya sim
Jamani kumbe utumwa bado upo,nimedikitika sana kuona watu bado wananunuliwa na wanajikubali kabisa kwamba wao wananunuliwa wanapokwenda huko uarabuni,jamani hii ni huzuni mnoo kuona bado tuko utumwani😢😢😢😢
😭😭😭😭
Pole sana kipenzi😭😭😭😭
Ila iraQ wanaroho mbaya sana sijui umasikini unachangia
😢😢😢😢😢😢
Pole sana dada nimeliaa 😪😪😪
Pole rahma usikate tamaa
Pole sana habinty 😢
Pole ndugu yangu ndio changamoto zakutafuta
Allah atusalimu Salama InshaaAllah 🤲
Ameen
Ajent matata marangi wetu asante sana kwa kutujali wafanyakaz upo tz lkn unapambana mpk uhakikishe mfanyakaz anaishi vzr asante sana matata mungu akuzidishie umr mref
Anapatikana kwa jina gani mtandaoni eti au mawasiliano yake
Tusaidieni namba uyo matata wapendwa
Kumbe bdo wat mnauzwa lol i can't imagine guys duuh let me hustle in my country 😢😢😢
Kutafuta Kuna ugumu sana halafu ukipata pesa Kuna mtu unamtumia akujengee yy anatafuna...mara unaua
Usinikumbushe yaan change moto sana
Yan familia zingine hawana uruma
😢😢😢😢
Mm ndo maana huwa nawazibua makofi harafu nasepa zangu
Mimi miaka miwili hela yangu iko kiunoni na hapa nimebakiza miez miwili wananibembeleza hatari
Uyu dada angekimbilia police angepata msaada kitambo sana mi nilipata changamoto Bagdad nilifungiwa ofisini cku saba cku amekuja kufungua ofisi yake nikasema naumwa nataka pedi akajiroga kumwambia mtu anipeleke fanasi kachoropoka bleki ya kwanza polisi 😢😢😢 nikashusha kilio polisi mpaka nikasafilishwa ila nilipitia magumu sana nikaondoka bila nguo niliacha kila kitu😢😢😢 nikasema mungu nisaidie nifike kwetu
Hivi huwa ni kweli 😢
😭😭😭pole dada lahma muachie mungu
Hiyo ofisi uliyo fikia ni nzuli mpk cm uliachiwa ,mm na mwenzangu tulifika tu na kupokonywa Iraq sina hamu
Uzuri wa iraq police wanajari kiasi chake jaman nilisaidiwa na police maana mi tulipigana mpaka kukatana na visu police wakanisaidi wallah 😢😢
BOLA KUFUNGWE TUJUWE 🇴🇲 OMANI HAKUNA UBALOZI WA TANZANIA UPUUUZITY
Mm naombi kwa sere kali yetu ilivalie njuga hili la wadada Kuja huku kutafuta kama ni Kuja kikazi tujulikane kwa serekal
Maajenti wa uchochoroni mdili nao ili kuzibiti haya ma tatizo maana wasipofatiliwa watu watakuja tu katafuta kulingana na ajira ni ngum tz
Pole dada ila unamoyo sana mi nisinge kubali kurud tena
Iraq ni ichi mbaya sana yani ukisikia ndugu yako anakuambia anaenda iraq mzuie asiende na ukipata tatzo ukiludishwa ofisini unapigwa vibaya sana ni wanaroho mbaya sana
😢😢😢wa Allah inasikitisha😭😭
Raham pole sana kikubwa ushafk 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Daaaahhh kuna wa2 wanapitia magumu alafu kuna wa2 unakuta unawatumiya pesa wanakula bila wasiwasi eeeeeee mungu wasimamiye wapambaji wote wanaojaribu kujitafutia ridhiki za kheri 😢😢😢
Mm nipo oman mkataba wana chukuwa mabosi
Baba Suleiman Allah akuinuie zaidi na zaidi Aamiyn ya'Rabby
Pole sana dadaa angu
47:56
Serikali yetu ya Tanzania na taEsa kwa ujumla tatizo lipo kwa magent na airport ya Tanzania kupita na mkataba hauna muhuli wa taesa
Salamu za pongezi
Pole sana shoga wangu 😢😢😢 kumbe ulipata matatzo
Ndo pakumchangia namba ndo izo zimetaja
Kwakweli watu wanapitia magum kisa maisha tu mungu atutie nguvu kwenye hizi inchi😮
Amen
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Nyie nipeni namba ya whatsApp nitoe siri za watu😂😂😂 Iraq uwiiiii mtihani wallah
Allah yupo wakati wote halali malipo ni hapa hapa duniani kwa yoyote alieshiriki kwa hali yoyote ile na vizazi vyao