KUJIUZA NI AJIRA NA UNAKATWA KODI NA SERIKALI | TUMEISHI MAHUSIANO YA MBALI MIAKA 3

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
  • Tatiana ameeleza namna mahusiano yake na boyfriend wake yalikua ya mbali kwa muda wa miaka mitatu.
    Walikua wakionana miezi mitatu mitatu, na sasa wanaishi Holland pamoja kwa Tatiana kupata partner visa ambayo inamruhusu kuishi hata kama hajafunga ndoa.
    Anaeleza namna biashara ya kujiuza nchini huko kua ni Kazi Kama Kazi zingine. Na watu waache kutumia mtandao wa kimahusiano vibaya kwa lengo la kujiuza Kwani ipo mitandao maalumu kwa Kazi hiyo.
    Thank you Tatiana for allowing this to be online
    www.Oda.international

ความคิดเห็น • 82

  • @aromaofzanzibar
    @aromaofzanzibar ปีที่แล้ว +3

    Tatiana ni mrembo sana...point sie wanawake tukumbuke kwamba mahusiano , ndoa vyote ni 50/50 usitegemee mwanamume tu pekeyake achikue majikumu yote peke yake it's a team work kwa yoyote yule mxungu , mswahili, mwarabu n.k

  • @johnriwa2854
    @johnriwa2854 5 หลายเดือนก่อน +1

    Very straight forward girl anajiamini and she is real nice one

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 ปีที่แล้ว +13

    Wabongo we have to change for sure. Mtu akipata inakua kama vile tuna roho mbaya. Hata ndugu zetu kabisa. Kwn mtu akipata ndio kugawa gawa tu hata kama ndio anazo . Maukoo ya kibongo utaweza kuhudumia na mtu usifanye mambo yako sasa . Jamani tuache hizo ni roho za shida

  • @atutweve4160
    @atutweve4160 8 หลายเดือนก่อน +2

    I love how positive she is about Europe~ Netherlands, yani ukiwa hivi lazima ufanikiwe greetings from Germany 🇩🇪

  • @marianyagake3956
    @marianyagake3956 ปีที่แล้ว +7

    KUNA MSEMO UNASEMWA HIVI.USIMUOMBE MPENZI WAKO PESA ILA MUOMBE MBINU ZA KUPATA PESA.

  • @Evakibira
    @Evakibira 8 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu msichana Ni mzuri sana.... God bless you guys

  • @happynescostat7420
    @happynescostat7420 ปีที่แล้ว +3

    Ongera Sana we dada.ongera mtangazaji kwa kipindi

  • @gracemahugi4380
    @gracemahugi4380 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nimekupenda mwanangu sana

  • @JazilaSiraja-st8cu
    @JazilaSiraja-st8cu 2 หลายเดือนก่อน

    Mm wanzungu nawapata lakn wabahili sana nifanyaje jaman wawe wanatoa sjawah omba hela ila mnafanyaje mpaka wanawapa

  • @reginamanyangu7258
    @reginamanyangu7258 10 หลายเดือนก่อน

    Asante Sana Tatiana chukua mauwa yako🎉🎉🎉🎉

  • @Lizzyktd
    @Lizzyktd 11 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa kweli dada

  • @babyboy6310
    @babyboy6310 2 หลายเดือนก่อน

    Dada Shena.. Natafuta huko kama Tatiana

  • @AliKhamisi-f4m
    @AliKhamisi-f4m ปีที่แล้ว +3

    Dada nakuomba siku fanya maisha ya nchi za kirabu wanakuja kufanya kazi nimeona wasema uongo tz

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  ปีที่แล้ว

      Kama unamjua mtu niambie nimtagute dear nitashukuru

    • @aminakassim831
      @aminakassim831 8 หลายเดือนก่อน

      Mimi nafanya kazi Oman ila naogopa sijawah kufanya interview

  • @StellaA-n4i
    @StellaA-n4i ปีที่แล้ว +5

    Kumbe wazungu ndivyo walivyo nilijua wakwangu tuu ila wanachosha sana

    • @MamaLio475
      @MamaLio475 ปีที่แล้ว

      @@Sabrina1977-y mbona umewachukia sana walikufanya Nini mwenzetu?

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  ปีที่แล้ว

      Kwani wazungu sio watu Kanina Margaret ? Manake hata jina umechukua jina lao

  • @irenembura8045
    @irenembura8045 ปีที่แล้ว +16

    Kuwa natural kuongea. Miaka3 tuu na lafudhi imebadilika!!! Jivunieni na lugha yenu.

    • @klaussteiner94
      @klaussteiner94 ปีที่แล้ว

      i😅

    • @alexharriskajjubi1914
      @alexharriskajjubi1914 ปีที่แล้ว

      Achaaaa uchochezi wewe 😂😂😂

    • @Thyme938
      @Thyme938 ปีที่แล้ว

      Mbona anaongea vzuri TU! Acha makasiriko

    • @Annie_944
      @Annie_944 ปีที่แล้ว

      Hahahaah yani kazi ipo..full kuchonga😂😂 na maneno yanamezwa

    • @IANA2030
      @IANA2030 11 หลายเดือนก่อน

      Fake women 😂😂😂😂

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 8 หลายเดือนก่อน +1

    Another Ceccy Lukamba

  • @edgarelikana7204
    @edgarelikana7204 ปีที่แล้ว +1

    😭😭😭 Dunia Hii M/Mungu Atunusuru, Mwanaume kubandika kucha 🤣

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 11 หลายเดือนก่อน

    Kumbe ni m'bena mwenzangu

  • @thequeenawifeofking8518
    @thequeenawifeofking8518 ปีที่แล้ว +2

    Sisi kwetu Oman 🇴🇲 hatuishi hv ukipenda kusaidia saidia tuu kwa kupenda kwako but wengine haturuhusiwi hata kufanya kazi m ume ndo anafanya kila kitu sisi tunafanya mambo mengine tuu na tuko piece kabisa kiroho safi

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  ปีที่แล้ว +1

      Natamani kujua hii experience na watu wengine wafahamu
      Naomba kufanya kipindi na wewe.. +4367764790884 whatsapp

    • @marthageorge5043
      @marthageorge5043 11 หลายเดือนก่อน

      Omani ni kweli kabisa

    • @Swaumdodoma
      @Swaumdodoma 11 หลายเดือนก่อน

      Uko sahihi Omani waweza kuta mwanamke ana madigree yake lakini kwasababu mume hataki afanye kazi mwanamke anakubali lakini kibongbongo siyo raising yaan ukute mwanamke amedoma kisha mume amkataze kufanya kazi yuko radhi kuacha ndoa na si kazi
      Ila ukifata missing ya dining pia mwanamke ili aruhusiwe kufanya kazi kuna kuna sheria zake ikiwemo mchanganyiko wa wanawake kwa wanaume

    • @aminakassim831
      @aminakassim831 8 หลายเดือนก่อน

      Mume analeta kila kitu ndani hata mimi niko oman nafanya kazi

  • @anisiamchembe6552
    @anisiamchembe6552 ปีที่แล้ว +4

    Huo ndo ulikua mtihani wako na ulishinda pongezi kwako

  • @KIMALEX255
    @KIMALEX255 ปีที่แล้ว +2

    Aaaaah kumbe mbena mwenzangu na hausemi😂😂😂 kiukwl nmefurah sana

  • @SheilaMaregesi
    @SheilaMaregesi 5 หลายเดือนก่อน

    Achana na kutoa misaada iliyopitiliza. Hiyo miradi ya Tz. Utaibiwa na nduguzo mpaka ujute. Kuwa makini.

  • @jareengeorge5478
    @jareengeorge5478 ปีที่แล้ว

    Jamani samahani unajiungaje nahuo mtandao Mimi sijui.naombeni mnielekeze nijiunge.

  • @zainabufeka87
    @zainabufeka87 5 หลายเดือนก่อน

    Mimi namkubali sana hana mashauzi

  • @nafuwswedi2465
    @nafuwswedi2465 ปีที่แล้ว +4

    Holland ni Kama Switzerland sheria zao kazi ya prostitute ni kazi iliyosajiliwa na wadada wanaifanya mchana kweupe na kazi inalipa pesa nyingi sana ,kuna wazungu kutoka Russia na Poland wanakuja hapa kwa msimu kufanya hii kazi

  • @vivianmshomi9975
    @vivianmshomi9975 5 หลายเดือนก่อน

    Kwa hiyo miaka michache kutamka tena maneno kama kiswahili imekuwa shida?
    Naongea kwa nia nzuri tu.

  • @savoirplus7410
    @savoirplus7410 11 หลายเดือนก่อน +1

  • @chavdagrande2379
    @chavdagrande2379 ปีที่แล้ว

    Msalimie nirafiki yangu sana uyo bebe

  • @annamfinanga3944
    @annamfinanga3944 10 หลายเดือนก่อน

    🎉i like her

  • @anisiamchembe6552
    @anisiamchembe6552 ปีที่แล้ว

    Aunt unatokea wapi tz?

  • @marianyagake3956
    @marianyagake3956 ปีที่แล้ว

    ASANTE

  • @benjaminibanigwa5361
    @benjaminibanigwa5361 ปีที่แล้ว

    Naomba kuukiza ni utarstibu gani kupata permanent resident ya uholanzi?

    • @kazigembeleke5958
      @kazigembeleke5958 7 หลายเดือนก่อน

      Mpaka utowe sababu fulani ya kutaka kubakia katika nchi husika na inabidi uwe tayari umeingia uwemo humo nchini

  • @IANA2030
    @IANA2030 11 หลายเดือนก่อน +1

    Upo familiar or familia😂😂😂 this is boring sorry I can’t even finish watching

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 11 หลายเดือนก่อน

    Hiyo ya wanawake kukaa kwenye vioo ,ulaya nafikiri ni Kila sehemu..hata ukienda Brussels unawakuta kibao.

  • @zulfamwakitosi5002
    @zulfamwakitosi5002 9 หลายเดือนก่อน

    Yan mtu akiwa nje tunajua siku zote Ana pesa tu

  • @graceyates3500
    @graceyates3500 9 หลายเดือนก่อน

    Jamani Jamani KISWAHILI kizurii mnoooo why , why , why whyyyyyyyy..??????!!!! Tuwe proud na Lugha yetu please. Nimeshindwa kuangalia mwanzo tuu! So disappointing. Afadhali basi Lugha hiyo mpya uwe fluent..!!

    • @linluxe101
      @linluxe101 8 หลายเดือนก่อน

      G, mtu kucode mix and switch sio kwamba hapendi Swahili no just mazoea

  • @aikandosa
    @aikandosa ปีที่แล้ว +2

    Siyo wako tu.. wazungu wote ni Kama watoto 🤣🤣🤣

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  ปีที่แล้ว +3

      Ila wewe dada unachuki
      Na huu ukurasa umekosea njia dada

    • @zainabkazige7388
      @zainabkazige7388 ปีที่แล้ว

      ​@@Sabrina1977-ysema itakuwa ulipata bahati mbaya ukampata mzungu shetani, pole mwaya, mbona sisi wengine tumepata wazuri tu na tunaishi!? Changamoto ni za kawaida ambazo kila ndoa zipo iwe na mzungu au mweusi...

    • @KIMALEX255
      @KIMALEX255 ปีที่แล้ว

      ​@@Sabrina1977-ysasa ulikuwa wapi kuanzisha ukurasa wako ushauri wengine hio uchawi sasa bora shena anasema na kajiongeza kwa mda mfupi aliokaa

    • @anastaziamathias8861
      @anastaziamathias8861 ปีที่แล้ว

      ​@@Sabrina1977-yKama ni mashetani na uko huko Kwa mashetani c urudi kwenu mbwinde Africa mpuuzi hata Mimi nipo Europe na nimeolewa miaka sasa na mume wangu ni mwanamume na nusu ananipenda na sidhani kama kuna upendo zaidi ya huu anaonipa ni rafiki kwangu ni mume ni mshauri kwangu sasa wewe sijui umeachika? Umebakiza makasiriko kwendraaaaaaa! We ulikutana na mvuta bangi ujaona wote wako kama WA kwako

    • @philemonmagesa5548
      @philemonmagesa5548 ปีที่แล้ว +1

      ​@@OfficialDatingAssistanceusiwe unawajibu wanaochukia ukurasa wako ukiona mtu anachukia ukurasa wako ndivyo anavyouelewa maana anakufatilia Sana kwahyo kubaliana na kila kitu.

  • @user-qs8pd7xm9j
    @user-qs8pd7xm9j ปีที่แล้ว +2

    Shena tuletee huyu mtu country wife felista yupo china

  • @sarah-rm8bt
    @sarah-rm8bt 11 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @mamertarweyemamu3438
    @mamertarweyemamu3438 11 หลายเดือนก่อน

    Mwanamke mtu mzima

  • @pilimaguzo9572
    @pilimaguzo9572 5 หลายเดือนก่อน

    Nikitaka kulipia kwenye afro inagoma

  • @joelirunde2823
    @joelirunde2823 5 หลายเดือนก่อน

    Ukisema mnaishi kama marafiki,
    Una maana gani hamkulani mna jock tu na kucheka funny?

  • @lavieestbelle3263
    @lavieestbelle3263 ปีที่แล้ว

    Huyu Dorice ninani??
    Mbona maranyingi sana nasikia anatajwa hapa na inaonekana Shena unamjua pia.......sikumoja tuletee Dorice hapa.

    • @homeandaway2811
      @homeandaway2811 ปีที่แล้ว

      Atakuwa ni Waziri wa mapenzi labda 😅

    • @zuweinaalhabsya8773
      @zuweinaalhabsya8773 ปีที่แล้ว

      ​@@homeandaway2811😂😂waziri WA mapenzi 😅

    • @Jessy-f9w
      @Jessy-f9w ปีที่แล้ว

      Mbona aliisha hojiwa kama susahau,ni dada kaolewa na muitaliano na anaishi Tanzania

    • @khadiamsuya1515
      @khadiamsuya1515 ปีที่แล้ว

      @@Jessy-f9wwala sio huyo unayemuongelea ni Dorice mwingine anaishi Netherlands

  • @klaussteiner94
    @klaussteiner94 ปีที่แล้ว

    Mungu anamuona,vile alikula pesaa ya mjewish🇮🇱🇮🇱 ghaii,tatiana aiseee utupeee makoneksheni ni nini mbaya etiiiii 😅😅😅

  • @chavdagrande2379
    @chavdagrande2379 ปีที่แล้ว

    😁

  • @OfficialDatingAssistance
    @OfficialDatingAssistance  ปีที่แล้ว

    @akothesewe Samahani, nili Pin comment ili nisisahau kukuuliza lakini bahati mbaya nikasahau.
    Naomba unisaidie username yako ya Instagram au niandikie +4367764790884 kama hutojali.
    Ahsante

    • @SuzaniNdabi
      @SuzaniNdabi 10 หลายเดือนก่อน

      shena mimi mbona nashindwa kutumia mtandao wa dating

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 11 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤