WOMEN MATTERS - JE NI SAWA KUOLEWA NA EX WA RAFIKI YAKO?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 พ.ค. 2024
  • Karibu WOMEN MATTERS. Kwenye Episode yetu la leo tunazungumzia na kujibu swali, Je ni sawa kuwa na uhusiano na kuolewa na Ex wa Rafiki yako?
    #women #womenmatters #wanawake #mahusiano #boyfriend #exboyfriend #marriage #friends

ความคิดเห็น • 11

  • @LyonWalker_

    Women matters is back

  • @GaudensiaMbunda

    I missed women matters 😊

  • @mr.yahzadochuno7914

    Natasha and lilian they are very right bwana wa rafk yangu siwez kuolewa naye wala kutembea❤naye yakifika huko ni rahisi hata kuuwana na mtu anaye weza fanya hivyo hakuwa rafk bali alikuwa adui kaa naye mbali

  • @amourmtungo623

    🤔Ubinaadam, utu na vitendo ni vitu 3 tafauti. Jambo muhimu ni kujua maisha, mtazamo na uamuzi ni wangu hauhusiani na mtu. Kila mtu na safari yake kimaisha iwe ni x wako au wa rafiki yako ni x tu sasa kupenda au kupendwa kwengineko isiwe ni chuki za marafiki. Ni kufahamiana tu kuwa kila mtu na maisha yake. Mada nzuri asanteni sana kwa elimu 🤝

  • @PatriciaSteven-du8nl

    Lilian hii ni kinyume ,rafiki wa ex mwanaume niliyezaa nae tumejikuta tunapendana but huyu kaka ako na wasiwasi na hofu kwamba yes nimefollow in love but rafiki yangu atanionaje mana nataka kumuoa mama wa mtoto wake

  • @susans4490

    Kama ww ni best wangu unatakiwa uwe upande wangu

  • @yousramutwale2463

    Kwaupande wangu Mimi nisawa

  • @susans4490

    Au...Sadaka rafiki (best friend)ni saa nyengine anaweza kuwa kuliko blood sister

  • @mr.yahzadochuno7914

    Very wrong 😑 kutembea na bwana wa rafk yako haijalishi mmeachana miaka mia

  • @khurlainashly5686

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤