NIMETOKA CHUO NIKAANZA KUUZA MKAA | ALITOKA MAREKANI KUJA KUISHI NA MIMI CHUMBA KIMOJA USWAZI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 135

  • @zabibumwilelo853
    @zabibumwilelo853 11 หลายเดือนก่อน +6

    MashaaAllah TabarrakAllah uyu kaka mm nampongeza sana kuwa mkweli kwenye dini cause wakaka zetu waki Africa wanapokutana na wazungu awatakagi kuwa honest na maisha yao pamoja na dini

    • @saidymbagalla6622
      @saidymbagalla6622 2 หลายเดือนก่อน

      Hii stori ni nzuri ila nimeukutia kati
      Account yake insta inaitwaje?

  • @MARYLembeli
    @MARYLembeli 9 หลายเดือนก่อน +3

    Aksante sana Mwanangu Shemi sijui nalipata jina lako
    Unasaidia sana vijana wetu kupata Elimu ili wanapoamua kwenda huko ughaibuni waweze kujipanga

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  9 หลายเดือนก่อน

      Shukran 🙏
      Ni Shena 🥰😁

    • @mbarakahassan-y2r
      @mbarakahassan-y2r 2 หลายเดือนก่อน

      Nimependa kipindi chako najifuza kitu kusu maisha mungu awajalie san

  • @Iam_fadheel
    @Iam_fadheel 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hatimae nimeisikiliza hii interview nyingine ya mshana na shena,Hii ni kali sana Hongera Shena na mshana mmemaliza elimu nzuri sana

  • @Iam_fadheel
    @Iam_fadheel 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ila hyo dada wa kizungu amependa sana ,ama kweli penye upendo wa dhati hapajifichi

  • @Mnuanofilms
    @Mnuanofilms 9 หลายเดือนก่อน +6

    hii kali sana INTERVIEW

  • @zainabsibuma-omary7061
    @zainabsibuma-omary7061 4 หลายเดือนก่อน +1

    Masha Allah, interview nzuri sana! Shukrani za dhati kwa wifi na familia yake kwa upendo.
    Natumai Mshana utaweza kuenda shule na kupambania ndoto yako ya kuwa engineer. Elimu ni muhimu sana na itawezekana mambo mengi inshaAllah.
    Kila la kheri.
    Shukran Shena kwa interview 🙌 👌

  • @ambermshana9863
    @ambermshana9863 ปีที่แล้ว +21

    ❤❤❤❤❤❤❤asante sana dada yangu for doing this story on me and my husband

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  ปีที่แล้ว +1

      Ahsante sana pia, Mungu awabariki sana 🙏

    • @leonardmary83
      @leonardmary83 ปีที่แล้ว +1

      Shena uko vizuri dada yangu USA na enjoy Video zako

    • @honorenduwamungu9831
      @honorenduwamungu9831 ปีที่แล้ว +1

      Hello Ombeni.

    • @ashafaulkner
      @ashafaulkner 7 หลายเดือนก่อน

      @@OfficialDatingAssistance how to get hold of you

    • @ashafaulkner
      @ashafaulkner 7 หลายเดือนก่อน +1

      What state are you residing

  • @EmmanuelLwiga
    @EmmanuelLwiga 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nimefurahi Sana Kwa kufika marekani na kuwa Askali wa marakani

  • @dianakago386
    @dianakago386 หลายเดือนก่อน

    Good education, openness and spirit to share achievements, big up mshana and sis on interview show.

  • @amneriyami2409
    @amneriyami2409 ปีที่แล้ว +4

    iyo ni bahati m/mungu kakuandikia

  • @angelinakakulu1615
    @angelinakakulu1615 8 หลายเดือนก่อน +1

    safi sana kijana, Mungu awabariki wewe na mkeo

  • @HakizimanaSalima-sg7cv
    @HakizimanaSalima-sg7cv ปีที่แล้ว +5

    Mashaallah tabarakallah chamuhim ni ww kumuonyesha unavyo isamini dini Yako Na matendo ya dini Yako sababu huyo nimgeni kwenye dini Na Pia aisome itakua vyema nimependa stores Yako Kaka yangu mm nafatilia kutoka Bujumbura Burundi

  • @safiam5338
    @safiam5338 ปีที่แล้ว +6

    Kitu muhimu mke na mume ikiwa niya zenu nzuri mungu anawabariki

  • @emmanuelmshana3019
    @emmanuelmshana3019 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera ; Mwanaume n kupambana ; Mungu akubark🙏

  • @dianakago386
    @dianakago386 หลายเดือนก่อน

    Very good talks and school

  • @twiseghekisilu8845
    @twiseghekisilu8845 ปีที่แล้ว +1

    Ubaguzi marekani upo sema Ni sehemu na sehemu

  • @BerthaKihanga-qd5hy
    @BerthaKihanga-qd5hy ปีที่แล้ว +3

    Everything is on point mrembo Shennah.

  • @alexharriskajjubi1914
    @alexharriskajjubi1914 ปีที่แล้ว +1

    Hehehehe ka story kazuri sana, maisha ya watafutaji.( wana harakati) ila sasa hapo kwenye PARK........ kua parking hehehe Safi sana

  • @JamesMallya-r6t
    @JamesMallya-r6t 8 หลายเดือนก่อน +2

    Dada yula mama wa ltalia ndan ndowa miaka 16 ya matezo mmmh adi Leo namfikiriaga lile Nigereza anatumikia anaitaj pongez boss

  • @amosibushaija4808
    @amosibushaija4808 2 หลายเดือนก่อน

    Good interview kuna vitu tumevichukua nipo mwanza big up madam pamoja na kijana mshana

  • @ahmadateguro4886
    @ahmadateguro4886 ปีที่แล้ว +3

    Good interview madam

  • @AliKhamisi-f4m
    @AliKhamisi-f4m ปีที่แล้ว +3

    Miaka 6 niliyoishi ubaibun kila siku naobwa pesa hawajuwi tunayopitia inafikiya mpaka unatukanwa

  • @mariamtumwebaze389
    @mariamtumwebaze389 ปีที่แล้ว +1

    Story nzuri haki ♥️♥️♥️♥️

  • @Steven-j5l
    @Steven-j5l ปีที่แล้ว +2

    Nice

  • @Big-oc8wl
    @Big-oc8wl 3 หลายเดือนก่อน

    Namfuatilia sana mshana.

  • @rithersospeterkati3355
    @rithersospeterkati3355 ปีที่แล้ว +2

    Tunakusikia tunawaona. 🇹🇿🇹🇿🇸🇪🇸🇪

  • @fridanyoni2867
    @fridanyoni2867 11 หลายเดือนก่อน

    Hata mm nakusikia vizuri nipo Oman nafanya kazi hause maid

  • @ChrispinBahizireATUOKOWE
    @ChrispinBahizireATUOKOWE 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera

  • @madalanasri2226
    @madalanasri2226 ปีที่แล้ว

    Nimekulewa vizuri sana

  • @hassanibanzi9322
    @hassanibanzi9322 ปีที่แล้ว +1

    Daaaah mjuba kaokota Dodo kwenye mchikichi😂

  • @mohamedismail2662
    @mohamedismail2662 ปีที่แล้ว +1

    story imenyooka safi sana

  • @Nakhtal
    @Nakhtal ปีที่แล้ว +1

    good story

  • @JoyceakaJowi
    @JoyceakaJowi ปีที่แล้ว +2

    Akawa kioooo cha jamiiii kwenye daladala😂😂😂😂

  • @rehemamagomba5963
    @rehemamagomba5963 2 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah ❤❤❤🎉

  • @maryali2122
    @maryali2122 ปีที่แล้ว

    Lunga ni kila.mahali sio uko tuu pia wewe mwe yewe uta ejoy luga nikitu cha kawaida mm niko ugabuni pia luga ya hapa niliko.ningumu sa KIARABU LAKI I TUNASAVAVU ALLAHMDLIHA

  • @dicksonulotu7427
    @dicksonulotu7427 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera mshana

  • @halimahassan3031
    @halimahassan3031 10 หลายเดือนก่อน

    Sio ndugu wa Zanzibar huo ndio uislamu, muislam huwezi kula ukashiba huku jirani anakufa njaa

  • @Nakhtal
    @Nakhtal ปีที่แล้ว

    Kaka anajua kuaimulia jmn nimependa sana

  • @mmasipeter4157
    @mmasipeter4157 ปีที่แล้ว +1

    shena naona sasa mambo ni moto kwel kwel nainjoi sana.

  • @lightnessShayo-v3g
    @lightnessShayo-v3g ปีที่แล้ว

    Ni kweli Kwa mtangazaji ina mwangwi

  • @KIMALEX255
    @KIMALEX255 ปีที่แล้ว +2

    Mshana anatumia data saver inabid aitoe picha zake ziwe quality

  • @mudrickabdallah7251
    @mudrickabdallah7251 หลายเดือนก่อน

    kama kuna siku utamuacha huyo mwanamke bas ata Mungu anaweza kukuchoma na moto wa gesi

  • @ZaituniHassan-d4e
    @ZaituniHassan-d4e 8 หลายเดือนก่อน

    Iko sawa

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 9 หลายเดือนก่อน

    Siwasikii vizuri

  • @anzerranisadiki2443
    @anzerranisadiki2443 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka ana furahi Sana

  • @monicagaino7191
    @monicagaino7191 11 หลายเดือนก่อน

    Story nzri ❤

  • @RaheemaOm-d5e
    @RaheemaOm-d5e หลายเดือนก่อน

    Jama tunawezaje kupata namba zenu

  • @davidbarazaomanyo8618
    @davidbarazaomanyo8618 2 หลายเดือนก่อน

    mshana the black,,,,,, am kenyan working in tanzania, i have a son who is a young man willing to be like you, who can you help him plz

  • @NibigiraAssina
    @NibigiraAssina ปีที่แล้ว

    Wakosa wa South Africa

  • @muhammedjuma8966
    @muhammedjuma8966 8 หลายเดือนก่อน

    Hongera dashana

  • @frolianraphael4861
    @frolianraphael4861 ปีที่แล้ว

    GOOD

  • @hafsamkam
    @hafsamkam 10 หลายเดือนก่อน

    😊

  • @naimuothman3493
    @naimuothman3493 ปีที่แล้ว

    Long life kaka

  • @GoodluckGodfreyNgomuo
    @GoodluckGodfreyNgomuo 2 หลายเดือนก่อน

    👍

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 ปีที่แล้ว +4

    I wish to have my own mzungu😭

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  ปีที่แล้ว +2

      Utapata wako

    • @hidayaswai3119
      @hidayaswai3119 ปีที่แล้ว +1

      @@OfficialDatingAssistance 👏👏👏

    • @tahiyasaidi6532
      @tahiyasaidi6532 ปีที่แล้ว

      ​@@OfficialDatingAssistance.unatumia page gn kwaajili ya mtu kutaka mawasiliano na WW??

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 9 หลายเดือนก่อน

    Unafanya kazi gani huko Marekani

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  9 หลายเดือนก่อน

      Subscribe kwa channel yake utaona safari yake ya kujiunga na jeshi la Marekani @mshanatheblacksmith

  • @FaridaHamis-v5e
    @FaridaHamis-v5e ปีที่แล้ว +2

    Masha allah Allah akubariki

  • @JuvinariesNyandoto
    @JuvinariesNyandoto 8 หลายเดือนก่อน

    Mwangwe sana

  • @NeemaKipande-hr9rz
    @NeemaKipande-hr9rz 10 หลายเดือนก่อน

    Ndio na kwa mwasha ipo chini

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 ปีที่แล้ว +13

    Kijana jiongeze hiyo nafasi usiipoteze.,umepata nafasi yakujiendeleza kimasomo.,kwenye maswala yako ya engineer. Chance hiyo kijana.

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 ปีที่แล้ว

    Yaani hizo tabia za ukiume wa ngozi nyeudi na kuonewa ndio maana siwaelewi mimi jamanii.

  • @honorenduwamungu9831
    @honorenduwamungu9831 ปีที่แล้ว +2

    Kijana nimempenda nawezaje kupata namba yake ya simu? Mimi nipo Canada. Naitwa Komba

  • @jacksonmsendo3478
    @jacksonmsendo3478 ปีที่แล้ว +4

    Story nzuri sana duu Mungu mkubwa sana

  • @salhamvungi1744
    @salhamvungi1744 ปีที่แล้ว +2

    Mshanaa😢 Kwanini? Wapareee kwenye lugha lakini😂😅

    • @aysherkitoi5507
      @aysherkitoi5507 ปีที่แล้ว +1

      C katumia kabila lake kuna ubaya gani

    • @salhamvungi1744
      @salhamvungi1744 ปีที่แล้ว +1

      @@aysherkitoi5507 jus joking dear and b’coz na me ni Mpare

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂🎉🎉🎉 great 👍

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂 WANAUME wa KiTz / kiafrica WENGI NI WANAUME MAPEMBE 😂😂 , KWA ULAYA YANAVUNJIKA MAPEMBE LAZIMA MKAE CHINI NA MUONGEE MSOLVE CONFLICT ZENU ILI FAMILIA IENDE NJE YA HAPO ,KAZI NGUMU

  • @JuvinariesNyandoto
    @JuvinariesNyandoto 8 หลายเดือนก่อน

    🎉

  • @amneriyami2409
    @amneriyami2409 ปีที่แล้ว

    A/alakum habibt mie nipo mascat napendasana kukusikiliza

  • @KhamisiKarisa-vl9nz
    @KhamisiKarisa-vl9nz 2 หลายเดือนก่อน

    Hello Mimi ni mkenya na nimependa sana maelezo ya huyu kaka na nilikua na ndoto ya kwenda marekani ju Mimi ni fundi wa paa , je utanisaidiaje kaka ?

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 6 หลายเดือนก่อน +1

    That is true love..uwo ni upendo wa kwer na wadhati

  • @MussaRamadhani-lv6eg
    @MussaRamadhani-lv6eg 8 หลายเดือนก่อน

    Nitake radhi awadhi mii mpare

  • @HomeWork-s6t
    @HomeWork-s6t ปีที่แล้ว

    hapo sauti sasa nisawa

  • @abdallahhamisi45
    @abdallahhamisi45 2 หลายเดือนก่อน

    Nimekuja baada ya interview ya pili

  • @happinessclement6066
    @happinessclement6066 ปีที่แล้ว +3

    Hongera kaka

  • @IANA2030
    @IANA2030 ปีที่แล้ว +1

    Uwewe kuna uchawi huku uzunguni bana 😂😂😂do your reaserch witches and wizards are common in westernised country

  • @joharimillanga1587
    @joharimillanga1587 9 หลายเดือนก่อน +1

    Walimu wa vyuo wanaofanya hizo tabia ni wauwaji kabisa

  • @hamidasaif4065
    @hamidasaif4065 ปีที่แล้ว +1

    Wotewatu wazani watuwo wakiwa inje wanApesa asawandugu waki afirika watuwanapAmbana

  • @NeemaOnsama
    @NeemaOnsama ปีที่แล้ว

    Unawatoto wangapi na huyo mzungu

  • @sherry7339
    @sherry7339 8 หลายเดือนก่อน

    Hata mimi nakuona

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 ปีที่แล้ว

    Hebu nikuulize kufuatana na mazungumzo yako swali kwangu sababu gani wengi wenu mnataka Uraia pacha ?

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 ปีที่แล้ว +4

    Hapo kwa kuumwa mzungu akiwa Africa asipopata tiba haraka ni hatari sana sana. Wazungu hawawezani na magonjwa yetu Africa, haswa Malaria, UTI na magonjwa ya tumbo. Wanakufa chap.

  • @FIBEKONGA-hd2dg
    @FIBEKONGA-hd2dg 8 หลายเดือนก่อน

    Sasa tunakusikia

  • @luluhilaly5694
    @luluhilaly5694 9 หลายเดือนก่อน

    Ndio IPO hivyo

  • @GraceGraces-z2i
    @GraceGraces-z2i 8 หลายเดือนก่อน

    Hakai venye anasema

  • @sherry7339
    @sherry7339 8 หลายเดือนก่อน

    Ndio sauti inajirudia

  • @zahramohammed2337
    @zahramohammed2337 ปีที่แล้ว

    Kama si msambaa sijui😅😅😅😅😅

  • @ghanimajongo7817
    @ghanimajongo7817 8 หลายเดือนก่อน

    Inajirudia

  • @skujuwahamad1702
    @skujuwahamad1702 ปีที่แล้ว

    Sauti kweli inarudi

  • @SawiaNjovu-xx1mf
    @SawiaNjovu-xx1mf 7 หลายเดือนก่อน

    Sauti imajirudia

  • @zaydelabay9776
    @zaydelabay9776 11 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂 nice story

  • @fadumayusuf3018
    @fadumayusuf3018 ปีที่แล้ว

    Alijifunza kiswahili?

  • @LeylatVlogs
    @LeylatVlogs ปีที่แล้ว +1

    Which state are you in?

    • @BeatriceJohn-di5oh
      @BeatriceJohn-di5oh 8 หลายเดือนก่อน

      Haloow ninaomba tuwasiliane ninashida na wewe​@jennifer1942

  • @ZaituniHassan-d4e
    @ZaituniHassan-d4e 8 หลายเดือนก่อน

    Akiongea na muangalia wife wake atadhani ana muongelea yeye...akae akiangalia mbele tu

  • @LoishiyeMollel-ck9bx
    @LoishiyeMollel-ck9bx ปีที่แล้ว

    Y

  • @joycenshala1310
    @joycenshala1310 ปีที่แล้ว

    Sauti inajirudia

  • @masomekitwala3758
    @masomekitwala3758 ปีที่แล้ว +1

    iko vizuri,zari la mentali

  • @PetraBartosova-o6h
    @PetraBartosova-o6h 9 หลายเดือนก่อน +1

    Zali la mentali

  • @michaelprofessional7574
    @michaelprofessional7574 ปีที่แล้ว +2

    inaonekana kuingia marekani kipengele na kuanza maisha kipengele sana ,.

  • @SirajiRashidy
    @SirajiRashidy 2 หลายเดือนก่อน

    Aisee hongera sana Shana na sister

  • @NunuSuleiman
    @NunuSuleiman ปีที่แล้ว

    Ndio inajirudia