RIYAMA NA MUME WAKE WAFANYA YAO LIVE KWEUPE REDIONI TAZAMA.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 มี.ค. 2018
- All the African Music. Hottest SHOWS... Experience Africa
100.5 Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.
Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz - บันเทิง
Mashaa Allah. Napenda maneno yako. Siangalii film nyingine mpaka ni juwe ww Uko. Una maneno ya kuchekesha kweli
Huyu mwanamke mpaka rahaaaaa gonga like nyingi sijawah pata like ma friends
Issah Daless Nimempenda byree Wallah
pamoja sana kaka
Upo vizuri kama mie
Ongezeni mtoto
Wallay nampenda huyu mwanamke yaani anafurahisha😅 MashaAllah na ni mrembo🇰🇪👌👌❤
I love Dada Rihama unajiamini mpaka raha
Kiswahili cha bongo hatari 😍😍🖒🖒🖒🖒👊❤
Huuu Dada nampenda sana mana ananifurahisha sana aiise mungu amzidishie cku 10000000000000000
Riyama unaonesha roho yako safi mashaallah, Mungu akuzidishie ❤️
Amin
Mi nimeipenda.
Ila uongo dhambi dada Riyama hua unanikosha saana moyo pale unapoigiza movie za KIISLAAM ukawa umevaa kisheria ya Kiislaam. Wallahi hua unapendeza saana.
Namuomba Allah akupe moyo uje uwe ka bi khadija mke wa mtume (s.a.w.) kwa kushika dini in shaa Allah.
Allah atawapa watoto wenye khery barka na neema zake RAHAMANI AMIN YARAB ALWAHUMA AMIN
Nakupenda bure ....wise,funny,talented and beautiful. Mhhh so kwa mapenz hayo,had wivu
sijawahi malizaga hizi clip ila sio kwa Rihama Ally very funny nampenda
Nakupenda bure dada Riyama dada wa mineno ila inaelimisha inaburudisha na kufurahisha mashaallah 😘😘😘😘😘
Jamani huyu Dada Nampenda mpaka basi, Mungu adumishe upendo wenu aki
Mko vzr Sana hongereni Rihama na Mr hapo shetani asiwaingilie apite kule maisha yenu na upendo udumu milele!
I don’t know this lady but she’s very interesting mrembo kweli kweli uwezi kuboeka naye 💕💕💕💕💕👍🏽
Hongera
khaki ya mungu riyama nakupenda sana 😍😍😍😍 nimecheka cheko kama loteee hivi
nimeipenda nimekupenda sana riama hongera kwa kujiamini Mungu aibariki ndoa yako
Apewe kipindi cha ushauri kwa wanawake .Kama unaniunga mkono henu nione kutoka Mombasa
Umeonaeee anaweza kwakweli
True
Akika mnavutia sana mnatuelimisha pia nasi tusio olewa kukijaaliwa tuzituze ndoa zetu inshaallah amin.
wacheee wenyew
@@salhamohd1843 kabisa iyo kweli
Sijui kwann imeisha hii interview jamani huyu riama nampenda jaman khaa😂😂😂si kwa kicheko icho😂😂😂😂
Aisha Mrembo CHA kimbeya mno
Aisha Mrembo da liama nakukubali sana ingependeza ungekuwa kungwi
nakupenda liyama natamani tuongee ana kwa ana cku moja nitafurahi sana una maneno ya busara na hekma mashaallah
Kiukweli napenda sana unavyojiamini Riyama yani ulishatia pamba masikio safi sanaaa Mashaallah Mungu akujalieni mdumu kwenye ndoa yenu
uko vizuri sana sister riyama,,,nakupendaga bureee
Nampenda sana Rihama 😚😚😚😍😍😍
Dini mwaijuwa mashallah basi riyama dada jitande haifai kujiacha ivyo
Sio Poa Aisee
nakupendaje Riyama 😘😘😘😘😘😍😍😍😍😍😍 ndoa yenu idumu mileleeee
Ryama mama nkupenda bure love kenya from qatar
Wasema uko doha
Riyamaaaa uko juu mamy huwa nakupenda tu na maneno yako
MARY MBOMBWE
Leo nimefurahi kuwaona kumbuka na dida kumbe mlikua fresh tuu nawaomba muendelee kama zamani
Nakupenda dda riyama yani hadi rahaa wallah nawaangalia ntamani kilacku thu muwe apo hhaaa mapenzi rahaa moto motoo ila nakuomba kitu ddangu riyama we ni muislam tafadhali naomba uctiri kichwa chako kwani haifai kabxa katk dini yetu mwanamke kuonekana hta unywele mmoja mie mkenya njo qatar ..i luv u so much nawatakia kila la kheri ktk ndoa yenu muendelee kua pamoja leo duniani mpk kesho akhera Insha Allah muzdi kufanikiwa😍😍😍😍😘😘😘
Weraaaa nimeipendaa hongera mama, inapendeza sana
Love is blind... But mostly I would say age is just a number.. kudos great couple!
Upofu mtupu
Saf san
Riyama twakupenda sana1🤣🤣🤣💖💖💖💃
hahahhh kama umemskia kaka pembeni akitoa msemo mubashara mjusi juu ya gogo dondoshea like twende sawaa 😘😘😘😘😘😘😘😍😍
She’s soo beautiful inside and outside napenda sana sura yake she’s very very cute 💕💕 nimempenda bure roho safi sana 💕💕💕💕💕
Teyyyyyynaaaaa kabisaaaaaa hujakoseaaaa maashaallah riamaaaa sadaktaa
Wow i love her... That's real love dear.. Your so pretty... You make me laugh... It ain't about age!!! Love this couple..
Hongereni sana Allah awabarikie ktk ndoa yenu.ila kwahilo sasa Riama chukuwa tahadhari
Riyama nakupenda sana kwa kilakitu ufanyalo,mafunzo yako yana mafunzo tele Yafanaka,Mungu Akubariki abariki nayo kazi yako.
Ninavyokupenda Riyama hta cjaelewa hii interview imeishahe wallah😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ashura Kimbisa nakupendaje
Uko vzr riyama nakupenda bure mamaaaa😍😍😍😍😍
Nakupenda Sana riama tangia uchichana wako from Kenya
Mapenz ayan umri komaa mwaya riyam nakukubali sana sana nasio Kwa cheko hilo
hata mie jaman mwaka wanne huu sijaona msg zamapenz wala msg haijawah potea njia nampenda sana pevius mwakyaka wangu najiamin kwakwel
niama fyuzi moja imelegea kua makin kjana utakuja kujutia maamuz yako
Aisee nakupenda sana tu dada nafurahi sana yaan
Hahahahahaha
wallah riyama ata Rwanda tunamupenda sanaaaa munoo
mashallah twawatakia kila la kheri muwe na ndoa yenye baraka kwakufata mwendo wa mtume amin
Masha Allah may Allah keep protect your Nikka.
hii video natamani kuangalia kila saa yaani lihama nakupenda bule😘😘😘
Dr Kumbuku ingependeza sana mkifanya kazi pamoja na Rihama.
Mapenzi hayana fomula .riama sabah kaimba , usimsifie mwanamme muombee dua tu Allah akujaalie uishi nae miaka yote mpk kufa na asibadilike.
Kma hajawah kumfanyia mambo ya ajabu asisemee kuna wanaume na migume gumee hajapat gume gume huy na mtu aomb mabaya anaomba mema ila ad alipofikia anahak ya kumaifia miak mi 4 ming mnoo wengne waume zetu sim paswd kila sehemu
MashaAllaah my dearlove Riyana Ally nakupenda sana my dada wamie😍😍
jinsi ninavyo mupenda huyu dada. jamani MUNGU nilindiye naye, azidi kuwa nanifurahisha kwenye Movie zake
Kiukwel ndio ivyo
Kama mimi il nanatamani nipate nambayake
Wow
Na mm pia na mpenda sana
Love this woman....mafumbo nayoo😘😘😘
Enyewe mapenzi hayana mwenyewe mwenyezi mungu awajalie kwenye ndoa yenu
Nakupenda riyama
Wow...may God bless your marriage
Unamambo we Dada.mungu akulinde nakupenda bule uko vizury
Riyama Unanivunda mbavu , unanifurahisha hadi natokwa mathizi. nawapenda sana na Ndugu yangu. Maashaallah True Love.
dah!!!!! hadi laha
Riama una hekima sana .jiheshima uheshimiwe ukweli kabisaa
Waa mdada nakupenda😍😍😍😁😂😂😂
Nakupenda sana riyama damwani umenifurahishaje😘
Ongelen sana kamanda Rio kaanae upo very very Mr&mrs
Sweetest actress ever😘
Mungu awalinde msijaribu hata kufikiria kuachana mapenzi yenu yawe ya milele daima
mashaAlah .....nic ndoa riana umeseme kweli ....lov u mama
kila lakheri nimeipenda
Wachawe madm riym umetish nakupend mmwaaaaaaaa???
Kuoa mwanamke wa hv tabu ukizingua tu kashadaka maneno 70 kidogo utachambwa mpk utaona dunia chungu
ibrahim salim haaaahaaaa
ibrahim salim 😂😂😂😂
ibrahim salim hahaha
mi hua anichekesha huyu mma nampenda buree
ibrahim salim 😁😁😁😁😁😁😁😁
Mashaallah Allah awatangulie katika maisha yenu mzeeheshane Inshaallah
Riyama my iron Lady for life...u so wise
Riyama napenda sana maneno yake si mtu wa kujisikia
apewe kipindi cha uxhauri
God bless riyama unajimama lakini sio mamako love tht
yarabi dida Mimi huku mijiwivi kibao duuuuh siyo mapenzi hayo inshallah m/ mungu nijalie Mimi mwanaume mwenye mapenzi ya dhati
Mim nakubali kuwa kuna wanaume waaminifu kwenye ndoa zao kama wa kwang ila watu wanakataa hakuna mwanaume mwaminifu
namupenda san rihama nimuche shi san
riyamaaaaa una mambo baraaaaaa duuuuh
mashaalaa Munyezi mungu awalindie mapenzi yeni nawapenda sana
Nakupenda bure dada Riyama 😘 penzi/ndoa yenu idumu
hahahahaha Mashaallah uyo dada namkubali hatar mungu awalinde na ndoa yao
Rahma Hamidu: Ameen
😂😂
Mejumaa Athman 😂😂
Rahma Hamidu mungu pokea maombi yao wapate watoto
Ameen
idumu masha Allah 😍😘😘🙌nampenda riama sn
Mashaallah rihama allah ajalie heri ndoa yenu
Duuh riyama una manenoo balaaaa
Mapenzi raha kweli ukipata akupendae 😜
Bettie Joy -Mtoto Wa Mama kweli Dada
Safi sana Riama nakupenda bureeeeeeee3
Mashallah inapendeza Sanaa😉
Nawapend bule
nimewapenda bureeeee jomon raha kupendana nami naomba mungu nimpate wakunipenda tupendane turidhiane yasiwe mapenzi ya video
Zena Said kuja kwangu mama
Zena Said ushanipata Mm tayar njoo bas
Nipo jamani natafuta mwaminifu wa maisha
Zena Said
Utapata tuuu OMBA MUNGU
Zena Said yaan mpak rahaaa ila karnee hii kumpat mwanaume wa hiv mwenye upendo wa dhati dooh!si kazi ndogo wallah watu wahiv washakufa vit vya pili😀😀😀😀😀😀😀sahiv ni bahat 2 kumpat wa hivi hongera momy riyaama Alliy
2021 mpo lkn 🇶🇦
Mashallah, haki Nimefurahi na Umenichekesha Riyama,😂😂😂👏 nakupenda sana Riyama, Allah hawadumishe na hawasimamie katika ndoa yenu inshallah, nawapenda sana nataman hii interview isiishe wallah, Allah akupe umri mrefu Riayama, nafuraishwa na mineno yako😂😂😂😘😍😍
Karimu acha wivu
Sadaktaaaa ukiheshim utaheshimiwaaa❤
Nikweri uyu Dada analoho nzury mkalim nampenda MWenyezimungu awazidishie maishahayenu yawe ya baaraka
Mimi ni mkenya Kiswahili sijui
Nina kupenda mpaka kufa Riyama
Chantal mulasi nakupenda sana kwa kumpenda mumeo
Malawi
Hahahahahaaaa mbavu zinauma rihama uwiiiiii! Karibu tena!
Nakupenda sana Rihama. Uko vizuri dadaangu
Nampenda riyama.. Anajua kuongea wife material
nyie watu wa studio leteni mdomo muone mtachambwa
hahahahaha maneno kuntuuu
hahahahahaha napendwa kama mtoto mng'aaaaaa jamani nampenda huyu Dada anaongea ukweli
eti nakaba mpaka kivuli😂😂😂😂😂
I just love this lady for free
Mashaallah da riama mngu akuzidishie
Hahaha riyama.. Mbavu zangu mimi.
Mama na mwana 😂😂😂😂😂
Raha SNA
halooo hapa raha na riyama leo
nakukubal
penda Sana rihama
Nakunda sana Dada kiswahili hicho umekichonga kweli
riana nakukubali. mno kwa mada zako apo studio duu