1. These seat belts were not resigned for children 2. The child should not be in front seat for his /her safety, should the car be involved in an accident ,during air bag ejection you can loose the child instantly.
Acha kejeli mwache afanye kile anacho kiona....ni mwanae kipenzi chake furaha yke.....wivu unakusumbuwa....masanja pamoja na familia yko tunakupenda....
Godfrey Mlimbila . Sio Mkorofi amnunulie mtoto kiti chake cha ziada ambacho unakiweka juu ya kiti cha gari, anakuwa Comfotable, Sio kiti icho cha wakubwa hayuko comfotable anajiona anasogezwa ndani ya kiti
Akili zako kabsa izo nazan ulikuwa unamsumbua mama kwenda shule acha nae akusumbue lakin nakushaur kitu kimoja sio wivu niushaur tu izonywele kwa umri wa mtot sionzur nakumbuka Kuna motto alipoteza maisha kwasababu ya izo nywele walimsuka wakavuta mishipa motto akapoteza maisha msuken tu nywele zakawaida atapendeza tu
Acha sifa wewe mtoto chini ya miaka 11 she not allowed kukaa front seat mjinga wewe
Pole weee huyo ni comedian yupo kazin hapo we Unadhan hajui sheria? Wenzio tushacheka
Mnakera ...duh
Mtu yuko kazn ww inakuhusu nn ssi wabongo banah
Ndg huyu ni comedian bana si kila kitu kumind
Roseanna Kapalila mwigizaji lakini anafundisha take easy
Aliyesikia mkee wa masanja anasema "baby twende bwana na wewe" weka like twende sawa
Huyu mtoto atakutia wazimu😹😹😹😹
...
Mtoto mwenyewe hana hata habari 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😆
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kofia ya kisera itakufikisha wapi mtt mzuri. Ila baba umepata
Leo kagoma
😂😂 we ndo baba mzuri una msimamo 😂😂😆
Make sure unamwambia traffic we ndio umekataa kufunga mkanda hahahahaaa
🤣🤣🤣🤣🤣
Mnunulie kiti chakee apatee kuona mbelee 🤣😉
Nadhani unafahamu utaratibu wa matumizi ya viti vya watoto katika Gari kkkkk
Hahaha Jamani, huyu mtoto itakuwa ana Tabia zako!!
.
Hahaaaa
Subiri school bus 😭😂😂🤣🤣🤣🤣 she’s just minding her business 😂🤣🤣madam child international 😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣mtoto atakua Kama baba maana Yuko busy aelewi Wala asikii anachoongea baba ake anavaa kifia🤣🤣🤣🤣🤣
The little Lady is too tough she can actually slap her father 😂😂😂😂
nimecheka sana, eti mwalimu ndio atamfungua mkanda. 🤣🤣🤣
Ema nice broo nakukubali sana
Napenda san unavyo ishi na mwanao masanja❤
She is so cute but stubborn 👀😂😂😂
Hahahhahahahahhaha 😂😂😂😂😂🙏🏾🙏🏾🙏🏾 Masanja umepatikana😁😁😁ulikiwa hivi ulipokuwa mtoto😂😂😂
Wanawakee wabayaa Sanaa😭😭😭😭
Hataka shule kaiga kwa nani baba au mama🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂
Baba
NAOENDA SANA SANA UNAVYOONGEA NAE LUGHA YETU. Asante sana kwa kutopandikiza lugha za watu 🙏🏽🙏🏽
Hahaha hicho kifungu cha sheria kimenivunja mbavu
😁😁😁😂😂Atari Sana
Nmekapenda bureee ka cute angel.. Eti kamekubar kushuka yaan kiroh Safi...
Hahahahaha kweli kila mtu akirusha vituko vya mtoto wake mtandaon ni burudani ya miaka haki ya nani vileee,,
Nimecheka sana yaani nawapenda sana kila mara naweka bandle kwa ajili yenu mnanitoa mawazo na furahi sana kuwaangalia
Ndio Raha ya kuwa mzazi nzuriiii sana
Katumia nguvu_🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣 beautiful baby girl
Hahahaaaa just like my daughter
Sasa hapo unashangaa nin kati ni wew kila kitu...
So cute baby girl 🤣🤣🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🤣🤣🤣
Masanja,unatuvunja mbavu na huyo mtt,maana sikwaku msemesha hivyo
Ema unazingua😂😂😂😂😂😂
😅😅😅😅😅😅😅 kisela dah!!! Yaani umefanana nae adi tabia uyo mtoto
1. These seat belts were not resigned for children
2. The child should not be in front seat for his /her safety, should the car be involved in an accident ,during air bag ejection you can loose the child instantly.
Nimecheka sana masanja jana nime mkimbia mwanangu yani kama wakwako mkorofi aelewi somo lakin raha sana jamani
😂😂😂😂😂 ni pasua kuchwa
Indeed this is real comedy bwana Masanja
Masanja umejua kunifurahisha😂
I see Hapo Kama Namwona Katibu Vile , "Wanawake Shikamooni""
hahahah umemtishia kushuka kwenye gari. mwenzio hilo ni gep la kutokwenda shule
Hahahab
Anavaa kofia kisela😂😂😂😂
Xx
X
Xx
🤣🤣🤣🤣 Baba nilikumiss tena acha tu😂
Pole sana ndio kulea uko
😂😂😂nimechek san
Kwan unaongeaaa na nani ww naona hakuskilizi
Mnunulie kiti cha watoto cha ndani ya gari!😀
Ata icho lazima afunge mkanda pia
Huyu bint apendi mkanda
Masanja get hold of me please.
She don't care 😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣
She doesnt care😆
😁😁😁😁
Ema unazingua😂😂
😘🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣good girl
Mwanangu funga mkanda, nitawaita maaskari, kunywa na hiyo yogurt hapo,
Mkandike banzi mgongoni, hatarudia
Mtoto umleavyo ndiyo akuwavyo kuna mawili kudeka au kuwa mjinga tabia za kuiga
Haya malez anayompa mtoto kutwa mitandaoni itamgarimu
Nimeipenda Sana Bunk anavyo Susan!
Maji hufata mkondo eeh 😂😂😂😂
Hivi mliondoa bibilia kwenye begi ama vipi Baba🙆 amesusa kufunga mkanda 😂😂
🤣🤣🤣
Mtumishi naona n jnc gani ckuiz unakosa vya kupost😂😂😂😂
😁😁😁😁😁
Ni wivu tu
@@christinamsuya5150 😂😂😂😂😂😂😥
Acha kejeli mwache afanye kile anacho kiona....ni mwanae kipenzi chake furaha yke.....wivu unakusumbuwa....masanja pamoja na familia yko tunakupenda....
@@tshirima8886 ckua na maana mbaya maana nmezoea kuona akipost mahubiri na nk,so cna maana kwamba nachukizwa nooooooo,nisamee kma umenielewa tofauti
acha akusumbuwe hao wana viti maalimu kwa ajili yao
Haha toto kakisukuma. Uso mtu mzima lakini bado ana nyonya kidole na hajui kuongea
🤣🤣🤣🤣🤣 msichana mkorofi sana huyo
Godfrey Mlimbila . Sio Mkorofi amnunulie mtoto kiti chake cha ziada ambacho unakiweka juu ya kiti cha gari, anakuwa Comfotable, Sio kiti icho cha wakubwa hayuko comfotable anajiona anasogezwa ndani ya kiti
Hapo sawa
Eti anajaribu kuhatarisha 30000 zangu 🤣🤣🤣😂
Nmecheka san et m naongea we unavaa kofia kisela
🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣254 mkuje hapa tusikie vile Tanzanian kids wanasomewa sheria
Hahaha
🤣🤣🤣 niatari sasa
Kweliweye masanja nimcheshisanatu namtotowako
Hahaha uyu mtt Anaelewa ila anajifanya askii
😂😂😂😂😂😂😂,,,kofia kiselaaa
Iyo 30 nani ataripa 😂😂😂😂
Hahaahhaaaa pole huyo kiboko yako kakukomeshaaaa
embu acheni izo kama umekosa cha kupost vile hahahaha dar bwana
Kama tumenuniana fresh🔥😅😅😅
Hahahahahhahha hak huyimtoto kaaa
Jamani kofia hiyo uuuuuuuuuuwi mbavuzangu
Wewe ndo kwenye makosa mtoto Ana seat yake ya kit to tena nyuma na mikanda ya kitoto,Mimi namuunga mkono mtoto kugomea mkanda WA wakubwa.
Mbavuu zangu mie 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Akili zako kabsa izo nazan ulikuwa unamsumbua mama kwenda shule acha nae akusumbue lakin nakushaur kitu kimoja sio wivu niushaur tu izonywele kwa umri wa mtot sionzur nakumbuka Kuna motto alipoteza maisha kwasababu ya izo nywele walimsuka wakavuta mishipa motto akapoteza maisha msuken tu nywele zakawaida atapendeza tu
Aise Kumbe Muelewa Mwanao Hongera Brother Masanjaaaa
Pole sana
This is really comedy
Masanja tokea ujifungue imekuwa gumzo mitandaoni
Wew unayetukana mungu akusamehe t maana hujuwi ulifanyalo wenye malifa ndo wanaelewa ndugu
Hehehe, ile siyo mkanda ya watoto!!! Mwenzako ako right kukukatalia Hehehe!!! Asante
Mnaomtukana masanja jitathimin maisha yenu kwanza
😅😅😅😅😅ilove my daughter
😃😅😂😆😁 eti tukishikwa 30000 atalipa nani
😂😂😂😂😂masanja mtt akil zako hizo
Hahaha yaan Masanja Bhana hahahahhahaha
Put babies in baby seats please.. That's unsafe for her.
True
Huyu atakua msanii hataki shule 😂
Utajiri bhnaa
Yaani masanja
Mwanaume atakaye
Mdanganya mwanao
Afanye kazi ya ziada
Kazana kuujenga huo msingi
Imara.
huy mtoto niwakwako
huy mtoto niwakwako
Daa hiyo kapero ilivyowekwa 😂😂😂
Amependeza
For safety mtoto anapaswa akae nyuma
Huo mkanda kwa umri wake awezi kuhimili ikitokea tatizo.
Hiyo ni comedy jamani
@@davidnyambuche352 sawa
lakiji matatizo hayajui comedy
daah! huyo dogo kasha rithi mapema kwa baba
Nim kumbu vichekesho byako usela wababa😅😅
Hahahahaaaaaaa mtoto kiboko
So...Watoto awakai kuviti vya watoto ndani ya gari? in Africa? 🤔. I’m sorry, I’ve living in Canada for years now, I’m just curious
Kwanza ni kosa mtoto chini ya 12yrs kukaa mbele kwenye gari
RAHMA ABDILLAHI ndio. Nilitaka kishanga.
Huyo yupo nae nyumbani
HATA MI NASHANGAA😂
Lafu ati yeye ni mchungaji mhmhm yani anae ongozanawanaoongozwa wote vipofu hivi ninyi mnaoongozwa ipofu wa ainagani huu wa kirohp
😂😂😂😂😂😂😂 maji hufata mkondo
Mtoto mwenye chini ya miaka 9 anatakiwa akae ktk kiti cha watoto ambacho kina protect watoto..wewe
Mnunulie kiti cha watoto cha kwenye gari ndio salama zaidi!
Hahahaaaaaaaaa mtoto msanii Kama Baba yake kazuri
hahahaha i lov u bro co ent
Et huo usela utakupeleka wapi.😁😁😁
Ahahahaah nimecheka kwa sauti