Maneno ya Alhaj Ali Hassan Mwinyi kwa rais Magufuli

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2018
  • Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi hii leo alikuwa mmoja wa waalikwa kwenye Ikulu ya Rais Magufuli wakati wa hafla ya kuapishwa kwa Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje sambamba na kuapishwa kwa mkuu wa Skauti nchini.
    Mlezi wa Skauti nchini Alhaj Ali Hassan Mwinyi akapewa nafasi ya kutoa neno kwa rais Magufuli.
    Msikilize

ความคิดเห็น • 49

  • @football-galaxy7210
    @football-galaxy7210 5 ปีที่แล้ว +12

    ALLAH azidi kukubariki Mzee wetu Alhaji ALI HASSAN MWINYI

  • @sahimharoun4321
    @sahimharoun4321 5 ปีที่แล้ว +14

    #Maisha ni hadithi, basi kuwa hadithi nzuri kwa watakao simuliwa.

  • @aliymwazoa3051
    @aliymwazoa3051 ปีที่แล้ว +3

    Hapo mzee mwinyi kwa fasaha hiyo ndio kasahau maneno ya kiswahili.Mola aurefushe umri wako mzee wetu.

  • @hilalyhashim2194
    @hilalyhashim2194 5 ปีที่แล้ว +6

    Asante mzee wetu kwa maneno ya busara

  • @thetreasure2230
    @thetreasure2230 5 ปีที่แล้ว +6

    Hekima ya Mheshimiwa Alhaji Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi ni ya viwango vya juu sana. Ni kipaji.

  • @rommyshabby3959
    @rommyshabby3959 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah mashallah ulimpenda sn jpm kutoka moyoni, Allah akusamehe makosa yako

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 3 ปีที่แล้ว +9

    Mzee Mwinyi kamzika Magufuli... Kesho ina siri kubwa

  • @takyatupu6839
    @takyatupu6839 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah mzee ruksa upo imara Allah akupe afya na furaha upo strong mashallah

  • @paulmagembe-nv9ro
    @paulmagembe-nv9ro 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki sana Mzee mwinyi nakupenda sana Dad

  • @zegelibilishanga6047
    @zegelibilishanga6047 2 หลายเดือนก่อน

    ❤Mungu akupumzishe mahali Pena peponi Amina

  • @nicholaskamencu7087
    @nicholaskamencu7087 2 ปีที่แล้ว +2

    Nmpenda huyu mzee sana mola amwongeze maisha

  • @zuberibakari6685
    @zuberibakari6685 5 ปีที่แล้ว +4

    Hakikq
    Mzee mwinyi mzee ruksa ni.baba mwema maneno yake niya.hekima na busara

  • @michaelkinga821
    @michaelkinga821 5 ปีที่แล้ว +4

    MUNGU aendelee kukulinda mzee mwinyi.

  • @alvangidion9366
    @alvangidion9366 5 ปีที่แล้ว +2

    Big up mr jpm

  • @michaelkigaraba5784
    @michaelkigaraba5784 5 ปีที่แล้ว +6

    Mzee mwenye hekima zake

  • @makeresiapawa7947
    @makeresiapawa7947 5 ปีที่แล้ว +3

    Admire

  • @adamjutto5849
    @adamjutto5849 3 ปีที่แล้ว +4

    Raisi huyu alikua neema kwa watanzania,siku wepo mie enzi zake lkn naambiwa ilikua neema enzi zake

  • @kassimloav2402
    @kassimloav2402 2 ปีที่แล้ว +1

    Mstafu mzee mwinyi na mhusudu sana yeye na matamshi yake ni hazina ya nch na wananch tunamkubali kiongozi mzalendo Ruksa

  • @michaeljames3480
    @michaeljames3480 4 หลายเดือนก่อน

    Dahhhhh 😢 Rip

  • @dannymalopa9371
    @dannymalopa9371 2 ปีที่แล้ว +2

    Hotuba ya raisi mwinyi

  • @harounclaude2263
    @harounclaude2263 5 ปีที่แล้ว +2

    Wisdom

  • @hizzersamwel2838
    @hizzersamwel2838 5 ปีที่แล้ว +3

    Rais mstaafu ALLI HASSAN MWINYI ni MDHAMINI wa SKAUTI na Si MLEZI wa SKAUTI,
    MLEZI wa SKAUTI ni Rais JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI
    Sahihisheni nyie ni kituo kikubwa sana

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 2 ปีที่แล้ว +1

    Mzee mwinyi tutakukumbuka daima ktk utendaji wako wa urais.

  • @sabrinaali6071
    @sabrinaali6071 5 ปีที่แล้ว +2

    Tha great

  • @sangeda
    @sangeda 3 หลายเดือนก่อน

    "Maisha ni hadithi" 11:05 - 12:05

  • @avitmusic7318
    @avitmusic7318 4 หลายเดือนก่อน

    Legends R.I.P

  • @hijazhija316
    @hijazhija316 5 ปีที่แล้ว +3

    Hekima

  • @stephenkaranja6129
    @stephenkaranja6129 4 ปีที่แล้ว

    Old and very wise

  • @liberatusulaya2269
    @liberatusulaya2269 3 ปีที่แล้ว +1

    Wazee ni tunu

  • @manmachomaasai1095
    @manmachomaasai1095 4 ปีที่แล้ว +1

    maneno matam sana

  • @saidkanji9882
    @saidkanji9882 4 หลายเดือนก่อน

    RIP

  • @liberatusulaya2269
    @liberatusulaya2269 3 ปีที่แล้ว

    Hahh,

  • @HeriKhamis-ex8fn
    @HeriKhamis-ex8fn 5 หลายเดือนก่อน

    XD NJ

  • @thobisastephano1988
    @thobisastephano1988 2 ปีที่แล้ว

    P

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu 5 ปีที่แล้ว +2

    Mpuuzi Mnafiki tu,

    • @elijahsaro8063
      @elijahsaro8063 5 ปีที่แล้ว +4

      muombe mungu radhi....kumuita mja wake hilo neno kumbuka alipo fika yeye wala hutakaa ukafika hapo

    • @abdulraqeebfaiz9442
      @abdulraqeebfaiz9442 4 ปีที่แล้ว +3

      Familia yako ndio wapuuziii mbwa Koko wewe

    • @saljam82
      @saljam82 3 ปีที่แล้ว +2

      Jitathmini...... Ndugu..... Hapa si pa kujiachia na matusi.

    • @chomasongidion6047
      @chomasongidion6047 2 ปีที่แล้ว +1

      Mashallah mzee mwinyi,nilikuimbia wimbo nikiwa mwanafunzi.ali hasani mwinyi tkampigiyee kulaa,zote za ndiooooo.

    • @radionuurfm
      @radionuurfm 4 หลายเดือนก่อน

      siku ya Qiyama kuna kauli za kutisha sana huko