HD: RAIS MAGUFULI AWAFOKEA WACHINA "NI UPUMBAVU, HAMJVAA BARAKOA MNACHELEWESHA MKATWE HELA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 963

  • @mbecheterombeche3375
    @mbecheterombeche3375 2 ปีที่แล้ว +13

    Mwanaume huyooooo kama unamsikiliza leo gonga like

  • @venancephilbert9397
    @venancephilbert9397 4 ปีที่แล้ว +137

    Hiiiiiiiii😂😂😂😂😂nzur sana on oct 28 mapema saa 12 asbh nipo kituon kukuongezea kura 1 yangu

  • @irenezacharia2554
    @irenezacharia2554 4 ปีที่แล้ว +142

    Pamoja na mazuri yote unayofanya bado watu wanakuponda dhuuu, Mungu aendelee kukutetea raisi wetu mzuri, tunakuombea sana.

    • @mossymtwana6422
      @mossymtwana6422 4 ปีที่แล้ว +7

      Ni wachache saana ndio maana wanaonekana isikutishe ubaya ndio huwa unaonekana kuliko wema subirini 28 utashangaa

    • @salmahalfani6307
      @salmahalfani6307 4 ปีที่แล้ว +5

      @@mossymtwana6422 maneno kuntu

    • @maikomwaryobawaryoba3804
      @maikomwaryobawaryoba3804 4 ปีที่แล้ว +3

      @@mossymtwana6422 pamoja sana

    • @mohammedally2289
      @mohammedally2289 4 ปีที่แล้ว

      Irene my sister if you wanna please all you will please none

    • @evalinemgendi2418
      @evalinemgendi2418 4 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa

  • @bashangegoogle6714
    @bashangegoogle6714 4 ปีที่แล้ว +283

    We can't tolerate stupid things ... Kama umesikia gonga like apa

    • @Myright888
      @Myright888 4 ปีที่แล้ว +1

      Bashange Google yes bro akeee, mi pia nimeskia aisee. Miss u my kaka.
      Na we unazurula hadi huku hahahahahaha lol!

    • @cocofresh6974
      @cocofresh6974 3 ปีที่แล้ว +7

      Nimeskia kabisa, mimi ni mkenya na kweli huyu ni the best president in africa

    • @pcazzo22
      @pcazzo22 3 ปีที่แล้ว

      Ameongea broken kama kawaida yake... amesema "we can't tolerate THIS stupid things"
      Anaongea lugha ya kitoto sana(primary level) kama mtu ambaye hakwenda shule.
      Kiwe ni kiswahili au english...ana misamiati ya chekechea!!
      😂😂😂😂😂😂😂

    • @mrishogange4276
      @mrishogange4276 3 ปีที่แล้ว +2

      @@pcazzo22 we mkundu kwel,wew kingereza chako kilchonyooka kmekufksha wap

    • @pcazzo22
      @pcazzo22 3 ปีที่แล้ว

      @@mrishogange4276 ahhaahahah PANYA.....ungejua nilipo na ninafanya nini na nimesoma kiasi gani NA NINAINGIZA KIASI GANI/HOUR...husingeweza hata kufungua domo lako linalotoa harufu kama ya mamba aliyekula mzoga!!!
      🤣🤣🤣🤣🤣
      Shut the fu*k off!!!
      😂😂😂😂😂😏😏😏😏😏😏😏

  • @pricysmart3577
    @pricysmart3577 4 ปีที่แล้ว +90

    We no Raisi yani mpaka tundu lissu kakubali kazi zako

    • @myself4128
      @myself4128 3 ปีที่แล้ว

      Tundu Lissu ndio nani tena? Yule Msaliti na wala hatumtaki abakie tu nje aropoke zaidi

  • @kmotivation1130
    @kmotivation1130 4 ปีที่แล้ว +27

    Huyu jamaaa msimchukulie poa miaka 100 mbele hata tokea kiongoz kama huyu

  • @rukiasalum5320
    @rukiasalum5320 2 ปีที่แล้ว +11

    Nakukumbuka sana rais wangu moyo wangu unauma machozi yananitoka

  • @antonykomba6020
    @antonykomba6020 4 ปีที่แล้ว +50

    No opposition leader can hold a candle to JPM simply because the man is in a league of his own. That's the best way to describe him

  • @fatumasaidifatumasaidi5228
    @fatumasaidifatumasaidi5228 4 ปีที่แล้ว +44

    Yani ukiwa unafanya kazi na pesa zakwako unakuwa nasauti kuliko za kukopa kwa mimi nasema ni uzembe wakatwe wapate akili wanazani JPM Kama kikwete uluma nyingi JPM ni Kama mjapani kauzu Kama MGerman tanzania oyeeeeeeeeee

  • @salwasuleiman8943
    @salwasuleiman8943 4 ปีที่แล้ว +102

    Atakaechagua raisi tofauti na magufuli atakuwa na hitilafu kwenye ubongo wake huyu ni jembe

  • @kelvinjohn6851
    @kelvinjohn6851 4 ปีที่แล้ว +75

    Huyu ndiye Raisi wangu nimjuae mimi. Love u JPM

  • @mabyserolouchcraig2431
    @mabyserolouchcraig2431 4 ปีที่แล้ว +64

    Maghufuli wafaa uwe raisi wa east africa😍😍😍😍

  • @habakukihabakkuk7568
    @habakukihabakkuk7568 4 ปีที่แล้ว +73

    Raisi unanikosha mno

  • @htx1873
    @htx1873 4 ปีที่แล้ว +86

    Nilikua naichukia CCM ila huyu baba kanifanya niwe ccm , nampenda huyu baba Bureeeee

    • @leonidaskalumuna8350
      @leonidaskalumuna8350 4 ปีที่แล้ว +3

      Ongera sanaa,wambie na wenzako kuwa CCM kumenoga warudi.

    • @egideniyonkuru9705
      @egideniyonkuru9705 3 ปีที่แล้ว

      Na mi pia hata kama siko mutanzania ila naunga mkono ccm 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @dennismutughi9997
    @dennismutughi9997 3 ปีที่แล้ว +33

    Dear Lord help my beloved country Kenya to have such a wise, fair and kind national leader like Magufuli,, May the Lord rest his soul in peace

    • @pcazzo22
      @pcazzo22 3 ปีที่แล้ว

      Magufuli alikuwa WISE?
      Magufuli alikuwa FAIR??
      MARA YA MWISHO ni lini walikupima akili??
      Wewe umedata ni nouma!!!
      🤣🤣🤣🤣

    • @rivinuskashaga4668
      @rivinuskashaga4668 2 ปีที่แล้ว

      @@pcazzo22 eexx

    • @cocofresh6974
      @cocofresh6974 2 ปีที่แล้ว

      @@pcazzo22 we funga mdomo ya matope!!

    • @BunjuBase
      @BunjuBase ปีที่แล้ว

      Kenya mmepewa Ruto..mtunzeni

    • @japhetmayige3410
      @japhetmayige3410 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@pcazzo22Pole sana.. unachojua sicho anachojua yule. Ko unachojua chaweza kuwa sahihi au sio sahihi

  • @pastoreliamsika9355
    @pastoreliamsika9355 4 ปีที่แล้ว +133

    Daah! Pesa zikiwa za kwetu raha sana yaanii......viva JPM

  • @allanalex8822
    @allanalex8822 4 ปีที่แล้ว +6

    Tunapompongeza tukumbuke na kumuombea pia sabab uko nnje hawampendi

    • @bernardoleonard7331
      @bernardoleonard7331 4 ปีที่แล้ว

      Kabisa ila

    • @bernardoleonard7331
      @bernardoleonard7331 4 ปีที่แล้ว

      Kabisa anapigwa vita ya kimya kimya lakn 28 ndyo tutawaonyesha hao mafilauni mabeberu wasiotaka tuendelee

  • @elizabethraphael3554
    @elizabethraphael3554 4 ปีที่แล้ว +55

    Upovizuri baba fanyayako tupokwaajiliyako wewendio raisi

  • @maambalameck1215
    @maambalameck1215 4 ปีที่แล้ว +30

    Kiukwel nimebadili,bora nikupe kura yangu.....

  • @latenitepiano
    @latenitepiano 4 ปีที่แล้ว +6

    “🤩 Magufuli ali takiwa awe Raisi wa Tanzania 🇹🇿 pindi tu Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipo toka madarakani! MWENYEZI MUNGU mbariki Magufuli, MUNGU ibaraki Tanzania na Afrika 🌍;
    Amen 🇹🇿🦚🦒🌴🏝🏔🥀❤️🌍🙏🏽”

  • @fatumasaidifatumasaidi5228
    @fatumasaidifatumasaidi5228 4 ปีที่แล้ว +53

    Nani Kama magufuri mimi sijui

  • @goodluckulimboka8398
    @goodluckulimboka8398 4 ปีที่แล้ว +20

    TANGU UHURU TUNGEKUWA NA JPM TZ INGEKUWA MIONGONI MWA G20

  • @abdulkillya2655
    @abdulkillya2655 4 ปีที่แล้ว +166

    Nmepitia Comment zote ila hakuna anaepingana na JPM viva watanzania tumemuelewa raisi kwa ujumla

    • @pcazzo22
      @pcazzo22 3 ปีที่แล้ว +1

      Mlimuelewa sana...🤣🤣🤣🤣🤣

    • @estermathias8354
      @estermathias8354 3 ปีที่แล้ว +2

      @@pcazzo22 tena Sana tu si alikua mtu mzuri hakua fisad sa kwnn tusimuelewe

  • @neemamasimba2981
    @neemamasimba2981 4 ปีที่แล้ว +32

    Baba wa Watanzania wengine wapiga dili.

  • @joshuason557
    @joshuason557 3 ปีที่แล้ว +8

    RIP shujaa wa Africa,,this was an historic speech full of wisdom poleni Sana wa Tanzania na Africa

  • @robinsonrespicius2713
    @robinsonrespicius2713 4 ปีที่แล้ว +109

    The one true son of AFRICA
    King of East Africa
    Long live the king

  • @salumothman8023
    @salumothman8023 4 ปีที่แล้ว +39

    Safi sana my president!M/Mungu akupe moyo zaidi wa upendo na akujaze baraka afya njema,akupe na maisha marefu yenye afya Tele,aamiiin

    • @hamedabashir9
      @hamedabashir9 4 ปีที่แล้ว +1

      Amina

    • @mwazanimnyamani8493
      @mwazanimnyamani8493 4 ปีที่แล้ว +1

      Hapa kazi tu hakuna kulala Safi sana mheshimiwa

    • @salumothman8023
      @salumothman8023 4 ปีที่แล้ว

      @@mwazanimnyamani8493 huyu mh ananifurahisha sana ana uchungu na nchi

    • @olephilemon1773
      @olephilemon1773 4 ปีที่แล้ว

      @@mwazanimnyamani8493 v

  • @nancymuseve514
    @nancymuseve514 4 ปีที่แล้ว +64

    Mr president Magufuli can you rule all African..we need someone like you.

    • @kabefiramadhani7610
      @kabefiramadhani7610 4 ปีที่แล้ว +7

      Why don't we join the movement to convince him.
      We want to bring out the westerns

    • @magreth7981
      @magreth7981 4 ปีที่แล้ว +10

      To be honest I had this thought yesterday, May be one day Africa will be ruled by Magufuli..And only 10 yrs of his leadership Africa will be like Europe as africa we have everything !😂😂

    • @tanzanian8847
      @tanzanian8847 4 ปีที่แล้ว +2

      Thanks for appreciation.
      Wher are you from?

    • @robertmwamboneke1158
      @robertmwamboneke1158 4 ปีที่แล้ว +1

      🙏🙏 my sister well come in TZ

    • @allymalenga9598
      @allymalenga9598 4 ปีที่แล้ว +1

      Welcome in Tanzania🇹🇿.
      But in which Country are you from?

  • @josephatmakaranga7043
    @josephatmakaranga7043 4 ปีที่แล้ว +15

    MAGUFULIFICATION OF AFRICA!!! PIGA KAZ BABA WASIPOKUELEWA LEO VITABU VITAWAELEWESHA BAADAYE.

  • @brightonshakila6406
    @brightonshakila6406 4 ปีที่แล้ว +36

    Natamani upate kura 10100 kutoka kwangu tuu ...Anyway ntakupa hiyo 1 alafu ZITAJAZWA TUU My President MY JEMBE

    • @neemamasimba2981
      @neemamasimba2981 4 ปีที่แล้ว +5

      Endelea kumuombea yote yawezekana ,Kama ikiwezekana kwa korona hata hili linawezekana

    • @simonsimon8970
      @simonsimon8970 4 ปีที่แล้ว +2

      Ingekuwa toka Uhuru mpaka sasa yani tungekuwa mbali hongera our President

  • @zukacreations5425
    @zukacreations5425 4 ปีที่แล้ว +79

    The Magufuli legacy,the son of the soil who does not take anything for a mediocre...#tz mumebarikiwa kua na Magufuli

  • @pizzoyoungpaul1324
    @pizzoyoungpaul1324 4 ปีที่แล้ว +59

    Yeah hakuna kukwepesha pamoja mjomba rais wetu

  • @husseinshabani9522
    @husseinshabani9522 4 ปีที่แล้ว +51

    Watanyooka Mwaka huu.....Tanzania Mpya sio yakuchezewachezewa.hapa kazi tu.

  • @theprogrammer3351
    @theprogrammer3351 4 ปีที่แล้ว +6

    Mimi ni Mkongo lakin namkubali sana huyu Rais, nashanga kaann Watanzania wengine wanampinga.... Ila nadhan hy yote kwajil mmebobea katka Aman ndy maana... Nataman hao wanao ongea waje waish huku Kongo hapo ndipo wataona kuna Umuhimu wa kuwa na Rais kama Maguful.... Sisi Wakongo tunampenda sana huyo Rais.... Nafikiri huyo ndye Simba wa Afrika kwa sasa....! Wenye msimamo kama wake mm nadhan hakuna na kama wapo basi wanaogopa kuuonyesha huo msimamo...

  • @elizabethbusigara1853
    @elizabethbusigara1853 4 ปีที่แล้ว +19

    2020mpk2025zoteee zako

  • @zuwenaabrahman9913
    @zuwenaabrahman9913 4 ปีที่แล้ว +41

    sifanyi kosa kura yang makufuli oyeeeeeee

  • @ivyishakaeltonjohn7370
    @ivyishakaeltonjohn7370 4 ปีที่แล้ว +75

    #Magufuli the only one President in Africa🇧🇮

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 4 ปีที่แล้ว +11

    Hapa kazi tu

  • @zakiamsafiri123zakiamsafir7
    @zakiamsafiri123zakiamsafir7 4 ปีที่แล้ว +19

    Simba anaunguruma😄😄😃🤣🤣

    • @tanzanian8847
      @tanzanian8847 4 ปีที่แล้ว

      Simba anaunguruma nyikaani🤣

  • @footmobonline
    @footmobonline 4 ปีที่แล้ว +15

    That's my president.
    Kura yangu umeipata bila ubishi.

  • @abednego3876
    @abednego3876 4 ปีที่แล้ว +80

    Magufuli miaka 25 tena.. Jumla iwe 30 tutakya level za 1st world countries.Sio blablaaa za yule mashavuuuu

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale 4 ปีที่แล้ว +1

      Ilikuwachukua miaka mingapi kuijenga Ujerumani hata wewe utumie 30 tu... Asubutu!

    • @malianonicass7029
      @malianonicass7029 4 ปีที่แล้ว +3

      Kabisa bro tutakuwa tumefika mbali

    • @isaachayes9783
      @isaachayes9783 4 ปีที่แล้ว +2

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @geoffreymbotwa4631
      @geoffreymbotwa4631 4 ปีที่แล้ว +1

      Mm mpaka afie madarakani

    • @dicksondickson7751
      @dicksondickson7751 4 ปีที่แล้ว +1

      @@geoffreymbotwa4631 habari ndio hyo,katiba sio biblia wala msaafu! Jpm tosha

  • @amanisima9357
    @amanisima9357 4 ปีที่แล้ว +23

    Kimenuka tenaaa😂😂😂...ilasafisana umenikosha JPM.

  • @sultanhamis7355
    @sultanhamis7355 3 ปีที่แล้ว +3

    Hivi ndivyo inavyopaswa kuendeshwa nchi,mtanzania bila kumpeleka mchaka mchaka haendi

  • @walukagacharles8652
    @walukagacharles8652 4 ปีที่แล้ว +16

    JPM oyeee, you need to be President of Africa

  • @marykarebeti9410
    @marykarebeti9410 4 ปีที่แล้ว +12

    Mwanzoni, sikumuelewaga Huyu baba ila kwa sasa, ihiiiiii🤣🤣🤣viva baba viiivaaaaaa

  • @chawalive
    @chawalive 4 ปีที่แล้ว +26

    Kura yangu ni kwamagufuli

    • @neemamasimba2981
      @neemamasimba2981 4 ปีที่แล้ว +3

      Pamoja Sana ,hongera kwa umakini wako.

    • @marcelinoliheta8507
      @marcelinoliheta8507 4 ปีที่แล้ว

      Looooooh,
      Tunataka rais mwenye msimamo mkali namna hii. Ni Anko Magu pekee the Iron man.
      Hakuna porojo hapo. Big up Mr Prezida!!!!!?

  • @shangwehalisi7659
    @shangwehalisi7659 4 ปีที่แล้ว +39

    Nimepitia comment zote ata siwaoni wavimba macho JPM. 💯% Rais mpaka 2035

    • @dicksondickson7751
      @dicksondickson7751 4 ปีที่แล้ว

      Habari ndio hyo, wanach tuandamane katiba sio biblia wala msaafu,magufuli adi 2035 safi

    • @happytz2807
      @happytz2807 4 ปีที่แล้ว

      Kabisa yan anaebisha huyo atakua hajielew

    • @a2gmgimwa3
      @a2gmgimwa3 4 ปีที่แล้ว +3

      Namkubali ila bado mitano tu hatuendeshi kiuganda hapo

    • @happytz2807
      @happytz2807 4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣

    • @fridajosephyusif4364
      @fridajosephyusif4364 4 ปีที่แล้ว

      Akae mpaka achoke mwenyewe yuko sawa 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @myself4128
    @myself4128 3 ปีที่แล้ว +3

    Wamemuua Rais wetu kizembe zembe tuuu
    Nashangaa mpaka sasa kwanini kuna watu haqajafungwa!!

  • @bernardoleonard7331
    @bernardoleonard7331 4 ปีที่แล้ว +65

    Mungu akubariki tupo nyuma yako kwa sala/swala na dua dhidi ya maadui wako hasa wasiowatakia mema Africa na waafrika,Mungu ibariki Tanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪💪

  • @fatumachagudadui3138
    @fatumachagudadui3138 4 ปีที่แล้ว +56

    Kwa kweli unanifurahisha sana katika usimamiz had najiskia raha nikiskiliza speech zako

    • @pericykiko6198
      @pericykiko6198 4 ปีที่แล้ว +3

      Kuna Wakati watu waliacha kuchabikia mpira na kufuatilia misafara ya Rais Magu hasa alivyokua akisimamishwa njiani

    • @stevewesco7566
      @stevewesco7566 4 ปีที่แล้ว

      Yaan raha sana

    • @ezeedi871
      @ezeedi871 2 ปีที่แล้ว

      @@pericykiko6198 nakumbuka Kuna kipindi tulikua hatufatilii hata nyimbo mpya Ila tulikua tunamfatilia Magu leo yupo wapi kaongea nn yaan kipind iko daa tulikua tunaringa jaman kua na Shujaa la Tanzania na Africa Magufuli daa kweli heartbroken jaman

  • @albeleenalberto158
    @albeleenalberto158 4 ปีที่แล้ว +3

    Magufuli Kama huwa unapitia comment naomba mtaala wa elimu ya Tanzania ubadilishwe,Tusitumie mtaala wa mkoloni, unaosema tusome ili tuajiriwe),pamoja na lugha, Tutumie lugha ya kiswahili mpaka chuo kikuu.
    Aheante

  • @SampleKiller99
    @SampleKiller99 4 ปีที่แล้ว +45

    The heavy weight president in Africa. Now feel someone is working for us. Time won't be prolonged for idiots.

  • @DottRoBroc
    @DottRoBroc 3 ปีที่แล้ว +41

    I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I discovered and appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. Magufuli will forever remain a political example of integrity for all. I agree about Magulification of Africa!

  • @blackmamba7553
    @blackmamba7553 4 ปีที่แล้ว +19

    Natamani ningekua magufuli

  • @martinamacha7960
    @martinamacha7960 4 ปีที่แล้ว +5

    Wewe ndie Rais tunaekutaka, Mungu akulinde JPM wetu😍😘

  • @dunsonkamande
    @dunsonkamande 4 ปีที่แล้ว +16

    hudio ungozi tunoa taka sisi. Wakenya

    • @elvismasiga9272
      @elvismasiga9272 4 ปีที่แล้ว +1

      Fact bro. Sisi maden itatuua

    • @yusufumbwene6845
      @yusufumbwene6845 4 ปีที่แล้ว +2

      @@elvismasiga9272 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 welcome to Tanzania the blessed land ...

    • @elvismasiga9272
      @elvismasiga9272 4 ปีที่แล้ว

      @@yusufumbwene6845 acha n vumilie kenya tu ..but your currency imeshuka sana .better kenya..

    • @jackmichael1953
      @jackmichael1953 4 ปีที่แล้ว +2

      @@elvismasiga9272 itapanda tu ndio tunapambana vita kaa sawa siku moja

    • @elvismasiga9272
      @elvismasiga9272 4 ปีที่แล้ว

      @@jackmichael1953 sa currency ikilose value itarudi vipi na wewe..

  • @zenomgaya229
    @zenomgaya229 4 ปีที่แล้ว +15

    Asante mkuu hapakazitu

  • @maureenkemei9254
    @maureenkemei9254 3 ปีที่แล้ว +17

    Great hero who can't tolerate nonsense Africa will miss you

  • @Myright888
    @Myright888 4 ปีที่แล้ว +30

    That is my beloved daddy 💕🌹🙏🙏🙏 Proudly TANZANIAN 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏 I’m crying jamani siwezi kupiga kura nipo huku kwenye corona but I LOVE YOU DADDY Jamani waTZ wenzangu mchagueni babaetu tena he is the best President we have blessed from God jamani. Viva MAGUFULI

  • @winnymem8689
    @winnymem8689 3 ปีที่แล้ว +1

    Wow this president kabz ...I wish ningekuwa tz or God kuongezea muda tenah maghufuli jameni ...MTU mkweli kabz hongera kwa kazi yako ...continued rip

  • @athumanyusuph1099
    @athumanyusuph1099 4 ปีที่แล้ว +5

    tunataka nchi yetu isonge mbele na sio mtu anakuja hapa kutuletea porojo za kiboya then matahira wenzake wanamshangilia...akaanze kuuza nchi ya ubeligiji then ndo aje auze yetu ili tuamin ana uzoefu wa kuuza nchi mamae...JPM vs TZ oyeeee

  • @geniusmbugua9751
    @geniusmbugua9751 4 ปีที่แล้ว +2

    Can I BE AROUND To VOTE IN TANZANIA I WILL VOTE JPM 100%

  • @chagejuma6139
    @chagejuma6139 4 ปีที่แล้ว +5

    Saf hamna kutetemekea ngoz nyeupee bana

    • @tanzanian8847
      @tanzanian8847 4 ปีที่แล้ว

      Hakuna kuwatetemeke , inabidi waanze kutetemeka wao

  • @ayoubroti4809
    @ayoubroti4809 4 ปีที่แล้ว +14

    Kula yangu umepata

  • @michaelstephen3743
    @michaelstephen3743 4 ปีที่แล้ว +32

    Sawaa mzeee tumeelewaa

    • @dicksonlupembe383
      @dicksonlupembe383 4 ปีที่แล้ว

      Magufuli anatosha

    • @tecrajohn8033
      @tecrajohn8033 3 ปีที่แล้ว

      Tutampata wapi raisi mzuri Kama huyu jamani akuna

    • @johnikumbo5047
      @johnikumbo5047 3 ปีที่แล้ว

      Tunakuomba uendelee kutuongoza mpaka tutakapo sema yatosha,wewe ni raisi wa kipekee

  • @wazirmlogi7532
    @wazirmlogi7532 4 ปีที่แล้ว +3

    Nchi yoyote dunian iliyo chini kimaendeleo ili ipige atua inahitaji iwe na rais km huyu,na hata walio wavivu kutafuta hela ni lazima watajifunza kutafuta tu,Na 2020 awe huyu huyu tu ili tujiunze zaid

    • @neemamasimba2981
      @neemamasimba2981 4 ปีที่แล้ว +1

      Uko wapi nikununulie soda??? Maana Kuna watu wasioelewa kabisaa

    • @wazirmlogi7532
      @wazirmlogi7532 4 ปีที่แล้ว +1

      @@neemamasimba2981😂😂😂😂 wabongo wenye uwanja mpana wa mawazo vichwani mwao ni wachache sanaaaaaa,wengi wao ni weu 2 wafuata bendera

  • @selemankupaza5999
    @selemankupaza5999 4 ปีที่แล้ว +11

    Chaguo langu ni wewe jpm.

  • @emymtenga9895
    @emymtenga9895 4 ปีที่แล้ว +2

    Tareh 28 sifanyi makosa mheshimiwa maguful

    • @kelvinjohn6851
      @kelvinjohn6851 4 ปีที่แล้ว

      👏👏👏👏👏👏👏👌

  • @khadijamohd1216
    @khadijamohd1216 4 ปีที่แล้ว +6

    Anatumbua mpk machina hy Commando.

  • @damianjeremia3821
    @damianjeremia3821 4 ปีที่แล้ว +2

    Wapinzani acheni unafiki inamaana hamjaona Millard kapost au mmepita kama upepo?haaahaaahaaa na badoooo

  • @priscambwambo1030
    @priscambwambo1030 4 ปีที่แล้ว +5

    Corona sio ya watanzania . MUNGU ALISHATUHURUMIA NA KUTULINDA

    • @magesamatiku7364
      @magesamatiku7364 4 ปีที่แล้ว +1

      Korona ni kwa ajili ya mashoga ya Ubelgiji viva JPM

  • @jnote9283
    @jnote9283 2 ปีที่แล้ว

    Dr John Pombe Magufuli was a prophet. A spiritual and political's rare breed. Ukizingatia mambo yote, hakuwa Rais wa kawaida.

  • @rechojofrey8008
    @rechojofrey8008 4 ปีที่แล้ว +13

    Wataisoma naba baba hapa kaz 2🤣🤣

  • @jumaally1264
    @jumaally1264 4 ปีที่แล้ว +9

    Kura zote kwa raisi wa wanyonge

  • @askochy
    @askochy 4 ปีที่แล้ว +7

    I envy you Tanzania. Kenya ni bure tu

  • @bilalybarisesa5206
    @bilalybarisesa5206 4 ปีที่แล้ว +12

    Rais Kama Huyu, Hatuto mpataga Tena, Mungu Amlinde na kumpa ujasiri wa kuijenga Tz Adi igeuke USA🙏

    • @mweyoms5548
      @mweyoms5548 4 ปีที่แล้ว +1

      Tulikua tunamhitaji angalau kwa miaka 20 tu.Hakika tungekua mbali.

    • @bernardoleonard7331
      @bernardoleonard7331 4 ปีที่แล้ว +1

      @@mweyoms5548 tutampata mbeleni inshallah mbele ya safar baada yake2030

    • @zakialustan722
      @zakialustan722 2 ปีที่แล้ว

      God is great

  • @kadojr2964
    @kadojr2964 4 ปีที่แล้ว +5

    Kiukweli sina lakuongea juu yako ww ndo rais tunayekuhitaji piga kazi baba naomba ubaki miaka mia

  • @malikkb6444
    @malikkb6444 3 ปีที่แล้ว +18

    I miss JPM.. Still in our hearts

    • @pcazzo22
      @pcazzo22 2 ปีที่แล้ว

      Mtam-miss sana huyo mbwa koko!!
      Sisi yaani tunazidi kufurahia yaani hadi raha 🤸🏿‍♂️🤸🏿‍♂️🤸🏿‍♂️🤸🏿‍♂️

    • @malikkb6444
      @malikkb6444 2 ปีที่แล้ว +1

      Ata wewe mbwa wa kizungu utakufa na watasheherekea wengi.

    • @pcazzo22
      @pcazzo22 2 ปีที่แล้ว

      @@malikkb6444 🤣🤣🤣🤣 for the time being we're just enjoying the demise of your baboon.
      🤣🤣🤣

    • @pcazzo22
      @pcazzo22 2 ปีที่แล้ว

      @@malikkb6444 for the time being tunasherehekea huyo ngedere wenu kufa... pamoja na kujiona mungu-mtu amekufa kama mbwa koko.
      Mtam-miss sana...pumbavu zenu!.
      🤣🤣

  • @missmwayway4704
    @missmwayway4704 4 ปีที่แล้ว +18

    Yn Rais wetu ww cjui hata nikuambie nn mpka ukanielewa......But Allah azidi kukupa nguvu ili uzidi kuliongoza Taifa letu la Tanzania na Africa kwa ujumla🙏🙏🙏🙏

    • @barakadeo2995
      @barakadeo2995 4 ปีที่แล้ว

      Unasitaili kuwa raisi wetu miaka 20

  • @kelvin8324
    @kelvin8324 4 ปีที่แล้ว +24

    Am Kenyan n this is my president ....salute ✋🏿 Mr.president...

    • @mihayouziambasha5020
      @mihayouziambasha5020 4 ปีที่แล้ว +2

      In Africa if we get 10 presidents like MAGUFULI i think we can go far

    • @allymalenga9598
      @allymalenga9598 4 ปีที่แล้ว +2

      I thank you On behalf ov my President🇹🇿🙏

    • @SampleKiller99
      @SampleKiller99 4 ปีที่แล้ว +1

      I'm proud of my president.

  • @seifzongo320
    @seifzongo320 4 ปีที่แล้ว +3

    We can not tolerate that stupid thing,hakuna extension,umeme upo maji yapo pesa zipo ....hiiiiiiiiiiiii👏👏👏👏👏 like za JPM

  • @ashiraally527
    @ashiraally527 4 ปีที่แล้ว +20

    Uchaguzi lini kwan huyu ndo magufuri bwana

  • @kusekwahenry2683
    @kusekwahenry2683 4 ปีที่แล้ว +9

    nakubali xana kwa kazi magufuli jembe mitano tena

  • @paulyonah4437
    @paulyonah4437 4 ปีที่แล้ว +6

    Raisi wetu kipenzi wa Kenyaaa🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @khalidballeth5957
    @khalidballeth5957 4 ปีที่แล้ว +5

    Nakukubali saana Mh Rais we2🙏🙏
    Kwa Administration 🙏wewe ni kiboko lkn kwenye uchumi ni Poor🙏

    • @kelvinjohn6851
      @kelvinjohn6851 4 ปีที่แล้ว +1

      Sijui unatafsiri vipi uchumi maana magufuli anagusa uchumi katika utendaji wake kila siku. Mfano hapo ameuliza kama mradi ungejamilika mwezi wa 7 watu wangeanza biashara na kujiingizia fedha sasa kwa kuwa wamepitiliza hizo fedha zitalipwa na nani? Pili alikataa kugunga nchi kipindi cha korona ili uchumi wetu usife na alituhimiza kuchapa kazi kwelikweli. Tatu upanuzi wa barabara na ujenzi wa flyovers ni mkakati wa kukuza uchumi maana magari yatapunguza muda wa kukaa kwenye foleni na watu watawahi makazini sasa cjui mwenzangu wewe umetafsiri vipi ila mpe kura JPM ni rais bora sana kwa taifa letu.

    • @khalidballeth5957
      @khalidballeth5957 4 ปีที่แล้ว +1

      @@kelvinjohn6851 we unaongelea uongozi hapo namkubali kwa %100
      Naposema uchumi namaanisha ni kuibana Private sector....
      Kuhus swala la kura hilo halina tTizl.lkn kulosoana ni muhimu kwa kila mtu na mtazamo wake

  • @mihayouziambasha5020
    @mihayouziambasha5020 4 ปีที่แล้ว +12

    RAIS MAGUFULI I DESERVE TO SAY THAT YOU HAVE TRAPPED ME TO VOTE FOR THE FIRST TIME IN GENERAL ELECTION. Sikuona Rais mwenye msimamo kwa ajili ya nchi yangu. Wote niliwaona ni wapiga dili tu kazi kutupaka uji mdomoni eti wanatangaza tumekunywa. Naomba mwenyezi Mungu anipe uzima na uwezo wa kufika kwenye kituo cha kupigia kura hiyo 28th October nifanye maamuzi sahihi juu yako maana sina namna nyingine ya kukushukuru zaidi ya KURA YANGU.
    Kuhusu huyu mgombea ubunge hapa mjini mie simuelewi kabisa. Sipigi kura kwa kuangalia chama bali utendaji mzuri ndio ulimbo wa kuninasa nimpigie kura kiongozi maana mie SIO MWANACHAMA KWAMBA NINA MASLAHI NYUMA YA PAZIA. Naweka mtu anayechapa kazi kama wewe. 🙏🙏🙏🙏nakuombea ushindi wa kishindo usio na mashaka maana mamilioni ya Watanzania wana imani na wewe.

    • @ezeedi871
      @ezeedi871 2 ปีที่แล้ว

      Ndg yangu Leo hii nimesoma comment yako had machozi yamenitoka yaan,na mm ni miongoni mwa heartbroken after Magufuli kupass away,Rest in peace our hero

  • @khamisrashidy1079
    @khamisrashidy1079 4 ปีที่แล้ว +35

    Jaman kuna mpinzan anakigeugeu aty kamsifia raisa 😀

  • @fransalbat1800
    @fransalbat1800 4 ปีที่แล้ว +4

    Huyu ndo Rais Rais narudia Rais Watanzania mnakwama wap?

  • @Omar-ho8vv
    @Omar-ho8vv 4 ปีที่แล้ว +9

    Verry intelligent, we appriciate you Mr. President we love 😍

  • @maulanamithenga8195
    @maulanamithenga8195 4 ปีที่แล้ว +5

    allah bless you mr president

  • @mheheoriginal9712
    @mheheoriginal9712 4 ปีที่แล้ว +5

    Kwa mwendo Huu baba
    Kura yangu we chukuwa

  • @petromtakati2975
    @petromtakati2975 2 ปีที่แล้ว +2

    Mama samia!!!!!!!
    Why don't you see this to your colleague, kama nikupoteza basi hapa tumepoteza tena saana .. yaaan only thing you do is to let him down aonekane he is nonsense president?
    Sometimes we comeback here to review this clip to be honest inauma saana , tulijua upo nayeye pamoja kumbe u was there for your benefit.
    Alipo semaga we here for the benefit of poor people and we have to save poor people alimaanisha.
    At least ungefanya hii miaka iliyo baki kama mlivo panga then bada ya election ufanye branda unazofanya.
    To be honest mama unatuumiza saana hasa unapo fanya mambo tofauti na aliyo/mliyo panga na mh raisi JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI.
    Machozi ya wanyonge hayaendagi bule fanya kazi ukijua hyo ni dhamana umepewa na sio vinginevyo
    RIP jpm

    • @ezeedi871
      @ezeedi871 2 ปีที่แล้ว

      Daaaaaaah!!!!!!😭😭😭😭😭

  • @bichuribundi7869
    @bichuribundi7869 3 ปีที่แล้ว +3

    This man is not a dictator as it has been said all over
    This is what he should do to get things done.i like the quality in him

    • @shedrackmumo1739
      @shedrackmumo1739 3 ปีที่แล้ว +1

      Thanks bro.. atleast i av a friend thinking wat av always thought. People confuse being strict ad straight with dictatorship.

  • @abdrahimhassan8393
    @abdrahimhassan8393 4 ปีที่แล้ว +7

    I love you my present

  • @samonapa5895
    @samonapa5895 3 ปีที่แล้ว +7

    Oh Africa, how you will miss this great son and statesman. God thank you giving Africa this great son, now that you have called him, please anoint others several times more to restore Africa and cover the long years of shame and reproach, in Jesus name!

  • @anahna6788
    @anahna6788 3 ปีที่แล้ว +2

    MIMI binafsi sitakusahau milele
    MY dear dady😭😭😭😭😭😭😭

  • @fifthworthy4589
    @fifthworthy4589 3 ปีที่แล้ว +5

    I really feel him..fedha za maskini hope uhuru should follow his steps too😭😭😭r.i.p maghufuli

  • @majaliwabatromeo5773
    @majaliwabatromeo5773 4 ปีที่แล้ว +2

    Kiukwel maguful ni rais wa wote mwenyez mungu azid kutujalia marais wafatao wawe kama magufuri.

  • @florashauri9228
    @florashauri9228 4 ปีที่แล้ว +25

    Safiii sana Rais wetu mpendwa Dr.JPM

    • @aliabmugh2362
      @aliabmugh2362 4 ปีที่แล้ว +1

      Chezea raid magufuli ww utakoma kujisahau

    • @davidmaeda836
      @davidmaeda836 4 ปีที่แล้ว

      @@aliabmugh2362 9

  • @sekellantondolo423
    @sekellantondolo423 4 ปีที่แล้ว +1

    Rais aliyeteuliwa na Mungu