Tanzania: Ali Hassan Mwinyi's hilarious speech during Magufuli's burial

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 118

  • @wachiramoses9388
    @wachiramoses9388 3 ปีที่แล้ว +5

    Rais Mustaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi...Mungu azidi kukubariki na akupe maisha marefu na afya nzuri

  • @hi_lo574
    @hi_lo574 3 ปีที่แล้ว +7

    His silver hair Glory and 96 years old is Gold age is a TREASURE for us all.
    He made everyone smile and Baba JPM must be smiling in Heaven watching his speech , he is a living example of how we should live our lives. Watching from the USA 🇺🇸God Bless and
    ASANTE SANA Prez Ali Hassan 💖💖💖👃👃💖💖👍👍👍👍

  • @drgeorgemeldenmangenith.d5169
    @drgeorgemeldenmangenith.d5169 3 ปีที่แล้ว +10

    You have made tears to run out of our eyes when we remember our beloved brother the late President Magufuli!

  • @benedictmrisho2361
    @benedictmrisho2361 3 ปีที่แล้ว +14

    Uzee dawa. Old is gold. Hutachoka kumsikiliza Mh Mzee Mwinyi.

  • @gilbertmusoka8137
    @gilbertmusoka8137 3 ปีที่แล้ว +3

    Mzee wangu nakupenda mno.Old is gold they say.Yaani kwa hotuba zote umewazidi hao na umenichekesha kweli

  • @qdshsciencetheologyphil8536
    @qdshsciencetheologyphil8536 3 ปีที่แล้ว +1

    Maajabu ....Mzee Mwinyi bado yupo ?? Tunasema Asante kwa Mwenyezi Mungu

  • @josephineslaa7407
    @josephineslaa7407 3 ปีที่แล้ว +6

    Amen! You are so great Mzee wa Ruksa

  • @esthergloria
    @esthergloria 3 ปีที่แล้ว +40

    Mimi ni mu Congomani ila nawa penda sana wa Tanzania na uyu baba nampenda sana ili mbidi aje ku tu chekesha kidogo mahani tuli kuwa tume liya sana. Basi nenda salamu baba yetu Dr. John Pombe Magufuli. Tuna ku penda sana baba na tuta ku kumbuka daima

    • @frankkassongo6639
      @frankkassongo6639 3 ปีที่แล้ว +1

      Asante sana kwa maneno yako mazuri my sister. We love you too.

    • @mwamengele
      @mwamengele 3 ปีที่แล้ว +1

      Asante Sana Congowoman

    • @ewaldantony8494
      @ewaldantony8494 3 ปีที่แล้ว +2

      +255755426810

    • @romenhome5138
      @romenhome5138 3 ปีที่แล้ว +1

      uko wapi? bukavu? asante

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 3 ปีที่แล้ว +1

      Na sisi tunawapenda wa Congomani. Huko wapi dada tuwasiliane ili tuendeleze undugu ? Unatumia facebook?

  • @drgeorgemeldenmangenith.d5169
    @drgeorgemeldenmangenith.d5169 3 ปีที่แล้ว +8

    We miss Mr Magufuli our man and our pride Africa !

  • @lucasoketch
    @lucasoketch 3 ปีที่แล้ว +23

    Mwinyi alikuwa rafiki na shabiki mkubwa wa magufuli, Alikuwa mwiongoni mwa watu wa kwanza kufika ikulu na kuhimiza watanzania wamtie moyo magufuli. Magufuli alichangia sana kwa mwanawe mwinyi, Dr. Hussein Mwinyi kushinda Urais wa zanzibar na pia serikali ya magufuli ilimpatia heshima mwinyi kwa kumjengea a retirement home befitting a retired president. Kama kuna mtu ameguswa ni Ali Hassan Mwinyi.

  • @kountchesezirahiga5560
    @kountchesezirahiga5560 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana Raïs kuwapunguziya wa Tanzania simazi!!!!

  • @KAlli-xv6el
    @KAlli-xv6el 3 ปีที่แล้ว +5

    I missed this man ♥️♥️♥️🇹🇿🇹🇿

  • @norahkiereri4085
    @norahkiereri4085 3 ปีที่แล้ว +20

    "Mweshimiwa Rais!" Those words made my heart jump when it dawned to me that he's referring to a female president 💕💕💕

  • @DottRoBroc
    @DottRoBroc 3 ปีที่แล้ว +2

    I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I discovered and appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. Magufuli will forever remain a political example of integrity for all. I agree about Magulification of Africa!

  • @martinanappa9406
    @martinanappa9406 3 ปีที่แล้ว +6

    Asante sana..
    Mzee Mwiny..
    Umeongea vzur.

    • @kazinimargaret4307
      @kazinimargaret4307 3 ปีที่แล้ว

      Thank you Mzee Mwinyi.

    • @fatmaalnabhani3609
      @fatmaalnabhani3609 3 ปีที่แล้ว

      Babu mheshimiwa amenifurahisha sana, mungu amhifadhi inshaallah, Amin

    • @edwinkidambu165
      @edwinkidambu165 3 ปีที่แล้ว +1

      Ameongea vizuri sana. Love from Kenya.

  • @hassanmaalim9193
    @hassanmaalim9193 3 ปีที่แล้ว +12

    Mashallah Mzee hatumii hata miwani kisoma?

  • @samiramawby1257
    @samiramawby1257 3 ปีที่แล้ว

    Allah bless you and grant you with long life.. Lovely and wisely speech... Love you

  • @yamatlemomo542
    @yamatlemomo542 3 ปีที่แล้ว +1

    Napenda sana kumuzikiliza huyu Mzee wetu Mwinyi Mungu akutunze

  • @samuelnsa1979
    @samuelnsa1979 3 ปีที่แล้ว +2

    this is beautiful.

  • @louissaganira2051
    @louissaganira2051 3 ปีที่แล้ว +5

    This guy is still alive😳..wow. He was a good Prez

  • @rachelmushumbusi4831
    @rachelmushumbusi4831 3 ปีที่แล้ว +2

    I like that 👏👏👏👏👏

  • @princemartinstv5738
    @princemartinstv5738 10 หลายเดือนก่อน

    2 years later ,he is also no more ,life is indeed a journey 😢

  • @williamorwaru1136
    @williamorwaru1136 10 หลายเดือนก่อน

    Old is Golden RIP mzee Hassan

  • @jasperetale6916
    @jasperetale6916 3 ปีที่แล้ว +11

    "the silver-haired head is a crown of glory......" proverbs 16:31.

    • @hawaahmed5452
      @hawaahmed5452 3 ปีที่แล้ว +1

      Long live Mzee Ali Hassan Mwinyi
      ALLAH May give you shifa

    • @fatmaalnabhani3609
      @fatmaalnabhani3609 3 ปีที่แล้ว +1

      @@hawaahmed5452 Alhamdulillah God bless him, mashaallah he is strong, and not sick tabaaraka rrahmaan.

  • @docchewe
    @docchewe 3 ปีที่แล้ว +14

    A great speech despite his age.

    • @mselemmwanamsoga9814
      @mselemmwanamsoga9814 3 ปีที่แล้ว

      0⁰⁰⁰⁰⁰⁰000⁰⁰00⁰⁰⁰⁰0⁰⁰⁰⁰⁰⁰

  • @richard2218188
    @richard2218188 3 ปีที่แล้ว +13

    This man is 95 and reads without glasses.

    • @plizwekup5231
      @plizwekup5231 3 ปีที่แล้ว +2

      Organic African diet, no vaccines and less care for the so called modern life. I this young generation wakes up.

    • @JesusChristSaves4ever
      @JesusChristSaves4ever 3 ปีที่แล้ว

      Social media free...hakeshi kwa social media

    • @rajah9328
      @rajah9328 3 ปีที่แล้ว

      Umeona udongo wazimani

    • @mwendapoleee
      @mwendapoleee 2 ปีที่แล้ว +1

      Swahili cuisine have alot of spices maybe thats why!

  • @wanderaseth2588
    @wanderaseth2588 10 หลายเดือนก่อน

    Rest in peace Mwinyi Hassan. A very jovial man

  • @drgeorgemeldenmangenith.d5169
    @drgeorgemeldenmangenith.d5169 3 ปีที่แล้ว +1

    We love you president Hassan

  • @samuelmohabe9240
    @samuelmohabe9240 3 ปีที่แล้ว +5

    Nice prezo

  • @silverytesha6788
    @silverytesha6788 3 ปีที่แล้ว +2

    Ishi miaka zaidi rais wetu mstaafu mzee H
    Ali Hassan Mwinyi maiaka 98 na bado una nguvu.

  • @aishaasumany561
    @aishaasumany561 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah Mzee Wa ruksa mung Akurinde babu yetu raisi wetu nitakufanyia tena kampeni

  • @lacroquetalacroqueta6813
    @lacroquetalacroqueta6813 3 ปีที่แล้ว

    Respect 🙌

  • @GreatballersEver
    @GreatballersEver 3 ปีที่แล้ว +14

    Wise than the entire Kenyan Government!

    • @kaykay4909
      @kaykay4909 3 ปีที่แล้ว

      Entire Africa!! Bless him

    • @abbyadams8691
      @abbyadams8691 3 ปีที่แล้ว +1

      Hahahaaaa,😆😄😆😄 taratibu jamani tunaomboleza.

    • @romenhome5138
      @romenhome5138 3 ปีที่แล้ว +2

      @@abbyadams8691 achezee chini .. mi mkenya na huo ni ukweli anavyosema.

  • @abdulkatalango2890
    @abdulkatalango2890 3 ปีที่แล้ว +1

    live long grandpa

  • @lameckbalekere1962
    @lameckbalekere1962 3 ปีที่แล้ว +1

    Safi

  • @nasserm.nasser5087
    @nasserm.nasser5087 3 ปีที่แล้ว +5

    Maskini mzee rukhsa, tunakumbuka sana ulipoleta neema na kutuondolea dhiki ya kula ugali wa yanga na mlenda au asali kila siku kwa kuruhusu na kuirudisha tz ktk jumuiya za kimataifa baada ya siasa za kimaskini za ujamaa na kujitegemea kuanguka

  • @juliusthegreat3622
    @juliusthegreat3622 3 ปีที่แล้ว +10

    Babu yetu kaleta furaha kidogo kwa wahuzinikaji

  • @salimsiri4436
    @salimsiri4436 3 ปีที่แล้ว

    Nice mzee wetu

  • @hijazhija316
    @hijazhija316 3 ปีที่แล้ว +2

    96 yrs old

  • @rachelmushumbusi4831
    @rachelmushumbusi4831 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante mzee ruksa

  • @nginirasaire5876
    @nginirasaire5876 3 ปีที่แล้ว +6

    "ngoja kwanza kijana wangu"

  • @kitony
    @kitony 3 ปีที่แล้ว +5

    Why hasten the old man, he was speaking meaningful things albeit slow!

  • @kingsiddatog4061
    @kingsiddatog4061 3 ปีที่แล้ว +11

    Kweli Wahenga hawakukosea waliponena utu uzima ni dawa..Mzee wetu Mwinyi aleta Faraja wakati wa majonzi😁🇹🇿...
    R I P JPM😭💔

    • @karyori69
      @karyori69 3 ปีที่แล้ว +1

      hawenga ndo nn?

    • @slimmy.b1520
      @slimmy.b1520 3 ปีที่แล้ว +3

      @@karyori69 tusiumbuane muelewe alicho manisha plz.(wahenga)

    • @kingsiddatog4061
      @kingsiddatog4061 3 ปีที่แล้ว

      @@karyori69 Naamini kwa wale walioanza kutumia simu za Android muda wameelewa Ila kwa ww ndugu yangu...nilitaraji WAHENGA

    • @kingsiddatog4061
      @kingsiddatog4061 3 ปีที่แล้ว

      @@slimmy.b1520 🙏ßoss

  • @ephraimkihahu9615
    @ephraimkihahu9615 3 ปีที่แล้ว

    Wow

  • @mohddalali1008
    @mohddalali1008 3 ปีที่แล้ว +5

    Mwiny kanikosha😄😄

  • @muhammedwakif6216
    @muhammedwakif6216 3 ปีที่แล้ว +12

    Mzee anasoma bila ya miwani hakika Allah ni mkubwa humpa amtakae

  • @joackimbahati6316
    @joackimbahati6316 3 ปีที่แล้ว

    Atakumbukwa mda mrefu marehemu Rahisi wa muungano. wa Tanzania Dr. John Magufuli

  • @mwambaowapwanichannel8572
    @mwambaowapwanichannel8572 3 ปีที่แล้ว +6

    Mzee hogera angalau umefanya mama janet kutabasamu,umemuondolea simazi

    • @kazungukakiyo4309
      @kazungukakiyo4309 3 ปีที่แล้ว +1

      Our grand Mwinyi is so great.Ana mpenda mama Mwanasiti yani ana mukumbuka baada ya muda.

  • @abrahamsnoopdog5929
    @abrahamsnoopdog5929 3 ปีที่แล้ว +1

    babu mwinyi

  • @raybirry3816
    @raybirry3816 3 ปีที่แล้ว

    BABU WA TAIFA💃

  • @youngdula5409
    @youngdula5409 11 หลายเดือนก่อน

    Babuu

  • @jovenaryjovenary8428
    @jovenaryjovenary8428 3 ปีที่แล้ว +1

    Kama katiba ingekuwa inaruhusu Mh. Mwinyi agerudishwa kuongoza tena

  • @rosestigeneriksson8387
    @rosestigeneriksson8387 3 ปีที่แล้ว +1

    Nyie mlishinda wapi

  • @dbrothers4551
    @dbrothers4551 3 ปีที่แล้ว +4

    Hichi ndo chuma

  • @hotnews2637
    @hotnews2637 3 ปีที่แล้ว +6

    Mzee wa Ruksa

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 ปีที่แล้ว

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @kennirochok5067
    @kennirochok5067 3 ปีที่แล้ว +2

    Imagine me ni ngombe na ninesema sitagoogle ndio nyii mnijibu. Zanzibar ni nchi kivyake ikaungana na tanzania? Ivi mzee mwinyi ni rais ama ni mfalme? Mtu anichanue

    • @abbyadams8691
      @abbyadams8691 3 ปีที่แล้ว

      Ukibeba ubaya rohoni mwako unateseka nao wewe mwenyewe. Endelea kuteseka

    • @bernardoleonard7331
      @bernardoleonard7331 3 ปีที่แล้ว

      😩😂😂

    • @viousa
      @viousa 3 ปีที่แล้ว

      Funny you, ni rais

    • @victorguapo7827
      @victorguapo7827 3 ปีที่แล้ว

      Kuna mwinyi jr and mwinyi sr. Unauliza yupi??

    • @aishaasumany561
      @aishaasumany561 3 ปีที่แล้ว

      Mwinyi niraisi wa tanzania waawamu ya pili kukaja mkapa na kikwete na zanzi bar. Ni tanzania na tz nikubwa kuriko lringa

  • @issaabdi9129
    @issaabdi9129 3 ปีที่แล้ว +2

    Nimemiss Mzee ruksa

  • @shaloboy3861
    @shaloboy3861 3 ปีที่แล้ว +1

    Mzee yuko strong ajiskia aongee tu

  • @hongeramgaya714
    @hongeramgaya714 3 ปีที่แล้ว +2

    Kwa mara kwanza kwa siku kadhaa watu walipata kuțasamu

  • @samwelboniphace5791
    @samwelboniphace5791 3 ปีที่แล้ว +3

    So funny

  • @elijahomwenga4850
    @elijahomwenga4850 3 ปีที่แล้ว +1

    Mzee wa chuma ya samani huyu

  • @aishaasumany561
    @aishaasumany561 3 ปีที่แล้ว

    Uzee mwisho chalinze Mzee anaongea kisha anasahau nimecheka mbavu sina

  • @viousa
    @viousa 3 ปีที่แล้ว +3

    He is 95

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 3 ปีที่แล้ว

    Mh rais usinichoke kunisikiliza, ha ha haa

  • @georgesanga1590
    @georgesanga1590 3 ปีที่แล้ว

    Fkuo

  • @kaborogotadimbahasi6854
    @kaborogotadimbahasi6854 3 ปีที่แล้ว +1

    President Hassan Mwinyi betrayed former President of Rwanda HE Habyarimana Juvenal

    • @awadhhamza9296
      @awadhhamza9296 3 ปีที่แล้ว

      How pls share that story

    • @abdulkatalango2890
      @abdulkatalango2890 3 ปีที่แล้ว

      how tell us ....lier

    • @keivgerrard7597
      @keivgerrard7597 3 ปีที่แล้ว +2

      Rwanda betrayed by Rwandanese themselves ...killed each other for stupid tribalism

    • @aggreyogoti4282
      @aggreyogoti4282 3 ปีที่แล้ว

      Hatuna uhakika sisi, tuyaache hayo kwa sasa twaomboleza rais Magufuli aisee

    • @samiramawby1257
      @samiramawby1257 3 ปีที่แล้ว

      Do we care?