Kuna mjinga mmoja anajiita mchungaji ety alitabiri yanga atafungwa uko wap saiv ushindwe Kwa uwezo wa Allah , na Allah ameamua akudhalilishe nabii wa uongo😂😂
Kumbe sio offside, pia hata mechi zilizopita tulizopita majeraha ya mzize yalituumiza sana kwangu mimi ni miongoni mwa wachezaji mhimu sana Yanga kwa sasa
Hata mwaka jana nlisema tuna tunabebwa tukafika final na mwaka huu pia mlisema tunahonga tukafika quarter final ya CAF sasa sijui kwann team mbovu ligi kuu ilifika hatua hizo ktk mashindano makubwa
Jman duuh magor y kupewa kabisa aya na awa muliwapa milion 100 man mh cjaona atagoli la uwezo apo yote mabek w cngida wameyaachia tuu mfno ili la mwsho 😂😂 utopolo bdo san kimpila
Wangapi wanasema Mzee wazajiooni tunakisimati naee Akitangaza yeye tunapata magoli mengi gonga Apa❤❤❤
Mungu ibariki yanga
Gusa achia twende kwao nyie Yanga bingwa yanga tamu yanga rahaa wee huogopi 💚💛🤸♀️🤸♀️💃💃 5G tuliimiss sana
Nani anaangalia marudio namimi ?gonga like hpa tujuanee mwanachi
Goli la 5 fungia mwaka...Mzize 🔥🔥🔥
Nahisi ataenda kufungua piaa
Ukikubaliana mimi tumenyimwa goli la DUBE gonga 👍🏿👇🏿
Ile of side mzee
@@amosezekielnyaruboy427 angalia vizuri mzee...beki wa FGT upande wa kushoto aliua OFFSIDE
@@amosezekielnyaruboy427 angalia vizuri beki wa FGT upande wa kushoto aliua OFFSIDE
Piga hao
Yanga Raha sana atakae gusa wajibu kuwekwa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Asanteni wachezaji wetu 👋🏽Naipenda yanga 💛💛💚💚🇹🇿🇹🇿💐💐🌻🌻
Yanga Mitanooooo Tena✅✅✅✅✅✊
Yanga on fire
Huu mgoli wa 5 Akiii 😁😁😁
Goli la Dubee Assistant referee amedanya Roho Mbayaa....Dubee kaanza kukimbia baada ya Pasi ya kisigino kupgwa akawazidi MBIO maback.
Unajua sana
Yanga is big team
Azam tv asant sana aZam pamoja 💞
Nice
Goal.la dube halali
bokha
410get wameupiga mwingi🐸🤣🤣🤣🤣
yanga ndo inaanza sasa msimu wa 🖐
Hii ni ishala ya maraisi wangu wawili mitano tena 😂😂😂
Yanga Roho mbaya sana 5-0
Wamepigishwa KASONGO aise yanga raha sana
Nimeangalia tena tar 30 December 2024
Ila magoli ya mzize 😂😂😂😅wanabaki kukimbizana2😅😂😂
Bado CHAMA NA MAX HAWAPO , DUH
Kwahio wanautegemea Pernaty na kibunda ndio mpira wao unavutia???😂😂😂😂😂😂
Wivuuu acha
💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛
Sasa iv utasikia GSM anazamini timu nyingi
MPIRA HUO HUO HUOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hahahhaha walikua na mdomo sanaa
Mitano tenaaaaaaaa tumerudiiii
Nani kaona goli la nne jamani 😂😂😂😂😂😂🏃🏃
Hili goli la mzize waweza cheka sana na yule mchezaji wa FG yuwakimbizana na mpira 😂😂🤣🤣🤣 jaman Yanga tamu 💚💛🤸♀️🤸♀️
Tukifungwa wabovuu tukifungwa tunanunua kwendeni hukoo😂😂
Watabaki midomo wazi
Furahaaa imeruduiiii
Hiii ndoyanga ya sik zotee
Saiv mazize anafunga magoli madam sana
Kuna mjinga mmoja anajiita mchungaji ety alitabiri yanga atafungwa uko wap saiv ushindwe Kwa uwezo wa Allah , na Allah ameamua akudhalilishe nabii wa uongo😂😂
Siyo nabii wa uongo hao ni wachawi
Gusa Achia Twende Kwao ina balaa iyo
Menye nyumba karudi😂
1st to watch
👏👏👏👏👏😂😂😂😂😂😂 ASANTE
Na watakomaje 😂😂😂😂😂😂😂😂
Makasiriko yameanza
Na mumshukuru huyo Gori kipa wangeoga Leo mpk wajutee
Mpira wa nchi hii umeharibiwa sana
👊👊👊👊👊
Yanga league yenu hii
Yanga wanagusa kwenda kwao bado...mara goli😅
Sasa tabu iko pale pale
Makoro tulieni huo ni uoga unawasumbuwa
Pacome acha sifa
😊
😢😮😅
❤
Hyo ndo yanga sasa
WANANCHI TULIPE ADA✍️
Goli LA dube lilikuwa goli halali ila ninachokiona wameanza campaign yakumdhulum dube magoli yake
Msemaukweli ni mpenzi wa mungu nani aninipa like mi Yanga ni off side
Kuna timu za kuondoa ligi kuu
Huu mchezo mbona ukiuangalia tu unajua kama Kuna figisu sana
Kwasabab unaangalia kwa jicho la kikolo bro😅
Acha uchawi wew
@@vincenzo6055😂😂😂
😂😂
Mshaanza tena maneno jamaniiii
hawataki dube aongeze magoli amfikie ateba nyie hamjaelewa tuu
mpaka yahaidiwe kibunda ndo unaona yanacheza ila kama pesa hamna ndo yanachezaga hv😂
😏😏
Oooh
Waliye mchokoza kaja
kiukweli mpira tanzania bado sana
Pacome hausifiwi jichunge
Ndio mda wa kumlaumu gsm ss
😂😂😂
GUSA ACHIA TWENDE KWAO
Mudy muzungu mwamba wa mbarali mbeya
Sasa Baleke mbona acezii?
Yanga A vs Yanga B
Kumbe sio offside, pia hata mechi zilizopita tulizopita majeraha ya mzize yalituumiza sana kwangu mimi ni miongoni mwa wachezaji mhimu sana Yanga kwa sasa
Huu ndo mda wa kumlaum GSM sasa
Tatizo wanasimba mko na kamdomo komeniiii😂😂😂
Ata mngeshinda 40
😁😁😁😁
Tunawapumulia mgongni😂😂
Wivu
Sasa hivi wachambuzi wataanza kusema wamedhaminiwa na gsm,wakati turbo zikianza kufunguliwa.
Nyuma mwiko mechi zao zinapoteza hata mvuto tuseme tu ukwel😅🙌
Acha wivu fala wew
Umetombwa
Goli tunafunga nyingi makolo mnaumia
Sasa itakuwaje na mvuto wakati tunawaonea
Iyo yenu yenyemvuto ikowap kubebwa namarefa
Yaani hii timu wamelipwa nayanga yanacheza Kama makuku
tuna wasubiri CAF champions league tu😂😂
Kwan na muko uko
Dube😮😮😮😮
Mpira huo! Huooooo! Huoooo
😂yanganoma
Na lilikua gor halali ila ndio waamziwetu wanamapungufu makubwa inasababisha tunakosa wamzi mech. Za club bingwa hata shirikisho
Utopolo hizo game zenu za kimichongo zinawalemaza ndio maana mkienda Kimataifa Mnaonekana KINACHAKUBIMBI TU
Sawa my wetu
Bs na ww ingia kat uchezeshwe ndo ujue yanga nikubwa
Hata mwaka jana nlisema tuna tunabebwa tukafika final na mwaka huu pia mlisema tunahonga tukafika quarter final ya CAF sasa sijui kwann team mbovu ligi kuu ilifika hatua hizo ktk mashindano makubwa
Bado hamjasema mpaka mseme subiri tuje tukushenyente tu my wetu round hii unakula Kono la nyani na litakavyokukata Sasa duuuuuhhh!!!😮😮😮pole yako!!
Ila makolo bwana nunueni na nyie simna milikiwa na tajiri kijana wa kwanza Africa bado tutakapo washenyenta na nyie tutawauliza tumewapa bei gani
Tuwashenyente mara ngap??
Hatucheki na kima makoro wajipa ge
Fungeni tu kwa time Zinedine ila sio kwa mnyama Simba Ubaya Ubwela
@@GloriaKinyambo we kweli hazimo😂😂😂...tumewageuza mara nne mfululizo halafu unaongea nini
Mmmmmh Mbn fountain gate walizidiwa kumiliki mpira,hiii mechi iliuzwa sio bure
Sio Fountn tu njoo na wewe maana unatuuziaga pia😂😂😂😂
Ulikuwepo kwenye kuiuza hiyo match or unaonge tyuuuu
😂😂😂😂 mimi yanga lakini bhas 2
Jman duuh magor y kupewa kabisa aya na awa muliwapa milion 100 man mh cjaona atagoli la uwezo apo yote mabek w cngida wameyaachia tuu mfno ili la mwsho 😂😂 utopolo bdo san kimpila
Ivivu wa kulima 😂😂😂
Bado hujasemaaa😂😂 mpa msemeeeeee
SINA WASIWASI NA MTOWA SIMULIZI WETU
😊
😊
8:47
8:47 8:48
😊
Ivi triple C yukowap??
Majeruh
Yanga mjichunge siku ya DERBY
Simba ni dem wetu ko tutamgeuza kama chapati, umeshasahau msim Jana kua ulilala na viatu
Yangaaaaaa
huyu mchezaji wa fountain gate kwa nini alipiga mpira nje
Kwamizee hii hayend bil yakubustiw md wowt naitak ubay ubwel
Mtafunga tu mdomo nyie jiropokesheni tu
Ujui mpira kaotea pale
Wakati anafungwa na braki stas hawakusema wamefungwa na Yanga wanaxema kusema2 hamchoki
Yani Yale makande yalikuwa magumu na maji mengi,, parachichi wakachanganya na mlenda
😊😊😊😊😊😊😊😊😊
😊
😊
Mtenje ndo kawaponza wenzie
Hivi goli la mama bado lipo
Goli la tatu mbona beki kategea kufuata mpira
Ungeenda kumsaidia.
Mpira unachezwa na simba hata ukiona unasema natazma mpira
Huna unalolijua wewe,mpira wa Jana nimpita gani ule aisee daah!!
Kazana tu kusambaza Injili ya bwana
Na unajiita mchungaji alafu unaongea nonsense 😂😂😂
Haya madunduga mmeanza chezeni ni kabao kamojamoja ngoja tukushenyente alfu utatwambia ulikuwa unachezaje
Unyama mwingi
Mpira gani huu aibu tu