Agizo la Rais Magufuli kuhusu Wamachinga

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • Ni agizo la Rais Magufuli Ikulu Dar es salaam kuhusu Wafanyabiashara ndogondogo kwenye maeneo mbalimbali ya Tanzania maarufu kama Wamachinga.

ความคิดเห็น • 449

  • @zuwenaabdi1670
    @zuwenaabdi1670 2 ปีที่แล้ว +12

    Walikuja hapa baada ya machinga kufukunzwa gonga like hapa! hapo mama alivaa ngozi ya kondoo

  • @mrdeniskomba6199
    @mrdeniskomba6199 2 ปีที่แล้ว +11

    Ungepunguza kupost inauma sana unaposikiliza speech za jpm baba mwenye upendo wa kweli na watu wake.

  • @hamzaallymwaihojo
    @hamzaallymwaihojo 2 ปีที่แล้ว +15

    Kumbe mzee alishamuagiza awatunze machinga hawa,
    Wanawake, Mungu anawaona😭😭.

  • @adelinajonsony5802
    @adelinajonsony5802 3 ปีที่แล้ว +13

    Rip tunakukumbuka Sana baba sema tangu umeondoka mama amekiuka kila kitu amekusaliti kwa kiwango Cha Hali ya juu Sana

  • @skeetergodwins2576
    @skeetergodwins2576 2 ปีที่แล้ว +9

    Siwezi kuacha kukulilia Baba. Ningekuwa na uwezo ningezuia kifo chako. Lakini kila mwanadamu ana ukomo. Mungu atupe mwisho mwema.

  • @oswardjunior7310
    @oswardjunior7310 2 ปีที่แล้ว +6

    Delila alikuwa yuko makini kumsikiliza kumbe ki moyo nafsi yake ilikuwa inamuuma

  • @cleopatraayhankandal6041
    @cleopatraayhankandal6041 2 ปีที่แล้ว +5

    Lait mtu angekuwa anakufa na kurudi tena walah tz kingewaka

  • @johanithajacob8715
    @johanithajacob8715 3 ปีที่แล้ว +10

    Tulioxkia hotuba ya samia khc machnga tkard tena hapa kwa baba tujuane rest in peace my president

    • @sengeremaxleo9295
      @sengeremaxleo9295 3 ปีที่แล้ว

      Hahahah Daaaaaah 😩😩

    • @sengeremaxleo9295
      @sengeremaxleo9295 3 ปีที่แล้ว +1

      Magu alikuwa side ya watu wa hali ya chini lakin mama sio kabxaaaa

  • @mukhsintwaha5909
    @mukhsintwaha5909 3 ปีที่แล้ว +6

    Pumzika kwa amani JPM ulithubutu daima uliyaishi maneno yko

  • @bigmaneliudy1906
    @bigmaneliudy1906 3 ปีที่แล้ว +6

    Baba tuta kukumbuka leo tume ambiwa tuondoke

  • @simplissamba1943
    @simplissamba1943 2 ปีที่แล้ว +2

    dah kwann mung alimchukua lkniiiiii😰😰😰😰😰😰😰😰😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @saromejusto9587
    @saromejusto9587 2 ปีที่แล้ว +5

    Jmni inaima mbona,na inakua ngumu kwangu kuukubali ukweli kua haupo baba

  • @fraviansweetberty8819
    @fraviansweetberty8819 3 ปีที่แล้ว +4

    Apa lazima tuuu kila mtu atakukumbk wewe ndo ulitambua shida za wananchi Ila Sasaiv washabomolewa Pumzika kwa Amani JPM

  • @shakurfakii5458
    @shakurfakii5458 2 ปีที่แล้ว +2

    Alaf kumbe na mam alkuwa pemben akiitikia dah😂😂nlisahau

  • @ramlaothman5771
    @ramlaothman5771 2 ปีที่แล้ว +3

    Kabla ya hapa tulipo mwanamke Ali play part ya usaliti akamsaliti Adam the same to madam president,, inshort wanawake ni wasalitii... Allah atuondolee hiyo roho inshallah

  • @kahemamzava1608
    @kahemamzava1608 3 ปีที่แล้ว +5

    Mapumziko mema baba Mungu akulaze mahali pema peponi

  • @nassorntandu4513
    @nassorntandu4513 7 ปีที่แล้ว +18

    nimefurahishwa sana na kauli ya Rais Wangu Magufuli, na agizo lake kwa wafanya biashara wadogowadogo, wachimbaji wadogo, wananchi waliopo kwenye maeneo ya hifadhi za wanyama.UTU, UBINADAMU, ILANI, vizingatiwe! MUNGU AKULINDE SANA RAISI WANGU, NA WANAOKUSAIDIA! Umetibu majeraha ya watu wengi waliokuwa wananyanyaswa kwenye nchi yao! WE LOVE YOU MAGUFULI. tuna njaa lakini tupo salama!

  • @benedictmrisho2361
    @benedictmrisho2361 2 ปีที่แล้ว +3

    Hii hotuba ni kitabu cha sulihisho la umachinga RIP Dk JPM . Hotuba zako ni ushaidi. Upendeke, usipendeke , uenziwe, usienziwe hotuba zako zitabaki kuwa ushaidi.

  • @paulosadoi8309
    @paulosadoi8309 7 ปีที่แล้ว +6

    magufuri kwanini hatukukupata kama wewe miaka 30 iliyo pita????? tunge kuwa wapi sasa

  • @kuhandajoshua8688
    @kuhandajoshua8688 7 ปีที่แล้ว +12

    Hakika Mungu anapotaka kujibu maombi ya vilio vya wanadamu hapa duniani, huinua kiongozi aliye na moyo wa Mungu ambaye atawatumikia wanadamu ili kutimiza kusudi la Mungu katika taifa husika. WATANZANIA, TUMWOMBEE JPM...

  • @bonydemaria2030
    @bonydemaria2030 7 ปีที่แล้ว +17

    Kauli ya "hapa kazi tu" ni ngumu sana kueleweka. Tupo nyuma yako Mh. Rais... ! Best work ever seen in Tanzania!

  • @shijalupondeja908
    @shijalupondeja908 2 ปีที่แล้ว +7

    Dah hadi inauma sana,pumzika kwa Amani Baba.

  • @kasimuwesu2620
    @kasimuwesu2620 3 ปีที่แล้ว +2

    John pombe lala kwa aman lakin hawa ulio waacha huku wamekueka het marehem hana hak ......

  • @alimachiusaugustine1445
    @alimachiusaugustine1445 3 ปีที่แล้ว +3

    Sasa najiuliza maswali mengi kwanini urifariki mtetezi wa wanyonnge

  • @estareliya5818
    @estareliya5818 3 ปีที่แล้ว +4

    Lala salama baba

  • @benedictmrisho2361
    @benedictmrisho2361 2 ปีที่แล้ว +2

    Rais yoyote yule mpime kwa yamtokayo mdomoni ( hotuba zisizo za kuandikiwa) maana mdomo huongea ya moyoni na dhamira. Kama matendo hayafanani na yamtokayo basi huyo wa namna yake

  • @masterdaudi7683
    @masterdaudi7683 2 ปีที่แล้ว +4

    Huyu mama kaja tofauti nawewe daaaah pumzika kwa amani magufuli..

  • @mabugabm7708
    @mabugabm7708 2 ปีที่แล้ว +2

    Maisha yanaenda kasi saana jamani aise, duh...?!!! Watetezi wa jana, leo wamegeuka kuwa watesaji tena...!!!

  • @sleymansleyman9511
    @sleymansleyman9511 2 ปีที่แล้ว +2

    Bi mkubwa alikuwa anasikiliza kwamakin namaneno flan anachomekea kiaina Leo kasahau yote kakubali kuingia kwenye 18 za watoto wamjin majibu yayapatikana 2025 yangu macho.

  • @jasbirswaran4338
    @jasbirswaran4338 7 ปีที่แล้ว +14

    big president JJPM,salute kubwa mkubwa wa nchi,maneno kuntu

  • @johanesbina1302
    @johanesbina1302 2 ปีที่แล้ว +3

    Samia anavyochangia kama MTU vilee😂😂😂😂😂😂 duuh haya maisha si powa

  • @hawawezidianakukushusha756
    @hawawezidianakukushusha756 7 ปีที่แล้ว +20

    da sihakosea kabisa kumpa huyu mtu kura yangu Allah akulinde baba

  • @mrpambatv3420
    @mrpambatv3420 2 ปีที่แล้ว +3

    Yani huyo mama ametulila kama binadam kumbe moyoni mwake!!!!!????? RIP JPM

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 3 ปีที่แล้ว +2

    Kwa Sasa Hali sio shwali

  • @shabankodi6181
    @shabankodi6181 3 ปีที่แล้ว +2

    Wamachinga twafukuzwa kariakoo kweli baba magufuli ulisema tutakukumbuka, ikowap kaul yako viongoz hawaizngatii wanatupeleka wap

    • @itwaaky75
      @itwaaky75 3 ปีที่แล้ว +1

      Nani kawafukuza?

    • @gabrielsaelie8091
      @gabrielsaelie8091 3 ปีที่แล้ว +1

      Magufuli alitujaza ujinga KWA kutuaminisha kuwa maisha ni rahisi kumbe sio ukweli. Vijana wanatakiwa wajengewe uwezo na ujuzi wa kufanya mambo muhimu zaidi na siyo kuendekeza umachinga.

  • @barutwatv8308
    @barutwatv8308 3 ปีที่แล้ว +3

    Baba saiz amesha sahau ushaul ako mtokee BC ata kwa ndoto mkumbushe

  • @silverrichard2975
    @silverrichard2975 2 ปีที่แล้ว +2

    baba umeondoka machinga wanateseka tena

  • @gracegrace6200
    @gracegrace6200 3 ปีที่แล้ว +3

    Muone hapa mama Samia kimya kama malaika. Yote ya Magufuli akayabwaga. Watanzania sasa wanateseka. Baba Magufuli tunakukumbuka sana. Huyu mama ni balaa. Hapo alikuwa akitumia tu unafiki mkubwa kawaonyesha Watanzania. KAWADANGANYA WATANZANIA. 2025BAKICHAGULIWA TENA CCM ITAKUWA INWAKOSEA SANA WATANZANIA. SHE IS UNFIT TO GOVERN THIS COUNTRY.

  • @simonkiwise4454
    @simonkiwise4454 2 ปีที่แล้ว +10

    Mzee tutakukumbuka sana kama ulivyosema mwenyewe! R.i.p

  • @BennyChristian
    @BennyChristian 7 ปีที่แล้ว +10

    huyu ndo raisi wallahi, hata hela ikipotea vipi mtaani huyu ndo anafaaa miaka 50 mbele

    • @simonlulenga2530
      @simonlulenga2530 6 ปีที่แล้ว

      Asante mheshimiwa unauwezo mkubwa wa kufanya analysis na kumake decision mkubwa na Mungu akubariki Rais wetu.
      Na siai waendesha pikipiki kwa shughuli za kila Siku tumepigwa marufuku kuingia katikati ya jiji la Dar es salaam, mpaka kwa kibali na kibali ni sh. 170,000/= kwa mwaka! Mh. Rais kwanza ifahamike kwamba tunaendesha pikipiki badala ya magari kwa sababu ya kuwa na kipato chetu kidogo 170,000/= tunazitoa wapi? Na kwa mini pikipiki tu na siyo wamiliki wa magari nao waingie katkati ya jiji kwa vibali??? Huu ni ubaguzi ni ukaburu mkubwa sana. Tunaomba utuangalie na sisi.

  • @jacktonmakau3397
    @jacktonmakau3397 2 ปีที่แล้ว +2

    Leo mama amekuwa wehu kabisa ..wamachinga wanafukunzwa

  • @renatussima5274
    @renatussima5274 2 ปีที่แล้ว +2

    Sasa Yako wapi haya, mbona ka hakuwepo, iv mda wa kupitia kauli za Magufuli anao aundo basi tena. Ee Mpe pumziko la amani..

  • @abduladhimually3542
    @abduladhimually3542 7 ปีที่แล้ว +8

    Hongeera mh.......ila umeongea muda mrefu ila sijaona hata glasi ya maji

  • @japhetselestine2156
    @japhetselestine2156 2 ปีที่แล้ว +4

    Tunakukumbuka baba, tena Tunakukumbuka kwa mazuri siyo kwa mabaya, RIP my president

  • @shadrackfidel809
    @shadrackfidel809 3 ปีที่แล้ว +7

    Once upon a time,
    Tanzania ilimpata kiongozi..

  • @felixjilalajilala8398
    @felixjilalajilala8398 7 ปีที่แล้ว +9

    mungu atupe nini sisi watanzania katupatia rais mwenye busara nyingi ewe mwenyez mungu mbariki magufuri awe na maisha malefu awe na moyo huohuo wa kuwasaidia watanzania

  • @mbatatakiazi1678
    @mbatatakiazi1678 3 ปีที่แล้ว +5

    R.l.P our lovely President.
    Tutakukumbuka daima.

  • @sunny_banksfx
    @sunny_banksfx 2 ปีที่แล้ว +5

    Wangapi tumekuja hapa Leo baada ya miaka minne? Rest in peace #JPM

  • @alfinmbilinyi1326
    @alfinmbilinyi1326 2 ปีที่แล้ว +2

    Yeah!huyo ndiyo JPM hasara kubwa ya Tanzania kumpoteza duu tutakukumbuka daima.

  • @jameskereth3968
    @jameskereth3968 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwa kweli bora mchawi kuliko mnafiki 😒 🚮 huyu mama alikuwa anaitikia nini sasa na saivi anafanya nini 🙆🏻‍♂️ duuh Tz 🇹🇿 tumepigwa 🤣
    2025 chama cha democratic hoyeee ✊siezi mpa kichaa rungu 🤐

  • @joashnyabange8830
    @joashnyabange8830 7 ปีที่แล้ว +8

    Rais, Rais, Rais, Rais, Rais, mh magufuli wewe ni kiongozi wa kuigwa kweli kweli tunakupenda sana baba yetu 2020 utapata 100% ya wapiga kura, ila Waziri wa elimu atufungulie mkopo na sisi wenye diploma tupate kuanzia mwakani!

  • @universalcreativestudio8488
    @universalcreativestudio8488 7 ปีที่แล้ว +5

    Heshima kwako!.. Mhe, Rais wetu JONH POMBE JOSEPH MAGUFULI...... Mwenyezi Mungu akulinde... kungekua na uwezekano wakugombea Urasi wa Dunia tunaamin ungepata..... hapa wasio kuelewa ni wazembe wa fikra!... (Viliza). na tunavyokufaham huwezi kukwamishwa na watu wa Design hiyo!.. tuko pamoja na wewe katika maombi!..

  • @amosmichael487
    @amosmichael487 2 ปีที่แล้ว +3

    Wewe mwanamke Mungu anakuona Mungu yupo

  • @issaasumani5182
    @issaasumani5182 2 ปีที่แล้ว +1

    Baba president Johnny 🙏🙏🌲🌲🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🌙🌙🤲🤲🤲💐💐💐💐💐🌲🌲🌳🌲🛤️🛤️⛪🕍🗽📿🕯️🕯️🕯️🕯️🛏️🏞️🏞️🙏 Tanzania president Johnny 🙏 baba president

  • @husseinswahili7382
    @husseinswahili7382 7 ปีที่แล้ว +18

    Asant baba Asant baba Natamani katiba ya Tanzania ibadilishwe ili ukae madarakani miaka yote ya uhai wako.
    Ewe mungu tulindie Rais wetu na mpe hekma nyingi.

    • @rukayyawendo1268
      @rukayyawendo1268 2 ปีที่แล้ว

      😭😭😭

    • @gloryidelya9899
      @gloryidelya9899 2 ปีที่แล้ว

      😭😭😭😭😭😭😭😭😭MUNGUAmempenda Zaidi Yetu

  • @philbertmgaza5434
    @philbertmgaza5434 2 ปีที่แล้ว +3

    Mjomba tunakukumbuka na ulisema tutakukumbuka siku moja sasa yametimia RIP MJOMBA

  • @dauditumaini7658
    @dauditumaini7658 2 ปีที่แล้ว +2

    Yaani huyu mama samia duh amekuwa kipengele kwa swala la wamachinga yaani mpaka imekuwa kero haoni kama analeta balaa ndani ya inchi na uhongozi wake wanamshauri vibaya sana anasaahu kwamba anaelekea uchaguzi nani atampigia kura hajuwi kama wanaomshauri hivyo wanataka aribikiwe sivi ili asipate kura za wananchi atalikumbuka hili akikosa kura

  • @nathanielshauri5135
    @nathanielshauri5135 3 ปีที่แล้ว +3

    Tutakukumbuka sana raisi wa wanyonge kipenzi cha mtetezi wa Tanzania

  • @expensivecrew3159
    @expensivecrew3159 2 ปีที่แล้ว +3

    Pumzika kwa amani baba etu

  • @fabiandaud8717
    @fabiandaud8717 3 ปีที่แล้ว +3

    Baba tunazidi kukukumbuka tunatamani Tena uludi ndunia uone kinacho endelea baba magufuli

  • @matanamaduhu8699
    @matanamaduhu8699 3 ปีที่แล้ว +16

    RIP JPM. You will forever remain in hour hearts. You truly devoted your life to serve the poor. Mama seems to forget all these 😭😭😭😭💔💔💔

    • @ruhumbikabundala2214
      @ruhumbikabundala2214 2 ปีที่แล้ว +1

      the guy will remain my President even though he is not alive

    • @hawamabira1499
      @hawamabira1499 2 ปีที่แล้ว

      @@ruhumbikabundala2214 me too💔

  • @elmediano8125
    @elmediano8125 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu azidi kukuifadhi my G daima tutakukumbuka😭😭😭😭😭😭😭

  • @buddahpest4686
    @buddahpest4686 2 ปีที่แล้ว +2

    Chuma kama Chuma kime pumzka ila Mungu Mwema atakatika moto tuta ishi

  • @adamdaudi6191
    @adamdaudi6191 2 ปีที่แล้ว +6

    “Sisi ndiyo wenye serikali, siyo wao”, napenda sana kiongozi anayetambua mamlaka yake na kuyatumia vizuri, the big JPM!.

  • @chrismanzukicz8500
    @chrismanzukicz8500 2 ปีที่แล้ว +1

    Ivi bado mnafuatilia video hii mwaka huu???

  • @elisantemrita9894
    @elisantemrita9894 2 ปีที่แล้ว +3

    Viongozi wengi waliokulia mjini hawawezi kumuelewa Huyu magu

  • @mwanaidymbuluma8047
    @mwanaidymbuluma8047 2 ปีที่แล้ว +1

    Mama hapa kumbe alikuwa hata haelewi😥😥

  • @filbetkalembe2806
    @filbetkalembe2806 2 ปีที่แล้ว +1

    Huu ivi hamkumuelewa au kiburi ngoja mzimu uwasumbue

  • @estherdaudi8204
    @estherdaudi8204 2 ปีที่แล้ว +3

    Tunakukumbuka baba duh kwel inauma kwa yanayotokea sahv baba ulikuwa unamwambia ndo uyo

    • @estherdaudi8204
      @estherdaudi8204 2 ปีที่แล้ว +1

      😭😭😭😭😭 kakusariti baba

  • @fipa1823
    @fipa1823 2 ปีที่แล้ว +3

    Magufuli alikuwa one king of Tanzanian pamoja na Africa......

  • @barakajosiah2417
    @barakajosiah2417 2 ปีที่แล้ว +2

    Hili mama hatulipigii kura Tena amilize miaka yakee akaleee wajukuu asubilie TU kufaa

  • @kubyjuma4843
    @kubyjuma4843 2 ปีที่แล้ว +11

    Rest in internal peace my president of all time..........😭😭😭

  • @HabibaHabiba-mi1ez
    @HabibaHabiba-mi1ez 7 ปีที่แล้ว +9

    Nimeamin Kweli Sasa Tanzania Inakiongoz Mwenye Upendo Na Wananchi Wake Mungu Akubalik

    • @samwelhintay669
      @samwelhintay669 7 ปีที่แล้ว +1

      kuepusha matamko ya kila uchao ni lazima mfuate sheria mlizotunga na pia mheshimiwa ingekuwa vizuri ukajenga taifa lenye dira ili hata wewe ukitoka ajaye ataifuata

    • @denistarange5580
      @denistarange5580 3 ปีที่แล้ว

      @@samwelhintay669 dah

  • @ayubusaidi922
    @ayubusaidi922 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu munamuomba baba da angekuludisha jamani au mungu anupe mbadara wako wengine hapo hajasikia

  • @alfredymakuru8333
    @alfredymakuru8333 2 ปีที่แล้ว +2

    Pumzika kwa amen baba...taifa linakukumbuka kwa memaa yako

  • @isayamganule1741
    @isayamganule1741 2 ปีที่แล้ว +3

    Rais bora aliebeba Mikoba ya Baba wa taifa REST IN PEACE JPM&JK NYERERE

    • @ruhumbikabundala2214
      @ruhumbikabundala2214 2 ปีที่แล้ว +1

      uyu tu ndo alikuwa anaongea habari za baba wa taifa na kumuomba Mungu

    • @isayamganule1741
      @isayamganule1741 2 ปีที่แล้ว

      @@ruhumbikabundala2214 kweli kabsa

  • @mamacompyu5925
    @mamacompyu5925 7 ปีที่แล้ว +5

    katika cku ulionifurahisha magufuli leo umenifurahisha Sana Shikmoh bba kweli wwe ni mtetezi WA wanyonge
    mungu akupe afya njema

  • @janembalinga7074
    @janembalinga7074 2 ปีที่แล้ว +1

    Kosa wamejenga mabanda ila magufuli alikuwa sahihi

  • @manasemwakagali9358
    @manasemwakagali9358 7 ปีที่แล้ว +3

    nilikuwa nimekata tamaa sana na raisi huyu niliyemchagua, maana nilihisi amelewa madaraka na amesahau matatizo ya watanzania. sasa nimeelewa bado anakumbuka matatizo ya watanzania. ngoja tuendelee kumuunga mkono. kilio cha watu wengi ni hali ngumu ya uchumi lakini mambo yote naona yako poa, uchumi mbaya sana.

  • @anathaliamwangamila3296
    @anathaliamwangamila3296 2 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna raisi Bora kama wewe. RIP daima unaishi katika mioyo ya wanyonge wengi

  • @sajokainwomenfootball
    @sajokainwomenfootball 2 ปีที่แล้ว +1

    Yaan anajidai yuko makini kumbe msaliti mkubwa yaan samia 😭😭😭😭 daaaah

  • @geraldsarayan119
    @geraldsarayan119 2 ปีที่แล้ว +1

    Lisikie eti linaitikia ee ee nhh nhh af leo anakuja kukiuka maagizo ya rais

  • @saadamusa8901
    @saadamusa8901 2 ปีที่แล้ว +1

    Jaman kweli asiye badirika ni mungu pekeyake

  • @omarimkwama6902
    @omarimkwama6902 3 ปีที่แล้ว +1

    Mmeniona lakini nilivyo tulia kama naelewa vile uku nikiambulia ambulia neno moja moja utanitaka 😂😂

  • @daudimakaya9240
    @daudimakaya9240 7 ปีที่แล้ว +7

    kuna watu wanajuashida za watanzania kama huyu raisi wetu magufur ndo maana nakukubal

    • @mubarikmohammed557
      @mubarikmohammed557 4 ปีที่แล้ว

      I'm Ghanaian I love this man he did a great job May almighty ALLAH let him win again because he can fight for Africans,rest of the African presidents should look at him and change,all African leader should stop taking loans from china Africa is rich

  • @nassorokatuga7465
    @nassorokatuga7465 6 ปีที่แล้ว +6

    Mungu akupe maisha malefu rais wetu mpendw

  • @elisamehetemu9521
    @elisamehetemu9521 7 ปีที่แล้ว +4

    tukiwapata viongoz kama hawa 10 Afrika itasoge sehem furani kiuchumi

  • @miligwangulili6777
    @miligwangulili6777 2 ปีที่แล้ว +1

    bana urikuwa jembe pumzika baba

  • @RuzoOwzy
    @RuzoOwzy 2 ปีที่แล้ว +1

    Waafrika tunahitaji kubadilika kifikra zaidi, namna tunavyojitazama. I bet Magufuri alikuwa anafanya hicho kitu kwenye akili za watanzania wengi. Duhhhh.

  • @hamisiselemani9777
    @hamisiselemani9777 3 ปีที่แล้ว +1

    Umeondok jpm wana tusumbua uku wenzio waanaanz kutufukuza kama mbwa

  • @samwelylegenya2278
    @samwelylegenya2278 2 ปีที่แล้ว +1

    Da mnatukumbusha yalio pita

  • @sarajames768
    @sarajames768 2 ปีที่แล้ว +1

    Duuuh! Imenifanya nilie Leo hakika binadamu tunakumbuka wema MTU akiwa hayupo kiuweli ulikuwa Raisi wa wanyonge hakika rest in peace dady.

  • @mussamasau9027
    @mussamasau9027 2 ปีที่แล้ว +2

    R.I.P JPM

  • @tanzaniaonfoot8641
    @tanzaniaonfoot8641 7 ปีที่แล้ว +7

    Kwa miaba ya wamachinga wote napenda kusema kuwa tulimuomba Mungu atupe raisi atakaye tetea wanyongi, kweli Mungu katusikia na kujibu maombi yetu! Mungu akujalia maisha malefu yenye afya njema mheshimiwa Dr. J Pombe Magufuli.

    • @amirlove8036
      @amirlove8036 7 ปีที่แล้ว +2

      asante RAIS wetu

    • @amirlove8036
      @amirlove8036 7 ปีที่แล้ว +1

      RAIS magufur we we ni jembe tutetee baba hata bodaboda tunazinguliwa kinoma sana!

  • @zawadiadam2735
    @zawadiadam2735 2 ปีที่แล้ว +3

    Baba tuta kukumbuka daima

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 3 ปีที่แล้ว +2

    Jpm .😭Tutakukumbuka tumeanza kuona dar

  • @sophiamlonga3860
    @sophiamlonga3860 2 ปีที่แล้ว +3

    Tutakukumbuka daima baba leo tunakulilia baba RIP

  • @lanlady2504
    @lanlady2504 3 ปีที่แล้ว +1

    Duh, huwezi amini kama huyo mama anayeitikia na kuchangia hoja leo hii amekugeuka kabisa baba JPM. Wawekezaji wameanza kupewa kipaumbele kuliko wenye chini. Machinga wanavunjiwa vibanda vyao. Hawana mtetezi. Nchi imeanza kuonesha tofauti kati ya wenyenacho na wasionacho. Asiyenacho ananyang'anywa hata kile anachodhaniwa kuwa nacho

  • @mkushiandikayakoachananaya7944
    @mkushiandikayakoachananaya7944 3 ปีที่แล้ว +1

    Bado unaishi baba yetu na tutahakikisha mtu mwenye roho yako anakaa Ikulu tena! Kwa sasa tuna chifu HANGAYA ambaye kashakusaliti katika hali zote mkuu! Ameanza kwenda kwa maadui zetu ambao wamepewa jina kuwa wao ni WASHINDANI! Siamini kama alikuelewa mkuu wetu, yuko na yake kila leo anaibua mapya huku alishaingiza na CHANJO tayari! Tunapata shida baba!

  • @arnoldnicholaus3835
    @arnoldnicholaus3835 2 ปีที่แล้ว +2

    Sijui ni kwanini Watanzania hatumthamini huyu Baba Wakati akiwa hai. Alikuwa na akili ambazo wengi hawako nazo wakiwa viongozi.