Mh. Rais hongera sana kwa kuwaona wabunifu wetu wa ndani. Hao watu wapewe kibali mh. Rais wauze umeme na wapewe makadirio wachangie kodi serikalini. MUNGU AKUBARIKI SANA
Mh Rais wewe ni wamfano Duniani, Mwenyezi mungu akupe Afya njema ili ulitumikiye Taifa hili la Tanzania. Mh, Rais kwa uchapakazi ulionao wewe, miaka kumi ya kikatiba haitoshi , Mwenyezi mungu ametuchaguliya kiongozi sahihi, kwa maoni yangu, utuongoze miaka kumi na Tano, Inchi yetu itakuwa ya mfano wa kuigwa Duniani.
Huyu ni OUR HISTORY PRESIDENT KATIKA NCHI YETU,JAMANI SIJAWAHI KUPIGA KURA MAISHA YANGU,TO BE HONESTY KURA YANGU NA YA RAIS WANGU TU JPM,ni kuomba uzima tu INSHAALLAH tuombe uhai🙏🏻
Hili jamaa lina akili sana mpaka basi, a kind of genius president Tanzania ever had including Nyerere and Mkapa, big up JPM, karibia kila field anajua, engineering and Chemistry so far!.
Yani mpaka namuonea imani huyo Baba wa Tanzania 🇹🇿 badilikeni jamani tu m support Rais wetu haya maendeleo ni ya kwetu sio yake acheni ubinafsi watu mko kwa matumbo yenu tu
Kweli rais wetu Magufuli una utu ndani yako, Mwenyezi Mungu akujalie hekima, busara na uzalendo ambao unaendelea kuionyesha. Tunakuombea sana, we ni wetu
Big up Mr President JPM yaani tulizoe maneno meeengi upigaji mwiingi lakini utendaji ulikuwa zero... Sasa Umeingia JPM maneno kidogo vitendo super.. Good.. I admire you so much...
Mungu akulinde mpaka tuonane, Watu wema maisha yao mafupi"Tungekuwa mbali Magufuli! Kama kulipita njama ya kuutoa uhai wako,Mungu atawaumbua mchana kweupe ' wameshaanza kuropoka hadharani"
Darasa la saba tupo apa niite mimi siku unipe kitengo chochote niongoze awo wasomi nakumbuka bibi zetu awakusoma kama hao lakin utendaji wa kazi ni zaid ata ya hao wasomi
Kusema kweli Tanzania 🇹🇿 imepoteza kiongozi, Africa tunahitaji kiongozi kama huyu, Mungu mrehemu msamehe makosa yake na amlaze mahali pema peponi Amen.
Safi sana wabunifu hawa wainuliwe ili kutatua changamoto vijijini. Cha kushangaza meneja tanesco kanda ile alikuwa kama anadiscourage wakati hadubin ilipofika ofsini kwao kuwahoji juu ya wanascience hawa.
Three years unaona watu wanazalisha umeme 28kw unanyamaza kimya...industrial revolution ndio ilifanya nchi nyingi za ulaya kufika pale walipo...kulikuwa na wanascience wabunifu waligundua power na vitu vingine....Tanzania ya viwanda hoyee...safi sana JPM.
Hahahaaa. Kuna mjeshi kajibu naondoka nao. Safi sana, hapa kazi tu. Lazima tufike tu hata kwa bakora. Hakuna wiki tatu hapa. La saba yulee, kapata uboss juu. 😆😆😆Nani mwingine anataka kuongea. 😆😆😆
Very really.. Is sure...!! God bless our president.... The work you are doing..is much better than actual...wAkat mwingne tunapaswA kuwa makini ...watendaji wanapaswa kuwa wabunifu
Dah😢 inauma sana watamzania tulikuwa kwenye mwanga nakujikwamua kwenye umaskin Kwa mtu mahir na jasiri Daah tunaumia sana watanzania Hatuna jins tofaut nakumuombea Mungu R.i.p mwamba.tutakukumbuka daima😢
Nakupongeza sana Raisi wangu na ninakupenda sana tangia umeingia madarakani hata mimi nimepiga hatua kubwa sana katika maisha yangu.. hakika Mungu azidi kukupa pumzi zaidi ili watanzania tuzidi kunufaika
Jamani mimi nampenda sana Mh. Rais wangu kwakweli maamuzi yake hayahitaji kuunda tume au kusubiri siku kadhaa yeye akiuliza majibu hapo hapo safi sana Mh. Dk.Magufuri
Wangapi tunaangalia 2024 tunatamani siku ziludi nyuma tuwe na raisi wetu MGFL leo umeme umekua dhahabu 😢😢😢😢😢
Dah inauma sana
hamna tumlaumu tu si alikua dikteta? haya sasa na tujionee..... @@sixberthcostantini9290
Nipo naangalia baada ya shida ya umeme kutokea 2024
This man was something else... May his soul find eternal peace
Huyu ndie kiongozi tunae mhitaji Tanzania. Na atakae kuja ajipange tunataka awe zaidi ya huyu "Tudhamini Vyetu kwanza".🇹🇿 kama tupo pamoja gonga like!
KAMA UNAAMINI MAGUFULI ATALUDI NGONGA LIKE HPA
Jamaa anatisha,, kweli hujui faida ya kitu mpaka kikutokee 😢😢
Mh. Rais hongera sana kwa kuwaona wabunifu wetu wa ndani. Hao watu wapewe kibali mh. Rais wauze umeme na wapewe makadirio wachangie kodi serikalini. MUNGU AKUBARIKI SANA
Mh Rais wewe ni wamfano Duniani, Mwenyezi mungu akupe Afya njema ili ulitumikiye Taifa hili la Tanzania. Mh, Rais kwa uchapakazi ulionao wewe, miaka kumi ya kikatiba haitoshi , Mwenyezi mungu ametuchaguliya kiongozi sahihi, kwa maoni yangu, utuongoze miaka kumi na Tano, Inchi yetu itakuwa ya mfano wa kuigwa Duniani.
Raisi mwambie akujibu uyoo
Huyu ni OUR HISTORY PRESIDENT KATIKA NCHI YETU,JAMANI SIJAWAHI KUPIGA KURA MAISHA YANGU,TO BE HONESTY KURA YANGU NA YA RAIS WANGU TU JPM,ni kuomba uzima tu INSHAALLAH tuombe uhai🙏🏻
Really if we go in this way really we are going to fly soon and reach to Canan, congraturations our beloved president
Lugano imon
Hapo umeanza kuzungumza
Kama umesikia gonga like apa
Mheshimiwa raisi, sisi wote tunakukubali.Kwa kweli ni hodari ktk. kila sekta, hudanganyiki. Tunakukubali ,hongera sana.
jembe LA tz imulike manyara kiteto Sunya utaona mapungufu makubwa sana tena sana
Asante hiyo point ya vyura,fuvu la mtu wa kale lipo karibu kuibiwa tanzania hii,hawamsaidii raisi
I'm proud of you my president! This country needs you more! May God bless you.
So proud of this president. God Bless 🇹🇿
Kunawakati mguu , useme utetee kazi
And you will never see these type of people - kwasababu hamna 10% - hapa.
Raisi Mugufuli you are God sent. Mungu akulinde, akupe afya, na nguvu undelee na kazi njema unayofanya.
kwel iv ndo kiongoz anatakiwa kuwa..,Dr.JPM I real appreciate this man.
Hili jamaa lina akili sana mpaka basi, a kind of genius president Tanzania ever had including Nyerere and Mkapa, big up JPM, karibia kila field anajua, engineering and Chemistry so far!.
Mr President Dr Magufuli aka Ability nyingi.
hili jamaa ni noma la manoma
Want the full video.
Rest in power Dr JPM 🎉 🙏
Forever in our hearts 💕
A true son of Africa.
In our eyes, you will always be a hero ❤️
Yani mpaka namuonea imani huyo Baba wa Tanzania 🇹🇿 badilikeni jamani tu m support Rais wetu haya maendeleo ni ya kwetu sio yake acheni ubinafsi watu mko kwa matumbo yenu tu
Rais Wangu. Mungu akutunze, akupe Maisha Marefu. Unahitajika sana. Mambo ni mengi inasikitisha sana. Mungu akutie Nguvu una kazi Ngumu sana.
KAMA UMESIKIA MKURUGENZI AKIMWITA RAIS MH. WAZIRI GONGA
😂😂😂 keshafurugwa yule
We miss you JPM,Itatuchukua miaka mingi sana kupata kichwa kama hiki
Hatutampata
Just tell me, to defend your job, Kama umesikia hiyo gonga like hapa..
Hapana mchezo na JPM subutuu utumbuliwe...
Duh kweli ww ndio raisi
Baba Nkulu Wiswe Magufuli Olame Welelo..Nakupongeza nakupenda raisi wangu!!Mungu NDIYE aliyekuleta Tanzani.Wabunifu tuko wengi tumsaidie baba.
Muheshimiwa Rais ww safi nakukubali sana 100% president ww geneus
Zaid ya genous
mungu wangu akuongezee hekima zaidi ktk haya
Dah. Namkubali sana mkuu wa majeshi yetu. Hakuna keshe, mi ningejibu naenda sasa hivi mzee.
Rais miaka 10 hajanitosha Kwa maoni yang uendelee mpaka 2030 itakuwa powa Sana saluti kwako siyo Kwa ccm
Mimi kwa miaka 2030 ajatosha kwa maoni yangu awe wa maisha kwangu ndio safiii iiiii
Yaani mpaka awe anashikiliwa na watu ndio tutamuondoa
Kwer
sio 2030 awe kama wale u.a.e ingekuwa poa Sana my opinion
Mimi ni mkenya lakini nafwatilia sana Raisi bombe magufuli wa Tanzania. Ni Raisi wa kumwenzi sana,nampa heko kwa Kazi nzuri anayo fanya.
Duuu kufanya kazi na Magufuli inabidi uwe na akili nyingi sana. Mungu ibariki Tanzania mungu ibariki Africa.
Everlasting love and respect kwako uncle magufuli wewe kweli ni kocha mchezaji
Kweli rais wetu Magufuli una utu ndani yako, Mwenyezi Mungu akujalie hekima, busara na uzalendo ambao unaendelea kuionyesha.
Tunakuombea sana, we ni wetu
I cant see a president like you GOD bless
Nashindwa niseme nini kumpoteza uyu baba mungu ndo anae jua.nitalia mpaka na Mimi nitakapo mfata uko aliko baba angu magufuri😭😭😭
Najisikia kulia ninapoona Rais wangu anaumia kiasi hiki!!!
Tubadilike jamani!!
Mungu akupe maisha marefu
Magufuli has to be given more time to fix the country. Tanzanian should stand up and add more time for him
Big up Mr President JPM yaani tulizoe maneno meeengi upigaji mwiingi lakini utendaji ulikuwa zero... Sasa Umeingia JPM maneno kidogo vitendo super.. Good.. I admire you so much...
Walijua kutuibia kwa maneno wakishasema habari za tathimini na research basi tunaishia apo na ndio inakuwa imeisha
Raisi wangu mm nakupenda sana Mungu akurinde skuzote na udumu miaka mingi ktk uongozi wako
Who is watching this after this big mess of Tanesco & Dawasco Nov 2021
HApo kazi TUUU MH Rais MAGUFUli utendaji bola
Our president Magufuli sina neno kwako, nakukubali haijawahi kutokea.
10:40 Heart touching
Mungu akulinde mpaka tuonane, Watu wema maisha yao mafupi"Tungekuwa mbali Magufuli! Kama kulipita njama ya kuutoa uhai wako,Mungu atawaumbua mchana kweupe ' wameshaanza kuropoka hadharani"
Daah😢
Kilichobaki ni kubadili tyu utaratibu JPM_5 agonge miaka kama 35 .,..niaminini wote jaman Tanzania itakuw kama ulaya
Aloooo MZEE BABA nakukubali , muda sio mrefu tutasonga mbele ka mishale, bravo Mr President JPM
Darasa la saba tupo apa niite mimi siku unipe kitengo chochote niongoze awo wasomi nakumbuka bibi zetu awakusoma kama hao lakin utendaji wa kazi ni zaid ata ya hao wasomi
Pamoja sana
Rais ww wazir ww hii noma
Hongera sana raisi wetu kwa kuongoza nchi kwa ufasaha na kuomba utukumbuke huku tanga lushoto baba asante
Ndio rais
Aisee Global TV online,, fatilia hii kitu hadi mwisho jamanii, .!!
Aiseee Tanzania tumepata Rais, huyu ndio kiongozi bora kwangu.Viongozi wengine tujifunze kwa huyu.
Kusema kweli Tanzania 🇹🇿 imepoteza kiongozi, Africa tunahitaji kiongozi kama huyu, Mungu mrehemu msamehe makosa yake na amlaze mahali pema peponi Amen.
Mungu akubaliki Baba
🙏🙏🙏
Safi sana mheshimiwa raisi yaaani upo vizuri sana katika uongozi wako mungu akuweke miaka mingi sana
Safi sana wabunifu hawa wainuliwe ili kutatua changamoto vijijini. Cha kushangaza meneja tanesco kanda ile alikuwa kama anadiscourage wakati hadubin ilipofika ofsini kwao kuwahoji juu ya wanascience hawa.
Three years unaona watu wanazalisha umeme 28kw unanyamaza kimya...industrial revolution ndio ilifanya nchi nyingi za ulaya kufika pale walipo...kulikuwa na wanascience wabunifu waligundua power na vitu vingine....Tanzania ya viwanda hoyee...safi sana JPM.
Akili nyingi mpaka zinamwagika,pumzika kwa amani baba Magufuli❤❤❤❤
Tanesko wamejiumauma sana wanajifanya hawawajui hao wazee wkt wanawajua😂😂😂 Hao wazee wapo kitambo sana mitaa hiyo na habari zao zinafahamika sana
Nakukubali rais wangu kwenye utendaji
Mungu aendelee kutupa viongozi kama hawa... kiongozi mwenye uchungu na maendeleo ya nchi yake.
I miss you my lovely president
Hahahaaa. Kuna mjeshi kajibu naondoka nao. Safi sana, hapa kazi tu. Lazima tufike tu hata kwa bakora. Hakuna wiki tatu hapa. La saba yulee, kapata uboss juu. 😆😆😆Nani mwingine anataka kuongea. 😆😆😆
Lovely president its only God can provide a person like u
Namkubali sana Rais wangu mungu mkubwa
Mungu unisameh!!🥹Naomba mrudishe Magufuli pls👏🏾🙏🏾
pongezi kwako Mh Raisi asee kwakweli una uchungu na hii nchi
8:10 mungu turudishie john wetu japo nikama ninakukufuru ira tuurumie😢😢❤
Tatizo la Africa. Tunathamini technologia ya nje
Uo ndio ukweli tunataka umoja wa mataifa pamoja na marekani waseme ndio tuone ni kweli au haki
Big up sana
Mungu utupe mwingine kama huyu ❤❤❤❤❤❤❤❤
Hongera sana Mheshimiwa Rais Magufuli kutuonyesha mapambano ya kila siku kuwafungua macho viongozi na raia
Mhe Rais nakupenda mno kwa utendaji wa hali ya juu.Hongera sana my president.
Very really.. Is sure...!! God bless our president.... The work you are doing..is much better than actual...wAkat mwingne tunapaswA kuwa makini ...watendaji wanapaswa kuwa wabunifu
Mr president aliipenda sana TANZANIA ❤
Kweli kabisa saf rais
Hongera Anko Magu Unamaono ya kuwasaidia Watanzania
Njombe kuna maporomoko mengi. Kuna opportunity ya kuzalisha umeme kwa bei rahisi
Dah😢 inauma sana watamzania tulikuwa kwenye mwanga nakujikwamua kwenye umaskin
Kwa mtu mahir na jasiri
Daah tunaumia sana watanzania
Hatuna jins tofaut nakumuombea Mungu
R.i.p mwamba.tutakukumbuka daima😢
2024 bado tunakuona upo hai Baba
Magu baba tunakukumbuka naendelea kujifunza kupitia kumbukizi zako #25/04/2021
Pwagu umepwagua Leo million 10 😢😢😢
Magufuri is seriously Genius of Tanzania
Naomba Naomba sana Mheshimiwa Rais Magufuli aongezewe muda angalau miaka 20 katiba sio msahafu ibadilishwe!!!!!
Jamani huyu mtu talented man
Asante sana tata
Jamaa sayansi ilikuwa imelala kichwani
Dah pumzika kwa amani Baba Magufuri hakika sichoki kukusikiliza hakika
Asante sana mh. Rais. Watu kama hawa wapo wengi wapo wengi vijijini. Naomba kuwe na mwongozo wa kuinua vipaji vya walala hoi.
Mkawe vibaruwa wa hawa huyu mzee noma sana 😅😅
Hii ndio kasi ya aliyekuwa rahisi wetu, hakika umetutoka na umetupigania sana wallah, MUNGU akulipe heri uko ulipo.
Nakupongeza sana Raisi wangu na ninakupenda sana tangia umeingia madarakani hata mimi nimepiga hatua kubwa sana katika maisha yangu.. hakika Mungu azidi kukupa pumzi zaidi ili watanzania tuzidi kunufaika
Uliwah kusema tutakukumbuka si kwa mabaya bali kwa Mazur ..Dah😢
Huyu ndo alikuw raisi wa kweli aiseh, Mungu amlaze mahala pema peponi
Baba asante sana wanatuzarau sana hao walio someshwa na pesa zetu, elimu inawapakiburi
Hapo magufuli nampenda Sana
Viongozi hawamsaidii Rais, plain and simple.
Jpm ni kiongozi making na anatosha
Baba ni baba ...ila mama hapa kwa tanesco kapoa sana ..
Watu wanjombe Wana akili Sana. Pongezi kwa watu wanjombe🤸🤸👏👏
Na Global Tv. Tunahitaji Feedback za hawa Genious wa Tanzania... Please!!!!
Ila huyu raisi ana hakili sana
Jamani mimi nampenda sana Mh. Rais wangu kwakweli maamuzi yake hayahitaji kuunda tume au kusubiri siku kadhaa yeye akiuliza majibu hapo hapo safi sana Mh. Dk.Magufuri
I envy the angels in heaven coz they have gain a soul we have lost 😭😭😭😭😭
Asante Mh Rais kwa kuwatambua watu ambao wanaobuni ili tujifunze kwao ili tuache kuamini kubuni lazma uwe na shahada