“Mtakuja kunikumbuka, Zitto Kabwe ni mpinzani mzalendo” -Lusinde

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 เม.ย. 2018
  • Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde amelieleza Bunge kuwa miongoni mwa Wabunge wa Upinzani wenye uzalendo mkubw ani pamoja na Mbunge wa Kigoma mjini kupitia chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe

ความคิดเห็น • 345

  • @TheOne-fi6cs
    @TheOne-fi6cs 6 ปีที่แล้ว +26

    Jamaa yuko vizuri, to a boliti kwenye hicho lako kabla hujaangalia la mwenzako!
    like apa chini km umemuelewa!
    💯📩❗❗👏👏👏

    • @mbonireamina6497
      @mbonireamina6497 5 ปีที่แล้ว

      Katika mbunge chizi na mjinga ni huyu Lusinde. Unapokuwa kiongozi sio lazima usimame mara kwa mara kudhalilisha wenzako hata kama mtu amekosea. Sijasikia hata siku moja mbunge wa CCM akikosoa chama chake na kina mapungufu makubwa sana. Manunuzi ya ndege na matumizi mpaka leo hatujui ni shillingi ngapi. CHADEMA wako safi sana ila kwa kuwa kimekuwa ni chama mbadala CCM lazima wawabane sana. Hakuna chama chenye kugawa Watanzania kama CCM. Serekali nzima ya Magufuli imejaa WASU - KUMA. Kuma nyie.

    • @lucyamosi6549
      @lucyamosi6549 5 ปีที่แล้ว

      Jins madn yalivyoshkwa kenya

    • @lucyamosi6549
      @lucyamosi6549 5 ปีที่แล้ว

      Jns madn yavy
      Shkwa kenya

  • @mangegervas9651
    @mangegervas9651 4 ปีที่แล้ว +2

    Gud saana Mkuu lisinde... Gud jpm

  • @abdallahkitwana8471
    @abdallahkitwana8471 6 ปีที่แล้ว +36

    ahsante comrade Lusinde

  • @emmanuelmohammed1294
    @emmanuelmohammed1294 6 ปีที่แล้ว +15

    lusinde braza we nomaaaaa!! dawa chungu hiyo kwa nyumbu

  • @onesmokitwange9783
    @onesmokitwange9783 6 ปีที่แล้ว +6

    Asanteee... L. Lusinde.

  • @baruanindume8695
    @baruanindume8695 6 ปีที่แล้ว +1

    Huo ndio utofauti kati ya msomi na mpiga kelele, Msomi anatumia maandishi kama mifano na mpiga kelele anatumia maneno ya dharau, kejeli, matusi na mifano ya kutunga, Hongera mzee wangu.

  • @franciscomohamedjumanne1136
    @franciscomohamedjumanne1136 6 ปีที่แล้ว +11

    Mwenyekiti wa kudumu

  • @festondile2039
    @festondile2039 6 ปีที่แล้ว +11

    Kwa kua ni CAG kasema naomba CHADEMA wajitathimini na kutafakari sana,Maneno ya Lusinde sio ya kuyadharau kwani kuna wakati hata saa mbovu huwa inaongea ukweli,Hili la Democrasia ndani ya chama pia ni la muhimu...Mulika nyoka mguuni pako kwanza.

    • @charleskazimoto6968
      @charleskazimoto6968 5 ปีที่แล้ว

      Wakisemwa CHADEMA mnashangilia, wakisemwa CCM mnanuna. Mafisadi walioko CCM na mali walizoiba hazihesabiki. Kibajaji mbwa tu. Watu wa mtera hawajasoma na ndio maana kila kukicha Mbunge ni Lusinde. Mipasho kama mwanamke.

  • @moshialois5499
    @moshialois5499 4 ปีที่แล้ว +3

    Anaitwa ROMÃ, nani wakumnyamazishaaaaahh, akifa kaacha urithi tuimbe tulikomboe Taifa..! Lusinde kaa chini huna jipya

  • @lexisavage1770
    @lexisavage1770 4 ปีที่แล้ว +1

    asante sana baba umewaeeleza ukweli Chadema hongera sana sana

  • @lameckbalekele2901
    @lameckbalekele2901 6 ปีที่แล้ว +13

    Kibajaji wapeleke haomajizi hao tuliwaambia ikulu wataiona kwenye Tv

  • @thomasmtereko442
    @thomasmtereko442 6 ปีที่แล้ว +4

    msukuma and lusinde big up

  • @susanekuyi2988
    @susanekuyi2988 6 ปีที่แล้ว +5

    Safi sanaaa wape wape hao.

  • @machaggechacha3422
    @machaggechacha3422 4 ปีที่แล้ว +2

    Muulize mbowe. Hela zote kala yeye.

  • @johnthobius6543
    @johnthobius6543 6 ปีที่แล้ว +3

    Huyu Lusinde ni nomaa, huyu jamaa ana fact hatare

  • @anordntungwely4810
    @anordntungwely4810 6 ปีที่แล้ว +4

    Chadema toeni ufafanuzi kuhusu taarifa zenu za CAG, maana inaleta sintofaham kwa wananchi.

  • @ancomagu8531
    @ancomagu8531 6 ปีที่แล้ว +1

    Ndiomaana nakupenda sana mweshimiwa lusinde

  • @holdenngeze2652
    @holdenngeze2652 6 ปีที่แล้ว +7

    Lusinde wewe ni kiboko ya CHADEMA!

  • @martinemifuko71
    @martinemifuko71 6 ปีที่แล้ว +4

    Safi waambie hao waelewe, Ukweli hata mimi zitto ni big up

  • @paulmsilanga3917
    @paulmsilanga3917 6 ปีที่แล้ว +3

    safi Lusinde uko vzr

  • @abunajash1985
    @abunajash1985 6 ปีที่แล้ว +8

    Ni kweli

  • @fredyjohnwaifakaratz2473
    @fredyjohnwaifakaratz2473 6 ปีที่แล้ว +41

    SAFII UMEONGEA POINT SANA MAANA WANAKAZANIA MAANDAMANO TU PUMBAVU

    • @anozacha611
      @anozacha611 5 ปีที่แล้ว

      😲😲😲😲😲😲😲😲

    • @hamdanisalumu7344
      @hamdanisalumu7344 5 ปีที่แล้ว

      Fredy John Waifakara Tz wew nikuma

  • @oswardmwambete4752
    @oswardmwambete4752 4 ปีที่แล้ว

    Huyu Lusinde Aisee ni Noma sana nimtu hatariiiii sana

  • @leonardclaudi3599
    @leonardclaudi3599 5 ปีที่แล้ว +1

    hongera Lusinde

  • @rajaburajabu1763
    @rajaburajabu1763 6 ปีที่แล้ว +1

    Hongera lusinde

  • @elibaricksangaulimile
    @elibaricksangaulimile 6 ปีที่แล้ว +5

    big chama CCM waache waandamane waisome namba

  • @shabihasaid5111
    @shabihasaid5111 6 ปีที่แล้ว +4

    Uko. vizuri. Mheshimiwa.

  • @kingally7816
    @kingally7816 4 ปีที่แล้ว

    Kweli watanzania hawapendi ukweli
    Zitto ni 🔥
    By King Ally from mahembe kigoma.

  • @jamesngundateresia2600
    @jamesngundateresia2600 6 ปีที่แล้ว +19

    NAKUPENDA KWA KUWA WEWE NI MZEE WA MIJIWE WAPE WAPE HAO
    NYALU WEWE NOMA

    • @abdalahfarida2074
      @abdalahfarida2074 4 ปีที่แล้ว +1

      Jimbo lake msomi ni yeye tu na ndio maana kila uchaguzi mshindi ni yeye. Mtera hakuna wasomi ndio maana wanatuma mtu wa mipasho.

    • @omariwazirikibao1932
      @omariwazirikibao1932 4 ปีที่แล้ว

      Serekali mkae makini na hawa wapinzani kwakweli wataipeleka nch pabaya

  • @adamamos7508
    @adamamos7508 5 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana kaka

  • @ambokileosward8850
    @ambokileosward8850 6 ปีที่แล้ว +17

    Kheri James M/kiti Uvccm taifa hoyeeee

  • @mathiasbuyobe3512
    @mathiasbuyobe3512 6 ปีที่แล้ว +2

    Lusinde uko sawa

  • @boazimbwaga8771
    @boazimbwaga8771 6 ปีที่แล้ว +6

    Nakukubal rusinde

  • @naimaseleman6868
    @naimaseleman6868 4 ปีที่แล้ว +1

    Point POINT POINT POINT

  • @edwardedward2520
    @edwardedward2520 6 ปีที่แล้ว +27

    Umeongea ukweli Mh. Lusinde wape wape baba! Taifa limepata hasara kusomesha watu kama akina zirto kabwe hawana faida kwa vijana wala akina mama! Zitto saidia vijana wenzako outoka kimaisha sio kila siku lawama kwa serikali!

    • @juliussanga9333
      @juliussanga9333 6 ปีที่แล้ว

      Edward Edward we ni zaidi ya mbwa..

    • @empirialmdudj3864
      @empirialmdudj3864 6 ปีที่แล้ว

      kichwan mwako 0

    • @gilbrtmaganga5471
      @gilbrtmaganga5471 6 ปีที่แล้ว

      Edward Edward ukweli Gani majizi yako ccm yeye anatetea tumbo lake

    • @kariakooagrei857
      @kariakooagrei857 6 ปีที่แล้ว

      Edward Edward ila atakapokuwa ssm atakuwa na faida

    • @juliusdeus3306
      @juliusdeus3306 6 ปีที่แล้ว

      Acha ujnga unataka akusomeshe au aujui mana ya maendeleo ww mandaz kwel

  • @yamunguathumani234
    @yamunguathumani234 6 ปีที่แล้ว +12

    Chagadema Haooo Pumbavu zao

    • @omegagomano7862
      @omegagomano7862 4 ปีที่แล้ว

      Nwewe hujitambui unaweza ukawa mjinga

  • @allymohamedmkiwa284
    @allymohamedmkiwa284 6 ปีที่แล้ว +30

    Upinzani ni majizi makubwa, Wape mapande yao.

  • @goodluckmrosso486
    @goodluckmrosso486 6 ปีที่แล้ว +4

    Upo vzr

  • @kaminyogemwachelwa9884
    @kaminyogemwachelwa9884 6 ปีที่แล้ว +10

    Kama cag kasema kwakweli chadema wajitathimin na kujibu kama kweli ama hujuma. ..maana ccm always hawawatakii mema ndugu zao hawa

  • @belathomgaya4803
    @belathomgaya4803 6 ปีที่แล้ว +4

    Point 100%

  • @kidelenyafundi5167
    @kidelenyafundi5167 6 ปีที่แล้ว +7

    Chagadema Chagadema Chagadema..... Mbowe & Mtei Saccos Ltd

  • @mtanzaniamzalendo7001
    @mtanzaniamzalendo7001 4 ปีที่แล้ว

    Point Sanaa,km haya ya kweli basi hawana hski ya kuhoji hao

  • @ramadhanmasenga8730
    @ramadhanmasenga8730 6 ปีที่แล้ว +2

    Lusinde kichwa sana

  • @julianamasunga4147
    @julianamasunga4147 6 ปีที่แล้ว +1

    safi

    • @wilsonniwagila9632
      @wilsonniwagila9632 5 ปีที่แล้ว

      Ndugu Lusinde nilipenda ulivyonukuu kuhusu Kobani na kijiti kwenye jicho kiukweli jicho halina starehe likiingiliwa na kijiti au kibanzi vyote ni adui wa jicho. Tumesikia kibanzi cha Chadema lakini kijiti cha CCM hakikutajwa VIPI???

  • @ugullumsaidi1536
    @ugullumsaidi1536 6 ปีที่แล้ว +15

    Asante mh lusinde waambie tu

  • @255mkwakshi_tv5
    @255mkwakshi_tv5 6 ปีที่แล้ว +18

    Safi

  • @godfreydaniel6167
    @godfreydaniel6167 6 ปีที่แล้ว +13

    Nilikua cjui kumbe chadema imeoza hivi ...daah

  • @kaundasutikaunda7769
    @kaundasutikaunda7769 6 ปีที่แล้ว +2

    ukweli mchungu

  • @ancomagu8531
    @ancomagu8531 6 ปีที่แล้ว +1

    WAJIGA NDIO WALIWAO
    WACHANE BROTHER MAANA WAO KUHANDAMANA

  • @yakomoifakala5504
    @yakomoifakala5504 6 ปีที่แล้ว +3

    safi kibajajii

  • @mr.sangaellies5110
    @mr.sangaellies5110 4 ปีที่แล้ว +1

    Daaaah hivi kumbe chadema hapo haya

  • @leonardmrope9528
    @leonardmrope9528 6 ปีที่แล้ว +4

    hahahahaha,,Lusinde we nikiboko yao mzee,,daah

  • @mbwanaomary7537
    @mbwanaomary7537 6 ปีที่แล้ว +1

    Hahahahahaaaaa mwenyeki wa kudumu nimeipenda hiyo. Kweli hawa chaga boy hawaachi hata cent

  • @yohabumlelwa2316
    @yohabumlelwa2316 6 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kazi ipo chezea mchaga weye

  • @yekutielgoldstein9712
    @yekutielgoldstein9712 4 ปีที่แล้ว

    Hongera

  • @wahazaben7964
    @wahazaben7964 6 ปีที่แล้ว +1

    Kweli itaishi milele

  • @emanuelgaddafi7651
    @emanuelgaddafi7651 6 ปีที่แล้ว +5

    WAPI? NZANIIIIIIIIIIIIIII! SIJI KWENUUUUUUUUUUUUUUU
    MNA
    NIFANYA
    NISHINDWE
    KUWAAMINI
    KWAKILA
    POINT MUISEMAYO
    HATAKAMA INAMASHIKO
    KWETU MWIZI AKIONGEA UKWELTUNASEMAGA NIMUUONGO
    TU.

  • @yohanakidugala1332
    @yohanakidugala1332 6 ปีที่แล้ว +2

    mmh Leo umeongea vizuri

    • @voicatiliotv2309
      @voicatiliotv2309 6 ปีที่แล้ว +1

      Mzeeeee wa mawe , ameamua kuyaachia bungeni

  • @stellaanthony4092
    @stellaanthony4092 6 ปีที่แล้ว +1

    safi sana

  • @zullaicamatola3431
    @zullaicamatola3431 5 ปีที่แล้ว

    Hajui kazi ya upinzani,pia hajui wajibu wake kama Mbunge

  • @vickybwire4049
    @vickybwire4049 6 ปีที่แล้ว +4

    😂😂😂 hatari sana

  • @frankjoseph6213
    @frankjoseph6213 6 ปีที่แล้ว +1

    sawa sawa sawa Mkubwa

  • @samuelmwambashi4168
    @samuelmwambashi4168 6 ปีที่แล้ว +3

    Wape Wape kaka.

  • @tinyaanosiatha1118
    @tinyaanosiatha1118 6 ปีที่แล้ว +3

    Wambie tatizo lao hawaelewi .

  • @bahatimasawe9091
    @bahatimasawe9091 5 ปีที่แล้ว

    Huyu ni mbunge wa mkoa gan inaelekea wananchi wake wanapata shida kweli

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 4 ปีที่แล้ว +1

    Nilikuwa najiuliza kibajaji lusinde yuko wapi wape nondo vimtu kazi ni matusi kukashifu vitawaza sangapi mambo mazuri,at ukifanya mazuri vinakutusi,kasilika sasa huu upinzani wahuni kama Roma mpiga mziki

  • @wilsonchallange4420
    @wilsonchallange4420 6 ปีที่แล้ว +3

    Kibajaji Anatisha

  • @amaniromeoswadiq9155
    @amaniromeoswadiq9155 6 ปีที่แล้ว +3

    Eeee ni kidume

  • @ahmedmtani9428
    @ahmedmtani9428 6 ปีที่แล้ว +9

    leo umejitaid

  • @mkalimwanza7726
    @mkalimwanza7726 6 ปีที่แล้ว +3

    wabie tu ukweli

  • @zuberikupaza1450
    @zuberikupaza1450 4 ปีที่แล้ว

    Mmh! Utabiri haukuwa sahihi mheshimiwa lusinde!

  • @amanhassan7460
    @amanhassan7460 4 ปีที่แล้ว +1

    Acheni kuzingua mafisiem

  • @kabezibishoo2825
    @kabezibishoo2825 6 ปีที่แล้ว

    zitoo namkubali sana

  • @abuyizedon
    @abuyizedon 6 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂nimecheka kweli kweli mpaka naiogopa Siasa

  • @mecksonsamwel2666
    @mecksonsamwel2666 4 ปีที่แล้ว +2

    Ikulu wataiona kweny tv

  • @alphamaninga8237
    @alphamaninga8237 5 ปีที่แล้ว

    afu kama limelewa vile ivi anae waibia wana nchi ni chama tawala au chama pinzani

  • @violetshoo7789
    @violetshoo7789 6 ปีที่แล้ว

    hasimtoshi vzr

  • @alexanderdustan8872
    @alexanderdustan8872 6 ปีที่แล้ว +24

    Sitaki kuongeza kitu Lusinde na Msukuna ni hatari

  • @babalily4516
    @babalily4516 6 ปีที่แล้ว

    CHADEMA IMEZAA SAU NA ACT, HUJUI KAMA HIVYO VYAMA VYOTE VIMEZALISHWA NA CCM, @#ZeroBrain

  • @getajo1153
    @getajo1153 6 ปีที่แล้ว +7

    😂😂"WAJINGA NDO WALIOWAWO"..... MMENG'ANG'ANIA MAANDAMANO MAANDAMANO, MMEWAACHA WENZENU WANAPIGA HELA.....😂😂😂😂😂 .... Lusinde bana, inabidi nikupende tu kwa kweli...

    • @moshialois5499
      @moshialois5499 4 ปีที่แล้ว

      Kwa akili yako kikinuka Lusinde c atajificha, ukoo wake jé atauficha nani? Tatizo anajiwaza yeye badala ya wanaomzunguka. Kwa mfano Kiongozi akisumbua una-deal na family yake tu yeye c anajiona analindwa

  • @yassiniferuzi2867
    @yassiniferuzi2867 4 ปีที่แล้ว

    Majizi hayo ndio yashike dola yatakaa sana 2020 Sacoss yao ya Chagga Devlopment Mannfesto CHADEMA kiko(ICU) kinapumulia mashine kurudi mjengoni sawa na ZZK auTAL kuingia Ikulu

  • @alanusrespicius1796
    @alanusrespicius1796 5 ปีที่แล้ว +1

    UKO VIZURI SANA. WAMEKAZANA KUKOSOA TU HARAFU WAMESAHAU KUWA NAO NI WABOVU TENA MARA MIA ZAIDI.

  • @juliasmseka5651
    @juliasmseka5651 5 ปีที่แล้ว +1

    ukovizuri sana

  • @ivomalenge1452
    @ivomalenge1452 6 ปีที่แล้ว +1

    Ukweli ni huo tu mh, uko saws kbs ubalikiwe

  • @teddykanondo5753
    @teddykanondo5753 4 ปีที่แล้ว

    WATU WA MTERA MNAMPENDEA NINI HUYU MBUNGE WA MIPASHO. CHADEMA CHUKUENI JIMBO.

  • @shukurumwangosi1537
    @shukurumwangosi1537 5 ปีที่แล้ว +2

    Comrade lusinde 😍😍😍😍😍

  • @nurukwawote4716
    @nurukwawote4716 6 ปีที่แล้ว +1

    Museveni aliwai sema jogoo mkubwa ndie alimfundsha mdogo kunya kwenye kichanja chedema ni mdogo sanaaaa kwa zinazo pigwa upande wa pili ni sawa na dimbwi na Baali.

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว

      Kwahiyo unakiri kuwa chadema ni wapigaji????

  • @shodristvtv6121
    @shodristvtv6121 6 ปีที่แล้ว +22

    Wejamaa nikiboko coz unafata nyayo zamusiba

    • @richard.rkilonzo7538
      @richard.rkilonzo7538 6 ปีที่แล้ว

      Hatujawatuma Bungeni kupeana mipasho tunataka mumsaidie Rais kutupatia maendeleo. Tunataka makusanyo yasimamiwe vizuru kupunguza ukosefu wa ajira. Hivi nani mkaguzi wa Mahesabu ya Serekali Lusunde au CAG.

  • @tumahamza8972
    @tumahamza8972 6 ปีที่แล้ว +6

    Majizi hayoooooo

  • @gerardpaul2322
    @gerardpaul2322 6 ปีที่แล้ว +4

    Wasomeshe hawaelewi

  • @mohamedismailmajambo8481
    @mohamedismailmajambo8481 6 ปีที่แล้ว

    Ukitaka kumulika nyoka anzia miguuni mwako.

  • @frabomdemwa8880
    @frabomdemwa8880 4 ปีที่แล้ว

    assnte lusinde kwakua mzalendo

  • @abrahamkibona7038
    @abrahamkibona7038 ปีที่แล้ว

    Mzalendo wa wapi?

  • @elishavedastus2756
    @elishavedastus2756 6 ปีที่แล้ว

    Sihasa/ siasa.

  • @promisecobra5071
    @promisecobra5071 5 ปีที่แล้ว +1

    chadema wanapenda kukaza ubongo

  • @neemafanuel4583
    @neemafanuel4583 5 ปีที่แล้ว +1

    VP Ccm wamezidi chadema bil 2 Ila ccm til1.5 ni ndogo kwa bil 2?

  • @godwinmgunda1002
    @godwinmgunda1002 6 ปีที่แล้ว

    Unajipya ww na hilo jimbo utalikosa 2020

  • @ismailkidongo9384
    @ismailkidongo9384 4 ปีที่แล้ว

    Kwani chadema inakusanya Kodi zetu inauza lasilimali za nchi hachakupotosha

  • @noelolesoikan5539
    @noelolesoikan5539 6 ปีที่แล้ว +4

    Wanamsahau mbowe na lema

  • @lupetamhagama2145
    @lupetamhagama2145 6 ปีที่แล้ว +4

    Haaaaa