ALI KAMWE AGEUKA MBOGO 'HOJA ZA HOVYO, KATIBA IMEKUBAGUA WAPI, NJOO TUZUNGUMZE, HAUNA NAFASI'

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 29

  • @user-jt7uv6vu1d
    @user-jt7uv6vu1d หลายเดือนก่อน +2

    Likapimwe hilo zee chawi tu atuachie rais wetu

  • @benjo_brighter
    @benjo_brighter หลายเดือนก่อน

    Hapa Ali Kamwe kageuka kuwa mwanasheria 😂

  • @ellycharlessarengejr
    @ellycharlessarengejr หลายเดือนก่อน +2

    Ali Kama ni Bwana mdogo sanaaa lakini Hana nidham kwenye kuongea na hajui kubagua au kuchanganja maneno mbele ya hadhara, yeye neno linalo Kuja tu ndio analoongea bila kulifanyia upembuzi yakinifu. Kumbuka hapo anazungumzia klabu ya Yanga na Yanga inawatu wazima, wasomi, weledi na wenye uzoefu mkubwa kwenye Tathnia ya Habari, hivyo huwezi kusema maneno kama hayo mbele ya hadhara au mbele za watu kumbuka anasema ni watu "WAPUUZI" na watu anaowaambia ni Kama wazazi wake au babu zake kabisa, na siku zote maneno husahaulika lakini huwa hayapotei kwenye akili za watu, hivyo basi ni bora angetumia lugha ambayo ni ya nidham na yenye kulinda professional yake hata wakati ujao ambao hatakuwa msemaji wa Yanga maana yeye ni mpitaji pale Yanga Kuna wakati utafika atatoka.

    • @cryptoboy_5
      @cryptoboy_5 หลายเดือนก่อน

      hukumu ya kifo ni ya kuuwa kwa kusdudia alie uwa kwa upanga na yeye kwa upanga vile vile

  • @MfalancaMomade
    @MfalancaMomade หลายเดือนก่อน +3

    Wakwanza naombeni like zenu

    • @thehunter5920
      @thehunter5920 หลายเดือนก่อน

      Upuuzi tu,likes zinakusaidia nini

    • @batonbernald9164
      @batonbernald9164 หลายเดือนก่อน

      Mhuuu mungu atusaidie unawahi taarifa et unataka like,.

  • @Shadia544
    @Shadia544 หลายเดือนก่อน +1

    Sema semaji letu la taifa 😂😂😂😂

  • @remidusmwanandenje-yy5gs
    @remidusmwanandenje-yy5gs หลายเดือนก่อน +1

    Yanga bingwa adi 230🇹🇿🤣🤣🤣

  • @nasibuathumani7705
    @nasibuathumani7705 หลายเดือนก่อน

    Ume ikuta yanga. Ww wa juz tu

  • @mohamedkwiga6870
    @mohamedkwiga6870 หลายเดือนก่อน +1

    Ubaya Ubwela😂😂

  • @maxmilianymax9566
    @maxmilianymax9566 หลายเดือนก่อน +1

    😂dogo njaa mbaya sana

  • @evaristgaspa6074
    @evaristgaspa6074 หลายเดือนก่อน

    Afutiwe uanachama

  • @nasibuathumani7705
    @nasibuathumani7705 หลายเดือนก่อน

    Kita mkuta kitu we mwache

  • @michaelngalo1808
    @michaelngalo1808 หลายเดือนก่อน

    Huna mnatuna kuita watu ni wa hovyo! Ni dharau hufai kuwa kiongozi

  • @nasibuathumani7705
    @nasibuathumani7705 หลายเดือนก่อน

    Wee mtt ww hicho cheo tu usi jione una ijuwa zaid yanga

  • @officialdana5114
    @officialdana5114 หลายเดือนก่อน

    Wew bishan na mahakama tukufunge

  • @rizikylaizer1602
    @rizikylaizer1602 หลายเดือนก่อน

    Nenda ukamwambie jaji hivyo porojo ya nn sasa😂

  • @michaelngalo1808
    @michaelngalo1808 หลายเดือนก่อน

    Mnachokifanya ni drama Kwak suala la kisheria! Nendeni mkajiteteeni mahakamani ili kubalilisha maamuzi soo kelele kwa media.

    • @salehemsumi615
      @salehemsumi615 หลายเดือนก่อน

      Muda huu wanaongea wanaume,wanawake mkapike!

  • @officialdana5114
    @officialdana5114 หลายเดือนก่อน

    Ally kamwe wahovyo

  • @shabaniathumani2284
    @shabaniathumani2284 หลายเดือนก่อน

    watu milion45 mmewatoa wapi hebu tuheshimu kabisa

  • @titus_maridhia
    @titus_maridhia หลายเดือนก่อน +1

    Kamwe ageuka mbogo baada ya tishio la ajira yake

  • @jebbymnyama2379
    @jebbymnyama2379 หลายเดือนก่อน

    Njaa mbaya itawauwa baadhi ya wajinga wanaotaka kutibu njaa zao badala ya kuusaidia mpira

  • @PapyNgosha-hk2vq
    @PapyNgosha-hk2vq หลายเดือนก่อน

    Ally we ni mtoto mdogo watakuuwa wazee hao usiwatukane

    • @user-gq1ve4bc6f
      @user-gq1ve4bc6f หลายเดือนก่อน

      Ali anajua anacho kifanys

  • @CreedySotte-ko8zj
    @CreedySotte-ko8zj หลายเดือนก่อน +2

    Wa kwanz naombeni like zenu

  • @nkairforce5819
    @nkairforce5819 หลายเดือนก่อน

    kwahiyo unapingana na wazee!!? ebu kuwa na eshima mwehuu ww

  • @ellycharlessarengejr
    @ellycharlessarengejr หลายเดือนก่อน