MTEGO WAINASA LODGE MAARUFU ARUSHA, IMEFYATUA MFUMO NA KUIBA MAJI MUDA MREFU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 64

  • @fanuelnary4579
    @fanuelnary4579 หลายเดือนก่อน +5

    Kwangu maji hayatoki bado bili mnaleta ya maji hamna kifungu ya kuwashtaki nyie?mnaniibia

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu หลายเดือนก่อน +4

    Aliyemuunganishia maji huyo ni nani kama sio nyinyi wenyewe jamani😂😂😂

    • @bilid4128
      @bilid4128 หลายเดือนก่อน

      Eti aisee ! 😂😂😂 walikuwa wanakula chao ila saivi wamehofia kukamatwa wanakaona suluhisho ni kumchoma tu sasa

    • @consomatogaudence136
      @consomatogaudence136 หลายเดือนก่อน

      Ndio haohao​@@bilid4128

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 หลายเดือนก่อน +13

    Mbona mnapotuzidishia bill tunawaoji Amina majibu hata Mimi ningeweza ningeiba mna tabia mbaya India Billi mlizoongeza zaidi ya malipo ya kawaida usa river

  • @bilid4128
    @bilid4128 หลายเดือนก่อน +3

    Usikute mlikuwa mnajua tokea siku nyingi tu leo ndio mmeamua kumchoma

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts หลายเดือนก่อน +3

    Lkn tatizo lenu hata mkimkatia mtu maji,akaja akalipa pamoja na faini bado mnachelewa kumrudishia maji!! Hata siku 2 na kuendelea!! Tofauti na Dar es Salaam, ukikatiwa maji, ukaenda kulipa, na kuna mazungumzo, kama ni asbh mpk jioni maji yamesharejeshwa,huenda
    wanajali afya za raia?

  • @SinemaZaChina
    @SinemaZaChina หลายเดือนก่อน +2

    Daah watu wahuni sana

  • @wisdomfolks
    @wisdomfolks หลายเดือนก่อน

    Maji ya Mungu hayo mnatuuzia

  • @Allybinamour
    @Allybinamour หลายเดือนก่อน +1

    miezi 6!!! inaonesha wahusika mnakaa zaid ofisini kuliko kufanyakazi ndo maana mda wote huo hamjui kinachoendelea.
    ni uzembe huo.

  • @domymerinyo8165
    @domymerinyo8165 หลายเดือนก่อน +2

    Kwanini umkatie mtu maji badala ya kuelewana naye alipe kidogo x2 . Ndio yawa yenu hiyo mnajidai kujibu wateja vibaya

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 หลายเดือนก่อน +2

    Acha muibiwe mmezidi kubandikia watu bili za uwongo unakuta mtu hana tenk,hana familia kubwa inayotumia maji,hauzi maji, hatumii choo cha maji, bili ikija elfu 50 hadi70 kwa mwezi huo nao ni wizi mnatuibia sana😏

    • @SaumuLekule-de4hr
      @SaumuLekule-de4hr หลายเดือนก่อน

      Kwangu bill ilikuja laki na sina familia wala hamna mtu anashinda nyumbn

    • @subiraibrahim8100
      @subiraibrahim8100 หลายเดือนก่อน

      Hawa ni wezi ingawa ni serikali

  • @mabondolawrence1812
    @mabondolawrence1812 หลายเดือนก่อน

    Mnabambika hili za maji na bei mnaweka kubwa. Huyo mtamfunga lakini ripoti ya CAG mtaitukuza.

  • @DM_15
    @DM_15 หลายเดือนก่อน

    Huyo hakujiunganishia niwafanyakazi wenu ndio wamefanya hizo ujinga . Sasa wameshakosa chakula wameamuakuchoma😂😂😂😂 kwahaliyakawida huwezi jua kua kunamchepushowamaji hapo anaezakuwajibu maji nanunua tokamlivyonikatia maji so kamamna ondoa bomba toeni. Lkn kwsababu mchongo hautoi kibunda mmeamua kumchomolea betri mazima, hakunaraia wakawaida anaiba maji au umeme kwenyenguzo, hakuna wafanyakazi ndio wana fanyagahizo michongo

  • @husseinmaingo5009
    @husseinmaingo5009 หลายเดือนก่อน

    Acha waibiwe tu maana wanazidishia sana watu bili maji yao hayana kiwango kwa afya za watu na ukatijaji wa maj mara kwa mara acha waibiwe

  • @magrethmbuma3045
    @magrethmbuma3045 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani shida ikwapi mtu akiiba chake😅😅😅😅kumbe mnaumia nyiiee

  • @joycekweka5416
    @joycekweka5416 หลายเดือนก่อน

    Kwani kulikuwa na haja Gani ya kumdhalilisha uonevu huo. Ok na ninyi wakati mnatuzidishia bill mbona hatusikilizigi. Huo ni uonevu.

  • @user-il5pk2dr5n
    @user-il5pk2dr5n หลายเดือนก่อน +1

    Wapo umo umo katka nyinyi..

  • @hellendaniel3809
    @hellendaniel3809 หลายเดือนก่อน

    Kutegesha mitego sawa,maji mkikata mwezi aaaaaah. Hata tupige cm vipi. Kuzidisha tu bili tu ndio mnachojua

  • @PeterMagoye
    @PeterMagoye หลายเดือนก่อน

    Hawa wenyewe kuzidisha bili ndio balaa ila mjue hiyo tabia ya kuzidisha bili pia ni wizi aina mojawapo

  • @joachimsironga1560
    @joachimsironga1560 หลายเดือนก่อน

    Yaaani bongo hapa iposiku tutawapiga mawe na familia zenu zitalia na kusaga meno ...ninyi serikali nanyi munaiba kwa kuzidisha bili Mudamwingine maji sio ya uhakika kabisa

  • @officialisaiah3979
    @officialisaiah3979 หลายเดือนก่อน

    maji tuu af miez 6 jmn na ni gest hauzi maji wame mchongea tuu watu wanaiba mabilion huko

  • @SKY-fk3fz
    @SKY-fk3fz หลายเดือนก่อน +1

    Nyie wenyewe wizi

  • @liberatusjackson5045
    @liberatusjackson5045 หลายเดือนก่อน +1

    Waafrika 😂😂😂😂kwa ubayaaa 😂😂😂yaniii. Hapo kuna w2 wanafurahia hadiii wahusika..wapo happy ilaa hapo mm naona panaitajika elim kuitoa kwa wanaichiii zaidiii na zaidiiii ilii wafahamu ukubwa watitizo kuliko bufurahia majangaa kwa mhusika..mAana unakuta alie mshaulii ndoo kamlipot..😂😂😂😂😂 koz. Tunarudishana nyuma Everyday😂😂😂

  • @storytownTv
    @storytownTv หลายเดือนก่อน +1

    Nataman kujua iyo njia maana maisha nnmagumu afu watumish wa idara ya maji wanavimba sana ,na viongozi wengine wako bise na kampen za kutufanya wajinga kila kitu utasikia mama ,mara mitano ,,sijui nyoko ....ME MWENYEW NATAMAN KUIBA AYO MAJI NA UMEME sijapata tu ujuzi, maana serikali yenyewe imejaa wazi watupu

    • @J_Jeromy
      @J_Jeromy หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @Bless-sk8uv
    @Bless-sk8uv หลายเดือนก่อน

    Yani sawa na kumpiga dole mkuu wa jeshi unacheza na serikali 😢😢

  • @rahimmarions5712
    @rahimmarions5712 หลายเดือนก่อน

    Aliemuunganishia ni hao hao wenyewe.hawezi toka mtu pembeni afanye ivyo

  • @ruthmsangi6472
    @ruthmsangi6472 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani yy ndio wakwanza au kuna namna nyuma ya pazia??¿

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona nyie mnaiba huko serekalini 😂

  • @Juniorbaraka21
    @Juniorbaraka21 หลายเดือนก่อน +1

    Tumia njia sahihi sio kualibu nyumba

  • @afreytonemajidi6909
    @afreytonemajidi6909 หลายเดือนก่อน +1

    Maji tu tafuteni wanao ua tembo

  • @user-ly2gq8gq7w
    @user-ly2gq8gq7w หลายเดือนก่อน

    Ninyi wenyewe wezi wakubwa Billi kubwa maji kutoka aaaaaahaa

  • @carson_uk2229
    @carson_uk2229 หลายเดือนก่อน

    Hata me ningeweza ningeibaa mbaya mbaya haiwezekani ma bill ya wizi mnatutumia na hamjipeleki mahakaman😂😂😂

  • @user-sg1du9dp1i
    @user-sg1du9dp1i หลายเดือนก่อน +3

    Mwenyekiti kama mtu vile 😅😅😅

  • @gilliardgodfriend5745
    @gilliardgodfriend5745 หลายเดือนก่อน

    MAJI UMEME NI HITAJI LA MUHIMU NA SIO LA KUKOSA MWANAADAMU HATA AWE HANA HELA
    TATIZO NCHI YETU INAFANYA HIVVI VITU KAMA NI ANASA NDIO MAAANA HAYA YANATOKEA😢

  • @Stellastella-yi5vu
    @Stellastella-yi5vu หลายเดือนก่อน

    Kwa iyo mnatuambia tuwasaidie Nini, mlikuja na kamera alipokuwa anavuta maji mara ya kwanza. Hebu mmalizane huku hizo kamera mmekuja nazo Ili iweje sasa.sifa tu

  • @user-fw6dp9iy4i
    @user-fw6dp9iy4i หลายเดือนก่อน +2

    Sheria ikoje? Miundo mbinu ikoje,
    Mmeharibu Mali yake Nani alitoa hukumu,
    Siasa za Arusha hizo

  • @samwelidomayo6195
    @samwelidomayo6195 หลายเดือนก่อน +1

    Maisha magum

  • @davidfidelis8595
    @davidfidelis8595 หลายเดือนก่อน

    mbona wao wanaiba unit unasafir mwezi mzima haupo lkn unit unapewa kma unapiga tofali

  • @juliusmagheke1379
    @juliusmagheke1379 หลายเดือนก่อน

    Mbona kama kuna mtu amehojiwa hapo ila yuko mwingi mno😂😂. Mmemtoa mtu kwenye starehe zake

  • @rahmarassy6092
    @rahmarassy6092 หลายเดือนก่อน

    Wameenda na kingwendu

  • @CecyGeorge-vx9uc
    @CecyGeorge-vx9uc หลายเดือนก่อน

    Wezi tuu ninyi

  • @user-ej2er1zw9w
    @user-ej2er1zw9w หลายเดือนก่อน

    Atari sana

  • @davidmalisa8043
    @davidmalisa8043 หลายเดือนก่อน

    Maji hata mm ningeiba

  • @maribaisack2097
    @maribaisack2097 หลายเดือนก่อน

    Mbona taarifa za mikoa mingine huwa hamtoi ? Why always arusha

  • @liberatusjackson5045
    @liberatusjackson5045 หลายเดือนก่อน +1

    Naye mjinga 😂😂😂😂

    • @realanuariy
      @realanuariy หลายเดือนก่อน +2

      mjinga wewe

  • @petercostakisoka
    @petercostakisoka หลายเดือนก่อน

    Kitu kidogo kinamgarimu pakubwa

  • @salmahalfani6307
    @salmahalfani6307 หลายเดือนก่อน

    Yeye alivyofanya wizi sheria ikoje?
    Na ukizingatia alieanza wizi ni yeye

  • @kundaelikilewo7176
    @kundaelikilewo7176 หลายเดือนก่อน

    haha maigizo hayo kwa nini mmepost hilo tukio ,inamaanisha dawasco ni dhaifu kwa nini imetokea hivyo boss wq dawasco ni mtuhumiwa wa kwanza kuwajibishwa

  • @renatusblandes1131
    @renatusblandes1131 หลายเดือนก่อน +2

    Hapo utasikia upelelezi bado

    • @ziggertv3185
      @ziggertv3185 หลายเดือนก่อน

      Yani bongo nyoso

    • @storytownTv
      @storytownTv หลายเดือนก่อน

      Uchunguz bado unaendelea..😂

  • @ThadeaGabrieli
    @ThadeaGabrieli หลายเดือนก่อน

    Mama wa mkombozi

  • @user-lu1by6yp4t
    @user-lu1by6yp4t หลายเดือนก่อน

    Makubwa

  • @benedictmasuky9535
    @benedictmasuky9535 หลายเดือนก่อน

    Mbona kawaida bna.. nyie viongozi Mnaibia serikali shingapi 🤨

  • @zephaniamalindi9597
    @zephaniamalindi9597 หลายเดือนก่อน +3

    Watu wanaiba ma billion mtu @naiba maji tu ndio mnatuletea usenge