Mbunge Livingstone Lusinde 'Nataka niwapongeze Upinzani'

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024
  • Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde hajapendezwa na baadhi ya wabunge kukosoa utendaji kazi wa Rais John Pombe Magufuli pamoja na watendaji wake na kuamua kuyaongea haya

ความคิดเห็น • 66

  • @abeidmayanga809
    @abeidmayanga809 7 ปีที่แล้ว +11

    Thanks lusinde guud sanaa mzee wakuwachana

  • @issaissarashid5552
    @issaissarashid5552 7 ปีที่แล้ว +8

    speech nzur na imeonyesha wap ni tatzo la kutokuwepo pesa mtaan maden yalipwe ya wawekezaj wa ndan hili ndo suluhisho zur ili pesa iweze zunguka mtaaan

  • @mako331
    @mako331 7 ปีที่แล้ว +15

    tell them the truth bro Jpm is doing a good job, hawa wapinzani wamekosa hoja kabisa

  • @ellymbinile3838
    @ellymbinile3838 7 ปีที่แล้ว +11

    safi sana lusinde big up

  • @babarebecca304
    @babarebecca304 7 ปีที่แล้ว +15

    Huyu jaaama kichwa Sana ! wapinzani kerere tuh

  • @salimahussein5537
    @salimahussein5537 5 ปีที่แล้ว +3

    Nakukubali bajaji

  • @felixkamkala3303
    @felixkamkala3303 5 ปีที่แล้ว +4

    Kamua baba mzee Lusinde wape makavu

  • @mussamussamussa8444
    @mussamussamussa8444 6 ปีที่แล้ว +7

    👐👐👐 lusinde moma

  • @amanijolam4140
    @amanijolam4140 7 ปีที่แล้ว +8

    Mungu angeluhusu kikao na wanadamu hadi leo kisingeisha ametisha sanaa

  • @ntemikilekamajenga5205
    @ntemikilekamajenga5205 7 ปีที่แล้ว +12

    Hivi mnaosema nchi inaelekea kubaya mna hoja za msingi. Hebu tuambieni ni zipi hizo na sisi tuzione.

  • @nzengamwamulima7724
    @nzengamwamulima7724 6 ปีที่แล้ว +5

    Hiyo ndiyo point kubwa,

  • @geoffreyengatkinson
    @geoffreyengatkinson 7 ปีที่แล้ว +18

    una akili sana

  • @emmanuelkidunu4078
    @emmanuelkidunu4078 7 ปีที่แล้ว +11

    Lusinde noma

  • @abrahamkibona7038
    @abrahamkibona7038 7 ปีที่แล้ว +12

    Safi sana mh lusinde

  • @imagenatorsculturalgroup3830
    @imagenatorsculturalgroup3830 6 ปีที่แล้ว +5

    Nchi hii!!!

  • @nicholausnchimbi1599
    @nicholausnchimbi1599 6 ปีที่แล้ว +7

    HUO UKWELI MCHUNGU

  • @Noahhersi
    @Noahhersi 7 ปีที่แล้ว +11

    sema baba dawa imewaingia

  • @mahamoudmwanyajilemwanyaji7502
    @mahamoudmwanyajilemwanyaji7502 7 ปีที่แล้ว +9

    safisana

  • @yohananoah6943
    @yohananoah6943 4 ปีที่แล้ว

    Kwakweli Mr Rusinde huwa unaniflahisha Sana ktk bunge usipo simama huwa nakosa Amani kabisa Kama dawa wapizani wanaipata kwa wakati muafaka

  • @eliamichael1289
    @eliamichael1289 7 ปีที่แล้ว +4

    Tuiombeeni nchi yetu Tanzania.... Hali ni tete sana.... Mungu atusaidie....

  • @jamesngundateresia2600
    @jamesngundateresia2600 6 ปีที่แล้ว +7

    NYALUKOLO UKO FITI

  • @luganokapula6267
    @luganokapula6267 7 ปีที่แล้ว +13

    lusinde unatisha

  • @hawawezidianakukushusha756
    @hawawezidianakukushusha756 7 ปีที่แล้ว +14

    yaani huyu jamaa ananikumbusha kasehemu Deo aisee ana akili sana

    • @chubahiroyustas4948
      @chubahiroyustas4948 6 ปีที่แล้ว +1

      زهراhawawezi Diana kukushusha زهرا that's true his very smart

  • @innocentsosoma2291
    @innocentsosoma2291 7 ปีที่แล้ว +2

    we need to change our ideology of thinking

  • @harunncheye8817
    @harunncheye8817 7 ปีที่แล้ว +8

    kibajaji uyo

    • @David-lr9zr
      @David-lr9zr 7 ปีที่แล้ว

      mhhh bro

    • @jumasadiki7612
      @jumasadiki7612 5 ปีที่แล้ว +1

      Lusinde ww unafaa kuwa rais

    • @ibrahimjuma9974
      @ibrahimjuma9974 4 ปีที่แล้ว

      Lusinde uwaziri hipati ww piga poyoyo tuuuuu weye

  • @emanuelmsangi6686
    @emanuelmsangi6686 7 ปีที่แล้ว +2

    Nimemsikiliza ila sijasikia point yoyote zaidi ya vijembe na mapambia,hapo unaweza sasa kufafanisha uchangiaji wa msomi na darasa la 7#hii ndio ssm HALISI

  • @allyomary2636
    @allyomary2636 7 ปีที่แล้ว +2

    lusinde kama ww nimsafi rudisha m10 ulizopewa na majaliwa laasivyo mungu atakulaani maisha magumu mtaani nyinyi mnahongana pesa bungeni ila namshauli waziri mkuu awaite wandishi akanushe mbona yukokimya

  • @fadhilikyando9483
    @fadhilikyando9483 4 ปีที่แล้ว

    Anyoshe wapi watu wako wa mtrea wanashindwa hata kunywa chai maisha yalivyo magumu unaakili kwerli wewe

  • @manasekitundu3249
    @manasekitundu3249 7 ปีที่แล้ว +1

    kiandee

  • @abelsimon9994
    @abelsimon9994 4 ปีที่แล้ว

    Wap muwe na akiba ya maneno leo wametumbuliwa.

  • @gervasmoses2464
    @gervasmoses2464 7 ปีที่แล้ว +2

    2020 sio mbali

  • @stephanomchenya6344
    @stephanomchenya6344 4 ปีที่แล้ว

    Jamaa kiboko

  • @arnoldfussy6464
    @arnoldfussy6464 7 ปีที่แล้ว +6

    akili ndogo

  • @angolwisyemwandenuka4728
    @angolwisyemwandenuka4728 7 ปีที่แล้ว +1

    Yaani huyu mbunge hajielewi hata kidogo. Inawezekana haelewi nn maana na hawezi kuambiwa maana.

  • @nicholausfungo4797
    @nicholausfungo4797 7 ปีที่แล้ว +3

    Anatafuta nafasi ya kuteuliwa (uwaziri) huyo tatizo shule ndo kikwazo.

  • @christinarichard9762
    @christinarichard9762 7 ปีที่แล้ว +3

    tuombe sana coz cjui nchi yetu inaelekea wapi

  • @alialle6441
    @alialle6441 7 ปีที่แล้ว +1

    Mhhhhhj

  • @adsonmbosso1202
    @adsonmbosso1202 7 ปีที่แล้ว +2

    kaka lusinde una pumba balaa

  • @mohammedshaaban9509
    @mohammedshaaban9509 7 ปีที่แล้ว +1

    mmmmmmh....nothing else

  • @neemaalphonce1333
    @neemaalphonce1333 7 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂

    • @faustinehaule1529
      @faustinehaule1529 7 ปีที่แล้ว

      Hatujui tunako toka wala tunako enda hao ndo wawakilishi wawananchi Tz, hasara tupu hawakumbuki kama watarudi 2020 kuomba kura.

  • @edimundngirwa855
    @edimundngirwa855 7 ปีที่แล้ว

    hacha unafika bro siasa hazitokufikisha popote

  • @theodorychristopher4795
    @theodorychristopher4795 6 ปีที่แล้ว +1

    anataka kiki kwa piki piki.

  • @salimatuyahhaya5772
    @salimatuyahhaya5772 7 ปีที่แล้ว +1

    Tatizo nimetoka kapaaaaa

  • @chrislg4974
    @chrislg4974 7 ปีที่แล้ว +1

    hili hapa tatizo

  • @nesterchunga4576
    @nesterchunga4576 7 ปีที่แล้ว +1

    sisi huku tunashinda na njaa nyie mnagawana hela zote hizo? iyo kazi mmeifanyia wapi achen izo

    • @magrethfifi7633
      @magrethfifi7633 6 ปีที่แล้ว +1

      Best unashinda nã njaa kwa ujinganani akuletee pesa,

  • @geofbeka1669
    @geofbeka1669 7 ปีที่แล้ว

    hivi hakuna wakati Lusinde akawa na hoja ya msingi, muda wote ujinga ujinga tu

    • @johnalbinus8315
      @johnalbinus8315 7 ปีที่แล้ว

      mpuuzi we mjinga ndo we ucyetaka kuambiwa ukweli!lusinde anaongea ukweli mtupu

  • @HandwrittenMemories
    @HandwrittenMemories 6 ปีที่แล้ว +1

    ueleweki

  • @johnsonmrema9175
    @johnsonmrema9175 7 ปีที่แล้ว +1

    Kwendrwaaaaaa fankrurooooo weweee

  • @honestgasperymboya335
    @honestgasperymboya335 7 ปีที่แล้ว

    Huyu haeleweki labda shule ndo chanzo

  • @sibawayhisalum2707
    @sibawayhisalum2707 7 ปีที่แล้ว +1

    pumbaaaaaaaaaaaaaaaa

    • @onesmomwacha1592
      @onesmomwacha1592 7 ปีที่แล้ว +1

      Maisha mgumu Hakuna pesa. Kodi juu. Wateja hakuna. hali ni mbaya sana kwa hiyo nakushauri acha pumba zako

  • @francissalamba8112
    @francissalamba8112 7 ปีที่แล้ว

    kibajaji huna lolote

  • @peterrichard1281
    @peterrichard1281 7 ปีที่แล้ว

    Lusinde umezngua

  • @enockcharles9302
    @enockcharles9302 6 ปีที่แล้ว

    huna hoja za maana kazi kumsifia rais

  • @mohammedshaaban9509
    @mohammedshaaban9509 7 ปีที่แล้ว

    mmmmmmh....nothing else