Chadema yamvua nyadhifa zote za uongozi Mh. Zitto Kabwe na wenzie wawili.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 พ.ย. 2013
  • Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimemvua nyadhifa zote za uongozi naibu katibu mkuu wa chama hicho Mh. Zitto Kabwe na wenzie wawili kufuatia vitendo walivyofanya vya kukihujimu chama hicho na kupewa siku kumi na nne za kujieleza kimaandishi kwanini wasichukuliwe hatua za kinidhamu ikiwemo kuvuliwa uwanachama.

ความคิดเห็น • 15

  • @nyandonashon7429
    @nyandonashon7429 10 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana CHADEMA... HAO WANAFIKI HAWAFAI... ZITTO KABWE ALISHAONESHA DALILI TANGIA ZAMANI... ZILE HARAKATI ALIZO ANZA NAZO KIPINDI ANA ANAINGIA BUNGENI ALIZIACHA BAADA YA KUONGWA NA HAO CCM

    • @dct4lif
      @dct4lif 10 ปีที่แล้ว

      Kama ni kuhongwa Mbowe naye anahongwa sana na CCM miaka 20 CHADEMA kelele nyingi bungeni rushwa na ufisadi ndio unazidi. Angalia wakenya walivyo fanya waliungana wakiangusha KANU, Uhuru naye akaanzisha coalition ya vyama leo raisi. Zitto anaweza kua na makosa lakini umaarufu wake sio wakudharau bila Zitto kanda ya ziwa CHADEMA wasahau. Kuna udiktator kwenye uongozi wa CHADEMA na hadi sasa sioni kama wako serious kuchukua nchi.

  • @langatouch4677
    @langatouch4677 3 ปีที่แล้ว +1

    Safi l
    Rais. Tundu lissu naabiii

  • @williamkirway5074
    @williamkirway5074 3 ปีที่แล้ว +1

    Namwona slaa baba wa chadema,ilikuwa chama makini nayenye umakini.

  • @romansuzana46
    @romansuzana46 10 ปีที่แล้ว

    Safi sana CHADEMA tulikua tunasubiri kwa hamu kuchukuliwa hatua hao wasaliti.

  • @tesiustheonest1592
    @tesiustheonest1592 9 ปีที่แล้ว +1

    Kwa pamoja tunapaswa kukilinda na kuilinda heshima ya chama chetu, tukiwa pamoja na UKAWA

  • @dct4lif
    @dct4lif 10 ปีที่แล้ว +1

    Hawa ndio wataweza kuwaangusha CCM kweli ?

  • @pancrasiahlaswai9353
    @pancrasiahlaswai9353 10 ปีที่แล้ว

    Me nafikiri wanaweza kupewa nafasi ya pili ukizingatia kuna watu wamekuwa wafuac wa chadema kwa kuvutiwa nao. There is always a second chance!

  • @charitytemu8398
    @charitytemu8398 10 ปีที่แล้ว

    chadema pigeni kazi zito asiwatishe kwni yeye nani..wasliti wote waondolewe nasifu kamati cc.hapana chezea chadema

  • @mabenzimabenzi4348
    @mabenzimabenzi4348 3 ปีที่แล้ว

    Leo hii lisu ndio kaja kuu chama

  • @mabubambassa2333
    @mabubambassa2333 3 ปีที่แล้ว

    Hivi hawa nyumbu wanakumbuka haya?? Eti leo wanadanganyana kuaminiana? Kweli?? Yetu macho.

  • @hoseaemanuel3528
    @hoseaemanuel3528 10 ปีที่แล้ว

    chama kilikuepo hata kabla ya zito hivyo hata si chochote msaliti huyo

  • @renaldakamugishazeramulake940
    @renaldakamugishazeramulake940 7 ปีที่แล้ว

    mmm nyie wanachama mboe na lisu ni vibaraka hivi hamjui. ni serikali hao wanawachota akili.

  • @josephkigosi7781
    @josephkigosi7781 10 ปีที่แล้ว

    Hata hivyo wamechelewa kulishughulikia hili swala. Dalili zilishakuwepo hata kabla.