Zitto Kabwe VS Dk Tulia Ackson, Full package

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024
  • HOJA YA HAKI, KINGA NA MADARAKA YA BUNGE :
    Sikiliza hii kwa makini ujue kile kilichowatoa wabunge wa kambi rasmi ya upinzani katika ukumbi wa bunge mjini Dodoma.

ความคิดเห็น • 124

  • @nyanda427
    @nyanda427 7 ปีที่แล้ว +3

    Waoh..!! am so proud of you Dr. Tulia, yani upo vizuri mno. Sheria unazijuwa, hoja unazo msimamo unao

  • @patrickkambale777
    @patrickkambale777 5 ปีที่แล้ว +5

    Nakukubali sana mheshimiwa Zito Zuberi Kabwe

  • @saviomlelwa
    @saviomlelwa 4 ปีที่แล้ว +3

    You are the best MP.s Mr zito

  • @mahirimahiri2643
    @mahirimahiri2643 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hapa tulikuwa na binge kweli kweli

  • @hamadialihamad4126
    @hamadialihamad4126 4 ปีที่แล้ว +5

    Zitto Hakuna Anae kufikia
    Tanzania mzima ww na lisu
    Na mzee wenu malim seif

    • @crimsonrider1591
      @crimsonrider1591 4 ปีที่แล้ว

      Hamadi Ali Hamad alafu kuna heche

    • @kudraomar7053
      @kudraomar7053 3 ปีที่แล้ว

      Kwakweli tunakoelekea tunaenda kuchaniana mashati kwa visu

  • @georgekalugaba282
    @georgekalugaba282 7 ปีที่แล้ว +3

    kwa Mara ya kwanza namuona mhaya mwenye upeo mdogo Wa kufikiri kamugisha

  • @kibwanamohammed5836
    @kibwanamohammed5836 5 ปีที่แล้ว +8

    Ukimungalia moleli utajua kama atakuja kua msaliti

  • @shukurumalewa3115
    @shukurumalewa3115 7 ปีที่แล้ว +8

    nataman ifike siku wabunge wote watambue wapo bungeni kwa ajili ya wananchi wote wa Tanzania na sio kwa ajil ya vyama vyao wawe wamoja ktk mambo ya msingi kwa faida ya Taifa letu... lakn leo hii wanaangaliana usoni hoja kaleta nan badala kuangalia hoja ina faida gani... ama kweli siasa inaaribu nchi yetu na itaturudisha Nyuma... Rais alishasema siasa tusubiri 2020 sasa hv tuwe wamoja ktk kujenga nchi.. Tanzania kwanza vyama baadae..

  • @faustinefesto7705
    @faustinefesto7705 4 ปีที่แล้ว +1

    Magufuli mjanja sna bila kuwa n mtaalam w sheria pangeyumba xna

  • @kigambontv9748
    @kigambontv9748 7 ปีที่แล้ว +9

    Zitto kwann haui mbuge wa jimbo lngu

  • @andrewtegos6854
    @andrewtegos6854 4 ปีที่แล้ว +1

    Dr Tulia kweli katulia

  • @saidomary4950
    @saidomary4950 6 ปีที่แล้ว +4

    Bunge limezalauliwa sana kwa serikali ya awamu ya 5 hakuna heshima ya bunge kabisa juu ya police

  • @annahockson1427
    @annahockson1427 7 ปีที่แล้ว +3

    tunaelekea wapi, kwann hivyo jaman, we are need freedom

  • @giftkelvin7
    @giftkelvin7 6 ปีที่แล้ว +2

    Mtu anazungumza bungeni amesubiriwa nje na police hii ni hatari.

  • @HeddySonBrownjr
    @HeddySonBrownjr 5 ปีที่แล้ว +6

    Kigoma one of the best member of parlement 🙌🙌💯.

  • @erickmapunda4231
    @erickmapunda4231 5 ปีที่แล้ว +9

    Mkulima hana kinga; mbunge ana kinga, unaona hizi sheria za kipuuzi mnajitungia sheria za kujipendelea nyie," eti msikamatwe mpk SPK apewe taarifa sisi huku mbona tunakamatwa bila taarifa na hatulalamiki.

    • @mbwanaseif404
      @mbwanaseif404 4 ปีที่แล้ว

      Well said broo

    • @fortunatuskapinga5250
      @fortunatuskapinga5250 3 ปีที่แล้ว

      Kweli kila mwambangima ngozi huvutia kwake
      Sioni ni kwanini mbunge hawe na haki yakutenda maovu bila kushughulikiwa kisheria

  • @daybrelimite1856
    @daybrelimite1856 7 ปีที่แล้ว +8

    Akajielewi ako ka naibu spika ka ccm

  • @mapesaevarist9094
    @mapesaevarist9094 7 ปีที่แล้ว +4

    mwana siasa aliye komaa uyo zto kbwe

  • @fayeezomar2902
    @fayeezomar2902 7 ปีที่แล้ว +4

    respect u!

  • @wilsonkitaa1054
    @wilsonkitaa1054 7 ปีที่แล้ว +1

    tutaona mengi sana kwa hii Miaka mitano ya uongoz wa mheshimiwa wetu

  • @renaldakamugishazeramulake940
    @renaldakamugishazeramulake940 7 ปีที่แล้ว +5

    huyu halima ana matatizo

  • @rebeccaisack6481
    @rebeccaisack6481 3 ปีที่แล้ว

    Kabwe ww nichombomuhimu Sana katika nchi hihi nakuku balisana

  • @ramadhaniabdi9530
    @ramadhaniabdi9530 4 ปีที่แล้ว +1

    Mtu ambaye namkubali katika siasa za Nchi yangu Zitto Kabwe

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 5 ปีที่แล้ว +3

    zito anajua ila anamtingisha tu naibu spika

  • @maxmziba9699
    @maxmziba9699 7 ปีที่แล้ว +1

    usanii ni mwingi sana Tz

  • @naftalichacha5393
    @naftalichacha5393 7 ปีที่แล้ว +5

    Daa kwel Democrasia n Afrika still n ndoto za mchana...... Mungu tusaidie wana wako tunapotea hiv hiv

  • @mamaalmas4314
    @mamaalmas4314 7 ปีที่แล้ว +6

    Kiukweli kuna ukiukwaji mkubwa sana Wa kanuni na taratibu ambazo sisi kama nchi tumejiwekea inaonekana hivi sasa viongozi wore Wa juuu wapo juu ya sheria kuna ukiukwaji mkubw sana Wa katiba ya jamhuri ya muungano ya mwaka 77 ila nikumwomba mwenyezi mungu inshallah awajaze wepesi viongozi we2

  • @tinnomdete4841
    @tinnomdete4841 7 ปีที่แล้ว +6

    ndio maana hataki kuonyesha live bunge ili fanye yao komaeni kuhakikisha haki inachukua mkondondo wake

    • @castorynchilu425
      @castorynchilu425 7 ปีที่แล้ว +3

      tinno mdete hata wangeonesha wewe ungefanyeje sasa, unashabikia upuuz tupu rafik yangu, fanya kazi kwa mafanikio yako siyo kukodolea TV ukiangalia bunge, mbona saiv umeyajua? let you run with Technology, wee ulifurahi lisu kumwita rais wa ajabu?

    • @hishamally4846
      @hishamally4846 7 ปีที่แล้ว +2

      Castory Nchilu dunia nzima bunge linaonekana live wacheni kasumba zenu ukiyona mwenzio ananyolewa na wewe tiya maji

    • @samirymickdady8131
      @samirymickdady8131 7 ปีที่แล้ว +2

      +Castory Nchilu na wewe ulifurahi rais kuwajibu waathirika wa tetemeko kagera kuwa hawezi kuwachangia kwa kuwa yeye hajaleta tetemeko na watu tuliwachangia waathirika

  • @nairasyjuma4509
    @nairasyjuma4509 7 ปีที่แล้ว +4

    that is why nakukubali coz unaenda kwenye main point

  • @francissalamba8112
    @francissalamba8112 7 ปีที่แล้ว +4

    huyu naibu spika namashaka na unaibu wake

  • @kalolintalima5454
    @kalolintalima5454 7 ปีที่แล้ว +3

    wenzetu wanapambana kuleta maelendeleo sisi tunaoneshana ubabe wa vyama!! endeleeni tuone tunatafika wapi!!

    • @erasmusndrew9135
      @erasmusndrew9135 4 ปีที่แล้ว

      Maendeleo gani akuna machine za kupumulia

    • @kudraomar7053
      @kudraomar7053 3 ปีที่แล้ว

      Tunaelekea kuchaniana mashati kwa visu

  • @titomwashuya6460
    @titomwashuya6460 ปีที่แล้ว

    Nchi hii tunahitaji wabunge aina ya zito

  • @gloryndakidemi3243
    @gloryndakidemi3243 7 ปีที่แล้ว +3

    i respect you zitto kabwe

  • @rajabuabdallah3840
    @rajabuabdallah3840 7 ปีที่แล้ว +3

    mbna spka hksema kma ana trfa hyo ya kkamatwa kwa lisu kama ni kakamatwa kw ksa la madai au nni kwhyo anafahmu au cjaelewa mm hpo jmn

  • @user-hq7mq8zn4j
    @user-hq7mq8zn4j ปีที่แล้ว

    Uishi milele

  • @magembeedward9483
    @magembeedward9483 4 ปีที่แล้ว +3

    Zito anafaa kuongoza hii nchi,na huyu naibu spika ni poyoyo kabisa

  • @rugugumangobo1069
    @rugugumangobo1069 7 ปีที่แล้ว +1

    kuliwa kigoma ni digree.

  • @lyaruusiayako2642
    @lyaruusiayako2642 6 ปีที่แล้ว +1

    Siasa inaharibu Ubongo

  • @ephraimathanas7833
    @ephraimathanas7833 7 ปีที่แล้ว +2

    hivi wabunge wa ccm hawana aibu uku wenzao wanatetea haki za bunge pamoja na wananchi kwa ujumla

  • @kelvincharles7263
    @kelvincharles7263 7 ปีที่แล้ว +3

    Hii situation inayoendelea ya kamatakamata ni upuuzi kabsa

  • @akidahamad142
    @akidahamad142 ปีที่แล้ว

    Natamani hata nimtukane huyu naibu spker

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 3 ปีที่แล้ว

    Kumbe ndio maana hawakurudi michango yao wala hawachangii kuulizia shida za wananchi waliochagua.

    • @mwaramiissa3553
      @mwaramiissa3553 3 ปีที่แล้ว

      Wanaongelea kukamatwa na mahakama maana ndio stahili yao. Wanajijua tu kuwa ni wahalifu

  • @gloryndakidemi3243
    @gloryndakidemi3243 7 ปีที่แล้ว +1

    huyo naibu speaker bhn ni shida

  • @shizoshop2469
    @shizoshop2469 หลายเดือนก่อน

    Kipindi hicho zitto akiwa na akili na hajawa chawa

  • @komufredy3739
    @komufredy3739 7 ปีที่แล้ว +3

    tuna vyombo vya kipuuzi sana.... ila sishangai wengi wao ni wale waliofeli....

    • @restitutamelchiades902
      @restitutamelchiades902 4 ปีที่แล้ว

      Hivi Tundulisu kwa ushenzi aloufanya anastahili kupiganuwa na serikali ipi? Acha akanyee ndoo. Si ndo alichokuwa anatafuta?

  • @mwaramiissa3553
    @mwaramiissa3553 3 ปีที่แล้ว

    Kitu nilichogundua ni kwamba wapinzani wanaongelea vifungo badala ya kujadili mambo mbalimbali ya maendeleo kwa wananchi wake. Ndio maana wamepigwa chini

  • @yohanamsabila4653
    @yohanamsabila4653 4 ปีที่แล้ว +1

    Duh

  • @suleimanbakar1271
    @suleimanbakar1271 5 ปีที่แล้ว +1

    huyu malaya naye asema nini?naona anazunguka tu kamq pia

  • @jumashija3652
    @jumashija3652 3 ปีที่แล้ว

    Tunamic xna Ila back to

  • @emmanueljames2652
    @emmanueljames2652 4 ปีที่แล้ว

    safi bunge

  • @abelmirwatu19
    @abelmirwatu19 7 ปีที่แล้ว +2

    Mi nashauli wabunge wa upinzani ikifika 2020 wasigombee uraisi wala ubunge, diwani, waache chama kimoja tu, inatosha na tumesha choka ina maana upinzani ndiyo wana makosa kila siku?

  • @zainabrashid8670
    @zainabrashid8670 4 ปีที่แล้ว

    Tangu lini mnyonge akawa hakiiii

  • @oswardosward2019
    @oswardosward2019 4 ปีที่แล้ว

    Mungu tuokoe

  • @Prince0fald
    @Prince0fald 7 ปีที่แล้ว

    Respect for this madam

  • @mwidausaid5701
    @mwidausaid5701 4 ปีที่แล้ว +2

    Saf mzee hujawai kuniangusha hotuba zako unastaill kuwa si tu kuwa mbunge unastail kuwa rais wa nchi hii sio hao vilaza wa ccm

  • @frabomdemu4767
    @frabomdemu4767 7 ปีที่แล้ว

    kweli sasa hii nnchi sio yenyewe kama serikari inaogopa kukosolewa basi iseme moja tu hakuna vyama vingi katibu ibadilishwe Aaaaaa huu sasa ni udicteta na mii sasa nakubari

  • @agnesmgomba3421
    @agnesmgomba3421 7 ปีที่แล้ว

    mi sion kosa LA naibu spka, hao wabunge wanakera hawana Sera zaid ya makelele na kuleta uvyama ndan ya bunge na hawajui kuwatetea wananchi waliowachagua

  • @Ba63828
    @Ba63828 5 ปีที่แล้ว +2

    FAIDA YA KIONGOZI WA SHUGHULI ZA BUNGE KUWA MWANASHERIA.

  • @alfredanthony6282
    @alfredanthony6282 5 ปีที่แล้ว +2

    🖐🖐🖐🖐🖐🖐🖐🖐

  • @lgffumbuka183
    @lgffumbuka183 2 ปีที่แล้ว

    PhD

  • @sananesteve6157
    @sananesteve6157 4 ปีที่แล้ว

    HALIMA APUNGUZI MAKALI

  • @gerarrdhesrom2202
    @gerarrdhesrom2202 2 ปีที่แล้ว

    Huyo ndo zitto kabwe

  • @augustinomgonde1505
    @augustinomgonde1505 4 ปีที่แล้ว +1

    Bonge la kichwa. Jamaa ana kipaji kikubwa Sana.

  • @muddymwankunda9024
    @muddymwankunda9024 4 ปีที่แล้ว

    Xpka 2nakuhitaji mbeya tafadhariiiiiii

  • @andunjejonas5211
    @andunjejonas5211 7 ปีที่แล้ว

    Richi jonas

  • @simonfundi5472
    @simonfundi5472 7 ปีที่แล้ว +3

    I hate ccm too much

  • @noahmwasile499
    @noahmwasile499 5 ปีที่แล้ว

    Balaza LA madiwan ileje

  • @burtonsatshop2061
    @burtonsatshop2061 7 ปีที่แล้ว +2

    Hamna ubabe. hapo wala nini? kama kupinga kapinga kwa vifungu vya sheria,ni kawaida ya upinzani kulala kila jambo wakihisi kuonewa.Chadema yenyewe haijitambui inatembelea nyota ya Zitto bado

    • @obedikilibaha1437
      @obedikilibaha1437 7 ปีที่แล้ว +1

      Burton Jorde ucwe kichaa inamaana nyumba ya JIRANI yako ikiungua usaidii kuzma kama ni hivyo ukiunguliwa ww ucsaidiwe?

    • @jaynermmbaga4487
      @jaynermmbaga4487 7 ปีที่แล้ว

      Burton Jorde umeongea ukweli lakini hao ukawa hawaelewi kwamba zito ni ccm b .kama kweli zito ni mtu mzur kwa ukawa mbona siku zote hakusema haya mpaka leo anasubiriwa na police ndio analiongelea it means yasingemkuta na yeye asingelizungumzia

  • @gabrielalbinus5533
    @gabrielalbinus5533 7 ปีที่แล้ว +1

    Duh!!"""""

  • @renaldakamugishazeramulake940
    @renaldakamugishazeramulake940 7 ปีที่แล้ว +3

    kwanini mnamtukana rais wewe zitto ulijificha wiki 2 ulikuwa wapi? haya sasa lako hilo

    • @daybrelimite1856
      @daybrelimite1856 7 ปีที่แล้ว +5

      Renalda Kamugisha Zeramula Kemilembe huna akili ww

    • @mussahaji3237
      @mussahaji3237 5 ปีที่แล้ว

      @@daybrelimite1856 gbn

  • @saimonxaimon4509
    @saimonxaimon4509 4 ปีที่แล้ว +2

    Hahaha

  • @bulunomberwa5282
    @bulunomberwa5282 ปีที่แล้ว

    O

  • @ericmulinga5869
    @ericmulinga5869 7 ปีที่แล้ว

    bomboclact system where's equal rights and justice 👹👹👹👹

  • @kilimohub580
    @kilimohub580 5 ปีที่แล้ว +1

    She talks too much

  • @agnesmgomba3421
    @agnesmgomba3421 7 ปีที่แล้ว

    hao wakamatwe tuu maana hawana Sera zaid ya kujifanya wanashombo chafu na matus, tumechoka kuskiliza kashfa zao Bungen, waongee Sera hao, mi sion kama ccm inawaonea hao, Bali matus yao na kashfa zao ndyo zinafanya wakamatwe na polis

  • @stephanokayega2792
    @stephanokayega2792 5 ปีที่แล้ว

    .

  • @alphaxadmagoma6252
    @alphaxadmagoma6252 7 ปีที่แล้ว

    public comment

  • @omarymwigula5479
    @omarymwigula5479 7 ปีที่แล้ว

    Huyu tulia aliwahi kusema kwenye chombo kimoja cha habari kwamba yeye ni zaidi ya wabunge waliochaguliwa na wananchi kw sababu aliteuliwa na Rais mnategemea nini?

  • @lutherdennis2378
    @lutherdennis2378 5 ปีที่แล้ว

    nikweli kuna ukiukwaji wa kanuni hivyo lazma ulimbukeni wa madaraka

  • @sebastiansalamba8236
    @sebastiansalamba8236 5 ปีที่แล้ว +2

    Kamata zitto kibaraka wa abeberu

  • @gloryndakidemi3243
    @gloryndakidemi3243 7 ปีที่แล้ว +4

    i respect you zitto kabwe

  • @gloryndakidemi3243
    @gloryndakidemi3243 7 ปีที่แล้ว +1

    huyo naibu speaker bhn ni shida