MBUNGE LUSINDE ACHARUKA BUNGENI "HATUWEZI KUKUBALI WANAOMSEMA VIBAYA MAGUFULI, LEO NAJITOA MHANGA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024
  • Mbunge wa Mvumi (CCM), Livingstone Lusinde amewashukia wabunge na viongozi wanaopinga mambo mazuri yaliyofanywa na Rais wa awamu ya tano wa Tanzania, Hayati John Magufuli.
    Lusinde ameyasema hayo leo Jumanne Aprili 13, 2021 alipokuwa akichangia mapato na matumizi ya fedha ya ofisi ya waziri mkuu na taasisi zake mwaka 2021/22.
    Amesema haiwezekani kuwa na amani na utulivu wakati kuna watu wanamsema vibaya Magufuli akibainisha kuwa haiwezekani kuwa na viongozi wanaojaribu kupinga mambo mazuri yaliyofanywa na Magufuli.

ความคิดเห็น • 690

  • @moleopardonlinetv7151
    @moleopardonlinetv7151 3 ปีที่แล้ว +58

    Safi sana Mbunge wangu Lusindeee ,,mvumi oyeeeee achia like twende pamoja🔥🔥🔥

    • @zainamohamed4300
      @zainamohamed4300 3 ปีที่แล้ว +1

      Mbunge wa wap

    • @milomohamed7201
      @milomohamed7201 3 ปีที่แล้ว

      @@zainamohamed4300 sukuma gang hao watabwabwaja sana lkn magu harudi tena.

  • @chido_wa_south2171
    @chido_wa_south2171 3 ปีที่แล้ว +71

    Umetisha Sanaaaaa,Yani Leo nimefurahi kuona kuna watu wanaojisikia vibaya kama Mimi Anaposemwa vibaya Ayati Rais wa wangu wakati Amefanya Mambo makubwa Sana kwa taifa Lake.👏👏

    • @juliethhope7281
      @juliethhope7281 3 ปีที่แล้ว +3

      Even me jmn.ilikua ina niumiza sanaaa.mnooo.aisee

    • @ibel4lf
      @ibel4lf 3 ปีที่แล้ว +4

      Mimi ni namba moja wakimsema vibaya naumia mnoo siwezi elezea

    • @milomohamed7201
      @milomohamed7201 3 ปีที่แล้ว

      @@ibel4lf nini kinachokuumiza wakati yeye kaumiza wengi?
      Wajinga sana nyie

    • @ashamwandu6572
      @ashamwandu6572 3 ปีที่แล้ว +2

      Wapumbavu waliokuwa wanamsema baba yetu magufuli,washike adabu zao,ilikuwa inaniuma kupita maelezo,tuwe wasitaraabu,Marehemu alisema mnikumbuke kwa mema sikwamabaya,jitambuweni waje.

    • @saitawilson7307
      @saitawilson7307 3 ปีที่แล้ว

      Hamnizidi Mimi😭😭

  • @jozeeamos1160
    @jozeeamos1160 3 ปีที่แล้ว +30

    Yaani kiukweli nimefarijika sana kuona wazalendo wana mtetea Hayati Magufuli kiukweli kafanya kazi Kubwa sana na tumeiona hatujaadisiwa hongera sana Lusinde R.I.P Jemedari wa Africa JPM.

  • @magdalenachubwa9388
    @magdalenachubwa9388 3 ปีที่แล้ว +31

    Mr. Lusinde ulikuwa wapi jamani?? wananchi tulishaanza kuhuzunika kuona vijana wa Magufuli, majemadari aliowaacha nyuma mmekaa kimya. Asante sana, you have made our day. Magufuli hawezi kuchafuliwa na nyie mpo jamani. Ametutendea mema mengi sana watanzania na aliipenda sana nchi hii na akaitumia kwa moyo wake wote. Thank you Lusinde!

  • @sharifakongwa4494
    @sharifakongwa4494 3 ปีที่แล้ว +11

    Kwakweli leo nimepata tulizo la moyo wangu na nimepata faraja kwelikweli kwa kumsikia huyu mbunge lusinde akiwa anamtetea JPM na kuona mazuri mengi aliyoyafanya wakati wa uhai wake. Natamani kama ungekuwa mbunge wa jimboni kwangu, najuwa ungetuletea maendeleo saaana. Big up lusinde.

  • @onesmojeremia9713
    @onesmojeremia9713 3 ปีที่แล้ว +117

    Wewe na Majaliwa mnaendelea kunipunguzia maumivu baada ya kuondokewa na shujaa wangu Magufuli, kwa kweli nafarijika sana, Ahsante sana

    • @catherinemuthoni1237
      @catherinemuthoni1237 3 ปีที่แล้ว +4

      Ameeeeen kweli mwondoen

    • @Manumbu
      @Manumbu 3 ปีที่แล้ว +7

      Na polepole wanatufariji kwamba bado tunaviongozi wasio wanafiki

    • @maloomaalmnsj5111
      @maloomaalmnsj5111 3 ปีที่แล้ว +3

      @@Manumbu umeonaa ee

    • @monicahovda5890
      @monicahovda5890 3 ปีที่แล้ว +4

      Watu wanadhani Akili ni za Darasani tu. Akili, kila mtu alivyojaliwa. Akili na Maarifa vinaenda pamoja. Kuwa profesa sio mwanzo wa akili au Maarifa nope

    • @magretha1622
      @magretha1622 3 ปีที่แล้ว +2

      Ongea baba ongeaaaaa upo vzuuuuuuriii

  • @twalibmfaume3179
    @twalibmfaume3179 3 ปีที่แล้ว +15

    Am happy for this maana naona walianza kumchafua mzee ilikuwa inaniuma Sana, huyu mzee ndo kiboko Sana

  • @farajaMezza-qn4be
    @farajaMezza-qn4be หลายเดือนก่อน

    Leo 2024 nipo hapa, Mungu akutunze sana sana mheshimiwa Lusinde, nakuombea nakupenda kakangu! Hadi nimetokwa machozi ninapenda sana sana nikiona kiongozi mzalendo kwa taifa lake! Yesu akutunze Lusinde kwa ajili ya taifa hili hope ungekuwa mentor wangu!

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 3 ปีที่แล้ว +7

    Tunashukuru Mh Lusinde. Hawa wanaosema hovyo wakumbuke hiyo ni njia ya kila mtu na ukifuatilia vema ni wenye uchu wa madaraka. Hatutakaa kimya kwa wasema ovyo sababu wanatuingizia msumari wa moto kwenye kidonda ambacho bado kinavuja damu(msiba wa Magufuli).
    Viongozi wa namna hii hatuwataki sababu wanatuumiza.
    Washike adabu kabisa,huo ni utovu wa nidhamu uliokithiri. Watu wa namna hii narudia tena hawatufai.
    Wanayowaropoka ni jinsi walivyo wamevaa kondoo kumbe ndani hawafai.
    Alafu wasemaji ni watu fulani ambao hawana hata madaraka yeyote. Jamani Raisi ana washauri wake na si kila mtu hata wapita njia wataki kutusemea. Uhuru wa vyombo vya habari ndio huu?!
    Wanajikuta wanajua kumbe wanajidhalilisha

  • @mikawanene6439
    @mikawanene6439 3 ปีที่แล้ว +2

    Hongera mheshimiwa LUSINDE. kweli wewe una Elimu ya juu, tene ni Profesa wa HEKIMA NA BUSARA.
    Mungu akubariki sana.
    Na NEC UMEPITA BILA KUPINGWA.

  • @alfreddotto7911
    @alfreddotto7911 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana Mh. Lusinde! Mungu akubariki kwa kuyaona hayo! Naamini bado tuna azina ya kutosha ndan ya Bunge. Watanzania tupo tunasali sana kwa ajili watu kama ninyi. Big up mheshimiwa! Keep it up.

  • @johntuju3693
    @johntuju3693 3 ปีที่แล้ว +15

    Woow!! Huyu Mbunge Lusinde na Hamprey polepole na Majaliwa ndo hakika wanamuenzi JPM ila zingine ni takataka tu.. atleast mnanipa amani ya moyo! Ahsante Lusinde.. well done, na hiyo ni salaam tosha kwa Spika! Lusinde hujawahi niangusha hata siku moja..

  • @dinachiwanga8913
    @dinachiwanga8913 3 ปีที่แล้ว +19

    Yani leo nimefurahi sana niliku nimekataa tamaa kusikiliza bunge niliumia sana kwa kusemwa hayati magufuli

  • @sospeterkaponoke3789
    @sospeterkaponoke3789 3 ปีที่แล้ว +2

    LUSINDE wewe ni zaidi ya mashujaa mungu akulinde umeongea ukweli mungu atakulipe nimekusapo natumaini hayati JPM atafurahi huko aliko mungu akulinde 🙏🙏 yani umenitoa machozi maana umeongea vitu vikubwa sana nimekumbuka jpm 😭😢 lusinde 👏👏👏👏

  • @seifibrahim3883
    @seifibrahim3883 3 ปีที่แล้ว +5

    Mh. Lusinde upo on point, watanzania msisahau fadhila na legacy ya hayati will live on forever. ✊

    • @mrsinia3064
      @mrsinia3064 3 ปีที่แล้ว

      Samaan kwa kuuliza ndg hiv mh.lusinde ni mbunge wa jimbo gan

  • @mariamnimbo8394
    @mariamnimbo8394 3 ปีที่แล้ว +2

    Mhe. Lusinde, Mungu akubariki sana.
    Mungu akuzidishie ujasiri, hekima na maarifa, utatufikisha mbali, leo uliyoyasema, ni zaidi ya professor, I give u a Bigup.
    U deserve a credit! 100%+
    Usinyamaze Mhe, endelea kusema maana busara unazo.
    RIP my beloved President JPM!!!!!!!!

  • @albertkivinge7996
    @albertkivinge7996 3 ปีที่แล้ว +15

    Waaaoooh waaaoooh hawa ndo viongozi wazalendo..big up Mr.MP

    • @happymrema6728
      @happymrema6728 3 ปีที่แล้ว

      Maprofesa ubabaushaji Bora waendeshe watu wasiokuwa na elimu

    • @albertkivinge7996
      @albertkivinge7996 3 ปีที่แล้ว

      @@happymrema6728 Kilichobaki kwao ni U professor wa mdomoni ila hawana uwezo wa kufikiri na kuleta mambo chanya kweny jamii yetu

  • @joriteboy4231
    @joriteboy4231 3 ปีที่แล้ว +26

    Lusinde Lusinde pongezi kwako mheshimiwa big up Rest in peace president John Pombe Magufuli 🇹🇿🇹🇿🇹🇿😂 ilove you forever Deus graend papaa

  • @shazppetersolomoni3525
    @shazppetersolomoni3525 3 ปีที่แล้ว +5

    Ahsante Lusindeee umenitia Iman maan nilikuwa naishia kwenye vichwa vya habar bila kujua yaliomo

  • @nicksam78
    @nicksam78 3 ปีที่แล้ว +25

    Mh Rais alifanya yale aliyowezeshwa na Mungu na hata sasa yafanyike kwa uwezo wa Mungu kumsema vibaya marehem sio sawa.Ahsante mbunge kwa kujilipua🙏

  • @sannycpaul9423
    @sannycpaul9423 3 ปีที่แล้ว +24

    Fact Lusinde anaakili Sana

  • @michaelkatepa9901
    @michaelkatepa9901 3 ปีที่แล้ว +11

    Nafarijika sana kuona hayati Magufuli amepanda mbegu bora kwenye vijana wa Kitanzania ambayo itatunzwa na kulindwa kwa kizazi na kizazi. Mh Lusinde nakupongeza sana kwa kauli yako uliyoitoa bungeni kuhusu kazi mzuri aliyofanya Hayati Magufuli. Mimi ni mmoja wa watu wanaochukizwa sana na watu wanaopinga miradi ilioanzishwa na Dr JPM.

    • @mrsinia3064
      @mrsinia3064 3 ปีที่แล้ว

      Samaan kwa kuuliza ndg hiv mh.lusinde ni mbunge wa jimbo gan

  • @ashamwandu6572
    @ashamwandu6572 3 ปีที่แล้ว +3

    Kipekee kabisaaa Leo lusinde umenifurahisha, Ukweli Magufuli wetu ataishi milele kwenye miyoo yetu, Watanzania hatutaki Mtu amseme vibaja mtu aliye tangulia mbele za Mungu,wanatutonesha vidonda,tunalia bado,Tena mnatakiwa kumuenzi aliwatetea Sana,natamani nikupe hata zawadi mhe,umesema Ukweli umeukonga Moyo wangu ❤️ wakome wakome,tunaujuwa ukweli l wakome, Mungu akubariki akupiganie Sana lusinde,

  • @husseinyusuph5458
    @husseinyusuph5458 3 ปีที่แล้ว +21

    Asante lusinde umeukosha moyo wangu umeusemea moyo wangu

    • @ibrastta8889
      @ibrastta8889 3 ปีที่แล้ว

      Ahsante sana lusinde

  • @zainabrajab9608
    @zainabrajab9608 3 ปีที่แล้ว +13

    Wow lusinde nmekupenda bule tu

  • @kamilusmgaya4806
    @kamilusmgaya4806 3 ปีที่แล้ว +6

    Wewe nizadi ya wabunge nimekupenda sana narudia nimekupenda sanaaaaa

  • @wilyfredelisante7991
    @wilyfredelisante7991 3 ปีที่แล้ว +26

    Huo ndio utofauti wa wazalendo wa nchi yetu na wapiga porojo bigup Lusinde waache wapige kelele wapuuzi tu hao

  • @lucasmugoma2870
    @lucasmugoma2870 3 ปีที่แล้ว +47

    Nilianza kuchoka na maneno ya Tanzania sasa naanza kuludisha imani na nchi yangu Tanzania lusinde umenifulahisha sana

    • @msetikebwasi1469
      @msetikebwasi1469 3 ปีที่แล้ว +3

      Mzee aliwaivisha ,haya ni matunda yake

    • @upendomission4626
      @upendomission4626 3 ปีที่แล้ว

      Yaani dunia haina huruma kabisa, mi nashangaa hata viongoz waliopo leo wanaskia kashifa anazokashifiwa rais magufur lakini wamenyamaza kimyaaaaa!! Hata yule ambaye magufur alimchagua wala hakupigiwa kura lakini cha ajabu nao wamenyanaza kimya, inashangaza sana

    • @farajastudioandstationery5798
      @farajastudioandstationery5798 3 ปีที่แล้ว

      Asante kwa kunisemea!

    • @milomohamed7201
      @milomohamed7201 3 ปีที่แล้ว

      @@upendomission4626 magu hakuwa mzuri ndio maana wote wamekauka tu yaani wanapumua sasa kwa kweli

    • @shambaiddi4984
      @shambaiddi4984 3 ปีที่แล้ว

      Uzalendo ni kama mtu umefiwa na ndugu yako unajisikia uchungu wa dhati ndani ya mwili na kiwiliwili

  • @levinakato7629
    @levinakato7629 3 ปีที่แล้ว +6

    Nitakuheshimu sana kwa kusema ukweli. Mungu akubariki.

  • @sospeterkaponoke3789
    @sospeterkaponoke3789 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamn mimi naona wabunge wa darasa la saba tuwape majimbo wabunge wa darasa la sabu wanaongea vitu point 👏👏👏🙏🙏🙏❤

  • @waheedahtanzania4912
    @waheedahtanzania4912 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah Lusinde leo umewapa ukweli Mungu akulinde na shari za watu wabaya, maana walipiga sarakasi sana humo bungeni week ilopita kumponda Rais WETU wasojua kushukuru hao Magufuli kafanya maajabu makubwa siyo kitu rahisi kuigeuza Tanzania kuwa ULAYA na mpaka sasa inaheshimika bado wabunge msojielewa mnakaa bungeni kumsema hivi lini mtajifunza kushukuru,Bora huyu Lusinde angekuwa makamu wa rais ili atusaidie

  • @lucyfrancis4127
    @lucyfrancis4127 3 ปีที่แล้ว +10

    Mzalendo wa Tanzania hongera sana kwa kumutetea Rais wetu aliye tangulia mbele za haki jamani mm nilikuwa naumia lakini leo umesema ukweli mwenye masikia na wazikie hongera wenye kusikia wamesikia kwa kweli

  • @glorykapenja9473
    @glorykapenja9473 3 ปีที่แล้ว +20

    Sisi watanzania tunaakiri nyingi sana macho yetu yanaona hata wamchafue vipi JPM hakuna wa kumfananisha naye

  • @susankitila8684
    @susankitila8684 3 ปีที่แล้ว +2

    Safiiii. Sanaaa Mbunge nakupa hongera sana umeongea ukweli 100%. Wewe ni mkweli. Mungu akubariki sanaaa maana ni wengi wabesaji hawajui kitu. Na NEC Utapata ASANTE. Rais Maghufuli anastahili TUZO

  • @abedinegoelias9616
    @abedinegoelias9616 3 ปีที่แล้ว +9

    Daaa..! Lusinde nimekukubali sana mbunge hakika umenena vyema mno..!

  • @ejidemaswalikinoja5643
    @ejidemaswalikinoja5643 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki sana Mzee Lusinde mawazo haya ndiyo yanahitajika sana katika nchi yetu🤝🤝🤝

  • @boniphacenyamhanga9395
    @boniphacenyamhanga9395 3 ปีที่แล้ว +16

    Lusinde Kweli maarifa ni Bora kuliko Elimu Mamaee Rest in Peace Magufuli. Duh Leo siku yangu imeenda vyema sana......

  • @yunismahanga2871
    @yunismahanga2871 3 ปีที่แล้ว +4

    Safi Sana lusinde nimekuelewa Sana umenikosha nilisikia Sana wakimsema Baba angu wamuache apumzike Kwa Amani eti akaut mara nn waseme mengine

  • @zarunaamwanajimba1950
    @zarunaamwanajimba1950 3 ปีที่แล้ว +5

    Sawa Mh. Lusinde angalau tunaona mzalendo Bungeni hongera sana, Tunamuona mtetezi wa Baba yetu JPM alale salama!

  • @mikenomanamba5258
    @mikenomanamba5258 3 ปีที่แล้ว +6

    Lusinde sijawahi comment youtube Mungu akubariki hii dhoruba nayo itapita

  • @pauloqaymo8925
    @pauloqaymo8925 3 ปีที่แล้ว +2

    Makofi mengi kwa Lusinde tafadhali 👏👏👏👏👏👏

  • @evelynekasalile3243
    @evelynekasalile3243 3 ปีที่แล้ว +5

    Lusinde baba.. Ubarikiwe, Ahsante kwa kuendelea kutupa moyo 😢😢

  • @elvingaspar4885
    @elvingaspar4885 2 ปีที่แล้ว

    Nakukubali sana mh Livingston lusinde akika bunge letu bila ww, mh msukuma, mh jafo, mh tulia, mh ummy, mh jobu, mh palamagamba, mh lukuvi, mh kaleman, mh majaliwa na mh izidori mpango aliwezi kuwa bunge

  • @eddietaz710
    @eddietaz710 3 ปีที่แล้ว +3

    this is PURE GOLD, Lusinde all the way

  • @christianahia2680
    @christianahia2680 3 ปีที่แล้ว +9

    Lusindeeeeee..
    Hongera sana. Kazi iendelee.

    • @happymrema6728
      @happymrema6728 3 ปีที่แล้ว +1

      Ni kwel na tunakasirishwa San na yeyote anayepiga kwenye uchaguz tutampiga mawe

    • @milomohamed7201
      @milomohamed7201 3 ปีที่แล้ว

      @@happymrema6728 ujinga tu na hilo bunge mbuzi la upande mmoja.

  • @rehemambilinyi4473
    @rehemambilinyi4473 3 ปีที่แล้ว +2

    Babaaa, umejua kunifurahisha, umerejesha furaha zetu watz, tutakuombea daima

  • @crisndembwele4016
    @crisndembwele4016 3 ปีที่แล้ว +24

    SAMIA NI MAGUFULI na MAGUFULI Ni SAMIA... Safi Sana mzee BABA MUNGU hata kuacha bure wewe ni mzalendo huna unafki wewe Ni mzalendo... Big up 💪💪💪

    • @erickwilliam6610
      @erickwilliam6610 3 ปีที่แล้ว +3

      Nimekuelewa sana lusinde ila huina njia ya kumtetea NDUGAI bora ata wewe ungekua hapo mbele una akili huyo spika hovyo sana

    • @erickwilliam6610
      @erickwilliam6610 3 ปีที่แล้ว +1

      Ametusaliti watanzania

    • @erickwilliam6610
      @erickwilliam6610 3 ปีที่แล้ว +2

      Atuombe radhi sisi na familia ya magufuli ametukosea sana

    • @elizabethchristopherkilumb4729
      @elizabethchristopherkilumb4729 3 ปีที่แล้ว

      @@erickwilliam6610 kweli kabisa .

    • @temuemanuel4671
      @temuemanuel4671 3 ปีที่แล้ว

      Kabisa

  • @bitarawanjara4756
    @bitarawanjara4756 3 ปีที่แล้ว +3

    Mh. Lusinde umeongea point kabisaa. Kwakweli unastahili kuitwa mheshimiwa 🙏🙏

  • @agathamichael3789
    @agathamichael3789 3 ปีที่แล้ว +5

    Nakubali lusindee endelea na moyo uwouwo mungu akubalik jpm pumzika kwa amani hauko peke ako

  • @onesmojustice2348
    @onesmojustice2348 3 ปีที่แล้ว +6

    Yaani kama kuna kitu samia akikiacha kiendeleee kitampa wakati mgumu kuongoza ni kusemwa vibaya kwa magufuri maana jpm anapendwa na wengi mno tanzania ata nje ya tz.

    • @adelinandahani4973
      @adelinandahani4973 3 ปีที่แล้ว

      Umesema kweli kabisaaaaaa,hata Mimi ninavyoona anakaa kimya toka JPM anasemwa naanza kumchukia na kumshauri polepole,lusinde,na kassim majaliwa waanzishe chama wana CCM tunaompenda Magufuli tuhamie huko,hatupendi kauli mbaya kwa Magufuli wetu hapanaaaaaaa

    • @nsarilema9580
      @nsarilema9580 3 ปีที่แล้ว

      magufuli ni nani asisemwa kama kachemka

    • @teresakapinga7567
      @teresakapinga7567 3 ปีที่แล้ว

      Ni kweli kabisa yaani mm nikisikia mtu anamsema vibaya baba yangu magu naumia saana

  • @Apostlebarakanyagawa
    @Apostlebarakanyagawa 3 ปีที่แล้ว +3

    Mungu atuongezee watu wenye hekima kama hawa hawana elimu kubwa lakini wanaufahamu mkubwa sana Watanzania natamani sana tujue thamani ya hawa watu. Mungu tutetee Watanzania neema yako ikae juu yetu.

  • @gracegrace6200
    @gracegrace6200 3 ปีที่แล้ว

    Lusinde Watanzania wamekupenda bure. Asante sana. Umeongea ukweli. Hujui ulivyo wafuraisha Watanzania. Kuna watu walikuwa wakitaka kutenganisha viongozi wa serikali. Wakina Fatuma Karume kwa maneno yao. Kauli za Mbowe na sauti yake ya kinafki. Tundu Lissu anayebwata huko Ubeligiji, ni kweli akae huko huko kabisa. Hana faida Tanzania. Amewaudhi Watanzania wengi sana, wengi wana hasira naye. Hawa wanaomukashifu Hayati Magufuli hawajui mudi ya Watanzania kwa Hayati Rais wao. Wakimutukana ni kama wanamutukana mukombizi wao. Huwezi kuitawala nchi hii huku ukimutusi Hayati Magufuli. Ameibadili siasa ya Tanzania. Ukimusema vibaya Hayati Magufuli unakuwa adui wa Watanzania hiyo ni wazi kabisa. Hayati Magufuli hatuko naye lakini ameacha kabuki chake kila mahali Tanzania na Africa. Sisi sio MASIKINI. RIP MAGUFULI

  • @kamilusmgaya4806
    @kamilusmgaya4806 3 ปีที่แล้ว +4

    Hii nisauti inayo hitajika Tanzania siyo woga Mungu akubariki Lusinde tembea kwenye viatu vya JPM

  • @sadicklukungu9905
    @sadicklukungu9905 3 ปีที่แล้ว +1

    Lusinde achongewe sanamu aise big up Sana 🙏🙏

  • @annamsabila534
    @annamsabila534 3 ปีที่แล้ว +2

    Umerudisha Imani yangu big up Sana Mh lusinde

  • @jenasalimu12
    @jenasalimu12 3 ปีที่แล้ว +2

    Safiiiii San washke adabu👏👏👏👏👏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤

  • @temkezatv4381
    @temkezatv4381 3 ปีที่แล้ว +5

    Hakika umenena ninatumai wabunge wata msaport vizuri Sana waziri mkuu wetu maana waziri mkuu wetu anaendana na maono ya JPM

  • @sitellamatni6878
    @sitellamatni6878 3 ปีที่แล้ว +4

    Safisana mbunge wangu Lusindee washike adabuu na adabuu zao ziwashike hakuna Raisi tulie mkubali kamamagufuli kweli wanchi tumeumia💔💔💔💔😭😭😭

  • @timothmwakakusyu4563
    @timothmwakakusyu4563 3 ปีที่แล้ว +27

    Maprofesa wetu ni wa makaratasi na ndo wanachulewesha kusonga mbele

  • @hollocolletha6519
    @hollocolletha6519 3 ปีที่แล้ว +2

    Lusinde nimekuelewa sana ulikua wapi jamani imani ilikua imeisha sasa inarudi wewe na waziri mkuu safi Sana.

  • @bm2tv299
    @bm2tv299 3 ปีที่แล้ว +2

    Daaaah Hongera sana Mh Lusinde kwa kuwa mkweli.

  • @susankitila8684
    @susankitila8684 3 ปีที่แล้ว +7

    Tunahitaji wabunge kama huyu👏👏👏. 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤣

  • @mkumbomoody6162
    @mkumbomoody6162 3 ปีที่แล้ว +2

    Wewe ni super Man am proud of you

  • @mariamswalehe3312
    @mariamswalehe3312 3 ปีที่แล้ว

    Japo nimechelewa kucoment lakini umenena kweli lisinde kwanza wachunge sana kauli zao hao wanaojiita wasomi sisi masikini Ndiyo tunaoumia na sisi Ndiyo wapiga kura tutakutana 2025 inshaallah mungu anawaona na aliyetangualia mbele ya haki jemedari wetu JPM anayasikia na mungu anawaona

  • @gibsonyshadrack4543
    @gibsonyshadrack4543 3 ปีที่แล้ว +15

    *majaliwa wewe ndio raisi wangu Mungu akupe miaka mingi ili tukuchague baba*

  • @suzanemwangingo6932
    @suzanemwangingo6932 3 ปีที่แล้ว +7

    Leo lusinde napenda kukwambia hivi asanteeeeeeeeee Sana.

  • @aishabenta9506
    @aishabenta9506 3 ปีที่แล้ว +6

    Umenikosha sana daaaah...hongera sana lusinde

  • @leahyohana4322
    @leahyohana4322 3 ปีที่แล้ว

    Yaan kaka umejuwa kunifurahisha sana Mungu akutunze sanaaa,, yaan umewapa ukweli usiopingika wanajisahau

  • @isaacopolot2027
    @isaacopolot2027 3 ปีที่แล้ว

    Asante mheshimuwa kwa mambo mazuri yako. Kweli ni cha ajaabu kusikia watu wanaomsema mbaya Magufuli baada ya hayo yote mazuri aliyoyafanya yeye. Pumzika kwa amani jemedari wetu. Tutakukumbuka daima

  • @ednamanji
    @ednamanji 3 ปีที่แล้ว

    Asante baba Lusinde kwa kutufariji . Yaani mimi roho ilikuwa inauma sana Kusikia Hayati Magufuli akisaritiwa vibaya . Hadi nikashangaa sana wabunge wa CCM mlipata Ushindi wote huo kwa kusemewa na Magufuli. Lakini cha ajabu Wengine mmeshasahau tayali Lo! Ama kweli kikulacho kiko nguoni mwako .

  • @mao9622
    @mao9622 3 ปีที่แล้ว +10

    Akili za kuambiwa na CAG changanya na za kwako!#JPMLegemd#MajaliwaNiJPMJunior

    • @JagaSon5302
      @JagaSon5302 3 ปีที่แล้ว

      😁

    • @estermathias8354
      @estermathias8354 3 ปีที่แล้ว

      👏👏👏

    • @milomohamed7201
      @milomohamed7201 3 ปีที่แล้ว

      @@estermathias8354 huyo Lusinde ni pumba ktk mapumba waliopo CCM.
      Hana zaidi ya kurap rap ovyoo.
      Kwani hajui kama Meko ni muuwaji mkubwa na mvunjishi wa haki za bin adam? Unasifia utumbo mtupu uliofanywa na huyo shetani mwendazake? Pumbavu

    • @mchezakamaliog265
      @mchezakamaliog265 3 ปีที่แล้ว +1

      @@milomohamed7201 shetan babaako

    • @milomohamed7201
      @milomohamed7201 3 ปีที่แล้ว

      @@mchezakamaliog265 mimi nasema mama yako coz hata mimba yake ilimpa shida wakati ukiwa tumboni mwake kima wewe.

  • @lucasroswe6544
    @lucasroswe6544 3 ปีที่แล้ว +12

    Umetuinua sanaaa maana hizi week mbili za nyuma tumeoshewa sanaa na upinzani ha ha haa

  • @issaibony3474
    @issaibony3474 3 ปีที่แล้ว +2

    Kiukweli umenikosha Sana Sana tunataka watu kama ww points juu ya points leo nimefrahi Sana Sana ww nimbunge halali magufuli huko aliko anajua ww nimridhi wake wa uzalendo good good kaka angu

  • @onesmojustice2348
    @onesmojustice2348 3 ปีที่แล้ว +6

    Huuu ujumbe unaanza na mhe ndugai pamoja na nafasi kubwa ulionayo usituchanganye wananchi jpm tunamjua hakuwa mbaya kwetu.

  • @vicentrogers9465
    @vicentrogers9465 3 ปีที่แล้ว +4

    Nimeamini kuwa elimu sio chet congrats mh lusinde kwa kupambanua mambo kwa uhodari kuliko hao wanao jiita maproffessa!!!!

    • @hamisialimzara8362
      @hamisialimzara8362 3 ปีที่แล้ว +1

      True 💯🇰🇪

    • @leahathuman9576
      @leahathuman9576 3 ปีที่แล้ว +1

      Hamna siku nimefiurah kama. Leo sijpata furaha hii tanguu jpm aondoke kwenyee uso waa duniia

  • @kelvinmtavangu7701
    @kelvinmtavangu7701 3 ปีที่แล้ว

    MJOMBA LUSINDE KAMWENE, KAMWENE. SEMA, SEMA TENA NDUGU YETU. WANAOMSEMA VIBAYA HAYATI JPM WALIKUWA NI WACHAPAJI SANA PASUKA BABA. MAMBO YOTE NI SAMIA. KAZI IENDELEE. HONGERA MH. LUSINDE. HONGERA SANA.

  • @charlesobinya
    @charlesobinya 3 ปีที่แล้ว +32

    Lusinde nimenifraisha sana yani umenitoa wasiwasi nakukubali 99.9%

    • @shambaiddi4984
      @shambaiddi4984 3 ปีที่แล้ว

      Nimekuelewaaa kiongozi mzalenzo wewe umfano kwa watanzania watu mnajuwa kutafakari maoni na kukumbuka maagizo ya watanguliaa viongozi wetu wa zamani nia zao za kuitakia maendeleo tanzani uko makini sana mzalemdo lusinde wewe ni raia unayejali nchi yako

    • @shambaiddi4984
      @shambaiddi4984 3 ปีที่แล้ว

      Tunatakiwa tuwe macho na hao wanajiiita vigogo wanaaanza kuchochea moto ili kuni ziwake wanaona mradi wa bandari umekufa walikuwa wameshashemsha ya moto lakini jiko halikuwasha moto

    • @shambaiddi4984
      @shambaiddi4984 3 ปีที่แล้ว

      Tanzania ni nchi nzuri ukweli wa watu wanataka kuwachanganya watanzania lakini tuko makini tuko makini

    • @shambaiddi4984
      @shambaiddi4984 3 ปีที่แล้ว

      Lazimaa tujifundishee uzalendo wa kupendana wachina wanaitanaa comredi

    • @shambaiddi4984
      @shambaiddi4984 3 ปีที่แล้ว

      Comredi ni mtu wako wa karibu ndugu yako কাকা yako dada yako baba yako babu yako ina maanaa।
      Watanzaniaa

  • @samiahmlimanzila6406
    @samiahmlimanzila6406 3 ปีที่แล้ว +5

    Waambie wakome upinzani Kama walivyokoma maziwa ya mamazao👌👌👌

  • @magrethlubimbi4055
    @magrethlubimbi4055 3 ปีที่แล้ว

    Nakupenda Bure lusinde kwa ujumbe

  • @godymbanyi1878
    @godymbanyi1878 3 ปีที่แล้ว +17

    Angalau leo nimefurahi. Sio siri, baada ya kauli za juzi za Mh. Spika juu ya mradi wa Bandari ya Bagamoyo na Prof Muhongo, juu ya mradi wa Bwawa la umeme la Nyerere, nilisikitika sana! Nilishangaa kabisa namna legacy ya mtu muhimu kabisa katika nchi yetu, kuelekea kupotezwa kirahisi wakati bado watu wanaomboleza! Angalau leo, nimewaelewa!

    • @bahatimalambaya9398
      @bahatimalambaya9398 3 ปีที่แล้ว

      Hakika hawa ndoo viongozi tunao wataka

    • @zamankaikera1475
      @zamankaikera1475 3 ปีที่แล้ว

      munguakupe.uwezo

    • @ashamwandu6572
      @ashamwandu6572 3 ปีที่แล้ว

      Tena wasituvuruge tunawaza wamemuuwa,mbwa hao,kwani akiwahai mangapi kayafanya kwenye ichi yetu???inaahangaza Sana Jamani,bado tunamachungu makali kufiwa siyo mchezo Taifa linahitaji viongozi wenye hekima,kutambuwa wanaoipigania Tanzania yetu,siyo kuwasema,wanatuzarau ichi jirani,

    • @milomohamed7201
      @milomohamed7201 3 ปีที่แล้ว

      @@ashamwandu6572 acha ujinga wewe mwanamke huijui siasa.
      Mungu mbona katupenda sana hujui makusudi yake ni nini?
      Watu wamepotea bila kesi wala uchunguzi, democrasi imedumazwa, vyombo vya habari vilifungwa mdomo bado wewe ulitaka hali hiyo iendelee. Dunia ilitutenga sasa kuna pumzi mzuri angalau.
      Huyo kibajaji ni pumba tu ktk wale wa ndiyooooooooooo kwa kila kitu coz yupo na mtindiko wa ubongo.
      CAG nadhani mmemsikia miradi yote imepoteza mabilioni ya pesa za walala hoi, ktk awamu yote ya magu hamna faida ktk kila mradi ni hasara kwa kwenda mbele.
      Lkn tulikuwa tunavungwa eti tupo ktk uchumi wa kati yaani uchumi huo umekuwa chupi hiyo tena. Nchi jirani lazima watudharau kitokana na upimbi wetu. Halafu tatizo kuu kwamba 90% ya wabongo elimu ndogo.
      Mnasifia uozo wakati mabaya mengi yapo hamsemi? Mbona wabunge wanaongea ingawa ni bunge moja la kulazimisha chaguzi haramu.

    • @ashamwandu6572
      @ashamwandu6572 3 ปีที่แล้ว

      @@milomohamed7201 achana na Mimi kabisaaa,wewe Kama hukuona mazuri yake Basi Mimi niliyaona juwa ivyoo,weunazani watanzania wote wajinga?ila wewe ndio mwelevuu?ovyoooo

  • @piusjusto2602
    @piusjusto2602 3 ปีที่แล้ว +3

    Ninakushukuru Lusinde kwa kusema ukweli. Waambie hao wanatoa lugha chafu kwa hayati Dr John Magufuli washindwe na walegee katika jina la Yesu. Yaani ninaumia Sana wanapomuongelea mtu mabaya kwa mtu ambaye alikuwa ni mchapakazi wa nchi yetu, mpambanaji wetu ninajisikia vibaya sana

    • @modestuskinunda5010
      @modestuskinunda5010 3 ปีที่แล้ว

      Amina Amina Amina .Asante mungu. Wainue watetezi wetu na kumtetea jpm wetu

  • @msuyaothman9591
    @msuyaothman9591 3 ปีที่แล้ว +1

    Yaani umeongea point sn Mh lusinde.... Ningeomba watu wanaomsema vibaya Hayati Raisi Magufuli wachuliwe hatua za kinidhamu...
    Maumia sn kusikia mtu akimsema vibaya Maiti... Huo ndo unafki.. Wali kua wapi kusema jembe letu likiwa hai... Umenisemea leo Nakushkuru sn

  • @mumyhendry2919
    @mumyhendry2919 3 ปีที่แล้ว +9

    Ndungai umeskia vzr?huo ujumbe unakuhusu sana ....

    • @peterkelvin9332
      @peterkelvin9332 3 ปีที่แล้ว +2

      Leo rais wetu magufuri tutaendelea kumkubuka sana watanzania tunalia sana kwa kumpoteza jemedali wetu!

  • @mzeewamadodoso1816
    @mzeewamadodoso1816 3 ปีที่แล้ว +6

    Umenibariki sanaaaaaaa

  • @angelsylvester4795
    @angelsylvester4795 3 ปีที่แล้ว +3

    Kaka nilikuwaga sikukubari lakini leo nakuahidi nitakupanda sana kwa ajili ya kujua dhamani ya Jpm alale salama baba yetu

  • @salmaomari1988
    @salmaomari1988 3 ปีที่แล้ว

    Asante sana jamani mungu akubariki sana,, umefikisha meseji hadi moyo wangu burudani

  • @bettyyunge7996
    @bettyyunge7996 3 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi akupatie umri mrefu mheshimiwa

  • @festolaulenti6355
    @festolaulenti6355 3 ปีที่แล้ว

    Asante lusinde 💯💯💯 tupo pamoja Sana Papa

  • @bugapeasant1827
    @bugapeasant1827 3 ปีที่แล้ว

    Safi sana lusinde Mungu akubariki Hawa maprofesa Hawa sijui elimu zao zikoje!!!

  • @susankitila8684
    @susankitila8684 3 ปีที่แล้ว

    Asante. Mbunge LUSINDE. blessed

  • @erickgadson1617
    @erickgadson1617 3 ปีที่แล้ว +3

    Itabidi huyo mbuge ajengewe sanam💪🏼

  • @mussababu5623
    @mussababu5623 3 ปีที่แล้ว

    Shikamoo Dr Lusinde.Prof WA Miamba alikosea sana hadi tukaona inakuwaje mtu msomi na mwelevu anapotosha. Kwan kutumbuliwa uwazir ndo uwe na hasira hivyo na Marehem.alipewa uwaz akashindwa mwenyewe

  • @mao9622
    @mao9622 3 ปีที่แล้ว +4

    Safi Sana.Huku ground tunahamasishana tu hoa manafki tutawafokeaaa

  • @ivancharles5350
    @ivancharles5350 3 ปีที่แล้ว +3

    Leo nimefarijika sana hakika ww ni msema ukweli

  • @husseinyusuph5458
    @husseinyusuph5458 3 ปีที่แล้ว +12

    LUSINDE umenikosha sana ila NDUGAI sio mzalendo

    • @tumainsawe6960
      @tumainsawe6960 3 ปีที่แล้ว

      Kwani anaitwa ndugai au yuda maana sikumbuki jina lake vizuri nisaidieni jamani

    • @pauloqaymo8925
      @pauloqaymo8925 3 ปีที่แล้ว

      Hata mimi nimeliona hilo Ndugai hana uzalendo kwa Nchi

  • @kelvinnacozz6280
    @kelvinnacozz6280 3 ปีที่แล้ว

    Ashukuliwe Mungu Aliyekupa Hekima iyo, Na Utatetewa popote Lusinde Na Usiwe mbunge Uwe zaidi ya hapo

  • @anawa4326
    @anawa4326 3 ปีที่แล้ว

    Well spoken Muheshimiwa Lusinde ✊🏼👊🏼👏🏼

  • @josephvenus3259
    @josephvenus3259 3 ปีที่แล้ว +1

    Yaani hapa karoho kangu kamefuraiii vyakutosha, kuona raisi wetu John Joseph Magufuri anatetewa tena kwa nguvu zote na mbunge kama wewe. R.I.P OUR LOVELY PRESIDENT OF TANZANIA AND AFRICA IN GENERAL John Joseph Magufuli

  • @josephnchunga1247
    @josephnchunga1247 3 ปีที่แล้ว

    Lusinde uko sawa ,uko mbali Chukua tano hao wenye madigree hovyo sana ndio walikuwa wanatuchelewesha kupata maendeleo wamekuwa wakimdharau Wa la saba wakati duniani kote ndio matajili kuliko wenye elimu.

  • @mahewalekwasa210
    @mahewalekwasa210 3 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe na Bwana Lusinde ,Muwaha yakulugute