VIGOGO TRA WAOGELEA MABILIONI, UKWASI, MALI WANAZOMILIKI KUFURU TUPU.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ค. 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 31

  • @FahadAbubakari
    @FahadAbubakari 17 วันที่ผ่านมา +6

    Acheni unafiki wacheni watanue tushaambiwa kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake na mlisema nchi ilikua na ubabe sana acheni ndio mlivyotaka simlisema nchi ilikua chini ya udikteta acha tuishi mtakavyo watu waupige mwingi .

  • @abubakarsaid7303
    @abubakarsaid7303 17 วันที่ผ่านมา +4

    😂😂😂shamba la mamaa acha wapige makachuuu hadi kizimkazii

  • @Jumacharlesmadale2958
    @Jumacharlesmadale2958 17 วันที่ผ่านมา +3

    Magufuli fufuka uje utumbue majipu majipu makubwa yameota wenzako wenzako wamegeuka chura viziwi Sasa wanakula na kuvimbewa

  • @amohammed3390
    @amohammed3390 9 วันที่ผ่านมา

    Lakini hawa hawakamatwi watapelekwa TAKUKURU sijui kuwa hii taasisi ni effective

  • @7675kio
    @7675kio 17 วันที่ผ่านมา +2

    Mnashangaa nini c waliambiwa wale kwa urefu wa kamba zao?

  • @JuliusKiria-j7i
    @JuliusKiria-j7i 17 วันที่ผ่านมา +2

    Wacha waibee tu mana uwongozii wa sas n dhaifuu mnoo na ndomana ya kazii iyendelee

  • @georgekimasaofficial1629
    @georgekimasaofficial1629 17 วันที่ผ่านมา +1

    Wacha wajipigie tu niwakati wao😂😂😂

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 4 วันที่ผ่านมา

    Kisha muiba kuku anafungwa miaka

  • @shalomchaula4420
    @shalomchaula4420 17 วันที่ผ่านมา +2

    Hapo kakusanya miaka 3 ukigawa kwa siku 366*3 kila siku aliingiza ngapi tupige hesabu ndugu zangu

    • @fwc5552
      @fwc5552 16 วันที่ผ่านมา

      Miaka mitatu umejuaje sasa kwa tarifa yeny wizi mkubwa ulitokea enzi hizo sio sasa

    • @Digitalhhhhhgfgg
      @Digitalhhhhhgfgg 14 วันที่ผ่านมา

      @@fwc5552ni mwaka mmoja huu mama akichukua mikopo wao wanagawana

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 15 วันที่ผ่านมา

    Sasa kama wizi ume rihusiwa mna shangaa nini kusema kweli nchi hii watu wezi sana

  • @user-wk4rc6cb4i
    @user-wk4rc6cb4i 12 วันที่ผ่านมา

    Madaktari, walimu hawana ajira kisa serikali Haina hela ya kulipa mishahara, watu wachache wanachezea pesa

  • @knight6757
    @knight6757 16 วันที่ผ่านมา +1

    Kamba ndefuuuuuu...

  • @Juli-ep9dn
    @Juli-ep9dn 15 วันที่ผ่านมา

    Ukipata nafasi itumie

  • @jacksongidione-yo8vg
    @jacksongidione-yo8vg 16 วันที่ผ่านมา +1

    Mama ana upiga mwingii

  • @user-il5pk2dr5n
    @user-il5pk2dr5n 15 วันที่ผ่านมา

    Walisema hoo mnyonyaji aya mara Tiagi Masaki kaone waachene tu wachote..

  • @Juli-ep9dn
    @Juli-ep9dn 15 วันที่ผ่านมา

    Daaah jamani

  • @VaderChetan-ju7xu
    @VaderChetan-ju7xu 16 วันที่ผ่านมา

    Hakuna mzalendo tz wote ni wapigaji

  • @user-fn6xy1ku7d
    @user-fn6xy1ku7d 16 วันที่ผ่านมา

    Acha wale Bata tu mafuta yanazidi kupaa/dizel 3/100 ya kula 5000per Lt huduma za afya ndo kitanzi

  • @jacksongidione-yo8vg
    @jacksongidione-yo8vg 16 วันที่ผ่านมา

    Mama anapiga mwingi

  • @charlesmganga-gv2cs
    @charlesmganga-gv2cs 16 วันที่ผ่านมา

    WANAZITOA WAPI NINA MISHAHARA AU?

  • @FredMhango-zj7gz
    @FredMhango-zj7gz 16 วันที่ผ่านมา

    Acha waupige mwingi na mama yao

  • @ellsonmkonyi1319
    @ellsonmkonyi1319 17 วันที่ผ่านมา

    😅😅

  • @vanessastafford6426
    @vanessastafford6426 16 วันที่ผ่านมา

    Halufu kuna shule hazina vyoo wala madarasa, na walimu wakutosha.

    • @Juli-ep9dn
      @Juli-ep9dn 15 วันที่ผ่านมา

      Mambo magumu Kwa wananchi

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg 17 วันที่ผ่านมา

    Hao wafilisiwe

    • @ziggertv3185
      @ziggertv3185 17 วันที่ผ่านมา +1

      Kwann sasa

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 16 วันที่ผ่านมา

      Bible inasema nani alipewa nafasi ya kutenda zambi asitende?. mfumo wa wetu imewapa mwanya wa kujichukulia!

    • @ilynpayne7491
      @ilynpayne7491 15 วันที่ผ่านมา

      We itakua una ota nini hakuna watakacho fanywa hao wezi wana lindwa saahv