Leonardo, big up Sana. Cha kwanza ni hela. education is just a key to enter the room having money, so we must be careful in using education to earn money
Safi sana mdogo wangu zidisha juhudi ili ufike mbali zaidi kumbuka wewe ni daraja kwa wengine ambao ni bado hawajatoboa uwaombee pia ongeza juhudi na uvumilivi ili upnye zaidi duniani ipo siku unaweza kua namba moja kwa uchekeshaji one love
Your 7 days in a cave weren't just about survival-they were a masterclass in resilience, grit, and determination. It’s incredible how you faced the darkness head-on and emerged stronger. Watching this challenge reminds me that no matter how deep the cave, there's always a way out if you keep pushing forward. Keep inspiring us all, MrBeast! 🌟💪
This challenge shows that no matter how deep the cave, there's always a way out if you keep pushing forward. And remember, tough times don't last-tough guys do! For the boys! 💪🔥
80×70+20×10 = 5600+200 5600+200 = 5800 Hivyo, 80×70+20×10 = 5800 Hizi hesabu bhana😂 Ukitaka kuhakikisha kama ni sahihi tumia BODMAS au MAGAZIJUTO au tumia Kikokotozi (Calculator) utaona majibu
@@TimotheoKisambo Tumia BODMAS au MAGAZIJUTO au tumia Kikokotozi (Calculator) utaona majibu. Najua zaidi ya unavyofikiria, siwezi kuandika makosa kwenye umati mkubwa kama huu.
I love this young man. Logical comedian.
kaka AMERICAN GOT TALENT inakuhusu ......Man YOU are So Talent
Huyu jamaa ni mtu mwenye IQ kubwa sana. I apriciat
Nimependa sana mtangazaji alivyolikwepa lile swali la (idhaa ni nini?). Umetisha bro😂😂😂.. tumejua hujui ila umetisha namna ya kulijibu
"You once saw a homeless guy listening to house music" 😂😂
😂😂😂
This’s crazy bro 🤣
This is the first Tanzanian nimeona akuflow English na nikampa Kongole.Bravo bro!
😂😂😂😂😂 You are my ICON. You are so cool bro and very Bright & Brilliant. Be Blessed Always always. AMINA. 🙏🙏🙏
Anaongea na kujibu vizur sana *very technical*
jaman kumbe mahojiano yapo 20 on trending na hamsemi🎉
Hongera wasu bwachatata waongera mmabox.
Mjita mwenzangu unajua....nakukubali sana
Upo vizuri sana, unaondoa stress zangu. Ahsante sana
You speak fluently,you're creative too!
Leonardo, big up Sana. Cha kwanza ni hela. education is just a key to enter the room having money, so we must be careful in using education to earn money
hahahahaha ahahaha ahaa Marehemu aliletwa akiw pisi kali
Hongera broo
Hahaha Lazlo 😂😂😂😂😂😂 nani anakumbuka CAMP LAZLO
Upo smart sana kichwani
Anapiga pisi za moto😂😂
Spitii kitu halaf yuko serious😂😂😂😂
Ndugu yangu hakika unayo Karama kwakweli utakujafika mbali sana Mungu akutangulie.
Pamoja Sana kijana,Kasubi Jilatu,Magulyati.
waoooooh your english is really, nimependa 🔥🔥🔥🔥🔥
😂🤣😂😁😁😁huyu jamaa hatali sana
Sawa.
Nampenda Leonardo jaman ❤❤❤❤
Mnyama sana huyu jamaa🔥
dah huyu jamaa ni mpuuzi sana😂😂😂😂😂
Duuh! mpaka hapo nimesha pata funzo😂
Noma sana Bro
leonaldo to the world
Leonard uko vema. I am watching you from Germany 🇩🇪
Hongera Sana Kaka uko vzr sana
Safi sana mdogo wangu zidisha juhudi ili ufike mbali zaidi kumbuka wewe ni daraja kwa wengine ambao ni bado hawajatoboa uwaombee pia ongeza juhudi na uvumilivi ili upnye zaidi duniani ipo siku unaweza kua namba moja kwa uchekeshaji one love
Acha kudharau mkoa wetu,tutakuroga ohooo😅😂😂
Kigoka hamchelewi
Eti bungeni uweza , unaweza ukala hela za wananchi 😂😂😂😂
Kiufupi jamaa anajua na anajua. Hasa English pronunciation yuko vizuri atatoka kimataifa kuliko wengine wataishia mipaka ya Tanzania tu.
Uwiiii🙆🙆🙆🙆🙆
Kwani wewe mwandishi hujui anapomwagilia😂
Kiukweli huyo jamaa namkubali mno
Yaani nikimuona natamani kucheka
big up leonardo
Smart mwanangu
Hatarii
hongera cn dogo .
Hesabu kakosea😂
Kaka wee fundi 🎉
Ila huyu mjinga😂😂😂😂😂😂
uko vizur
Nice bro Leonard
uko smart
Yesss
Ety sipitii kitu😅😅😅
Mbona hilo sofa la bbc limechakaa sanaaaa
Good babu
Smart
Kijana uko vizur
You speak good English
Et unarud ushetu😂😂😂😂
good
Your 7 days in a cave weren't just about survival-they were a masterclass in resilience, grit, and determination. It’s incredible how you faced the darkness head-on and emerged stronger. Watching this challenge reminds me that no matter how deep the cave, there's always a way out if you keep pushing forward. Keep inspiring us all, MrBeast! 🌟💪
Tarakea😂😂
Pamoja sana kaka
This challenge shows that no matter how deep the cave, there's always a way out if you keep pushing forward. And remember, tough times don't last-tough guys do! For the boys! 💪🔥
Leonardo good mwanangu
Huyu jamaa yuko vzr sana
Ahhh Renaldo we ni nyoko duh😂😂😂😂
Ni Leonardo siyo Renaldo😂😂😂
Nomaa sana reonado
Huyu Jamaa ndio kanifanya niipende hii fan ya uchekeshaji
Huyo mtu ninamkubali sana
❤❤❤
Leo nado ninoma sana kwa hesabu
Hesabu ya Advance balaa sana
umejipangaje katika maisha yako utaendelea na komedi au utaludi kwenye sistim
That’s where everyone gets lost, eti nichekeshe huh ! Comedy doesn’t work that way…
Watabaki kutangaza aslay mihogo ndo walipo jazana huko
Uyu jamaa anajua sana
Kwenye u serious pana hela apoooii
Huyu anaweza kua
Igakonko iwachu tulashashe ila ntitulabhakeneeeee
Devi una mtoto ila hujaoa yaani single fadher
Reonardo mpuuzi wewe, umesema kiswahili ni lugha mama halafu kingereza luga baba kwahivyo unataka kusema lughayetu inafanywaje nakingereza😂😂
🤣🤣🤣We mtu!!!!
@@hafsalucky1088 katuangusha bwana
Lugha yetu inabakwa
😂😂😂😂 acha
Dah mpaka kuandika pia hujui kutofautisha baina ya L na R asee.... Kuongea sawa, basi mpka maandishi. Noma sana 😂😂
Mimi nina 4.0 GPA...kwa hiyo tuna 4😂😂😂
Hahahaha
70×80+20 ×10 umekosa zingatia magazjuto
😂😂et kiswahili lugha mama ila kingereza rugha baba😂
Walahiii huyu jamaaa niko radhii nimpeee dada angu namkubaliii sanaa 😅😅😅😅😅😅😅
Duh 😮
😂😂😂😂 hehehe
Yego masatu uliyogo myemba
Ushetu😂😂😂
Nimeshindwa kucheka sijaelewaa
Kumbe ilikuaga ndo ya huyu mpuuzi
This can affect air users only
Kaka Leonard nahisi kama ulisoma Tosamaganga au ulikuwa na ndugu yako akisoma pale? Mmefanana sana.
Eng ulipata F ya hesabu ni fedheha
Huyuuu jamaaa IQ yake hakupaswa kua commedian ❤❤😅😅😅😅😅😅
Great interview poor lighting
kweli reonaldo haonekan vzur
This guy is good in English
😂 which country is he 😂
Mhhhh
80×70+20×10 = 5600+200
5600+200 = 5800
Hivyo, 80×70+20×10 = 5800
Hizi hesabu bhana😂 Ukitaka kuhakikisha kama ni sahihi tumia BODMAS au MAGAZIJUTO au tumia Kikokotozi (Calculator) utaona majibu
Kumbe ww ndo hujui hesabu
@@TimotheoKisambo Tumia BODMAS au MAGAZIJUTO au tumia Kikokotozi (Calculator) utaona majibu. Najua zaidi ya unavyofikiria, siwezi kuandika makosa kwenye umati mkubwa kama huu.
Aki hizi hesabu nikija TZ nitapata sufuri. MAGAZIJUTO inamaanisha Bodmas, ehe😀
@@WAVELENGTH-tp1tm ndio kiongozi 😂😂 MAGAZIJUTO ni:
Mabano
Gawanya
Zidisha
Jumlisha
Toa
@@Danileor Uko kwenu jamani munaamkia kiswahili na kukilalia pia. Hapa kwetu kiswahili ni cha kudonoadonoa tu😂😂
Kakonko kwetu! Sio kweli kwamba Kakonko ni watu maskini! Maisha yetu ni sawa na yale ya Watanzania wengine wa kawaida
Sorry bro usijisikie vibaya HUYU n mchekeshaji tu
Huyu ana akili sana bas tuu