Vijana wa Arusha angalieni maslahi ya wanawaarusha sio maneno ya huyo mpumbavu asiyejua lolote na mjinga kupindukia atawatia umaskini kuliko anavyosema kama hakuna faida unasimama hapo kufanya Nini acha ujinga
Hapa dalili inaonesha tutarudi tena nyuma kuanza maandamano badala ya kufanya KAZI tupate chakula na maendeleo huyu pakuna hapa Tanzania anakimbilia Canada sisi tutaenda wapi hata Kenya hatujawahi kufika uuuwwwiiii Mungu atusaidie.
@@nahlaaasidee1848 kama lema imempata, kajikuta si kitu. Nashangaa lema kulalamikia ubunifu wa Makonda mpaka anashuka jukwaa hajaeleza mkakati mbadala duh!
Ukiona mtu anatuka bila sababu yamsingi ujuwe ameishiwa selaa Tena anamtukana makonda mtetezi wa wanyonge wakati macho ya watanzania wanaona kazi za makonda,kweli Lema amefilisika kisela ?
Watu wa Arusha ni wajanja midomo tu lakini Hakuna Cha wadudu mnatawaliwa na watu kutoka nje mnadanganywa na kina makonda Ina maana Hakuna mtu wa Arusha akawa mbunge
Mwana siasa mzuri hatukani wabasiasa wenzake jukwaani..zungumzia sera za maendeleo. Lakini unatukana mpaka wake zetu..hii Ni siasa kweli? Susan za matusi Ni kuishiwa Nampa pole Lena.
Yani wew nimsenge sana ukikalibia uchanguzi mnaaza kukashifu seriksli maneno Gani unayo ongea mbwa wew makonda kakufanyann makonda anapingamia haki za wanaichi wew wa na chama chako kipi mlicho Fanya wanaichi
Lema asiwadanganye huyoo..kaenda Canada alizani atakula bure kule , alivyoona kaambiwa hakuna pesa bila kazi kama tanzania, karudu mwenyewe bila kupenda.
Lema Wewe hunaga Jema kila mtu Mbaya tafuta Sera angalia kile kizuri anachofanya Mwenzako umtie Moyo siyo kumkosoa tuu Makonda anapambana Sana halafu anaye hofu ya MUNGU
Huyu watoto wake wako canada nä mimi niko sweden usituaribie tanzania yetu vita inaanza wenyekuumia niwale wako Ndani ya nchi wewe Na slaaa nä mbowe watoto Wenu hawako tz nä usiongelee juu makonda makonda ni dume
Acha ujinga lema boda boda wanakufa kila siku kwa ajali za barabarani hamuzioni acha ufala hata wew tukikupa hii tanzania huwezi kumfanya kila mtanzania awe tajili
Kwa dunia ya leo ya utandawaz na kila mtu anaona kinachofanyw na Mh: Makonda wap wat walikuw wameshapoteza mal zao lkn kupitia Makonda baadh yao wameokoa mal zao MZEE piga sera zak tu usimguse MAKONDA ata kwa sekumde moja kwan ukiendelea kumsema MAKONDA kwa ubaya utafany ata anaekusikiliza asikusikilize MAKONDA FOR LIFE.
Lema umefiriska kifikra , lililo jema pongeza , siyo kupinga kila jambo, Arusha watu wametibiwa bule kwa ushawishi wa Makonda, na wengine kupewa haki yao nk
Ukitaka kuamnini makonda yupo juuu ya hawa kunguni...waweke..mdahalo na kila mtu aelezeee chama chake..huyu..atasepa bila mtu kuku huyuuuuuu..hajui siasa....siasa ni sera sio matusi na porojo porojo..watu wanataka udeal na kero zao ..sio tatalinta
we lema unapata chakula serikalini? Basi wasmbie unapata wapi chakula. Halafu mbina hugawii chakula,huwajengei hospitali wala shule. Sema jinsi utakavyoisaidia jamii.
Mm nikisikia mtu anatokea Arusha najua ni mshamba too. Maana wengi wanajifanya wasela,wahuni,wadudu,sijui, lakini kiufup ni ushamba too njoon tunduma kama hamjaonekana washamba.
Nape nauye is not a politician has got no capacity of been politician makonda kwa god bless lema naona pazito maybe makonda use police force can challenge God bless lema without that makonda will face big challenge from God bless lema chadema on my research l have seen that
Mkuu Mimi simwanasiasa Ila makonda hajakosea kuandaa tamasha ni anajali vipaji Viwe fursa nanikwambie Mimi hua ndioninaratibu MASHINDANO YA PIKIPIKI nikwambie siasa zenu zielekezeni KATIKA KUSAIDIA jamii na msiwaponde wanaogusa maisha ya WATU Ila nikwambie kaka HAKUNA MCHEZAJI ALIEKUFA, HIZO TAARIFA ULIEPEWA ZA WATU8 ZICHUNGUZE SIOKWELI KAKA.
@@paulkambonya8001 ni kweli kabisa. Mitaji na elimu ya kilimo hatuna, kipi kifanyike,? Kusubiri serikali itupatie mitaji au kujikubali na kuanza na kile unacho kiweza. Kumbuka tulishaambiwa mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe. Na hakuna serikali itakayo tupatia hela za mtaji. Mi kwa ufahamu wangu kabla ya serikali wenyewe hatuko tayari kupambana
@@paulkambonya8001wewe ndio hauna mbona vyuo vya kilimo vipo vingi tu..kama unataka kusomea kilimo na kukifanya unaenda unapewa elimu juu ya kilimo cha kitu Fulani...tatizo vijana wa kibongo tunapenda mserereko..acha uvivu wa fikra
Kuna changamoto, kwa sababu lugha anayozungumza Lema ndiyo lugha inayoeleweka na Vijana wa kuanzia 2004 mpaka Leo, kama wakijiandikisha wote hali ni Tete.
Hiyo mention utawapa? Yaani Arusha na ujanja wenu mnamsikiliza bado huyu mjinga ? Maana alishaishiwa sera hana hoja yamsingi yaani anachojua nikuropoka tu na watu mmekaa amnamsikiliza mjinga kama huyu
Hawawezi kufanya kazi wenyewe bila kupata kick kupitia CCM kuwa creative sema sera zako kila siku kukosoa tuuu hebu tangaza sera zako tukukubali hii kukosoa kosoa kila kukicha tumechoka kukusikiliza. Kama huna sera kakojoe ukalale.
Uyu mwamba ndio anaijua Arusha na ndio anapaswa kuiongoza Arusha sio yule mswahili gambo hajui Wala hajali chochote kuhusu Arusha
Sasa chadema sera zenu ni nini jamani? Maana mnaishia kutukana tu, acheni ujinga mafala nyinyi
BIG UP LEMA.
Vijana wa Arusha angalieni maslahi ya wanawaarusha sio maneno ya huyo mpumbavu asiyejua lolote na mjinga kupindukia atawatia umaskini kuliko anavyosema kama hakuna faida unasimama hapo kufanya Nini acha ujinga
Mm ni chadema lkn makonda namkubali apo lema mm ujanishawishi chochote
Lemaaaaa! Duhh kisiasa pumzika kwa amani!
lema anatukana tukana tu hana habari mpya sera hamna anaongea nn sijui😂😂
Fact , but we need action, bro... 👊👊
Wewe kaa kimya huna jipya acha Makonda amalize shida za wananchi
Mbunge Kama mbunge ❤❤❤
Wewe una sera na matusi yako nan akupe kura achana na Makonda kawasaidia sana tena sana tena muombe radhi paulo
Makonda anafanya maigizo tu,utashindwAje kwelewa Mfumo huu niccm sheriambovu wamezitunga wao iliwajinufaishe,wenyewe Leo kiinamacho unachanaganikiw
Hapa dalili inaonesha tutarudi tena nyuma kuanza maandamano badala ya kufanya KAZI tupate chakula na maendeleo huyu pakuna hapa Tanzania anakimbilia Canada sisi tutaenda wapi hata Kenya hatujawahi kufika uuuwwwiiii Mungu atusaidie.
Bora turudi maandamano ili tujipange,tujiongoze badala ya maneno matupu ya CCM
Ukapimwe akili wewe@@mataypanga5262
Lema wewe huna jema kila mtu mbaya tafuta sera angalia kile kizuri mwenzako anachofanya sio kumtukana na kumfokea mbn kazi yako ni kuwatukana watu
huna sela sisi tunamwombeaMakonda Mungu amjaliye kama anaumwa au yuko likizo ulijee salama shujaa wetu
Toa hoja sio maneno makali kaka
Makonda oyeee
Mhhh tuu mwacheni makonda wetu
Hawa sindano za makonda zinawaingia na bado mpaka mtasema.
@@nahlaaasidee1848 kama lema imempata, kajikuta si kitu.
Nashangaa lema kulalamikia ubunifu wa Makonda mpaka anashuka jukwaa hajaeleza mkakati mbadala duh!
Bila kuwa na connection inchi hii ni tabu
Siasa za Lema bwana watu wanakuona komediani 😂😂😂😂
Huyo ni mchekeshaji
Si uwape chakula
Dogo chengaa Sanaa was INTERESTING 😅😅
Una mwonea makonda wivu kwa kaz njema Mungu atazid kujidhirisha ndan ya makonda
Ukiona mtu anatuka bila sababu yamsingi ujuwe ameishiwa selaa Tena anamtukana makonda mtetezi wa wanyonge wakati macho ya watanzania wanaona kazi za makonda,kweli Lema amefilisika kisela ?
makonda hafai ata kulinda choo
Ajira zote wamewapa watoto wawo shule wanasomeshwa ulaya kwa pesa ya watanzania
Lazma aseme hivyo. Ataishije!?? Ww unaensikiliza tu ,ndo uwe na Busara kwakumuelewa na kutambua KWAMBA amekosa kazi.
Hana jipya ameishiwa sera huyooooooo,wewe kwenye viatu vya makonda huingii hata robo piga kelele ukalale.
@@donaldmaziku7915wewe unaefaa unamsaada Gani hata kwenye familia yako!
Kuna aina ya kufikisha ujumbe kwa raia ila lema wewe ni genius be blessed okoa wasio jitambua machawa
Toooo interesting 😅😅 DOGO ANA WENGEEE ....
acha ujinga LEMA MAKONDA HE IS ANOTHER MAN 👊👊👊👊
Lema UtakuaUmecjanganyikiwa wew
Watu wa Arusha ni wajanja midomo tu lakini Hakuna Cha wadudu mnatawaliwa na watu kutoka nje mnadanganywa na kina makonda Ina maana Hakuna mtu wa Arusha akawa mbunge
KIPI NI KIPI MKUU...MBONA HATUKUELEWI .......
Arusha wanaongoza kwa MAIGIZO NA KUSUBIRI MIUJIZA😢😢😢😢
Mwana siasa mzuri hatukani wabasiasa wenzake jukwaani..zungumzia sera za maendeleo. Lakini unatukana mpaka wake zetu..hii Ni siasa kweli? Susan za matusi Ni kuishiwa Nampa pole Lena.
Yani wew nimsenge sana ukikalibia uchanguzi mnaaza kukashifu seriksli maneno Gani unayo ongea mbwa wew makonda kakufanyann makonda anapingamia haki za wanaichi wew wa na chama chako kipi mlicho Fanya wanaichi
Lema asiwadanganye huyoo..kaenda Canada alizani atakula bure kule , alivyoona kaambiwa hakuna pesa bila kazi kama tanzania, karudu mwenyewe bila kupenda.
Kweli kabisa kamanda ✌️✌️✌️✌️✌️✌️
LEMA HATUKUPENDI RUDI CANADA. ACHANA NA MAKONDA KIPENZIIIII CHETU❤
Lema Wewe hunaga Jema kila mtu Mbaya tafuta Sera angalia kile kizuri anachofanya Mwenzako umtie Moyo siyo kumkosoa tuu Makonda anapambana Sana halafu anaye hofu ya MUNGU
Wajanja wanashindana kwa hoja si kwa matusi,chadema mko vizuri ,ila matusi ndo yanakiangusha chama,(badirikeni
Makelele tu hakuna cha maana
@@Stevenmollelnakushangaa ebufanya tadhumini zauchaguzi ndipo utajuwa CCM haipokabisa isipokuwa mapolisi bebabeba tu,
Kwa sera hizi amachemka
Huyu watoto wake wako canada nä mimi niko sweden usituaribie tanzania yetu vita inaanza wenyekuumia niwale wako Ndani ya nchi wewe Na slaaa nä mbowe watoto Wenu hawako tz nä usiongelee juu makonda makonda ni dume
Wewe unatoa sifa, unaongelea usela Lakini hauna msaada kwa wananchi.. muda mwingine tafuta jinsi ya kuwasaidia watu wala siyo maneno
Angekuwepo makonda usingeweza kuongea na kuvimba hivyo
Mzee wakomedi😂😂
Toa sera sio vijembe wewe ndye unageuke kuwa boya
Wewe kwenye utawala wako ulifanya nini
Wewe kima mdogo huna jipya😮😮😮😮
Acha ujinga lema boda boda wanakufa kila siku kwa ajali za barabarani hamuzioni acha ufala hata wew tukikupa hii tanzania huwezi kumfanya kila mtanzania awe tajili
Big brain 🧠 lema akilikubwa
Unaona mama amefanya ndiyo unapata wazo kabla ya hapo hukuwa na wazo la Ronado zuri lako linakuja baada ya watu kuanza pole 🎉
Mama yako yupi
Hivi mna muelewa huyu anaongea nini eti😂😂😂😂we mwache makonda mwache makoda hangaika na yako Makonda wetu mtue kabisaa usimguse
Lema yupo saw sana achana na vicha wa Arusha wamechalogwa na makonda
Mmmh! Kazi ya Makonda wewe usingeweza hata robo
Wewe nae kakae hko
Ebu achana na makonda kwanza, maana ni kipenzi chetu watanzania wote.
Wote au ww na wajinga wenzio
Kutojitambua pia ni ujinga, jitafakari halafu ukimaliza kitafakari uyambue kila mtu ana haki ya kuchagua anachoona kinafaa.@@dedankalinga6291
Uongo
Kumbe duniani kunawatu wanapenda uharifu yaani Makonda nimuuaji tenakatili
Kwa dunia ya leo ya utandawaz na kila mtu anaona kinachofanyw na Mh: Makonda wap wat walikuw wameshapoteza mal zao lkn kupitia Makonda baadh yao wameokoa mal zao MZEE piga sera zak tu usimguse MAKONDA ata kwa sekumde moja kwan ukiendelea kumsema MAKONDA kwa ubaya utafany ata anaekusikiliza asikusikilize MAKONDA FOR LIFE.
Makonda kamanda, mungu akulinde, hatuna chakusema zaidi ya kukuombea
Mungu hapendi matusi..toa hotuba bila kumtusi mtu,Wala chama nadhan utabarikiwa kuliko kutoka matusi na kutukn watu.ni ushaur tu
Lema umefiriska kifikra , lililo jema pongeza , siyo kupinga kila jambo, Arusha watu wametibiwa bule kwa ushawishi wa Makonda, na wengine kupewa haki yao nk
Bado hajaona yote ayo kwanz ajiulize aliongoza miaka mingp alifanya nn kwa ajir ya wananchi
Duuuu hatuna upinzani Nchii hii,wanasiasa tuliowategemea sana wameishiwa hoja zenye nguvu, umebaki uwana harakati tu na matusi.
Makonda Mungu akupe maisha marefu kipenzi chetu
Huna point mbona brother kweli chadema nichama Cha mafara , unaongelea chama ? Au unamuongelea makonda ? Yaani nidhahiri we mhuni
Lema umeisha wewe ndio unaiuwa cdm Arusha ila kufa mfe tu ccm ndio chama na makonda safiiiiiiii
Ukitaka kuamnini makonda yupo juuu ya hawa kunguni...waweke..mdahalo na kila mtu aelezeee chama chake..huyu..atasepa bila mtu kuku huyuuuuuu..hajui siasa....siasa ni sera sio matusi na porojo porojo..watu wanataka udeal na kero zao ..sio tatalinta
Usipende kumchafua makonda maan anatenda haki za wananchi, basi kama ww unaona wananch wanaonewa wasaidie ww, tena ufunge mdomo ww ndio boya mpumbavu
we lema unapata chakula serikalini? Basi wasmbie unapata wapi chakula. Halafu mbina hugawii chakula,huwajengei hospitali wala shule. Sema jinsi utakavyoisaidia jamii.
Mm nikisikia mtu anatokea Arusha najua ni mshamba too. Maana wengi wanajifanya wasela,wahuni,wadudu,sijui, lakini kiufup ni ushamba too njoon tunduma kama hamjaonekana washamba.
Nchihii ingekua anawaona Watu kama lema niwatu wema na wanahuruma kwa Taifa, wangesimama hadharani nakuwapongeza kwa Mawazo naushauri Mzuri wanaotoa.
Lema tafuta AMANI kwenye haya maisha , Muache makonda kabisaaa,Kwanza ni Mtmish wamungu Muache Muache 🙌🙌🙏
Peleka huko nywumbie ww mtumishi wa mungu unamjuwa ww acha uboya
Makonnda muache kabisa tuliya wewe
uko sahihi
Muda ufike tu huyo mbunge wao aondoke
No one is perfect aongelee maendeleo hana issue
Huyo Lema ashapoteza dila bangi tupu Hana jipya
Lema Hana kitu badala ya kuongea Sera na kuikosoa serikali pale ambapo inakosea mnakaa kutukana watu ovyoo sana
Wanaoshabikia Mambo ya bashite nao akili zao zipo Kama bashite hawajitambui
We lifisiemu tuache tusikilize lema akili kubwa
Mwenye Arusha yake vivaaaaaa mheshimiwa Lema Makonda anapumbaza watu wako huko mtoe mitaaaaaa
Acha kuchongani sha Sana nch😊
Lema mjinga sana bila kutukana viongozi ili akamatwe apate umaalufu jinga sana
Bora makondaa Mara Mia kuliko lemaa
Lema ongeaga point basi,acha kutukana
Lema mm naipenda chadema lkn ukitaka tukosane endelea kumtaja Makonda
Lema na wewe umechema sana mwaposa unamuwekaje tena kwenye aiese
Kunasiku kamoigia mama samia simu kwenye mkutano kamwambia mama tunandege yakubeba wagonjwa mama akauliza mafuta nani anaweka
Hizi siasa za lema ndio anasema Arusha wajanja Kwa uhuni Kwa sera za upinzani kama ndio hizi Mimi acha niendelee kufunga mkono chama Cha mapinduzi
Ila Lema alikua mwizi basi sema ilikua njaa sawa
Nape nauye is not a politician has got no capacity of been politician makonda kwa god bless lema naona pazito maybe makonda use police force can challenge God bless lema without that makonda will face big challenge from God bless lema chadema on my research l have seen that
Kama huna sela kaa kimy mbwa wew
Mkuu Mimi simwanasiasa Ila makonda hajakosea kuandaa tamasha ni anajali vipaji Viwe fursa nanikwambie Mimi hua ndioninaratibu MASHINDANO YA PIKIPIKI nikwambie siasa zenu zielekezeni KATIKA KUSAIDIA jamii na msiwaponde wanaogusa maisha ya WATU Ila nikwambie kaka HAKUNA MCHEZAJI ALIEKUFA, HIZO TAARIFA ULIEPEWA ZA WATU8 ZICHUNGUZE SIOKWELI KAKA.
Pigania ugali kuna mtu anapigania sehemu isiyo na makoti hizo sera tu saundi tu
Mimi n8 chadema lakini MAKONDA hebu usi muongelee ...shughulika na hao maboya wengine ulio wataja
Huna jipya brother.
Nchi haiwezi kuajiri watu wote, kawaambie wakafanye kazi. Hata kuuza karanga na mboga ni kazi kama hawataki kulima na kufuga
Dah pole Sana ndugu
@@GodfreyMwamaso piga kazi, tafuta kazi, jiajiri, usisubiri kupewa kazi.
Vijana hatuna mitaji na kingine elimu ya kilimo hakuna
@@paulkambonya8001 ni kweli kabisa. Mitaji na elimu ya kilimo hatuna, kipi kifanyike,?
Kusubiri serikali itupatie mitaji au kujikubali na kuanza na kile unacho kiweza. Kumbuka tulishaambiwa mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe. Na hakuna serikali itakayo tupatia hela za mtaji. Mi kwa ufahamu wangu kabla ya serikali wenyewe hatuko tayari kupambana
@@paulkambonya8001wewe ndio hauna mbona vyuo vya kilimo vipo vingi tu..kama unataka kusomea kilimo na kukifanya unaenda unapewa elimu juu ya kilimo cha kitu Fulani...tatizo vijana wa kibongo tunapenda mserereko..acha uvivu wa fikra
Kuna changamoto, kwa sababu lugha anayozungumza Lema ndiyo lugha inayoeleweka na Vijana wa kuanzia 2004 mpaka Leo, kama wakijiandikisha wote hali ni Tete.
Huyu mental case sio akili ya kawaida Wana wa Arusha kuweni Makini na huyo mtu kila siku atasababisha watu kuwa vilema kwa maandamano
Tatizo lenu hamna maneno ya maana kwa hiyo mikoa mingine sio wajanja umesahau kuwa hawa ambayo sio wajanja utakuja kuwaomba kula za urais
Hiyo mention utawapa? Yaani Arusha na ujanja wenu mnamsikiliza bado huyu mjinga ? Maana alishaishiwa sera hana hoja yamsingi yaani anachojua nikuropoka tu na watu mmekaa amnamsikiliza mjinga kama huyu
Arusha nawapenda maana hamnunuliki kwa kanga na tishert za bure.
Wajanja wengi chuga, mashoga wengi wapo mkoa gani?
Mbona hamsemi sera zenu ni matusi tu sasa mh umeongea nini hapo
Hawawezi kufanya kazi wenyewe bila kupata kick kupitia CCM kuwa creative sema sera zako kila siku kukosoa tuuu hebu tangaza sera zako tukukubali hii kukosoa kosoa kila kukicha tumechoka kukusikiliza. Kama huna sera kakojoe ukalale.
Lema hizo zote ni dalili za kushindwa siasa, umebakiza kumwaga sela za matusi?? hapo uko ukingoni!!!!
Huko shivazi ulijulia wapi kua ni elfu 3 kama sio kwamba na ww ni mnunuzi
Heshima Yako baba tupo pamoja
jamaa ni matusi tu hatupati mpango Kazi wowote tuambie nn mtafanya mkipata nafasi
Anatoa elimu ya umaskini uliyosababishwa na viongozi wa CCM
Kunawakati kama una sera bora kunyamaza ..uyu makonda muache brother jamaa anaupija mwingi sio kiwango chako mimi namfikiria 2035 kuwa (RAIS) wetu