WATANZANIA WENGI WAPO JELA GUANGZHOU CHINA| WANACHIMBA MCHANGA NCHI ZINGINE, NA UNALETWA NA MELI.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ก.ค. 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 20

  • @keshenidaniel770
    @keshenidaniel770 16 วันที่ผ่านมา +1

    Ba levo headmaster wa machawa

  • @RamadhaniSelemani-bn1fz
    @RamadhaniSelemani-bn1fz 16 วันที่ผ่านมา

    Duuuh😢

  • @hassanmohdally5217
    @hassanmohdally5217 16 วันที่ผ่านมา +1

    Hiyooo kitu hataa indiaa wanafanyaa baba levo

  • @GodfreyRichard-v4f
    @GodfreyRichard-v4f 16 วันที่ผ่านมา +2

    Baba 😂😂😂😂😂

  • @mndambokilavo2502
    @mndambokilavo2502 16 วันที่ผ่านมา

    TRA, TRA,TRA!!!

  • @yakoubfaki2026
    @yakoubfaki2026 16 วันที่ผ่านมา

    Sio china tuu hadi India now wana scan kwa malipo kwa asilimia kubwa pia

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 16 วันที่ผ่านมา

    zile camera hata ukiwa unaumwa zina sense

  • @MasudiJuma-rs4gj
    @MasudiJuma-rs4gj 15 วันที่ผ่านมา

    Uyu jamaa bn

  • @salumabdallah2990
    @salumabdallah2990 16 วันที่ผ่านมา

    masaa 14 wasafi wana vewes 6000

    • @user-mn6oy9qp3u
      @user-mn6oy9qp3u 3 วันที่ผ่านมา

      6 c cc
      O 9 x xr😢the x gv

  • @msemasungura5651
    @msemasungura5651 16 วันที่ผ่านมา

    Iran ipo hiyo hata muuza mchicha anatumia card

    • @abeidmrengaofficial1792
      @abeidmrengaofficial1792 6 วันที่ผ่านมา

      Ebwana vipi ndugu uko Iran ?
      Nampango wa kwenda Iran soon

  • @musiccaentertainment100k8
    @musiccaentertainment100k8 13 วันที่ผ่านมา +3

    Tanzania hawajasoma so wakienda nje ya nchi ni ukora tu kwa sababu hawana elimu ya kuingia kwa viwanda .. somemi Tanzania muache ujinga

  • @FahadAbubakari
    @FahadAbubakari 16 วันที่ผ่านมา +12

    Watz wengi ni vibaka na watu wenye tamaa hakuna sehemu watz wameenda hawajaharibu , Kuna aidea kua watz wanaamini kua wao wajanja mnoo kumbe ni washamba kwelikweli , ni waona mbele ila sio waona mbali wanaharaka mnoo nakuhisi wao watu wamadili

    • @davidanselmo4041
      @davidanselmo4041 12 วันที่ผ่านมา

      Nikweli kaka especially watoto wa pwani me nipo South ovyo sana siwezi kujitamburisha natokea Tanzania 😅

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari 12 วันที่ผ่านมา

      @@davidanselmo4041 we unaendaje nchi ya mtu na ukahisi unaweza kua mjanja angalia tz wageni mfano wahindi au waarabu wao wamekua wapole na kukomaa na biashara na kua matajiri mbongo akienda kwa watu anakua kibaka na ushamba mwiingi wa matukio yakifala bado mnoo watz

    • @MrNdanguza
      @MrNdanguza 12 วันที่ผ่านมา

      ​@@davidanselmo4041nipo capetown baby ukitambulika kama wewe ni bongo man unaonekana muhuni, muuza madawa.

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 16 วันที่ผ่านมา +1

    Wewe mshamba kweli, we chat ni tofauti na Ali Baba! Ni matajiri wawili tofauti!

    • @vanemmy6043
      @vanemmy6043 16 วันที่ผ่านมา

      Sawa wewe sio mshamba😮

    • @peacejunne5037
      @peacejunne5037 13 วันที่ผ่านมา +1

      Mshamba ni wewe unaedis vitu ambavyo vipo nje ya mada, coz hajazungumzia wamiliki