ESHA BUHETI AMUUMBUA SHISHI SMS ZA SIRI KUNUNUA TUZO "KASHAKUFA SIKU NYINGI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 69

  • @nabiljumaothman5912
    @nabiljumaothman5912 2 หลายเดือนก่อน +18

    Much love eshe mimi nimekula kwa Shilole na kwa Eshe .... Ila Eshe anajuwa sana ata mke wangu anapenda chakula cha Eshe na yeye ni mtu wa kuchagua sana mimi nilishangaa

  • @Atb300
    @Atb300 2 หลายเดือนก่อน +16

    Esha anaongea classic kbs❤❤❤

  • @Zaynab-ny6gr
    @Zaynab-ny6gr 2 หลายเดือนก่อน +19

    Shishi mkorofi hata kwa snura ilikua ivyo

  • @HamadMwagoani
    @HamadMwagoani 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hii iwafikie shilole na esha nyote nawapenda wazuri nyote mashallah Mungu kawapa mifanano mpk kazi zenu Ila onyo kama waislam wenzangu tumeitwa Uma bora sababu ya kukatazana maovu kumrishana mema kauli ambayo sikuipenda ATA NIKIFA ASIJE MSIBANI N MBAYA SANA MAMA ZANGU SHISHI NA BUETI IYO SIO YA KUTAMKA MUSAMEENE ATAKAMA KILA MTU ATAANGALIA MASIHA YAKE PLZ KUMBUKENI KULU NAFSI IDHAAIKATUL MAUTI

  • @MairaAlly
    @MairaAlly 2 หลายเดือนก่อน +7

    Sister wangu moyo mweupe sana #shombe

  • @SabraDivele
    @SabraDivele 2 หลายเดือนก่อน +3

    Namkubali sanaaa sanaaa da Esha much love to you

  • @SairaSadick-y2l
    @SairaSadick-y2l 2 หลายเดือนก่อน +11

    Ww dada eshe anajua kupika nyinyi JAMANI

  • @DalphinaMnyau-ho9vx
    @DalphinaMnyau-ho9vx 2 หลายเดือนก่อน +11

    Nakupenda sana eshe achana na Hao watu wanakuharibia endelea kukaa kimnya dada mkubwa allah atakujali❤❤❤

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq 2 หลายเดือนก่อน +3

    Wajukuu wa mtume Allah ndie kinga tu nimeipenda hio Esha😊😊😊

  • @ZwainhOman
    @ZwainhOman 2 หลายเดือนก่อน +4

    Esha ww mpishi mzuri sana acha plesha

  • @alsam4881
    @alsam4881 2 หลายเดือนก่อน +27

    Shilole ni mshari sana na ana wivu sana haswa akiona mwenzake amemzidi mapishi au kuimba, kwasababu hapo zamani alikuwa akimchukia sana Snura, kwasababu alikuwa akiimba na kucheza kuliko yeye Shilole, na ndiyo hapo akaanzisha bifu na Snura na kuanza kumdhalilisha mwenzake mbele za watu wakati yupo jukwaani, Lakini Snura ni mtu mmoja mstaarabu sana na ana hekima na busara hajawahi kubishana na huyo mropokaji Shilole, kwahiyo Shilole aache chuki kwa wenzake akiona wana maendeleo au wamemzidi kitu fulani.

  • @darking3634
    @darking3634 2 หลายเดือนก่อน +4

    Esha bwana m nakupenda ivoivo,ila si umesema we mtu akikuletea maneno unamtaja haya tutajie huyo alokutumia izo message😅😅😅😅m nakupenda buanah

  • @NahimanaAisatah
    @NahimanaAisatah 2 หลายเดือนก่อน +2

    Esha uko vizuri nakupenda mabishi yako yanajitosheleza

  • @rukiauwonde7062
    @rukiauwonde7062 2 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂😂😂😂dah eti kata kona anadondoka 😅😅😅dah sema wew na shishi ,mnene shishi😅😅

  • @__1184
    @__1184 2 หลายเดือนก่อน +3

    Esha upo jjuuu

  • @agnesjohn9382
    @agnesjohn9382 2 หลายเดือนก่อน +6

    😂😂😂 esha bwana eti siyo mdogo yule ni mkubwa anajidogosha 😂

  • @salmakwayu3951
    @salmakwayu3951 2 หลายเดือนก่อน +3

    Shilole ni mshari sana

  • @merinakassembe118
    @merinakassembe118 2 หลายเดือนก่อน

    Bzuhet
    ❤❤❤❤❤❤superstar wa kupika

  • @mwananganzi
    @mwananganzi 2 หลายเดือนก่อน +3

    Dada kibonge kayakanyaga

  • @Officialjidaa-sn9cs
    @Officialjidaa-sn9cs 2 หลายเดือนก่อน

    Re fresh ❤❤

  • @happymaimu4330
    @happymaimu4330 2 หลายเดือนก่อน +2

    Una akili sana Esha.Tena una ustaarabu,Shishi Mshari sana

  • @MsabatoTindwa
    @MsabatoTindwa 2 หลายเดือนก่อน

    Huna baya jiran yangu ,nakukubali

  • @RandB_Channel
    @RandB_Channel 2 หลายเดือนก่อน +3

    Nanyinyi mamedia hapo mmefurahiya sana natena njomunazidi kuchochoya chocheya .tangiya mlianza kuchikonowa chokonowa simuishiye hapo . Ila kitu nilipenda Esha anaongeya kwaustarabu. Shishi anaongeya kavile anataka kupigana 😀😀

  • @AbduAbdu-s7i
    @AbduAbdu-s7i 2 หลายเดือนก่อน

    Buana tunapenda😂😂

  • @LilianJuma-r2l
    @LilianJuma-r2l 2 หลายเดือนก่อน

    jamani shishi mkorofi sana.hata Snura ilikuwa hivyo

  • @DelightfulFish-ps8ny
    @DelightfulFish-ps8ny 2 หลายเดือนก่อน +2

    Yeah chakula cha changa kama lote 😂

  • @merinakassembe118
    @merinakassembe118 2 หลายเดือนก่อน

    Safi kabisa

  • @HappyWilson-i9f
    @HappyWilson-i9f 2 หลายเดือนก่อน

    Esha kipenzi acha iende mdogo wangu kimya pia ni jibu mshukuru Mungu kwa unachokipata watunze wateja wako wasiondoke

  • @MsabatoTindwa
    @MsabatoTindwa 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huna baya jirani yangu uko vizur

  • @Yness-vh4yy
    @Yness-vh4yy 2 หลายเดือนก่อน

    Na sura mnafanana

  • @RoseKaiza-g2j
    @RoseKaiza-g2j 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kaeni mezani muyamalize mshakua watu wazima mnawayumbisha wateja wenu pia acheni kutoleana siri

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 2 หลายเดือนก่อน +3

    Shishi anataka zichapwe hilo naunga mkono mpambano tutalipia

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amekujaribu shishi ndomaana alijuaje unapaa kama hajakujaribu

  • @AmAl-x9j
    @AmAl-x9j 2 หลายเดือนก่อน +3

    Harafu Eshe humfikii shishi kimaendeleo,so piga kaz usonge mbele acha kuongea sanaaaaaaaa

    • @najmasalim-rg6ow
      @najmasalim-rg6ow 2 หลายเดือนก่อน +1

      Maendeleo hayo kwiyoo! Dunian kusukumana unyonge kaburin

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 2 หลายเดือนก่อน

    Ana jidogosha🤣

  • @abdallamohamed3260
    @abdallamohamed3260 2 หลายเดือนก่อน +3

    Dimond ndio huwaga anakataa tuzo za nyumban hazina vgezo wanapeyana tu

  • @spreadlove5300
    @spreadlove5300 2 หลายเดือนก่อน

    Ila Esha na wewe kwa nini usifanye yameisha kama mtu kakuibia hiyo siri basi shukuru Mungu yamepita 😮😮 fanya tuu biashara yako

  • @asumaathuman6094
    @asumaathuman6094 2 หลายเดือนก่อน

    Eshaa punguza mdomooo

  • @Verochanel123
    @Verochanel123 2 หลายเดือนก่อน +4

    Wivu eti sina watu wakubwa Hahahah

    • @miriamwinston9908
      @miriamwinston9908 2 หลายเดือนก่อน

      Amekwambia wivu msyuuu kwendraaa

  • @LeilaAbdull-jg6ho
    @LeilaAbdull-jg6ho 2 หลายเดือนก่อน +3

    Ila wewe dada nimuuaji

    • @AngelmackieCharity
      @AngelmackieCharity 2 หลายเดือนก่อน +1

      Alikuulia nani wako?

    • @miriamwinston9908
      @miriamwinston9908 2 หลายเดือนก่อน

      Muuaji in positive way sio negative😂😂

  • @jsabood
    @jsabood 2 หลายเดือนก่อน +4

    Eshe. Mtu kama ana kiburi dawa yake mkate nyongo akuheshimu. Shilole kapata vidonge vyake. Mkomesheni akome. Uchebe ni mkweli sana. Aloyoyaongea ni ya ukweli. Romy alionewa sana. Shilole mungu hapendi ukibri. Yatampata mambo hakutegemea.

    • @AmAl-x9j
      @AmAl-x9j 2 หลายเดือนก่อน

      Mwachen shishi na life yake nyie nao fanyeni yenu

    • @jsabood
      @jsabood 2 หลายเดือนก่อน

      @@AmAl-x9j Shilole kapata kiburi cha kuwalipua watu. Akitoka kwa wanaume zake ana kwenda kumvaa mtu. Mara Eshe, mara AliKiba. Kesho nani atakuwa? Kwanza maneno yake yanatoka yanavyotaka. Yeye Nani amambiye Eshe sio mtanzania. Au anazungumza kwa niyaba ya watanzania. Azungumze yanayomhusu. Pesa zake za madeni halafu anaringa. Mwache Eshe amkomeshe akome kurukiya watu.

  • @ngwashimalenya6412
    @ngwashimalenya6412 2 หลายเดือนก่อน

    Nyie ni kina nani na kisasi Gani ambacho hamuwezi kupatana, kama unasali na hofu ya Mungu Kwa Nini umeyabeba moyoni na unasema hauwezi kupatana? Ni uchu wa masilahi na kujulikana ndio mnataka. Mtaongeana mpaka lini?

  • @AmAl-x9j
    @AmAl-x9j 2 หลายเดือนก่อน +1

    Harafu mmeshakua watu wazima acheni utto nyie

  • @gracekiondo2541
    @gracekiondo2541 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa mbona na wewe upo na mwili mkubwa na uzito uliozidi? hata kama yeye Shilole ni mnene zaidi yako,lakini wewe pia una mwili usiofaa kabisa! Kifupi wote muchukue hatua ya kuondoa uzito na manyama!

  • @Polyn.123
    @Polyn.123 2 หลายเดือนก่อน

    Kafue nguo hiyooo kila int

  • @sialo8624
    @sialo8624 2 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu dada hana akili timamu seriously

  • @keyla3641
    @keyla3641 2 หลายเดือนก่อน

    Acheni ujinga mnajidhalikisha kufanya biashara yakuka sio lazima ujue kupika mnagombania tuzo wewe muongo haiko hivo km huna choyo ungenyamaza ungeongea hayo mengine

  • @keyla3641
    @keyla3641 2 หลายเดือนก่อน

    Chuki tu hana lokote waoiga kura gani hicho ndo kinekuuma

  • @LeilaAbdull-jg6ho
    @LeilaAbdull-jg6ho 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe nimugombanishi ulikua wapi kusema zaman unazan watu unaowaingiza humo mabif yaliyopita unawaleta kwenyemabifu yasasa siyokama wanapenda hawapendi

  • @MariamIbrahim-h7p
    @MariamIbrahim-h7p 2 หลายเดือนก่อน +1

    Eshaw uko na chuki binaonekana

  • @asumaathuman6094
    @asumaathuman6094 2 หลายเดือนก่อน

    Kwanza esha hatukuji wewe tunamjua shishi tumekujua kuhus hii ya tuzo

  • @keyla3641
    @keyla3641 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu mnafiki kweli tuzo tu anataka kutiawatu ubayani dina kandaa hii anasababu zake unamrejeshamtu nyuma na tuzo haiusiani na upishi upambanaji kuna wapishi wazuri wanapika kweli mnaouka nini nyie biriani vitunguu vimeungua tuzo ilikuwa upambanaji

    • @NaseMangala
      @NaseMangala 2 หลายเดือนก่อน

      Kaa kimya wewe

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 2 หลายเดือนก่อน +3

    Shishi anataka zichapwe hilo naunga mkono mpambano tutalipia

    • @ZamoyoniIddy
      @ZamoyoniIddy 2 หลายเดือนก่อน +2

      WakishaziChapa wewe inakusaidia nini

    • @warakawayohana2896
      @warakawayohana2896 2 หลายเดือนก่อน

      Inanisaidia kutoona habari zao tena baada kutia adabu​@@ZamoyoniIddy