DR. SULLE:EPISODE YA 4 || MGOGORO WA PALESTINE NA ISRAEL || NANI MWENYE HAKI ZAIDI KATI YAO.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ก.ค. 2021
  • #DrSulle #Zvponlinetv #Tabora

ความคิดเห็น • 152

  • @michaelyaro
    @michaelyaro หลายเดือนก่อน

    Mungu baba,, mwana narohoo mtakatifuuuu

  • @abdululiza392
    @abdululiza392 3 ปีที่แล้ว +6

    ALLAH akupe afyanjema akuzishie elimu tunajifunza historia za manabii historia ambazo zinafichwa nawatu ambao hawaitakii mema dini ya allah

  • @abdimudachi7566
    @abdimudachi7566 3 ปีที่แล้ว +8

    Asalam alkm warahmatullah wabarakatuh sheikh mafundishio yako na yapenda kweli nime jifunza mengi kwako. Jazzakallah kheir

  • @issaally4364
    @issaally4364 2 ปีที่แล้ว +3

    Inshaallah Allah azid kutuongoza ktk njia iliyonyooka

  • @ramadhankanoun3007
    @ramadhankanoun3007 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mashallah 🙏🙏 Allah akupe maisha marefu unatupa elimu nzuri mno🙏🙏

  • @neemamajana3078
    @neemamajana3078 9 หลายเดือนก่อน +1

    Dr Sulee kuna mambo mengine unasema kweli, na mengine mengi unasema uongo mkubwa sana. Mengi unasema kwa fitina na chuki kubwa, Wayahudi munaowachukia bado hamuwawezi, hao ni Taifa la Mungu. Usiwakalibie wala usijilinganishe na Watoto wa ahaadi.

  • @yusuphlackson5239
    @yusuphlackson5239 9 หลายเดือนก่อน +2

    Asalaam Aleykum , Allah azidi kukupa umri mrefu sheikh.....umenifundisha mambo makubwa mnooooo

  • @JumaNurudini
    @JumaNurudini 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi maajabu ninyoyaona kwa huo ugomvi wa parestina na waizieli najiuliza wapalestina hawana silaha kali laikini wamo tu na hawana msaada wowote ni kwanini hao wenye silaha kali hawawamalizi kuna kitu mwenyezimungu anatufunza hapo

  • @zubedaalice8172
    @zubedaalice8172 9 หลายเดือนก่อน +1

    jazakAllah kheir

  • @fundiwamoldzapevingblock6378
    @fundiwamoldzapevingblock6378 8 หลายเดือนก่อน

    Unatuelimisha sanaaaaaa

  • @rackymayugi6815
    @rackymayugi6815 3 ปีที่แล้ว +7

    Salam from Arizona. Sheikh na kupenda kwa ajili ya Allah.

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +2

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

    • @mzeeakida8430
      @mzeeakida8430 3 ปีที่แล้ว +1

      Ok

  • @user-nq5im3hz3h
    @user-nq5im3hz3h 8 หลายเดือนก่อน +1

    Assaalam alaykum warahmattullah wabarakattuh 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @vimkhamis2794
    @vimkhamis2794 9 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akuhifadhi Sheikh wetu

  • @stevewanga957
    @stevewanga957 2 ปีที่แล้ว +2

    Asalaam Aleykum frm Doha,Qatar...Allah akupe umri mrefu sheikh.....uzidi kutupa elimu zaidi

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed9245 9 หลายเดือนก่อน

    Asante sana shekhe nimependa unavyotiririka.

  • @ratibuathumani3422
    @ratibuathumani3422 3 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah mwenyezi mungu akuzidishie ilim na ufaham fidduniya wal- akhera

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @mahmudmugarura2175
    @mahmudmugarura2175 9 หลายเดือนก่อน +1

    Long live Dr Sule

  • @abdalahasuman8740
    @abdalahasuman8740 9 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akupe mrefu shekhe 🙏

  • @muharramhamisi5140
    @muharramhamisi5140 9 หลายเดือนก่อน +1

    Baraka llahu fika yaa sheikh

  • @ozilsalum7279
    @ozilsalum7279 9 หลายเดือนก่อน

    Mashallah akika mungu amekujalia kipawa

  • @lalaslove7831
    @lalaslove7831 2 ปีที่แล้ว +1

    Allah akulinde

  • @HusseinMohammed-sw9db
    @HusseinMohammed-sw9db 9 หลายเดือนก่อน

    Mashalla bible unaijua quran unaijua

  • @manenoagrey1090
    @manenoagrey1090 3 ปีที่แล้ว +4

    I love Biblia too much

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว

      Mh

    • @salehesengiyanka5397
      @salehesengiyanka5397 3 ปีที่แล้ว

      Bible missleding you hate it my friend

    • @manenoagrey1090
      @manenoagrey1090 3 ปีที่แล้ว

      @@salehesengiyanka5397 it is better for the only great thinkers

    • @nafhal
      @nafhal 3 ปีที่แล้ว

      Umepata hasara

    • @flova7022
      @flova7022 9 หลายเดือนก่อน

      @@salehesengiyanka5397 unapataje ujasiri WA kukisema kitabu kitakatifu ndugu hivi unajipenda? Bs yangu machooo...l love bibliaa ...and l respect quran

  • @user-xw8qc8up8r
    @user-xw8qc8up8r 9 หลายเดือนก่อน +2

    Siku Sionyingi unakua Mchungaji Karibu Sana Kanisani Yesu anakupenda Sn

    • @abdulrahmankhatibu7201
      @abdulrahmankhatibu7201 9 หลายเดือนก่อน

      Yesu sio Mungu ni binadam miongoni mwa Mitume wakubwa wa Mwenyezi Mung.
      Yesu alipata kuwa baby (Baby god) akatairiwa, yaani Mungu akatairiwa na viumbe wake akanyonya kwa mama yake.
      Tafadhali tumia akili kidogo usiwe mvivu wa kufikiri.
      Mungu hana sifa za upungufu hata kidogo.
      Acha kumdhalilisha. Utakujajuta siku ya kuonana na aliye umba mbingu na Ardhi.

    • @flova7022
      @flova7022 9 หลายเดือนก่อน

      @@abdulrahmankhatibu7201 kwahiyo wewe na biblia tumwamini Nani..yaan mwenye akili akiulizwa biblia na wewe tumwamn Nani atajibujee

    • @sammyaron3818
      @sammyaron3818 9 หลายเดือนก่อน

      @@abdulrahmankhatibu7201 Kwan tatizo lako lipo wapi ndugu huenda hujui kwann Yesu alikuja na alikuja katika umbo la binadamu
      Labda nianze kujibu swal moja moja
      1.Yesu ni Mungu ?
      Jibu ni ndio Yesu ni neno la Mungu lililo kuja katika mwili ili kutuonesha mfano halisi wa kuishi maisha ya kibinadamu na faida za kuishi maisha kama alio yaishi yeye na kutufundisha. kitendo Cha kuishi kama binadamu, kufa na kufufuka ni ishara kuwa binadamu yoyote atakaye muamini basi atauona uzima wa milele baada ya kufufuliwa
      Baada ya Yesu kuondoka Mungu alimtuma roho mtakatifu na sio mohamad kama mnavyo fundishwa roho mtakatifu yupo ndani yetu ili kulitunza neno la Mungu ndani yetu na kutukumbusha na kutupa tasiri sahihi ya neno la Mungu ndio maana huitaji kumtafuta mchungaji Wala shehe akutafsirie neno la Mungu kwakuwa binadamu tuna weza tafsir Kwa akilizetu na matamanio yetu ya kibinadamu so tafsiri sahihi ya neno la Mungu ipo ndani yako hata kama vitabu vyote vitachomwa moto neno la Mungu haliwezi potea kwakuw lipo ndani yetu tayar kwakupitia roho mtakatifu
      Najua utasema Kuna Mungu watatu hapana ipo hivi Mungu ni mmoja ila hivi vitu vipo ndan ya Mungu mmoja nikama wew unaitwa Abdul lakin una 1.Mwili 2.Akili 3.Roho hivi vitu vitatu havikufanyi wew kuwa watu watatu tofauti so hakuna Mungu watatu ukiuliza kwann Mungu alifanya hivi mm siwezi kumuhoji Mungu kwann afanye Kaz zake Kwa mfumo huo pia kama utachagua kuto kuelewa it's okay jukumu langu nikukupa mtazamo wa Iman yangu
      Kama utakuw na doubt uliza

    • @sammyaron3818
      @sammyaron3818 9 หลายเดือนก่อน

      @@abdulrahmankhatibu7201 kazi nyingine alio kuja kuitimiza Yesu ni lile agano la Ibrahim na Mungu kuwa kupitia uzao wa Ibrahim mataifa yote yatabarikiwa so kupitia Yesu Alie Toka uzao wa Ibrahim mtu yoyote kutoka taifa lolote anaweza kubarikiwa ikiwa atamuamini na kufuata neno la Mungu

    • @sammyaron3818
      @sammyaron3818 9 หลายเดือนก่อน

      @@abdulrahmankhatibu7201 kingine ni kuhusu utatu je nikweli utatu Mungu baba mwana na roho ni wakipagani ?
      Jibu ni sio kweli ukitaka kuelewa hili nivizuri kumuelewa shetani na malengo yake
      Malengo ya shetani kwenye uislamu nitofaut na malengo ya shetani kwenye ukristo so kwenye ukristo nilazima dini za kipagani nazo ziwe na utatu kwakuwa lengo la shetani ni kuleta contradiction ili watu wasi muabudu Mungu wa kweli kama Mungu angekuwa hana utatu basi shetani angefanya dini zake zote zisiwe na utatu ili kuwachangamya wanadamu Sasa utajuaje utatu wakipagani na wakimungu
      Utatu wakipagani lazma uwe na Mungu mama lakin utatu wa Mungu hauna mama Bali ni roho mwana na baba hope itakuwa umeelew

  • @husseinibrahim5438
    @husseinibrahim5438 3 ปีที่แล้ว

    MA SHA ALLAH TABARKALLAH .

  • @yasristeven1135
    @yasristeven1135 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa anajua huyu hadi raha

  • @mohamediramadhani6120
    @mohamediramadhani6120 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah

  • @ahmedabdullah-cy4do
    @ahmedabdullah-cy4do 3 ปีที่แล้ว +4

    mashaalha appreciate dr sule god blessing u and all muslim

    • @cath-ef7wd
      @cath-ef7wd 9 หลายเดือนก่อน

      Aamin amin

  • @ubahamisi431
    @ubahamisi431 ปีที่แล้ว

    Alhamdhulillah leo nimwkufatilia mwanzo mwisho

  • @user-fx9gm1ps6r
    @user-fx9gm1ps6r 5 หลายเดือนก่อน

    Asalaam alykum mie naitwa robert natokea nchini kenye nafuatilia sana channels hii pili nimevutiwa na mawaidha yenu...ila ningeomba mnisaidie namna navowaeza kumpata ust Kessy Lupindu aliyekuwa mchungaji kisha kasilimu assante

  • @suuahmed71
    @suuahmed71 11 หลายเดือนก่อน

    MUNGU akubariki nimejifunza mengi kwa history hii

  • @user-hk2om2ef7m
    @user-hk2om2ef7m 3 ปีที่แล้ว +2

    Bismillah, Mashallah

  • @user-rp9um9bo9h
    @user-rp9um9bo9h 9 หลายเดือนก่อน

    Allah akupe umr sheh 🙏

  • @sakinapili1569
    @sakinapili1569 9 หลายเดือนก่อน +1

    Manshaallah

  • @ajumaakange1483
    @ajumaakange1483 3 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allaah

  • @venancegaspatv1961
    @venancegaspatv1961 3 ปีที่แล้ว

    Hongera kwa kueleza historia ya waisrael na changamoto walizopitia tangu toka Misri,wakati wa Waamuzi na uvamizi walioupata mpaka mesodonia,hongera kujua kumbe Hekalu lilichomwa moto likaharibiwa na wavamiz wengine wakajenga Al Aqsa,baada ya hekalu la Suleiman kuharibiwa vibaya na wagirik na Utawala wa Babeli

  • @sakinahassani1455
    @sakinahassani1455 9 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah MashaAllah

  • @aminaamina3972
    @aminaamina3972 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah mashallah mashallah

  • @seifmbulially8349
    @seifmbulially8349 ปีที่แล้ว

    Mashallah dr.sulle

  • @samuelnyaachi7094
    @samuelnyaachi7094 9 หลายเดือนก่อน +1

    Eleza ni Kwa nini Hamas walianza kuchokoza Israel!

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah Allah

  • @halidiselemani8289
    @halidiselemani8289 9 หลายเดือนก่อน

    Allah azidi kukulinda tuzid kupata elimu ya dini ya haki

  • @samwelnyanga8996
    @samwelnyanga8996 ปีที่แล้ว

    mm..mkwirsito..nakupogeza.kwasababu..unahekima..tofouti..na.waisilam.wezako.mungu..akubariki

    • @geey7893
      @geey7893 9 หลายเดือนก่อน

      Yani anaongea bila kuita watu makafiri, mara matusi. Wengine wakurupukaji vichwa matope😂wanafikiri dini ni chakula 😅

  • @husseinibrahim5438
    @husseinibrahim5438 3 ปีที่แล้ว +2

    MA SHA ALLAH

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @moureenkyusa423
    @moureenkyusa423 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mnao coment mnanikanyaga ila mjua wayaudi sio wakiristo

  • @djumaradjabh6874
    @djumaradjabh6874 9 หลายเดือนก่อน

    Aslam Alykm ww Allah akulipe kila ya heri

  • @japhetsamson2433
    @japhetsamson2433 ปีที่แล้ว +2

    Kweli

  • @suleimankhalfan6938
    @suleimankhalfan6938 3 ปีที่แล้ว +4

    Kwann Dk Sule mbona huwaelezei Freemason

    • @fadhilikawambwa1586
      @fadhilikawambwa1586 3 ปีที่แล้ว +1

      MTAFUTE SHEIKH SULEIMAN MAZINGE WA KENYA.UTWAJUA HAO FREEMASONI UWATAKAO

  • @salumuomar5188
    @salumuomar5188 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mpuuzi uyu shekh Allah hana kiti!!

    • @Elecovid
      @Elecovid 9 หลายเดือนก่อน

      Kweli anapotosha

    • @arafatali2796
      @arafatali2796 9 หลายเดือนก่อน

      Huy sheh ndo mpuuzi hebu lete elimu yako wew tuijue acha ujinga bas

  • @nkungumajira3108
    @nkungumajira3108 9 หลายเดือนก่อน +1

    Eti straight mbinguni , unasoma wapi

  • @allyjumaally8353
    @allyjumaally8353 9 หลายเดือนก่อน

    Mashallah

  • @godfreyobadiah7892
    @godfreyobadiah7892 ปีที่แล้ว +3

    Tukubali hawa watu ni chaguo la Mungu mbn wamejaaliwa maarifa na utajiri ?

    • @aishajuma18
      @aishajuma18 9 หลายเดือนก่อน

      Hata ibirisi pia kapewa uwezo mkubwa na mungu

  • @respiciusernest
    @respiciusernest 9 หลายเดือนก่อน

    Uyu jamaa namuelewa sana.

  • @venancegaspatv1961
    @venancegaspatv1961 3 ปีที่แล้ว

    Mwanzo 28:15
    [15]Na tazama, mimi nipo pamoja nawe, nitakulinda kila uendako, nami nitakuleta tena mpaka nchi hii, kwa maana sitakuacha, hata nitakapokufanyia hayo niliyokuambia.

  • @chigenyej.bidyanguze9843
    @chigenyej.bidyanguze9843 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ibilisi huwa haongei uwongo bali anapindisha kweli. Shehk naona anatumia mbinu zilezile.
    Mkristo wewe ,Ukikutana na shetan anaongea ukweli wala usimuamini.

  • @Diani_lifestyle-254.
    @Diani_lifestyle-254. 9 หลายเดือนก่อน +1

    Good story...but anashindwa kutofautisha ukristo wa ukweli na waubiri wa uwongo

    • @jamillahshabani7961
      @jamillahshabani7961 8 หลายเดือนก่อน

      Sio wewe ndo utakuwa haujaelewa amesema Uislam ni ya asil Toka kwa nabii Adam ila ukristo ulivyokuja ndio ilikuwa itirafu ya kuupotosha Uislam kiuhalisia Uislam ni Dini ya Asil kabisa sikiliza vizur

  • @peteremanuel8022
    @peteremanuel8022 9 หลายเดือนก่อน

    Hivi nyinyi waislam kwa nini mnapenda kufundisha habari ambazo haziwahusu? Nyinyi fundisheni habari za makah na madina huko ndiyo nyumbani kwenu

  • @zakayolazoro48
    @zakayolazoro48 9 หลายเดือนก่อน +1

    Sure shida yako nini jamani unaereza vizuli ndiyo rakini hebu tumia korowani kusoma isitoria nahuwezi kwasababu siyo kitabu Cha mungu nayesu hakutabili muhamadi mwajidaganya Yani bado hujasema paka useme Yani bado okokeni mwisiramu yoyote Hana roho mutakatifu ata huyo munae mufata Hana ata ishimairi Hana poreni

  • @georgemassebu2083
    @georgemassebu2083 9 หลายเดือนก่อน

    Msikiti una ngazi za kwenda Mbinguni??? Mmmmh jamani

  • @geey7893
    @geey7893 9 หลายเดือนก่อน

    Mazinge na uchawi wake ajifunze kwako. Aache Matusi mbwa yule😮

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 3 ปีที่แล้ว

    Allah Akbar

  • @ismailjumanne1609
    @ismailjumanne1609 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakuelewa kweli

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @eastafricacommunitybunge3643
    @eastafricacommunitybunge3643 3 ปีที่แล้ว +3

    Somali vipi Iraq vipi Oman Yemen syria Israel inaamani kuliko nchi hizo

  • @godfreyobadiah7892
    @godfreyobadiah7892 ปีที่แล้ว +2

    Lilipojengwa ni kale mwenyewe mfalme Suleiman hakuita msikiti, kwan mafundisho ya Yesu na Mohamad hawakuwepo enzi hizo liliitwa synagog yaani nyumba kuabudia.

    • @alidyaya4512
      @alidyaya4512 9 หลายเดือนก่อน

      ni sinagogi but kwa tafsiri ya biblia sinagogi ni nini?

    • @arafatali2796
      @arafatali2796 9 หลายเดือนก่อน

      Sinagog maana yake ni msikiti ulizoa vizur kanisan mchunganji wako akuambie ukweli

  • @omaar5693
    @omaar5693 3 ปีที่แล้ว

    28:15 yani hapo ullvyokibeba begani hiko kitabu ukichsnganya na hizo pozi umenimalaza kweli

  • @flova7022
    @flova7022 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ukiniambia wayahudi wamelaaniwa nakua mgumu kuamn. The chosens wawe cursed kweli

    • @alidyaya4512
      @alidyaya4512 9 หลายเดือนก่อน +1

      waliuwa mitume ya mungu

  • @yasiniselemani2412
    @yasiniselemani2412 3 ปีที่แล้ว +1

    Elim Bahar

  • @user-mu8re6vp5s
    @user-mu8re6vp5s 9 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah God bless you wherever you are Amin🙏🥰

  • @neemamajana3078
    @neemamajana3078 9 หลายเดือนก่อน

    Ninyi Waislam ambao hamjalaaniwa, mbona nchi za waasisi wenu zote vita inatokana na nini? Kama hamkulaaniwa huwa ujasili wa kujitoa mhamga munautoaga wapi??? Nyie ndio muliolaaniwa tena kwa laana jehanamu ndiyo nyumbani kwenu. Wauaji wakubwa ninyi.

  • @vanessanjarabi4167
    @vanessanjarabi4167 9 หลายเดือนก่อน

    Umejaaliwa kutoa mafundisho ktk kukua kwangu na kwenda kanisani sikuwahi kuwa naelewa mambo kadha wa kadha na historia hizi nilikuwa na kiu ya kuzijiua sikujua km kuna Mwalimu mzuri wa ku translate

    • @user-vu2kg8bh5f
      @user-vu2kg8bh5f 9 หลายเดือนก่อน

      Yah huyo ndio doctor sure mataala wa history

  • @hamisikibula9694
    @hamisikibula9694 3 ปีที่แล้ว +1

    🇵🇸🇹🇿🙏🏿

  • @moureenkyusa423
    @moureenkyusa423 9 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅😅😅😅 Biblia amuchagi ata siku moja😅😅😅😅😅

  • @ericsallu3237
    @ericsallu3237 ปีที่แล้ว

    Kama Sisi Watanzania tuna hitimishaje?

  • @godfreyobadiah7892
    @godfreyobadiah7892 ปีที่แล้ว

    Sasa wamerudi wajukuu zao na walioujenga, wanaitwa wayahudi hawamtambui Yesu wala Mohamad hapo sasa kizungumkuti.

  • @flova7022
    @flova7022 9 หลายเดือนก่อน +2

    Kwahiyo Yerusalem alipozaliwa Yesu waislam mnasema penu? Daah. Nyie mtapigika Kila siku nko paleeeeeee.. Israel will always stand. Palestinians na waarabu wengine wawe wapole ....

    • @alidyaya4512
      @alidyaya4512 9 หลายเดือนก่อน

      kwani ukristo umeanzia wapi unavojua ww?

    • @geey7893
      @geey7893 9 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂Wataendelea kuchezea Cosovo

    • @flova7022
      @flova7022 9 หลายเดือนก่อน

      @@alidyaya4512 najuaa nachokiandika..ndugu..unamjuaa mtoto WA jacob- Juda - Daudi the Yesu Kristo...
      Swala ni hivi sehem ya wote palestina wanataka pawe pa kwao Tu akati Babu yetu Ibrahim ...alituzaaa wote pale na Bibi yetu Sara akazikwa pale..
      Na wayahudi ndio babayao huyohuyo ..Hadi Suleiman alijenga hekalu palee....
      Vivyo hivyo ndugu zetu waislam ..pale Kuna masjid Al aksa...easly ..pale ni pa wote atayejifanya pake Peke Ake tunambonda.

    • @flova7022
      @flova7022 9 หลายเดือนก่อน

      @@alidyaya4512 utata unakuja ..atakaye mbadiki Israel naye atabarikiwa and vise versa...Sasa Israel ni yupi...hapo mjuee....atakaye mgusa Israel hata kama ni tanzaniaa atapigika ...huyo ni taifa teule ...sisi mataifa mengine tuwe wapole

    • @flova7022
      @flova7022 9 หลายเดือนก่อน

      @@geey7893 eti Kosovo hahahahaha dAhh nimechekaa Sana...Ila nyie jamaa...nawaambieni...sisi watu watatu tupendane.. wayahudi, waislam na wakristu tupendane sisi ndugu...

  • @hassaniharuna1010
    @hassaniharuna1010 ปีที่แล้ว

    Kusoma kitabu cha mungu inahitaji Akili nyingi Sana Sio wachungaji wenu wanasoma Kama wanasoma mwanasport au Habari leo

    • @flova7022
      @flova7022 9 หลายเดือนก่อน

      Wachungaji WA kinanani

  • @sheikhbachil
    @sheikhbachil 9 หลายเดือนก่อน

    Nipe namba za uyu dr sule

  • @AbJsm
    @AbJsm 3 ปีที่แล้ว +1

    M.MUNGU KAWA ANA KITI ?

    • @tibambinga1303
      @tibambinga1303 9 หลายเดือนก่อน

      Ndiyo soma qurani 2:255

  • @joezeno8
    @joezeno8 3 ปีที่แล้ว +1

    Sulle sio msomi, ni tapeli na mhuni wa kiislamu, anatafuta Ugali kwa nguvu

    • @kibaikiramadhani1475
      @kibaikiramadhani1475 3 ปีที่แล้ว +3

      Ww msomi njoo ueleze wajumbe ndio kila atachosema mchungaji kila kitu ndio hata akisem nimepewa maono nimuoe mke ni ndio hakun hapana

    • @joezeno8
      @joezeno8 3 ปีที่แล้ว

      @@kibaikiramadhani1475 unasahau Muhammad kaambia Maswahaba zake yeye ana ruhusiwa kuoa wake zaidi ya wanne, Uoni kama huo ni usanii

    • @fadhilikawambwa1586
      @fadhilikawambwa1586 3 ปีที่แล้ว +2

      WAHUNI WAZAZI WAKO WALOKUPATA BILA DUAH.NDIO TABU MNAZALIAWA KAMA WANYAMA BILA KUADHINIWA MBWA WW

    • @ummuhkhalfan5542
      @ummuhkhalfan5542 3 ปีที่แล้ว +2

      @@fadhilikawambwa1586 kawambwaa jamn kweli mengine yanakera had unataman unyonge mtu lakin kuwa na subira ALLAH Mtukufu ametufundisha kulingania kwa lugha lain japo ujumbe ilibidi umpate firaun mtume wetu MUHAMMAD S.A.W piah alikuwa mfano kwetu. Ila wenzetu nao wanatukera sana yaan kakitu kadogo mtume wenu mbona mungu wao c hatumsemi tenah yeye ndo ana mengi ya kusemwa lakin twamuheshim Nabii wa Allah

    • @ummuhkhalfan5542
      @ummuhkhalfan5542 3 ปีที่แล้ว +3

      @@joezeno8 nyie nanyi kakitu kadg mtume wenu TUMEWACHOKA MBONA NYIE HUYO MNAEMUITA MUNGU AMA MWANA WA MUNGU ANA SABABU ZA KUSEMWA LAKIN HATUMSEM KWA SABABU TWAJUA NI NABII WA ALLAH NA YEYE NA MTUME WETU MUHAMMAD S.A.W SAWA ILA MUHAMMAD YUPO JUU KULIKO HUYO MNAEMUAMINI NYINYI SASA MUISLAM AKIKUKERA MTUKANE MWENYWE ILA USIMTUKANE MUNGU WAKE WALA QURAN YAKE WALA MTUME WAKE WALA WAZAZI WAKE WE DILI NA ALIEKUKERA KUMUINGIZA ASOKUWEPO NI KUKWEPA MADA

  • @hasinaali4761
    @hasinaali4761 3 ปีที่แล้ว +3

    Allah azidi kukupa ilmu

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @jacksonmwafongo1917
    @jacksonmwafongo1917 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah

  • @HassanJambia
    @HassanJambia 9 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah