KISA CHA WATU WA NABII LUTWI. SHEIKH NURDEEN KISHK

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ม.ค. 2021
  • Khutba ya Ijumaa iliyotolewa na Sheikh Nurdeen Kishk Masjid Ihsaan Veternary Temeke Tarehe 12/2/2010, mada ikielezea kisa cha watu wa Nabii Lutwi, ni kisa gani fatilia hadi mwisho upate kuelimika na tunaomba usambaze ujumbe huu kwa wingi na Allah atawalipeni InshaAllah.

ความคิดเห็น • 84

  • @user-xb4jv2bq3k
    @user-xb4jv2bq3k 9 หลายเดือนก่อน +3

    Unaniliza sana sheikh kuhusu mawaidha yamaangamizi mungu atunusuru na kufru hizo ishaallah

  • @muniramtika3614
    @muniramtika3614 ปีที่แล้ว +3

    Subhanallah! Kumbe ndivo ilivokuwa Ee M/mungu tusamehe sis waja wko

  • @hassangwamarungu2766
    @hassangwamarungu2766 ปีที่แล้ว +4

    Allah ampe umri mref shekh wetu kishk maana amekuwa ni kiooo Cha jamii ya kiislaamu 🤲🤲🙏

  • @johntay8813
    @johntay8813 3 ปีที่แล้ว +7

    Shekhe labda Allah akuzidishie kwa kutuelimisha mengi mema Allah akupe umri mrefu Allahumma Amiiin yaarrabby kwa uruma zako

  • @aisharajimbo6784
    @aisharajimbo6784 3 ปีที่แล้ว +7

    Masha Allah shekh wetu mungu akulinde

  • @johntay8813
    @johntay8813 3 ปีที่แล้ว +4

    Shukran Shekh wetu Allah akuifadhi na akukinge na vijicho Allahumma Amiiin yaarrabby

  • @abdulmwakubambanya9091
    @abdulmwakubambanya9091 ปีที่แล้ว +3

    Barakh Allah fikh

  • @habibuamani8872
    @habibuamani8872 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah akujaze kheri Allah sheik wetu we love you most in kenya.

  • @johntay8813
    @johntay8813 3 ปีที่แล้ว +9

    Yaa Allah tupe mwisho mwema nautukinge nawatu wachafu kama hao nauwongoze kizazi chetu na vijuku vyetu Allahumma Amiiin

  • @husseinibrahim5438
    @husseinibrahim5438 11 หลายเดือนก่อน +1

    SHUKRAN JAZELAN SHEIKH .

  • @uchauchanangwale436
    @uchauchanangwale436 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah mng ni mwema Allah tuongoze katka njian iliyonyooka

  • @ZubedaMwalimu
    @ZubedaMwalimu หลายเดือนก่อน

    Alla atuepushe na hiyo laana shekhe kishki alla akulinde aku hifadhi tuendelee kupata ukumbusho alla imma amin

  • @user-lm4bp4ku4z
    @user-lm4bp4ku4z 9 หลายเดือนก่อน +2

    Yaarab tujaalie mwisho mwema inshaalah

  • @mwawekomiuda5777
    @mwawekomiuda5777 3 ปีที่แล้ว +5

    Mtihani mkubwa sana . Na watu wanapenda kuiga sana. Lkn wajue tu wakifa watakwenda kuwekwa Ardhi ya sana na kaumu ya Luti . Dhahir iko wazi ghadhabu za ALLAH ni kali mno

  • @zaitunimsumi1007
    @zaitunimsumi1007 3 ปีที่แล้ว +4

    M mungu atunusuru ni mtihani mkubwa Sana. M mungu tunusuru vizazi vyetu vilivyotangulia na vitakavyofata

  • @AbubakarIddy
    @AbubakarIddy 2 หลายเดือนก่อน

    Allah atuhifazi kwa huruma wake ameen.

  • @hasnahasna7872
    @hasnahasna7872 ปีที่แล้ว +2

    La ilaha illa llah mohamadan rasulullah

  • @RashidiMubiri
    @RashidiMubiri 2 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah❤❤❤

  • @lailachaka5334
    @lailachaka5334 3 ปีที่แล้ว +4

    Shukuran kwa kutuelimisha Allah akupe umri mrefu na uzidi kutuelimisha na akupe wepesi kwa kila jambo INSHAALLAH,,,, ya Rabbi tuepushe na adhabu ya kabir na moto wa jahannam,,,,nautupe mwisho mwema Amiin

  • @abubakarsadiq8179
    @abubakarsadiq8179 3 ปีที่แล้ว +3

    Shukran sheck kishki,,,,ALLAH akulinde na akujalihe utuelemishe IN SHA ALLAH

  • @MaalimAbdii
    @MaalimAbdii 22 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤ MashaAllah

  • @leilazulpha3205
    @leilazulpha3205 3 ปีที่แล้ว +1

    Jazakalau Allah akulipe kila la kheri na hakika ukumbusho humfa mwenye kuamini

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 2 หลายเดือนก่อน

    Allah atustiri yarabi

  • @mohammadalfani8004
    @mohammadalfani8004 3 ปีที่แล้ว +2

    Allah akubariki sheikh wetu kishki...

  • @user-jz8sj5us1h
    @user-jz8sj5us1h 10 หลายเดือนก่อน

    Subhanna Allah 😥😥YARAB tujalie mwisho mwema yarab 🤲🤲

  • @zainabmaulidi9846
    @zainabmaulidi9846 2 ปีที่แล้ว +7

    SWALLALAHU ALLEYH WASALLAM
    SWALLALAHU ALLEYH WASALLAM
    SWALLALAHU ALLEYH WASALLAM
    🧡❤🧡❤🧡❤

  • @user-xu2zb7fq8w
    @user-xu2zb7fq8w 3 หลายเดือนก่อน

    jazakha alhah

  • @TshiendaH
    @TshiendaH 2 ปีที่แล้ว +3

    Maa shaa Allah may Allah Grants him best rewards in this life and hereafter

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 2 หลายเดือนก่อน

    Allahu akbar

  • @ftimaramadan4748
    @ftimaramadan4748 3 ปีที่แล้ว +2

    INA Lilah waina ilaihi rajiun

  • @fatumasamow9250
    @fatumasamow9250 11 หลายเดือนก่อน

    Subhanallah mungu atupe mwisho mwema amiiiin ya rabiiii

  • @kizamaulidi6004
    @kizamaulidi6004 ปีที่แล้ว +1

    Subhanallah

  • @umm-hansuleiman-md6ch
    @umm-hansuleiman-md6ch ปีที่แล้ว +1

    Allah tulinde sisi na vizazi vyetu

  • @asiahassan6323
    @asiahassan6323 3 ปีที่แล้ว +2

    Yarabii stara Allah tulinde na vitendo vichafu na viovu na vizazi vyetu asante sheikh

  • @user-iu8hi9em6t
    @user-iu8hi9em6t 3 หลายเดือนก่อน

    Allah atunusuru

  • @halishmwarua2957
    @halishmwarua2957 3 ปีที่แล้ว +2

    Allah hatuogoze in sha Allah

  • @user-zz2ik8sk7e
    @user-zz2ik8sk7e 11 หลายเดือนก่อน

    Daaa,

  • @johntay8813
    @johntay8813 3 ปีที่แล้ว +1

    Subhaanaallah Allah Atunusuru na watu kama ao ao waume kama ao sitaki

  • @ShabalalahHashim-vy9vd
    @ShabalalahHashim-vy9vd 8 หลายเดือนก่อน

    Inailai rajiun

  • @shamyrahma5578
    @shamyrahma5578 2 ปีที่แล้ว +2

    Kishki nisheikh wangu mzuri kabisa

  • @muhsinwazir418
    @muhsinwazir418 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah akuhifadhi shekh

  • @rehemasalim4590
    @rehemasalim4590 3 ปีที่แล้ว +3

    Kwakweli sie tunachezea mda waliopo makaburin wanathaman lau dakika wapewe Allah atuongoze

  • @killerboe313
    @killerboe313 3 ปีที่แล้ว +1

    Nasikia shekh zinaa imegawanyika

  • @muhsinwazir418
    @muhsinwazir418 3 ปีที่แล้ว +2

    الله يحفظك

  • @munamuna7488
    @munamuna7488 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah atuepeshe na yalio tawala miaka hii

  • @zainabmaulidi9846
    @zainabmaulidi9846 2 ปีที่แล้ว +2

    SubhanaAllah 😰😰😰

  • @rehemasalim4590
    @rehemasalim4590 3 ปีที่แล้ว +1

    Zamani sana akasha dawaa uzur wa elimu haichoshi

  • @aisharajimbo6784
    @aisharajimbo6784 3 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah

  • @hassanibrahim2165
    @hassanibrahim2165 3 ปีที่แล้ว +1

    Jazallah kheir sheik

  • @hamidanoor5307
    @hamidanoor5307 3 ปีที่แล้ว +1

    Jazakallah

  • @aminasalim2827
    @aminasalim2827 3 ปีที่แล้ว +1

    mwenyezi mungu atupe mwisho mwema Amin

  • @kalimusalumukiwangasalumuk7911
    @kalimusalumukiwangasalumuk7911 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah akupe umri mlef

  • @mariumpeter6147
    @mariumpeter6147 3 ปีที่แล้ว +1

    Samahani wapendwa naomba mwenye ya Ust.Habib Mazinge anisaidie

  • @mwalimuyesu8654
    @mwalimuyesu8654 2 ปีที่แล้ว +1

    ,

  • @FatumaMartin
    @FatumaMartin 7 หลายเดือนก่อน

    Natamani kizazi changu chote kiweze kushika dini na kuielewa na waweze kutoa darsa kama zako

  • @assfzainab912
    @assfzainab912 2 ปีที่แล้ว

    KUMBE KULIKUWA NA UMMA ULIOKUFURU IVYO

  • @muhsinwazir418
    @muhsinwazir418 3 ปีที่แล้ว +1

    ولكل قوم هاد

    • @t.jsaidia2047
      @t.jsaidia2047 3 ปีที่แล้ว +1

      Nashukuru kwa mawaidha mazuri..

    • @faridahalwaily85
      @faridahalwaily85 3 ปีที่แล้ว

      Allaah Akuhefadhi sheikh kuzidi kutuelimishaaa kwa ummmaah

  • @johnmanyanza1806
    @johnmanyanza1806 3 ปีที่แล้ว

    Is x

  • @ericalexandre2166
    @ericalexandre2166 3 ปีที่แล้ว

    Watu wa Sodoma na Gomora waliuwawa kwa moto

  • @RashidiMubiri
    @RashidiMubiri 2 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah❤❤❤

  • @muniramtika3614
    @muniramtika3614 ปีที่แล้ว

    Subhanallah! Kumbe ndivo ilivokuwa Ee M/mungu tusamehe sis waja wko

  • @bellbell9294
    @bellbell9294 3 ปีที่แล้ว +3

    Yaraab tuongoe ss na vizazi vyetu tunategemea rehema zako Mola wetu mlezi Aamiin

  • @roqayaro9439
    @roqayaro9439 ปีที่แล้ว

    Subhanallah

  • @mkenyahalisi8572
    @mkenyahalisi8572 ปีที่แล้ว

    Subhanallah

  • @rehemasalim4590
    @rehemasalim4590 3 ปีที่แล้ว +1

    Subhanallah

    • @GjHk-vm1xs
      @GjHk-vm1xs ปีที่แล้ว

      Mungu atupe mwisho mwema

    • @rachaeletoot3577
      @rachaeletoot3577 ปีที่แล้ว

      Asalamwalekum .Shekh natamani nisome kwako wallahi mungu ani wangoze nisome kwako kwel niko rondwa