DR.SULLE: NI MTOTO YUPI ALIE TAKIWA KUCHINJWA KATI YA ISMAIL NA IS-HAQA || KUPITIA VITABU VYA KALE.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 153

  • @mpetaamarijani2656
    @mpetaamarijani2656 ปีที่แล้ว +3

    Shukrani sana Dr Sulle nakupenda Kwa ajilii ya Allah❤

  • @hamadhilal2997
    @hamadhilal2997 3 ปีที่แล้ว +8

    Asalamu alaikum warahmatu llah..Shukran dcr sule kwa kutuelimisha,,samahn dct sule hio aya unayo isoma hapo inayo husiana na miezi 12.. haipo katka suratu israil, bali ipo katika suratu Atauba aya ya 36 kama sijakosea, lakn zaidi tusaidianen kukumbushana..Allah ndo mjuzi zaid..

    • @JamuhuriIsaya
      @JamuhuriIsaya 6 หลายเดือนก่อน

      Acha uongo Ismaeli hakuzaliwa na Sara

  • @kaxhovizoking5256
    @kaxhovizoking5256 3 ปีที่แล้ว +5

    Mwenyezi mungu akufanyie wepes sheikh suleh

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 3 ปีที่แล้ว +1

      Cjakuelewa amfanyie wepesi kwakupotosha watu au? Tengua kauli

    • @amaizingjoetz
      @amaizingjoetz 3 ปีที่แล้ว

      @@francisjoseph1074 hahaaaa bila kudanganya mambo hayaendi kabisa

  • @AlhajiSaidi-uo8zl
    @AlhajiSaidi-uo8zl ปีที่แล้ว +1

    mungu ukuruzuku zaidi

  • @osmankabete2493
    @osmankabete2493 3 ปีที่แล้ว +3

    Mwenyezi Mungu akupe wepesi katika daawah.....

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

    • @fadhilikawambwa5159
      @fadhilikawambwa5159 3 ปีที่แล้ว

      amina

    • @editrudesmbonde9051
      @editrudesmbonde9051 ปีที่แล้ว

      Mwenyezi Mungu akupe uzito kwenye dawaah. Iwe giza kama usiku.😎😂

  • @fadhilikawambwa5159
    @fadhilikawambwa5159 3 ปีที่แล้ว +3

    DR SULLEY mwenyezi mungu akuhifadhi unatupa maarifa makubwa sana.familia yangu inakupenda sana.

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +2

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @vimkhamis2794
    @vimkhamis2794 ปีที่แล้ว

    Allah akuhifadhi

  • @vedastusngaiza5960
    @vedastusngaiza5960 2 ปีที่แล้ว

    Briliant

  • @Simulizitulivuu
    @Simulizitulivuu 3 ปีที่แล้ว +1

    MASHA'ALLAH DR SULE KMA INAWEZEKAN TUPE NA HISTORY YA YESU KUBATIZWA KWAKWE JE KWELI ALIBATIZWA AU!! INSHA'ALLAH

    • @hamisimgosi564
      @hamisimgosi564 3 ปีที่แล้ว

      anataka mistake lini ya haki ni uislam ndio iliyo andikwa kama ni dini wap biblia sehem iliyo andikwa ukristo ni dini

    • @stephenmnkande8192
      @stephenmnkande8192 ปีที่แล้ว

      @@hamisimgosi564 Dini zote zilianzishwa na Binadamu. Mungu hana dini bali anataka watu wote wamwabudu yeye. Vitabu vyote vimeandikwa na wanadamu tu inawezekana ikawa ni kwa uwezo wa mungu au kwa utashi wao tu kutegemeana na imani ya mtu mmoja mpaka mwingine

    • @hasaniabdalah6148
      @hasaniabdalah6148 ปีที่แล้ว

      @@stephenmnkande8192 hebu andika na wewe tuone utashi wako vitabu vya mungu

  • @francisjoseph1074
    @francisjoseph1074 2 ปีที่แล้ว +4

    Unatumia nguvu kuutetea uislam

  • @aminikingazi273
    @aminikingazi273 3 ปีที่แล้ว +2

    Tunajifunza mengi sana kupitia channel hii na Dk. Sule
    Allah akulipeni kila la kheri

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

    • @fadhilikawambwa5159
      @fadhilikawambwa5159 3 ปีที่แล้ว

      ni kweli kabisa.amin

  • @saidmwatela8811
    @saidmwatela8811 ปีที่แล้ว

    Allah akbarik

  • @sawdaasawdaa7903
    @sawdaasawdaa7903 3 ปีที่แล้ว +1

    Walimu wa duniyani jamani masha Allah huwa sipiti nikiona mabingwa wa elim

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @sharomdguda
    @sharomdguda ปีที่แล้ว

    Swali km uislam ni dini ya kweli kwa Nini duniani kote kwa Sasa mjadala ni mkubwa sana haiaminiki km mtume Muhammad ni nabii kweli kweli. Km Muhammad alitumwa na Mungu hakika yesu hakuja duniani. Km Yesu kuja duniani basi Muhammad hakuja.

  • @zaiduissa3712
    @zaiduissa3712 3 ปีที่แล้ว +2

    Na kiebrania Ishmaell maana yake mungu amesikia yaani ishma'a na isma'a maana yake ckia ell ni mungu yani mungu amesikia dua ya Ibrahim ya kuomba mtoto

  • @ناديهترتوب
    @ناديهترتوب 3 ปีที่แล้ว +3

    Doctor sule popote ulipo Allah atujaalie kila la kheri,kuna dawa ulielezea mtu akifanya ivyo itamsaidia wallah nimejaribu kweli imefanya kazi kwa uwezo wa Allah

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

    • @ناديهترتوب
      @ناديهترتوب 3 ปีที่แล้ว

      @@zvpOnlineTv afuan

    • @mawazojafary
      @mawazojafary ปีที่แล้ว

      Yes on

  • @nassorhemed782
    @nassorhemed782 3 ปีที่แล้ว

    Inshallah

  • @benedictmrisho2361
    @benedictmrisho2361 3 ปีที่แล้ว +3

    Yaonekana utimilifu wamaandiko matakatifu ni agano Jipya. Haijalishi dini gani lakini vigezo vya kupima ukweli juu ya Mungu vipo. Mungu hajifungamanishi na wazinzi na waabudu ama wenye ushirika na majini.

    • @fadhilikawambwa5159
      @fadhilikawambwa5159 3 ปีที่แล้ว

      kwa hiyo maneno ya mungu ya amendment ya mwanadamu.nabii gani kaleta agano jipya

    • @editrudesmbonde9051
      @editrudesmbonde9051 3 ปีที่แล้ว

      Bravoooo!!👍 Mr.Benn.
      Sema kweli ili kweli ituweke HURU tena HURU KWELI KWELI🙏🙏🙏

    • @hamzaswaibu9470
      @hamzaswaibu9470 2 ปีที่แล้ว

      Benedict
      Chuki wala hazisadii chochote

    • @stephenmnkande8192
      @stephenmnkande8192 ปีที่แล้ว +1

      @@fadhilikawambwa5159 hii ni kuonesha ni jinsi gani elimu yako ilivyo ndogo juu ya imani za watu wengine. AGANO JIPYA sio kitabu kimoja bali ni muunganiko wa vitabu vingi (27) ambavyo vinajumuisha Injili, Matendo ya Mitume, Nyaraka za Mitume pamoja na Ufunuo.

    • @flova7022
      @flova7022 ปีที่แล้ว

      @@fadhilikawambwa5159 wechenga Sana..kitu kama hukijui fyata kia

  • @benedictmrisho2361
    @benedictmrisho2361 3 ปีที่แล้ว +3

    Maandiko yanasema ni kwa neema tu utafunuliwabl siri kuu za Mungu. Bila kufunuliwa na Roho Mtakatifu ni bure tu. Mtayasoma kama wapima vitu duniani ama orodha lakini hayataeleweka. Endapo Mungu angependezwa sana mf naya Suleiman hakika hadi leo lile hekalu lingekuwepo na malaika wakililinda. Ikiwa kweli alishirikisha majini hata ule mchanga tu hautakuwepo. Muogopeni Mungu. Msimfungamanishe na mapepo, majini, fahari za dunia na hasa zinaa. Nabii alikengeuka Mungu huweka mbadala wake. Kila nabii alikuwa na mema na mapungufu kama mwanadamu kasoro nabii mmoja . Nani huyo? Endelea kusoma "maandiko matakatifu"

    • @saidsuleiman1753
      @saidsuleiman1753 3 ปีที่แล้ว

      Hivyo ndivyo mlivyo ongopewa na kuwa brain washed tumia akili ya kizaliwa na fanya utafiti. Hao wazingu waliokufundisha huo uongo wenyewe hata makanisa hawayajui.

    • @Simulizitulivuu
      @Simulizitulivuu 3 ปีที่แล้ว

      Et kuelewa mpka uwe na roho mtakatifu dah yan hapo ndio mnavyodanganywa yan maandish yapo wazi kabsa lakin kuelewa mpka roho mtakatifu dah wakristo amken wazee

    • @Arishafa547
      @Arishafa547 ปีที่แล้ว

      Wakiristo dawa inapenya mahali pake

    • @stephenmnkande8192
      @stephenmnkande8192 ปีที่แล้ว

      @@saidsuleiman1753 Wazungu hawayajui Makanisa lakini wakati huo huo mnadai Ukristo umeletwa na wazungu. Tuwaeleweje sasa ninyi watu?

    • @saidsuleiman1753
      @saidsuleiman1753 ปีที่แล้ว

      @@stephenmnkande8192 sasa ndio akili ya kuambiwa changanya na yakwako utapata majibu , ni kweli wamewaletea Ukristo na kweli wenyewe hawaendi Makanisani sasa hapo jiulize mwenyewe why kisha utapata majibu.

  • @nicholouskavindi8512
    @nicholouskavindi8512 3 ปีที่แล้ว +2

    Km wewe n muislamu soma wagalatia4:22-31 ndipo utaelewa alichokizungumza Dr sule tulia vizuri soma ukiwa huna papara halafu rudia kumsikiliza Dr sule utanishukuru Bwana Yesu asifiwe

    • @fadhilikawambwa5159
      @fadhilikawambwa5159 3 ปีที่แล้ว

      ukisoma wewe inatosha.

    • @mustaphabinsuleman6743
      @mustaphabinsuleman6743 3 ปีที่แล้ว

      Unajua maana ya bwana yesu asifiwe ?

    • @mustaphabinsuleman6743
      @mustaphabinsuleman6743 3 ปีที่แล้ว

      Tatizo unamfuata yesu alaf haumuelewi yesu ngoja nikufundishe salaam ya yesu aliyokua akiwasalimia watu na wewe ujifunze kusalimia watu Yohana 20:19

  • @editrudesmbonde9051
    @editrudesmbonde9051 3 ปีที่แล้ว +1

    Ishmail,alizaliwa kwanza kabla ya Isaack,so Hajra alifukuzwa na Ishmaill mwanae,lakini hakutakiwa kuchinjwa.
    Isaack alizaliwa baada ya Ishmail kuondoka nyumbani kwa Ibrahim .
    Maana Mungu alimtaka Isaack kwa ahadi zake na si Ishmail.
    Hakuna mtoto alitaka kuchinjwa kati yao.
    Sule kasome tena unadanganya watu.🙏🙏🙏

    • @nooraallahuakibarumwenyeez3079
      @nooraallahuakibarumwenyeez3079 3 ปีที่แล้ว

      Na ww kasome vizury ismayr alitaka kuchinjwa ndiyo mungu akamleta mnyama wa fidiya kutoka mbingun

    • @editrudesmbonde9051
      @editrudesmbonde9051 3 ปีที่แล้ว

      @@nooraallahuakibarumwenyeez3079 Yaani we ndo hujui kitu,mimi naona wewe ni mmoja wa wale wanaojiita waislam lakini maana ya Islam hawa jui,pole sana Nora.
      Ngojea nikusaidie,mtoto wa Ibrahim ambaye alikuwa anaitwa Isaack,ndiye aliyetakiwa kutolewa sadaka ya kuteketeza pale mlimani.
      Hii ilikuwa ni kupimwa kwa IMANI ya Ibrahim,Mungu akaleta Kondoo instead ok.
      Bado unatakiwa kusoma tu dear,utake usitake kasomeeeeee!!🐱

    • @nooraallahuakibarumwenyeez3079
      @nooraallahuakibarumwenyeez3079 3 ปีที่แล้ว

      @@editrudesmbonde9051 ss tusibishane lete andiko au aya au hadithi siyo uzungumze tuu

    • @stephenmnkande8192
      @stephenmnkande8192 ปีที่แล้ว +1

      Jamaa ni mwongo kweli. Anaunganisha imani yake na kusoma vitabu vingine kwa anavyoona yeye na kutaka kudanganya watu.

    • @stephenmnkande8192
      @stephenmnkande8192 ปีที่แล้ว

      @@nooraallahuakibarumwenyeez3079 andiko gani kwenye Biblia Ismail alikuwa anataka kuchinjwa?

  • @MAPETEE
    @MAPETEE 3 ปีที่แล้ว

    Asant sanaaa

  • @speriussimba6717
    @speriussimba6717 2 ปีที่แล้ว +2

    Dr sure uelewe kuwa smail alizaliwa kwa mapenzi ya mwili yaan kwa matakwa ya Sarah Ila mtoto aliezaliwa kwa mapenzi ya Mungu ni Isack ndo maana mpk leo isack anaonekana ni mtoto wa kwanza kwa Ibrahim alafu unavyosoma unaona Sarah yeye ndo alimpa ibrahim mjakazi lkn taratibu za kuoa kipindi icho hakuna iliyofutwa na je kwan huyo kijakazi hakuwa na wazaz?

    • @mussachichajr
      @mussachichajr ปีที่แล้ว

      Muongo

    • @hassanisaidi5422
      @hassanisaidi5422 5 หลายเดือนก่อน

      Kwa hyo wale Wana wa Israel,yaan watoto 12 wa yakobo walizaliwa kw namna ipi?

  • @bigmanfish6346
    @bigmanfish6346 8 หลายเดือนก่อน

    Mashekh mbona hamufati Sunna. Mnavaa vishati na visuruale hamueki ndevu mnanyoa kila kitu kunani????

  • @sarastephano3409
    @sarastephano3409 ปีที่แล้ว

    mbona unaruka sehemu zingine Kuna sehemu Ibrahim alizungumza na mungu kuhusu wanawake zake mungu akamwambia msikilize mke wako wafukuze

  • @mobigo2unlocker-iv7kn
    @mobigo2unlocker-iv7kn ปีที่แล้ว

    😢mh
    Uongo mtupu maana Israel ni mfano tu.izo lawama tu

  • @sethmdj
    @sethmdj ปีที่แล้ว

    Refer 43:15 kwenye video hii, Dr. Dulle anasema kwenye Kitabu cha Mwanzo kuna mahali imeandikwa kuwa Nuhu alizini na binti zake. Ni Aya gani na msitari gani haya maandiko yanapatikana?

  • @francisjoseph1074
    @francisjoseph1074 3 ปีที่แล้ว +3

    Haahaaa ,ila waislam wanachekesha kweli ,ivi Ismail unabii aliutolea wapi na huo unabii aliufanyia wapi?

    • @saidsuleiman1753
      @saidsuleiman1753 3 ปีที่แล้ว +2

      Tafuta walimu wakufundishe usiamini mistari michache anayokusomea mchungaji, Tafuta walimu wakusomeshe Bible utajua utajua mambo mengi.

    • @fadhilikawambwa5159
      @fadhilikawambwa5159 3 ปีที่แล้ว

      @@saidsuleiman1753i unajua hao jamaa sijui kama vichwa vyao viko sawa.wanalaana kweli .kwanza kusema tu nabii alizini ni kosa.

    • @hamzaswaibu9470
      @hamzaswaibu9470 2 ปีที่แล้ว

      @@fadhilikawambwa5159 Yaani ni mtihani

    • @stephenmnkande8192
      @stephenmnkande8192 ปีที่แล้ว

      @@saidsuleiman1753 yaani Uislamu uliokuja miaka 600 baada ya Kristo ndio uje unifundishe Biblia? Wewe kasome Historia vizuri elmu yako ndogo

    • @stephenmnkande8192
      @stephenmnkande8192 ปีที่แล้ว

      @@fadhilikawambwa5159 acha kutusi watu wewe elimu yako ni ndogo sana hata hiyo dini yako mwenyewe unayoiamini huijui vizuri. Soma acha kuamini kukaririshwa

  • @gaomaiko2859
    @gaomaiko2859 3 ปีที่แล้ว +3

    Shuklan kwa mafundisho

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @benedictmrisho2361
    @benedictmrisho2361 3 ปีที่แล้ว +2

    Wapi ushahidi wa dini kutoka bibilia ambako Yesu anajifungamanisha na uislam na hata ushaidi kutoka katika quran unaofungamanisha ahadi( malaika Gibriel na Mariam, kuzaliwa Isa, makuzi yake uttoto hadi kuteswa, kifo, ufufufuko, kupaa na pentekoste. Wapi katika qurani kunaeleza wasifu wa mitume wa nabii Yesu?

    • @fadhilikawambwa5159
      @fadhilikawambwa5159 3 ปีที่แล้ว

      maswali ya kitoto.yesu na muhammad ni ukoo mmoja.inatosha.baki na ujinga wako milele

    • @mustaphabinsuleman6743
      @mustaphabinsuleman6743 3 ปีที่แล้ว

      Ushaidi ktk biblia Soma Mathayo 26:39 yessu anasujudu Je ? Wakristo Kama mnamfuata yessu mbona hamsujudu ?

    • @stephenmnkande8192
      @stephenmnkande8192 ปีที่แล้ว

      @@mustaphabinsuleman6743 hata Muhammad aliyekuja miaka 600 baada ya Kristo aliiga Wayahudi kusujudi. Ndio tusemeje sasa?

  • @vailethmarack374
    @vailethmarack374 3 ปีที่แล้ว +4

    Bado una uwezo kuihubili biblia. Uku unasema ni wazungu uku unasoma maandiko hayohayo. Mnawapotosha wasio jua maandiko ila kwa wenye kufaham. Wataelewa namna unavyo changanya mada.

    • @fadhilikawambwa5159
      @fadhilikawambwa5159 3 ปีที่แล้ว +1

      haya tupe hayo yako yasiopotoshwa.wewe ndio unachanyikiwa sio kuchanganya mada.dr sule ni bahari ya elimu.ukiwa mbumbumbu umuelewi.kama wewe

    • @Simulizitulivuu
      @Simulizitulivuu 3 ปีที่แล้ว

      Vai mama kuwa na mtazamo chanya utaelewa tu

  • @robertlyimo636
    @robertlyimo636 2 ปีที่แล้ว +2

    Kama Ismail alikuwa mweus kwa nini waarabu so weusi

    • @stephenmnkande8192
      @stephenmnkande8192 ปีที่แล้ว

      Bado pia hakuna uthibitisho wa moja kwa moja kwamba Waarabu wote ni uzao wa Ismail. Huo haupo ni uongo na ngonjera tu.

  • @davidgasper1045
    @davidgasper1045 2 ปีที่แล้ว +1

    Unamaanisha muhamad alikuwa mtu nyeusi😉

  • @Mzimba36
    @Mzimba36 ปีที่แล้ว

    Bibria inrivyoandikwa na wanayo itafsiri ni tofaiti wanapotea wakristo

  • @louisejeanne8306
    @louisejeanne8306 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂😂 yahani maneno ya kumtetea Ishmaeli ndio yaliyochungwa hayakuharibiwa! Lakini maneno mengine yaliharibiwa 😅Kweli unachekesha! Mungu akuhurumie sana kwa kuendelea kupotosha watu 😢

    • @California9451
      @California9451 ปีที่แล้ว +1

      Huyu anaujua ukweli Ila anahofia kuyengwa na Waislamu wenzake

  • @janepherjackson9693
    @janepherjackson9693 ปีที่แล้ว

    Hajiri alikuwa kijakazi wa sarah sio bibi mwenzake

  • @francisjoseph1074
    @francisjoseph1074 3 ปีที่แล้ว +5

    Bible inaeleweka na iko wazi kwanzia primary mpaka secondary, na kila mahali wanagawa free unaposema tunasomewa unaonekana kituko, na imetafasiliwa kwa kila lugha na kila kabila zote duniani ili kila mtu anaposoma aweze kuelewa swali ayo makorokocho ya Qur'an ulishaona wanagawiwa watu kwajili ya kujifunza? Au mnaogopa sili zitafichuka?

    • @Arishafa547
      @Arishafa547 ปีที่แล้ว +1

      Unaongea sana kukaribi bila kusoma acha ushabiki soma siyo kuropoka tu

  • @barakambura1362
    @barakambura1362 ปีที่แล้ว

    Na kama kuoa wake wengi ni kutimiza utakatifu, kwanini Sara na Hajri walishindwa kuishi pamoja na wajibu wa Baba wa Imani Abraham juu ya kudumisha amani juu ya wake zake ulikua wapi?
    Kama Hajri ni mke halali wa pili wa Abraham, kwanini baada ya kulalamikiwa na mke mkubwa Sara akarudisha mpira kwa Sara yeye mwenyewe ndo afanye maamuzi juu ya Hajra?
    Naomba ufafanuzi na ikiwezekana nipate direct contact za Dr Sulle nimevutiwa na mafundisho yako sana

  • @Khatib-xp6fp
    @Khatib-xp6fp 4 หลายเดือนก่อน

    Name nda dr sule ni mtu mwenye kujiamini na alichonacho

  • @Khatib-xp6fp
    @Khatib-xp6fp 4 หลายเดือนก่อน

    Tunakupt sh sule hufundsh watanzania tu ata sisi tulioko mbali na tz tunajifunza

  • @barakambura1362
    @barakambura1362 ปีที่แล้ว

    Kuna hoja chache nimekuelewa ila sehemu nyingi umenichanganya
    Natamani niwe mwanafunzi wako

  • @deodatuskanyata4142
    @deodatuskanyata4142 ปีที่แล้ว

    Babako

  • @stephenmnkande8192
    @stephenmnkande8192 ปีที่แล้ว +1

    Wazungu ni kweli wanatubagua watu weusi lakini hii sio kwa wazungu tu bali na watu wengine pia. Mbona hata Waarabu wenyewe walituuza watu weusi kama watumwa huko Zanzibar na Oman? Na hawa hawa ndio walioleta Uislamu Tanzania? Hebu Sule acha kuwashambulia Wazungu ilhali wewe mwenyewe unatumia vifaa na teknolojia walizotuletea hao hao wazungu.
    Mimi nasema ubaguzi wa rangi upo pengine zaidi kwa watu wengine kuliko hata hao wazungu. Leo hii kumuoa mzungu ni rahisi kuliko hata kuoa Mhindi, Mwarabu au watu wengine wowote.

    • @editrudesmbonde9051
      @editrudesmbonde9051 ปีที่แล้ว

      Kaka Steph,mimi YESU kanipa mume Mhindi,hawana shida hawa. Ila kwa kweli Waarabu ni majanga na matendo yao ni balaa,leo wanautesa ulimwengu na issue ya Ushoga,waanzilishi ni wao.
      Kweli hawakutakiwa kuwepo duniani🙏

    • @ashanassoro6492
      @ashanassoro6492 หลายเดือนก่อน

      Kwahiyo watu wa sodoma na gomora walikua waarab kwa ushahidi upi!??? ​@@editrudesmbonde9051

  • @madagascar8873
    @madagascar8873 ปีที่แล้ว

    Quran/ Kuran imeeandikwa kwa lugha gani?

  • @benedictmrisho2361
    @benedictmrisho2361 3 ปีที่แล้ว +3

    Mbona nabii Suleiman aliyatumia majini kuj8enga hekalu? Hebu fafanua kama nabii Ibrahimu hawezi kuzini.iweje Daudi na Suleiman na Yakub walizini kwa nyakati.tofauti? Hebu fafanua zaidi tuelewe. Zinaa inatafsirowa vipi katika qurani na biblia? Kama suleimani alikuwa na wake na masuria mbona dini zote mbili hazijaruhusu wake wengi kama wa nabii wa Mungu Mfalme Suleiman? Hamuoni kuwa mnajichanganya wahubiri ? Maandiko huenda kwa tafakari , uvuvio na ufunio kutoka kwa Mungu sio kwa mizania kama kupima nyama!

    • @fadhilikawambwa5159
      @fadhilikawambwa5159 3 ปีที่แล้ว +1

      ueleweki maswali yako.waislam tunaheshimu manabii.ktk uislam hakuna nabii muovu au mzinifu labda kwenu.wewe ndio utufafanulie huo upuuzi wako sio dr sulley.hivi nyie nani kawaloga.mna uwezo wa kutakana manabii kweli.

    • @Mchora_tz
      @Mchora_tz 3 ปีที่แล้ว

      Kwahyo kk unabishana na maandiko ya biblia yenu? Maana hapo sheikh anasoma yaliyo kwenye biblia tu hajagusa quran hapoo

  • @stephenmnkande8192
    @stephenmnkande8192 ปีที่แล้ว

    Wewe sule ni mwongo. Ibrahim hakuwa Mwarabu bali alikuwa ni Mwebrania. Hiyo Uri ya Ukaldayo unayosema ni IRAQ ya leo hawakuwa wanaishi Waarabu kipindi hicho. Waarabu waliingia hizo nchi unazozitaja sasa hivi baadaye kabisa Karne ya 7 baada ya Kristo wakati wa Khilafa. Unapofundisha watu jitahidi kutowadanganya. Kuwa mkweli.

  • @nooraallahuakibarumwenyeez3079
    @nooraallahuakibarumwenyeez3079 3 ปีที่แล้ว

    Ni ismayri ndiyo aliyetaka kuchinjwa na baba yake nabii ibrahim kamwambiya mwanawe kwamba nimeota eti nakuchinja ismayri akakubar ndiyo Allah akamleta kondoo kutoka mbinguni ndiyo nabii ibrahim akamuacha mwanawe akamchicha yule mnyama wa fidia

    • @stephenmnkande8192
      @stephenmnkande8192 ปีที่แล้ว

      Hii ni kutokana na Koran lakini sio BIBLIA iwe kwa Wayahudi ama Wakristo. Pia hakuna uthibitisho kwamba ISMAIL ndio Baba wa Waarabu wote.

    • @editrudesmbonde9051
      @editrudesmbonde9051 ปีที่แล้ว

      Acha uongo soma vizuri hicho kitabu chako na kama hukielewi tafuta watu wakueleweshe,ni Isaack alitakiwa kutolewa sadaka iliyo hai na Mungu ili kumpima imani Ibrahim. Maana alimpenda sana lsaack,mtoto wa ahadi ya Mungu na si ya mwanadamu,hebu amka ulikolala kaka,ndio maana Wakristo ni uzao wa lsaack ni watoto wa shadi.
      Acha wivu😎😂😀

  • @davidgasper8821
    @davidgasper8821 3 ปีที่แล้ว +3

    Kumbe hata Malaika wa Bwana anatambua kuwa hajri ni kijakazi wa Sara ss hyo ndoa imetoka wap na kama alikuwa mke halali wa Ibrahimu mbona mwenyewe hakumzuia asifukuzwe na Sara 😂😁🤣acheni kulazimisha uongo kuwa ukweli na kuamini visivyo aminika mtateseka san na hyo mamayenu kijakaz hajri mpaka YESU anarudi hamwez kubadilisha chochote kile kweny maandiko

    • @fadhilikawambwa5159
      @fadhilikawambwa5159 3 ปีที่แล้ว

      unajua maana ya kijakazi lakini.sijui unashangaa nini sasa

    • @mustaphabinsuleman6743
      @mustaphabinsuleman6743 3 ปีที่แล้ว

      Yesu hawezi akaludi kwako kwa kuwa yeye alitumwa kwa ajiri ya Wana wa israel waliopotea tu Mathayo 10:5-6 Je wewe ni mwana wa israel uliyepotea ?

    • @rajabumrope8732
      @rajabumrope8732 3 ปีที่แล้ว

      chicken head

    • @AllyAwadhi-l5k
      @AllyAwadhi-l5k ปีที่แล้ว

      Kwahiyo kwa upeo wako mdogo unamaanisha ibrahimu amedhini na kijakazi wake?

    • @husseinkonde7348
      @husseinkonde7348 ปีที่แล้ว

      Halali ya ndoa hutolewa kwa kinywa ndugu

  • @jaharaoman6478
    @jaharaoman6478 2 ปีที่แล้ว

    Black is originally yes

  • @davidgasper8821
    @davidgasper8821 3 ปีที่แล้ว +4

    Swal muhamad ni mtu mweusi!!😉🤣😂 sule unaongea mpaka unaharibu mada huna alikwambia Adam mtu mweusi nani!!

  • @francisjoseph1074
    @francisjoseph1074 3 ปีที่แล้ว +2

    Dah! Nimecheka kweli eti mtu wa kwanza adam alikua mweusi ivi hiyo Qur'an iliokotwa wapi mana CIO kwa uogo huu

    • @mariamngadoa7808
      @mariamngadoa7808 3 ปีที่แล้ว

      Usilolijua ni kama usiku wa giza

    • @saidsuleiman1753
      @saidsuleiman1753 3 ปีที่แล้ว

      Tatizo lenu hamsomi Bible yote ila mnachaguliwa baadhi ya aya na wachngaji sasa utaelewa vioi. Ndio maana Waislam wanapowasomea Bible mnaona ni uongo sabubu hamsomeshwi na walimu wenu. Acha kufata dini kwa mazoea fanya utafiti wa kutosha bila kuogopa ukweli.

    • @saidsuleiman1753
      @saidsuleiman1753 3 ปีที่แล้ว

      Dr Sule anatoa maandishi kutoka kwenye Bible sasa wewe unaebisha tupe aya kutoka kwenye Bible usibishe tu kimazoea.

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 3 ปีที่แล้ว +1

      @@saidsuleiman1753 ivi ww unajua unachekesha tena utafanya na mawe yacheke Bible IPO kila kona na kwa rugha nyepesi inayoeleweka mpaka mashuleni wanagawa buree nyie ndo mnakaririshwa hamtaki kosoma na kama mgekua mnasoma hayo madudu yaliomo kwenye Qur'an nakuyaelewa uislam usingekuepo

    • @nicholouskavindi8512
      @nicholouskavindi8512 3 ปีที่แล้ว

      @@saidsuleiman1753 sasa km alivyofundisha sule hapa tafuta biblia fungua wagalatia4:22-31 soma nawewe ndo utajua

  • @dorcaskarago2876
    @dorcaskarago2876 ปีที่แล้ว

    The Bible! Ni kiboko ya history ya dunia

  • @francisjoseph1074
    @francisjoseph1074 3 ปีที่แล้ว +1

    Ivi huyo muhamadi mnaemwita nabii mala mtume huo unabii na utume aliutolea WAP? Na alifundisha mafundisho yapi swali ? Sote tunajua mitume na manabii hutufunulia maono na kutuletea utabiri
    1} Muhammad ilishawahi kutabili nn na kikatokea kweli?
    2} au muhamadi ili awe nabii alifanya muujiza UPI ?, likipatikana andiko mi naritadi

    • @fadhilikawambwa5159
      @fadhilikawambwa5159 3 ปีที่แล้ว

      uislam unauogopa utamjuaje mtume wetu MUHAMMAD SAW.quran hata kuigusu utaki utajuaje utume wake.maswali yako hata mwanangu wa chekechea anakujibu.

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 3 ปีที่แล้ว

      @@fadhilikawambwa5159 swali ili muhamadi awe mtume alifanya unabii UPI? Ukatimia Au alifanya miujiza IPI? Nijibu kama we mwanaume

    • @mustaphabinsuleman6743
      @mustaphabinsuleman6743 3 ปีที่แล้ว

      Yesu alitabiri atakuja mtume baada yake naomba nitajie Mtume aliyekuja baada ya yesu kuondoka

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 3 ปีที่แล้ว

      @@mustaphabinsuleman6743 yesu alikuja kupigilia msumari wa mwisho na ndo alietabiriwa na kusubiriwa na mitume na manabii karne na karne na alipokuja alichagua mitume wake 12 hakuna mwingine zaidi yao ,tena usimsingizie lete andiko kwenye Qur'an au Bible hakuna kitu kama hicho

    • @rajabumrope8732
      @rajabumrope8732 3 ปีที่แล้ว

      @@francisjoseph1074 you are a sickperson

  • @amaizingjoetz
    @amaizingjoetz 3 ปีที่แล้ว +1

    Taqiya kazini hahaaaaaa

  • @osmankabete2493
    @osmankabete2493 3 ปีที่แล้ว

    Ebu mchunguze huyu Chaka tafadhali