Kinachosikitisha ni kwamba qaum zote zilizopita ziliangamizwa Kila qaum kwa kosa moja au mawili... Summat muhhamadi Sasa tumejitwisha yote na tumeongeza mengine juu yake na wala hatuna hofu kanakwamba hatuyasomi yaliyowasibu wenzetu walipita... Subhana Allah.. Tu naomba huruma yako yaraby na vizazi vyetu
Kinachosikitisha ni kwamba qaum zote zilizopita ziliangamizwa Kila qaum kwa kosa moja au mawili... ummati Muhhamad Sasa tumejitwisha yote na tumeongeza mengine juu yake na wala hatuna hofu kanakwamba hatuyasomi yaliyowasibu wenzetu walipita... Subhana Allah.. Tu naomba huruma yako yaraby na vizazi vyetu.... Allah atupe fahamu ya Dini
Allah atuweke mbali na adhabu zake na atuweke mbali na zinaa....kwasbb maradhi mengi kutokana na madhambi yetu
Shukran kwa kutuelimisha Allah akuzdishie elimu uzidi kutuelimisha
Subuhanallah 😢😢Allah atuepushe na mahaswiya hayo na tuupate mwisho mwema
Ongera sana shekh wanghu
Kinachosikitisha ni kwamba qaum zote zilizopita ziliangamizwa Kila qaum kwa kosa moja au mawili... Summat muhhamadi Sasa tumejitwisha yote na tumeongeza mengine juu yake na wala hatuna hofu kanakwamba hatuyasomi yaliyowasibu wenzetu walipita... Subhana Allah.. Tu naomba huruma yako yaraby na vizazi vyetu
Ameen Yaa Rabbi Alameen.
Amiin yarab mungu atusamehe
Allahuma Amiin ya Rahman
Namuomba Allah azidi kukueka kwenye hii Dunia na pia namuombea Allah azidi kukupa kheri zake inshaallah
Amin yarab
ALLH AKUHIFDHI SHEH OTHMN MAALIM .WW NI MSOMI KTK TAREIKH .ALLH AKUP UMR REF UZD KUTUPA
Allahumah Amin yarabi
Ma sha Allah sheik Othman Malim kwa Mawaidha Mazuri
BW MTUME MUHAMMAD SAW,KUNA ADHABU ALIUOMBEA UMMA WAKE DUNIANI(JEE SS TULIOMBEWA UMMA BORA TUKOJEE?)INSHAA ALLA SALAMA
Allah(S.W) atujaalie mwisho mwema
MashAllah shekh Allah akuhifadhi
Subhana Allah Shukran Jazaakum Allahu kheir Shekh ♥️♥️♥️
mashaAllah
Subhanna Allah
Mashaa Allah
Safe sana shekh
Ma Shaa Allah
Subhannah Allaah
Maashaallah
Mashallah
Allah akuifhazi
Allahubariq.sheikh napenda kufuatilia visa vya mitume tupe darsa
Allah hu Akbar
Subhanallah
Amiin
Kinachosikitisha ni kwamba qaum zote
zilizopita ziliangamizwa Kila qaum
kwa kosa moja au mawili... ummati Muhhamad Sasa tumejitwisha yote na
tumeongeza mengine juu yake na wala
hatuna hofu kanakwamba hatuyasomi
yaliyowasibu wenzetu walipita... Subhana
Allah.. Tu naomba huruma yako yaraby na
vizazi vyetu.... Allah atupe fahamu ya Dini
Wallai ZRB MASHINE YAO INASEMA ULIPIE 150000 WAO WANAKWAMBIA MWEZI HUU WA RAMADHANI UMEUZA SANA ITABIDI ULIPIE 250000 KAMA WAO WALIOUZA 😮
Walikuwa wakichukuwa ushuru wa kizulma kama ZRB