DR.SULLE: MJUE SWAHABA AMABAE YUPO HAI HADI LEO | MUUJIZA WA BWANA MTUME | THE ONLY LIVING SAHABA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ม.ค. 2024
  • #DrSulle #ZvpOnlineTv #MpandaKatavi

ความคิดเห็น • 232

  • @suleimankagobe8812
    @suleimankagobe8812 4 หลายเดือนก่อน +7

    Allah awajalie moyo wenye ujasiri kama walivyokuwa masawahaba wa mtume na awajalie vizazi bora ambavyo vitakuja kuwasaidia waumini wa kiislamu

  • @halimandune7317
    @halimandune7317 4 หลายเดือนก่อน +3

    Unanikumbusha mayatima wangu,wanaokosa haki zao shangazi yao anakula pesa yao ambayo serekali inatoa .Hakuna hta mmoja anataka kujua shida zao.Inaniuma sana lakini namuachia Mungu ndo wakili wangu.

    • @user-yd8dz1vk4x
      @user-yd8dz1vk4x 4 หลายเดือนก่อน +2

      Ùsijali daa Halima kilio chako Mola anakisikia ba ipo siku atakujibu yooote.Na hiyo ni jaza yao ya baadae.Sio kuwa wanawadhulumu ila wanajidhulumu hao kwa hao.Allah awafanyie wepesi na sahali kwa yoote.

  • @user-gz6zs4do3i
    @user-gz6zs4do3i 3 หลายเดือนก่อน +1

    Maasha Allah, shukran Jazakallahu Khair 🙏 , Shekhe Sule waislam tunakukubali na kukupenda Sana,

  • @halimandune7317
    @halimandune7317 4 หลายเดือนก่อน +3

    Asalam alykum warahmatulahi wabarakatuh.I. Nillikuota ww uniombee dua ili maisha yangu yafunguke innshAllah. Niko na maisha ya madeni shule,na kimaisha.

  • @user-bu4sj4tv6l
    @user-bu4sj4tv6l 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mashallah kweli kabisa hata Mimi nkakumbuka nilisoma hivyo kwa somo la sira ingawa Sina elmu kubwa

  • @yusuphomary7410
    @yusuphomary7410 3 หลายเดือนก่อน +3

    Sheikh Dr Sulle anaongea kweli yuko sawa amesoma ni msomi wa zama zetu hizi na ujue kuwa haongei mambo makubwa hayo kwa utashi wake. Usiingilie mambo usioyajua tafadhali huyu ni msomi amesoma vizuri tu. Kaa kimya kwenye haya mambo uwaachie wenyewe.

    • @galoleali780
      @galoleali780 3 หลายเดือนก่อน

      Kua makini

  • @user-zb8xl9zg2v
    @user-zb8xl9zg2v 4 หลายเดือนก่อน +8

    Kusoma hamtaki ila watu wakiwasomea mnabisha watazania mbona mechelewa sana ndiyo mnaambiwa yesu mzungu mnasema amen someni mbumbavu

    • @shwaibumrutu6612
      @shwaibumrutu6612 3 หลายเดือนก่อน

      Èfe receive

    • @Abdulhamid-pw3qy
      @Abdulhamid-pw3qy 3 หลายเดือนก่อน

      Yesu sio mzungu Acha upumbavu na umbumbu wewe

  • @tresorkinyeshe6965
    @tresorkinyeshe6965 4 หลายเดือนก่อน +1

    Assalamaleukum kabisa dr sule namupenda sana uyu cheikh kwakweli Allah azidi kumupa pumzi na amzidishiye umri azidi kuendesha kazi yake mbele alahuma Amin

  • @rehemamohammed5534
    @rehemamohammed5534 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ustadh allah akueke Inshallah

  • @miskyabdillah7451
    @miskyabdillah7451 3 หลายเดือนก่อน

    Bismillh mashaalh Allah azidi kukulinda sheikh Sule🙏🙏🙏

  • @kurthummohamed6290
    @kurthummohamed6290 4 หลายเดือนก่อน +2

    Manshaallh dr sule nakupenda sana ❤❤❤

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 5 หลายเดือนก่อน +1

    Masha Allah ❤️❤️❤️

  • @othmanmaulid4867
    @othmanmaulid4867 5 หลายเดือนก่อน +2

    MashaAllah!! Nakupata Kutoka Toronto Canada

    • @ismailsoud3634
      @ismailsoud3634 4 หลายเดือนก่อน +1

      Asalaam a.kum.
      Kuna langu Soud , nina habari za moja kwa moja kutokana na mbinguni, hii ni Kalama Mwenyezi Mungu amenipatia. Nazungumza habari sahihi kuanzia za tangu na tangu za mitume wote na vitabu na hadithi zote katika haki. Na hili ni haki imekuja kuitetea haki.

  • @ismailsoud3634
    @ismailsoud3634 4 หลายเดือนก่อน +1

    Dr. Sule njoo nyumbani ,tuifungue Dunia.

  • @SumaiyaKhamissimba-oj8dg
    @SumaiyaKhamissimba-oj8dg 4 หลายเดือนก่อน

    Masha allah

  • @KassimSuleiman-od2uw
    @KassimSuleiman-od2uw 2 หลายเดือนก่อน

    Mashallah Allah ukupee maisha marefu inshallah

  • @ndayisengaamissi6102
    @ndayisengaamissi6102 5 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah

  • @nasrihussein4293
    @nasrihussein4293 2 หลายเดือนก่อน

    Jazskhahul kheiran

  • @user-to4jw7tm1j
    @user-to4jw7tm1j 4 หลายเดือนก่อน

    Mashallah

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 4 หลายเดือนก่อน

    Mashallah Allah Akubarik kwa sote na nyote

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 3 หลายเดือนก่อน

    Allahu akbar ama kweli mwenyezimungu ni mwingi wa rehema na hakika hakuna yeyote anae fanana nae

  • @AffectionateAirboat-mz7zt
    @AffectionateAirboat-mz7zt 3 หลายเดือนก่อน

    Allah akuzidishie baraka do sule

  • @user-rn8us7oj2w
    @user-rn8us7oj2w 4 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akujaze helli

  • @bintmbarouk1004
    @bintmbarouk1004 3 หลายเดือนก่อน

    ALLAH AKUBARIK NA KULINDE NA MAADUI
    AMIIIN

  • @user-rs1bo1ic7j
    @user-rs1bo1ic7j 3 หลายเดือนก่อน

    Aww . Ukifika sehemu inaitwa MAJMAAH SAUDA RABIA ni mji unapeyana mpaka na JORDAN . ndomana sheria ambazo zipo jordan ndizo saudie ndizo zipo jordan . Na pesa zao zina samani sana kama sikusahawu . Nilibembelezwa nifike eko niliona uwoga sababu visa yangu ilikuwa niya saudi nikaokopa kusumbuliwa mpakani sababu niko mtu mwewusi

  • @ANITHAPATRICK-jk9yq
    @ANITHAPATRICK-jk9yq 3 หลายเดือนก่อน

    Maaashaallah bibfatm nakutakia kher

  • @user-lm3lt7xx6l
    @user-lm3lt7xx6l 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hapo kwenye vidole viwili doctor vp

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 3 หลายเดือนก่อน

    Allahu akbar mashallah

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 3 หลายเดือนก่อน +3

    Oooh allah jaalia Kauli zetu ziwe za upendo na sio kashfa kwa sa babu maneno machafu hubaki bila kupotea namaneno machafu hayasauliki hata baada ya kusameheana hivyo tujitahidi kuwa na Kaulitz thabiti tupate radhi za mola wetu mtukufu

  • @MohamedMalepes
    @MohamedMalepes 3 หลายเดือนก่อน

    ASALAM ALAYKUM wew unaepinga unaepinga Kwa maandiko iliwatu tujifunze au Kwa utashiwako TU kama una ushahidi utoe nasii kupingatu sisi tunajifunza hapa kama wew pia unahoja juu ya hili leta maandiko ,au dalili

  • @matanohassan9667
    @matanohassan9667 4 หลายเดือนก่อน +1

    DOCTER SULE SAFI

    • @user-fr5pv7dz7q
      @user-fr5pv7dz7q 3 หลายเดือนก่อน

      Mzee MATANO iko mini

  • @AnthoniaMaji-zm9tf
    @AnthoniaMaji-zm9tf 4 วันที่ผ่านมา

    Orthodox na sanamu ya Bikra Maria wapi na wapi Doctor?

  • @jumaibrahim7781
    @jumaibrahim7781 4 หลายเดือนก่อน

    Inshallah

  • @HairuIsmaili
    @HairuIsmaili 4 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @abdulahmahamed3790
    @abdulahmahamed3790 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nataka hiyo hadithi ipo kwa kitabu gani

  • @user-xx8dy9pu6v
    @user-xx8dy9pu6v 4 หลายเดือนก่อน

    Nahapa sasa ndio nitie neno naomba razi mpaka kwamola wangu kwamba mashekhe zutu unafki utakuja kuwagalim leo mmnamsifia rahisi mwanamama wetu alivyo kubali chonjo mkamsifia halafu kumbe nikitu chenye ifecti kwetu kwanini mmnaogopa kukosoa viongozi mashekhe zetu mmnaogopaga nini

  • @DarinSalumu
    @DarinSalumu 3 หลายเดือนก่อน

    ALLAH ndio mungu wa kweri

  • @SmilingAnacondaSnake-sp8ct
    @SmilingAnacondaSnake-sp8ct 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nimekata sharing huyo swahaba hakuwa binadam atakuwa ni jini majini wanaishi miaka mingi

    • @Abdulhamid-pw3qy
      @Abdulhamid-pw3qy 3 หลายเดือนก่อน

      Bwege wewe tuliza huo mshono wako dawa ikuingie.

  • @raskidali2413
    @raskidali2413 4 หลายเดือนก่อน

    Bi Amina alikufa Mtume akiwa 6years

  • @MWALIMUCHAKATV
    @MWALIMUCHAKATV 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa massuffi siku hizi wana mafundisho ya ajabu. Hivi hata maana ya swahaba imebadilika?!!

  • @mussaissa6796
    @mussaissa6796 4 หลายเดือนก่อน +2

    HAKUNAGA SWAHABA WA MITI WEE MZEE
    SOMA DINI KWANZA AU ENDELEA NA KUBISHANA NA WALOKOLE TU.
    SWAHABA NI MTU ALIYEMUONA BWANA MTUME MUHAMMAD S. A. W NA AKAMWAMINI NA KUMFUATA.
    KWA HIYO MTI HAUHUSIANI NA HILO, SOMA KWANZA.

    • @h.alshidhani8971
      @h.alshidhani8971 4 หลายเดือนก่อน

      Hakunaga ndio nini???? ++

    • @dullnach2310
      @dullnach2310 4 หลายเดือนก่อน

      Kwani miti haiabudu

    • @Hussaindazaqia
      @Hussaindazaqia 3 หลายเดือนก่อน

      Mungu akubariki na acujazie neema duniani mpaka ahrat,docta sule.

  • @NtirampebaIdi-nf4mp
    @NtirampebaIdi-nf4mp 4 หลายเดือนก่อน

    Dini imekuja ikiwa ngeni,na itarudia la allah ikiwa ngeni tena sheh enderea usipingwi

  • @kiloziDunia-mj1vw
    @kiloziDunia-mj1vw 3 หลายเดือนก่อน

    Hakika Elimu haina ukomo. Juhudi kujua asili ni Neema toka Muumba ambapo Dr Sulle unajitahidi. Tunafaidika Kupitia jitihada zako.

  • @osmandunga7431
    @osmandunga7431 3 หลายเดือนก่อน

    @georgekimasa hiyo ni lugha ya lugha ya mfano huyo swahaba aliye hai siyo binaadam kabla ya kukurupuka jipe muda kidogo japo uulize upate elimu nini kilichokusudiwa hapa.

  • @PeterObiri-wj1iz
    @PeterObiri-wj1iz 4 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi ako na bodyguards tangu lini kwa kusema ukweli???
    SULE wewe motoni

  • @user-kr5vh9jl9q
    @user-kr5vh9jl9q 4 หลายเดือนก่อน

    Shekh aslm alykm,niliona picha yako mbinguni ukiwa umevaa kanzu ya yellow,inamaanisha?

  • @dicksonpiuswande9489
    @dicksonpiuswande9489 3 หลายเดือนก่อน +1

    Acha uongo, yaani ana miaka 12 na akafiwa na mke wake Hadija?

    • @RabiaOmar-ke8de
      @RabiaOmar-ke8de 3 หลายเดือนก่อน

      Hapo miaka 12 bado hajaowa

  • @RamadhaniMwaja
    @RamadhaniMwaja 3 หลายเดือนก่อน

    Mmefikia Hadi kudanganya kuhusu dini

  • @sitiabas2686
    @sitiabas2686 3 หลายเดือนก่อน

    Mmm

  • @BranMayn
    @BranMayn 2 หลายเดือนก่อน

    Ukitaja jina la Mtume muhammad pbh lazma uweke salalahu alei wasalaam sikusema tu mtume , tafadhali turekebishane

  • @user-kr5vh9jl9q
    @user-kr5vh9jl9q 4 หลายเดือนก่อน

    Nilikuona kwa ndoto,ukiwa mbinguniu umevaa kanzu

  • @mhandomhina5503
    @mhandomhina5503 3 หลายเดือนก่อน

    Hakika Ban Israel walipewa mitume yenye sheria baada yao kufa kitambo kisha wakaletewa mitume bila sheria
    kusadikisha mafundisho sahihi ya kitabu hicho kilichoingizwa pumba au chumvi au takataka na maulamaa wa kitabu hicho. Vivyo hivyo tunapoomba dua ya mtume kwa umma wake kama ilivyobarikiwa Ibrahim( as) . Ni neema kuu ya utume usadikishaji usio na sheria kwa mtume wetu mkubwa kuliko wote iweje kitabu chake kisipate mlinzi wa haya madudu yasiyoingia akililini na mantiki za kiasili au kanuni za kiungu? ALLAHU....SWAL... ALAA MUHAMMAD ...KAMAA SWAL..IBRAHIMA...KAMAA BARAKTA....IBRAHIM hii dua ya ukombozi wa Islam. HAKUNA MTU ALIYEZALIWA NA MWANAMKE AKAISHI MIAKA KADHAA KWA KUTOWEKA BILA KUFA HIZI NI DHANA ZA WAPAGANI AMBAO MIUNGU YAO ILIKUFA NA KUFUFUKA ILITOWEKA NA KUSUBIRIWA ITARUDI

  • @RASCOKALUME-no4dp
    @RASCOKALUME-no4dp 4 หลายเดือนก่อน +1

    M.mungu akulinde n'a akupe wepesi wakila kitu tchini ya djuwa

  • @user-vc1hu8gy6g
    @user-vc1hu8gy6g 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ww unaesema shekh NI muongo tupe yakwako yaliokweli tuyachuje usipayuke TU kwa utashi

    • @user-yd8dz1vk4x
      @user-yd8dz1vk4x 4 หลายเดือนก่อน

      Sasa huo mti upo nenda fb kuhusu Jordan utapata mapango,hilo dead Sea hata mti na mengi saana zaidi. Ukikosa pia wewe tunga tutasikiliza

  • @user-nk4oq4ek9y
    @user-nk4oq4ek9y 4 หลายเดือนก่อน

    Hao ndo wale nyoyo zao ziko na stamp bro

  • @SumaiyaKhamissimba-oj8dg
    @SumaiyaKhamissimba-oj8dg 4 หลายเดือนก่อน

    Yan mimi.nipo na wewe kbs kwasababu ulichokua nacho mimi sina

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 4 หลายเดือนก่อน

    The year of the Lord 2023.... 2024 AD. Reference belongs to Lird Jesus? Why AD?

    • @Ruu974
      @Ruu974 3 หลายเดือนก่อน

      Eti lird 😂 checheto uo apa washirikina aiwahusu

  • @user-nk4oq4ek9y
    @user-nk4oq4ek9y 4 หลายเดือนก่อน

    Ndo uskie ukweli sasa sio udanganjwe bro

  • @kassimabdilatif1802
    @kassimabdilatif1802 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ati Sahaba yuko hai Hadi leo. Wah! Hadithi za Abunuwasi hizi !

    • @Abdulhamid-pw3qy
      @Abdulhamid-pw3qy 3 หลายเดือนก่อน

      Unajiita KASSIM wakati wewe ni CAMILIUS kafiri wa kianglicana.
      Tulia dawa ikuingie vizuri, nisalimie mtume mwamposa.

    • @kassimabdilatif1802
      @kassimabdilatif1802 3 หลายเดือนก่อน

      @@Abdulhamid-pw3qy
      Yaani munaamini kama kuna Sahaba bado yuko hai mpaka leo ?
      Kwani wewehuezi kupima kwenye akili kama hii Ni ya kutungwa. Kama wale mashia wanaosmbiwa Imam wao amekwenda mafichoni tangu karne ya nane?

  • @AbbasHussein-zq3yi
    @AbbasHussein-zq3yi 4 หลายเดือนก่อน +1

    @partsonchundwa2287 kuna ajenda nyuma ya pazia.comment hazichapishwi ila zako zitokeza chini ya maelezo ya Dr Sule. Je!! Kuna nn?

  • @haidarykufakunoga8869
    @haidarykufakunoga8869 4 หลายเดือนก่อน

    Dr. Sule Sitaki kusema lolote . MOLA WETU MTUKUFU ALLAH S.W. ANAJUA UKWELI WA HILO USEMALO. WALLAHI, WABILLAHI, WATALLAHI kama USEMALO ni KISA CHA KWELI BASI NA IWE HIVYO. NA KAMA NI UONGO MOLA WETU MTUKUFU ALLAH S.W. ATAKUFANYIA WEPESI PIA IN SHAA ALLAH.

  • @user-zv8hb1zc3j
    @user-zv8hb1zc3j 3 หลายเดือนก่อน

    Msikashif mzivovijua

  • @SmilingAnacondaSnake-sp8ct
    @SmilingAnacondaSnake-sp8ct 3 หลายเดือนก่อน +1

    Uma wawaislam unadanganywa sana na watu kama hawa wanaojiita wamesoma dini kwa akili za kawaida tu haiwezekani swahaba wa kalne hizo awe hai hadi Leo kwa nini asibaki muhamad mtume nimegundua mawaidha mengi yakutunga na hii nayo ni hivyo

    • @Ruu974
      @Ruu974 3 หลายเดือนก่อน

      Tunge ambiwa kwa sasa yupo mjigani tukamuone😂

    • @Abdulhamid-pw3qy
      @Abdulhamid-pw3qy 3 หลายเดือนก่อน

      Nyie wote ni makafiri wapumbavu. Sikilizeni vzr nini kinachoongelewa hapo kabla ya kuleta ubishi wenu msiouelewa.
      Ndio maana na bila shaka ukristo ni ukafiri usiomithilika.
      Endeleeni kuserebuka na sebene makanisani

  • @user-zv8hb1zc3j
    @user-zv8hb1zc3j 3 หลายเดือนก่อน

    Wakiristo kaeni pembeni hayawahusu

  • @PeterObiri-wj1iz
    @PeterObiri-wj1iz 4 หลายเดือนก่อน

    Dr. Haki bro wewe ni muongo na miongoni mwa wale wapinga kristu.

  • @HairuIsmaili
    @HairuIsmaili 4 หลายเดือนก่อน

    3:04

  • @salhkasmm558
    @salhkasmm558 4 หลายเดือนก่อน

    Alikuwa mumeo kama mtume

  • @user-hp1im5ek4r
    @user-hp1im5ek4r 4 หลายเดือนก่อน

    Uongo

  • @user-nz5zg4lz7l
    @user-nz5zg4lz7l 5 หลายเดือนก่อน +1

    Yule muhamadi siyo mutume hatakidogo acha wongo

    • @AbbasHussein-zq3yi
      @AbbasHussein-zq3yi 4 หลายเดือนก่อน

      Wewe mgonjwa wa akili.

    • @partsonchundwa2287
      @partsonchundwa2287 4 หลายเดือนก่อน

      @@AbbasHussein-zq3yi kwani unafkili kutukana ndo majibu

    • @ikramalmas7039
      @ikramalmas7039 4 หลายเดือนก่อน

      Kumbe Mtume nani

    • @KojaMasudi
      @KojaMasudi 3 หลายเดือนก่อน

      Usibishane na watu wanaotembea na vinyesi vyao kwenye makalio yao wakidai ni wasafi ndugu yangu utachoka bure​@@AbbasHussein-zq3yi

    • @kaoretosha6668
      @kaoretosha6668 3 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli mbora wa viumbe, Muhammad hakuwa mutume ila ni Mtume (SAW).

  • @sitiabas2686
    @sitiabas2686 3 หลายเดือนก่อน

    Bbb

  • @HussainWargama
    @HussainWargama 3 หลายเดือนก่อน

    Fanya adabu sule si harika lako kumbafu wewe ndio mwongo

  • @LaizaYoung
    @LaizaYoung 3 หลายเดือนก่อน

    Mwalim haujakosea kbc ichi kisa ni chakwel kbc

  • @user-nz5zg4lz7l
    @user-nz5zg4lz7l 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mwongo sana

    • @AbbasHussein-zq3yi
      @AbbasHussein-zq3yi 4 หลายเดือนก่อน

      Huelewi unalolisema.Mw Mungu akuzindue hapo gizani ulipo.Huwezi kuzinduka hapo kila kwa nusra ya Mw Mungu pekee.

    • @user-xx8dy9pu6v
      @user-xx8dy9pu6v 4 หลายเดือนก่อน

      Sasa maalim inaja gani kumuita muongo kwenye Hilo mwenzako nawakati wewe akilini mwako huna Aya hata Moja utakayo iyongea ituvutie kukusikiliza tuusikie uwongo wako

    • @rizikinassoro419
      @rizikinassoro419 3 หลายเดือนก่อน

      Kama shekh ni muongo tuelezeni hayo ya kweli lengo ni elimu kwa jamii

  • @user-bg5ig2gv2c
    @user-bg5ig2gv2c 5 หลายเดือนก่อน

    Yarabi,who are you to dought Dr Sule anaeleza uwongo juu ya mtendo ya Nabiyullahi Muhammad! May Allah guide us to the truth,in shaa Allah

    • @victorterry227
      @victorterry227 3 หลายเดือนก่อน

      Who are your?na kama wewe ulikuwa unajua kwani usinge tuambia wewe mpaka Dr sule aseme ndoo useme anatudanganya kwa hiyo wewe ulikuwa unasubilia Dr sule aseme ukosoe sio

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 4 หลายเดือนก่อน

    Sina elimu wacha niskilize tu.

  • @AbdulMutta
    @AbdulMutta 3 หลายเดือนก่อน

    If you are low educated tulia don't comment maybe Huna elimu

  • @georgekimasaofficial1629
    @georgekimasaofficial1629 4 หลายเดือนก่อน

    Duh hii Dini imejaa uongo hatareeeee Dunia inatafuta kila siku mtu mwenye umri mrefu zaidi Duniani na wanapatina wa 100 na kitu sizaidi ya 120 Leo we unatwambia kuna swahaba yupo hai hadi Leo Toka kipindi Cha Muhammad 😂😂😂😂😂 Waislam bhana

    • @user-du6bd3no2b
      @user-du6bd3no2b 4 หลายเดือนก่อน

      Wewe mjinga sana...

    • @h.alshidhani8971
      @h.alshidhani8971 4 หลายเดือนก่อน

      Wewe usichokoze dini ya Mwenyezi Mungu. Hasbi allahu Wanamat wakeel.

    • @user-sk1hm7mf2t
      @user-sk1hm7mf2t 4 หลายเดือนก่อน

      Kama hujikitu uliza usijifanye unajua kumbe hujui kama imejaa uwongo inazidi diniyako sijui upo dinigani ila akuna dini ya ukweli kama uwislam

    • @user-kf9yz6jp8r
      @user-kf9yz6jp8r 4 หลายเดือนก่อน

      Kwani unaebisha kama akunaswahaba halie Hai kwani unajua mahana ya swahaba kwanza. Swahaba nikiumbe yoyote alie mwamini mtume na kufuata ama kumsaidia kazi zake atamiti ipo ilio kaa mtume kwaiyo nao pia nisahaba bwwge kama ujui.

    • @georgekimasaofficial1629
      @georgekimasaofficial1629 4 หลายเดือนก่อน

      @@user-kf9yz6jp8r Elimu ya mashetani Huwa inawatoa kwenye reli Neno swahaba limetumika kama mfuasi wa mtume inakuwaje mti unaitwa swahaba. Eh 🤣🤣🤣 Neno swahaba linawakilisha mfuasi wa .

  • @bakarimwaguluwe-yh2dn
    @bakarimwaguluwe-yh2dn 3 หลายเดือนก่อน

    Nonsense no where to be found

  • @PeterObiri-wj1iz
    @PeterObiri-wj1iz 4 หลายเดือนก่อน

    Dr. Sule xstian kama mm najua ukifa basi kwisha, Yesu ndio alifufuka. Pinga Yesu tu ukiendanga jikoni na madawa yako ya kienyeji. Duh🏃🏃🏃🏃

    • @mariyammariyam1454
      @mariyammariyam1454 4 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa mie niliishi na aliyekuwa mumewangu nikafanyiwa visa atimae nilitoka pale nikasafiri nasasa ninamaisha mengine nawashukuru JP wtt wangu wamekuwa kwashoda Sana ila Insha Allah

    • @kaoretosha6668
      @kaoretosha6668 3 หลายเดือนก่อน

      Hujui usichokijua....ng'ang'ana tu...hadi mauti yako....

  • @user-po1cq9so9h
    @user-po1cq9so9h 4 หลายเดือนก่อน

    Shekh huyu mawaidha yake hayafundishi watu yanapotosha watu kuna video moja anasema kuna mskiti comoro umejengwa na majini hakuna jini au shetwan muislam hata mmoja katika hii dunia viumbe hao wote wamelaanika wamejenga mskiti vipi Shekhe anatakiwa atoe mawaidha na ushahidi

    • @KhamisisamaBudzo
      @KhamisisamaBudzo 4 หลายเดือนก่อน +1

      Kuna mäjini waislamu ....unapotoa comment yako akikisha kitu unachosema umefikiria mara mbili sio kuvuta bangi na kujiongelea ...heshimu mtu amesoma historia ........sio sawa na kwako uliko amini mchungaji ameanza kwa baiskeli baada ya miezi miwili ako na v8

    • @dullnach2310
      @dullnach2310 4 หลายเดือนก่อน

      Labda ww ndo ulolaanika

  • @zuberinasibu1441
    @zuberinasibu1441 4 หลายเดือนก่อน

    Hivi maana ya swahaba ni nini katika uislamu ???

    • @AbbasHussein-zq3yi
      @AbbasHussein-zq3yi 4 หลายเดือนก่อน

      Waliokuwa marafiki wa karibu na Mtume.

    • @PeterObiri-wj1iz
      @PeterObiri-wj1iz 4 หลายเดือนก่อน

      Maswahaba walikuwa walevi na walikufa juu ya ulevi but hicho hupati Kwa madrasa kabisa.
      Uzuri amesema majina yao

    • @JumahAShabani
      @JumahAShabani 4 หลายเดือนก่อน

      Kama unavyo sikia wanafunzi wa Yesu ndiy maswahaba

    • @sitiabas2686
      @sitiabas2686 3 หลายเดือนก่อน

      Mlevi mamaako kuma wewe

  • @user-nz5zg4lz7l
    @user-nz5zg4lz7l 5 หลายเดือนก่อน

    Dr. Sule mwongo

  • @user-lm3lt7xx6l
    @user-lm3lt7xx6l 4 หลายเดือนก่อน

    Hapo ktk kufufuwa vp

  • @myaudimazarahu3532
    @myaudimazarahu3532 5 หลายเดือนก่อน

    Uongo uongo uongo😂😂😂😂😂

    • @AbbasHussein-zq3yi
      @AbbasHussein-zq3yi 4 หลายเดือนก่อน

      Wewe kichwani kuna tope unaye mwita Dr S mwongo. Kajifunze anayoyasema.

    • @rehemamohammed5534
      @rehemamohammed5534 4 หลายเดือนก่อน

      Kweli 😢😢😢😢

  • @PeterObiri-wj1iz
    @PeterObiri-wj1iz 4 หลายเดือนก่อน

    Miujiza ya Muhammad ni ZERO hana lolote

    • @abdoumadiousseni4835
      @abdoumadiousseni4835 4 หลายเดือนก่อน

      Ww ni mugonjwa wa akili

    • @shaibumlawa3666
      @shaibumlawa3666 4 หลายเดือนก่อน

      Wewe kama nani sasa kwa mfano!watu hatuishi kwa miujiza!

    • @ummyomary6350
      @ummyomary6350 4 หลายเดือนก่อน

      Makafiri huwa mmenyimwa akili na maalifa yaaan mpo tu Kama ndio maana mmeitwa kondooo

  • @isihakajarika2668
    @isihakajarika2668 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kama ni mtu wa kupenda kujifunza Mambo ya kiimani huezi kusema dokta muongo kusema hivyo inamaana wew umesoma na unavijua vitabu vyote
    Muombe sheikh atupe refference ya vitabu alivyosoma

    • @user-ht8po7un8p
      @user-ht8po7un8p 4 หลายเดือนก่อน

      Upo sahii elimu ni bahari

  • @AshaSalim-xd8xp
    @AshaSalim-xd8xp 5 หลายเดือนก่อน

    Ninanihuyuanyesemadrsulenimuongompuuzihuyu

    • @mariyammariyam1454
      @mariyammariyam1454 4 หลายเดือนก่อน

      Nawewe unayemkosoa sule nawe Aya kuandika uwezi km mwenzio kabarikiwa kutufungua wacha wivu we galatia

  • @isaackmlayy6228
    @isaackmlayy6228 3 หลายเดือนก่อน

    alafu Muhammad yuko kaburini hivi kwanini hamjitambui ndugu zangu

    • @rajabibrahim8616
      @rajabibrahim8616 3 หลายเดือนก่อน

      We kafiri huna ujualo, pumzika

  • @partsonchundwa2287
    @partsonchundwa2287 5 หลายเดือนก่อน +7

    Acha uongo wewe, yaani miujiza mikubwa hivyo hata Allah mwenyewe haijui wadanganye haohao wenzio

    • @ismailhassan5209
      @ismailhassan5209 5 หลายเดือนก่อน +7

      Acha ujinga kuongea kwa usiloijua soma au sikiliza au nyamaza

    • @partsonchundwa2287
      @partsonchundwa2287 5 หลายเดือนก่อน

      @@ismailhassan5209 Ujinga wangu ni upi?niambie

    • @MakonkhalidiRadjabu
      @MakonkhalidiRadjabu 5 หลายเดือนก่อน

      Sasa wew unapinga nin kuhusiana na hiyi Dawa ya Dr Sule. Baba wey kama hurya Muamini Muhammad s.ww baba wey bado huna na fasi.. Here n after....!

    • @partsonchundwa2287
      @partsonchundwa2287 5 หลายเดือนก่อน +2

      @@MakonkhalidiRadjabu ninachopinga ni hiyo miujiza mikubwa kiasi hicho Cha ajabu hata Allah haijui

    • @user-lp8pr2sv7c
      @user-lp8pr2sv7c 5 หลายเดือนก่อน

      Mashaallah

  • @mbwanamtops4936
    @mbwanamtops4936 4 หลายเดือนก่อน

    Mashallah

  • @BABALAOGENERALTRADERS
    @BABALAOGENERALTRADERS 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @AlhajiIsmail
    @AlhajiIsmail 3 หลายเดือนก่อน

    Inshallah

  • @umeaperfume-hs2gi
    @umeaperfume-hs2gi 5 หลายเดือนก่อน

    Mashallah

  • @BABALAOGENERALTRADERS
    @BABALAOGENERALTRADERS 3 หลายเดือนก่อน

    Mashallah

  • @ramadhanimwambeni1259
    @ramadhanimwambeni1259 3 หลายเดือนก่อน

    Mashallah

  • @UmayaHaji
    @UmayaHaji 3 หลายเดือนก่อน

    Mashallah