DR.SULLE SEHEMU YA PILI: JE, BIBLIA NI KITABU CHA MUNGU? || MENE, MENE, TEKELI, NA PERESI.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @kakamkubwa9162
    @kakamkubwa9162 3 ปีที่แล้ว +22

    Bora mb zangu ziishie kwa elimu yako mungu akujalie inshallah

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +2

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @Ummykassimtz
    @Ummykassimtz 3 ปีที่แล้ว +5

    Masha Allah dr sule Allah akujaalie na akupe kher na baraka tele nakupenda kwa ajili ya Allah alhamdulillah 🤲 na akupe mwisho mwema na tukutane pepon Inshallah

  • @babauna3458
    @babauna3458 3 ปีที่แล้ว +9

    Allah akubariki Dr sule ,Hii ndio kazi ya Allah ya baraka , nakupenda sanaa unapo wasomesha wakristo kitabu Chao.

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

    • @joephmaukilo
      @joephmaukilo ปีที่แล้ว

      Kwa mujibu wa Biblia ngamia ni haramu sule apo ajasoma

  • @emmamoshi8315
    @emmamoshi8315 2 ปีที่แล้ว +8

    Ndio Ni kitabu cha Mungu Kuna utofauti wa biblia na pia elimu yako nimeipenda ubarikiwe shekh japokwa mie mkristo

    • @stephenmnkande8192
      @stephenmnkande8192 ปีที่แล้ว +1

      Anajitahidi sana huyu Sheikh japokuwa kuna mambo mengine anatunga kidogo. Anaikashfu Biblia lakini wakati huo huo anaquote kila kitu kutoka kitabu hicho hicho. Kichekesho

    • @hasaniabdalah6148
      @hasaniabdalah6148 ปีที่แล้ว

      @@stephenmnkande8192 wengi wenu mmemkana yesu kimatendo ila zahili ya midomo yenu mnaonekana mnampenda ila mkitaka kumjua yesu ulizeni mashekh kwani uislamu na waislam wsnamfuata yesu kimatendo maana Mungu alileta manabii zake kwa sesoni alipo ishia ndio mwingine huendeleza

    • @jafarimiladi5407
      @jafarimiladi5407 ปีที่แล้ว

      ​@@stephenmnkande8192tumia akili

  • @zubedaalice8172
    @zubedaalice8172 11 หลายเดือนก่อน +1

    Waaleikum Salaam warahmatullahi wabarakaat

  • @bellbell9294
    @bellbell9294 3 ปีที่แล้ว +4

    Shukraan Sana sheikh wetu Allah akujaalie kwa Elim nzuri akulipe kher jazaka Allah khaira

  • @maspro6294
    @maspro6294 3 ปีที่แล้ว +8

    Umetisha Dr Sure wapinge sindano watakuelewa tuu hawana jinsi

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @jovinusernest9565
    @jovinusernest9565 ปีที่แล้ว

    Muacheni Mungu aitwe Mungu Mungu anakusudi na huu shehe mda so mlefu ataanza kuhubili injili ya kweli, na huu ni unabii juu yake,Amina,

  • @athumanramadhan6001
    @athumanramadhan6001 3 ปีที่แล้ว

    Jazzakallah kheirr Dr sule wallahi nimejifunza bibilia kutoka kwako kwa uzuri na wepesi ma shaa Allah sahii mkiristo haniambii kitu shukran.

  • @husseinibrahim5438
    @husseinibrahim5438 3 ปีที่แล้ว +5

    MA SHA ALLAH
    SHUKRAN JAZELAN SHEIKH SULE

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @sdidxb5875
    @sdidxb5875 3 ปีที่แล้ว +1

    ManshaAllah sheikh kazawadiwa ilimu na kufafanua Allahu yardhwa Ankaa insha'Allah tunasubiri next .

  • @joephmaukilo
    @joephmaukilo ปีที่แล้ว

    Wakristo tumuombee Sule amwamini Yesu Kristo Mwana wa Mungu

  • @martinkagussa3406
    @martinkagussa3406 ปีที่แล้ว

    Dr Sure barikiwa sana ukipata muda tusaidie kuchambua Ethiopia Bible

  • @yusufseifu4967
    @yusufseifu4967 2 ปีที่แล้ว

    Jazaaka lahu khaira sheikh ALI Hajji DOCTOR SULE

  • @nuruchikoe1959
    @nuruchikoe1959 3 ปีที่แล้ว +1

    Hapo ndipo panakufaa shekh wangu nakupenda kwa ajili ya Allah

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @justusngonyani165
    @justusngonyani165 ปีที่แล้ว

    Huna Roho wa Mungu wa kukupa tafsiri sahihi.Tafsiri yako ni elimu ya juu sana ya mapepo

    • @Vj_hAnss
      @Vj_hAnss ปีที่แล้ว

      usipende kuskia unachokitaka penda kuskia unachopaswa kuskia. Allah atakufungua mawazo InshaAllah

  • @enuelabunimkali9529
    @enuelabunimkali9529 3 ปีที่แล้ว +5

    Allaha akuongoze na umkiri yesua masihi na kuliamini jina lake!!!

    • @ramadhanjuma610
      @ramadhanjuma610 3 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂 kumbe wajua Allah ana ongoza walimwengu wote 😂😂

    • @nehemiaayo9527
      @nehemiaayo9527 ปีที่แล้ว

      ​@@ramadhanjuma610sasa mwasema ni Mungu Basi amwongoze kuwa alimpa Yesu mamlaka ya kuutawala ulimwengu na yeye ndiye njia ya kumwona Mungu bila Yesu utamuona Mungu

  • @alllyrics4835
    @alllyrics4835 3 ปีที่แล้ว +8

    Machallah ,Allah akupe umri docta Sule

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +3

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @emmaculatewambua-ou9nu
    @emmaculatewambua-ou9nu ปีที่แล้ว

    Allah akupe umri mrefu Dr.Sule

  • @kaltumaamiyo2017
    @kaltumaamiyo2017 3 ปีที่แล้ว +3

    Nakupenda sana kwa ajili ya allah allah akupe firdaws

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @ebakeichinge7081
    @ebakeichinge7081 2 ปีที่แล้ว +1

    Alianza vizuri . Ameharibu kuhusu ufafanuzi Wakulla nguruwe. Kumbukumbu la tomato hairuhusu mtu kula nyama ya nguruwe. Mkifuata vzr maelezo yake anaeleza kumbukumbu la torati inaruhu.

  • @FatmaFatmA-qk3zl
    @FatmaFatmA-qk3zl 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah mashallah, mwalim tupe eremu!

  • @binothman9284
    @binothman9284 3 ปีที่แล้ว +2

    Maa shaa Allah Allah akujaalie kila la kheri

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @SafeHaven_TV
    @SafeHaven_TV 3 ปีที่แล้ว +2

    Dr Sulle,wewe ni mwalimu mwenye uwezo mkubwa mno kutoka kwa Mungu.Wewe sio muislamu tu wala mkristo.

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

    • @dadiismail363
      @dadiismail363 3 ปีที่แล้ว

      Hata nammi nimekubaliana naye!jama amejaaliwa elimu ya juusana

  • @ahmedbakari9223
    @ahmedbakari9223 3 ปีที่แล้ว +4

    Dokta uko vizuri

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +2

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

    • @abelialsen5383
      @abelialsen5383 3 ปีที่แล้ว

      Waislam wanakuita we ni D.R ila huna hadhi hiyo

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว

      @@abelialsen5383 Hahaaaaa acha jazba

    • @abelialsen5383
      @abelialsen5383 3 ปีที่แล้ว

      Mbona sina jazba yeyote?... Ila tu umemsikiliza vzr kwa ufasaha huyo bwana D.r?...

    • @abelialsen5383
      @abelialsen5383 3 ปีที่แล้ว

      Mbona sina jazba?... Ila tu umemsikiliza vzr huyo bwana D.r

  • @HamadiSwedi
    @HamadiSwedi ปีที่แล้ว

    Umesha elewa TAFUTA waislamu walio karibu usilimu

  • @ramadhanilukambuzi9760
    @ramadhanilukambuzi9760 3 ปีที่แล้ว +5

    Ww ni akili kubwa sana,mwenyezi mungu akujaria akili nyingi!

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @justusngonyani165
    @justusngonyani165 ปีที่แล้ว +1

    Naomba unithitishie kwamba Musa,Ibrahim,Yesu walikuwa waislamu,wakati mwiislamu No Moja ni Mohamed aliyezaliwa baadaye sana.

    • @Vj_hAnss
      @Vj_hAnss ปีที่แล้ว

      tafuta video yake "chanzo cha vita vya palestine na israel" ameelezea vizuri zaidi

  • @annamkembela9544
    @annamkembela9544 ปีที่แล้ว

    Nakuelewa sana Dr Sule

  • @jeanbb1385
    @jeanbb1385 3 ปีที่แล้ว

    Asante Sana ubarikiwe Sana

  • @azamsaid5256
    @azamsaid5256 3 ปีที่แล้ว +2

    yaani vitu vinaporomoka tuh!!! mh! hatari!! Mashaallah

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +2

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @mussamalugu1793
    @mussamalugu1793 3 ปีที่แล้ว +4

    Mambo hayo ndio tunayo yataka kutoka kwako sio mambo yq kuuza dawa inshaa allah mungu akubariki sana

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +2

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 3 ปีที่แล้ว +1

      Kuhusu kuuza dawa acha auze maana bila kuuza unaweza kuilisha familia yake?. Tunatofautiana wewe unakazi yako mwenzio hiyo ndiyo yake

  • @mams1892
    @mams1892 3 ปีที่แล้ว +2

    Jazzakallahu khairan

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @Salmavue-on4rv
    @Salmavue-on4rv ปีที่แล้ว

    elim hiii nimeipenda

  • @fhyubhhh2881
    @fhyubhhh2881 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah Mashaallah shkh

  • @phebbymwaseba1897
    @phebbymwaseba1897 ปีที่แล้ว

    Hivi hawa wanapata wapi muda wa kufikiria dini za wenzao badala ya kufanya mafundisho ya dini yao!??? Hahahaha uongo una kazi kweli kweli,pole!

  • @fatwimatzahrau2327
    @fatwimatzahrau2327 3 ปีที่แล้ว +3

    MashaLLAH

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @issamohammednassor8688
    @issamohammednassor8688 3 ปีที่แล้ว +3

    Hapa dr uko sawa

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv Tv

  • @jotafungo4622
    @jotafungo4622 3 ปีที่แล้ว +1

    Shukrani sana kwa elimu

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +2

      Asante shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 ปีที่แล้ว +1

      Portuguese

    • @jotafungo4622
      @jotafungo4622 3 ปีที่แล้ว +1

      @@pilimusa7770 naam wa ukae tunapata hili darsa bure kabisa kutoka Kwa Alhaji wetu

    • @jotafungo4622
      @jotafungo4622 3 ปีที่แล้ว

      @@zvpOnlineTv mkono Kwa mkono mpaka peponi inshallah

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 ปีที่แล้ว +1

      @@jotafungo4622 kabisaa

  • @rehemashaibu7635
    @rehemashaibu7635 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah tabarakallha somo zuri sana

  • @feilymusa3925
    @feilymusa3925 ปีที่แล้ว

    Mashe mnachemka sana

  • @aminaaboud5461
    @aminaaboud5461 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah Allah akuhifadh

  • @kidjhdf7568
    @kidjhdf7568 3 ปีที่แล้ว

    Twende kazi dr sule

  • @flavianmashimi6327
    @flavianmashimi6327 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @mohamedsembe2898
    @mohamedsembe2898 3 ปีที่แล้ว +1

    MA SHA ALLAH

  • @westonmbuba6421
    @westonmbuba6421 3 ปีที่แล้ว

    Maandiko matakatifu. Ahsante kukiri kuwa Biblia ni maandiko matakatifu

  • @katalisajuka-fl3st
    @katalisajuka-fl3st ปีที่แล้ว

    100% correct

  • @sarahmatu8709
    @sarahmatu8709 3 ปีที่แล้ว +1

    Vita vyetu si juu ya damu na nyama bali ni juu ya falme na wakuu na majeshi ya pepo wabaya ktk ulimwengu wa Roho

  • @mosesfrank8617
    @mosesfrank8617 3 ปีที่แล้ว +3

    MUNGU akupe maisha malefu

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @benaiahchaulah1037
    @benaiahchaulah1037 3 ปีที่แล้ว

    Wewe sheihk,okoka umfahamu YESU vzr kwani alikufa na akafufuka na kaburi lipo wazi,acha kuhangaika OKOKA!🤚🖐

  • @immanuelmwaipopo1605
    @immanuelmwaipopo1605 3 ปีที่แล้ว

    Unajitahidi sana lkn kinachokuangusha ni udini pole yako Mungu akukumbuke

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +2

      Hahahaaaaa

    • @ramadhanjuma610
      @ramadhanjuma610 3 ปีที่แล้ว

      Udini ndo kila kitu tena 3:19 Qur'an hakika dini ya haki mbele ya mwenyezi mungu ni uwisilamu kwahiyo wacha tuwe wa dini ww ka naukafili wako

  • @nalingarowl7048
    @nalingarowl7048 ปีที่แล้ว

    Mungu Hana kitabu,vitabu huandikwa na watu Kwa kuongozwa na Roho Mtakatifu. Kama Q,ran ni kitabu Cha Mungu.aliishusha mwaka Gani,katika mji gani.wangapi walioshuhudia,ilikuwa muda Gani.
    " Biblia ni historia.ambapo utafiti ulifanyika na kukusanya maandiko na kuthibitishwa kisayansi na kijografia na kuthibitishwa. Bib lol is ndicho kitabu ambacho kinawatesa.Q,ran haimtesi Mkristo yeyote na ndiyo maana hutamkuta kundi la Wakristo wakiielezs Q,ran mtandaoni.
    Mnachokifanya ni kama mnasaidia Kuutangaza Ukristo.Hongereni endeleeni na KAZI mzuri,lakini Ukristo ni imara mpaka Yesu arudi hakuna wa kuushinda

  • @loudcrytv8949
    @loudcrytv8949 3 ปีที่แล้ว

    th-cam.com/video/req9kGXhc20/w-d-xo.html
    Tufuate Biblia ipi ya Vitabu 66 au 77?
    MAJIBU YA MASWALI YA DR. SULLE JUU YA BIBLIA

  • @annetmathias4157
    @annetmathias4157 ปีที่แล้ว

    usije kubishana bali kuereweshana bila mashindano pleas uwe tayari kuerewa nakukbasliana lugha mbaya hazitakiwi

  • @mossesjovenari9457
    @mossesjovenari9457 3 ปีที่แล้ว +1

    Mnasemaga TUMSWALIE MTUME
    na mnamtakia REHEMA
    yaani mnamtakia rehema mtume wa mwenyez MUNGU au yeye ndo awatakie rehema ?
    sisi WAKRISTO Tunangojea rehema za YESU Soma YUDA 1:21-22

    • @hamisimfaumenamwewe193
      @hamisimfaumenamwewe193 3 ปีที่แล้ว

      Matendo 5:31) Matayo 1:21) YESU hakuhusu kabisaaaa.

    • @hassanisadiki824
      @hassanisadiki824 3 ปีที่แล้ว

      Nipe andiko katika Bible umetaja Ukristo ni dini, ukipt jibu Sasa hv nawa mkristo

    • @saimonijonas4356
      @saimonijonas4356 3 ปีที่แล้ว

      @@hassanisadiki824 Kwani dini ni nini???

    • @justusngonyani165
      @justusngonyani165 ปีที่แล้ว

      Ni kweli Ukristo si dini.Bali ni mahusiano Kati ya Mungu na binadamu KWA njia ya Yesu Kristo.Mungu wa biblia hakuleta dini bali alimleta Kristo

  • @shahabdallah9407
    @shahabdallah9407 11 หลายเดือนก่อน

    sehemu ya tatu iko wapi?

  • @الزغويالزغوي-ض3ن
    @الزغويالزغوي-ض3ن 2 ปีที่แล้ว

    NI ELIMU NZURI NA MUHIMU KUJULIKANA MWENYEZI MUNGU AKUPE KHERI NYINGI DUNIANI NA AKHERA

  • @godfreyjulius5132
    @godfreyjulius5132 ปีที่แล้ว

    Sijawahi kuona mkristo yeyote Duniani anahangaika na Quran lakini waislam mnahangaika na kitabu kitakatifu cha Bible,
    Na Dr. Sule aliwahi kusema pia kama kuna Muislam hamtambui Yesu na bi Mariam mama yake Yesu basi huyo sio Muislam
    Lakini sikueahi kumsikia Dr. Sule akionya wakristu kuhusu kutomtambua Mtume wao Muhammad

    • @saididadimnindi-ve2uo
      @saididadimnindi-ve2uo ปีที่แล้ว

      waislam tunafanya haya kwa sababu tumeamrishwa tuwajuze wasiyokuwa waislam ukweli wapate utambuzi hivyo ni moja ya ibada kwetu usipate tabu

  • @enuelabunimkali9529
    @enuelabunimkali9529 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwa kweli bibia imebeba mambo mazito xana na bibilia ndio neno la kweli

    • @hamzaswaibu9470
      @hamzaswaibu9470 3 ปีที่แล้ว

      So kweli unajipa moyo tu

    • @ramadhanjuma610
      @ramadhanjuma610 3 ปีที่แล้ว

      Kuffaru ww vile mungu wako wa biblia alivyo tombana ndo ndo ime beba neno la kweli 😂😂😂😂

    • @rsm3367
      @rsm3367 3 ปีที่แล้ว

      Biblia ndio kila kitu nyie tukaneni kama mnavyofundishwa na mtume wenu mudi

    • @ambarnelly6304
      @ambarnelly6304 2 ปีที่แล้ว

      @@rsm3367 ushahidi

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 2 ปีที่แล้ว

      @@ramadhanjuma610 du kwakweli uislam Ni msiba Kama matusi ndio jadi yenu

  • @danielmako2493
    @danielmako2493 ปีที่แล้ว

    Biblia ni mkusanyiko wa vitabu vya mungu vitakatifu mungu hajawahi kutumia nabii mmoja kwandika kitabu that why we have so meny prophets in the Bible Basi kama unaomba biblia si ya mungu wewe tupe kitabu cha Samuel,Daniel 'Daudi,Solomon and Samson. Swali lako halina msingi wowote kwa sababu mungu alizukumza na manabii wengi sana zamani za kale na unajua wakati huo vitabu havikua ndipo wana theology walikuzanya zote kwa biblia ikawa mkusanyiko wa vitabu vitakatifu vya mungu.

    • @World_Football.C
      @World_Football.C 11 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli. Lakini kama ni hivyo mbona biblia imetenganishwa Kwa mana moja Iko na vitabu 66 na nyingine Iko na vitabu 72 kwanini wasivikusanye vyote Kwa pamoja

  • @ahmedbakari9223
    @ahmedbakari9223 3 ปีที่แล้ว +2

    Huku ndio kwako dokta kule kwengine sio kwako wachie wengine in shaa Allah

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +2

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @samuelmussa4809
    @samuelmussa4809 3 ปีที่แล้ว +1

    Dr sule sio wakristo wote husherehekea krismas point of correction.

  • @justusngonyani165
    @justusngonyani165 ปีที่แล้ว

    Siwezi kujifunza biblia au ukristo kwa asiye mkristo.Pia huwezi kujifunza uislamu kwa mkristo.Acha kupotosha

  • @mossesjovenari9457
    @mossesjovenari9457 3 ปีที่แล้ว +2

    SULE hiyo elimu inakuzidi uzito mpaka uongozwe na ROHO WA MUNGU

    • @hamisimfaumenamwewe193
      @hamisimfaumenamwewe193 3 ปีที่แล้ว

      Wakristo matayra

    • @mossesjovenari9457
      @mossesjovenari9457 3 ปีที่แล้ว

      @@hamisimfaumenamwewe193
      ONYESHA ILIPOANDIKWA KWENYE QURAN KWAMBA WAKRISTO NI MATHILA?

    • @ambarnelly6304
      @ambarnelly6304 2 ปีที่แล้ว

      @@mossesjovenari9457 onesha wali dkt sule anaongozwa na roho wa mungu

    • @ummyayman9449
      @ummyayman9449 ปีที่แล้ว

      Nahapo ndo mlipofungwa vichwa

  • @rahmaayoub7519
    @rahmaayoub7519 3 ปีที่แล้ว

    Waalaykum Salam wa rahma tullah wabarakatu

  • @husseinmahenge3176
    @husseinmahenge3176 3 ปีที่แล้ว +2

    Bible nikitabu kinachosomwa na watu weng dunian

  • @annetmathias4157
    @annetmathias4157 ปีที่แล้ว

    nimekufwatilia nimegundua hata muhamadi wako piaalikemewa na MUNGU nahakusamehewa soma taubah 9:80
    quasisi 28:56
    ila muhimu sana hii
    muhammad 47:19

  • @Highnessworld
    @Highnessworld 2 ปีที่แล้ว +2

    Anybody with contact of this Sheikh I would love to get in contact with him Insha’Allah

    • @maisarah6819
      @maisarah6819 ปีที่แล้ว +1

      Number yake IPO apo juu

  • @yohanamoikan7709
    @yohanamoikan7709 2 ปีที่แล้ว

    Mada hii haiendani na maneno ya Dr sule ??? Na pia ni mbaya sana mtu wa mungu kukariri??? Historia

  • @kakakuonamprubenikakakuona1387
    @kakakuonamprubenikakakuona1387 ปีที่แล้ว

    Acheni kupotosha waafrika wenzenu

  • @juliusmsele3261
    @juliusmsele3261 3 ปีที่แล้ว

    Good

  • @marianachriss2444
    @marianachriss2444 3 ปีที่แล้ว +1

    Najua mashetani na majini unayamiliki yako kinyume na hiyo BIBLIA kwa sababu ni Neno la kweli la Mungu na La YESU KRISTO,kwa hiyo shetani allah hata siku moja hawezi kusema kuwa BIBLIA ni kitabu kitakatifu, Yeyote asiyemkiri YESU KRISTO ameshahukumiwa tubuni kabla hamjachelewa

    • @hamisimfaumenamwewe193
      @hamisimfaumenamwewe193 3 ปีที่แล้ว

      Toa andiko Allah shetani

    • @marianachriss2444
      @marianachriss2444 3 ปีที่แล้ว

      Sio andiko tu hata kwa vitendo tu vya huyo allah shetani vinatosha we unataka andiko si utazimia kabisa, Mungu BABA Ana jina moja tu naye ni JEHOVA na BWANA ni mmoja tu nae ndiye YESU KRISTO na zaidi ya yeye hapana Mungu mwingine

    • @marianachriss2444
      @marianachriss2444 3 ปีที่แล้ว

      @@hamisimfaumenamwewe193 soma yohana mtakatifu 14:6 utajua kuwa allah ni shetani mkubwa audanganye ulimwengu wote na kuwapeleka watu jehanamu, soma kumbukumbu la torati 5:8-10

    • @hamisimfaumenamwewe193
      @hamisimfaumenamwewe193 3 ปีที่แล้ว

      @@marianachriss2444 Yohana 14:6) Ina maana hii Yohana 17:3) We unaamini Yesu Nabii aliyetumwa na Mungu?

    • @marianachriss2444
      @marianachriss2444 3 ปีที่แล้ว

      @@hamisimfaumenamwewe193YESU KRISTO ni BWANA wa mabwana na mfalme wa wafalme, Simba wa kabila la Yuda,sio nabii tu kama wewe unavyotafsiri,ni Zaidi ya wote ni Mungu wa kweli, maana uungu u ndani yake,ni mwanzo na mwisho na zaidi ya yeye hapana Mungu mwingine

  • @elopheygandabway
    @elopheygandabway 3 ปีที่แล้ว +1

    Mchango mnapokea kwa utaratibu gan?

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +2

      Tuwasiliane +255 767 931 036

  • @lotlot968
    @lotlot968 3 ปีที่แล้ว +1

    Huna Elimu yoyote Mwongo mkubwa

    • @hamisimfaumenamwewe193
      @hamisimfaumenamwewe193 3 ปีที่แล้ว

      We uliye na Elimu mbona hutoi umekalia husda tu kwa mwenzio.

    • @ramadhanjuma610
      @ramadhanjuma610 3 ปีที่แล้ว

      Muongo mungu wetu alo watomba kwenye isaya

  • @hanifaluena2810
    @hanifaluena2810 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwalimu Mimi nimekwelewa Ila mm naswali kuhusu mada hii hii maana kunakitu umekisema kuhusu mtoto wanimrodi lakini wakisto wananembo ya msalamba lkn waislahamu mbona nembo ya usilaamu unanembo ya miungu ya jua na mwezi

    • @ambarnelly6304
      @ambarnelly6304 2 ปีที่แล้ว

      Ushahidi

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 2 ปีที่แล้ว

      @@ambarnelly6304 kwenye misikiti mnaweka mwezi na nyota

  • @jeremiahnjagi
    @jeremiahnjagi ปีที่แล้ว

    Unasema ukweli kidogo na uongo kidogo. Kuna mambo mengi uliyoyasema ambayo si sahii kulingana na bibilia. Lakini la wazi kabisa KJV iko na vitabu 39 si 29 vya agano la kale.

  • @dismaskimario389
    @dismaskimario389 ปีที่แล้ว

    Sawa, Hivyo vyombo vilikua vinatumika kufanya nn msikitini ? Na je kuna uislamu bila quran au kabla ya quran na Mohamad uislamu ulikuepo? Na je uislamu ulikua unafuata kitabu gani na kumfuata kiongozi gani?

  • @mossesjovenari9457
    @mossesjovenari9457 3 ปีที่แล้ว

    MAANAYA BIBILIA NI VITABU .
    SOMA RUGHA KWANZA

    • @hamisimfaumenamwewe193
      @hamisimfaumenamwewe193 3 ปีที่แล้ว

      Wakristo hamjawahi kuwa na akiri ya kiroho. Imani yenu imetoka kwa freemasons

    • @mossesjovenari9457
      @mossesjovenari9457 3 ปีที่แล้ว

      @@hamisimfaumenamwewe193
      ALIYEMPA UTUME MUHAMADI NI SHETANI SOMA QURAN 2:97

  • @mbukumagiubukumagu406
    @mbukumagiubukumagu406 3 ปีที่แล้ว +2

    Dk Suleman tunakuomba ikiwezeka mtuweke mkalimani kwa lugha ya english. ili wageni wasiyojuwa lugha ya kiswahili wawze kukufatilia. kama ndugu zetu wakikiristo wanavofanya kwa kuhubiri imani Yao.

  • @alphasamwel
    @alphasamwel ปีที่แล้ว

    Nyie si mnajiona mko sahihi:
    maana wanaojionaga wako sahihi huwa wanawakosoaga wengine,kwanini mnahangaika na mambo ya wengine wakati hamuwezi kufasiri:
    kazi yenu imekuwa ni kuwasema tu wayahudi na Wakristo,
    sema sio kosa lenu maana quran yenu ndivyo inatoa muongozo huo,
    Inajifanya haitaki fitina lakini chenyewe ukisoma ni fitina tu dhidi ya wayahudi na Wakristo, waanzisha fitina ni nyie na ushahidi tunao nikianza sasahivi na nyie hapo mtandaoni nikimalizia na quran yenu.
    Msijali bonde la kukatia maneno ni "MEGIDO"HARMAGEDON"
    ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi;
    na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI Bwana, kwa utukufu wa Mungu Baba.

  • @robertlyimo8400
    @robertlyimo8400 3 ปีที่แล้ว

    Kuna Siku mtahubiri Ukristo pambaneni Yesu anawachanganya hamumjui ninyi mnamsikia tu.

    • @wangnjamealawy3387
      @wangnjamealawy3387 3 ปีที่แล้ว

      hata leo tuko tayari kuhubiri ukristo kama mkithibitisha kwamba kuna dini inaitwa hvyo

    • @abubakarihamissi4178
      @abubakarihamissi4178 3 ปีที่แล้ว

      @@wangnjamealawy3387🤣🤣🤣🤣🤣 nimesoma shule ya kikristo aise mahubiri yao ni vichekesho mm nadhani walimu wao hawana elimu ya kutosha

  • @Milanova460
    @Milanova460 3 ปีที่แล้ว

    ..
    Yerusalemu nayo ni Daresalamu... Mmweuzi aliibiwa.

  • @alimwanyumba8439
    @alimwanyumba8439 3 ปีที่แล้ว +2

    Historia ya ajabu kuhusu bibilia

  • @nikizaanociata4730
    @nikizaanociata4730 3 ปีที่แล้ว

    Bibliya haisomwi namwanadamu yeyote huwezi kuyajuwa maneno hayo bila Roho mtakatifu .

    • @hamisimfaumenamwewe193
      @hamisimfaumenamwewe193 3 ปีที่แล้ว

      WAKRISTO MKIMUONA MUISLAMU ANASOMA BIBILIA MNAMUONA ANAKOSEA HATA KAMA KAKAA CHUONI KASOMA. SASA WW ULIYE NA ROHO MTAKATIFU NIPE TOFAUTI YA MWANANGU NA MTOTO WANGU.

    • @dadiismail363
      @dadiismail363 3 ปีที่แล้ว

      Nyie ngurwe ikitajua kwamba najisi aaaaa mtapinga huyo sana!we kula nguruwetu

    • @ismailyusuph740
      @ismailyusuph740 3 ปีที่แล้ว

      Hahaaa ‘ hiyo ya kusema huwezi kuelewa biblia mpk uwe na Roho mtakatifu ni trick tu ya wachungaji ili waumini WASIHOJI wala KUULIZA baadhi ya maandiko ambayo yanasema Yesu MTU mengine Yesu MUNGU ‘mengine kasulubiwa saa TATU asubuhi mengine yanasema alisulubiwa saa TISA mchana ‘....Sasa Waislam wameyasoma na kuyahoji ndipo hawa ndugu zetu wanabaki wanashangaa maana hawasomewi kanisani...!
      Wakristo Amkeni...!

    • @hamisimfaumenamwewe193
      @hamisimfaumenamwewe193 3 ปีที่แล้ว

      @@ismailyusuph740 Asante ndugu kwakuwapa ukweli hao wagaratia.

    • @shabaniissa3163
      @shabaniissa3163 3 ปีที่แล้ว

      Ww unamjua roho mtakatifu?

  • @ramyramsmkereti8793
    @ramyramsmkereti8793 2 ปีที่แล้ว

    Maneno matakatifu yapo katika mafumbo mapana sanaaa hivyo yahitaji elim kubwaa sana kuyachambua na hayakuwekwa kuelewek kirahisi

  • @MohamedMohamed-u3t1n
    @MohamedMohamed-u3t1n 11 หลายเดือนก่อน

    jina la biblia limetoka kwa wagiriki yesu alishindwa kuwapa jina la kitabu?

  • @jeremiahnjagi
    @jeremiahnjagi ปีที่แล้ว

    Mfano vitabu vya bibilia vimefuatana hi kulingana na wewe [1]mwanzo [2] kutoka [3] kumbukumbu la torati [4] walawi [5] hesabu. Lakini ukweli ndio huu kulingana na bibilia yenyewe.[1] mwanzo [2] kutoka [3] mambo ya walawi [4] kumbukumbu la torati [5] hesabu. Torati ndio sheria ya musa sliyo pewa na mungu kwa wana wa israeli wakiwa mlimani sinai. Na kabla ya kifo chake miaka 40 baadaye huyohuyo musa akawakumbusha torati tena na kitabu kitabu cha kumbukumbu la torati. Maneno ni yaleyale yaliyo katika kitabu cha walawi nia ya musa ilikuwa kutilia mkazo sheria aliyowafundisha walawi na waisraeli kwa jumla.

  • @mtumishijerrymwagobele6559
    @mtumishijerrymwagobele6559 3 ปีที่แล้ว

    Hujui unalolisema

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Mh

    • @jumaalhamid5242
      @jumaalhamid5242 3 ปีที่แล้ว +1

      wewe unaejuwa endelea kuabudu sanamu na kumuabudu bnaadam mwenzio kumuita mungu wewe ndie unaejua

    • @HamadiSwedi
      @HamadiSwedi ปีที่แล้ว

      Umesha elewa TAFUTA waislamu walio karibu usilimu

  • @danielerio5615
    @danielerio5615 2 ปีที่แล้ว +1

    Njaa inakusumbua njoo uwe padri utanenepa mpaka mashavu hayatakua na mashimo

    • @ambarnelly6304
      @ambarnelly6304 2 ปีที่แล้ว

      Endelea kufuatilia utaelewa tu

    • @odilowairinga6324
      @odilowairinga6324 ปีที่แล้ว

      Mapadri wanazingua mimi natamani watokee kama huyu saba hivi

  • @mossesjovenari9457
    @mossesjovenari9457 3 ปีที่แล้ว

    Tupe tafsiri ya neno sura ti baqarah kwa kiswahili sheikh Sule

    • @hamisimfaumenamwewe193
      @hamisimfaumenamwewe193 3 ปีที่แล้ว

      Madrasa zipo utajua mengi na utasilimu bila kulazimishwa

    • @mossesjovenari9457
      @mossesjovenari9457 3 ปีที่แล้ว

      @@hamisimfaumenamwewe193
      Kama quran ingelitafsiliwa kwa lugha ya kiswahili nyinyi waislamu mgeliukimbia wislam yani yaani kuna sura ya NG'OMBE WA KIKE WA MANJANO SURA YA MEZA SURA MAJINI lini na wapi ng'ombe kuandika haya?
      hamuoni kwamba ni mazingaombwe!

    • @hamisimfaumenamwewe193
      @hamisimfaumenamwewe193 3 ปีที่แล้ว

      @@mossesjovenari9457 Kasome kijana. Hujui kitu kabisaaaq

    • @mossesjovenari9457
      @mossesjovenari9457 3 ปีที่แล้ว

      @@hamisimfaumenamwewe193
      Na ww kasome quran 2:97 ujue aliyempa utume mtumewako wa uongo

    • @mossesjovenari9457
      @mossesjovenari9457 3 ปีที่แล้ว

      kasome 8:24 quran na WAEBRANIA 12:2 usikie YESU Anakwambia nini kuhusu uzima wa milele
      bwana Hamis YESU Anakuita
      kubali ubatizwe kabla siku ile haijafika

  • @رسكيعبده
    @رسكيعبده 2 ปีที่แล้ว

    Unatisha wakristu wameumiya allah akuhifadhi sule wewe nimkali kwamakafiri

    • @odilowairinga6324
      @odilowairinga6324 ปีที่แล้ว

      Mimi mkristo nayajua hayo pia naamini wapo wengi wanajua ila tunaacha Mungu atachambua

  • @tiberioustuti715
    @tiberioustuti715 3 ปีที่แล้ว +1

    Niliuliza swali na waislamu hamujajibu, ikiwa manabii wote walikua waislamu na Mungu kawatermshia vitabu nyakati mbali mbali:Musa torati, Daudi Zaburi, Issa injili na Mohammed Quran, mbona hamna hizo vitabu zingine vitatu na havitumiki kuabudia mskitini haliakua manabii walikua wote waislamu, mbona basi mtumie ti Quran msikitini, wapi injili, zaburi na torati za kiislamu ili tuamini kwamba bibilia ni mabaki tu ya vitabu hizo????

    • @saidarajab8040
      @saidarajab8040 3 ปีที่แล้ว

      Maswali wacha sikiliza mawaidha kisha kosoa ujibiwe. Then soma historian ya nabii ibrahim

    • @fantlameck1798
      @fantlameck1798 2 ปีที่แล้ว

      Sisi tumepewa quran ivyo vitabu vyote ukisoma quran unavikuta ndan yake

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 2 ปีที่แล้ว

      @@fantlameck1798 unaweza nionesha Zaburi ndani ya Quran? Naomba nioneshe

  • @sikitu8957
    @sikitu8957 3 ปีที่แล้ว

    Si ninyi awa mnaona raha kukashifu dini ya wenzenu na Ninacho wapendea wakristo hawanaga mda wa kuwa jibu au kuwajadili

    • @ambarnelly6304
      @ambarnelly6304 2 ปีที่แล้ว

      Karibu katika uislam

    • @HamadiSwedi
      @HamadiSwedi ปีที่แล้ว

      Umesha elewa TAFUTA waislamu walio karibu usilimu

  • @bidafumbuka855
    @bidafumbuka855 3 ปีที่แล้ว +1

    Sisi wakristo hatuli nguruwe na tumekatazwa lakini ninyi waislamu msidanganye watu kwa kusema hamli nguruwe wakati quran inawambia kuleni kidogo, tena mnakula ngamia hamjui ni dhambi kula ngamia?

    • @hamisimfaumenamwewe193
      @hamisimfaumenamwewe193 3 ปีที่แล้ว

      NGAMIA DHAMBI KULA KWA USHAHIDI WA KITABU GANI?

    • @bidafumbuka855
      @bidafumbuka855 3 ปีที่แล้ว

      @@hamisimfaumenamwewe193 torati ya Musa imekataza kabisa.

    • @hamisimfaumenamwewe193
      @hamisimfaumenamwewe193 3 ปีที่แล้ว

      @@bidafumbuka855 Torati iliharibiwa haiko sahihi. Siwezi amini hilo. Soma Yeremia 8:8)

    • @bidafumbuka855
      @bidafumbuka855 3 ปีที่แล้ว

      @@hamisimfaumenamwewe193 si Mungu wenu alishindwa kuilinda sasa hata inatupa mashaka na Allah kuwa sio Mungu wa kweli

    • @hamisimfaumenamwewe193
      @hamisimfaumenamwewe193 3 ปีที่แล้ว

      @@bidafumbuka855 Nipe sifa za Mungu wa kweli.

  • @ALISTIDESITWAZA
    @ALISTIDESITWAZA ปีที่แล้ว

    Sasa pale wayahudi walipokuwa wanaletewa amri za kigriki Mungu wao alikuwa wapi kuwatetea je alinyamaza asiwatetee

  • @Milanova460
    @Milanova460 3 ปีที่แล้ว

    ...
    Taifa la mungu ni Afrika... Israeli ya kisasa imeundwa tu hivi manjuzi 1948 baada ya vita vya pili vya Dunia ndiyo historia ya uongo idhibitishwe. Wazungu waliiba historia ya mwafrika mweusi wakaandika biblia nao waarabu wakaiba historia ya mweusi Waka andika Koran. Manabii wote walikuwa weusi.... Hata kristu wa kweli alikuwa mweusi... Yesu sio kristu (Matthew 24:4-5)

  • @EmmanuelMeshack-o9m
    @EmmanuelMeshack-o9m ปีที่แล้ว

    Unabii hauchambuliwi hivyo Kama haujui sema ufudishwe

  • @bidafumbuka855
    @bidafumbuka855 3 ปีที่แล้ว +2

    Qurani imetabiri kitu gani kimetimia leo?

    • @aboubahebura8144
      @aboubahebura8144 3 ปีที่แล้ว

      Quran ilitabili yakwamba wake watavaa uchi nayo nidalili y'a qiyama na ikasema kama kutakuja watu kama wewe je aikusemakweli

    • @aboubahebura8144
      @aboubahebura8144 3 ปีที่แล้ว

      Na ikatabili yakwamba uchafu uliotendwa wakati wa rutu utaludi na utakuwa zaidi je leo wanaume awaingiliani wakati wa rutu waingiliana kisha waendazao lakini leo tunaowana ipizaidi

    • @fantlameck1798
      @fantlameck1798 2 ปีที่แล้ว

      Mtume alisema mwezi umepasuka ktk karne ya 6 na karne ya leo ndo wana sayansi walipo peleka vifaa vyao wameona ni kweli

  • @thomasngui826
    @thomasngui826 3 ปีที่แล้ว

    Karibu unaokoka sasa ubarikiwe kwenye Quaran hayo huyapati

    • @aboubahebura8144
      @aboubahebura8144 3 ปีที่แล้ว

      Quran siyamchezo ndugu kitabu kisicho geuzwa adi kiama kisimame ila biblia duuu mtihani kila mwaka kinabadilishwa wanataka wakubadilishie tena tunajua musa ilikuwa anatembea nafimbo lakini kitakachokuja kitakwambia musa alitembea nampanga alafu watakwambia aleluya nawe utajibuje ?

    • @jacksonnchimbi1966
      @jacksonnchimbi1966 3 ปีที่แล้ว

      @@aboubahebura8144 ni ushamba tu ulio ingiziwa kichwani mwako kwa kuhaminishwa kwamba kiswahili ukitafsiri kwa kiingereza eti umebadilisha maana bibilia ya kwanza iliandikwa kihibrania kama tu Quran ni kiarabu utafsi kiswahili

    • @aboubahebura8144
      @aboubahebura8144 3 ปีที่แล้ว

      @@jacksonnchimbi1966 kalibututakujajua kaka kama niushamba au nielimu

    • @ambarnelly6304
      @ambarnelly6304 2 ปีที่แล้ว

      Mh kweli huwezi kuyapatia mana qurani haikuandikwa na yohana tulia somo likuingie

  • @mickysabalah-jw3qv
    @mickysabalah-jw3qv ปีที่แล้ว

    sehemu ya tatu haionekani toa na sehemu ya tatu