DR SULLE: UFALME HUU UTAKAPO TAWALA UTABADILI MAJIRA NA SHERIA || MFUMO WA KARENDA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ก.ค. 2021
  • #DrSulle #VitabuVyaKale #Zvponlinetv

ความคิดเห็น • 88

  • @fadhilikawambwa1586
    @fadhilikawambwa1586 3 ปีที่แล้ว +4

    duh mungu mkubwa sana dr sulle.hii ulisimulia nadhani 1999 au 2001 tukiwa manzese kwenye muhadhara na mkanda wangu ulipotea leo umetafsiri tena vilevile.mungu akuweke dr sure.amini

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @bintichee5929
    @bintichee5929 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah shegh ila mada hazina muendelezo mzuri yaani natafuta chapter 3 siipati pangeni mpangilio sahihi

  • @hemed4064
    @hemed4064 3 ปีที่แล้ว +3

    Jaman naomba msiweke video vipande, mziweke full.
    Asanteni

  • @hamishemed9396
    @hamishemed9396 3 ปีที่แล้ว +2

    Shukurani sheikhe wabillah taufiki

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @jacksonnchimbi1966
    @jacksonnchimbi1966 3 ปีที่แล้ว

    Bibilia ni tamu sana na mafumbo yake sawa na Mungu anapoongea na mwanadamu kupitia ndoto muwe munawaambia na waumini wasome sio kuwakalilisha tu kwamba bibilia sio kitabu cha Mungu mwenyezi

  • @Mbumbuko
    @Mbumbuko 3 ปีที่แล้ว +3

    Maashaa Allah

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @fadhilikawambwa1586
    @fadhilikawambwa1586 3 ปีที่แล้ว +2

    ALLAH SW MPE UMRI HUYU MTU JAMANI.AISEE DR UMETISHA

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @Ummykassimtz
    @Ummykassimtz 3 ปีที่แล้ว

    Masha Allah

  • @aishaarusha894
    @aishaarusha894 3 ปีที่แล้ว

    Ilove habibi suley jomoni😘😘😘😘😘🤣

  • @joseph-masija
    @joseph-masija ปีที่แล้ว

    Samahan shekhe
    Mimi najua kalenda hii ya Gregory Xiii ( aliyekuwa papa wa rumi) ilianza kutumika miaka ya 1580's
    Sasa hii 445 imetoka wapi?

  • @SMKF4
    @SMKF4 2 ปีที่แล้ว

    Sasa si uokoke tu

  • @manenoagrey1090
    @manenoagrey1090 3 ปีที่แล้ว +1

    Biblia tamu imebeba Elimu kubwa sana

    • @omarykusah9719
      @omarykusah9719 2 ปีที่แล้ว

      Injl pumbu mmetunga y en nye

  • @samuelmussa4809
    @samuelmussa4809 3 ปีที่แล้ว

    Dr sule elezea pia SHERIA gani alibadirisha Mnyama MAJIRA UMEELEZEA VIZURI.

  • @karolikisaka8991
    @karolikisaka8991 6 หลายเดือนก่อน

    Anawateka waislam akili

  • @mossesjovenari9457
    @mossesjovenari9457 2 ปีที่แล้ว

    Kwenye Quran mbona hatuelewi Muhamad utume kaupatia wapi?
    Elezeeni watu sio kuchamba dini za watu

  • @manafeassamo7216
    @manafeassamo7216 3 ปีที่แล้ว +1

    Tupe doctor

  • @suberasubera641
    @suberasubera641 3 ปีที่แล้ว +2

    mimi nimecheka apobenchi moja wanaselabuka ilaumesahau vimini

  • @francisjoseph1074
    @francisjoseph1074 3 ปีที่แล้ว

    Tunaomba ufundishe mafundisho aliyofundisha Muhammad sindio mtume wenu? ili tuwaamini
    1)alifanya miujiza IPI?
    2)alifundisha mafundisho yapi?
    3) na alifany utume UPI? na unabii UPI?
    4)Alifanya utabiri UPI? Au alitabir kitu gani kikawa kweli

  • @pacifiquemukanya1009
    @pacifiquemukanya1009 3 ปีที่แล้ว

    DR SULLE TANGAZA DINI LAKINI UJUWE TUNAKUDAYI PESA ZETU NAUMJEJIKALYA KIMYA TUTAKUDAI MPAKA KIAMA

  • @raphaelcharles4949
    @raphaelcharles4949 3 ปีที่แล้ว +2

    We jamaa ni mkristo njoo tukuondolee pin ya uislam kichwan ili ufundishe kweli za biblia bila kupindisha, naamini unaelewa ila unaamua kujitoa ufahamu

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Hahaaa

    • @belfastmoshi9005
      @belfastmoshi9005 3 ปีที่แล้ว +1

      Uisilamu hawezi simama wenyewe bila kuutaja ukristo na biblia

    • @rashadkipingu5109
      @rashadkipingu5109 3 ปีที่แล้ว

      Kwasabab ili muweze jua uislamu ndio Dini Basi lazima atumie biblia maana yapo maneno ya munguu na mwingine mmeyabadilisha kwasabab cc tunaamini maneno mengine ya mule yametokana na injili ambacho ni kitabu alichotelemshiwa nabii issa..na ndo maana sheria zingine zinaendana kabisa na waislamu Kama ukiisoma vzur injili na sio biblia

    • @raphaelcharles4949
      @raphaelcharles4949 3 ปีที่แล้ว

      @@rashadkipingu5109 kwa mtu kama ww tatizo lako ni dogo sana ukisaidiwa. Hebu anza kwanza kujifunza maana ya injili ndo Uendelee na hatua nyingine

    • @rashadkipingu5109
      @rashadkipingu5109 3 ปีที่แล้ว

      @@raphaelcharles4949 nikwambieee wewe ujifunze maana mm nishajifu za jifunze na Kama ukijifunza ipasavyo Basi lazima utaingia ty kwenye uislamu

  • @mossesjovenari9457
    @mossesjovenari9457 2 ปีที่แล้ว

    Waislam wanaojua kusoma kiarabu ni wangapi?
    Kwann msiweke wazi kilamtu Asome kwa kiswahili?

    • @sogolamwishekhe5667
      @sogolamwishekhe5667 2 ปีที่แล้ว

      Hicho ndo kilichowaponza wakristo kitabu chenu kuharibiwa

  • @editrudesmbonde9051
    @editrudesmbonde9051 3 ปีที่แล้ว

    Hivi Sule,unaihubiri INJILI au UISLAM???
    Hivi watu wasio Waislam hapo wanajifunza nini??maana wewe uko na BIBLIA tu na siyo Quran,au huielewi Quran???
    Rudi kwenye mstari,hubiri Imani yako kaka.
    MUNGU akubariki.🙏🙏🙏

    • @selemanmakau5967
      @selemanmakau5967 3 ปีที่แล้ว

      Anakufundisha wewe uciejua hata biblia yako mnapelekwapelekwa tu et yesunae awe mungu,angekula na kunya

    • @editrudesmbonde9051
      @editrudesmbonde9051 3 ปีที่แล้ว

      @@selemanmakau5967 Haijalishi kama alikula or vipi,but what about mohammad,alikufa kwa sumu na kuzikwa maiti ikaoza.
      Hapa bora yupi??
      Aliyefufuka siku ya tatu au aliyeoza????

  • @thomasngui826
    @thomasngui826 3 ปีที่แล้ว

    Dr inaombwa utuambie yaliyoharibiwa niyepi na yaliyosahihi ndani qurani

    • @omarykusah9719
      @omarykusah9719 2 ปีที่แล้ว

      Biblia hamulew Quran utaelwa mbwaa w

  • @manenoagrey1090
    @manenoagrey1090 3 ปีที่แล้ว

    Muongo utamjuwa

    • @mohamedpinda4781
      @mohamedpinda4781 3 ปีที่แล้ว

      Wewe ujui ndiyo maana uwelewi kaa kimya

    • @omarykusah9719
      @omarykusah9719 2 ปีที่แล้ว

      Matako we mshazoea kutapelw tulia haujaalikwa huk

  • @francisjoseph1074
    @francisjoseph1074 3 ปีที่แล้ว

    Qur'an ni makorokocho huwezi kupata habari njema kama hizi ndomana unatumia bible kenge wewe

    • @mohamedpinda4781
      @mohamedpinda4781 3 ปีที่แล้ว

      Najua mjinga Kama aelewi uwa anaishia kuangalia bila kuwelewa Soma ujue

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 3 ปีที่แล้ว

      @@mohamedpinda4781 hivi nyie waislam huwa nimabogas kias gani sasa apo umeongea kitu gan? nyie simnajifanyaga mnajua akati hamuelewi kitu kazi kupiga makerere tu ,hapa ni fact, siunajitia unajua qurani nieleweshe sasa nakusubiri nikushushie mvua ya maandiko

    • @omarykusah9719
      @omarykusah9719 2 ปีที่แล้ว

      Inawahus Wana israil ijnl Nye Kuma c mmwfuat kwa njaaa zenu nakz yenu kuimba kwaya

  • @dinimanabii833
    @dinimanabii833 3 ปีที่แล้ว +3

    Sasa wewe mara unasema biblia ya uwongo wakati mwengine unaitumia kufundishia mbona haueleweki?? Kuwa mchungaji basi maana unaipenda sana biblia kuliko Qur'an

    • @suberasubera641
      @suberasubera641 3 ปีที่แล้ว

      ww aufatirii iyobibiria yapomaneno yamungu ilaiko kitabu siochamungu ndomana amayatumia yaleyamungu yawatu anaachana nayo nahua anasema hayani yawatu

    • @sammarley1413
      @sammarley1413 3 ปีที่แล้ว +1

      Ushabiki niupofu.
      Anaongea vitu viko wazi kabisa ila akili yako mgando tu.
      Nipo israel kwenyewe ndani ukitaka tuwasiliane kupitia wtsap ukristo huku ni aina flani ya ujinga mtu mkristo anaonekana mtu alie pitwa nawakati. Sasa sijui mwenzangu ww na mayahudi haea bora nani.
      Nakurudilia tena nipo israel usijifanye hujaskia namji ninao eshi nimji wa wa farica asili walioletwa enzi zautumwa kisha wakatelekezwa na mkoloni na wote sasa ivi niwaislam wazuri sana mana tabia mbovu na ubaguzi wa makafiri wa israel zilithibitisha kua ukristo sio dini nakamwe haitokua dini.
      i am very sorry to disturb your mood

    • @noahwamalwa4385
      @noahwamalwa4385 3 ปีที่แล้ว

      @@suberasubera641 anatambua aje maneno ya watu na yale ya Mungu katika Biblia ama ni kujinufaisha tu. Ni heri kukataa Biblia nzima kuliko kuchagua kiholela aya kutoka kwa biblia

    • @noahwamalwa4385
      @noahwamalwa4385 3 ปีที่แล้ว

      @@suberasubera641 hiyo Biblia inasema vizuri Yesu ni Mwana wa Mungu

    • @lulanjamd3886
      @lulanjamd3886 3 ปีที่แล้ว

      @@sammarley1413 Yesu Kristo ni mwokozi wa ulimwe uislamu bila Yesu huingii mbinguni.