Dr.Chris Mauki: Nguvu Ya Mahusiano Ya Chumbani

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 พ.ค. 2021
  • Je unajua kuwa nguvu ya yale yanayotendeka chumbani ambako wewe na mwenza wako yana uwezo wa kubadilisha mahusiano yenu yote? Familia yenu inajengwa na kuimarishwa kwa yale yanayofanyika chumbani kwenu. Kudorora kwa tendo la ndoa kunaweza kuleta ufa mkubwa kwenye mahusiano au ndoa yenu. Swali ni je, kwa kiasi gani unawekeza nguvu na umakini kwenye kuyajenga na kuyaimarisha mahusiano yenu ya chumbani? Nifuatilie kwenye somo hili nikusaidie mambo muhimu.

ความคิดเห็น • 55

  • @chamdomalukua1032
    @chamdomalukua1032 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe..kaka

  • @janiphacosmas1777
    @janiphacosmas1777 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante Dkr kwa ushali wako wengi tunapona

  • @kuruthumrajabu2394
    @kuruthumrajabu2394 2 ปีที่แล้ว +1

    Dah Dr mauki saluti

  • @gloriousthomas3817
    @gloriousthomas3817 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ninafatilia vzur sana

  • @kibadamabhuye8693
    @kibadamabhuye8693 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimekuelewa sana doctor ubarikiwe sana

  • @lydiaedwin3998
    @lydiaedwin3998 2 ปีที่แล้ว +2

    Dr Asante umenifanya nimepata mume ubarikiwe sana,Mungu azidi kukubariki

  • @christinachazy8644
    @christinachazy8644 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe Dr kupitia wew nimebadilika San🙏🙏

  • @fedharmmark6398
    @fedharmmark6398 3 ปีที่แล้ว +2

    Ahsante Dr maana umenifunguwa kitu zaidi maana mpaka m mwenyewe nilikuwa najiukizaga sasa umenipa kwa kirefu zaidi Elimu hii Ubarikiwe sana Mtumishi 🙏

  • @marthadaniel4904
    @marthadaniel4904 2 ปีที่แล้ว

    Amina nimejifunz meng ubarikiwe Dr

  • @upendowakwelinaamani1060
    @upendowakwelinaamani1060 3 ปีที่แล้ว

    Nashukuru sana Dr mauki nimejifunza kitu haki kweli nilikua gizani sana acha niendelee kujifunza kupitia hizi darasa zako za TH-cam🙏

  • @mariamuodila4132
    @mariamuodila4132 ปีที่แล้ว

    Asante kwakutufundisha tusio jua tumejua

  • @user-ou3fu3pq5k
    @user-ou3fu3pq5k 5 หลายเดือนก่อน

    Nimekuelewa kka Mungu akubarki

  • @zenamwatsuma6971
    @zenamwatsuma6971 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante Dkr kwa ushauri wako, mimi ni mwanamke wa hasira kuongea sana but kwa usahauri wako umenijenga sana, mungu akubariki

  • @stellaemilian6844
    @stellaemilian6844 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu aendelee kukubariki na kukupa afya njema na familia yako ili watanzanzia wengi tuendelee kupona

  • @happyjohn5153
    @happyjohn5153 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe kwa darasa zuri

  • @christineoti9401
    @christineoti9401 2 ปีที่แล้ว +1

    Thanks mwalimu

  • @evadindi7243
    @evadindi7243 ปีที่แล้ว

    Hongera dr.

  • @odethadismas1410
    @odethadismas1410 3 ปีที่แล้ว

    Uko sawa dr.

  • @tumainlenad5141
    @tumainlenad5141 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu nipe hekima

  • @sumaiyabakary2692
    @sumaiyabakary2692 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akupe Umri mrf Mauki semina za youtub zinanijenga sana

  • @winfridamwigilwa2107
    @winfridamwigilwa2107 3 ปีที่แล้ว +1

    Aksante sana Dr.

  • @lilianreuben2814
    @lilianreuben2814 ปีที่แล้ว

    Nakuelewaga sana

  • @eliane4871
    @eliane4871 ปีที่แล้ว

    Asante sanaaa

  • @lucykubaja1387
    @lucykubaja1387 2 ปีที่แล้ว

    Nimeelewa ahsante kwa darasa mwalimu

    • @Bacoon365
      @Bacoon365 2 ปีที่แล้ว

      Uko vzr dr

  • @niwaelnathaniel5450
    @niwaelnathaniel5450 2 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa

  • @KhalidAshjaie-cz7vg
    @KhalidAshjaie-cz7vg 6 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏🙏🙏

  • @judithkatabaro3294
    @judithkatabaro3294 10 หลายเดือนก่อน

    Yani kweli kabisa mtoto wangu kuanzia miaka mitatu nimkorofi kila shule ninapo mpeleka ana pigana ana fujo mpaka sielewi nifunhe sala gani abadilike
    ?kumbe leo nimepata jibu tulikuwa tunapigana na baba yake mpaka siku na kwenda leba🤣🤣🤣🤣🤣👏🏿

  • @gilliansimon8517
    @gilliansimon8517 2 ปีที่แล้ว

    Aaaah..ni sehemu ya? ...bwana asifiwe..am laughing 😃

  • @edachengula7134
    @edachengula7134 3 ปีที่แล้ว +3

    Eti kigumu kama mbao ahahahahaha!

  • @user-bz6ru7sk7u
    @user-bz6ru7sk7u วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😊

  • @josephinajosephu6859
    @josephinajosephu6859 3 ปีที่แล้ว

    Nafurahia Sana Maisha yenu jmn♥️♥️

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 ปีที่แล้ว +2

      Zidi kutuombea tuwe wa msaada zaidi kwa wengine

  • @margaretkast5138
    @margaretkast5138 8 หลายเดือนก่อน

    9p😮😅

  • @memeniyonzima9343
    @memeniyonzima9343 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂

  • @vivianvincent4303
    @vivianvincent4303 3 ปีที่แล้ว +1

    Your partner is still cute!

  • @monicaleonard6603
    @monicaleonard6603 3 ปีที่แล้ว

    Kwangu imekuwa tofauti mumewangu muda mwingi mimi ndo nakuwa nina mwitaji kuliko yeye. Wakati mwingine nisipo mwambia ninauhitaj sipati chochote, natamani awe na hami mara kwa mara kama ilivyo kawaida ya wanaume wengne.

    • @chunanachu2529
      @chunanachu2529 3 ปีที่แล้ว +4

      Niajabu wanaume ndio wenye hamu mara nyingi....nakushauri fatilia kwa makini kama mumewako amauhusiano na mtu mwingine

    • @monicaleonard6603
      @monicaleonard6603 3 ปีที่แล้ว

      @@chunanachu2529 asante ila naumia jmn

    • @chunanachu2529
      @chunanachu2529 3 ปีที่แล้ว +1

      @@monicaleonard6603 pole mpenzi jaribu kuvaa nguo za kumvutia na kuacha maumbile yako yaonekana ukiwa na yy labda atapata ham

    • @monicaleonard6603
      @monicaleonard6603 3 ปีที่แล้ว

      @@chunanachu2529 asante

    • @lydiaedwin3998
      @lydiaedwin3998 2 ปีที่แล้ว

      Pole my jaribu kutokuwa na stori za kukera ukiwa kitandani,

  • @queenmseven2286
    @queenmseven2286 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @arafakatanga8913
    @arafakatanga8913 2 ปีที่แล้ว

    Mauki🤣🤣🤣🤣