Asante kaka ninejifunza vitu vingi sana kuhusu wanaumee nilikuwa nagombana karibu kila siku na mume wangu nimejirekebisha kupitia wewe nakufatilia kutoka sweden ❤
Habari Yako Mr Deo nashukuru sana kwa good lesson 😇 kwaajili ya kuwatambua waumee zetu zaidi kwa upande wangu nilikuwa namuona kimya hataki kabisa nimuhoji nikawa simsikilizi kabisa namuhoji kila wakati ili aniambiee kinacho msibu but akawa anafokea na kuniambia kwa hupendi kunisikiliza ninacho kwambia but nikawa mpole na kusikiliza hata leo ninavyo kwambia nikikuta that situation kma ni kimya najua hyo mtu yupo ktk dunia ya kutatua changamoto zake au zetu 😅 kwa hyo namwambia naomba ukapumzike kabisa 😆 so nilipo sikiliza hii nimecheka sna 😅 na kujifunza zaidi shukran sna Mr Deo Mungu akubariki zaidi kwa unachokifanya aamin am from zanzibar.
Barikiwa sana kaka nimejifunza vizngi sana kutoka kwako nipo omani na nimekuwa mpya kabisa kwenye maisha yangu nakuombeya mungu akupe umri mrefu kaka yangu
Asant sana sur wallah kila siku nagomban nawenzi wangu kisa namuuliza kitu anakuja kuniambia et ulikuwa ukisem nin hapo naanza fikaa mbaya kwe ila leo nimejifunza kutok kwako asant sana🙏🙏🙏
@janethmlay7602 Sisi Majina yanayo anza na J tunapata shida sna Mtu ananuna Hadi unasema ni Mwanamme au Mwanamke WALLAH akinuna unaogopa Wewe😢😢 kumbe na ww umekutana na wa kununa
Sidhani uko sahihi Deo kwenye haya. Kinachotakiwa ni mwanaume ajue psychology ya mwanamke na mwanamke ajue psychology ya mwanaume na kila mtu ajaribu kuji adjust kutokana na mapungufu ya mwenzake
Dada fatuma Kila Mwanamme yupo kivyake yupo asio Penda uongee sna ukiongea kosa akija kuongea ujue umemkosea akiwa kimya Ndio yupo Sawa hiv kila mtu aishi na Mpenzi wake vile alivo Wallah atafk Mbali ila kufuata ya mtu mwnginee utakosa ww
Asante Pastor Deo,ndo hali ninayopitia sasa na mpenzi wangu,ghafla amekuwa kimya nilihisi anipendi tena kumbe makosa ni yangu,kuna mambo nimeyatenda sikufahamu kuwa yaweza mfanya kuwa kimya,ki ukweli ili somo limenitoa machozi na najiona ni mkosaji sana na pia nilikuwa namuomba Mungu anipe jibu la kwa nini yupo kimya sasa nimelipata.Pastor naumia sana nahitaji nianze upya,ni nini nikifanye kwa kipindi hiki yeye yupo kimya?
yani leo umeniambia kitu kikubwa sana yan nilikua nakasirika nikidhani mume wng ana kua ana ninunia kumbe ndo mlivyo had nikawa namwambia acha tabia ya kununa nuna wanawake hua ndo tunanuna na sio nyie wanauma yani iyo tabia ilikua inanikeraaa sana yani sijui nisemeje saingine mtu unakua ata unajutia
Asante sana kaka mimi niko kwenye mahusiano na kaka mmoja hivi yaan siku nzima inapita hakutafuti mpaka usiku saa nne ndo anakujulia hali mimi hii kitu inanikera sana mpaka nahisi labda ana mwanamke mwingine ila yeye anasema anakuwa bz sana mpaka muda wa kushika simu anakosa tuko mtaa mmoja lakini naweza kumaliza hata wiki 1au mbili hatujaonana je huyu ana upendo kweli au nimevamilia penzi la mtu
Aisee nimejikuta nacheka maana huyu ni mimi kabisa sikumoja mwanangu aliniambia nimemkuta baba anaongea saana kule kijiwen mi nikashangaa hee hiv anaongeaga maana hapa home mimi ndo muonfeaji jaman😂😂😂 Mungu anisaidie kumbe anaamuaga kunyamaza
Mmh nmejifunza pia yan mm pia huu mdomo wangu ndio unampa stress kaka wa watu yan nikianza kulalamika ni masaa manne mwanaume yupo kimya tu na mada ninavyozichanganya sasa😂😂😂
Hiyo kuwa kimya yao ndio inawaletea kufaliki mapema na ugonjwa waroho kwanii wanaweka ndani ya miyoyo yawo . Wanamke kusema ndo kupona kwao kwani hana nguwu yakujipigania kingivu wanaume kuna ambae anakuwa kimya kumbe anapanga mabaya kwamwenzio
Ni kusena ya kuwa wanaume ni watu wangu kuongea Hiyo sasa ukiwa hivo mukeo atajuwa aje yaku unatafuta shuluhisho na hawezi ingia kwenye mawazo yenu. Mbona dunia inafika mbali na dunia inajaa wanaume?
Bwana we mnajitetea tu ,kila kitu ni utayar na kila kitu ni msingi kama mumewekeana misingi ya kuwasiliana kuna misingi kuongea na nani unawasiliana nae na nani unaongea nae kila kitu mnaweza mbona mkipata michepuko mnayaeleza yote tena Kwa utuo kwa kuyachambuo moja Hadi moja ,hapo sioni chochote zaid ya kutetea na kuzidisha kukuwa Kwa hio tabia ktk familia
Ukiona mwanaume anaongea kuhusu saikolojia ya wanaume hlf mwanamke ndio anapinga basi ujue huyu anayepinga ana tatizo kubwa..ni sawa na mwanamke aongee saikolojia ya wanawake hlf mimi mwanaume nipinge, itakuwa mimi nina shida..angepinga hizi hoja mwanaume nafikiri kungekuwa kuna tatizo lakini wanaume wanakubaliana na hiki ninachokisema ingetosha sana kukusaidia kujua kuwa unachojua na kuamini kuhusu wanaume sicho na ukajifunza
KWELI KABISAA YANI HIZO TABIA ZOTEEEE NINANZO,I USED TO KEEP SILENT WAKATI MKE WANGU ANAONGEA..... WANAWAKE WENGI NI PROBLEM CRAETORS NA WANAUME WENGI NI PROBLEM SOLVERS
Yeah..ni rahisi wao kukataa kuliko kuomba msamaha..kukataa kuna preserve manhood, kuomba msamaha kunaua manhood especially kama amebanwa kwenye kona ya kuhojiwa na mkewe
Na mwanaume ambaye ameondk kwakukwaluzan alaf haji nymbn kunitafuta anitafuti mpak nimtafute na anamgogolo wakazin kwao huyo han dharau kwel na online unamuona lakn hanitfat ukimulza kwann unitafti anajibu Kwan ww ukinitaft Kun nn nahuyo nivipi nimeache au naomb nijibiwe jamn
Hellow pastor nmekua nikijifunza vingi sana toka kwako naomba kuuliza 1. Je kitabu chako cha usichojua kuhusu mwanaume audio nakipataje na bei yake shingap 2. Je namna gani ukimya wa mwanaume unaweza leta madhara badala yakutatua changamoto akaamua yeye kujiondoa dunian kimya kimya ? 3. Ni namna gan unaweza mpenda mungu wakati jilan yako haumpend/ je namna gan unaweza kumwombea mema adui yako ilihali akiadhibiwa moyo wako unahisi maombi yako yamejibiwa yan unafurahia na ulikua unamuombea mabaya kama malipo?
Asante sana 1. Bei yake ni 15,000..wasiliana nasi kwa namba ya simu kwenye description Maswali yako nitajibu kwenye kipindi leo..ila swali la tatu liweke vizuri sijaelewa
Ni kweli Mchungaji Deo Mimi Niko ivyo na likologa Sana kwa kusema Sana,je Ni kila mwanamke Yuko ivyo? Mbona wanaume wakikimbia maneno ya wake zao uwa wanaenda kwa mchepuko na he mchepuko yeye Ana maneno maneno?
Kama kweli ananuna Huyo sasa atakuwa na tatizo la kisaikolojia..japo pia wakati mwingine wanawake hutafsiri ukimya wa wanaume kama kununa..ila wapo wanaume wanaonuna
@@DeoSukambi nimemfatilia sana now ndo nimejua kua amepitia maisha magumu ya kuteseka na pia ni yatima ila sasa ataki ata kuongea na mm sijui kwann amekaa kimya na ata ndugu zake naulizia wanasema ndo ivyo anapenda kujiweka peke ake nifanyaje
Kama amepitia maisha hayo na ni yatima its obviuos atakuwa na tatizo la anxiety disorder na mengineyo..muhimu muelewe kwanza usilazimishe kufanya kitu ambacho hayupo tayari kufanya
Huyu jamaa ukimfuatilia utamkubali tu yani anajua mwamba big up sana mdogo wangu Deo
Asante kaka ninejifunza vitu vingi sana kuhusu wanaumee nilikuwa nagombana karibu kila siku na mume wangu nimejirekebisha kupitia wewe nakufatilia kutoka sweden ❤
Asante sana Fatma..nafurahi kusikia kuwa umejirekebisha
🙏
Habari Yako Mr Deo nashukuru sana kwa good lesson 😇 kwaajili ya kuwatambua waumee zetu zaidi kwa upande wangu nilikuwa namuona kimya hataki kabisa nimuhoji nikawa simsikilizi kabisa namuhoji kila wakati ili aniambiee kinacho msibu but akawa anafokea na kuniambia kwa hupendi kunisikiliza ninacho kwambia but nikawa mpole na kusikiliza hata leo ninavyo kwambia nikikuta that situation kma ni kimya najua hyo mtu yupo ktk dunia ya kutatua changamoto zake au zetu 😅 kwa hyo namwambia naomba ukapumzike kabisa 😆 so nilipo sikiliza hii nimecheka sna 😅 na kujifunza zaidi shukran sna Mr Deo Mungu akubariki zaidi kwa unachokifanya aamin am from zanzibar.
Very good..ulijua kumuelewa mumeo..itawafaa sana
Asante sana mutumichi wa mungu unanisaidia Mungu akupe maisha malefu uzidi kusaidiana
Ahsante kw somo zr
Nakufutilia nikiwa mwanza ubarikiwe sana kwa somo zuri.
❤❤❤ kaka umenipa moyo sana make nilikuwa nachukia kweli kwa ukimya wake maana Dah! Huwa inakera sana. Ila saivi nimepata majibu.
Asante sana
Barikiwa sana kaka nimejifunza vizngi sana kutoka kwako nipo omani na nimekuwa mpya kabisa kwenye maisha yangu nakuombeya mungu akupe umri mrefu kaka yangu
Asante sana ndugu
Asant San baba leo nimejifunza kitu nilikuw nalalamika san ila Leo nimejifunza kitu nashukuru sana na Mungu akubarik 🙏
Amen amen
Asant sana sur wallah kila siku nagomban nawenzi wangu kisa namuuliza kitu anakuja kuniambia et ulikuwa ukisem nin hapo naanza fikaa mbaya kwe ila leo nimejifunza kutok kwako asant sana🙏🙏🙏
Ni kweli tumejifunza sana alhamdulillaah ubarikiwe
Amen amen
Asante Sana kakaangu nimeelewa zaidi kuhusu mwanaume. Umwalim mzuri sana
Asante sana
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu
Mimi nafatiliya kila kipindi chako niko Kuwait warabuni
Amen..asante sana kutoka Kuwait..nimefurahi
Nipo oman nakutazama
Nimekuelewa Mtumishi, asante kwa mafundisho mazuri.
Hongera mtumishi Mungu akuinue zaid karibu biharamulo kwa pastor mahili
Ubarikiwe sana kaka umekua ukinitibu sana na semina zako.
Exactly
Kitabu chako kimenisaidia jinsi ya kuishi na hawa viumbe ni kizuri mnooo
😊
Asante sana barikiwa
Mimi ni KaMBALE vahugho Charles pa Congo DRC. N'a shukuru sana
Asante sana ndugu
😂😂😂... Asante Mr Deo nimejifunza kitu muhimu sana 🙏🙏
Ubarikiwe
Asante kiongozi umenitoa mbali kwakweli
Nimejifunza kitu kikubwa mno leo. Mungu akubariki Sana mtumishi ndoa zetu zikapone, maana tunaharibu wenyewe
Hakika nitaanza kujishkilia😅😂
Dr. Uko vzr
Nashukuru umenifudisha tabia yakulshi na mume
Shukran Sana tumejinza mengi
Shukran nimejifunzakitu ❤
Asante sana kwa hii🙏
Umenifurahisha sana jamani
Amina na barikiwa sana, huu ni ukweli 🎉
Shukran sana. 🙏
Uko sawa nimekuelewa kaka saaana
Amina ubarikiwe sana kaka
Nashukuru sana umenifundisha sana
DAAH ASANTE PASTOR ILA KUNA WANAUME WANANUNA SANA 😄
Amen
@janethmlay7602
Sisi Majina yanayo anza na J tunapata shida sna Mtu ananuna Hadi unasema ni Mwanamme au Mwanamke WALLAH akinuna unaogopa Wewe😢😢 kumbe na ww umekutana na wa kununa
Asante kaka
Nashukuru sana aisee
Karibu
I like you doc 😊
Bless up ❤
Thanks
God bless you 🙏
Kwanini kila video yako inaanza na ukimya adi nafikiria simu yangu ndio iko na shida
Amen.God Bless You abundantly Pastor Sir🙌🇹🇿
Amen amen
Kipindi kizuri sana. Hongera kaka Deo
Kipindi kizuri sana. Hongera kaka Deo
Sidhani uko sahihi Deo kwenye haya. Kinachotakiwa ni mwanaume ajue psychology ya mwanamke na mwanamke ajue psychology ya mwanaume na kila mtu ajaribu kuji adjust kutokana na mapungufu ya mwenzake
Asante..wewe unaijua psychology ya wanaume?
Dada fatuma Kila Mwanamme yupo kivyake yupo asio Penda uongee sna ukiongea kosa akija kuongea ujue umemkosea akiwa kimya Ndio yupo Sawa hiv kila mtu aishi na Mpenzi wake vile alivo Wallah atafk Mbali ila kufuata ya mtu mwnginee utakosa ww
na nilikua nikimuuliza kwanini unanuna nuna ovyo anakwambia sinuni nakua sijisikii tu kuongea eeh aiseh 🙌
Hanuni bana ndio tulivyo😆😆😆😆😆😆
Ubarikiwe kabisa nimejifunzamengi
Shukran sana
Asante Pastor Deo,ndo hali ninayopitia sasa na mpenzi wangu,ghafla amekuwa kimya nilihisi anipendi tena kumbe makosa ni yangu,kuna mambo nimeyatenda sikufahamu kuwa yaweza mfanya kuwa kimya,ki ukweli ili somo limenitoa machozi na najiona ni mkosaji sana na pia nilikuwa namuomba Mungu anipe jibu la kwa nini yupo kimya sasa nimelipata.Pastor naumia sana nahitaji nianze upya,ni nini nikifanye kwa kipindi hiki yeye yupo kimya?
Tutakuwa Pamoja mm acha nissikilize kwanza maana mm mpenzi kakaa kimyaa hadi naogopa hata ukimsalimia haitikiii wallah😢 labda nimekosea mm
yani leo umeniambia kitu kikubwa sana yan nilikua nakasirika nikidhani mume wng ana kua ana ninunia kumbe ndo mlivyo had nikawa namwambia acha tabia ya kununa nuna wanawake hua ndo tunanuna na sio nyie wanauma yani iyo tabia ilikua inanikeraaa sana yani sijui nisemeje saingine mtu unakua ata unajutia
me wangu kutwa nzima kanuna me nachukia kweli
Amen 🙏 God bless you
Kuna wanaume wanataka wangee wao kama wako nawanaume wengine musiseme wanamke tu. History ya kunikwaza vizuri ayiache
Love from oman🇴🇲❤️
Nikweli Mungu aturehemu 🙏
Amina
Natazama hii video kutoka Kenya 🇰🇪 Stella
My brother that's true
Nakubaliana na ww Sanaa 😂😂
Asante
Nilimtumia message mia 😢mbaka sai haijaireplaiwa😅😅😅
🤣🤣🤣
Mvumilie
Asante sana kaka mimi niko kwenye mahusiano na kaka mmoja hivi yaan siku nzima inapita hakutafuti mpaka usiku saa nne ndo anakujulia hali mimi hii kitu inanikera sana mpaka nahisi labda ana mwanamke mwingine ila yeye anasema anakuwa bz sana mpaka muda wa kushika simu anakosa tuko mtaa mmoja lakini naweza kumaliza hata wiki 1au mbili hatujaonana je huyu ana upendo kweli au nimevamilia penzi la mtu
Mmmmh ubize gani huo 😊
@@hasfaastore929 ndo sielewi ila nikikaa nae nikama ananipenda
Duuu❤❤
Mm nakusikiza nikiwa eldoret Mimi n amina
Mume wangu alikuwa mkinya sana Hadi mkigombana ana nyamaza nilikuwa nachukia kimya chake
Msamehe bure..ndivyo tulivyo
Amen 🙏
Huyo ni mine wangu ndio anatabia hizo hizo zote
Weee me wangu kutwa nzima kanuna2 ananikera kweli
Km mm
Mimi naitwa Rukia nipo Oman
😂😂😂😂 kwahio tukiongea sana hawaelewi
😂😂😂😂😂
Hatar
Fact ❤❤❤
Kabisa
Asante
Mim anakua kimya San
Aisee nimejikuta nacheka maana huyu ni mimi kabisa sikumoja mwanangu aliniambia nimemkuta baba anaongea saana kule kijiwen mi nikashangaa hee hiv anaongeaga maana hapa home mimi ndo muonfeaji jaman😂😂😂 Mungu anisaidie kumbe anaamuaga kunyamaza
Mmh nmejifunza pia yan mm pia huu mdomo wangu ndio unampa stress kaka wa watu yan nikianza kulalamika ni masaa manne mwanaume yupo kimya tu na mada ninavyozichanganya sasa😂😂😂
Kama wameumbwa kufocuss na jambo moja ,,,, inakuwaje wanaona Bora kuwa na wake zaid ya mmoja..?
We nae wivu to
Hiyo kuwa kimya yao ndio inawaletea kufaliki mapema na ugonjwa waroho kwanii wanaweka ndani ya miyoyo yawo . Wanamke kusema ndo kupona kwao kwani hana nguwu yakujipigania kingivu wanaume kuna ambae anakuwa kimya kumbe anapanga mabaya kwamwenzio
God bless you
Wengine wamezid c ukimya bali kutelekeza mke
My man is so silent had namboeka ...............how can we be living together without communicating?
Talking is not communication
😂😂kumbe awa jamaa hawananga uwezo wa kufikiria mambo ma wili kwa mara moja, minacheka kweli, nawaelewa basi nitapunguza maneno.
Hapo kwenye kujishkilia ss wakati amekosea 😂😂😂
Naitwa shamimu natokea napatikan Kenya
Kujakutana na wanawake ambao ni wakimya
Unavyosema viumbe wengine wamechanganyika unamaanisha watu gani hao naomba ufafanuzi wako..
Ni kusena ya kuwa wanaume ni watu wangu kuongea Hiyo sasa ukiwa hivo mukeo atajuwa aje yaku unatafuta shuluhisho na hawezi ingia kwenye mawazo yenu. Mbona dunia inafika mbali na dunia inajaa wanaume?
Bwana we mnajitetea tu ,kila kitu ni utayar na kila kitu ni msingi kama mumewekeana misingi ya kuwasiliana kuna misingi kuongea na nani unawasiliana nae na nani unaongea nae kila kitu mnaweza mbona mkipata michepuko mnayaeleza yote tena Kwa utuo kwa kuyachambuo moja Hadi moja ,hapo sioni chochote zaid ya kutetea na kuzidisha kukuwa Kwa hio tabia ktk familia
Ukiona mwanaume anaongea kuhusu saikolojia ya wanaume hlf mwanamke ndio anapinga basi ujue huyu anayepinga ana tatizo kubwa..ni sawa na mwanamke aongee saikolojia ya wanawake hlf mimi mwanaume nipinge, itakuwa mimi nina shida..angepinga hizi hoja mwanaume nafikiri kungekuwa kuna tatizo lakini wanaume wanakubaliana na hiki ninachokisema ingetosha sana kukusaidia kujua kuwa unachojua na kuamini kuhusu wanaume sicho na ukajifunza
Eti vikao avinaga ajenda wala havijulikanii vilianza aje na vitaisha saa ngapi😂😂😂😂
😂sio mimi hapo...
Na kuna wanaume wanaongea kama ndege
Sa ndo anunenine hovyo???
Kama kweli ananua basi hayupo sawa ila isije ikawa unachanganya yeye kukaa kimya na kununa..wanawake wengi huwa hawawezi kutofautisha
Ila apo kwenye uongo mmh niwaongo kweli😅😅😅
KWELI KABISAA YANI HIZO TABIA ZOTEEEE NINANZO,I USED TO KEEP SILENT WAKATI MKE WANGU ANAONGEA..... WANAWAKE WENGI NI PROBLEM CRAETORS NA WANAUME WENGI NI PROBLEM SOLVERS
Safi
Sasa ikiwa mwanamme amekosea na kosa lenyewe linahusiana na yale anayokwambia utafanyaje ili kufikisha ujumbe?
Kwa hiyo wanaume wanakataa ili wasiombe msamaha..I referred to your example mwanamke aliye mfumania mume wake;mume akakataa. So sad
Yeah..ni rahisi wao kukataa kuliko kuomba msamaha..kukataa kuna preserve manhood, kuomba msamaha kunaua manhood especially kama amebanwa kwenye kona ya kuhojiwa na mkewe
Kuna wanaume wanaongea mpaka basi nahawezi kua kimyaa atakutafuta wanawake wengi kuchati nao ilimradi apate kuongea nao tu inakuaje hii kaka😮😅
Deo jmn unaongea sana bila kwenda kwenye point pia mda mref unaongea
Ndio namna yangu ya kufundisha ndugu..pole sana kama inakuwia vigumu kunielewa
Na mwanaume ambaye ameondk kwakukwaluzan alaf haji nymbn kunitafuta anitafuti mpak nimtafute na anamgogolo wakazin kwao huyo han dharau kwel na online unamuona lakn hanitfat ukimulza kwann unitafti anajibu Kwan ww ukinitaft Kun nn nahuyo nivipi nimeache au naomb nijibiwe jamn
Hellow pastor nmekua nikijifunza vingi sana toka kwako naomba kuuliza
1. Je kitabu chako cha usichojua kuhusu mwanaume audio nakipataje na bei yake shingap
2. Je namna gani ukimya wa mwanaume unaweza leta madhara badala yakutatua changamoto akaamua yeye kujiondoa dunian kimya kimya ?
3. Ni namna gan unaweza mpenda mungu wakati jilan yako haumpend/ je namna gan unaweza kumwombea mema adui yako ilihali akiadhibiwa moyo wako unahisi maombi yako yamejibiwa yan unafurahia na ulikua unamuombea mabaya kama malipo?
Asante sana
1. Bei yake ni 15,000..wasiliana nasi kwa namba ya simu kwenye description
Maswali yako nitajibu kwenye kipindi leo..ila swali la tatu liweke vizuri sijaelewa
❤Z
My mentor.........
Naam..asante kwa kunifatilia
Kuongea ndio maumbile yetu, na wanawake ndio maumbile yao. Sasa tufanyeje baba
Tafadhali kuna kelele kwenye video zako. From Italy. Chris Mauki video sale ziko very clear bila kelele wala sound
Asante sana kwa mrejesho..nimeshawasiliana na watu wa technical wanalifanyia kazi..
We naye mmbea tu kwani lazima umtolee mfano wa Mauki? Siuseme tu atoe kelele basi ....
@@joycehaule9717umesema aisee
unaongea utangulizi mreeeeefu punguza dibaji kidogo
Ni kweli Mchungaji Deo Mimi Niko ivyo na likologa Sana kwa kusema Sana,je Ni kila mwanamke Yuko ivyo? Mbona wanaume wakikimbia maneno ya wake zao uwa wanaenda kwa mchepuko na he mchepuko yeye Ana maneno maneno?
Asante kwa swali lako..nitalijibu leo kwenye kipindi
😪😪 me mpenz wangu ni ananuna nuna ovyo ad nakelekwa yan daah naumia sana
Kama kweli ananuna Huyo sasa atakuwa na tatizo la kisaikolojia..japo pia wakati mwingine wanawake hutafsiri ukimya wa wanaume kama kununa..ila wapo wanaume wanaonuna
@@DeoSukambi nimemfatilia sana now ndo nimejua kua amepitia maisha magumu ya kuteseka na pia ni yatima ila sasa ataki ata kuongea na mm sijui kwann amekaa kimya na ata ndugu zake naulizia wanasema ndo ivyo anapenda kujiweka peke ake nifanyaje
Kama amepitia maisha hayo na ni yatima its obviuos atakuwa na tatizo la anxiety disorder na mengineyo..muhimu muelewe kwanza usilazimishe kufanya kitu ambacho hayupo tayari kufanya
@@DeoSukambi sawa nimekuelewa nitamuacha tu sito msumbua now
Good..akiwa tayari kuzungumza utaanzia hapo kumuelewa zaidi..hajifanyishi ni tatizo alilonalo ndo linafanya awe hivyo
Moçambique
Wooow
Asante kwa kutufatilia kutoka Mozambique
🫡🫡🫡✅✅