MIRIAM LUKINDO MAUKI - ALIVYOKUTANA NA MUMEWE CHRIS MAUKI/ALIKUWA NA BAISKELI TU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2020
  • The Sound of Gospel is a radio and Online Program brought by SirMbezi, Mfinanga In Association with Bethel Radio going live every Tuesday at 2PM On bethel Radio and later on In this You tube Channel.
    Executive Producers - SirMbezi & Ignas Yonah (Bethel Radio)
    Presenter - Gadielson Charles Mfinanga
    Cameras - Edward Fanuel, SirMbezi
    Studio Set Up - Ignas Yona/Bethel Radio
    Photography - SirMbezi
    Editing - Sirmbezi,

ความคิดเห็น • 69

  • @setholivier4862
    @setholivier4862 3 ปีที่แล้ว +9

    Asante sana kwa hizi interview za waimbaji... Mungu akubariki ndugu .you deserve more subscribers . Can't wait for Martha baraka

  • @josephinesakaya2616
    @josephinesakaya2616 3 ปีที่แล้ว +5

    Dada Mariam umenibariki kwa maelezo yako hasa hiyo ya kutulia miaka 4 Na kuacha kila kitu na kwenda kwa mume wako na nguo 10 😍🥰🥰🥰

  • @mariamyoyote8172
    @mariamyoyote8172 2 ปีที่แล้ว +3

    Waaaaa blikiweni kwel had mmefanana Kama Kaka na dada hongera mungu azid kuwabaliki na kuwalinde napenda Sana mafunzo ya Dr Chris mauki ♥️♥️♥️♥️♥️♥️

  • @neemamjengi9913
    @neemamjengi9913 3 ปีที่แล้ว +6

    Hongera nyingi kwa dada Miriam,yaani ana vitu vikubwa sana,na vizito sana,
    pia hongera nyingi kwa Mr Mfinanga,maana uko viwango vikubwa sana kwenye kuhojiana na mtu hadi mtu anasikia kuenjoy kuendelea kuwqqngalia,
    Mungu Akupeleke haja za moyo wako Masihi wa Bwana

  • @NEEMASULLE-o3j
    @NEEMASULLE-o3j หลายเดือนก่อน

    Ahsantee mamangu nahitaji maombi yako niwe na familia nzuri kama wewe

  • @elishasomb7152
    @elishasomb7152 3 ปีที่แล้ว +4

    Hongera sana Miriam Lukindo kufikisha miaka 20 ya huduma ya Uimbaji. Kweli Mungu wa Mbingu na Nchi azidi kukupa mafunuo zaidi ktk kumtumikia.

  • @mecktemba8937
    @mecktemba8937 3 ปีที่แล้ว +2

    Yuko vizuri sana huyu Dada... Ni wa tofauti sana...huyu sio msanii wa nyimbo za injili,ni muimbaji wa nyimbo za injili

  • @carolinejohn347
    @carolinejohn347 3 ปีที่แล้ว +2

    Woooooow napenda vile mnaishi wapendwa.....ndoa yenu ni mfano wa kuigwa kwakwel

  • @odethamathias9103
    @odethamathias9103 3 ปีที่แล้ว +6

    Natamani ma binti woooote wajifunze hapa

  • @rehemamwasomola4362
    @rehemamwasomola4362 2 ปีที่แล้ว +1

    Miriam ni muda mrefu kwa mara ya mwisho tumeonana Baraza Majengo Moshi.Hongera sana Ubarikiwe.Natuma from Mbeya

  • @glorymwazyunga641
    @glorymwazyunga641 8 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana Miriam! Huduma iko hai naamini na Yesu yu hai ndani yako. Nilikufahamu live ulivyokuja UDSM hadi sasa naamini ni Yesu amekutendea/amefanya!

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 3 ปีที่แล้ว +2

    Hongera Miriam wa Mauki. Nakupenda dada sana. Wish to meet

  • @judithsalvatory2892
    @judithsalvatory2892 3 ปีที่แล้ว +2

    Amina hii family naipenda sanaaaa Mungu azidi kuwabariki

  • @victoriakhatibu2288
    @victoriakhatibu2288 11 หลายเดือนก่อน

    Miriam unaakili sana najifunza kutoka kwako,pia unamjua Mungu kikweli kweli inshort unajitambua sana

  • @marthauisso5803
    @marthauisso5803 ปีที่แล้ว

    Hongereni sana my dia najua unaweza kwenda kwenye right place na ikawa chungu kwani baadhi ya wanaume wana jipretend wakati wa uchumba, mkishaoana baasi

  • @magrethsimtenda926
    @magrethsimtenda926 3 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU Akubariki sana MIRIAMU LUKINDO

  • @womanoffaith2001
    @womanoffaith2001 3 ปีที่แล้ว +3

    I love your voice Miriam lukindo..

  • @mercypeledawson1622
    @mercypeledawson1622 3 ปีที่แล้ว +1

    Be blessed my role model I love your lifestyle God bless you 🙌🏻

  • @glorymwazyunga641
    @glorymwazyunga641 8 หลายเดือนก่อน

    Kujifunza kwa YESU, I like that

  • @rehemamwasomola4362
    @rehemamwasomola4362 2 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU AKUBARIKI SANA MIRIAM LUKINDO NAKUMBUKA WIMBO WAKO AMEN AMEN AIMENAAA ENDELEA KUNYENYEKEA BEST I LOVE YOU SO MUCH KARIBU MBEYA

  • @mgurefanuel5581
    @mgurefanuel5581 ปีที่แล้ว

    God bless you soumach..... ROHO MTAKATIFU TUSAIDIE 🙏

  • @magrethsimtenda926
    @magrethsimtenda926 3 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU anikutanishe na Mume sahh hongera kwa huduma

  • @claramkisi5268
    @claramkisi5268 3 ปีที่แล้ว +5

    Nmeipenda iyo ya Dr Chris kukulipa mshahara WA kulea watoto mbarikiwe kwa ndoa njema ndoa nzr n mchakato hongera sana madam

    • @ndolilehaule1158
      @ndolilehaule1158 3 ปีที่แล้ว

      Malezi ya watoto ni sadaka na ktk ukristo ni sehemu ya sala na tunapata neema kupitia hiyo hatupaswi kilipwa kama wanawake

    • @dativajoachimwai1194
      @dativajoachimwai1194 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@ndolilehaule1158
      ni kumtia moyo na kuonesha unajali. kama unaweza mlipe tu.
      mazoezi jamani, nami nilipatwa hivo. nilikua napita tu kwa mazoezi naomba nikusalimie

  • @magrethsimtenda926
    @magrethsimtenda926 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwaushuhuda tunajifunza sana

  • @officialalama1092
    @officialalama1092 2 ปีที่แล้ว +1

    This is powerful gospel 👏🏾🙌🏾

  • @celestinebenson8183
    @celestinebenson8183 3 ปีที่แล้ว +1

    Wow amazing....

  • @victoriabulambo2029
    @victoriabulambo2029 3 ปีที่แล้ว +1

    Dada miriam ongera kwa wito nakupenda buleee

  • @glorymwazyunga641
    @glorymwazyunga641 8 หลายเดือนก่อน

    Nimependa sana maelezo yako ulivyo break hiyo relation ya kwanza ambaye si sahihi. Mungu ni mwaminifu kama wimbo wako. Maana mabinti wengi mmmmh! Mungu atusaidie

  • @juliusmartin1839
    @juliusmartin1839 3 ปีที่แล้ว +1

    God bless you sister.

  • @glorymwazyunga641
    @glorymwazyunga641 8 หลายเดือนก่อน

    Huyu ni Yesu amefanya hakika hata kwangu!

  • @pendosalu9660
    @pendosalu9660 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki Dada Miriam, nakufurahia

  • @evangelistenockmwakapalila125
    @evangelistenockmwakapalila125 2 ปีที่แล้ว +1

    Nasikitika kwanini nimechelewa kukujua madam Miliam Lukindo

  • @mariamayoob8734
    @mariamayoob8734 3 ปีที่แล้ว

    Wawooo Bless

  • @oliversanga1498
    @oliversanga1498 3 ปีที่แล้ว

    Asante Mrs Mauki

  • @dapriccy3574
    @dapriccy3574 2 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki binafsi nawakubar Sana Chris & Miriam

  • @rehemarehema294
    @rehemarehema294 ปีที่แล้ว

    Umenifunza neno kushuka unahekima sana dada

  • @elfeletycalory2074
    @elfeletycalory2074 3 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana aunt

  • @pendosalehe8941
    @pendosalehe8941 ปีที่แล้ว

    So powerful

  • @leahjohnsimba4088
    @leahjohnsimba4088 2 ปีที่แล้ว

    Nimefurahii mbarikiwe

  • @glorymwazyunga641
    @glorymwazyunga641 8 หลายเดือนก่อน

    Unyenyekevu ni jambo la muhimu sana

  • @leahjohnsimba4088
    @leahjohnsimba4088 2 ปีที่แล้ว

    Nimekupenda Miriam

  • @magrethsimtenda926
    @magrethsimtenda926 3 ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa zaidi yaufahamu

  • @angelurioh5383
    @angelurioh5383 9 หลายเดือนก่อน

    ❤❤ nakupenda

  • @carolynammon9185
    @carolynammon9185 3 ปีที่แล้ว +3

    Your the best 💑 ever
    Nimejifunza ever

  • @jackjacklin3310
    @jackjacklin3310 3 ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @HosianaBuuta
    @HosianaBuuta ปีที่แล้ว

    Safi sana

  • @neemahamza1116
    @neemahamza1116 3 ปีที่แล้ว

    yaaaaani nimeelewa kuliko kiasiiiiiii

  • @skyluu
    @skyluu 3 ปีที่แล้ว +1

    Ni mrembo sana

  • @rachelchalz3615
    @rachelchalz3615 5 หลายเดือนก่อน

    Nmejifunzaa hekima na busara kutoka kwakoo

  • @floramajor3381
    @floramajor3381 3 ปีที่แล้ว +1

    Napenda hiki kipindi

  • @estherwilliam5125
    @estherwilliam5125 3 ปีที่แล้ว +2

    Mtangazaji acha izo yeah yeah na kama unajibu

    • @songweairport7602
      @songweairport7602 2 ปีที่แล้ว

      YOUR CORRECT...But nimemfuatilia katika vipindi vingi naona Mtumishi kazoea sana hicho kipokezi... but ni vizuri akakipunguza kama sio kuacha kabisa...ol in ol Tunakupenda sanaaa

  • @user-re7ep6tv9s
    @user-re7ep6tv9s 11 หลายเดือนก่อน

  • @alexmavindi2104
    @alexmavindi2104 3 ปีที่แล้ว +1

    Daah, dada Miriam una kitu mungu amekubarikia na wish mungu anipatie mke Kama wewe maaana dàahh Hawa wa dada wengine sijui Wana kwama wapi japo sio wote ila laiti km wangeijua dhamani yao hakika wangekuwa wake Bora sana, kiukweli mungu tu atusaidie maana Hali sio shwari.

    • @rhodasaid3262
      @rhodasaid3262 2 ปีที่แล้ว

      Kama Bwana alivyokutendea kwa kukupa ndoa tamu, nami naomba anikumbuke cku moja niwe na ndoa tamu nizidi kumtukuza milele Amen!

    • @user-nx5sn9hu7f
      @user-nx5sn9hu7f 6 หลายเดือนก่อน

      Unatakiwa kuwa mume mwema ili upate mke mwema na wewe unishushe uanaume uuweke pembeni uangalie kilichowaunganisha

  • @pendosalehe8941
    @pendosalehe8941 ปีที่แล้ว

    Kweli mume umepata dada

    • @moragwalysbert
      @moragwalysbert 11 หลายเดือนก่อน

      Nafikiri Mme wake ndio kapata Mke ❤

  • @mariamyoyote8172
    @mariamyoyote8172 2 ปีที่แล้ว +2

    Kidgo Kama Elizabeth Michael (LULU)

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว

    Maneno matamu hayo kama mume huko mbele atakumbuka mliko toka hakika

  • @evaakyoo3009
    @evaakyoo3009 3 ปีที่แล้ว +4

    Mimi nasikia tuu ndoa ninzuri ila kwangu mungu kanitenga kaniacha kanitupa hanisikii ...naona kwangu yupo likizo tena kalala ...naumia sana kuhusu matendo yamume wangu najuta sijui sidhani sielewi najuta tuu

    • @sele2507
      @sele2507 3 ปีที่แล้ว

      Ni wakati tu,unapita Mungu atakusaidia

    • @agnesnoelina2465
      @agnesnoelina2465 3 ปีที่แล้ว

      Pole sana endelea kumuomba Mungu mambo yatakuwa sawa

    • @immajuzo2440
      @immajuzo2440 3 ปีที่แล้ว

      Pole Mungu atakukumbuka jitamkie baraka na kumuombea tu

    • @evancekimath7405
      @evancekimath7405 2 ปีที่แล้ว +1

      Pole sana, maisha yanamabonde na milima, mwombe Mwenyez Mungu atakusaidia,
      Usikate tamaa,usimkufuru Mwenyez Mungu,hata wengine pia kuna wanayoyapitia katika ndoa zao ila uvumilivu ndio unaowasaidia,
      Imagine unamwacha mume wako unaenda kwa mwingine unakuta mambo nimabaya kuliko hata mume wako wa awali au unaishi single mother maisha yanakua magumu kuliko kawaida, ISHI PAMOJA ,SALI SANA,REKEBISHANENI.

    • @kissageorge3987
      @kissageorge3987 ปีที่แล้ว

      Jaman pole sn mpendwa kweli kabisa ndoa za sasa.hivi ni pasua kichwa mwenzetu amempata na wakumpa hela za uzazu kweli hongeta mno kwakwe ikiwapndeza watengeneze semina ya wanandoa ili wengi wetu tupone