1.Kutaka kua wa Kwanzaa kwenye kila kitu 2.tabia ya lawama 3.kukana kua tatizo lipo 4.kutafuta majibu kwingine na sio kwako 5.usifocus kuangalia tatizo la mwenzio Bali angalia kwako unamchango gani kwenye Hilo tatizo 6.si vitu vyote utasaidiwa kusolve na watu mzungumze nyie 7.tabia ya kuweka kinyongo utataka kulipiza kisasi 8.mpenzi mmoja kutokupenda maendeleo ya mwenzio 9.maisha yasiyokua na jipya
Asante sana dr,nimejifunza mambo mengi sana ambayo nilikuwa siyajui,namba 6 imenigusa,ex-husband alikuwa hapendi mimi nijishughulishe na biashara wakati yeye hakuwa mtunzaji wa familia,ubarikiwe sana dr
Kuwa wakwanza nivizu kwamana ukiwa wakanza unaweza kuwakumbusha wengine tusiwe na kinyongo asante Mungu unaniwezesha kushameheya ata kabura Mutu kuniomba musamaha na yesu pia arisema baba wasamehe hawajuwi waritendaho tutie mbere mungu wetu .
Haha...wacha nicheke doc,you hav touched my heart,hapo kwenye mafanikio lolz!nilitaka kujenga and he was a weird of every step that i was taking.ilikua issue and it's end up him divorces me.God nipe hitaji la moyo wangu
Dr Chris..nilikua nauliza...ikiwa uko kwa mahusiano na mpenz wako,kisha mpenz wako awe napikiwa na jirani wa kiume ni makosa,(2)je unaweza ukawa na namba za ex wako ikiwa uko na mpenz mwengne.(3) ni haki mpenz wako Kuintertain msg za wanaumme ukimuliza anasema ni rafiki zake?
NARCISSISM NDIO TATIZO PEKEE.... Ni utoto na ujinga uliopitiliza, ila pia ni malezi, peaceful and tender relationship feels boring kwa wale waliozoea au kukuzwa kwenye dramatic na toxix relationship. Kuna ushindani mwingi... Yani hamna amani.... Watu needs to wake up and heal their children trauma!
Naomba unisaidie Dr kuna kitu natamani sana kuelewa unaposema kuzungumza na mwenzako hasa kuzungumza maana yake nini je ni ku discuss mambo au maana yake hasa nini. MAZUNGUMZO KATI YAKO NA MWENZAKO
Mie ndugu nilivyoelewa yaan kama kuna jambo alijakaa vizuri au ata mazuri kaeni nyie wawili Kwanzaa ili mueleweshani kuliko kukimbilia kwa watu kabla nyie wenyewe amjakaa na kulizungumzia ilo jambo
Hat mm pia lakin mm Niko na mpezi wangu kila nikijaribu kujitahindi kumubandiriaha habadiriki utanisaindiaje kaka mm nampend San na siko tayari kbc kuachana naye
Mungu akubariki sana najifunza mengi sana toka kwako
Nilejifunza mengi sana kupitiya mafunzo yako docta Chris Mauki Mungu akupe umri mrefu
❤ ahsant saaana Dr .kwa mafunzo yako mazur naendelea kujifunza kutoka kwako
1.Kutaka kua wa Kwanzaa kwenye kila kitu
2.tabia ya lawama
3.kukana kua tatizo lipo
4.kutafuta majibu kwingine na sio kwako
5.usifocus kuangalia tatizo la mwenzio Bali angalia kwako unamchango gani kwenye Hilo tatizo
6.si vitu vyote utasaidiwa kusolve na watu mzungumze nyie
7.tabia ya kuweka kinyongo utataka kulipiza kisasi
8.mpenzi mmoja kutokupenda maendeleo ya mwenzio
9.maisha yasiyokua na jipya
Nafurahi sana ,maana Mungu amekuinua kwa ajili ya Darasa la Mahusiano kwa ajili yetu
Dr. Chris mauki anaongea point kwa kweli ubarikiwe
Asante sana Dr. Kwa mafunzo mazur. Mwenyezi Mungu akubaliki 🙏🙏🙏
Sahihi kabisa kaka Chris's,tena hili la kutokufurahia na kukwamishwa ktk mambo ya maendeleo ni kikwazo sana ba inakera sana
Asante kwa kuendelea kutufungua. Mungu akubariki
Kiukwel nimejifunz kt hap mung akubark san dr kris
Mm naona pia jinsi tunavyoongea na wenzi wetu au lugha ambazo tunatumia inaweza kuwa one of the great source ya kufanya mtu hasibadirike
Asante sana dr umeponya maisha yang .nimejifunza mengi sana toka nimekujua.
Asante kwa kunifungua maana kuna mambo yamenigusa
Mwanafunzi wa channel hii.very educative
Nakukubali Sana doctor big up Sana kaka
Daah mapenzi magumu sana kama hampendani ila mapenzi matam na mepesi sana kama mnapendana
Kweli kabisa
@@ChrisMauki1 Daaah Mungu azidi kukulinda uzidi kutupa somo kipo kitu na jifuza sana aseeee 🙏🙏
HILO LA KUPENDANA NDO KILA KITU HAYA MENGINE NI NYONGEZA TU
Asante san kwa mafunzo mazuri
Asante sana hakika tunafaidi madini yako
Asant sana Dr kwasomo nitarifanyia Kaz🙏🙏
Aisee father unatarget mulemule🙏🙏❤❤
Asante snaaa,unazidi kunibadilisha kila nikiona video zakooo🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Nashkuru sana
Asante sana dr,nimejifunza mambo mengi sana ambayo nilikuwa siyajui,namba 6 imenigusa,ex-husband alikuwa hapendi mimi nijishughulishe na biashara wakati yeye hakuwa mtunzaji wa familia,ubarikiwe sana dr
Ansante Dr umenitoa mahali ukaniweka mahali
Kweli kabisa nimeipenda hii charnel
Mungu akubarki
Blessed sana
Napendana na mume wamutu ila hmna chene ananipa nakuogeya na mimi namufosi ili tu aniongeleshe najiskie furaha
Dcr asnt nmepona kbsaa yaan unaongea fct....Be blessed u
I like this charnel
Duuu asante Dr.Mauki
SoMo zuri mwalim
Shukran barikiw dr
I understand you are concept
Dokta uko vzur sana
Asante 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
God be with you
Kwa kweli nitakufuatilia upo vzr baba tena sanasana.
Ahsante sana Dr Mauki
Kuwa wakwanza nivizu kwamana ukiwa wakanza unaweza kuwakumbusha wengine tusiwe na kinyongo asante Mungu unaniwezesha kushameheya ata kabura Mutu kuniomba musamaha na yesu pia arisema baba wasamehe hawajuwi waritendaho tutie mbere mungu wetu .
nimeipenda hii channel
Thanks so much brother
Haha...wacha nicheke doc,you hav touched my heart,hapo kwenye mafanikio lolz!nilitaka kujenga and he was a weird of every step that i was taking.ilikua issue and it's end up him divorces me.God nipe hitaji la moyo wangu
Awared*****
😊
Hongera kwa divorce.
@@DaveHumphrey2514 ok
Mambo
God bless you.
So interesting,you are really a nice teacher
Be blessed Dr. Chris
Hata uizi mwenzako anapunguza uchumi wenu kwa makusidi
Dr Chris..nilikua nauliza...ikiwa uko kwa mahusiano na mpenz wako,kisha mpenz wako awe napikiwa na jirani wa kiume ni makosa,(2)je unaweza ukawa na namba za ex wako ikiwa uko na mpenz mwengne.(3) ni haki mpenz wako Kuintertain msg za wanaumme ukimuliza anasema ni rafiki zake?
Ameen
Asante sana kaka
Nimekuelewa sana dk
Ubarikiwe sana mafundisho ni mazur sana
Ubarikiwe sana
Nakuhelewa sn Mtumishi
Asante 🙏🙏🙏
Dah! Mengine yananihus mm mung akusaidie uzid ku2fndsha
Bless you..
Nikweli kabisa kaka
Asante sana
Asante Doctor
Dah! Bro nafatiliaga sana vipindi vyako lakini mm sijui kwanini sikaaga Na mahusiano ata ni mpende vip lkn yatavunjika tu.
Tupo wengii..yani hta nikupende vp lkn ukijaribu kuniunzi kwa makusudi nakuacha uende.
Aaah
Thanks so much Dr. I appreciate you 👊👊👍
niceness doctor
You are great
It's good
Vizuri xana axante kutufundisha
Hamujambo mm naomba nitakupata vpi kwa prvt ninayamuhimu kwa nasaha yetu SS wanawake asante
Shukran Mr
Karibu sana Mariam
Chris mauki naomba no zako
@@janethkilaza1387 0713407182
Very helpful
Niceeee
Nimekuwa na mumpenzi nikamupenda sana ila yeye hakunipenda Nika muacha akawa ananileteya madrahau
Thanks Dr
Nakushuku sana dr. Hapo kwenye no1$2
Namba sita hiyo daaaah
nimesikia vizur kutembelea Chanel hii nimejifunza mengi sana
Jisikie huru wakati wowote
NARCISSISM NDIO TATIZO PEKEE.... Ni utoto na ujinga uliopitiliza, ila pia ni malezi, peaceful and tender relationship feels boring kwa wale waliozoea au kukuzwa kwenye dramatic na toxix relationship. Kuna ushindani mwingi... Yani hamna amani.... Watu needs to wake up and heal their children trauma!
Naomba unisaidie Dr kuna kitu natamani sana kuelewa unaposema kuzungumza na mwenzako hasa kuzungumza maana yake nini je ni ku discuss mambo au maana yake hasa nini. MAZUNGUMZO KATI YAKO NA MWENZAKO
Mie ndugu nilivyoelewa yaan kama kuna jambo alijakaa vizuri au ata mazuri kaeni nyie wawili Kwanzaa ili mueleweshani kuliko kukimbilia kwa watu kabla nyie wenyewe amjakaa na kulizungumzia ilo jambo
Wanaume ndo naonaga mnazo sana hzo
Mung akubarik San kwa funzo hil
Akhsantee nitajirekebisha
God bless you
Be blessed dr
Naomba namba zako jaman
Me namatatizo mengi kwel
Mwingine badala ya kutatua tatizo, anakujibu maneno ya kuku umiza
Hat mm pia lakin mm Niko na mpezi wangu kila nikijaribu kujitahindi kumubandiriaha habadiriki utanisaindiaje kaka mm nampend San na siko tayari kbc kuachana naye
Kwanye kukana hapo me kwakwel napotezea sna kwasasa mtu unamkuta anakanaaa na ugomv juu.
😂😂😂🤩
Hii namba 6 hii kweli huu ni uchawi km kweli kuna mtu apendi
kaka umeongea kweli
Ila naomba MUNGU anipe wangu future husband wapeke
ndiyo mwanamke niliyenae kiukweli nimechoka kabisa, bora nimuache
😅😅mwache wamuokote wengine😂😂
ZUNGUMZENI, HILI NENO SANA
🙏🙏❤️
Nice
Kweli kabisa
Umenikuna ....maana huyu mume wangu anagubu mpaka basi
Wapo weng mamy unakuta kikosa kdogo atavyolkuza na aliish🤣🤣
Pole mamy
Namba 7...!!
Asante san ila bado nipo single
Khadija Mambo
@@joramnunu1449 powa
@@khdijaahmed8458 nisave e-mail
AU PHONE number
@@joramnunu1449 mmmhh
No.6..anayefanya hvyo km si mchawi tumuite nani.
Ur so amazing I wish u could talk to my hubby
c ndo umkaribishe asubscribe sasa
Aah wapi hapendi kusikiliza
yaaan kuna vitu n vizur sana kwa ustaw wa mahusiano mtu anaposikia anajfunza pakubwa sana yaan penz unakuta linastaw tu na kufurahia maisha
na toka nianze kumfuatilia chriss nmejifunza vitu ving sana, kiufup namkubali sana
Ila hii namba sita hii mm imenifanya adi sasa atuelewani na mchumba angu natamani adi kuvunja uchumba sasa
Naitaji musahada na mimi matatizo hayo yanamusibu kipenzichangu ilaningelipata what's App namba basi ingelikuwa vizuri
Uyo ex wangu amekuwa hapendi nichukuwe simu yake ila yangu anachukuwa nimekuwa namufumaniya ma codom
Naaam
6 ndio yangu😥😥😥😥😥
Tun
Pole
🧡