Mungu akutunze Dr kwakweli hakika ningeyapata madini hayaa before dahhhhhh, Vijana nawasihi sanaaa msikurupukie maisha na Mahusiano hayaaaa ya kujuana Mjini, Chuoni Jamani chunguzaneni kwanza.
Vitu vya kuchunguza kabla ya kusema ndio; A. Chunguza umri(age), either umri Sawa or mwanamke amzidi mwanaume kidogo. B. Background (ametoka kwenye familia gani, amelewa na nani, familia yao ikoje, je aliwahi pitia manyanyaso yoyote. ✒️📌🙏
Je kuna uongo kwamba asilimia kubwa ya ndoa (ingawa sio zote) wanawake ndio victims? Kuna anayepingana na ukweli huu au unaamua tu kujitetea. Na.sio.kweli kwamba yote nifundishayo yanahusu wanawake.tu, bado kujafanya search yako vizuri kwenye mafundisho yangu. Kagua utanielewa
Dr.chris mauki ,mm nipo kwenye mahusiano ambayo tuko vzr sana na tumepanga mambo mengi na tumefanya mambo mengi kabla ya ndoa . lkn tupo kwenye dini tofauti mm ni muislamu na yeye mkristo lkn mm nimekubali kuingia kwenye din ya kikristo lkn wazazi hawataki kusikia tu iko kitu ,lkn bado tunaendelea kuishi lkn ndoa ndio inatuzuia kwa sababu ya wazazi ,naomba dr chris nisaidie mm nifanyeje kuhusu ilo?
Doctor I'm gong through a lot , Situation yangu Sasa hv Ni mbya Jana kidogo nitie kamba shingoni Ila nikaona video yako moja ,bado nahema , Naomba namba plz
@@merryluvanga8624 mwanaume akicheat nje hafanyi kwa kuwa hakupendi, tumeumbiwa tamaa. Kama mlikuwa mbali ongea naye na umsamehe. Kama anakupenda na anatekeleza majukumu yake shukuru tu. Wanaume wasiocheat ni ngumu kumpata labda kama utaamua kuishi mwenyewe.
Bwana yesu asifiwe Pasto mm EUNICE kadii Charo kutoka maneno ya kilifi country Kwa ssa niko Qatar ni Kwa utafurahia BT nko single mother niliachhwa na Mzee Wangu akaona mtu mwengine tokaniachane naye nimekaa 8years good c eti c,tongozwi lkn nko na hofu je? Naweza pata mume ambaye tulioana hata niacha? Ju Niko na 3kids ila maisha ya ukweke yamechosha je nifanye nn mpaka niondoe hofu hio?
Dr chris mimi nipo kweny mausiano ambayo siyaelwei kabisa kwa sababu tulikutana bar nilikuwa nafanya kaz sasa kaniambia anaitaji niache kaz hyo ili aniowe lakin kaniambia nikimzalia ndy atakuwa na siliazi na mimi na nimejalibu kusikiliza wew vipind vyako ndy vimenifumbua naitaji unishauli please
Kwa kweli kaka yangu Mungu akutunze daima kwa maana masomo unayoachilia kwa kweli haya masomo yananijenga na nazidi kuelimika zaidi
Amen Dr kumbe wewe Ni mtumish wa Mungu barikiwa sanaa naomba unisaidie Niko na Jambo linanitatiza
Mungu akutunze Dr kwakweli hakika ningeyapata madini hayaa before dahhhhhh, Vijana nawasihi sanaaa msikurupukie maisha na Mahusiano hayaaaa ya kujuana Mjini, Chuoni Jamani chunguzaneni kwanza.
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks

Ndio Dr na ninakufatilia sanaa My Mentor 🙋🏻♀️🙋🏻♀️
Nimepata kituuu Kikubwa sanaaa Dr. Asante
Mungu azidi kukutunza kwani umekuwa msaada mkubwa kwangu nafuatilia sana mafunzo yako
You are blessed indeed 🙏🙌🌟😇
God bless you Dr mafundisho Yako yamewatoa wengi shimoni.
Asante sana kunifuatilia na kujifunza. Natumaini umesha subscribe channel hii. Kwa Ushauri tutafute kwa Namba 0713 407182
Shikamoo mahusiano, MUNGU atusaidie sana mabinti
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Asante sana muchungaji mungu akuzidishie ila nakuulize swali muchumba wangu anataka tufanye tendo la ndoa kabla ya kunioa nifanyeje
Acana nae hauko karanga zakuhonja kama anakupenda atakusubili
Sema kweli mm nimeshindwa mahusiano yanaumiza mnoo
Pole sanaa wajna tupo wengi
@@seraphineally9739 asante
Yaan himebidi nikae tuu nitulie huwenda hipo siku Mungu ataniletea anayenipenda kweli
@@sarafinamagabe2437 Mungu ni mwema alafu wakati wake ni sahihi ipo siku yetu tu hahaha
@@sarafinamagabe2437 tupo wengi dada nimefikia tamati🙌
😂😂😂😂😂😂 Tupo wengi usijari ipo siku Utampata wa kukupenda
MUNGU akbaliki Sana bro ,,somo zuri 💯 inatsaidia sana
Umenitengenezea njia. Respect for you
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Thank you Daktari for putting it as it is. God Almighty bless you AMEN.
Hongera Dr. napata maarifa Kila cikuu
Barikiwa zaidi kaka Chris mauki
Asante mtumishi nijifunza n
Hongera sana doctor
Nakuelew Sana dr
Ubarikiwee kwa ujumbe mzurii unaotusaidia
Asante sana kunifuatilia na kujifunza. Natumaini umesha subscribe channel hii. Kwa Ushauri tutafute kwa Namba 0713 407182
Mungu akubariki kwa mafundisho baba
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Asante sana mtumishiwa mungu
Amina ubarikiwe
Doctor Mung akutunze, Mung akukumbuke pia akupe maisha marefu ili kilichomo ndani yako tuendelee kukipata
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Da navutiwa na mafundisho yako dr balikiwa.🙏🙏
Ishi tu kaka angu MUNGU awabariki sana
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Shukran xn nimejifunza
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Ahsante kaka,ubarikiwe sana.
Amen asante sana
Dr barikiwa sawa hunapatikana wap
Hapa Dar, Esaurp survey karibu na mlimani city 0713407182
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@@ChrisMauki1 nipo dar ila hy sehemu sjawai fik naomba nikupgie unipe maelezo ya hudum
@@ChrisMauki1 maan nahitj sana msaada wako
Seriously the early is better 👏👏
Stay blessed 😇 Dr.
Wueh, sisemi kitu mie...masomo makuu haya.🤗🇰🇪
Asante Sana nmegundua channel hili leo wow umenisaidia sana maanake nmekaribia kusema yes i do Mungu nitangulie
Asante sana kunifuatilia na kujifunza. Natumaini umesha subscribe channel hii. Kwa Ushauri tutafute kwa Namba 0713 407182
Very interesting Topic.
Asante sana kunifuatilia na kujifunza. Natumaini umesha subscribe channel hii. Kwa Ushauri tutafute kwa Namba 0713 407182
Ansante sanababa
Nakufatilia Dr.
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Nafurahia sana kutazama na kufuatilia mafundisho yako..
Asante sana kunifuatilia na kujifunza. Natumaini umesha subscribe channel hii. Kwa Ushauri tutafute kwa Namba 0713 407182
@@ChrisMauki1 Amen Amen
Vitu vya kuchunguza kabla ya kusema ndio;
A. Chunguza umri(age), either umri Sawa or mwanamke amzidi mwanaume kidogo.
B. Background (ametoka kwenye familia gani, amelewa na nani, familia yao ikoje, je aliwahi pitia manyanyaso yoyote.
✒️📌🙏
Nice
Yaaaaah balaaah Sana mahusiono
Cio balaa no tatizo la kukurupuka tunakutana Mjini na kuvamiana bila kujuana ndio athari na faida zake hizi msikilize Dr Mauki utapona. Pole Bennie
Be blessed
somo zuri
Kaka hilo somo kwa hiyo kanuni. ingefaa sana uwafundishe wasiooa kwa waliooa halifai
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Hongera kwa mafunzo
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Chris mauki kwenye ndoa unasema kwel
Somo zuri, lakini masomo yako mengi yanawaona wanaume ndiyo wakosaji na ndiyo wanaoumiza wengine, hivi wanawake siyo waharibifu wa ndoa.
Wanawake ndo wateja wake, lakini ukiona titles zake unaweza kufikiri inahusu wote ila ukisikiliza mwanzo mwisho yeye ni wanawake tu ndo victims
Mm ninamchumba naweza nikamwambia nataka kukaa nae
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Je kuna uongo kwamba asilimia kubwa ya ndoa (ingawa sio zote) wanawake ndio victims? Kuna anayepingana na ukweli huu au unaamua tu kujitetea. Na.sio.kweli kwamba yote nifundishayo yanahusu wanawake.tu, bado kujafanya search yako vizuri kwenye mafundisho yangu. Kagua utanielewa
Msach vzr achagui Wala abagui mafunzo yake mazur sana
Good
Amen..... Nimekuelewa
Nashkuru kwa kunielewa
Daaa Basi nmefanya kitu sahihi tumepishana MIAKA 5 doctor
Nimejifunza kitu kikubwa sana leo
😂😂😂eti acha umalaya
Duuuu! Mungu atusaidie jmn
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Nimekuelewa sawa sawa dr mauki.
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Mungu akubariki muchungaji
Nina muchumba ila anataka tufanye tendo la ndoa kabla ya kunioa nifanyeje
Vp kuhusu kumpenda mtu na unatumia Kila njia kumuonyesha kuwa unampenda anakubali na baadae anakwambia mm cjawah kukupenda
Blessings man of God
Asante sana kunifuatilia na kujifunza. Natumaini umesha subscribe channel hii. Kwa Ushauri tutafute kwa Namba 0713 407182
Tunaomba mwendelezo wa mafundisho haya ,imeishia B
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Hahaaaa Asante kaka
Huyo alipigiwa makofi nimempenda bure
Nilikua kwenye mahusiano mwaume simuelew hanitafut mpka nimtafute mie nami nkampotezea saiv nmeskia anataka kuowa kwengne
😂😂😂😂roho mtakatifu ame nionyesha,misemo ya wamchao mungu
Siwapendagi hao wanaojifanya ata hisia wanasingizia kuoteshwa washindwe
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
😂😂😂😂ukigusa tu unakufa washangaa anazimia
Asant dkt natesekaa mm Ila nmekuelewaa
PART AKE IKO WAP SASA
hapo kwenye 16:39 jamani😂😂😂
Acha mambo ya umalaya... Hahahahaha
Dr.chris mauki ,mm nipo kwenye mahusiano ambayo tuko vzr sana na tumepanga mambo mengi na tumefanya mambo mengi kabla ya ndoa . lkn tupo kwenye dini tofauti mm ni muislamu na yeye mkristo lkn mm nimekubali kuingia kwenye din ya kikristo lkn wazazi hawataki kusikia tu iko kitu ,lkn bado tunaendelea kuishi lkn ndoa ndio inatuzuia kwa sababu ya wazazi ,naomba dr chris nisaidie mm nifanyeje kuhusu ilo?
Doctor I'm gong through a lot , Situation yangu Sasa hv Ni mbya Jana kidogo nitie kamba shingoni Ila nikaona video yako moja ,bado nahema , Naomba namba plz
Nilikuwa mbli na mpenz wangu nimeludi nimegundua ananichiti Dr nifanye nni na anaonyesha kunipendasan na kunijari
Angekua Anakupenda asinge kuchit kutakua na tatizo hpo
Huyo hakufai
Daaaaah
Saw a nimehelewa sa nifanyeje dr MNA ashakuwa Mme wangu nifanye nn?
@@merryluvanga8624 mwanaume akicheat nje hafanyi kwa kuwa hakupendi, tumeumbiwa tamaa. Kama mlikuwa mbali ongea naye na umsamehe. Kama anakupenda na anatekeleza majukumu yake shukuru tu. Wanaume wasiocheat ni ngumu kumpata labda kama utaamua kuishi mwenyewe.
asante
Bwana yesu asifiwe Pasto mm EUNICE kadii Charo kutoka maneno ya kilifi country Kwa ssa niko Qatar ni Kwa utafurahia BT nko single mother niliachhwa na Mzee Wangu akaona mtu mwengine tokaniachane naye nimekaa 8years good c eti c,tongozwi lkn nko na hofu je? Naweza pata mume ambaye tulioana hata niacha? Ju Niko na 3kids ila maisha ya ukweke yamechosha je nifanye nn mpaka niondoe hofu hio?
Dr chris mimi nipo kweny mausiano ambayo siyaelwei kabisa kwa sababu tulikutana bar nilikuwa nafanya kaz sasa kaniambia anaitaji niache kaz hyo ili aniowe lakin kaniambia nikimzalia ndy atakuwa na siliazi na mimi na nimejalibu kusikiliza wew vipind vyako ndy vimenifumbua naitaji unishauli please
Mh! Hana MAPENZI ya kweli huyo be careful dada
Ukimxalia imekula kwako utakuwa Malay tu!!
Barikiwa sana
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Dkt naomba namba yako
𝑴𝒖𝒏𝒈𝒖 𝒂𝒌𝒖𝒃𝒂𝒓𝒊𝒌𝒊
Maneno yanagusa moyo haya
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
HAHAHAHA HAFI ANAZIMIA,DUUUUUU,NIMECHEKAAAAA
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
What a lesson
Asante sana kunifuatilia na kujifunza. Natumaini umesha subscribe channel hii. Kwa Ushauri tutafute kwa Namba 0713 407182
Unachelewa kiweka part two
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
😁😁
DR huwa unafanyia wapi semina zako?
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Dk mauki nina mahusiano ambayo siyaelew yaenda mbele yanarudi nifanyaje maana nimevumilia sasa nahisi kuchoka
Anataka kumkiss anasema acha mambo ya umalaya
😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣 mbavu zangu mie jamn polee
Ubatikiwe
Asante sana kunifuatilia na kujifunza. Natumaini umesha subscribe channel hii. Kwa Ushauri tutafute kwa Namba 0713 407182
Ofisi zako zipo wap nam nahitaj kufika hapo kupata ushauri
Asante sana kunifuatilia na kujifunza. Natumaini umesha subscribe channel hii. Kwa Ushauri tutafute kwa Namba 0713 407182
Nikamim
Da navutiwa na mafundisho yako dr balikiwa.🙏🙏
asante sana