FAHAMU NGUVU YA MAOMBI USIKU WA MANANE.

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 1K

  • @rosekilawe786
    @rosekilawe786 4 หลายเดือนก่อน +76

    Ameeen nilikuwa naomba usiku silali nilikuwa na shida Yesu alinijibu na kunitendea Atukuzwe Mungu.

    • @nurumtewele2835
      @nurumtewele2835 หลายเดือนก่อน +3

      Amina

    • @frankjohn8706
      @frankjohn8706 23 วันที่ผ่านมา

      ​@@nurumtewele2835jinsi ulivyoiset Imani Yako maana iwe usiku iwe mchana YESU KASEMA ukiwa na Imani kiasi Cha punje ya haradali utauambia mlima huu onfoka na utatii..pasipo Imani haiwezekani kumpendeza

    • @gabrielchami9831
      @gabrielchami9831 18 วันที่ผ่านมา

      ​Ameni

    • @LovenessPaul-yf7rz
      @LovenessPaul-yf7rz วันที่ผ่านมา

      Amin kubwa

  • @user-cc9lc5dq6x
    @user-cc9lc5dq6x หลายเดือนก่อน +16

    Be blessed pastor ❤ Mungu unapobariki wengine usimsahau na uyu pastor ametufunza mambo muhimu sna ❤

  • @asnathpascal852
    @asnathpascal852 3 หลายเดือนก่อน +26

    MUNGU ambariki sana huyu Mtumishi. Tangu nianze kufuatilia mafundisho yake maisha yangu ya kiroho yamebadilika. Napokea mabadiliko mapya kila siku.

  • @joyskazungu9167
    @joyskazungu9167 หลายเดือนก่อน +10

    🤲 eeeh! Mwenyezi mungu nilikuwa siombi usiku ila sahii naomba usiku nakuomba sana baba yangu uniponye magonjwa yote yanayonitesa yaurithi,yakujituma na kutumwa ,fungua kizazi cha mama yangu fungua ndugu zangu kila minyororo ,kamba n nira zote za kimapepo zikakatike Kwa nguvu zako 🙏🙏🙏

  • @user-ym6jf8zo7j
    @user-ym6jf8zo7j 6 หลายเดือนก่อน +22

    Mafundisho yako yamenitoa machozi😢Mungu atupe ufahamu wakujitambua,asante mchungaji ubarikiwe🎉.

  • @marcelakose6540
    @marcelakose6540 2 หลายเดือนก่อน +4

    Amen 🙏 🙏 🙏 very powerful n true,Lord grant me the grace for prayer n supplication n take away slumber from me.

  • @helenwanjiru4962
    @helenwanjiru4962 10 วันที่ผ่านมา +1

    I praise God for opening this forum,I'm blessed n I will follow this powerful man of GOD. I'm blessed mightly.

  • @marymutindi-iy4uh
    @marymutindi-iy4uh 22 วันที่ผ่านมา +4

    Asante mchunaji umenifunza mengi Mungu akubariki

  • @aminakabuka8700
    @aminakabuka8700 6 หลายเดือนก่อน +30

    Yesu mwaka huu nitaamka usiku kuutumia vizur Ili uokoe ukoo,familia na maisha yangu binafsi thanks so much kwaajili ya neema hiii nakucheka shetanii unipati tena😂😂😂😂🎉

  • @lilianalara8007
    @lilianalara8007 4 หลายเดือนก่อน +6

    Ee mungu wangu nijalie Neema ya kukujua kukupenda na kukutumikia,nijalie pia nisiwe na ulegevu katika maombi Amen 🙏🏼

  • @samuelkaranja1801
    @samuelkaranja1801 5 วันที่ผ่านมา

    Nairobi 🇰🇪 following the sermon very well.God bless this servant of God

  • @dominionbiginga4170
    @dominionbiginga4170 ปีที่แล้ว +16

    Mara ya kwanza kukusikia yaani masomo yako yananifaa saana namshukuru Mungu kwa ajili yako be blessed abundantly

  • @japhetlazaro3
    @japhetlazaro3 3 หลายเดือนก่อน +9

    Huyu pastor ni chombo ya Mungu.

  • @user-vv8nl9mn3m
    @user-vv8nl9mn3m 10 หลายเดือนก่อน +15

    Asante mungu kwa kumwinua mtumishi wako tumebarikiwa sana endelea kumfunika kwa damu yako hili awe mchungaji mwema wa kulisha kondoo wako amen

    • @WestZabibu
      @WestZabibu 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mtumishi mimi na shukuru Mungu sana nime saidiwa na somo...

  • @magogelameck1501
    @magogelameck1501 12 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu nipe rehema ya kukutana na wewe usiku wa Manane

  • @user-fd1mm5yw3w
    @user-fd1mm5yw3w 6 หลายเดือนก่อน +13

    God give me grace to pray at night.Go bless you Man of God

  • @annnjeri864
    @annnjeri864 ปีที่แล้ว +39

    Ewe Mungu wangu naomba unipe neema ya kukwabudu usiku wa manane haya ni maombi yangu mbele yako ewe Jehovah Mungu wangu 🙏🙏🙏🙏

    • @basilisapuka5321
      @basilisapuka5321 4 หลายเดือนก่อน +4

      Asante yesu kwa ajili ya siku hizi nimesikia neno la mtumishi wako.

    • @GordianBenedicto
      @GordianBenedicto 4 หลายเดือนก่อน

      Mungu yesu Akubariki Kwa mafundisho mazuri​@@basilisapuka5321

    • @carlosnamende2766
      @carlosnamende2766 4 หลายเดือนก่อน

      0p😢😮​@@basilisapuka5321

  • @neemamashauri5955
    @neemamashauri5955 2 ปีที่แล้ว +14

    Mungu akupe afya njema, nabarikiwa mnoo na mafundisho yako

  • @lilianosward8319
    @lilianosward8319 หลายเดือนก่อน +2

    Asante Yesu kwa hili somo nimelitafuta sana kwa muda mrefu maana mara kwa mara ikifika saa tisa nakosa usingizi na sijui chakufanya
    Ashukuriwe Mungu leo nimejua nini cha kufanya
    Ubarikiwe Mtumishi
    Hakika kwa kila jambo kuna majira yake na wakati kwa kila kùsudi chini ya mbingu

    • @jasminepeter7598
      @jasminepeter7598 หลายเดือนก่อน

      Hata Mimi nakosa usingizi mda huo

  • @user-eg1rf6uv1h
    @user-eg1rf6uv1h 2 หลายเดือนก่อน +14

    God,help me to be waking at midnight to pray for my husband who is being tied by the spirit of poverty and loans.

  • @GatiMohabe
    @GatiMohabe 19 วันที่ผ่านมา +3

    This is a great revelation..... God help me to wake up at mid nights for prayers

  • @EsterbernardoVumo-kn2xv
    @EsterbernardoVumo-kn2xv 6 หลายเดือนก่อน +5

    Mungu Mikumbuke Nakuhitaji Sana Mungu Wangu Mungu EYesu Kristo nisaidie.mimi Mtumishi Wako.

  • @eliasmhagama4978
    @eliasmhagama4978 2 ปีที่แล้ว +7

    Barikiwa sana Mtumishi wa BWANA kwa neno la uzima. BWANA YESU akutunze

  • @christabelaluvisia7297
    @christabelaluvisia7297 13 วันที่ผ่านมา

    This is so true. Thank you so much pastor for this teachings. I started praying mid night and God has done so much for me

  • @sharonamugune2094
    @sharonamugune2094 2 หลายเดือนก่อน +6

    May Almighty God bless you servants of God more grace🙏🙏🙏 umenifunza mambo muhimu sana . Sikuwa naelewa chochote wakati wa usiku wa manane

    • @lynnwanji8167
      @lynnwanji8167 2 หลายเดือนก่อน

      Thanks pastor

  • @AgreyAckim-pt3wv
    @AgreyAckim-pt3wv 7 หลายเดือนก่อน +11

    Munguu tutunziee huyuu mzee miaka mingii❤❤❤

  • @gracemdugo5446
    @gracemdugo5446 วันที่ผ่านมา

    Very powerfully message,God bless you pastor.

  • @rosejustine
    @rosejustine 11 วันที่ผ่านมา

    Mungu wangu asante kwa kunikutanisha na huyu Pastar George nipe nguvu ya kuweza kuomba usikubwa manane

  • @neemajeremiah9401
    @neemajeremiah9401 หลายเดือนก่อน +3

    Hakika nimebarikiwa sana na mahubiri haya.🙏🙏🙏

  • @exaveryndelwa2309
    @exaveryndelwa2309 2 ปีที่แล้ว +3

    God bless you Mwalimu nimejifunza na Kule wa jins Mungu anajifunua katka mambi ya usiku na Vita vyangu adui anafanya zaidi usiku hapa naingia kwa Matendo moja kwa moja nimuone Bwana
    thanks God for this Man of God

  • @millymuchiri1980
    @millymuchiri1980 วันที่ผ่านมา

    Powerful Sermon help me God na uniondolee usingizi usiku wa manane nikuwe muombaji. More Grace God. God bless you Pastor it's my first time kukusikia.

  • @ZakayoMhadisa
    @ZakayoMhadisa 4 หลายเดือนก่อน +2

    Asante Mungu kwa yoote unayotutendea watu wako naomba uwepo wako katika maisha yangu na familia yangu simama nami Bwana

  • @noelimlinga9694
    @noelimlinga9694 4 หลายเดือนก่อน +37

    Bwana nipe uwezo kugeuza usiku wangu wa manane kua silaha kwa jina la Yesu kristo

  • @WilliamLuogaAJ
    @WilliamLuogaAJ 2 ปีที่แล้ว +8

    Umenifaaaaaaa mno baba ,limenifaa neno hili , Akutunze Bwana 🙏🏾

  • @levinaemanuel6188
    @levinaemanuel6188 ปีที่แล้ว +2

    asanteeee mtumish wa mungu nimrbarikia kwa neno mungu akuongoze kwa neno lake na wengine wsijuwe vyema maombi haya nimebarikiwa amina

  • @user-bb6wu9wi2t
    @user-bb6wu9wi2t หลายเดือนก่อน +1

    Amen kubwa iyo nikweli kabisa Asante sana kwa neno ubarikiwe mpaka ushangaeee

  • @lilianfruitful19
    @lilianfruitful19 ปีที่แล้ว +9

    Am ready now to rise and fight,,,thanks man of God we really need this type of truth

  • @Sali-dr3xx
    @Sali-dr3xx 3 หลายเดือนก่อน +14

    Pastor n kweli naamini mungu anasikia n anajibi maombi y usiku barikiwa kwa hil neno limenigusa mahali

  • @celestinenatulukucheto-gg7ti
    @celestinenatulukucheto-gg7ti 22 วันที่ผ่านมา +1

    Ee mungu nipe ufahamu wakukujua Zaidi,minyororo ya shetani itoke kwenye maisha yangu nkuwe mwepesi WA kuamka usiku WA manane na kutukuza Jina lako

  • @apostlerebeccamunguaniinul7073
    @apostlerebeccamunguaniinul7073 47 นาทีที่ผ่านมา

    Amen baba asante kwa mafundisho baba

  • @janetogalo9681
    @janetogalo9681 28 วันที่ผ่านมา +3

    I'm really blessed, very powerful teaching 🙏 🙌

  • @marthabui9292
    @marthabui9292 2 ปีที่แล้ว +5

    Amen somo ni nzuri Sana limenifumbua macho ya roho I barikiwa sna mtimishi

    • @zawadikimaro4087
      @zawadikimaro4087 2 ปีที่แล้ว

      Amen Amen uko wapi nataka nije nisali kwenye kanisa lako. Nimebarikiwe sana Tena sana. Mwenyezi MUNGU akubariki sana.

  • @winnywavish2292
    @winnywavish2292 5 วันที่ผ่านมา

    Mungu nitie nguvu na unipe kibali cha kukuomba usiku wa manene🙏🙏🙏

  • @josephinemutio5293
    @josephinemutio5293 21 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu nizaidie na unitie nguvu kutoka Leo nikkue wakuomba usiku wa mamanane.

  • @sundayherrieth9460
    @sundayherrieth9460 ปีที่แล้ว +8

    Ubarikiwe sana Pastor, Mungu azidi kukuinua kwa viwango vya juu Sana

  • @bestinamafipa2002
    @bestinamafipa2002 2 ปีที่แล้ว +15

    Pastor,, another revelation Sir, another anointing. Thank you man of God. The hand of God proctect you always.

  • @JanethJaneth-dy6kr
    @JanethJaneth-dy6kr หลายเดือนก่อน +1

    Amina Mungu nisaidie na mm niwe mtu wa maombi ya dhabihu

  • @cesiliangailo4026
    @cesiliangailo4026 ปีที่แล้ว +3

    AMINA ubalikiwe na BWANA YESU Kiristo mtumishi , Asante Sana 🙏

  • @MagdalenaAyubu-ox5fz
    @MagdalenaAyubu-ox5fz ปีที่แล้ว +3

    Amen Mtumisshi wa Mungu ipo siku na mmi nishuhudia Makuu ya Huyu Mungu🙏🙏

  • @patrabrandon2365
    @patrabrandon2365 2 ปีที่แล้ว +84

    Nimejifunza kitu na roho yangu inaugua...naumia naomba mungu anisaidie kufata mandiko na mafundisho ya mtumishi wako Mungu azidi kukupa afya njema

    • @emanuelpeter9247
      @emanuelpeter9247 ปีที่แล้ว +11

      Amina mtumishi wa Yesu

    • @angelkangumbi6641
      @angelkangumbi6641 ปีที่แล้ว +1

      Nakuews

    • @KijanaMcheshi
      @KijanaMcheshi 11 หลายเดือนก่อน +2

      God bless umenitia moyo mtumishi wa mungu na mungu azidi kukulinda na pia kukubariki ansante sana

    • @Pastorelizabethnzioka
      @Pastorelizabethnzioka 11 หลายเดือนก่อน +1

      21r3uy2ú²2 mtumishi wa Mungu akubariki Kwa ufunuo wa kibingu

    • @graceDeborah-pf1bi
      @graceDeborah-pf1bi 10 หลายเดือนก่อน +1

      😊❤

  • @ZakayoMhadisa
    @ZakayoMhadisa 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu ni mwema kwetu, Mungu mbariki Mtumishi, Mungu libariki somo la saa hii maana Mungu amekuwa mwema sana

  • @magogelameck1501
    @magogelameck1501 12 วันที่ผ่านมา

    Ahsante Mungu nipe rehema na nguvu ya kuniwezesha kukutana na wewe usiku wa Manane kwa Yesu kristu Naomba Amen

  • @user-iy2qb4iu7d
    @user-iy2qb4iu7d หลายเดือนก่อน +3

    Ameeen 👏👏👏👏👏🙏

  • @paulnicholaus1458
    @paulnicholaus1458 3 หลายเดือนก่อน +3

    Bwana YESU asifiwe!
    Hakika umenifunza jambo kubwa kuliko hata ungeniombea, ni muhimu kwangu kujua kujitetea na sio ktetewa tu.

    • @shshygibb2236
      @shshygibb2236 3 หลายเดือนก่อน

      Nisaidie Mungu wangu Yehova jire.Yehova Rafa.Adonai....❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😢😢

  • @safialuhizo4979
    @safialuhizo4979 ปีที่แล้ว +1

    Nabarikiwa mtumishi wa mungu nimemuona Bwana usiku WA manane,,, UBARIKIWE

  • @AlexSambagi
    @AlexSambagi 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akubariki mtumishi nami naomba mungu anisaidie niutumie usiku huo

  • @ValentinaMapunda
    @ValentinaMapunda ปีที่แล้ว +8

    Asanteeeeh eeeeh YESU 🙏simama na mm katika utekelezaji 🤲😢 AMEEN 🙏

  • @JaneMinayo-cl3ki
    @JaneMinayo-cl3ki 22 วันที่ผ่านมา +1

    Amen 🙏 mimi nilikua naamka saa sitar nikiomba hadi mungu anafanya jambo laminitis sai nimerudi nyuma sana na changamoto ni mingi ya ajabu Mungu anirejeshe tena

  • @AgnesLinus-vb9uj
    @AgnesLinus-vb9uj 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ewe mwenyezi Mungu naomba nijalia kukupenda na kupenda kukua mbele zako daima

  • @shautsewa6014
    @shautsewa6014 2 ปีที่แล้ว +9

    Nimepata kitu kikubwa sana pastor ubarikiwe sana

    • @ruthtito4699
      @ruthtito4699 2 ปีที่แล้ว +1

      Amina kubwa ubarikiwe sana nimejifunza kitu nimeelewa sana barikiwa sana mtumishi wa Mungu

  • @nurumuzei964
    @nurumuzei964 ปีที่แล้ว +9

    God bless you pastor God bless you abundantly in Jesus mighty name Ameen

  • @user-ou4cu3lh6g
    @user-ou4cu3lh6g 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ghai mungu akupariki Kwa ufunuo mungu alikupea juu ya maombi ya usiku WA manane be blessed kabisa

  • @ErickMunga-bk9xl
    @ErickMunga-bk9xl 2 วันที่ผ่านมา

    Amen Be blessed man of God

  • @josephlembrisi3757
    @josephlembrisi3757 2 ปีที่แล้ว +5

    Amen na mungu wetu asikie kilio chetu wanawe tunateseka sana Kwa kutomjua yeye

    • @princeprecious9175
      @princeprecious9175 ปีที่แล้ว

      Asante mutumishi wamungu kwakazinzuri zakuharibunguvuzagiza kwamaombi naneno.

  • @elizaikuthu9672
    @elizaikuthu9672 2 ปีที่แล้ว +9

    Be blessed 🙌🙏 this message it's for meubarikiwe 🙌🙏 ujumbe huu ni kwa ajili yangu

    • @vickyayo8712
      @vickyayo8712 ปีที่แล้ว +1

      Asante Yesu,kwa ajili ya somo hili

  • @faithmwathi7899
    @faithmwathi7899 2 หลายเดือนก่อน +1

    Oooh my God nimesikiza hii neno nimefufuka tena mungu nishike mkono nisimame tena

  • @PriscaDaniel-vu5bl
    @PriscaDaniel-vu5bl 20 วันที่ผ่านมา +1

    Nimepata kitu hapa mungu nipe nguvu yakuomba usk wa manane

  • @blandinamwenda7761
    @blandinamwenda7761 2 ปีที่แล้ว +3

    Nimebarikiwa sana na somo hili, Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu

  • @hodarimashingajacques3415
    @hodarimashingajacques3415 ปีที่แล้ว +3

    Mchungaji Mungu akuwezeshe na azidi kukupa maharifa katika uduma hiyi unayo ,Mungu akupe haja ya moyo wako .

  • @magrethchakudika2162
    @magrethchakudika2162 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asanthe sana postor..Kwa kweli nimejifunza kitu usiku WA Leo...bariliwa sana mtumishi

  • @user-gg7mc4ep3n
    @user-gg7mc4ep3n 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ee mungu naomba unipe Neema ya kukuabudu usiku wa manane amen

  • @happyhappy-ym2su
    @happyhappy-ym2su 2 ปีที่แล้ว +5

    Jaman pastor.......nimesikiliza huu ujumbe zaidi ya mara tatu na sijachoka bado,,,Mungu akubariki sanaaaaaa sielewi niseme nini ila umenifungua macho sana🙏

    • @AdellaTryphone
      @AdellaTryphone 2 หลายเดือนก่อน

      Ubarikiwe Sana kwa ujumbe huu

  • @marykiwoi7821
    @marykiwoi7821 ปีที่แล้ว +4

    God bless you pastor and thanks for the teachings and revelations

  • @sadamedza
    @sadamedza 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nimejifunza kitu kupitia mafundisho haya. Mungu nipe roho ya kuomba wakati wa usiku nijitowe dhabihu iliyo hai. God bless you man of God 🙏🙏🙏

  • @florablasius2677
    @florablasius2677 หลายเดือนก่อน

    Sifa na utukufu ni kwa Mungu juu mbinguni 🙏ubarikiwe mtumishi wa Mungu hakika neno hili likafanyike msaada kwangu sitaki tena kuleta hasara kwenye ufalme wa Mungu bali kuanzia sasa ufalme wa giza ukapokee hasara Shetani mda wako umekwisha sasa nmepata siri za ufalme wa mbinguni 🙌🙌🙌

  • @ericmajige7857
    @ericmajige7857 2 ปีที่แล้ว +5

    Asante mtumishi wa Mungu, umenifungua vifungo vya shetani

    • @DativaMbowe
      @DativaMbowe หลายเดือนก่อน

      Wewe ni mimi 😭😭😭 nimemsikiliza Leo, ndo siku yangu yakwnza nanimepokea amen,

  • @mwanyongamama4407
    @mwanyongamama4407 ปีที่แล้ว +5

    Glory to Almighty God be blessed hear you

  • @Josephine-fw1rv
    @Josephine-fw1rv ปีที่แล้ว +2

    Wow, hakika mungu nipe nguvu nipate kujua cri ya maombi

  • @PerisPendo-ge8wo
    @PerisPendo-ge8wo ปีที่แล้ว +2

    Amen mm nimejifunza mambo mengi sana kuhusu hili somo nasema mungu akubariki sana mumishi wa mungu 🙏🙏🙌🙌🙌

  • @user-gl5vs6pr2k
    @user-gl5vs6pr2k 5 หลายเดือนก่อน +22

    Naamini kupitia mafunzo haya,,nitaweza kubalisha historia ya maisha yangu

    • @essywanga6240
      @essywanga6240 26 วันที่ผ่านมา

      Katika Nina Kuu LA Bwana Yesu

  • @ruthlaizer9298
    @ruthlaizer9298 2 ปีที่แล้ว +3

    Asante Mchungaji. Somo zuri. Yesu akutunze sana

  • @user-xk8bg3bg9x
    @user-xk8bg3bg9x หลายเดือนก่อน

    Hakika nmepokea nguvu mpya katika hii safari ya ki imani vile nitakavyoweza kupigana na nguvu za kiroho za ulimwengu,,,nashukuru sana mtumishi wa mungu ,,popote uedapo mungu akutagulie na kukushka mkono,,👏👏🙏🙏

  • @user-do8nq8ht2f
    @user-do8nq8ht2f 3 หลายเดือนก่อน +1

    asante mtumishi naomba mungu nipe nguv ya kuamka n kuomba usiku

  • @davidmwani7722
    @davidmwani7722 ปีที่แล้ว +3

    Namshukuru Mungu kwa ajili yako mchungaji

  • @miriamkariuki7171
    @miriamkariuki7171 ปีที่แล้ว +4

    God bless u for your good teaching .

  • @josephinemutio5293
    @josephinemutio5293 21 วันที่ผ่านมา

    Thank you man of God for this lesson.

  • @esthermoindi7097
    @esthermoindi7097 9 วันที่ผ่านมา

    Mungu nisaidie niwe naamka usiku naomba🙏

  • @AngelBlack-uf1tu
    @AngelBlack-uf1tu 4 หลายเดือนก่อน +15

    Moyo wangu unaugua 😢mungu nisaidie kuomba usiku wa manane

    • @angelitapaulo
      @angelitapaulo 4 หลายเดือนก่อน +1

      Tujitahidi tuache usingizi mimi sijawahi hata siku moja ngoja nianze

  • @jescakerubo3953
    @jescakerubo3953 ปีที่แล้ว +13

    Powerful teaching may God bless you pastor

  • @agnessally7513
    @agnessally7513 3 หลายเดือนก่อน

    Ameen usiku wa manane ni usiku wa maombi ee Mungu nipe neema hii ya kuamka na kufany maombi

  • @ruthmhando522
    @ruthmhando522 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe sana. Mafundisho mazuri kuhusu maombi.

  • @kagekagemulo7348
    @kagekagemulo7348 ปีที่แล้ว +3

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @tumainirwela6488
    @tumainirwela6488 ปีที่แล้ว +4

    For sure this is the message for me.
    Iko siku nitashuhudia jinsi Bwana amenitransform. Ubarikiwe sana mchungaji.

    • @elizabethmushi7424
      @elizabethmushi7424 ปีที่แล้ว +1

      Ubarikiwe bb naomba kujua uduma yako iko wapi mtumishi wa Mungu nimetamani Sana uduma yako

    • @user-eu6ql9zl7n
      @user-eu6ql9zl7n 6 หลายเดือนก่อน

      Mwanza

  • @carolinemarie721
    @carolinemarie721 ปีที่แล้ว +1

    Amina Amina Amina mtumishi Mungu akubariki sana. Natamani niingie katika matendo kweli kweli, Mungu anisaidie.

  • @linetmbevi6806
    @linetmbevi6806 11 หลายเดือนก่อน +2

    Amen mungu akubariki nikweli kabisa lazima tujinyime usingisi tuutafute uso wa Bwana

  • @user-du2cf2il8f
    @user-du2cf2il8f 5 หลายเดือนก่อน +3

    Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu kwa mafundisho mazuri ya kuutafuta uso wa Mungu usiku wa manane.Mungu atusaidie Wana wa Mungu kutenga muda wa kumtafuta Mungu Maombi ni Ulinzi kwa Mkristo

  • @ceciliakasula4367
    @ceciliakasula4367 2 ปีที่แล้ว +23

    Glory to god, holy Spirit awakens me daily in the night, on 1am or 2am or 3am,i thank God for choosing me thought the prayers of sacrifice 🙏

    • @jesusismyking5292
      @jesusismyking5292 11 หลายเดือนก่อน +4

      God please not god

    • @nadzua1750
      @nadzua1750 8 หลายเดือนก่อน

      Amen 🙏 🙏

    • @user-nk4ox1gc8g
      @user-nk4ox1gc8g 6 หลายเดือนก่อน

      Nakupend mtumishi wa mungu

  • @nashipaithomas3334
    @nashipaithomas3334 หลายเดือนก่อน +1

    Mtumishi Mungu akubariki sana nimebarikiwa sanaaa

  • @liliankeyabaraka8195
    @liliankeyabaraka8195 ปีที่แล้ว +1

    Ameeeen Asante sana mutumishi wa MUNGU kwa mafunzo mazuri 🙌🙌

  • @edithanchimbi2754
    @edithanchimbi2754 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akubariki Sana mtumishi Mungu