Duuuuh huyu pastor ni kwere, nilikuwa simjui ila naona nimekuwa addicted na haya mahubiri, hata siwezi kulala bila kumaliza mahubiri🤔🔥🔥 Mungu ambariki sana
Nimebarikiwa kuliko kawaida nahisi waumini wako wanafaidi Sana, Endelea kutenda kazi ya Bwana vyema. Baraka za Mungu zikufuate popote pale uendako mtumishi wa Mungu.
Ameen amina mungu akubariki sana mtumishi wa mungu, yote uliyohubiri mjungaji ni kama ni mimi ulinihubiria ubarikiwe sana kwa kunifungua amina ubarikiwe
Amen, namshukuru mwenyezi Mungu Kwa kuniambatanisha pamoja na mutumishi wake ilikunieka kwenye njia sahihi ya neno la Bwana. Nabarikiwa kila wakati ninapo sikiza mafundisho ya kwako. Mungu akuzidishie afya na nguvu ya kuendelea kufanya Kazi yake Amen
Amen and Amen, you don't know how much you have helped me. May the All knowing God richly shower you with His blessings. I believe that with a sincere heart, God has given me another chance to enjoy my freedom has a man and His servant in His presence and that I may also share in His blessings through offerings and testimonies. God bless you for inspiring my soul and restoring my stolen freedom of worshipping.
Ujumbe wa Mungu kwangu kupitia mtumishi wa Mungu huyu umeniweka huru.Asante sana Yesu Kristo uliye Bwana na mwokozi wangu. Hakika mwana akikuweka huru unakuwa huru kwelikweli.Amina
Baba, yote ume huburi ndo Hali nayoishi sasa. Mwenyezi Mungu akubariki saan kwa ili neno. Tuna wafwatilia from Norway. Nashukuru Mungu maana nime elewa sasa nini inayo nisumbua na hivi nitashinda maana nimepata strategy naamini nita shinda ktk yeye atutiaye Nguvu
Amen pastor nimefunguliwa macho maana haya mahubiri ni kama yananihusu mimi nimepitia mengi mpaka roho kurudia yale niliyoyashinda inaniandama nikifikiria MUNGU ameniacha naomba MUNGU toba na naomba urejesho nishakosa naomba mtumishi unisaidie
Kam unamkubali bwana yesu gonga like hapa❤
Ameni kabisa
Huyu ndiye Mchungaji anaye sema kweli za Neno la MUNGU
UBARIKIWE SANA PASTOR
Yesu ❤❤
Hili somo unaongea na mimi🙌🙌🙌🙌🙌
Since I heard this pastor teachings as I was scrolling you became my pastor online ,am blessed day by day ,may the Lord you
Same thing here he's a spiritual man
Asant MUNGU kwaajili ya huyu mtumishi mungu muinue huyu mtumishi viwango vingine
Duuuuh huyu pastor ni kwere, nilikuwa simjui ila naona nimekuwa addicted na haya mahubiri, hata siwezi kulala bila kumaliza mahubiri🤔🔥🔥 Mungu ambariki sana
Same thing here he's a spiritual man
R
Thanks JESUS, nimebarikiwa hakika nitainuka niendelee na safari ya Imani.
Nashukuru kupatana na huyu mchungaji kwa kweli nabarikiwa Sana nipo kenya
Mungu azid kukutumia baba nabarikiwa nafunguliwa sanaa kupitia mafundisho yako Mungu akutunze. Sanaa
Hili somo ni langu asante Yesu kwa kibali umeruhusu nisikililize apa
Kabisa mtumishi WA mungu Mimi nimagojwa na hospitalini haionekani ugojwa chest pain
Nimebarikiwa kuliko kawaida nahisi waumini wako wanafaidi Sana,
Endelea kutenda kazi ya Bwana vyema.
Baraka za Mungu zikufuate popote pale uendako mtumishi wa Mungu.
Ameen amina mungu akubariki sana mtumishi wa mungu, yote uliyohubiri mjungaji ni kama ni mimi ulinihubiria ubarikiwe sana kwa kunifungua amina ubarikiwe
Yesu akubariki sana mimi nataka kukua kiroho naomba Mungu aendelee kukupa ufunuo ili utumike kunikuza kiroho
Mafundisho mazuri ya kufungua mtu kwenye vifungo vya shetani Mungu akubariki sana Pst
Asante Bwana Yesu kristo Kwa kunirudisha Kwa njia kupitia mtumishi wako ni Mimi nikirudi nyuma sana lakini ukanikumbuka leo 😢😢thank You Lord 🙏🙏
Jamani hawa ndio watumishi wakweli wanatufundisha neno la kweli jinsi tunavyoshambuliwa kiroho... Asante baba nimepokea neno Amen
I have been so blessed since I started listening to you pastor you are a blessing
Nimependa neno lako,niko sauda Arabia huku akuna kuenda kanisa so you are my father nitakuwa nakuzikiza online Amen
Pambana huko Mungu akutie nguvu
MUNGU awe pamoja naweee
Asante Yesu kwa somo hili ambalo ni angalizo kwa maisha yangu ya leo. Nisaidie Bwana nirudishie kiu cha kulisoma na kulielewa neno lako.
Amen mtumish
Nmejifunza kitu Kikubwa sana.
Ila dalili ya 1 & ya 8 n Zahatari mno na Za kuziepuka kwa Kila namna MUNGU atusaidie.
Pst Mungu akubariki akuzidishe zaidi umenihudumia...kwa hii somo
KABISA HUYU MTUMISHI JAMANI, MUNGU AMBARIKI,SANA YAANI NIMEPATA DELIVERENCE KWA KUSIKILIZA TU, MTUMISHI MUNGU AKUBARIKI SANA 🙏
0⁰😢😢
Ni kweli kabisa wewe uko natufunguwa vichwa mafundisho mazuri sana
Amen amen amen amen amen amen amen
Amen🙌
nashukuru Sana kwa mafundisho
Thanks for the message May the LORD meet you to your point of need. And remain blessed
Yes i understand man of God
Mtumishi ,this word has found me at the right time, kumbe nilikuwa nimevamiwa ,but after 3 days of fasting , I thank God almighty for this word .
Mchungji umenibariki sana
Amen
Amina baba Mungu akupe maisha marefu maana ni yangu🙏
I thank God for connecting me with pastor George , mafundisho yako yananifhnza na kuniinua. Mungu akubariki sana
MUNGU Akubariki sana, niliwai kufanya dhambi ya kuhoji,naomba MUNGU Anisamee,leo nimepona kwa jina la YESU👏
Amen Amen Amen nimejifunza kwa huu ujumbe sitakubali tena kutolewa kwenye nafazi yangu💥💥🇰🇪🇰🇪roho ya uzito 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 in Jesus Name 👏👏👏
Annastisia
Yaaa,uyu ni mtumishi wa kitofauti,anatumikia kusudi la Mungu sirias.tunamuomba aje daa.
amen mtumishi mafunfisho ya muzuri sn
Hakika umenena vyema Mtumishi wa MUNGU, Ubarikiwe sana✍️🙏🙏
Huyu ndie mchungaji ambae hana utapeli ndani yake ila anahubili akiongozwa na ROHO WA MUNGU. Naomba MUNGU azidi kumuinua na kumbariki in everything.
Ameen 🙏🏾🙏🏾
Very true anahubilii pure ijili. May aGod fight his battles.
❤❤❤
Me too l love his teachings..,
mungu ambariki
December 2023
Na nmeponywa na neno La Mungu kupitia wewe
Barikiwa sana baba
I use to ignore watching this video many times. I didn't know it has this wonderful message for me 😢😢😢. May the almighty God Bless you Man of God.
😊..
Mm😊 my
😮
Blessed mtumishi wa Mungu
This is me. So today fifteen April I just scrolled it so many times but I decided to listen
Baba unaniambia mimi naamini leo nasimama kwa jina la yesu
Ubarikiwe Sana mtumishi mungu amekutumia kwa ajili yangu dalili zote nimejifunza nimepitia nilikuwa karibu na kupotea hakika nimepata nguvu mpya
Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu.
Amen Mungu wangu kwa kunikutanisha na haya mafundisho ya leo,nimehisi upenyo wa roho mtakatifu ndani yangu.asante yesu.
Najifunza mengi sn kupitiai huyu Pastor.MunguAmtumze
Nashukuru MUNGU kwa kuniongoza moja Kwa moja Kwa mtumishi mukabwa Kwa sababu Leo nimefunguliwa naomba unisaidie na mengine yafunguliwe
Haleluya JESUS Mungu Mukomboe watu wako
Mtumishi Mungu akuzidishiye maarifa uduma iyi uifikishe maali Bwana napo taka,nimefunguliwa kwa jina la Yesu Christ
Amen, namshukuru mwenyezi Mungu Kwa kuniambatanisha pamoja na mutumishi wake ilikunieka kwenye njia sahihi ya neno la Bwana. Nabarikiwa kila wakati ninapo sikiza mafundisho ya kwako. Mungu akuzidishie afya na nguvu ya kuendelea kufanya Kazi yake Amen
Mungu akubariki. Sana mtumishi hakika unagusa Sana maisha Yangu Amin
Naomba tuongeee Mtumish ninashida
Ameen mtumishi wa mungu hakika nabarikiwa sana
Asante yesu kwakumupa mutumishi wako neno sahiyii ,nimebali Kiwa .nakufunguliwa.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏 Asante sana mungu akubariki
Asante sana Pastor, najifunza mengi sana kupitia mafundisho yako. Katika jina la Yesu sitarudi nyuma tena
Powerful revelation.. Hallelujah!
Everne moris mungu akupiganie sana Kwa kaz nzuri umenijenga sana nasomo hili barikiwe na mungu mtumishi wa kweli amena
Amenii Baba nmefunguliwa sana sana hili somo kunamahali nmetoka na Kuna mahali na kwenda Mungu wa mbinginii Akubariki Baba 🙏🙏🔥🔥
Asante kwa fundicho hii
Amen & Amen. Ubarikiwe mtumishi.
Mungu akutunze baba
Hallelujah glory to God..🙏🙏🙏
Amen baba angu 🙌 kuanzia sasa nimefunguliwa katika jina lipitalo majina yote Yesu kristo💪💪 nimepona na mashambulizi yote ya ibirisi niko huru 🙌🙌🙌🙌
Àmen
Yaaan haya mahubiri nilikuwa sitaki kuyasikiliza,Kumbe ni ujumbe wangu kabisa 😢, Naomba nipiganie Mungu wangu
HIZI BATTLE NI WEWE MWENYEWE KUPIGANA!
Kaa kwenye nafasi yako, pigana kwenye hii vita: kwenye kila dalili amesema nini cha kufanya!
Huu ujumbe ni wangu mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana
Am so glad man of God to hearing your teachings coz am gaining so many good spiritual things .ooh God thanks so.
Hallelujah mtumishi wa mungu nimepata ufunuo kupitia hilo neno 🙏
Barikiwa mtumishi wa Mungu asante kwa somo hili
Ubalikiwesana nitaamkatenakiroho
Amen, ipo hatua ninasogea
@@BernadetterehemaaYYAA araYaaaeAaaayayaaA ayauaaayayayaYaaaaAyyaaaayayaaayyYAaaayaaayyaayaaayyaaayyaayyayyyayayaua
Amina mungu akunariki
Amen and Amen, you don't know how much you have helped me. May the All knowing God richly shower you with His blessings. I believe that with a sincere heart, God has given me another chance to enjoy my freedom has a man and His servant in His presence and that I may also share in His blessings through offerings and testimonies. God bless you for inspiring my soul and restoring my stolen freedom of worshipping.
Amen,this message was for me surely, I,ve been under spiritual attack for long
Great teachings indeed..I am learning that Satan has tricks that even frustrations comes from the evil one.
Ujumbe wa Mungu kwangu kupitia mtumishi wa Mungu huyu umeniweka huru.Asante sana Yesu Kristo uliye Bwana na mwokozi wangu. Hakika mwana akikuweka huru unakuwa huru kwelikweli.Amina
Amen man of I have learned many things from this teachings
Mungu akulinde na kukuinua zaidi mtumishi
Glory to the Lord. Thank you Jesus.
Ahsante baba uishi milele
Glory be to God
Mungu hakika uko upande wangu umenifungua kwelkwel adui jana nafasi yote kwangu 1:32:16
MchungajiMungu akubariki,nimejifunza ambayo sijawai kuyasikia popote,Ubarikiwe sana,Maneno yako ni mazito!!
Thank you Pastor for this words ❤ You are blessed
Man of God you been blessings to me, since i started following you on TH-cam.
Ninawochi kutoka saudia,,,pst maombi yako yamenifuza mengi,,,na nina imani nitajua kuomba na kusoma bibilia kutoka kwako,,,,,amen 🙏🙏
I Iove the teachings
God bless you pastor
Mungu akupe neema yakuishi pasta
Oooh My Goodness kweli Kabisa prophet George Mukabwa❤❤❤❤❤❤Ni Kweli Mtupu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Baba, yote ume huburi ndo Hali nayoishi sasa. Mwenyezi Mungu akubariki saan kwa ili neno. Tuna wafwatilia from Norway. Nashukuru Mungu maana nime elewa sasa nini inayo nisumbua na hivi nitashinda maana nimepata strategy naamini nita shinda ktk yeye atutiaye Nguvu
May God bless you Servant of God!
Pastor, am really blessed, may God continue to expand your ministry.
Hawa jamani ndio watumishi
Amen
Watumishi wa ukweri
Amen 🙏🙏
Kabisa sio wale wa pokea nyota
Pastor ubarikiwe sana MUNGU kukuongoza kuleta hili neno maana Dalila zote nane zimenigusa
Duuh baba Mungu akubariki
Mtumish wa mungu,mungu akubariki azid kukupa nguvu na neema mahubir hii inaniguza sanaa
Amen mtumishi
Amen pastor nimefunguliwa macho maana haya mahubiri ni kama yananihusu mimi nimepitia mengi mpaka roho kurudia yale niliyoyashinda inaniandama nikifikiria MUNGU ameniacha naomba MUNGU toba na naomba urejesho nishakosa naomba mtumishi unisaidie
Ubalikiwe Sana mtumishi
Umenibariki sana
Amen barikiwa mtumishi kwa ujumbe nzuri sana amen
UBARIKIWE SANA MTUMISHI WA MUNGU
Ubarikiwe sana
katika jina là yesu Amen
Im blessed with the word of God through this pastor 🙏🙏🙏🙏
Pastor glory to this message,himenipa njia
Amen nimebarikiwa sana
Amen nimekombolewa katika Jina la Yesu 🙏
Asante sana mtumishi wa mungu ubalikiwe sana mtumishi unahubili vizur sana yaani mwenyezi mungu akupe umli mulefu uzidi kutuelimisha
Oooh my Lord my God you bless me pastor you teach me
Mungu akuongezee wingi wa siku mtumishi wa Mungu
Postar umejega Imani yangi God bless you
Ubarikiwe sana Mchungaji kwa kweli ya Mungu 🙏❤️
Ameen sana kweli mchungaji hayo ndo yanayonipata Asante kwa neno lako
Asante mchungaji, kwa chakula hiki.
Yaani huu ujumbe umenigusa Moja kwa Moja Ee Mola wangu nirehemu