Mungu akiamua kukutumia kwny kazi yke,shetani anaaibika,pr,Mungu amekujalia kipawa cha ajabu,ni mhubiri mzuri,hapo hapo ni mwalimu bingwa,Mungu akutunze pr Mmbaga.
Barikiwa sana mtumishi was mungu hakika mungu anamakusudi na watu wake mpaka akuwezeshe kururudisha neno la upakoooo mungu akubariki sana pia na mm mungu anibarikiiiiii
Ameeen. Ameeen. Powerful teachings. God Bless you Pastor.❤❤ ukweli kabisaa huwezi ngangana kumtolea Mungu ili hali wazazi wako wako hawana hata blanket, nyumba, etc
Amina pastor kiukweli kupitia TH-cam nimejifunza mapishi mengi hadi sasa namshukuru Mungu nipo nchi za watu kujifunza kwahitaji nia wala usijilaumu kisa hujasoma barikiwa pastor wangu Mungu akutunze
Pastor, naomba kukili kuwa Dr Myles speech zake na wewe nimepata kubarikiwa sana, Dr Myles alitumika na Mwenyezi Mungu vizur. Mungu aendelee kukutumia sana na ubarikiwe mtumishi. Amina.
Asanteee Pastor. Somo nzuri, God bless you. Ila naomba msaada wako. Nina biashara zaidi ya miaka 15 ila kila siku national hela mfukoni na kuanzia moja. Siingizi hela hata siku moja. Mpaka sasa nimechoka. Naomba msaada wako Pastor. Samahani kwa usumbufu.
Kweliii kuna rafiki hapati usingizini ana kazini nzuri, nyumba nzuri na mume wake hadi amepewa dawa za vichaa ili alale kweli pesa inanunua kila kitu lakini vyo usingiziiii.
Ubarikiwe sana pasta.siri 3 ili ufanyikiwe kimaisha samaani lakini nasubiri sana nisikiye iyo ya 3mafundisho hii mwalimu alitaja2mafundisho mda ukaisha
Japo ni dini tofauti lakini huyu mchungaji namkubali sana Ana nasaha nzuri sana
Asante mtumishi imenitoa ujinga Leo barikiwa mungu akupe ufahamu Zaidi yaulionao Amen 🙏🙏🙏
Mungu akuzidishiye mahali ulipo towa Neno na mafundisho
umenikuza kiwango kigine naliweka moyoni na kishwani.asanti mubarikiwa wa Mungu
Ahsant sana pastor,kwa mafundisho mazuri Mungu akubariki
Ubarikiwe sana mchungaji nimepata kitu san By Aminieli fundi wa rangi
I enjoy your teaching especially mpaka bando zinaisha uongezi hata kitu kipya kwenye ubongo
Yuo have said bro. That's God's power. Thanks so much.
Glory be to God! Be blessed the servant of God
Mungu akiamua kukutumia kwny kazi yke,shetani anaaibika,pr,Mungu amekujalia kipawa cha ajabu,ni mhubiri mzuri,hapo hapo ni mwalimu bingwa,Mungu akutunze pr Mmbaga.
Warumbe
Asante sana pr
Sasa wapi ambako Shetani kamwinukia ??
Ni kweli mchungaji mahubiri yako ni mazuri sana ubarikiwe
Barikiwa sana mtumishi was mungu hakika mungu anamakusudi na watu wake mpaka akuwezeshe kururudisha neno la upakoooo mungu akubariki sana pia na mm mungu anibarikiiiiii
Ameeen. Ameeen. Powerful teachings. God Bless you Pastor.❤❤ ukweli kabisaa huwezi ngangana kumtolea Mungu ili hali wazazi wako wako hawana hata blanket, nyumba, etc
Barikiwa zaidi pastor hakika umenigusa kabisaa
Amina paxtor mbaga,huwa nafatilia xana mahuburi yako huwa na barikiwa xaxa,xan,mungu aendelee kukufunulia zaidi na zaidi.
Powerful massage man of God
Barikiwa sana pastor,kwa hili fundisho hakika nimepata kitu
Barikiwa mtumishi Mbaga. Tuko pamoja. Nabarikiwa mno na mahubiri Yako. Ni Richard Kereti kutoka Kitengela Kenya.
Mungu akubariki sana
Mungu atukuzwe kwa kutufundisha mengi ,ubarikiwe sana pastor .
Ameen
Ahsante Sana pastor umeongeza vitu vingi Sana kwa mind yangu.mungu azid kukutunza...
True true our pastor. Thanks for your lesson from the God
Mungu akubariki Mchungaji wetu tunabarikiwa na mafundisho yako
Nabarikiwa Sana na huduma unayofanya,,Mungu Akupandishe utukufu zaid hadi utukufu wa juu
barikiwa sana pastor mbaga nakuelewa sana mm msabato mwenzio
Mtu wa Mungu kupitia mafundisho yako nimebadilika sana God bless you man of God
Mbarikiwe sanaa muonekano wenu unatangaza vyema iman ya kiadventista...Muimbe mkapotelee mbinguni
Pastor mungu akuzidishiye 🙏🙏
Amina pastor, nimebarikiwa na somo lako na nimesoma kitu mpya. Mungu anisaidie. Ubarikiwe sana pastor
Uelewa kweli nimekuelewa pastor
Amina pastor kiukweli kupitia TH-cam nimejifunza mapishi mengi hadi sasa namshukuru Mungu nipo nchi za watu kujifunza kwahitaji nia wala usijilaumu kisa hujasoma barikiwa pastor wangu Mungu akutunze
Ahsante kwa Mafundisho mazuri, Mungu azidi kukupa ufahamu wa juu zaidi.
Bwana akubariki Mchungaji. Ni kweli kutamani sio kuzuri, Bora kuchunguza na Kupanga namna ya Kuanza. Mungu atusaidie Tusitangulize Tamaa.
🙏
Asantee sana japokuwa mimi muislam na nipo kwenye funga yangu ila kwa hilo nimekuelewa sana mungu akujalie sana,maisha marefu baba🙏yan had nimelia 😭😭
Asante sana!! Mungu akupe mfungo mwema
Thanks for this message pastor
Pastor, naomba kukili kuwa Dr Myles speech zake na wewe nimepata kubarikiwa sana, Dr Myles alitumika na Mwenyezi Mungu vizur. Mungu aendelee kukutumia sana na ubarikiwe mtumishi. Amina.
Mahubiri mazuri yenye busara. Ubarikiwe pasta
Amen mungu akuongezee miaka mengi hapa duniani Na pia akuzishiee hekima
Pastor Mbaga, You're so Talented and hard working. God bless you nimekupata sawa sawa
Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu 🙏🙏
Nimebarikiwa sana na somo hili ubarikiwe sana pastor
Umeni inspire sana Mtumishi,Barikiwa sana!!
❤❤❤Very nice and true...
Jina la baba Mungu lizidi kuhimidiwa DAIMA..
Amen Mungu akuinue zaidi mchungaji
❤you have really turned my life by your teachings
Mungu akupe maisha marefu mtumishi
Mungu nisahidie niwe na kitu kipya akilini mwangu kila siku be blessed pst
Somo linanigusa kwa kweli , Pastoe Mungubakubariki sana
Barikiwa mch. David Mbaga
Thank you so much bishop I am age19 you have really motivated me for hustling 💪
Keep it up
Barkiwa sana nimebarkiwa mtumish
Ubarikiwe sana Mwl David Mmbaga
Asanteee Pastor. Somo nzuri, God bless you. Ila naomba msaada wako. Nina biashara zaidi ya miaka 15 ila kila siku national hela mfukoni na kuanzia moja. Siingizi hela hata siku moja. Mpaka sasa nimechoka. Naomba msaada wako Pastor. Samahani kwa usumbufu.
Barikiwa pastor kwa,mahubiri mazuri
Pastor thanks your talking the realness reality
Wewe ni mwalimu naerimika sana kwa mafundisho yako mara nyingi machozi yanajitoa b blessed Teacher, Isaac Gathendu naishi Kenya
Be blessed my pastor
Amen Mtumishi wa mungu ubarikiwe sana
Amen 🙌powerful teachings
❤❤❤❤❤❤❤ asante muchungsji
Niwachache sn 🙏🕺NENO LA MUNGU LIPONYE MWILI NA ROHO.✔️💯yupo vzr.
God bless you pastor tumetoka mbali
Mungu naomba niwekee mkono wa baraka unipe ufaham
Asante mtumishi kwa mm nimekuelewa nitajitaidi niwe na ufahamu
Kweliii kuna rafiki hapati usingizini ana kazini nzuri, nyumba nzuri na mume wake hadi amepewa dawa za vichaa ili alale kweli pesa inanunua kila kitu lakini vyo usingiziiii.
Naamini mafundisho yako yataniinua zaidi na zaidi.mungu akuinue mchungaji
Nimekupenda sana.ubarikiwe sana
Amen Asante umenitoa mbali barikiwa saana
Ameni mtumishi wa Mungu barikiwa Sanaa kwa neno hili hakika tutapona wengi
Nice piece pastor
Hujawahi kuniangusha mchungaji barikiwa sana
Mungu akubariki mtchungaji❤
Vitu hivi mhimu Sana Amina pastor by mabela me
Pastor david, God bless you
So wonderful teaching, God bless you ,I have learned something from you which I did not know ,am from kenya
Amazing lessons watching from Dubai thanks alot mwanawa Mungu
Mungu akubariki mchungaji 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Strong motivating speech!Thank you Pastor Mbaga! This is more than annointing!
ok be blessed Indeed
@@bishoppeteroballa7701 a+Amina
Dodoma
Mungu akubariki pasta kwa kunitoa woga🎉 maana kusikia hela kubwa huwa naogopa sana
That's greatly reasoning, pastor! God bless you...as you shine to transform the lives of many.
Give him a like 👍
Thanks pastor!.
B blessed pastor for the powerful inspiration.
@@vumiliakayela7219 y
Strong motvating speech
Be blessed the sevant of LORD,I appreciate your lesson.
May GOD blesse you,.thank you very much
Nimejifunza mengi sana mutumishi wa mungu and mungu akubaliki
God bless you work 🙏
Ubarikiwe sana pasta.siri 3 ili ufanyikiwe kimaisha samaani lakini nasubiri sana nisikiye iyo ya 3mafundisho hii mwalimu alitaja2mafundisho mda ukaisha
Thanks so much pastor GOD bless you
Powerful message I'm so blessed ooo
Unakata tusiweke bondo unataka tukuangalije as a.
Hongera mchungaji
Barikiwa neno nzuri
Mungu akubariki sana
Barikiwa mtumishi was munguu mkuu
Hii imenipendeza kabisa. ,,,, unatoa zaka na sadaka ili hali mzazi hana hata breakfast,,,, laana tupu ukweli kabisaa❤❤
Hongera sana mtumish
God bless you pastor amen
Asante baba,na amen
Ameni.
...mtumishi wangu,nimebarikiwa
Ubarikiwe mchngji
Amina, MB zangu kwa masomo yako Mch.David Mmbaga,Mungu akupemaisha marefu%.
NabarikiwA sana na somo lako mtumishi
barikiwa san pasta mbaga 🙏🙏🙏🙏tuna enjoy san na mafundisho yako
Aminaa mchungaji nimebarikiwa sana
All glory be to God for this connection, really am so blessed indeed, God bless you daddy in christ ❤🙏
Pastor,yup have inspired to the maximum,be blessed
Holy holy holy with chords
Asante baba,,mimi nitakutafuta unifundishe ili nile nini nipunguze kilo.
Ubarikiwe kwa ushauri wako
Amina mtumishi ubarikiwe umenifumbua ufaham
God bless you
Amen Pst nazidi kupata mafunuo be blessed.
Thanks for the message
Amen Amen mtumishi barikiwa sana nmebariwa sana
Ubarikiw naming azid kukufunulia