MAOMBI YA USIKU WA MANANE by Innocent Morris

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 484

  • @LilianKimambo-gg1do
    @LilianKimambo-gg1do 6 หลายเดือนก่อน +16

    Mungu nisaidiae kupenda maombi watumishi wako wavoomba roho ya kiburi inainuka ndan yangu na kuona wanaomba sana kwa mda mrefu

    • @Everlyne-g9j
      @Everlyne-g9j 14 วันที่ผ่านมา +1

      Nilikua kama wewe bt God helped me saii pia mm najikuta nikiomba mda mrefu

  • @felisterchami6405
    @felisterchami6405 2 หลายเดือนก่อน +3

    Naomba kwa swala la ndoa, Mwenyezi Mungu naomba ukanibariki huu mwaka usiishe bila kunipa yule ambaye ni sahihi kwangu

  • @jacklineshemdoe4348
    @jacklineshemdoe4348 หลายเดือนก่อน +2

    Nakushukuru bwana Yesu kwa ajili ya mtumishi wako Innocent Morris😊🙏🏻🎥 Ukamtendee kila mmoja wetu sawa sawa na mapenzi yako AMEN
    Song#amejibu maombi Rehema simfukwe and agape gospel band

  • @EvaSelestin
    @EvaSelestin ปีที่แล้ว +2

    Niomba nipone tumbo lauzazi niwena bebamimba ziwezinakaahad mdawa kujifungua miezi 9 amen

  • @dorahbendera6066
    @dorahbendera6066 ปีที่แล้ว +22

    Mungu anisaidie niweze kuwa na kiu ya maombi na roho mtakatifu aingie ndani yangu

  • @juliethkatabwa5306
    @juliethkatabwa5306 ปีที่แล้ว +7

    Asante Yesu kwa rehema na huruma kwenye maisha yangu na watu wote wanaonizunguka.na familia yangu

  • @LuluMkota-kt4ux
    @LuluMkota-kt4ux ปีที่แล้ว +2

    Naomba kufunguliwa uckie kuomba kwetu we yesu wangu napokea

  • @yvetteamina2361
    @yvetteamina2361 2 หลายเดือนก่อน +3

    Ukowa couplé yangu bwana yesu Christo ❤

  • @lilianreemgard6862
    @lilianreemgard6862 2 หลายเดือนก่อน +3

    Nina mshukuru muumba wa Mbingu na inchi ambaye ni Mungu pekee kupitia mwanae wa pekee Yesu Kristo ameniponya, amekomboa familia yangu na kunipa upya na upendeleo wa kipekee Amen

  • @serahnthamba2097
    @serahnthamba2097 ปีที่แล้ว +3

    Naomba rehema juu ya Kila eneo ya maisha yangu

  • @danieljoseph3279
    @danieljoseph3279 5 วันที่ผ่านมา

    Mungu nisaidiae kupenda maombi watumishi wako wavoomba roho ya kiburi inainuka ndani yangu na kuona wanaomba sana kwa mda mrefu 🙏🙏👏🙏

  • @janemlelwa8618
    @janemlelwa8618 2 หลายเดือนก่อน +3

    Jina lipitalo majina yote ni jina la YESU pekee ndilo lenye mamlaka yote kwa jina hili tunaokolewa ❤

  • @velonicacharles-6124
    @velonicacharles-6124 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu ukanifungulie vifungo vyote walivyonifungia magumu yakawe mepesi Kwa uweza wako baba amina

  • @danieljoseph3279
    @danieljoseph3279 5 วันที่ผ่านมา

    Asante yesu kwa Rehema na huruma kwenye maisha yangu na watu wote wanaonizunguka na familia yangu 🙏🙏🙏

  • @Christianchazinho
    @Christianchazinho 5 หลายเดือนก่อน +3

    Amen naombea mwanangu Rafael na mama yake kazi yangu naikabidhi kwako baba uliembinguni Amen

  • @diazndomba6043
    @diazndomba6043 ปีที่แล้ว +3

    Amen! Maana we ni Mungu Mwenye enzi uliyehai unayejibu maombi

  • @KhadijaMilanzi-ns6sy
    @KhadijaMilanzi-ns6sy 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu unisandie nifanikiwe kiuchumi nipate pesa kzn nionekane nifunguwe biashara yangu mm nimarinze yumba yangu nipate watoto mchumba wangu nilie kuwa nae sasa Mungu naomba haniowe

  • @LukaMwapinga
    @LukaMwapinga ปีที่แล้ว +2

    Asante mungu hakuna jambo linaloshindikana kwako jehova ameen

  • @GroriaDhahabu
    @GroriaDhahabu 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ee bwana yesu hakuna kama ww kimbilio la maisha yangu msaada wangu uumikononi mwako

  • @PaulinaChagoha
    @PaulinaChagoha 7 วันที่ผ่านมา

    Ee yesu christu nisaidie kila ninaloliomba na imani nitapokea maana naona kwa maombi aya nafunguka siku hadi siku kwa nguvu za mungu amina

  • @AnnickMukeriwabo
    @AnnickMukeriwabo 15 วันที่ผ่านมา

    Bwana YESU MUNGU naomba uniokowe na maisha haya ya ibu ninayo ishi naomba Bwana YESU unitowe ayibu hiyi nina yo ishinayo

  • @MariaAllure-z5v
    @MariaAllure-z5v หลายเดือนก่อน +1

    Amina napokea nguvu ya kuomba

  • @AthaJohn-i5v
    @AthaJohn-i5v ปีที่แล้ว +1

    Amen and amen ee yesu mwema nakuomba ukanijibu maombi yangu 12 yakatimie bwana ktk jina la yesu kristo kayajibu na kuyabariki. Mungu wangu kama ulivyo umba mbingu bila nguzo bwana na leo yajenge na kuyajibu maombi yangu kwangu bwana

  • @mamamhagama7889
    @mamamhagama7889 23 วันที่ผ่านมา

    Ameeeni barikiwa sana kwa maombi haya ninaemani Kuna kitu nimekipata napokea kutoka juu kwa JINA LA YESU

  • @MankaAlly
    @MankaAlly 6 หลายเดือนก่อน +1

    Sifa na shukran na utukufu ni kwako Bwana Yesu unastahili kuheshimiwa na kuabudiwa

  • @MankaAlly
    @MankaAlly 6 หลายเดือนก่อน +1

    Rehema zako zikatawale katika kila eneo la maisha yangu

  • @ROBERTELIAS-l9v
    @ROBERTELIAS-l9v 12 วันที่ผ่านมา

    Mungu kabariki mikono yangu niweze saidia family yetu

  • @NeemaWillison-tn2oy
    @NeemaWillison-tn2oy 17 วันที่ผ่านมา

    Bwana Yesu pokea sifa na utukufu maana wewe wastahili

  • @Leonard-jl8gt
    @Leonard-jl8gt หลายเดือนก่อน

    Neema itoshayo inipe uaminifu na imani kamilifu kwa Mungu,niwe chombo chake

  • @AnnaKadewele
    @AnnaKadewele 8 วันที่ผ่านมา

    Naomba amani ktl moyo wangu.naomba Kibali nikakubalike kile maharishi naombea uzao watumbo langu ukafunguliwe

  • @florencekwamboka9717
    @florencekwamboka9717 ปีที่แล้ว +2

    Naomba rehema kwa inchi ya Kenya na viongozi wa Kenya pamoja na ulimwengu wote

  • @AdelinaNameo-y2u
    @AdelinaNameo-y2u 29 วันที่ผ่านมา

    Naombea ulinzi Familia yangu kiroho na mwili kwa damu ya yesu

  • @happysadallah4590
    @happysadallah4590 หลายเดือนก่อน

    Mungu ninakuamini kwa kila kitu kwenye maisha yangu, Naomba afya njema, Amani ya Moyo……🙏🙏🙏 Umetenda mambo makubwa kwangu unapozuru wengine na mimi usinipite..

  • @bingwa.Artist
    @bingwa.Artist หลายเดือนก่อน

    Mungu, mkuu nakushukuru sana kwa maisha Yangu

  • @JanethMbiki
    @JanethMbiki 15 วันที่ผ่านมา

    Mungu naomba unipe moyo wa kuomba nikutumaini wewe

  • @SoosanOman
    @SoosanOman 5 หลายเดือนก่อน

    Ee mwenyez usikie saut ya maombi yangu mipago yote ya Adui inayo pagwa juu yangu hayatafanikuwa Kw dam ya yesu Kristo Amen 🙏🤲

  • @aminarajabu5795
    @aminarajabu5795 2 หลายเดือนก่อน +2

    Jumatatu yangu imebarikiwa katika Jina la Yesu, na siku zangu zote za hapa duniani zimebarikiwa na nimebarikiwa kwa Damu ya Yesu Pamoja na watoto wangu👏. Bwana Yesu ni wewe peke yako unayejibu maombi🙏

  • @HamisAlhaji-tq9kb
    @HamisAlhaji-tq9kb ปีที่แล้ว +2

    Ee..Mungu ukaisikie sauti yangu unisamehee...Na nisiwe mwenye shingo ngumu🙏🙏🙏

  • @judithmutio-mp6sn
    @judithmutio-mp6sn ปีที่แล้ว +1

    Amen mungu nomba ukajibu maombi yangu

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 ปีที่แล้ว

    Naomba maobezi ya biashara yanga yaspare famili yanga uchum afya nyumban watoto wangu shule tupate ada Kwa jina la YESU christo amen

  • @yvetteamina2361
    @yvetteamina2361 2 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen 🤲🏻 🤲🏻 🤲🏻 ❤ ukowa congo. Ukowa inji yote ya iyi duniya

  • @SarahElias-ib8ou
    @SarahElias-ib8ou หลายเดือนก่อน

    Eee Bwana yesu naomba Rehema kwajili ya familia yangu 🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @DesireRaphael-k2n
    @DesireRaphael-k2n หลายเดือนก่อน

    Asante mtumishi nimemuona MUNGU akinifungua Amen

  • @RukiaChalamila
    @RukiaChalamila 6 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙏 mungu naomb amponye mwanang Elliott na roho za mauti zinazomfatilia kwa jina la yesu amen 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @AgnessNdendya
    @AgnessNdendya 11 วันที่ผ่านมา

    Mungu naomba unifundishe kuomba maana ulimi wangu ni mzito nashindwa kuomba kabisa

  • @FaustinaBoniface
    @FaustinaBoniface 28 วันที่ผ่านมา

    Ameen, najikabidhi kwako Bwana ili unitakase sawasawa na meno lako, unisamehe kwa yale yote niliyotenda kinyume na mapenzi yako.

  • @innocentkituma2714
    @innocentkituma2714 7 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen

  • @elishagadiye
    @elishagadiye 18 วันที่ผ่านมา

    Mungu niponye sukari pesha huduma yangu kanisani

  • @MerryDickison
    @MerryDickison 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu nitie guvu navosikiliza maombi nakata tamaaa loho.yakukataa tamaa isisimame mbele yangu

  • @charleskagonji7468
    @charleskagonji7468 ปีที่แล้ว +2

    We mungu uknisamehe makosa yangu na familia yangu nkuja mbele zako usiniache

    • @Justinakalogeza
      @Justinakalogeza ปีที่แล้ว

      Huduma uliyonipa nuponyaji❤

    • @upendokimaro2535
      @upendokimaro2535 หลายเดือนก่อน

      Ngoookaaa kwa jina la Yesu Kristoo

  • @AdelinaNameo-y2u
    @AdelinaNameo-y2u 29 วันที่ผ่านมา

    Naiombea rehema Familia yangu kwa damu ya yesu

  • @AdelinaNameo-y2u
    @AdelinaNameo-y2u 29 วันที่ผ่านมา

    Ulinzi kwa mtoto wangu tumboni kwa damu ya yesu

  • @FrançoiseByiringiro
    @FrançoiseByiringiro 18 วันที่ผ่านมา

    Mungu nitowe buvivu bwakuomba

  • @HappinesVitus
    @HappinesVitus 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu nitetee haki yangu maana wewe Ni mtetezi wetu amen

  • @GodfreyLazaro-bu8cy
    @GodfreyLazaro-bu8cy 2 หลายเดือนก่อน

    Naomba kufunguliwa ki Imani ee mwenyezi mungu

  • @warshatissa7128
    @warshatissa7128 2 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana yesu Asante
    Ni wewe mungu ujibuye maombi

    • @GraceAnyisile
      @GraceAnyisile หลายเดือนก่อน

      Yesu au Mungu tunaazia herufi kubwa ukiandika herufi ndogo unamaanisha miungu

  • @JojoNgendakumana
    @JojoNgendakumana หลายเดือนก่อน

    Amen Mung usiniashe kwenye maombi haya mung nisaidiye

  • @eddalema3234
    @eddalema3234 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Yesu naomba unijibu ninapoomba,amen

  • @AulelianaKatenbo
    @AulelianaKatenbo 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni mungu unaye niwezesha.

  • @VELENARWEBUGISA
    @VELENARWEBUGISA 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asante kwa maombi ya usiku wamanane ,wakuombea watoto wangu,wawezekufunguliwa

  • @joycemwakilembe-lc9fx
    @joycemwakilembe-lc9fx ปีที่แล้ว +2

    Aminaaa Mungu sikia kuomba kwetu

  • @levisremmy1277
    @levisremmy1277 2 หลายเดือนก่อน

    Ee Mungu wangu wangu Yehova ni wewe peke yako utaye ponyesha magonjwa yangu na mwanangu Neuster ktk jina Yesu ni wewe peke yako unaye jibu maombi ktk jina la Yesu Amen 🙏

  • @CliffMboya-rv9ik
    @CliffMboya-rv9ik หลายเดือนก่อน

    Mungu anitendee kw maisha yangu

  • @suzanReuben-d5p
    @suzanReuben-d5p 7 หลายเดือนก่อน

    UTUKUZWE WEWE YESU UTUKUFU NA HESHIMA NI WAKO🙌🙌🙏🙏🙏🙏

  • @نوافالشبرمي-ي4ت
    @نوافالشبرمي-ي4ت ปีที่แล้ว +2

    Aminaaaaa 🙏🙏🙏🎉 that's Awesome congratulations pastor 🙏

  • @aminakubutanobenda4093
    @aminakubutanobenda4093 วันที่ผ่านมา

    Eebaba mungu nipe nguvu ya maombi nipate kuokoa kizazi changu

  • @VictoriaTarimo-rx9xp
    @VictoriaTarimo-rx9xp 3 หลายเดือนก่อน

    Ameen hakuna mungu kama wewe yesu

  • @LusiaAlex
    @LusiaAlex 5 หลายเดือนก่อน

    Ameni Mungu unilinde nayule adui muovu

  • @MiriamMlele-j8p
    @MiriamMlele-j8p 5 หลายเดือนก่อน

    Niwew pekeyako hunayo jibu maombi ni ww yesu Ee jeova

  • @GroriaDhahabu
    @GroriaDhahabu 4 หลายเดือนก่อน

    Amani ya maisha yangu yanatoka kwako eeee bwana mungu wamajeshi nishike mkono mwokozi wangu

  • @shijacharles
    @shijacharles 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu mwema nimepokea🙏

  • @JayFox-r7u
    @JayFox-r7u 2 หลายเดือนก่อน

    Najiungamanisha namaombi haya nahitaji Mungu anipigunie dhidi yamaadui zangu usiku huu

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 4 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤ Bwana Yesu nirehemu bwana Yesu Kristo wanasareti nirehemu Mimi mwenye dhambi nisamehee mwokonzi waku masiyaa mukombozi wetu Kristo Yesu sasawa na wingi wa rehema zako

  • @ombenimacha7336
    @ombenimacha7336 2 หลายเดือนก่อน

    Bwana Yesu unastahili sifa

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 ปีที่แล้ว

    AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN BABA NAPOKEA KWA JINA LA YESU christo amen

  • @gracemwasibuka
    @gracemwasibuka 3 หลายเดือนก่อน

    Amen ee Mungu sikia maombi yetu

  • @clesensiamlosa9987
    @clesensiamlosa9987 ปีที่แล้ว

    Naomba katika maisha yangu nifanikiwe nimalize nyumba nyangu

  • @alexnzioka2850
    @alexnzioka2850 23 วันที่ผ่านมา

    Naomba mungu neema na nguvu mpya

  • @ennasolomon5202
    @ennasolomon5202 หลายเดือนก่อน

    Namshukuru Mungu kwa kinipa nguvu ya kusali maombi haya siku ya leo

  • @MankaAlly
    @MankaAlly 2 หลายเดือนก่อน

    Roho mtakatifu ,Roho mtakatifu,Roho mtakatifu ingia ndani

  • @upendoshoo6840
    @upendoshoo6840 หลายเดือนก่อน

    Tuolee maadui twanaotufuata,wape roho ya upendo, wa kweli

  • @warshatissa7128
    @warshatissa7128 6 หลายเดือนก่อน

    Jehova mungu WA neema Asante ❤❤

  • @AdmiringBeachHammock-qv3nk
    @AdmiringBeachHammock-qv3nk หลายเดือนก่อน

    Amina nashkuru sana maombi mazuri yamenibariki Ahsante yesu.

  • @edwindeogratius9322
    @edwindeogratius9322 หลายเดือนก่อน

    Amina baba barikiwa sana baba nmebarikiwa sana Mungu akiubariki sana

  • @FARIDAKENNY-e5j
    @FARIDAKENNY-e5j 12 วันที่ผ่านมา

    Nakuomba mungu unitendee uponyaji usiku huu

  • @BahatiKaroly
    @BahatiKaroly หลายเดือนก่อน

    Ohio Bwana YESU fanya kitu ndani yangu najua wewe ni mfinyanzi bado unafanya kazi nipo teyari maadam nipohai kwa nguvu Yako bac usinipite MUNGU wangu nipo hapa

  • @AdelinaNameo-y2u
    @AdelinaNameo-y2u 29 วันที่ผ่านมา

    Ulinzi kwa said baba mtoto wangu roho zamauti zimuachie

  • @hellenomwenga5495
    @hellenomwenga5495 2 หลายเดือนก่อน +5

    Naomba uponyaji kwa my son cyprian who is sick nguvu ya mungu apone na amutumikie bwana kwa jina LA yesu kristu Naomba

  • @EsterEliakimu-u3r
    @EsterEliakimu-u3r 9 วันที่ผ่านมา

    Najiungamanisha na maombi aya Mungu niguse nipate ujauzito

  • @oman798
    @oman798 ปีที่แล้ว

    AMINA ubalikiwe sana mtumishi wa MUNGU Bwana niwewe tu

  • @upendoshoo6840
    @upendoshoo6840 5 วันที่ผ่านมา

    Asante ,Mungu asante kwa huruma zako kwetu. Tupe hekima zako takatifu

  • @FloraFifi-c2u
    @FloraFifi-c2u 10 หลายเดือนก่อน

    Namshukuru Mungu kupitia maombi haya nimejikuta na nene kwa lugha barikiwa mtumishi

  • @oilaskaberiaMuthee
    @oilaskaberiaMuthee 2 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 thank you Jesus Christ

  • @Salama-b6h
    @Salama-b6h 3 หลายเดือนก่อน

    Asante Yesu ,naomba utuhurumie.

  • @VeronicaJoseph-e2m
    @VeronicaJoseph-e2m 16 วันที่ผ่านมา

    Bwana yesu nimaombi yangu kwako unipatie Kazi nzr biashara nzuri n kunipatia fursa za kifedha.Naamin na Napokea wewe n mwaminifu kwetu utafanya sawa na mapenzi Yako.Amen🙏

    • @vicentsamson8074
      @vicentsamson8074 11 วันที่ผ่านมา

      Baraka zinawewe
      Utukufu una wewe

  • @ArinaitweFatuma
    @ArinaitweFatuma 7 หลายเดือนก่อน

    Hakuna kama wewe mungu wewe ujibue maombi Amen 🙏🙏🙏🙏🙌🙏🙌🙏 mungu ujibue maombi naomba ujibu maombi ya haja ya moyo wangu

  • @farajaelias-g2n
    @farajaelias-g2n 4 หลายเดือนก่อน

    Emungu niinuwekiuchumi na familia yangu na unique kiroho amen

  • @EagerJaguar-sl1rw
    @EagerJaguar-sl1rw 3 หลายเดือนก่อน

    Mpando yote onload ktk Jina la yesu

  • @Niyonzima-o3h
    @Niyonzima-o3h 4 หลายเดือนก่อน

    Eeehe mungu usikiye maombi yangu leo

  • @proscoviakaganzi62
    @proscoviakaganzi62 ปีที่แล้ว

    Mungu nakuomba toto mwenye afya njema naomba afya njema ya damilia nutuepushe na maadui zetu utupiganue vita na utushindie utatufiche na vioo vya kuzimu