Ee mwenyezi mungu kupitia maombi haya naomba ubadilishe historia ya maisha yangu, kama ulivoruhusu aibu inipate naomba uruhusu heshima inifuate, nitakase kwa damu yako takatifu mamb yangu yakaonekane baba, nimeteseka mda mrefu sana naomba uniguse na mimi baba yangu Amina🙏
Mungu akupe maisha marefu kadiri ya neema zake ,kwakupitia mafundisho yako ,amani imerejea kwani nilikuwa mtu wa kukata tamaa na kukosa amani , Asante yesu
Ee mwenyezi mungu naomba unipe moyo wa unyenyekevukuyaelewa haya na ninaomba Familia yangu watoto wangu mke wangu na mama yangu tubarikiwe na kupata uponyaji na baraka juu ya maisha yetu na biashara yangu ikue
Amen baba naomba mungu anifungue ili na me nikaonekane kama umeluhusu me nizalaulike basi naomba ufanye naheshimike kwa kila mtu bwana nailaani mzimu inayotoka upande wa baba na mama yangu kwa jina lako yesu nisaidie❤
Yesu hili somo limekuja muda sahihi asante Yesu kwa siri hii kubwa katika kusali na kuomba nakukutana na nguvu zako asante Yesu wa Kuhani Musa utoaye siri ili tuifikie baraka zako na kufunguliwa asante Yesu 🙏🙏🙏
Eee MUNGU naomba unikumbuke nirudi madhabauni kwako nikaishi maisha Yako nitoe roho ya kiburi zarau ubabe na mdomo mchafu naitaji rehema Yako MUNGU MWEMA NAITAJI REHEMA YAKO MUNGU
Ahsante baba kwa ufungulivu. 🙏🏻
Babu kukvgur age
Najiunganisha na madhabahu ya ngome ya yesu kristu aliye hai
Amina mungu nifundishe kuomba na unioshe na damu yako iliyo mwangika kwa musaraba naomba ubongaji jeova
asanti yesu kwa imani kubwa🎉🎉🎉🎉🎉
Ee mwenyezi mungu kupitia maombi haya naomba ubadilishe historia ya maisha yangu, kama ulivoruhusu aibu inipate naomba uruhusu heshima inifuate, nitakase kwa damu yako takatifu mamb yangu yakaonekane baba, nimeteseka mda mrefu sana naomba uniguse na mimi baba yangu Amina🙏
Amina baba ubarikiwe saaana kuhani Na mwalim Mussa Richard mwacha.
Amiiina
Baba
Musa
Lichard
Musa
Mwacha
Baliikiwa 👃👃👃👃👃👃👃👃👃
Niko Mu congomani naomba mungu wa kohani Musa atupatie Amani inzini mwetu pa diocèse ya butembo béni
Najiungamanisha na madhabahu ya kuhani Musa Richard mwancha
Aminaaa baba naomba nifike temboni daresalam baba
Amina sana naomba roho ya maombi iwe ndani yangu mda wote mungu wa kuhani na mwalimu na kuhani musa richadi mwacha❤❤❤
Amen 🙏🙏🙏 nabarikiwa sana namafundisho ❤
Amiiiiiiiiiiiiiiina baba🙏🙏🙏🙏🙏
Amen baba najikonect na mchumba wangu mpya afunguliwe aende nyumbani👏 kijitambulisha🎉
Amena.baba
Amen 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽 nabarikikiwa sana Mungu azidi kukuinua mtumishi wa Mungu 🙏🏽❤💯💯
Mungu akupe maisha marefu kadiri ya neema zake ,kwakupitia mafundisho yako ,amani imerejea kwani nilikuwa mtu wa kukata tamaa na kukosa amani , Asante yesu
Amina mtumshi mungu yupo pamoja nawe hapa nimejifuza kupitia maombi haya
Amen tunabarikiwa kwa neo baba amina kubwa
Amina sana ubarikiwe sana Kuhani Mussa wetu
Mungu. Akubaliki sana kuhani musa
Ee mwenyezi mungu naomba unipe moyo wa unyenyekevukuyaelewa haya na ninaomba Familia yangu watoto wangu mke wangu na mama yangu tubarikiwe na kupata uponyaji na baraka juu ya maisha yetu na biashara yangu ikue
Amen baba naomba mungu anifungue ili na me nikaonekane kama umeluhusu me nizalaulike basi naomba ufanye naheshimike kwa kila mtu bwana nailaani mzimu inayotoka upande wa baba na mama yangu kwa jina lako yesu nisaidie❤
Yesu hili somo limekuja muda sahihi asante Yesu kwa siri hii kubwa katika kusali na kuomba nakukutana na nguvu zako asante Yesu wa Kuhani Musa utoaye siri ili tuifikie baraka zako na kufunguliwa asante Yesu 🙏🙏🙏
Amina baba yangu wa kiroho najivunia mno ngome ya yesu kristo namuomba yesu wetu azidi kukutumia na kukutunza baba yangu kuhani musa🎉
Somo zurimno mungu akubaliki kuhani Musa lichadi mwacha
Yesu atukuzwe kuhan Mimi ni mchungaji lakini huduma inavita Sana nifanyeje niweze kusonga mbele baba
Nilinde na mizimu ya upande wa baba na mama katika jina la yesu Amen
Asante Baba kwa somo hili
Ee mungu nijaze nguvu zako nikupende zaidi
Aminaa mtumishi naomba mungu anifungulie na family yng nawatot wangu na ndoa yang
Mungu naomba unisaidie nilipe madeni nipate biachara.
Asante Kwa neno baba .mungu akutunze.
Naitwa Daniel nimtoto wangomeni Niko Kongo ninabalikiwa sana baba
Amen baba tena asante sana kwa haya mafundisho
Aminaaaaaaaaaaaa baba 👏👏
Eeee mngu kupitia ibaada hiii najikoneciti na sadaka ili mngu aniinulie mchumba sahihi kutoka ngomeni🎉🎉🎉🎉❤😂
Yesu naomba ufungulifu wa nyumba yangu
Ungamanisha na ibada ya leo ktk mwezi huu ulinzi kzn usalama ameen
❤ Asante baba kwa soomo lako
Ee mwenyezi Mungu 🙏🙏
Aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
naomba maombi iyi ifanyikishe familiya yangu pamoya na Nyumba yangu.Mungu Wangu tembeleya familiya yangu ya ntibonera🙏🙏🙏
Amen amen baba
naomba mungu anipe moyo wa maombi yalio sahihi nanijaze na roho mtakatifu kupitia Ibada hii
Amen baba mungu akupe mahisha marefu ,nihombee baba mimi ni mgonjwa👏
Asante baba unatufundishs tunapona
NAJIUNGAMANISHA NA IBADA YA LEO NAMWEKA MWANANGU LINNY SHULENI MIKONONI MWAKO AMEEN
Amina Mtumishi wa Mungu
Kupitia maombi haha namtanguliza bwana yesu kwenye capitol language note amina
Baba kuhani musa endeleya mbele sana nashukuru sana
ahsante baba kwa neno
Amen baba yetu
Eee MUNGU naomba unikumbuke nirudi madhabauni kwako nikaishi maisha Yako nitoe roho ya kiburi zarau ubabe na mdomo mchafu naitaji rehema Yako MUNGU MWEMA NAITAJI REHEMA YAKO MUNGU
Mungu naomba nikujue zaidi ,nipate ndoa na biashara
Amina Sasa ,ee mungu wa kuhani Musa nipe neema ya kuomba na kuandaa sadaka iliyosafi machoni Pako na nipate kibali Cha kufunguliwa kimaisha
Amina baba nazidi kubarikiwa na mafundiisho Yako nazidi kujengeka kiimani
Mungu na azidi kujitukuza juu ya mtumishi wake huyu❤
Ubarikiwe baba
Ameñ 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 amen 🙏 neno nzuri xnaaa ubarkiwe mtumishi wa mungu 🙏
Asante baba kwaneno
Amee🙏🙏🙏🙏
AMINAAA SANA BaBA asante kwa neno namafundisho yako baba namwalimu kuhani musa Richard mwacha naomba Yesu kristo usiniache namm tenda nakwangu Yesu
Amina kubwa baba
mungu nipe nguvu ya maombi
Aminaaaaa 🙏
Amina sana somo hilo limenigusa baba Asante sana
Aminaa kwamafundish aminaa isiyo bebeka
Najiungamanisha na maombi ya Leo yesu naomba funguwa family yangu iweze kutoka kwenye umaskini
Asante baba somo zuri najiunganisha
Amen saana baba yetu
Wakati huu mazidi kubarikiwa na mafundiisho Yako baba
Ahsante baba mtumishi w Mungu
AmenAmen
Asante Sana kwa somo hili au mafundisho
Ahsante Yesu kwa neno
Eeh Mungu wetu twakuomba utusaidie
A.meen
God bless my DADDY 🙏🙏
Aminaa
Amina Baba niko mbali namba ya simu
Naomba uniombee mchungaji mwacha
I love you baba Ameen
asante baba yetu wa kiroho
Amina baba
Asante baba
Amen amen
Amen. Naomba Namba ya Simu Tafadhali
Amen Kubwa Sana kwa Baba Rao ngome ya Yesu Temboni Mungu wa Ngomeni Aniponye Mimi Nipo Mbeya mjini
Amen amen Baba tukowote pamoja.
Jamani had rahaa ili somo
❤mungu nisaidie
Aminaaaa
Amina baba ubarikiwe sana kuhani wangu ❤❤
Hakika wewe umtumishi wa mungu ubarikiwe Kwa kazi uliotumwa na yesu 🙏 mungu akupe uhai mrefu ,
Najiungamanisha na maombi yaleo
Amina baba unatufundisha tunapona.
🎉mungu asifiwe
Poke salama baba yangu kutoka rubumbashi yote inakusalimia baba
🙏 Amin
Namba ya radio naomba nipo dar
Amina 🙏
Ameeeeee
Eebaba nikumbuke usiniache hata atua moja